name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Tazama: Makombora ya Israel juu ya anga ya Iran Tazama: Makombora ya Israel juu ya anga ya Iran Kanda ya video iliyochapishwa kwenye mtandao Telegram inaonyesha makombora yakipaa kwenye anga ya Tehran, wakati Israel iliposema imefanya "mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi" ndani ya Iran. Vikosi vya Ulinzi vya Israe...
null
Masharti ya Matumizi Upatikanaji na utumiaji wa 'bbc.co.uk' ndani na nje ya Uingereza unawezeshwa na BBC (watumiaji wa kimataifa wa tovuti wanaweza kuona matangazo ya biashara katika kurasa kadhaa zinazotolewa na kitengo cha kibiashara cha BBC, BBC Worldwide Limited ("BBCW") kwa masharti yafuatayo: 1. Kwa kutumia bbc.c...
null
Wahalifu wa Urusi walivyosaidia magenge ya dawa za kulevya Uingereza kutakatisha fedha Operesheni ya utakatishaji fedha ya mabilioni ya dola ambayo ilianzishwa wakati magenge ya Uingereza yalipokuwa yakihangaika kupakua pesa wakati wa amri ya kutotoka nje imefichuliwa na Shirika la Kitaifa la kupambana na Uhalifu. Kugu...
null
Learn how the BBC is working to strengthen trust and transparency in online news The BBC is recognised by audiences in the UK and around the world as a provider of news that you can trust. Our website, like our TV and radio services, strives for journalism that is accurate, impartial, independent and fair. Our editoria...
null
Dalili za kwanza za ugonjwa wa kisukari na maswali mengine 4 yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu ugonjwa huu Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa sugu ambao mtu yeyote anaweza kuugua. Inakadiriwa kuwa watu milioni 422 wanaishi na ugonjwa wa kisukari sasa duniani kote, ikiwa ni mara nne zaidi ya miaka 40 iliyopita, kwa mujibu w...
null
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara (FAQ) Mbona mmeanzisha matangazo ya kibiasha kwenye mtandao huu wa BBC? Ili kufadhili shughuli zetu za uandishi wa habari na kupunguza mzigo kwa wanaolipia ada ya leseni ya kupokea huduma zetu, BBC, kwa kuzingatia maelekezo kutoka kwa serikali, imekubali kuwa idhaa ya kimataifa ya Wor...
null
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Forest kuandaa dau la kumnunua Ferguson Nottingham Forest inajiandaa kumnunua Evan Ferguson Januari, Real Madrid itasubiri kumsajili Trent Alexander-Arnold kwa uhamisho wa bure, huku klabu kadhaa za Ligi ya Premia zikimuwania Nico Williams. Nottingham Forest inajiandaa kuwasilisha dau la ...
null
Video: Jinsi Trump alivyoshambuliwa kwa risasi katika jaribio la mauaji Milio inayokisiwa kuwa risasi imesikika kwenye mkutano wa hadhara wa Donald Trump huko Pennsylvania wakati rais huyo wa zamani alipokuwa akitoa hotuba. Alikimbizwa nje ya jukwaa haraka na maafisa wa kitengo cha Secret Service. Rais wa zamani wa Mar...
null
Kwanini kuna mgawanyiko katika Ligi ya Premia kuhusu uungaji mkono wa kampeni ya wapenzi wa jinsi moja? Uamuzi wa nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy wa kutovaa jezi ya upinde wa mvua kuunga mkono kampeni ya kuunga mkono haki za wapenzi wa jinsi moja na jamii ya LGBTQ+ ya Rainbow Laces ya Ligi kuu ya England umezua mjada...
null
Tetesi za soka Ulaya: Davies yuko tayari kuhamia Man Utd au Real Madrid Wakala wa Alphonso Davies 'amekasirishwa' na jinsi Bayern Munich walivyofanya katika mazungumzo ya kusaini mkataba mpya wa beki huyo wa Canada mwenye umri wa miaka 24 na sasa anataka kusikiliza ofa kutoka Manchester United na Real Madrid , huku mik...
null
Je, Uturuki na Urusi zinaushughulikiaje mgogoro wa Syria, na tofauti zao ni zipi? Pamoja na mashambulizi ya hivi karibuni nchini Syria ambayo yamesababisha hasara kubwa kwa utawala wa Assad, macho yote yamegeukia tena harakati za kidiplomasia kati ya Ankara na Moscow. Nchi hizo mbili, ambazo zilikuwa na jukumu muhimu k...
