File size: 31,587 Bytes
53afb32 |
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 51 52 53 54 55 56 57 58 59 60 61 62 63 64 65 66 67 68 69 70 71 72 73 74 75 76 77 78 79 80 81 82 83 84 85 86 87 88 89 90 91 92 93 94 95 96 97 98 99 100 101 102 103 104 105 106 107 108 109 110 111 112 113 114 115 116 117 118 119 120 121 122 123 124 125 126 127 128 129 130 131 132 133 134 135 136 137 138 139 140 141 142 143 144 145 146 147 148 149 150 151 152 153 154 155 156 157 158 159 160 161 162 163 164 165 166 167 168 169 170 171 172 173 174 175 176 177 178 179 180 181 182 183 184 185 186 187 188 189 190 191 192 193 194 195 196 197 198 199 200 201 202 203 204 205 206 207 208 209 210 211 212 213 214 215 216 217 218 219 220 221 222 223 224 225 226 227 228 229 230 231 232 233 234 235 236 237 238 239 240 241 242 243 244 245 246 247 248 249 250 251 252 253 254 255 256 257 258 259 260 261 262 263 264 265 266 267 268 269 270 271 272 273 274 275 276 277 278 279 280 281 282 283 284 285 286 287 288 289 290 291 292 293 294 295 296 297 298 299 300 301 302 303 304 305 306 307 308 309 310 311 312 313 314 315 316 317 318 319 320 321 322 323 324 325 326 327 328 329 330 331 332 333 334 335 336 337 338 339 340 341 342 343 344 345 346 347 348 349 350 351 352 353 354 355 356 357 358 359 360 361 362 363 364 365 366 367 368 369 370 371 372 373 374 375 376 377 378 379 380 381 382 383 384 385 386 387 388 389 390 391 392 393 394 395 396 397 398 399 400 401 402 403 404 405 406 407 408 409 410 411 412 413 414 415 416 417 418 419 420 421 422 423 424 425 426 427 428 429 430 431 432 433 434 435 436 437 438 439 440 441 442 443 444 445 446 447 448 449 450 451 452 453 454 455 456 457 458 459 460 461 462 463 464 465 466 467 468 469 470 471 472 473 474 475 476 477 478 479 480 481 482 483 |
{"id": "6", "text": "Bandari kubwa nchini Kenya iko wapi?"}
{"id": "8", "text": "Je,mji mkuu Australia ni gani?"}
{"id": "12", "text": "Je,hadithi ya Pinokyo ilitungwa lini?"}
{"id": "13", "text": "Timu ya taifa ya soka ya Brazil imeshinda kombe la dunia mara ngapi?"}
{"id": "22", "text": "Rais wa kwanza wa Gabon aliitwa nani?"}
{"id": "29", "text": "Nchi ya Thailand ina idadi ngapi ya watu?"}
{"id": "32", "text": "Nchi ya Kongo ilipata uhuru mwaka gani?"}
{"id": "34", "text": "Je,msitu ipi kubwa zaidi bara Afrika?"}
{"id": "35", "text": "Je,makao makuu ya kaunti ya Samburu ni wapi?"}
{"id": "38", "text": "Jina kamili la Pelé ni lipi?"}
{"id": "43", "text": "Masinde muliro alijiunga na siasa mwaka gani?"}
{"id": "49", "text": "Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement ni nani?"}
{"id": "52", "text": "Ngugi wa Thiong'o alizaliwa wapi?"}
{"id": "56", "text": "Je,Steven Zuber alijiunga na klabu ya Hoffenheim mwaka upi?"}
{"id": "62", "text": "Dodoma iko na idadi ngapi ya watu?"}
{"id": "72", "text": "Je,mtoto wa umri wa miaka mbili anaweza pata ugonjwa wa kisukari?"}
{"id": "80", "text": "Je,Flamingo inapatikana katika ziwa gani nchini Kenya?"}
{"id": "99", "text": "Je,Raila Odinga alikuwa waziri mkuu mwaka upi?"}
{"id": "105", "text": "Je,Mji mkuu wa Kenya ni upi?"}
{"id": "108", "text": "Mji mkuu wa Nigeria ni?"}
{"id": "119", "text": "Je,nani mwanzilishi wa mziki wa hIhop nchini Tanzania?"}
{"id": "122", "text": "Kikurdi ni lugha ya wapi?"}
{"id": "128", "text": "Bahari kuu duniani ni gani?"}
{"id": "136", "text": "Je,mji wa Gold Coast inapatikana nchi gani?"}
{"id": "138", "text": "Mji mkuu wa Hawaii unaitwaje?"}
{"id": "141", "text": "Je rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa nani?"}
{"id": "144", "text": "Carleton Gajdusek alisoma udaktari chuo gani kikuu?"}
{"id": "146", "text": "Mji mkuu wa Norway unaitwaje?"}
{"id": "172", "text": "Rais wa kwanza wa Malawi ni nani?"}
{"id": "178", "text": "Je, Adolf Hitler alikuwa anatoka nchi gani?"}
{"id": "182", "text": "Nani alizundua kifaa cha kupima joto?"}
{"id": "185", "text": "Je, T-Pain alizaliwa lini?"}
{"id": "187", "text": "Ukubwa wa Japani ni geographia ni kiasi gani?"}
{"id": "193", "text": "Je Nigeria ilipata uhuru mwaka upi?"}
{"id": "195", "text": "Nchi ya Sudan ilipata uhuru mwaka gani?"}
{"id": "203", "text": "Je, Jibuti ilipata uhuru mwaka upi?"}
{"id": "209", "text": "Je,rais wa kwanza wa Ethiopia aliitwa nani?"}
{"id": "213", "text": "Je,rais wa kwanza wa Marekani aliitwa nani?"}
