statement stringlengths 30 164 | is_true int64 0 1 |
|---|---|
"Watoto ni malaika" "Yeye daima ni mwenye dhambi" | 0 |
Iki "Watoto ni malaika" basi "Watoto daima hawana hatia" | 1 |
"Yeye ni mnyama." "Watoto daima hawana hatia" | 0 |
Iki "Yeye ni mnyama." basi "Yeye daima ni mwenye dhambi" | 1 |
Anza: "Maneno yake ni kama kisu" mwisho: "Maneno yake yanafariji" | 0 |
"Maneno yake ni kama kisu" inamaanisha "Maneno yako yanaumiza" | 1 |
"Maneno yake ni kama kinanda" kwa hiyo "Maneno yako yanaumiza" | 0 |
Iki "Maneno yake ni kama kinanda" basi "Maneno yake yanafariji" | 1 |
Anza: "Tabasamu lake huangaza chumba kizima" mwisho: "Tabasamu lake linatisha" | 0 |
"Tabasamu lake huangaza chumba kizima" "Ana tabasamu zuri" | 1 |
"Tabasamu lake lilijaa vitisho kama shomoro mdogo aliyeshika shoka" inamaanisha "Ana tabasamu zuri" | 0 |
"Tabasamu lake lilijaa vitisho kama shomoro mdogo aliyeshika shoka" kwa hiyo "Tabasamu lake linatisha" | 1 |
"Nipo katika dimbwi la furaha" kwa hiyo "Nina huzuni nyingi sana" | 0 |
"Nipo katika dimbwi la furaha" inamaanisha "Nina furaha kubwa sana" | 1 |
"Ninazama katika bahari ya huzuni" inamaanisha "Nina furaha kubwa sana" | 0 |
Anza: "Ninazama katika bahari ya huzuni" mwisho: "Nina huzuni nyingi sana" | 1 |
Anza: "Penzi lao limepamba moto"" mwisho: "Wale hawapendani sana" | 0 |
Anza: "Penzi lao limepamba moto"" mwisho: "Wale wanapendana sana" | 1 |
"Penzi lao ni kama moto wa kibatari kwenye upepo"" "Wale wanapendana sana" | 0 |
Anza: "Penzi lao ni kama moto wa kibatari kwenye upepo"" mwisho: "Wale hawapendani sana" | 1 |
Iki "Wali huu una ladha kama umepikwa hotelini" basi "Chakula ni kibaya" | 0 |
Iki "Wali huu una ladha kama umepikwa hotelini" basi "Chakula ni kitamu" | 1 |
Anza: "Wali huu unaladha kama umepikwa bwenini" mwisho: "Chakula ni kitamu" | 0 |
"Wali huu unaladha kama umepikwa bwenini" basi "Chakula ni kibaya" | 1 |
"Mtihani ulikuwa kama kipande cha keki" basi "Mtihani ulikua mgumu" | 0 |
"Mtihani ulikuwa kama kipande cha keki" inamaanisha "Mtihani ulikuwa rahisi sana" | 1 |
"Mtihani ulikuwa kama ugali wa jela" kwa hiyo "Mtihani ulikuwa rahisi sana" | 0 |
"Mtihani ulikuwa kama ugali wa jela" kwa hiyo "Mtihani ulikua mgumu" | 1 |
"Mzamiru alitoa pasi rula" basi "Mchezaji alitoa pasi mbaya" | 0 |
"Mzamiru alitoa pasi rula" basi "Mchezaji alitoa pasi nzuri" | 1 |
Iki "Feisal alitoa pasi mkaa" basi "Mchezaji alitoa pasi nzuri" | 0 |
Anza: "Feisal alitoa pasi mkaa" mwisho: "Mchezaji alitoa pasi mbaya" | 1 |
"Vijana ndio taifa la kesho" "Vijana hawahusiki na maendeleo ya taifa ya baadae" | 0 |
"Vijana ndio taifa la kesho" "Vijana ndio watakaoleta maendeleo huko mbeleni" | 1 |
"Vijana wataozesha taifa" kwa hiyo "Vijana ndio watakaoleta maendeleo huko mbeleni" | 0 |
"Vijana wataozesha taifa" kwa hiyo "Vijana wataliharibu taifa." | 1 |