null
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Real Madrid yavutiwa na mshambuliaji wa Chelsea Cole Palmer Mshambulizi wa Uingereza Cole Palmer, 22, anaivutia Real Madrid kwa sababu ya mchezo wake thabiti akiwa Chelsea. (Fichajes - Spanish) West Ham itaongeza nia ya kutaka kumnunua mshambuliaji wa Brighton na Jamhuri ya Ireland Evan Fe...
null
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal & Chelsea wanamtaka Isak Chelsea na Arsenal wanamtaka mshambuliaji wa Newcastle Alexander Isak, Manchester United yaarifiwa kuhusu hali ya kandarasi ya Alphonso Davies Bayern Munich na Graham Potter auliziwa na Wolves na West Ham. Arsenal na Chelsea zinamtafuta mshambuliaji na klabu hizo m...
null
Namna gani unaweza kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi? Namna gani unaweza kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi? Namna gani ya kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi ni miongoni mwa mijadala mikubwa inayoendelea ulimwenguni hata katika taifa la Tanzania. Jitihada za kupanda miti na kutunza mazingira kwa wakulima ni m...
null
Unakosa usingizi? Kuandika orodha ya mambo ya kufanya kutakusaidia - Author, Claudia Hammond - Nafasi, BBC News Ikiwa una tatizo la kupata usingizi, basi suluhisho ni haraka-kuwa na kalamu na karatasi. Ukipata shida ya kupata usingizi, utagundua kinachokunyima usingizi ni kufikiria sana mambo ambayo unatarajia kuyafany...
null
BBC Swahili Radio Habari za kimataifa, michezo na uchambuzi kutoka kwa idhaa ya dunia. Vipindi vya Redio Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Disemba 2024, Muda 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Listen Live, Dira Ya Dunia, 18:29, 11 Disemba 202...
null
Burudani P. Diddy anaweza kukabiliwa na hadi kesi 300 - Wakili Saa 6 zilizopita Mkutano wa siri uliojaribu kuzuia vurugu za muziki wa kufoka 14 Novemba 2024 Idris Elba: Kwa nini ninapanga kuhamia Afrika? 23 Oktoba 2024 Miaka 35 bila Franco: Mjadala wa kumuenzi nguli wa rhumba DRC waendelea 12 Oktoba 2024 Kesi ya Diddy ...
null
Amka Na BBC, Amka Na BBC Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Vipindi vya Redio Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Disemba 2024, Muda 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Listen...
null
Kuhusu Idhaa ya Kiswahili ya BBC Idhaa yetu inaajiri waandishi wa habari na watangazaji kutoka nchi zote zinazozungumza Kiswahili na vilevile katika sehemu nyingine za Afrika. Mhariri: Caroline Karobia. Waandishi waandamizi: Ruth Nesoba Odhiambo Joseph Peter Mwai Nairobi, Kenya: Waandishi wa mtandaoni: Seif Abdalla na ...
null
Kwanini Israel inashambulia Syria? - Author, Jeremy Howell - Nafasi, BBC World Service Israel imefanya mashambulizi ya angani zaidi ya mia moja dhidi ya vituo vya kijeshi vya Syria na pia imepeleka jeshi lake katika eneo lililo na ulinzi mkali mpakani katika eneo la mlima Golan ,ikipanua maeneo ya Syria ambayo yametekw...
null
Afya 'Ikiwa unataka kupata mtoto, kwa nini usubiri kupata mwanaume?' 9 Disemba 2024 'Vitiligo ya midomo imenitenganisha na marafiki' 6 Disemba 2024 Fahamu faida na hasara za kutumia sindano za kupunguza uzito wa mwili 30 Novemba 2024 Kwanini binadamu hufurahia kula kwa pamoja? 29 Novemba 2024 Je, ni kwanini watoto wa m...
null
Matangazo Makala Maeneo sita muhimu ya nyuklia ya Iran 14 Oktoba 2024 Je, Israel inataka Mashariki ya Kati ya aina gani? 8 Oktoba 2024 Furaha na hofu: Hali nchini Iran baada ya kuishambulia Israel 3 Oktoba 2024 Faida za aiskrimu na mitindo ya utengenezaji wake 14 Septemba 2024 Mama anayetafuta haki ya ‘kifo cha huruma’...