{"id": "214", "text": "Je,Uhispania ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "215", "text": "Mbegu ya maharagwe iko na asili gani?"}
{"id": "221", "text": "Mtandao wa Youtube ulianzishwa na nani?"}
{"id": "226", "text": "Je,Günter Wilhelm Grass alishinda tuzo la Nobel mwaka upi?"}
{"id": "232", "text": "Je, Togo ilipata uhuru mwaka upi?"}
{"id": "234", "text": "Muimbaji Celine Dion ana miaka mingapi?"}
{"id": "238", "text": "Lanhydrock House inapatikana wapi?"}
{"id": "242", "text": "LL Cool J, alizaliwa mwaka gani?"}
{"id": "244", "text": "Je,Kampuni ya Kenya Breweries Limited ilianza mwaka upi?"}
{"id": "248", "text": "Je,Samir Nasri alizaliwa lini?"}
{"id": "254", "text": "Je,Alain Didier Zokora Deguy alizaliwa lini?"}
{"id": "256", "text": "Bahari ya Atlantiki iko na ukubwa wa kiasi gani?"}
{"id": "258", "text": "Kenya ilipata Uhuru mwaka upi?"}
{"id": "259", "text": "Je mlima mkubwa zaidi nchini Uganda ni gani?"}
{"id": "265", "text": "Je,Burundi ilpata uhuru mwaka upi?"}
{"id": "279", "text": "Je,Kenya ina vyama ngapi vya kisiasa kufikia mwaka 2019?"}
{"id": "283", "text": "Bergisch Gladbach ina idadi ngapi ya watu?"}
{"id": "284", "text": "Rais wa kwanza wa Ethiopia aliitwa nani?"}
{"id": "289", "text": "Simba huzaa baada ya muda gani?"}
{"id": "301", "text": "Tanzania ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "302", "text": "Mji mkuu wa South Sudan ni upi?"}
{"id": "304", "text": "Akwilina Akwilini Bafta alizaliwa mwaka gani?"}
{"id": "309", "text": "Je,Fransisko wa Asizi alizaliwa lini?"}
{"id": "317", "text": "Je,idadi ya watu nchini Ufaransa ni ngapi?"}
{"id": "320", "text": "Je,Martin Luther alianzisha Uprotestanti mwaka upi?"}
{"id": "321", "text": "Je,Mlima kilimanjaro ina urefu wa kilomita ngapi?"}
{"id": "325", "text": "Maktoum bin Rashid Al Maktoum alikuwa makamu wa rais wa falme ipi?"}
{"id": "337", "text": "Idadi ya watu wa Nchini Meksiko ni ngapi?"}
{"id": "338", "text": "Kipima joto kiligunduliwa na nani?"}
{"id": "343", "text": "Je, blogu ni nini?"}
{"id": "351", "text": "Je, Rhodesia ya Kaskazini ina jina gani kwa sasa?"}
{"id": "354", "text": "Je, ziwa Nakuru lina ndege gani maarufu?"}
{"id": "358", "text": "Taifa la Kenya lilipata uhuru mwaka gani?"}
{"id": "364", "text": "Kenya ina kaunti ngapi?"}
{"id": "366", "text": "Je,mto mkubwa gani zaidi bara Afrika ni?"}
{"id": "384", "text": "Kemikali ni nini?"}
{"id": "388", "text": "Je,mwanamziki Beyonce alizaliwa lini?"}
{"id": "395", "text": "Jennifer Garner ana miaka mingapi?"}
{"id": "396", "text": "Nani alikuwa rais wa kwanza Urusi?"}
{"id": "399", "text": "Je,chama cha KANU kilianzishwa na nani?"}
{"id": "404", "text": "Mhariri mkuu wa gazeti la NRC Handelsblad anaitwa nani?"}
{"id": "408", "text": "Mtindo wa muziki wa hip hop ulianzishwa na nani?"}
{"id": "409", "text": "Aina za tarakilishi ni ngapi?"}
{"id": "421", "text": "Astronomia ni nini?"}
{"id": "422", "text": "Je,mnyama mkubwa baharini ni yupi?"}
{"id": "423", "text": "Mji mkubwa nchini Afrika Kusini unaitwaje?"}
{"id": "425", "text": "Je,yesu alikuwa na wafuasi wanawake?"}
{"id": "429", "text": "Je, mji mkuu wa Jibuti ni upi?"}
{"id": "435", "text": "Je,Mengistu Haile Mariam alizaliwa lini?"}
{"id": "438", "text": "Je,lugha ni nini?"}
{"id": "450", "text": "Je,nani aligundua kifaa cha darubini?"}
{"id": "458", "text": "Je somo la kiswahili linafunzwa Uganda?"}
{"id": "459", "text": "Simone Gooden alizaliwa wapi?"}
{"id": "466", "text": "Je,sensa hufanyika nchini Kenya baada ya kila miaka ngapi?"}
{"id": "472", "text": "Je,Mji mkuu wa Namibia ni upi?"}
{"id": "478", "text": "2pac Shakur aliuwawa akiwa na miaka ngapi?"}
{"id": "480", "text": "Edith Chewangel Masai alizaliwa wapi?"}
{"id": "482", "text": "Nani rais wa shirikisho la FIFA duniani?"}
{"id": "491", "text": "Je,Bill Gates ana watoto wangapi?"}
{"id": "499", "text": "Otto Von Bismarck alizaliwa wapi?"}
{"id": "501", "text": "Je,twiga hubeba uja uzito kwa miezi ngapi?"}
{"id": "502", "text": "Nchi ya Urusi iko na ukubwa wa kiasi gani?"}
{"id": "504", "text": "Nani mmiliki wa kampuni ya google?"}
{"id": "513", "text": "Je,Vita vya kwanza vya dunia viliisha mwaka gani?"}
{"id": "516", "text": "Nchi ya Msumbiji imepakana na nchi ngapi?"}
