name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Na Mwandishi Wetu, Barcelona Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Ubalozi huo imesema kwamba maonesho hayo ya siku tatu yana lengo la kuwawezesha wenyeji wa Barcelona wenye wa asili ya Catalunya (Catalans) ambao wana desturi ya kutembelea kwa wingi maonesho hayo kutafuta maeneo ya kutembelea wakati wa majira y...
null
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Waajiri Tanzania (ATE) kimeipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutoa nafasi za juu za uongozi kwa wanawake ikiwa ni pamoja na kuwapitisha kwenye mafunzo maalum ya Uongozi – Female Future Tanzania (FFT) yanayoratibiwa na kuendeshwa na chama hi...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akihutubia Bunge la Zambia wakati akihitimisha Ziara yake ya Kitaifa nchini humo tarehe 25 Oktoba, 2023. Rais Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke kulihutubia Bunge hilo lililopo Lusaka nchini Zambia. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwas...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza akiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akigonganisha glass cheers na mwenyeji wake Rais wa...
null
NI wakati mwingine wa kufurahia bonasi kibao kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, haswa kwa wateja waaminifu ambao wamekuwa na Meridianbet kila siku ambapo sasa watapatiwa mgao wa Milioni 10, Tsh 10,000,000/= kupitia promosheni ya Casino Loyalty Bonus Promosheni ya Casino Loyalty Bonus imeanza Ijumaa, Septemba 9...
null
WIKENDI nyingine ya kuibuka na ushindi wa uhakika ndani ya Meridianbet umefika ambapo mechi kibao zinapigwa leo. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Macho yangu yameanza kuimulika ligi kuu ya Uingereza, yaani EPL ambapo mechi za pesa zinakupatia ushindi Brighton atakuwa mwenyeji wa Crystal Palace ambaye yupo n...
null
BARAZA la Mitihani lTanzania (Necta) latangaza matokeo ya darasa la saba, ambapo mtihani ulifanyika Septemba 2024. Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29,2024, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Said Mohamed amesema kuwa jumla ya watahiniwa 1,230,774 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kumaliza Eli...
null
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe.Prof Adolf Mkenda (Mb), amesema uthabiti katika usimamizi wa utoaji elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi yenye ubora, ni kichocheo cha kuvutia uwekezaji nchini. Mhe. Prof. Mkenda amebainisha hayo jana tarehe 28 Oktoba, 2024 kwenye hafla ya uzinduzi i...
null
RAIS Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wenza wa Wakuu wa nchi mbalimbali Barani Afrika kabla ya kufungua Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Afric...
null
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2023 Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities a...
null
Watumishi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), wamepongezwa kwa kuendelea kufanya Baraza la Wafanyakazi lenye tija lililofanya mamuzi makubwa yenye tija kwa kutuoa huduma bora na kukuza sekta ya usafiri wa anga nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Bw. Hamza Johari wakati wa ufunguzi wa Baraza l...
null
Location: Dar es Salaam Twitter: @efmtanzania Language: English Contact: Plot No 567 Mwai Kibaki Road KNet House, 4th Floor P.O.Box 71476 Dar-es-salaam +255689621222 Email: johnmakundi@hotmail.com Location: Dar es Salaam Twitter: @efmtanzania Language: English Contact: Plot No 567 Mwai Kibaki Road KNet...
null
Location: Dar es Salaam Description: TANZANIA'S FIRST ALL AFRICAN, URBAN AND LOCAL MUSIC STATION. Twitter: @timesfmTZ_ Language: Swahili Contact: P. O Box 60422 Dar es Salaam Tanzania. +255 787 190 606 Website: http://timesfm.co.tz/ Email: timesfmr@gmail.com
null
***Asema Bara la Afrika lina kila aina ya rasilimali , sio masikini ** ***Aiambia Jumuiya ya Kimataifa iondoe vikwazo kwa Zimbabwe ** **Na Said Mwishehe, Michuzi TV ** **MWENYEKITI mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) Rais Dk.John Magufuli ameziambia nchi za jumuiya hiyo kuwa Bara la A...