null
'Baadhi ya watu waliniambia nimemtoa kafara mwanangu ili nipate pesa' Familia ilianza kuingiwa na hali ya wasiwasi miaka miwili baadaye kutokana na Lukiza kuchelewa kuongea kama ilivyo kawaida kwa watoto wengine wa umri wake. ''Nilipokuwa nikimpeleka kliniki mjini Beijing, China nilimuuliza daktari kwanini huyu anachel...
null
Chaneli ya WhatsApp ya BBC Swahili: Jinsi ya kujiunga na kupata taarifa bora za habari Sasa unaweza kupata habari muhimu zinazochipuka, uchambuzi na makala maalum kupitia BBC News Swahili moja kwa moja kwenye WhatsApp yako. Wanahabari wetu wanatarayarisha habari bora za ndani na za kimataifa katika maandishi na video h...
null
Bashar al-Assad: Kutoka kuwa daktari wa macho hadi rais mwenye mamlaka Syria Kuna matukio muhimu katika maisha ya rais wa Syria Bashar al-Assad,lakini iliyojulikana sana ni ajali ya gari iliyotokea mbali na alikoishi. Bashar Assad hakupangiwa kumrithi babake. Hii ilianza tu pindi kaka yake mkubwa ,Bassel,kufariki katik...
null
Uchaguzi wa Uingereza: Kwa nini Waafrika wanapaswa kuujali? Tarehe 4 Julai, wananchi wa Uingereza watapiga kura katika uchaguzi mkuu. Kushughulikia suala la uhamiaji suala linalopewa linalopewa kipaumbele cha kwanza katika orodha cha mambo anayofaa kuyafanya waziri mkuu mpya. Hili ni jambo ambalo litaiathiri sana Afrik...
null
Get the news in your language Switch list to English Switch list to localised scripts Africa Oduu Afaan Oromootiin ዜና በአማርኛ L'actualité en Français Labarai da Hausa Akụkọ n’Igbo Amakuru mu Kinyarwanda/ Kirundi News in Pidgin War Af Soomaali ah Habari kwa Kiswahili ዜና ብትግርኛ Ìròyìn ní Yorùbá Asia (Central) Кыргыз тилинде...
null
Amka Na BBC, Amka Na BBC Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Vipindi vya Redio Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Disemba 2024, Muda 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Listen...
null
'Ninajuta kuwekeza kihisia na kiuchumi katika mahusiano ambayo hayakudumu' Baada ya kuvunjika kwa mahusiano na mzazi mwenzangu,faraja pekee ilikuwa familia yangu. Kutofahamu wenza vizuri,ni moja kati ya makosa yanayoleta majuto katika mahusiano. ‘’Watoto wangu wananipa msukumo wa kupigania ndoto yangu kwa bidii zaidi’’...
null
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Manchester United kumuuza Marcus Rushford Manchester United inataka kumuuza mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford, 27, katika dirisha la uhamisho la Januari. (Sky Sport Germany) United walikuwa tayari kumuuza Rashford aliyehitimu katika akademia yao msimu uliopita na sasa wanapokea of...
null
Tetesi za soka Ulaya: Mourinho hamuhitaji Cristiano Ronaldo Fenerbahce Jose Mourinho amefutilia mbali uwezekano wa nyota wa Ureno wa Al-Nassr Cristiano Ronaldo, 39, kujiunga naye Fenerbahce, akisema timu yake tayari ina washambuliaji watatu wazuri. (Goal) William Saliba yuko tayari kuweka mustakabali wake wa muda mrefu...
null
Tetesi za Soka: Arsenal waanza mazungumzo na Cunha Arsenal waanza mazungumzo ya kumnunua Matheus Cunha, mustakabali wa Julen Lopetegui West Ham uko mashakani, huku Harry Maguire akiwaniwa na klabu kadhaa za Ligi ya Premia. Arsenal wamefanya mazungumzo ya awali na mshambuliaji wa Wolves wa Brazil Matheus Cunha, 25. (Cau...
null
Jamii inapaswa kutambua kuwa ukatili wa kijinsia ni adui wa Maisha ya mwanadamu Katika Makala ya Tuyajenge vijana wanaulizwa Unapambanaje na ukatili wa kijinsia? Msafiri Mwajuma Mariam ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Usawa wa KIjinsia anasema Jamii inapaswa kutambua kuwa ukatili wa kijinsia ni adui wa Maisha y...