{"id": "519", "text": "Dini ya Kiislamu ina takriban watu wangapi?"}
{"id": "527", "text": "Je,Michael Wamalwa Kijana alikuwa katika chama gani ya kisiasa?"}
{"id": "534", "text": "Eneo la Uajemi lina ukubwa gani?"}
{"id": "536", "text": "Nyuki ni nini?"}
{"id": "539", "text": "Gabon ilipata uhuru mwaka gani?"}
{"id": "543", "text": "Xenoni ni nini?"}
{"id": "544", "text": "Je,chuo kikuu cha Moi kilianza mwaka upi?"}
{"id": "555", "text": "Je mtoto huanza kumea meno akiwa na miezi mingapi?"}
{"id": "558", "text": "Je,Elizabeth Cady Stanton alikuwa na watoto wangapi?"}
{"id": "564", "text": "Jina la kisayansi la maharagwe ni nini?"}
{"id": "568", "text": "Mlima Kenya una futi ngapi?"}
{"id": "570", "text": "Kakao iligunduliwa na nani?"}
{"id": "572", "text": "Mji mkuu wa Burundi?"}
{"id": "573", "text": "Je,aliye kuwa rais wa Tanzania Julius Nyerere aliaga dunia mwaka upi?"}
{"id": "575", "text": "Je,mlima Kilimanjaro in urefu wa mita ngapi?"}
{"id": "596", "text": "Je,Nash Aguas alizaliwa lini?"}
{"id": "613", "text": "Mji mkuu wa Algeria ni upi?"}
{"id": "616", "text": "Inter-territorial Language committee ilianzishwa na nani?"}
{"id": "622", "text": "Je,maharage iko katika kundi gani ya chakula?"}
{"id": "623", "text": "Nchini Kenya masomo ya Sekondari huchukua miaka mingapi?"}
{"id": "627", "text": "Serbia iko na wakazi wangapi?"}
{"id": "628", "text": "Ethiopia ilitawali na nchi gani katika enzi ya mkoloni?"}
{"id": "637", "text": "Je,Kingereza ni lugha rasmi nchini Kanada?"}
{"id": "640", "text": "Je,Mwai Kibaki ana watoto wangapi?"}
{"id": "653", "text": "Je,mke wa Ellen DeGeneres anaitwa nani?"}
{"id": "660", "text": "Mama Teresa alizaliwa wapi?"}
{"id": "677", "text": "Mji mkuu was Tanzania ni upi?"}
{"id": "680", "text": "Je,simba wa kike ndiye huwinda?"}
{"id": "686", "text": "Ni nani mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft?"}
{"id": "688", "text": "Albamu ya kwanza ya Diamond Platnumz inaitwaje?"}
{"id": "689", "text": "Merikebu ya Argo ina nyota ngapi?"}
{"id": "693", "text": "Je, zabibu hutumika kutengeneza mvinyo?"}
{"id": "695", "text": "Rais wa Marekani mwaka wa 1970 anaitwaje?"}
{"id": "698", "text": "Fat Joe alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "699", "text": "Geac Computer Corporation ilianza mwaka upi?"}
{"id": "705", "text": "Kuna utawa mara ngapi?"}
{"id": "716", "text": "Mji mkuu wa Mexiko unaitwaje?"}
{"id": "718", "text": "Je,kundi la muziki ya Westlife ina wanachama wangapi?"}
{"id": "719", "text": "Je,Nollywood ni jina ya filamu za nchi gani?"}
{"id": "726", "text": "FORD-Asili ilianzishwa na nani?"}
{"id": "734", "text": "Marekani iko na idadi ngapi ya watu?"}
{"id": "740", "text": "Charles-Édouard alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "754", "text": "Je, ufugaji wa wanyama ni mfumo wa kilimo?"}
{"id": "755", "text": "Je,bwawa kubwa zaidi duniani ni ipi?"}
{"id": "756", "text": "Je,dini ya ukristo ilianza mwaka upi?"}
{"id": "760", "text": "Antiokia ya Siria inapatika wapi?"}
{"id": "780", "text": "Je, Kofi Annan alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "789", "text": "Je Kangaroo huishi kwa miaka ngapi?"}
{"id": "795", "text": "Je,rais wa Syria mwaka 2019 ni nani?"}
{"id": "800", "text": "Je,mashindano ya kombe la dunia ilianza mwaka upi?"}
{"id": "802", "text": "Je, kuna asilimia ngapi ya wakristo nchini Misri?"}
{"id": "805", "text": "Je kuna tofauti ya farasi na punda?"}
{"id": "807", "text": "Adolf Hitler alizaliwa mwaka gani?"}
{"id": "808", "text": "Kuna aina ngapi za bakteria?"}
{"id": "814", "text": "Je,Kenya ina kaunti kwa jumla?"}
{"id": "821", "text": "Je,mji mkuu wa Niger ni upi?"}
{"id": "827", "text": "Je, Ice Cube ana watoto wangapi?"}
{"id": "828", "text": "Chelsea F.C. ilizinduliwa lini?"}
{"id": "834", "text": "Eritrea ilipata uhuru mwaka upi?"}
{"id": "837", "text": "Simoni Petro alifariki mwaka gani?"}
{"id": "850", "text": "Je,Manchester United ilizinduliwa lini?"}
{"id": "862", "text": "Mji mkubwa nchini Kenya ni?"}
{"id": "869", "text": "Je,mnyoo wa Ascaris lumbricoides unaweza kua hadi sentimita ngapi?"}
{"id": "871", "text": "Fiziolojia ni somo la nini?"}
{"id": "876", "text": "Je,Simoni Petro ndiye alimkana yesu?"}
{"id": "879", "text": "Chanzo kuu cha ugonjwa wa ukambi ni gani?"}