null
**Na Said Mwishehe, Michuzi TV** **MZEE mwenye umri wa miaka 80 aliyefahamika kwa jina la Davis Mabeba amefariki dunia baada ya kwenda nyumba ya kulala wageni katika Hoteli ya Mbezi Garden akiwa na binti mrembo mwenye umri wa miaka 33 aitwaye Neema Kibaya.** **Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam ...
null
**Na Leandra Gabriel, Michuzi TV** **AMEKUWA maarufu zaidi katika mitandao ya kijamii kupitia jumbe za vichekesho katika lugha ya Kiswahili na Kingereza maarufu kama "Memes", picha yake pekee imekuwa kichekesho katika ukanda wa Afrika.** **Nelson Ntombela Raia wa Afrika Kusini, alizaliwa Aprili 6, 1987 huko Kagiso Ma...
null
**Na Mwandishi Wetu, Tunduru** MKUU wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amewataka wachezaji wa Timu ya Tunduru Korosho kutobweteka na mafanikio waliyoyapata, badala yake waongeze bidi ya mazoezi ili wafanye vizuri katika mashindano ya Ligi daraja la Pili Taifa. MKUU wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amewataka wache...
null
Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. #...
null
***Asema Bara la Afrika lina kila aina ya rasilimali , sio masikini** ***Aiambia Jumuiya ya Kimataifa iondoe vikwazo kwa Zimbabwe** **Na Said Mwishehe, Michuzi TV** **MWENYEKITI mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) Rais Dk.John Magufuli ameziambia nchi za jumuiya hiyo kuwa Bara la Afri...
null
**Watumishi wa Afya wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa, Bukoba, mkoani Kagera,wakiendelea kufanya mazoezi ya namna ya kumhudumia mgonjwa anayehisiwa kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, katika hospitali hiyo Agosti 2019.** **Mratibu wa zoezi hilo toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, ambaye p...
null
**Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima, (Wa kwanza kushoto), Mkuu wa Kituo Kikuu cha Polisi Central (OCS), Kidwadi Karinga (Wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Kushughulikia Malalamiko, CP Albert Nyamuhanga (Watatu kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi Kitengo Cha Kushughulikia Malalamik...
null
-Akabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya mamilioni ya fedha katika Jimbo la Chwaka MWAKILISHI wa Jimbo la Chwaka visiwani Zanzibar ambaye pia ni Katibu wa Halmashauri Kuu((NEC) Oganaizesheni Issa Gavu amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi imefanya maendeleo makubwa kupitia utekeleza...
null
*Atangaza rasmi kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi ndani ya Chama *Baadhi ya makada wasema ndio mtu sahihi kwa siasa za sasa nchini NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama hicho katika...
null
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, ametoa uchambuzi wa kina kuhusu ushindi mkubwa wa chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Septemba 27, mwaka 2024. Dkt. Dimwa ameleza sababu, dhamira na mafanikio yaliyofikiwa na CCM, na...
null
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar. Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) kimempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, kwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Zanzibar. Pongezi hizo zimetolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafun...
null
Na Oscar Assenga,TANGA. KATIBU Mstaafu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Tanga (Bavicha) Hemed Said amekana madai ya viongozi wa chama hicho ngazi ya wilaya wanaomtuhumu kukihujumu chama wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika November 27, 2024. Tuhuma hizo dhidi yak...
null
NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,amesema chama hicho kitaendelea kuthamini na kuendeleza kwa vitendo mahusiano mema ya kisiasa,kijamii na kiplomasia baina yake na chama cha kikomunisti cha China (CPC). Hayo ameyasema wakati akizungumza na uju...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kiasi cha Shilingi bilioni 1.2 zilizobaki wakati wa ujenzi wa Daraja la Berega zitumike kuboresha barabara ya Berega - Kinyolisi - Makuyu kwa kujenga daraja moja la mawe lenye urefu wa Mita 45 (stone arch-bridge), Ma-boksi Kalavati. Fedha hi...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kiasi cha Shilingi bilioni 1.2 zilizobaki wakati wa ujenzi wa Daraja la Berega zitumike kuboresha barabara ya Berega - Kinyolisi - Makuyu kwa kujenga daraja moja la mawe lenye urefu wa Mita 45 (stone arch-bridge), Ma-boksi Kalavati. Fedha hi...