Anza: "Sauti yako ni muziki masikioni mwangu" mwisho: "Sauti yako ni kero kwangu" | 0 |
"Sauti yako ni muziki masikioni mwangu" inamaanisha "Sauti yako ni inanipa faraja na raha niisikiapo" | 1 |
Iki "Sauti yako ni kama chiriku" basi "Sauti yako ni inanipa faraja na raha niisikiapo" | 0 |
"Sauti yako ni kama chiriku" inamaanisha "Sauti yako ni kero kwangu" | 1 |
"Mapenzi ni kikohozi" basi "Mapenzi yanafichika" | 0 |
Iki "Mapenzi ni kikohozi" basi "Mapenzi hayafichiki" | 1 |
"Mapenzi ni kama punje ya unga kwenye mchele" "Mapenzi hayafichiki" | 0 |
"Mapenzi ni kama punje ya unga kwenye mchele" inamaanisha "Mapenzi yanafichika" | 1 |
Iki "Ujana ni moshi" basi "Ujana hukaa kwa mda mrefu" | 0 |
"Ujana ni moshi" inamaanisha "Ujana huja na kuondoka haraka" | 1 |
"Ujana ni safari ndefu" inamaanisha "Ujana huja na kuondoka haraka" | 0 |
Iki "Ujana ni safari ndefu" basi "Ujana hukaa kwa mda mrefu" | 1 |
"Maisha ni kama uji" kwa hiyo "Maisha ni marahisi" | 0 |
Anza: "Maisha ni kama uji" mwisho: "Maisha si marahisi yanahitaji kupambana" | 1 |
"Maisha sio mchezo, ni vita" basi "Maisha si marahisi yanahitaji kupambana" | 0 |
"Maisha sio mchezo, ni vita" basi "Maisha ni marahisi" | 1 |
Iki "Kauli yake ilinikata maini" basi "Kauli yake ilinifurahisha" | 0 |
"Kauli yake ilinikata maini" "Kauli yake ilinifanya nijiskie vibaya" | 1 |
"Kauli yake ilikua kama maji baridi kooni" "Kauli yake ilinifanya nijiskie vibaya" | 0 |
"Kauli yake ilikua kama maji baridi kooni" "Kauli yake ilinifurahisha" | 1 |
"Awamu hii kutakua na michuano ya kukata na shoka" inamaanisha "Awamu hii kutakua na michuano mirahisi" | 0 |
Anza: "Awamu hii kutakua na michuano ya kukata na shoka" mwisho: "Awamu hii kutakua na michuano migumu" | 1 |
Anza: "Awamu hii kutakua na michuano lelemama" mwisho: "Awamu hii kutakua na michuano migumu" | 0 |
"Awamu hii kutakua na michuano lelemama" basi "Awamu hii kutakua na michuano mirahisi" | 1 |
Anza: "Sandra, wewe ndio nuru ya macho yangu" mwisho: "Sandra, wewe siye unayenipa furaha" | 0 |
Iki "Sandra, wewe ndio nuru ya macho yangu" basi "Sandra, wewe ndiye unayenipa furaha" | 1 |
Anza: "Sandra, wewe ni kama shubiri kinywani mwangu" mwisho: "Sandra, wewe ndiye unayenipa furaha" | 0 |
"Sandra, wewe ni kama shubiri kinywani mwangu" "Sandra, wewe siye unayenipa furaha" | 1 |
Iki "Tofauti na dhana iliyokuwepo, mama ndiye nguzo ya familia" basi "Mama siye anayeishikilia familia kwa pamoja" | 0 |
"Tofauti na dhana iliyokuwepo, mama ndiye nguzo ya familia" kwa hiyo "Tofauti na dhana iliyokuwepo, mama ndiye mtu anayeishikilia familia kwa pamoja" | 1 |
"Tofauti na dhana iliyokuwepo, mama ndiye kunguni wa familia" inamaanisha "Tofauti na dhana iliyokuwepo, mama ndiye mtu anayeishikilia familia kwa pamoja" | 0 |
"Tofauti na dhana iliyokuwepo, mama ndiye kunguni wa familia" "Mama siye anayeishikilia familia kwa pamoja" | 1 |