{"id": "885", "text": "Ushairi ni nini?"}
{"id": "898", "text": "Je,msitu mkubwa zaidi nchini Kenya ni ipi?"}
{"id": "904", "text": "Rais wa Ufaransa ni nani?"}
{"id": "909", "text": "Je,bahari ya Atlantiki ina ukubwa kiasi gani?"}
{"id": "913", "text": "Jina Musambwa linatokana na nini?"}
{"id": "920", "text": "Je,jangwa la Sahara inapatikana katika bara gani?"}
{"id": "924", "text": "Je, geji ni nini?"}
{"id": "925", "text": "Rais wa kwanza wa Ghana alikuwa anaitwa nani?"}
{"id": "932", "text": "Je virusi vya ukimwi vina kinga?"}
{"id": "934", "text": "Msitu wa Amazon una ukubwa gani?"}
{"id": "937", "text": "Albamu ya Better Dayz ilitolewa mwaka upi?"}
{"id": "938", "text": "Rais wa Marekani mwaka wa 2000 anaitwa nani?"}
{"id": "939", "text": "Hermann von Wissmann alianza upelelezi mwaka gani?"}
{"id": "940", "text": "Mji mkuu wa Kenya ni gani?"}
{"id": "957", "text": "Rais wa kwanza wa Sudan ni nani?"}
{"id": "958", "text": "Je,Mwai Kibaki alitawala Kenya kwa miaka ngapi?"}
{"id": "959", "text": "Je, ni chembe gani za damu husafirisha oksijeni?"}
{"id": "962", "text": "Nigeria ilipata huru mwaka gani?"}
{"id": "963", "text": "Jina wa mji wa Ifakara linatokana na nini?"}
{"id": "971", "text": "Ni bahari gani kubwa zaidi duniani?"}
{"id": "978", "text": "Je,punda iko katika spishi gani ya wanyama?"}
{"id": "979", "text": "Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilianzishwa mwaka upi?"}
{"id": "981", "text": "Meddie Kagere alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "986", "text": "Taifa la Rwanda lilipata uhuru mwaka gani?"}
{"id": "987", "text": "Je mziki wa hiphop ulianza mwaka upi marekani?"}
{"id": "988", "text": "Jokate Mwegelo aliteuliwa kama DC mwaka gani?"}
{"id": "993", "text": "Je,mji mkuu wa Mexiko ni upi?"}
{"id": "1016", "text": "Je,kuna wanaume wenye homoni ya Estrojeni?"}
{"id": "1018", "text": "Je,Nigeria ilipata uhuru lini?"}
{"id": "1020", "text": "Je,jangwa kubwa kabisa bara Afrika ni ipi?"}
{"id": "1030", "text": "Mji mkuu wa Burundi ni upi?"}
{"id": "1031", "text": "Je,Diamond Platnumz ana watoto wangapi?"}
{"id": "1033", "text": "Je,Togo ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "1038", "text": "Je, nchi ya Nigeria ilitawaliwa na nchi gani enzi za mkoloni?"}
{"id": "1040", "text": "Mlipuko wa Hiroshima ulitokea mwaka gani?"}
{"id": "1041", "text": "Uturuki iko na idadi ngapi ya watu?"}
{"id": "1045", "text": "Mengistu Haile Mariam ana watoto wangapi?"}
{"id": "1048", "text": "Je,bahari ya Shamu ina ukubwa wa kiasi gani?"}
{"id": "1049", "text": "Je, bangi ni dawa?"}
{"id": "1056", "text": "Je,Kenya ina kabila ngapi kwa jumla?"}
{"id": "1058", "text": "Je, gari la kwanza lilitumia mafuta aina gani?"}
{"id": "1068", "text": "Je, kuna aina ngapi za elementi?"}
{"id": "1077", "text": "Je,Sherone Simpson alizaliwa lini?"}
{"id": "1084", "text": "Burukenge iko katika spishi gani ya wanyama?"}
{"id": "1085", "text": "Wakurdi ni watu wa jamii gani?"}
{"id": "1087", "text": "Je, Ni bahari ipi kubwa zaidi?"}
{"id": "1089", "text": "Marekani imekuwa na rais wangapi?"}
{"id": "1090", "text": "Je mwanamziki Chrisbrown alianza kuimba mwaka upi?"}
{"id": "1105", "text": "Je,mji mkuu wa Irani ni upi?"}
{"id": "1118", "text": "Nani mwanzilishi wa kitabu ya rekodi ya guinness?"}
{"id": "1126", "text": "Je,Emily Ruete alikuwa na watoto?"}
{"id": "1135", "text": "Panya-mito ana ukubwa gani?"}
{"id": "1138", "text": "Bahari kubwa duniani inaitwaje?"}
{"id": "1141", "text": "NASA ilianzishwa mwaka upi?"}
{"id": "1143", "text": "Chupong Changprung alizaliwa wapi?"}
{"id": "1150", "text": "Ugonjwa wa Tutuko una tiba?"}
{"id": "1151", "text": "Goat Island inapatikana nchi gani?"}
{"id": "1152", "text": "Je,Marianne Koch ana watoto wangapi?"}
{"id": "1154", "text": "Ukuta wa China ulijengwa mwaka gani?"}
{"id": "1170", "text": "Je,Kenya ina idadi ya vyama vya kisiasa ngapi mwaka 2019?"}
{"id": "1177", "text": "Je,Uholanzi iko katika bara gani?"}
{"id": "1178", "text": "Je,Twiga hubeba uja uzito kwa muda gani?"}
{"id": "1179", "text": "Mji mkuu wa Hispania ni upi?"}
{"id": "1181", "text": "Je,mlima Teide ina urefu wa mita ngapi?"}
{"id": "1182", "text": "Je,Don Riddell alisomea katika chuo gani kikuu?"}