null
Na WAF - Morogoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro pamoja na wananchi kuitunza na kuisimamia vizuri Hospitali ya Wilaya hiyo ili iendelee kutoa huduma kwa wananchi. Rais Samia amesema hayo leo Agosti 2, 2024 baada ...
null
Akizungumza na gazeti hili kutoka Biharamulo jana, SACP Advera alisema kwa kipindi cha mwaka 2021 hadi 2024, Rais Dk. Samia amepeleka wilayani Biharamulo sh. 8,800,050.86 zilizotumika kutekeleza miradi ya maji kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Alisema fedha hizo zimesaidia kuongeza hali y...
null
*Mapato ya utalii, madini, viwanda yavunja rekodi chini ya Rais Samia* * Utalii na dhahabu zaingiza Shilingi trilioni 8 kwa kila sekta kwa mwaka kwa mara ya kwanza* ** Mauzo ya bidhaa nje ya nchi sasa ni zaidi ya Shilingi trilioni 18 kwa mwaka* ** Sera za uchumi za Rais Samia zaleta mageuzi makubwa nchini* Februari...
null
Home HABARI IKULU RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI ZEC MHE.JECHA SALIM JECHA Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Inte...
null
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia shughuli ya kufunga njia, kuchepusha maji na kuanza ujazaji maji kwenye bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Mradi huu ulianza mwaka 2018 baada ya Serikali ya Tanzania kupata Kandarasi ya ujenzi ubia wa kampuni ya Arab Con...
null
Home IKULU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE MKUTANO WA AGRA JIJINI WASHINGTON DC, MAREKANI Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, In...
null
"SHEREHE" Showing posts with label **SHEREHE**. Show all posts **Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya amefunga ndoa takatifu Jumamosi Septemba 7,2029 katika Kanisa Katoliki,Sinza jijini Dar es salaam na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila la kheri, afya nj...
null
Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. #...
null
**Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya amefunga ndoa takatifu Jumamosi Septemba 7,2029 katika Kanisa Katoliki,Sinza jijini Dar es salaam na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila la kheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya y...
null
Home HABARI JAMII SHEREHE STIEGLER’S GORGE HYDROPOWER PROJECT: REASONS BEHIND THE PROJECT, ITS FAR REACHING BENEFITS Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Intervie...
null
*Bwana harusi Robert Lowassa akimvisha pete Mkewe Stephanie Kaaya wakati wakifunga ndoa yao takatifu mwishoni mwa wiki iliyoisha katika Kanisa la KKKT Jijini Arusha, na kufuatiwa na sherehe baab'kubwa katika Bustani ya Kiringa iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Kitaifa, Kidini na watu wengi mashuhuri. Robert ni M...
null
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji( NIRC)imefanya Mkutano wa Wadau wa Umwagiliaji kwa Skimu za Mwamkulu na Kabage Mkoani Katavi Mkutano huo umejumuisha wakulima wa kata ya Mwamkulu, wataalamu kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Makao Makuu na Mkoa wa Katavi, Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoka, viongozi wa chama ngazi...
null
Vodacom Tanzania inayo furaha kutangaza kuunganishwa kwa My Vodacom App na M-Pesa Supa App, hatua inayolenga kurahisisha na kuboresha zaidi huduma kwa wateja. Kupitia muunganiko huu, wateja wataweza kufurahia huduma zote wanazozipenda za Vodacom kwenye aplikesheni moja, hivyo kuongeza ufanisi na urahisi wa matumizi. ...
null
Home TAARIFA POLISI YAANZA UCHUNGUZI WA VIDEO INAYOSAMBAA YA MFANYABIASHARA KUJARIBU KUKAMATWA KWA NGUVU Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, ...