null
Wakazi wanaokimbia vita Gaza wakabiliwa na baridi - Author, Yolande Knell - Nafasi, Middle East correspondent Pwani ya Gaza imeacha kuwa ni ya kubarizi na ziara za burudani. Maelfu ya watu sasa wanapaita nyumbani baada ya kutoroka makwao wakati wa vita. Siku za hivi karibuni mambo yamegeuka karaha:upepo wa bahari umeku...
null
Mwanaanga wa kwanza wa kike Afrika kwenda anga za juu Mwanaanga wa kwanza wa kike Afrika kwenda anga za juu Mnamo 2022, Sara Sabry, Mmisri, alikua mwanamke wa kwanza Mwafrika (na mwanamke wa kwanza Mwarabu) kwenda anga za juu. Alipokuwa mdogo, mwanaanga huyo mwenye umri wa miaka 31 na mhandisi angefikiria wazo la kwend...
null
Tazama: Waandamanaji wa Bangladesh wavamia makazi rasmi ya Waziri Mkuu Tazama: Waandamanaji wa Bangladesh wavamia makazi rasmi ya Waziri Mkuu Waandamanaji nchini Bangladesh wamevamia makazi rasmi ya waziri mkuu, huku wimbi la maandamano dhidi ya serikali likiendelea. Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina amejiuzulu n...
null
'Hakuna aliyelala nchini Syria jana usiku' - jinsi habari za kupinduliwa kwa Assad zilivyoenea Wakazi wa Damascus wameelezea namna walivyokuwa wakisubiri kwa wasiwasi habari juu ya kile kinachotokea katika mji mkuu wa Syria usiku kucha. Baada ya saa kadhaa za ripoti za waasi kukaribia zaidi na zaidi, vikosi vilitangaza...
null
Je, ajira za Afrika zinatishiwa na Akili Mnemba? Je, ajira za Afrika zinatishiwa na Akili Mnemba? Kwa baadhi ya watu, Akili Mnemba ni teknolojia ya kutisha ambayo inaweza kuwafanya wengi duniani kupoteza ajira siku zijazo. Lakini dhana hii ina ukweli wowote? Na je, Akili Mnemba inaweza kuisaidia Afrika kutatua matatizo...
null
Have a browse to see what we use them for and how you can change your settings to suit you. Cookies help us remember you and show you more things we think you’ll like. Have a browse to see what we use them for and how you can change your settings to suit you. The page will automatically reload. You may need to reload a...
null
Unafanyaje kuhakikisha shughuli za kiuchumi hazimkwamishi mtoto kupata elimu? Unafanyaje kuhakikisha shughuli za kiuchumi hazimkwamishi mtoto kupata elimu? “Nilipomaliza darasa la saba mama yangu alihamisha ng’ombe na nilikua mwenyewe nyumbani na mifugo iliyobakia”. Ni simulizi ya msichana ambaye alijikuta akiikosa fur...
null
Tetesi za soka Ulaya: Mohamed Salah analengwa na klabu za Saudia Winga wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 32, ndiye 'ndoto' ya usajili wa Saudi Pro League msimu ujao. (Mail - Subscription Required) Manchester United wanapanga uhamisho wa pauni milioni 50 ili kuwashinda Chelsea kwa ajili ya kumnunua beki wa kati wa Be...
null
Tetesi za soka Ulaya: Real wamtaka Alexander-Arnold Real Madrid wameifahamisha Liverpool kuhusu nia yao ya kutaka kumsajili beki wa Uingereza Trent Alexander-Arnold, 26. (TalkSport) Kocha mpya wa Manchester United Ruben Amorim ameazimia kufanya kazi na wachezaji wake wa sasa na hajatuma ombi kwa uongozi wa klabu kuhusu...
null
Tetesi za soka Ulaya: Liverpool na Real Madrid wafanya mazungumzo kuhusu mustakbal wa Alexander Arnold Liverpool na Real Madrid walifanya mazungumzo kuhusu mustakabali wa Alexander-Arnold kabla ya mechi ya wawili hao ya Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Anfield siku ya Jumatano. (Marca - Spanish) Beki wa Bournemouth mwenye um...