{"id": "1193", "text": "Kuna aina ngapi ya maua ya Buganivilia?"}
{"id": "1204", "text": "Je,chombo cha kupima joto mwilini kinaitwa vipi?"}
{"id": "1221", "text": "Wafransisko ni watu wa dini gani?"}
{"id": "1233", "text": "Je,Christiano Ronaldo alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "1236", "text": "Shule ya Kimataifa ya Brookhouse ilifunguliwa mwaka upi?"}
{"id": "1244", "text": "Kampuni ya Safaricom ilianzishwa na nani?"}
{"id": "1246", "text": "Je,Barack Obama ana watoto wangapi?"}
{"id": "1247", "text": "Je, mke wa rais wa Tanzania aliitwa nani?"}
{"id": "1249", "text": "Je,Safaricom ilianza mwaka upi?"}
{"id": "1252", "text": "Je, Ellen ana mume?"}
{"id": "1258", "text": "Bandari ya Alexandria inapatikana wapi?"}
{"id": "1259", "text": "Derby Museum and Art Gallery ilianzishwa na nani?"}
{"id": "1261", "text": "Bahari kubwa duniani ina ukubwa gani?"}
{"id": "1264", "text": "Je,Ndovu hubeba mimba kwa miezi ngapi?"}
{"id": "1270", "text": "Umeme hupimwa kwa kifaa kipi?"}
{"id": "1275", "text": "Paul Labile Pogba alizaliwa mwaka gani?"}
{"id": "1277", "text": "Martin Luther aliandika vitabu vingapi?"}
{"id": "1280", "text": "Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilianzishwa na nani?"}
{"id": "1282", "text": "Mpira wa kikapu ulianzia nchi gani?"}
{"id": "1302", "text": "Mji mkuu wa Mongolia unaitwaje?"}
{"id": "1304", "text": "Aliyekuwa rais wa Iraki, Sadam Hussein alifariki mwaka gani?"}
{"id": "1306", "text": "Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilitawala kwa miaka mingapi?"}
{"id": "1310", "text": "Kuna idadi ngapi ya Wamaasai nchini Kenya?"}
{"id": "1313", "text": "Geac Computer Corporation ilianzishwa na nani?"}
{"id": "1315", "text": "Je, klabu ya Manchester United ilianza mwaka upi?"}
{"id": "1316", "text": "Rais wa kwanza wa Urusi alikuwa nani?"}
{"id": "1319", "text": "Je, mziki wa hip hop nchini Tanzania ulianza mwaka upi?"}
{"id": "1321", "text": "Rais wa kwanza wa Malawi anaitwa nani?"}
{"id": "1335", "text": "Je,mto mkubwa zaidi bara Afrika ni upi?"}
{"id": "1338", "text": "Sinkopu ina tiba?"}
{"id": "1339", "text": "Je,chama cha Nazi kilianza uongozi nchini Ujerumani mwaka upi?"}
{"id": "1343", "text": "Je,Ice Cube ana watoto wangapi?"}
{"id": "1348", "text": "Homa ya Bonde la Ufa ina tiba?"}
{"id": "1349", "text": "Je,Nigeria ilipata uhuru mwaka upi?"}
{"id": "1356", "text": "Nchi ya Rwanda ilipata uhuru mwaka gani?"}
{"id": "1376", "text": "Visiwa vya South Georgia vina ukubwa gani?"}
{"id": "1377", "text": "Jangwa kubwa zaidi duniani ni gani?"}
{"id": "1379", "text": "Dk. Angela Dorothea Merkel alizaliwa wapi?"}
{"id": "1380", "text": "Je,ashiki ni nini?"}
{"id": "1383", "text": "Je,Lagos ina idadi ya takriban watu wangapi?"}
{"id": "1384", "text": "Mto mrefu zaidi nchini Misri ni upi?"}
{"id": "1386", "text": "Je, rais wa kwanza Malawi aliitwa nani?"}
{"id": "1387", "text": "Je,nani mwanzilishi wa dini ya Katoliki?"}
{"id": "1399", "text": "Kabila la Wazigula lina idadi ngapi ya watu?"}
{"id": "1407", "text": "Bahari kubwa duniani ni gani?"}
{"id": "1408", "text": "Japani iko na jumla ya watu wangapi?"}
{"id": "1411", "text": "Je,jeraha ya moto kwa ngozi hutibiwa na nini?"}
{"id": "1416", "text": "Je,ni ziwa gani kubwa zaidi nchini Kenya?"}
{"id": "1422", "text": "Mji mkuu wa Côte d'Ivoire unaitwaje?"}
{"id": "1423", "text": "Asili ya muziki wa dansi ni gani?"}
{"id": "1425", "text": "Je,kampuni ya mawasiliano ya Safaricom ilianza lini?"}
{"id": "1430", "text": "Je,mji mkuu wa Italy ni upi?"}
{"id": "1432", "text": "Je kuku anaishi kwa muda gani?"}
{"id": "1440", "text": "Mtayarishaji wa kipindi cha 24 anaitwa nani?"}
{"id": "1441", "text": "Ni Kisiwa gani kubwa zaidi duniani?"}
{"id": "1455", "text": "Mariah Carey alianza kuimba akiwa na miaka mingapi?"}
{"id": "1459", "text": "Je, Soya iligunduliwa mwaka gani?"}
{"id": "1463", "text": "Nani mwanzilishi wa mtandao ya kijamii ya whatsapp?"}
{"id": "1465", "text": "Je, Edith Chewangel Masai ana miaka mingapi?"}
{"id": "1477", "text": "Mlima mrefu zaidi nchini Tanzania ni upi?"}
{"id": "1479", "text": "Je, rais wa kwanza wa Jamhuri ya Tanzania anaitwa nani?"}
{"id": "1480", "text": "Je,Jada Koren Pinkett Smith ana watoto wangapi?"}
{"id": "1484", "text": "Je,rais wa kwanza wa Marekani alikuwa nani?"}