null
Na Mwandishi Wetu , Michuzi TV Ukerewe Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) leo tarehe 10.9.2024, limetoa elimu ya ulinzi, usalama na utunzaji wa mzingira ya usafiri majini kwa wadau mbalimbali wa usafiri majini katika Kisiwa cha Ukara, wilayani Ukerewe. Elimu hiyo imehusisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja n...
null
Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting ...
null
Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting ...
null
Na Mwandishi Wetu,Katavi TUME ya Taifa ya Umwagiliaji( NIRC)imefanya Mkutano wa Wadau wa Umwagiliaji kwa Skimu za Mwamkulu na Kabage Mkoani Katavi Mkutano huo umejumuisha wakulima wa kata ya Mwamkulu, wataalamu kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Makao Makuu na Mkoa wa Katavi, Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindok...
null
**IJUE SHERIA**. Show all posts Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya saruji ya Chalinze Cement, imefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ili kumtaka Wakala wa Usajili Biashara na Leseni (BRELA), kuirudisha mara moja kampuni hiyo katika daftari la kampuni zilizosajiliwa na kutambulika kisheria nchini. Kesi hiyo n...
null
Subscribe to: Post Comments (Atom) Most read Swahili blog on earth Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting ...
null
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya saruji ya Chalinze Cement, imefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ili kumtaka Wakala wa Usajili Biashara na Leseni (BRELA), kuirudisha mara moja kampuni hiyo katika daftari la kampuni zilizosajiliwa na kutambulika kisheria nchini. Kesi hiyo namba 113, ya Mwaka 2023 imefunguli...
null
Na Said Mwishehe,Michuzi TV WAZIRI Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amewashauri watanzania hususan viongozi mbalimbali, kujenga utaratibu wa kusoma na kuandika vitabu kwa lugha ya Kiswahili ili kuchagiza utekelezaji wa mipango ya taifa, na kubadili fikra za watanzani...
null
Imeandikwa na Bashir Yakub, WAKILI - +255 714 047 241. Tatizo ni vyuo vya sheria. Tatizo linaanza na sifa za udahili wa wanafunzi wanaostahili kusomea sheria katika vyuo, na Pili mfumo wa ufundishaji vyuoni. Kuna vyuo hadi mwenye D flat, D English, D kiswahili na D history anapata na nafasi ya kusoma sheria. Sasa hi...
null
Waziri wa Katiba na Sheria George Simbachawene akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufanya ziara ya kikazi katika Taasisi Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo nchini (Law School) leo Machi 10, 2022 Dar es Salaam. Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Tafiti na Machapisho, Law Shool Profesa Zakayo Lukumay akieleza jam...
null
Mhe. Dkt Paul F. Kihwelo Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama na Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania akifungua mafunzo kwa wawezeshaji wa mafunzo ya haki za watoto katika ukumbi wa St. Gasper jijini Dodoma. Bi. Victoria Mgonela Mwakilishi wa UNICEF akitoa salamu kutoka Shirika la UNICEF nchini Tanzania kwenye ufunguzi...
null
**Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Jaji Mohammed Gwae (wapili kulia), Katibu wa Kamati ya Taifa ya Huduma kwa Jamii, Aloyce Musika (kulia) pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini Dodoma leo.** **Baadhi ya Wajumbe w...
null
contact Our offices are located at the Palm Residency building’s 2nd Floor shop No. 2, (the tall building with Philips and Tigo offices) opposite the Ocean Road Cancer Institute, a stone’s throw from the Botanical Gardens in Ilala District, Dar es Salaam.
null
Jumamosi tarehe 14 Desemba 2024, jijini Arusha, Benki ya CRDB ilihitimisha fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024, mashindano yaliyojumuisha michezo ya soka na netiboli, kwa timu zilizoundwa na wafanyakazi wa benki hiyo, yakiwa ni mashindano yenye mbwembwe na ushindani wa hali ya juu. Timu mbalimbali kutoka kanda tofauti z...