null
Real Madrid na Man City mashakani? Jinsi Ligi ya Mabingwa Ulaya ilivyo kufikia sasa Je, Manchester City wanaweza kukosa kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa? Na Celtic, Arsenal, Aston Villa na Liverpool zinahitaji nini ili kutinga hatua ya muondoano? Mechi tatu zimesalia katika awamu mpya ya ligi ya timu 36 ya Ligi...
null
Jinsi Liverpool ilivyochanganya mbinu za Klopp na Slot ili kuishinda Man City - Author, Phil Mc Nulty - Nafasi, Mwandishi mkuu wa soka Anfield Liverpool walileta mashambulizi kisha wakadhibiti mchezo. Mchanganyiko bora wa Kocha wa zamani Jurgen Klopp ambao ni Mchezo wa mashambulizi ya haraka kisha utulivu wa Kocha aliy...
null
'Siogopi kufa': Bingwa wa kwanza wa tenisi aliyetangaza ana Virusi vya Ukimwi Mwaka 1988, maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani yalianza kwa kuhamasisha ufahamu kuhusu ugonjwa huu ambao umetikisa jamii ulimwenguni. Mwaka huo, mchezaji wa tenisi wa Marekani Arthur Ashe aligundua ameathirika. Kihistoria unyanyapaa uliomk...
null
Tetesi za soka Ulaya: Man United wanafikiria kumuuza Joshua Zirkzee miezi sita baada ya kumsajili Manchester United wanafikiria kumuuza Joshua Zirkzee miezi sita tu baada ya kumsajili, huku Juventus ikimtaka mshambuliaji huyo wa Uholanzi, 23. (Corriere Dello Sport - In Italy), Napoli wako tayari kumuuza Khvicha Kvarats...
null
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: PSG wapo katika mazungumzo na Salah Paris St-Germain wako kwenye mazungumzo na Mohamed Salah wa Liverpool, timu nne za Ligi ya Premia zinamfuatilia mashambuliaji wa Borussia Dortmund Jamie Gittens, Manchester United na Spurs wanamtaka kiungo wa Eintracht Frankfurt Omar Marmoush. Paris St-...
null
Kwanini nyota wa Westham huvalia jezi yenye muundo tofauti? - Author, Mariam Mjahid - Nafasi, BBC Swahili Shati ya jezi ya Antonio imekuwa ikionekana tofauti na za wachezaji wenzake wa timu ya Westham United. Msimu wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza ulipoanza alikuwa akitumia makasi kukata kola ya jezi yake .kisa?ili...
null
Tetesi za soka Ulaya: Juventus kumnasa Liam Delap? Juventus wanafikiria kumnunua Liam Delap wa Ipswich na wametuma maskauti kumtazama mshambuliaji huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 21, ambaye pia anazivutia Chelsea na Manchester United. (Mirror) Klabu hiyo ya Italia pia inatazamia kumnunua mshambuliaji wa Manchest...
null
Je,Guardiola ameshindwa kuongoza Man city? - Author, Mariam Mjahid - Nafasi, BBC Swahili Manchester City ambayo imeshinda kombe la EPL mara nne mfululizo chini ya ukufunzi wa Pep Guardiola imekuwa na msururu wa matokeo duni kwani haijashinda katika mechi sita za mwisho ikipoteza mechi tano kati yazo. Jumapili iliyopita...
null
Tetesi za Soka Ulaya: Real Madrid wawasiliana na Dalot Real Madrid wanawasiliana na Diogo Dalot wa Manchester United, Mohamed Salah yuko tayari kukubali mkataba wa mwaka mmoja Liverpool, huku Wayne Rooney akikabiliwa na shinikizo Plymouth Argyle. Real Madrid imewasiliana na beki wa Ureno Diogo Dalot, 25, na wameambiwa ...
null
'Nyota ya Mbappe ilizima ilipohitajika kung'aa' - Fahamu kwanini Real Madrid wapo mashakani Jess Anderson Mwandishi wa BBC Sport Kupoteza mara tatu katika mechi tano na kukabiliwa na kibarua kigumu kufuzu kwa awamu inayofuata ya Ligi ya Mabingwa, ndio masaibu yanayoikumba Real Madrid. Hiyo si nafasi ambayo mabingwa mar...