{"id": "1491", "text": "Kenya ilitawaliwa na nchi gani enzi za ukoloni?"}
{"id": "1495", "text": "Je,Kenya ilipata Uhuru mwaka upi?"}
{"id": "1498", "text": "Je,chombo cha kupima joto mwilini kilizinduliwa na nani?"}
{"id": "1503", "text": "Je, Martin Luther alikuwa mlutheri?"}
{"id": "1507", "text": "Je,serikali ya nchi ya Kenya ina mfumo upi ?"}
{"id": "1514", "text": "Mwanafalsafa wa kwanza Uchina alikuwa anaitwa nani?"}
{"id": "1517", "text": "Je,nani mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha KANU?"}
{"id": "1523", "text": "Simba huanza kuwinda baada ya miezi ngapi?"}
{"id": "1528", "text": "Je,Nelson Mandela alifungwa jela kwa muda upi?"}
{"id": "1533", "text": "Kikokotoo kiligunduliwa na nani?"}
{"id": "1535", "text": "Fasihi andishi ni nini?"}
{"id": "1541", "text": "Kiongozi wa kwanza wa jeshi la Izz ad-Din al-Qassam Brigades anaitwa nani?"}
{"id": "1550", "text": "Mlima mrefu zaidi nchini Tanzania unaitwaje?"}
{"id": "1555", "text": "Raila Odinga aliingia katika siasa mwaka gani?"}
{"id": "1557", "text": "Bara Asia ina nchi ngapi?"}
{"id": "1564", "text": "Je,mke wa rais wa Tanzania Pombe Magufuli anaitwa nani?"}
{"id": "1576", "text": "Je,jina la kisayansi ya bata ni ipi?"}
{"id": "1587", "text": "Je,Msitu wa Kakamega ina ukubwa gani?"}
{"id": "1588", "text": "Je,Ndovu anaweza ishi kwa takriban miaka ngapi?"}
{"id": "1600", "text": "Robert Baden-Powell alizaliwa wapi?"}
{"id": "1605", "text": "Waashanti ni watu wa nchi gani?"}
{"id": "1609", "text": "Jefferson Antonio Montero alizaliwa wapi?"}
{"id": "1610", "text": "How to Stop an Exploding Man ni sehemu ya ishirini na tatu ya kipindi gani?"}
{"id": "1629", "text": "Je, Benito Mussolini alizaliwa wapi?"}
{"id": "1639", "text": "Je,jina la kisayansi ya tunda ya ndimu ni ipi?"}
{"id": "1648", "text": "Je,2Pac alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "1656", "text": "Je,Ally Kleist Sykes alizaliwa mwaka gani?"}
{"id": "1661", "text": "Je,mziki wa kizazi kipya nchini Tanzania ina jina gani?"}
{"id": "1669", "text": "Je, Ali Muhsin Al-Barwani alizaliwa lini?"}
{"id": "1674", "text": "Je,mji wa Yamoussoukro ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "1677", "text": "Tawahudi ina tiba?"}
{"id": "1689", "text": "Mohammed VI ana mke?"}
{"id": "1694", "text": "Je,albamu ya kwanza ya Westlife ilikuwa gani?"}
{"id": "1697", "text": "Je, lugha ya Swahili inazungumziwa na nchi ngapi bara Afrika?"}
{"id": "1703", "text": "Jean Pruitt alikuwa nani?"}
{"id": "1714", "text": "Je,Orange Democratic Movement Party of Kenya kilianzishwa na nani?"}
{"id": "1722", "text": "Je,klabu ya Manchester united ilizinduliwa mwaka upi?"}
{"id": "1729", "text": "Vita,vya pili vya dunia vilianza mwaka upi?"}
{"id": "1748", "text": "Je, Harriet Tubman alizaliwa wapi?"}
{"id": "1749", "text": "Je,Ethipoia ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "1754", "text": "Je,mke wa Bill Gates anaitwa nani?"}
{"id": "1756", "text": "Tanzania ilitawaliwa na nchi gani kipindi cha ukoloni?"}
{"id": "1770", "text": "Nani alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania?"}
{"id": "1772", "text": "Sultan wa kwanza wa Zanzibar anaitwaje?"}
{"id": "1778", "text": "Je,kampuni ya Kenya Data Networks ilizinduliwa mwaka upi?"}
{"id": "1782", "text": "Je,mto mkubwa kabisa duniani ni upi?"}
{"id": "1796", "text": "Ugonjwa wa Ukimwi uligunduliwa mwaka gani?"}
{"id": "1797", "text": "Je, mwanamziki Diamond alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "1804", "text": "Spishi ya pili ya Cheche inaitwaje?"}
{"id": "1808", "text": "Uganda ina wilaya ngapi?"}
{"id": "1809", "text": "Je, mfumo wa NATO ulianza mwaka gani?"}
{"id": "1813", "text": "Guinea ilipata uhuru mwaka upi?"}
{"id": "1816", "text": "Khalilou Fadiga alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "1818", "text": "Je,jiji la Nairobi ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "1826", "text": "Je,mbwa huishi takriban miaka ngapi?"}
{"id": "1835", "text": "Je,mlima Kilimanjaro ina urefu wa mita ngapi?"}
{"id": "1840", "text": "Je, Irene Kiwia alisomea katika chuo kikuu gani?"}
{"id": "1843", "text": "Ni nchi gani ilijulikana kama Rhodesia hapo awali?"}
{"id": "1844", "text": "Kuna aina ngapi ya fasihi?"}