null
Jumamosi tarehe 14 Desemba 2024, jijini Arusha, Benki ya CRDB ilihitimisha fainali za CRDB Bank Supa Cup 2024, mashindano yaliyojumuisha michezo ya soka na netiboli, kwa timu zilizoundwa na wafanyakazi wa benki hiyo, yakiwa ni mashindano yenye mbwembwe na ushindani wa hali ya juu. Timu mbalimbali kutoka kanda tofauti z...
null
HATIMAYE siku nzuri ya kupiga pesa ambayo husubiriwa na watu wengi imefika, si nyingine bali ni Jumamosi ambayo mechi nyingi ulimwenguni huchezwa. Hivyo nafasi ya wewe kuondoka Milionea ni rahisi sana na Meridianbet. Kama kawaida ligi pendwa pale Uingereza EPL, leo hii kuna mechi nyingi za kubashiri, Arsenal atakuwa m...
null
HATIMAYE siku nzuri ya kupiga pesa ambayo husubiriwa na watu wengi imefika, si nyingine bali ni Jumamosi ambayo mechi nyingi ulimwenguni huchezwa. Hivyo nafasi ya wewe kuondoka Milionea ni rahisi sana na Meridianbet. Kama kawaida ligi pendwa pale Uingereza EPL, leo hii kuna mechi nyingi za kubashiri, Arsenal atakuwa m...
null
HAKUNA mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki, utamu huu unaupata tena Meridianbet Kasino Mtandaoni kwa kucheza mchezo wa Cake and Ice Cream. Cake and Ice Cream ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Red Tiger. Katika ...
null
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Razack Lokina, leo tarehe 13 Desemba, 2024 amewaaga Wanafunzi 57 ambao wanatarajia kushiriki Mashindano ya Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki ambayo kwa mwaka huu yanafanyika Kisumu nchini Kenya, kuanzia tarehe 14 hadi 21 Desemba 2024. Prof. Razack Lokina amewataka Wanafun...
null
I met him first in twenty-eleven’s glow, At Chef’s Pride Restaurant, where humble spirits show. Othman Michuzi bridged our fates that day, A greeting warm, his light led the way. Through Kigamboni’s sunlit streets, He fought for justice, never defeat. With courage firm, he stood his ground, His wisdom a compass,...
null
I met him first in twenty-eleven’s glow, At Chef’s Pride Restaurant, where humble spirits show. Othman Michuzi bridged our fates that day, A greeting warm, his light led the way. Through Kigamboni’s sunlit streets, He fought for justice, never defeat. With courage firm, he stood his ground, His wisdom a compass,...
null
In the morning light of Mara’s land, Where grasses whispered across red sand, A child of sun and soil was born, To rise, to serve, to bear the horn. A herder first, of goats and dreams, He wandered fields and watched the streams. Yet fate, with plans both strange and wise, Had bound his path to broader skies. I...
null
Today, Tanzania celebrates a momentous milestone, From Dar es Salaam to Dodoma, rails of progress are shown. The Standard Gauge Railway, now electrified and new, Marks a historic leap, connecting us through and through. Leaders from all walks, gathered today, Witnessing history, as tracks convey. Opposition and r...
null
Today, Tanzania celebrates a momentous milestone, From Dar es Salaam to Dodoma, rails of progress are shown. The Standard Gauge Railway, now electrified and new, Marks a historic leap, connecting us through and through. Leaders from all walks, gathered today, Witnessing history, as tracks convey. Opposition and r...
null
Na Seif Mangwangi Mbarali KUNDI kubwa la zaidi ya Ng'ombe 500 na punda3 wamekamatwa na askari wa Jeshi Usu la Uhifadhi katika hifadhi ya Taifa Ruaha Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya huku wamiliki wa mifugo hiyo wakikimbia . Kwa mujibu wa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, shirika la hifadhi za Taifa Tanzania na ...
null
Usiku wa kuamkia leo Machi 28,2024 kumetokea ajali iliyohusisha mabasi mawili na roli la mafuta katika eneo la JKT Club karibu na Mlandizi mkoani Pwani. Mabasi hayo ni Kampuni ya Sauli pamoja na New Force Taarifa zaidi za chanzo cha ajali hiyo na majeruhi zitatolewa baadaye leo na kamanda wa polisi. Endelea kutufuati...