Anza: "Ndoa zitakua hadimu siku za usoni" mwisho: "Ndoa hazitakua hadimu siku za hapa karibuni" | 0 |
"Ndoa zitakua hadimu siku za usoni" inamaanisha "Ndoa zitakua hadimu siku si nyingi" | 1 |
Iki "Kutakua na ndoa kama siafu siku za usoni" basi "Ndoa zitakua hadimu siku si nyingi" | 0 |
"Kutakua na ndoa kama siafu siku za usoni" kwa hiyo "Ndoa hazitakua hadimu siku za hapa karibuni" | 1 |
"Mapenzi ni vita" kwa hiyo "Mapenzi ni kitu kirahisi" | 0 |
"Mapenzi ni vita" basi "Mapenzi ni kitu kigumu" | 1 |
Anza: "Mapenzi ni keki" mwisho: "Mapenzi ni kitu kigumu" | 0 |
"Mapenzi ni keki" basi "Mapenzi ni kitu kirahisi" | 1 |
"Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi" kwa hiyo "Bahari ikimkuta mwenzio subiri ikufikie na wewe" | 0 |
"Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi" basi "Bahati ikimkuta mwenzio usisubiri ikufikie na wewe" | 1 |
"Bahati ya mwenzio ilalie mlango wazi" "Bahati ikimkuta mwenzio usisubiri ikufikie na wewe" | 0 |
Iki "Bahati ya mwenzio ilalie mlango wazi" basi "Bahari ikimkuta mwenzio subiri ikufikie na wewe" | 1 |
"Kijana huyu ana roho ya dhahabu" kwa hiyo "Kijana huyu ana roho mbaya sana" | 0 |
Anza: "Kijana huyu ana roho ya dhahabu" mwisho: "Kijana huyu ana roho nzuri sana" | 1 |
"Kijana huyo ana roho ya kutu" basi "Kijana huyu ana roho nzuri sana" | 0 |
"Kijana huyo ana roho ya kutu" basi "Kijana huyu ana roho mbaya sana" | 1 |
"Maisha yake ni kama dira" inamaanisha "Maisha yake hayana muelekeo" | 0 |
Anza: "Maisha yake ni kama dira" mwisho: "Maisha yake yana muelekeo" | 1 |
"Maisha yake ni kama kuku akiyekatwa kichwa" basi "Maisha yake yana muelekeo" | 0 |
"Maisha yake ni kama kuku akiyekatwa kichwa" basi "Maisha yake hayana muelekeo" | 1 |
Anza: "Mwendo wake ni mithili ya twiga" mwisho: "Mwendo wake si wa maringo" | 0 |
"Mwendo wake ni mithili ya twiga" inamaanisha "Mwendo wake ni wa maringo" | 1 |
"Mwendo wake ni wa bata" "Mwendo wake ni wa maringo" | 0 |
"Mwendo wake ni wa bata" kwa hiyo "Mwendo wake si wa maringo" | 1 |
"Wema ni hazina" "Ukitendea watu mema hayatakurudia" | 0 |
"Wema ni hazina" inamaanisha "Ukitendea watu mema yatakurudia" | 1 |
"Wema sio kitenesi" inamaanisha "Ukitendea watu mema yatakurudia" | 0 |
"Wema sio kitenesi" inamaanisha "Ukitendea watu mema hayatakurudia" | 1 |
Anza: "Macho yake yalikua kama mto wkati wa masika." mwisho: "Hakutokwa na machozi mengi ya uchungu" | 0 |
Anza: "Macho yake yalikua kama mto wkati wa masika." mwisho: "Alitokwa na machozi mengi ya uchungu" | 1 |
Iki "Macho yake yalikua kama mto wkati wa kiangazi." basi "Alitokwa na machozi mengi ya uchungu" | 0 |
"Macho yake yalikua kama mto wkati wa kiangazi." inamaanisha "Hakutokwa na machozi mengi ya uchungu" | 1 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.