{"id": "1845", "text": "Je,Uganda ilipata Uhuru mwaka upi?"}
{"id": "1849", "text": "Mchezo wa soka una wachezaji wangapi kila upande?"}
{"id": "1853", "text": "Je,nani mwanzilishi wa chama cha kisiasa ya Nazi?"}
{"id": "1858", "text": "Je,Adolf Hitler alizikwa wapi?"}
{"id": "1860", "text": "Ashiki ni nini?"}
{"id": "1867", "text": "NRC Handelsblad huchapishwa na kampuni gani?"}
{"id": "1874", "text": "Msanii Dknob alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "1892", "text": "Chanzo cha Ziwa Tanganyika ni gani?"}
{"id": "1893", "text": "Je,mji mkuu wa Sudan ni Upi?"}
{"id": "1895", "text": "Samir Nasri ni raia wa nchi gani?"}
{"id": "1897", "text": "Rais wa kwanza wa Zambia alikuwa nani?"}
{"id": "1899", "text": "Uhalisia ni nini?"}
{"id": "1905", "text": "Je,ndimu iko katika kundi moja na tunda la machungwa?"}
{"id": "1914", "text": "Je,kaunti ya Nakuru iko na idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "1923", "text": "Je,ni sayari gani kubwa zaidi?"}
{"id": "1926", "text": "Zamaradi Mketema ana watoto wangapi?"}
{"id": "1928", "text": "Pesa kuu duniani ni gani?"}
{"id": "1936", "text": "Je,bara Asia ina idadi ya nchi ngapi kwa jumla?"}
{"id": "1938", "text": "Kundinyota la Mkuku Carina lina nyota ngapi?"}
{"id": "1944", "text": "Je,Madagaska ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "1951", "text": "Kamusi ya kwanza ya lugha ya Kiswahili iliandikwa mwaka gani?"}
{"id": "1958", "text": "Rais wa kwanza wa Ghana anaitwa na nani?"}
{"id": "1961", "text": "Mji mkuu wa New Zealand unaitwaje?"}
{"id": "1968", "text": "Je,bakteria ni nini?"}
{"id": "1994", "text": "Polyakova alishinda medali gani katika olimpiki ya 2008?"}
{"id": "2000", "text": "Nguruwe anaweza pata watoto wangapi wakati mmoja?"}
{"id": "2013", "text": "Je, kuna tiba ya maumivu ya kiuno?"}
{"id": "2023", "text": "Mlima kubwa Asia ni gani?"}
{"id": "2026", "text": "Je,idadi ya watu nchini Sudani ni ngapi?"}
{"id": "2047", "text": "Je,kombe la dunia ya kandanda ilifanyika nchi gani mwaka 2014?"}
{"id": "2062", "text": "Kerron Stewart alizaliwa wapi?"}
{"id": "2068", "text": "Je, Mto mrefu zaidi ulimwenguni unaitwaje?"}
{"id": "2071", "text": "Jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikirgizi liliandikwa kwa lugha gani?"}
{"id": "2081", "text": "Je,mji mkuu wa Meksiko ni upi?"}
{"id": "2083", "text": "Mji mkuu wa Australia ni upi?"}
{"id": "2086", "text": "Je,mlima mkubwa zaidi barani Asia ni ipi?"}
{"id": "2089", "text": "Tofauti kuu baina ya Punda na Punda milia ni ipi?"}
{"id": "2091", "text": "Wiktionary ilianzishwa lini?"}
{"id": "2092", "text": "Rais wa kwanza wa Meksiko ni nani?"}
{"id": "2095", "text": "Je,Carlos Federico Ruckauf alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "2097", "text": "Je,Adolf Hitler alikuwa na mke?"}
{"id": "2098", "text": "Mafuta ya petroli yanatoa wapi jina lake?"}
{"id": "2100", "text": "Je,kaswende ina tiba?"}
{"id": "2105", "text": "Nini maana ya fasihi simulizi?"}
{"id": "2113", "text": "Je,Bahari hindi iko katika kaunti ngapi nchini Kenya?"}
{"id": "2122", "text": "Mkurugenzi mkuu wa kwanza wa Microsoft ni nani?"}
{"id": "2125", "text": "Nchi ya Côte d'Ivoire ina idadi gani ya watu?"}
{"id": "2132", "text": "Je,kampuni ya Microsoft ilianza lini?"}
{"id": "2133", "text": "Je,hidrojeni ni nini?"}
{"id": "2134", "text": "Je,ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa lini kwa mara ya kwanza?"}
{"id": "2140", "text": "Mwili wa mwanadamu una mifupa mingapi?"}
{"id": "2141", "text": "Fransisko wa Asizi alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "2142", "text": "Je, bahari ya Pasifiki ina kina kiasi gani?"}
{"id": "2147", "text": "Je,Kiswahili ndio ligha pekee rasmi ya Tanzania?"}
{"id": "2148", "text": "Je,kuna elementi ngapi za kemikali?"}
{"id": "2153", "text": "Mji mkuu Senegal ni upi?"}
{"id": "2155", "text": "Je,Johann Bayer alisomea katika chuo kikuu gani?"}
{"id": "2180", "text": "Je, Ndovu huishi kwa miaka ngapi?"}
{"id": "2181", "text": "Falsafa ni nini?"}
{"id": "2192", "text": "Chama cha Nazi kilianzishwa mwaka gani?"}
{"id": "2196", "text": "Bahari Atlantiki iko na ukubwa wa kiasi gani?"}
{"id": "2197", "text": "Je, minyoo iko katika spishi gani ya wadudu?"}
{"id": "2205", "text": "Je, nchi ya Kenya ina vyama vingapi vya kisiasa?"}