null
Emmanuel Wanyonyi: Kutoka kuchunga ng'ombe hadi kuwa bingwa wa Olimpiki - Author, Kelvin Kimathi - Nafasi, BBC Sport Africa, Nairobi Alikulia katika umaskini uliokithiri katika kijiji kidogo magharibi mwa Kenya, maisha ya kila siku ya Emmanuel Wanyonyi yalikuwa magumu. Alipolazimika kuacha shule akiwa na umri wa miaka ...
null
Je, waasi nchini Syria ni akina nani? Vikosi vya waasi vimeanzisha mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya serikali ya Syria katika miaka mingi iliyopita. Kwa muda wa wiki moja wameudhibiti mji wa pili kwa ukubwa nchini humo Aleppo, mji wa Hama na walikuwa wakikusanyika nje ya mji mkuu wa Homs kusini zaidi. Kusini mwa Syri...
null
Sababu za Waarabu kushindwa katika vita vya kwanza na Israel Tarehe 29 Novemba mwaka 1947. Wayahudi wanaoishi Palestina waliketi mbele ya redio – kusikiliza kura juu ya pendekezo muhimu katika Umoja wa Mataifa kuhusu eneo la Palestina. Kura hiyo ilikuwa kuhusu pendekezo la kuigawanya Palestina na kuunda eneo kwa ajili ...
null
Palestina Je, ni eneo gani la amani la Syria lililotekwa na Israel? 11 Disemba 2024 Wakazi wanaokimbia vita Gaza wakabiliwa na baridi 8 Disemba 2024 Kwa nini wanaume hawa wa Israel walijitolea kupigana, lakini sasa wanakataa kurudi Gaza? 4 Disemba 2024 Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwa...
null
Israel Kwanini Israel inashambulia Syria? Saa 4 zilizopita Je, ni eneo gani la amani la Syria lililotekwa na Israel? 11 Disemba 2024 Ni nini kilisababisha jeshi la Syria kushindwa kwa urahisi? 9 Disemba 2024 Wakazi wanaokimbia vita Gaza wakabiliwa na baridi 8 Disemba 2024 Mustakabali wa Hezbollah ni upi? 6 Disemba 2024...
null
Maswali 8 kuuelewa mgogoro wa Waisraeli na Wapalestina Mzozo kati ya Wapalestina na Waisraeli unazidi kupamba moto. Jeshi la Israel lilianzisha mashambulizi makali huko Gaza Jumamosi hii, Oktoba 7. Ni baada ya Hamas, kundi la wapiganaji wa Kiislamu linalodhibiti eneo hilo, kufanya mashambulizi ya kushtukiza kwa kurusha...
null
Je, ni nini kilichotokea 1967 wakati israel ilipokabiliana kijeshi na mataifa matatu ya kiarabu katika vita vya siku sita? Mapigano kati ya Israel na makundi ya wapiganaji ya Wapalestina huko Gaza yamezua mengi kuhusu hali ya Wapalestina katika eneo la Jerusaem mashariki baada ya mzozo mpya kufunua wazi tofauti kubwa k...
null
Ni nini kilisababisha jeshi la Syria kushindwa kwa urahisi? Si wengi waliotarajia matukio ya haraka na mfululizo ambayo Syria imeshuhudia katika siku chache zilizopita, tangu upinzani wenye silaha unaoongozwa na waasi wa "Hay'at Tahrir al-Sham", wenye makao yao makuu katika Mkoa wa Idlib, kaskazini-magharibi mwa nchi h...
null
Mashariki ya Kati Kwanini Israel inashambulia Syria? Saa 4 zilizopita Je, ni eneo gani la amani la Syria lililotekwa na Israel? 11 Disemba 2024 Gereza la Saydnaya: Jinsi jengo la 'kichinjio cha binadamu' la Assad lilivyo 10 Disemba 2024 'Siku 10 zilizoitikisa Mashariki ya Kati' – gazeti la Washington Post 10 Disemba 20...
null
Syria Kwanini Israel inashambulia Syria? Saa 4 zilizopita Je, ni eneo gani la amani la Syria lililotekwa na Israel? 11 Disemba 2024 Mfahamu Asma, mke wa Rais aliyepinduliwa Bashar al Assad 11 Disemba 2024 Gereza la Saydnaya: Jinsi jengo la 'kichinjio cha binadamu' la Assad lilivyo 10 Disemba 2024 Je, mwisho wa utawala ...