null
**Tumia Siku Yako ya Wapendanao kwa Njia ya Kipekee! Pata Mapumziko Maalum ya Valentine's Ndani ya Tanga Beach Resort! Tanga Beach Resort inakuletea ofa maalum ya siku ya wapendanao. Pata nafasi ya kufurahia mapumziko ya kifahari na kujivinjari na mpendwa wako. Tanga Beach Resort inakupa fursa ya kujenga upya mapenzi y...
null
Na. Ramadhani Kissimba na Asia Singano, WF - Arusha Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo mbalimbali inayosimamia kada ya Ununuzi na Ugavi nchini. Akizungumza katika ufunguzi wa kongamano la 15 la Wataalamu wa Ununuzi ...
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
null
BBC News, Swahili - Habari Habari Kuu Kaburi la babake Assad lachomwa moto Syria Wapiganaji wenye silaha pia wamepiga picha kando ya kaburi la Hafez al-Assad lililochomwa moto. Moja kwa moja, Wafuasi wa Rais Mteule wa Ghana wakamatwa kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi Wafuasi wa John Mahama wanadaiwa kuvamia baadh...
null
Maelezo ya Faragha Sera ya Faragha Maelezo yafuatayo yanaelezea sera yetu ya faragha kuhusiana na taarifa za mtu za kibinafsi ambazo tunakusanya kuhusiana na wewe. 1. Maelezo ya dhamira 2. Taarifa juu ya wageni 3. Cookie ni nini 4. Kuwasilisha maelezo ya mtu ya kibinafsi 5. Kupata maelezo yako ya kibinafsi 6. Watumiaji...
null
Michezo Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Manchester United kumuuza Marcus Rushford 11 Disemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Real Madrid yavutiwa na mshambuliaji wa Chelsea Cole Palmer 10 Disemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Arsenal, Chelsea na Manchester United zampigania Dusan Vlahovic 9 Disemba 2024 Tetesi ...
null
Je, ni eneo gani la amani la Syria lililotekwa na Israel? Jeshi la Israel lilisema siku ya Jumapili kwamba vikosi vyake vimewekwa katika eneo la amani kati ya Syria na Milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu, kufuatia "kuingia kwa watu wenye silaha kwenye eneo la amani". Hapo awali, Redio ya Jeshi la Israel iliripoti, i...
null
Rais wa zamani anayetaka kuongoza tena Ghana - Author, Wedaeli Chibelushi - Nafasi, BBC News John Dramani Mahama aliwahi kuwa rais wa Ghana, na sasa anajaribu tena kuwania wadhifa huo. Mahama, mwenye umri wa miaka 65, aliongoza Ghana kutoka mwaka wa 2012 hadi 2017 na ni miongoni mwa wanasiasa waliobobea zaidi katika ta...
null
Moja kwa moja, Wafuasi wa Rais Mteule wa Ghana wakamatwa kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi Wafuasi wa John Mahama wanadaiwa kuvamia baadhi ya taasisi za serikali na kupora mali. Muhtasari - Wafuasi wa rais mteule wa Ghana wakamatwa katika machafuko ya baada ya uchaguzi - 'Sasa tunaweza kupumua,' wasema Wasyria mj...
null
Video 0:42 Video, Tazama: Makombora ya Israel juu ya anga ya Iran , Muda 0,42 26 Oktoba 2024 1:02 Video, Tazama: Iran ilivyorusha makombora kuelekea Tel Aviv , Muda 1,02 1 Oktoba 2024 0:44 Video, Tazama: Makombora ya Hezbollah yashambulia maeneo ya makazi ya Israel , Muda 0,44 22 Septemba 2024
null
Je Malezi yanasaidia kujenga afya ya akili? Je Malezi yanasaidia kujenga afya ya akili? Kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani linasema mtu mmoja kati ya watu wanne anachangamoto ya afya ya akili,Mazingira ambayo uhusisha malezi mabovu na migogoro ndani ya familia inatajwa kuwa chanzo cha matatizo ya Afya ya akili. Unga...
