audio audioduration (s) 1.19 10.6 | sentence stringlengths 3 173 |
|---|---|
Macho yangu yamefungwa | |
utaona wamebadilisha kauli na sasa wataanza kumuunga mkono kwa hivyo | |
Wao ni chanzo tajiri cha viumbe hai | |
Kwenye nchi nyingi duniani kulikuwa na habari nyingi Sana juu ya viumbe vya ajabu | |
Maji ni uhai | |
aanze kuwa kama mfalme wa dunia hii lililoathiri sana majukumu yake | |
kujiri ama zitajiri hapo baadaye | |
gharama ya kupunguza uchafuzi wa hewa ya kwanza ikiwa | |
naye akasema kuwa hajapata taarifa rasmi kutoka serikali ya kigali | |
woolner alikuwa kwenye dawati la chini | |
Alishinda katika mashindano yale | |
wa uendeshaji wa serikali kwa sababu | |
Kuna vivutio kama vile mji mkongwe wa Zanzibar | |
wa Morogoro na ilianzishwa mwaka wa elfu moja mia tisa sitini na nneIpo umbali | |
kuchota maji kuokota kuni kukamua ngombe na kupikia familia thelathini na nneNgoma ya | |
walitaka Kanisa la Kiafrika na kuchukia mambo ya Kilatini alikubali | |
gesi zinazochafua na kemikali zingine kama mafuta | |
Ndio maana Karafuu hutumika kama kiungo cha chai | |
ambapo asilimia hamsini na mbili ya wapiga kura | |
aidha bunge hilo pia lilikubali uanzishwaji wa programu arobaini na tatu | |
uchanguzi mkuu wa nchini thailand unataraji kufanyika | |
elfu mbili na saba hangeweza kujulikana Hii ni kwa sababu wizi wa kura ulifanyika | |
kuwa na heshima kwa pande zote na kutokuelewana | |
benki inatakiwa kuhimili majanga ya kiuchumi | |
mwinuko katika serengeti una urefu wa mita mia tisa | |
Maji kutoka bombani yanaweza kutumika tu baada ya kuchemsha | |
tunapokea taarifa za kifo cha Ruge kutokea Afrika kusini huku Rais Dokta Jombe Pombe | |
Wakwere wengi ni watawala yaani viongozi | |
jacob zuma alikataa kujiuzulu kwa muda | |
mashabiki wengi hapa katika ukanda | |
Wanawake wapatao thelathini wanalima mwani pembezoni mwa bahari | |
lenye tofauti ni kuwa Kristo hufundisha kuhusu Upendo kwamba ni Mungu | |
hata hivyo hali imeendelea kama kawaida katika kisiwa hicho | |
Sungura ni mnyama mjanja sana | |
pamoja na wapagaji zaidi ya elfu moja kuelekea Kalenga Walikuwa na mizinga minne na | |
Mwanamke pia anaweza Kurudisha mahari ulinzi wa watoto nakadhalika | |
Janga la Corona lilileta madhara mengi sana. | |
bunge nchini tanzania kumchagua spika mpya wa bunge hivi leo | |
Amani tele sote ni wakenya, laleni salama | |
wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa bunge la afghanistan | |
Kufikia mwisho wa hali ya hatari askari hao walikuwa wamewaua | |
Alikasirika sana juzi | |
Kibali kimekuja kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma | |
mbu wanaweza kusambaza virusi vya ukimwi | |
ya kimataifa ya uhalifu wa kivita icc | |
Watoto wao ni watiifu sana | |
Zugu alijitahidi kukabiliana na maji ili amtoe Jacob | |
Hapa kuna gari langu | |
philip alisaidia kuongoza familia ya kifalme | |
Hao waliokua. | |
Mfumo wa utayarishaji wa mipango kwa kuzingatia Fursa na Vikwazo | |
Pia Karafuu ina wingi wa vitamini | |
na kila alipopata kazi alifukuzwa Jambo zuri kwake alikuwa mchoraji | |
Katika kufanya hivyo lazima nchi iwe tulivu | |
maana ilijumlisha pia maeneo ya Rwanda na Burundi | |
Koo lawasha sana. | |
dawa hizo zinaitwa dawa za kurefusha maisha | |
ilivyo na wanyama wengi katika orodha hii bonde | |
iwapo ule mchezaji utamtambua kwamba ni muhimu | |
Alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania | |
na mkahawa wa ethiopia hapo kavalakala ambapo zaidi ya watu sabini na sita waliwawa | |
walitumia muda wao mwingi kwenye mazoezi | |
Hata hivyo ni bahati mbaya kamba watu wengi | |
adi sasa tayari yameshakwisha kutangaza majimbo mia moja na mbili | |
la kuijenga cote dvoire ya kesho | |
ua kwa dharura kutokana na hitilafu ya kimitambo | |
Madaktari walisitisha mgomo wao | |
vijana na wazee piaHapa tutaongelea aina mbili za | |
Kabila la kimasai hujivunia sana ngombe wao | |
dhiti ya mwimbaji maarufu michele mati | |
dawa za kulevya kama vile baklofeni kupunguza utashi na | |
Kamati hiyo iliamua kutumia lahaja ya Kiunguja kuwa | |
Karani wa koti ni yupi? | |
Mitume ni mifano ya Ukristo wetu katika nguvu au karama zao | |
Alipanga foleni kuchukua chanjo | |
Wamasai wanadai haki ya kulisha mifugo katika Hifadhi za Taifa katika nchi zote mbili | |
nyingine watu mashuhuri hutukuza matumizi ya dawa za kulevya | |
Vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi | |
Uchumi wa buluu ni kati ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la kipekee | |
baada ya mapigano ya kikabila na machafuko | |
mafuta iendelee kuwa vile ilivyo | |
kwa niaba ya fundi mitambo enamuel muzari msimamizi wa matangazo haya | |
walihitimisha kwamba Blob licha ya kukosa neva anaweza kujifunza kutokana na uzoefu na kubadilisha | |
Lazima kuharakishwe utekelezaji ili wananchi wafaidike na rasilimali za nchi yao | |
Takriban makabila yote ya Tanzania wakiwemo Waluguru yana utajiri mkubwa wa Historia na taratibu | |
watu elfu tano wakahudhuria hawakurudi majumbani | |
rfi kiswahili itakujuza yatakaojiri katika mkutano huo kwa niaba ya mwenzangu abubakari suleiman | |
Uniulize maneno yeyote nikujibu | |
Nataka kumtongoza kijana huyo | |
elfu moja mia tisa na sabini na saba | |
sauti za muziki kwa sasa zinatakiwa kurekodiwa vizuri | |
Sisi tuko hapa mpaka saa nane. | |
Masikio machafu. | |
mtangazaji anatakiwa kuwa na maonesho ya aina mbalimbali | |
mango km makaa ya mawe au mafuta ya taa | |
katika mabadiliko ya tabianchi katika viwango vya juu Mwishowe ni | |
kuahidi kutekeleza yale yote ambayo yalifikiwa | |
Kwa kuwa Juliana alikuwa akijuana na watu wengi jesiniwaliamua kuwapeleka jeshini Watoto wao | |
Kwenye ufunguzi huo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ilibainisha mambo kadhaa | |
nao katika baa kwenda kwenye eneo la uzuri |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.