null
Mwanaume mmoja aambiwa yeye si Muingereza baada ya miaka 42 kuishi Uingereza - Author, Daniel Sandford - Nafasi, BBC Mwanaume mmoja - mfanyakazi mstaafu kutoka Ghana mwenye umri wa miaka 74 ambaye ameishi Uingereza kwa karibu miaka 50 - Nelson Shardey, kutoka Wallasey huko Wirral, kwa miaka mingi alikuwa akidhani ameku...
null
Uchumi Rais wa zamani anayetaka kuongoza tena Ghana 5 Disemba 2024 Majengo ya Kariakoo: Serikali ya Tanzania yatakiwa kuchukua hatua kali kuepusha majanga 21 Novemba 2024 Je, kwa nini wafanyakazi wengi wa China wanalengwa na kuuawa duniani kote? 12 Novemba 2024 Ufanye nini ukipoteza ajira ghafla? 8 Novemba 2024 Je, uch...
null
Ghana Rais wa zamani anayetaka kuongoza tena Ghana 5 Disemba 2024 Dhahabu, gharama ya bidhaa, na nafasi za kazi: Ni masuala yapi muhimu katika uchaguzi wa Ghana? 20 Novemba 2024 Ligi Kuu England: Wachezaji kutoka Afrika watafanya nini msimu huu? 16 Agosti 2024 Jinsi baadhi ya nchi za Afrika zinavyotegemea nishati kutok...
null
Barua kutoka Afrika: Wanawake wengi hawaukubali muonekano wa mvi kichwani Katika msururu wa barua zetu kutoka kwa waandishi wa habari wa Kiafrika, Mwandishi Mghana Elizabeth Ohene alitumia fursa ya janga la virusi vya corona kuunga mkono mwenendo wa urembo wa kisasa Hivi karibuni nilichukua uamuzi mkubwa kuhusu muoneka...
null
Muswada wa Ghana wa kupambana na LGBTQ+ ni nini? Thomas Naadi, Esther Ogola & Beryl Munoko BBC News Accra, Nairobi na London Mswada tata wa Ghana dhidi ya LGBTQ umepitishwa na bunge lake kufuatia mjadala na kusomwa kwa mara ya tatu bungeni. Sheria hiyo mpya inamaanisha kuwa raia wa Ghana wanaojitambulisha kama LGBTQ+ w...
null
Bunge la Ghana likatiwa umeme kufuatia deni la dola milioni 1.8 Kampuni ya Umeme ya Ghana (ECG) siku ya Alhamisi ilikata usambazaji wa umeme kwa bunge kutokana na deni la dola milioni 1.8. Moja kwa moja Ambia Hirsi, Yusuf Jumah, Lizzy Masinga and Dinah Gahamanyi Harusi ya India iyohudhuriwa na Mark Zuckerberg, Rihanna ...
null
Siasa Miaka 63 ya uhuru: Hapa ndipo Watanzania walitaka kuwa? 9 Disemba 2024 'Hakuna aliyelala nchini Syria jana usiku' - jinsi habari za kupinduliwa kwa Assad zilivyoenea 8 Disemba 2024 Kwanini wapigaji kura wanavipa kisogo vyama tawala barani Afrika? 6 Disemba 2024 Rais wa zamani anayetaka kuongoza tena Ghana 5 Disem...
null
Ghana: Ukitaka uraia basi kuwa mwanamichezo Ufafanuzi wa Mghana ni mkali sana kwa wale wanaotaka kuhitimu kusimama kama mbunge. Ikiwa umewahi kubeba pasipoti au utambulisho wa kitaifa wa nchi nyingine yoyote kando na Ghana, uwe tayari kuchunguzwa kwa muda mrefu katika mahakama. Mbunge mara moja sio tu kwamba alipoteza ...
null
Netanyahu akana kashfa ya ufisadi inayomkabili Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekana kufanya makosa yoyote kufuatia madai ya ufisadi yanayomkabili katika vyombo vya habari. Kumekuwa na madai kwamba alipokea zawadi kinyume na sheria kutoka kwa wafanyibiashara, na kwamba mwanasheria mkuu wa taifa hilo anataraj...
null
'Mchumba wangu mtarajiwa kutoka Kenya alinilaghai pauni elfu 85' Mjane aliye katika mazingira magumu ameachwa bila makao na "anateseka kweli" baada ya kushawishiwa kutuma pauni 85,000 kwa mwanamke ambaye hakuwa mtu halisi-alikuwa mtu feki. Rodrick Lodge, 69, alikuwa akiishi Leiston, Suffolk, wakati rafiki yake ambaye a...