{"id": "2220", "text": "Amerigo Vespucci alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "2224", "text": "Kemia kaboni ni nini?"}
{"id": "2227", "text": "Je, Paul Labile Pogba ana pacha?"}
{"id": "2234", "text": "Je,malkia wa kwanza wa Uingereza aliitwa nani?"}
{"id": "2236", "text": "Je,TANU inamaanisha nini?"}
{"id": "2245", "text": "Longido iko wilaya gani?"}
{"id": "2258", "text": "Jada Koren Pinkett Smith ana watoto wangapi?"}
{"id": "2260", "text": "Eneo la Uskoti una ukubwa gani?"}
{"id": "2275", "text": "Je, bara la asia lina nchi ngapi?"}
{"id": "2276", "text": "Je,chuo kikuu kongwe zaidi nchini Kenya ni gani?"}
{"id": "2278", "text": "Je,Kombe la Mataifa ya Afrika ilianza mwaka upi?"}
{"id": "2286", "text": "Je, nchi ya Mexico ina takriban watu wangapi?"}
{"id": "2288", "text": "Je,kuna tofauti kati ya Sungura na Sungura wa Kizungu?"}
{"id": "2297", "text": "Kampuni ya Rockport ilianzishwa na nani?"}
{"id": "2308", "text": "Blog ni nini?"}
{"id": "2330", "text": "Je simba hubeba mimba kwa miezi ngapi?"}
{"id": "2340", "text": "Bahari ya Mediteranea ina ukubwa gani?"}
{"id": "2344", "text": "Je,mke wa Jawaharlal Nehru alikuwa anaitwa nani?"}
{"id": "2348", "text": "Yesu Kristo aliishi duniani kwa miaka mingapi?"}
{"id": "2353", "text": "TANU ina maana gani?"}
{"id": "2364", "text": "Malkia Kleopatra alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "2372", "text": "Kabila lenye idadi kubwa ya watu nchini Tanzania ni lipi?"}
{"id": "2382", "text": "Ziwa Natron lina kina kiasi gani?"}
{"id": "2384", "text": "Je ni nyota gani yenye mwangaza zaidi?"}
{"id": "2388", "text": "Otto Von Bismarck alifariki mwaka gani?"}
{"id": "2389", "text": "Je,mkoa wa Shinyanga ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "2393", "text": "Je, China ina idadi ngapi ya watu?"}
{"id": "2407", "text": "Albamu ya R U Still Down, ilizinduliwa mwaka gani?"}
{"id": "2408", "text": "Je,Wilma Rudolph alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "2412", "text": "Je,Madgaska ina ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "2414", "text": "Yeroboamu II alitawala kwa miaka mingapi?"}
{"id": "2434", "text": "Mji mkuu wa Tanzania unaitwaje?"}
{"id": "2439", "text": "Je,mji mkuu wa Uswidi ni upi?"}
{"id": "2440", "text": "Je,The Weeknd alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "2449", "text": "Makoto Hasebe alizaliwa wapi?"}
{"id": "2453", "text": "Adolf Hitler alikuwa rais wa Ugerumani mwaka upi?"}
{"id": "2455", "text": "Je,mwanamuziki Beyonce alifunga harusi mwaka upi?"}
{"id": "2458", "text": "Je,Abuja ina idadi ya watu wangapi?"}
{"id": "2465", "text": "Je,Tom Mboya alizaliwa lini?"}
{"id": "2466", "text": "Maandishi ya kwanza yalikuwa katika lugha gani?"}
{"id": "2470", "text": "Je,mji mkuu Uganda ni upi?"}
{"id": "2471", "text": "Je, nchi ya kenya ina jamii ngapi?"}
{"id": "2477", "text": "Alinikisa Cheyo aliteuliwa kuwa askofu mwaka upi?"}
{"id": "2485", "text": "Mohamed Said Salum ametunga vitabu vingapi?"}
{"id": "2493", "text": "Je,nini maana ya sayansi?"}
{"id": "2501", "text": "Je,nani wa kwanza duniani kuenda kwa mwezi?"}
{"id": "2514", "text": "Bahari kubwa zaidi ulimwenguni inaitwaje?"}
{"id": "2522", "text": "Je, Kampuni ya Rockport ilianza mwaka upi?"}
{"id": "2530", "text": "Mto mrefu zaidi Afrika ni gani?"}
{"id": "2535", "text": "Mchezo wa voliboli ulianzishwa na nchi gani?"}
{"id": "2542", "text": "Chama cha kisiasa kilicho tawala Kenya kwa muda mrefu ni kipi?"}
{"id": "2545", "text": "Je,bunge la juu jimbo la Illinois ilianza mwaka upi?"}
{"id": "2546", "text": "Mwanamziki wa Kenya Willy Paul alizaliwa mwaka upi?"}
{"id": "2549", "text": "Bakteria iligunduliwa na nani?"}
{"id": "2561", "text": "Jina la kuzaliwa la msanii 2Pac ni nini?"}
{"id": "2564", "text": "Rais wa kwanza wa Zimbabwe anaitwa nani?"}
{"id": "2566", "text": "Je,rais wa tano nchini Marekani alikuwa nani?"}
{"id": "2569", "text": "Bahari zote ziko na maji ya chumvi?"}
{"id": "2575", "text": "Je, Sayari ya Dunia ina ukubwa gani?"}
{"id": "2577", "text": "Je, bara Asia lina visiwa vingapi?"}
{"id": "2580", "text": "Satelaiti iliwekwa angani na nani?"}
{"id": "2592", "text": "Mlima Kilimanjaro ina futi ngapi?"}
{"id": "2597", "text": "Paul Schulze alizaliwa mwaka upi?"}
|