null
Dira Ya Dunia, 10 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 10 Disemba 2024
null
Mfahamu Asma, mke wa Rais aliyepinduliwa Bashar al Assad Asma al Assad aliwahi kuelezewa kuwa mwanamke "mzuri sana" na mke wa rais "mwenye mvuto wa asili. Hizi zilikuwa baadhi ya sifa zilizotumiwa na majarida mbalimbali katika ripoti zao ikiwemo Vogue katika ripoti ya mwaka 2011 kuhusu mke wa rais wa Syria wakati huo, ...
null
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Arsenal, Chelsea na Manchester United zampigania Dusan Vlahovic Klabu tatu za ligi ya Premier bado zinavutiwa na Dusan Vlahovic, Liverpool watoa ofa ya kwanza kwa Mohamed Salah na pia wanataka Virgil van Dijk na Trent Alexander-Arnold kusaini mikataba mipya. Arsenal, Chelsea na Manchester...
null
Kwanini kuanguka kwa Rais Assad wa Syria ni pigo kubwa kwa Urusi? Kwa takriban muongo mmoja ilikuwa ni uwezo wa kijeshi wa Urusi ambao ulimuweka Bashar al-Assad madarakani. Hadi matukio ya ajabu ya saa 24 zilizopita. Serikali ya Damascus imeanguka, rais wa Syria amepinduliwa na inasemekana ametorokea nchini Moscow. Wak...
null
P. Diddy anaweza kukabiliwa na hadi kesi 300 - Wakili Wakili anayewakilisha waathiriwa kadhaa wa Sean "Diddy" Combs, anasema idadi ya kesi za kisheria dhidi ya mwanamuziki huyo "huenda zikafika 300." Tony Buzbee aliiambia BBC kuwa timu yake ilipokea takribani simu 3,000 tangu alipofanya mkutano na waandishi wa habari k...
null
Shabiki wa Uganda apigwa risasi akisherehekea Arsenal kuifunga Manchester United Shabiki wa klabu ya Arsenal ya Uingereza, ambaye alikuwa akishangilia ushindi wa timu hiyo dhidi ya Manchester United, anadaiwa kupigwa risasi na mlinzi mmoja nchini Uganda. Shabiki mwingine alijeruhiwa wakati mlinzi huyo alipoufyatulia ri...
null
Tazama: Makombora ya Hezbollah yashambulia maeneo ya makazi ya Israel Tazama: Makombora ya Hezbollah yashambulia maeneo ya makazi ya Israel Hezbollah ilirusha msururu wa maroketi kutoka Lebanon usiku kucha, na kutua ndani zaidi ya Israel kuliko mashambulizi ya awali. Majengo ya makazi huko Kiryat Bialik yamechomwa moto...
null
Tazama: Iran ilivyorusha makombora kuelekea Tel Aviv Tazama: Iran ilivyorusha makombora kuelekea Tel Aviv Makombora yamerushwa kutoka Iran kuelekea Israel, jeshi la Israel linasema katika taarifa. Kanda za video zinaonyesha misururu ya makombora hayo juu ya anga ya Tel Aviv.
null
Gereza la Saydnaya: Jinsi jengo la 'kichinjio cha binadamu' la Assad lilivyo - Author, Matt Murphy - Nafasi, BBC News Tangu kusambaratika kwa utawala wa Assad siku ya Jumapili, raia wa Syria walikusanyika karibu na gereza la siri la Saydnaya wakiwa na matumaini ya kuwapata wapendwa wao. Saydnaya ni gereza ambalo famili...
null
Viumbe vipya vya ajabu vya bonde la Congo Ripoti mpya iliyotolewa tarehe 3 Disemba na shirika la uhifadhi wa wanyamapori World Wide Fund for Nature (WWF) imebainisha kuwa zaidi ya aina 700 za wanyamapori na mimea zimegunduliwa na wanasayansi katika Bonde la Kongo katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Miongoni mwa ugun...