null
Cryptocurrency: Je, Afrika iko tayari kwa sarafu za kidijitali? - Author, Roncliffe Odit - Nafasi, BBC Swahili, Nairobi Mojawapo ya matukio maarufu ya biashara mwaka huu ni sarafu za kutumiwa mtandaoni au cryptocurrency, ambayo ni sarafu ya kidijitali inayoweza kutumika kununua bidhaa na huduma. Hata hivyo katika nchi ...
null
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu afunguliwe mashtaka ya ufisadi - polisi Polisi nchini Israel wamependekeza kufunguliwa mashtaka waziri mkuu Benjamin Netanyahu na mke wake Sara kwa madai ulaghai na ufisadi. Wanashukiwa kuipendelea kampuni ya mawasiliano ya Bezeq telecom ili nayo iweze kuwapendelea kwa kuandika...
null
Je, mwisho wa utawala wa Assad unamaanisha nini kwa wakimbizi wa Syria? - Author, Sanaa Alkhoury - Nafasi, BBC Arabic Mamia ya raia wa Syria wanapiga miluzi, wakicheza, kuimba na kusherehekea zikishuhudiwa huko Altındağ, na mjini Ankara, Uturuki. Sherehe zilianza mapema asubuhi wakati taarifa zilipoibuka kuwa utawala w...
null
Je, rais wa Korea Kusini aliyetangaza amri ya kijeshi anayekumbwa na kashfa ni nani? Mustakabali wa rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol uko njia panda baada ya usiku wa machafuko ambapo alitangaza sheria ya kijeshi na kisha kuiondoa ghafla, na kuitumbukiza nchi hiyo katika machafuko. Yoon, ambaye alishinda urais kwa kur...
null
Kwa nini ni vigumu kupata mpenzi wa kweli nyakati hizi? - Author, David Robson - Nafasi, BBC Teknolojia inatupa fursa nyingi mpya za kukutana na wapenzi. Mwandishi David Robson alizungumza na Paul C Brunson, mkuu wa utafiti wa mtandao wa Tinder - ambaye ameandika kitabu kipya cha Find Love: How to Navigate Modern Love ...
null
Kutoka kuwa kiongozi wa jihadi Syria hadi mwanasiasa muasi: Fahamu Abu Mohammed al-Jawlani alivyoibuka upya Kiongozi wa waasi nchini Syria Abu Mohammed al-Jawlani ametupilia mbali jina la kivita lililohusishwa na maisha yake ya zamani ya kijihadi, na amekuwa akitumia jina lake halisi, Ahmed al-Sharaa, katika taarifa ra...
null
Kwanini rais wa Korea Kusini alitangaza ghafla sheria za kijeshi? - Author, Frances Mao and Jake Kwon - Nafasi, BBC News Rais wa Korea Kusini alishangaza taifa lake usiku wa Jumanne kwa kutangaza ghafla sheria ya kijeshi katika nchi inayojivunia demokrasia kwa mara ya kwanza tangu miaka 50. Uamuzi wa kushtukiza wa Yoon...
null
'Siku 10 zilizoitikisa Mashariki ya Kati' – gazeti la Washington Post Tunafuatilia hisia za kimataifa juu ya matukio ya hivi karibuni nchini Syria, ambayo yalipelekea kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad. Tunaanza ziara yetu na makala katika gazeti la Marekani la Washington Post na mwandishi Max Boot, yenye kichwa "...
null
Israel: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu aomba kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili. Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa upya mwezi Machi. Mwezi Novemba, W...
null
Jinsi kiongozi wa upinzani Uganda alivyotoweka nchini Kenya na kuishia katika mahakama ya kijeshi - Author, Wycliffe Muia - Nafasi, BBC News, Nairobi Tukio la kutekwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye alipokuwa ziarani nchini Kenya karibu wiki mbili zilizopita limezua shutuma nyingi na hofu ya mabadi...
null
Dira Ya Dunia, 5 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 5 Disemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 26 Novemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 26 Novemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 28 Novemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 28 Novemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 3 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 3 Disemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 2 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 2 Disemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 6 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 6 Disemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 27 Novemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 27 Novemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 9 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 9 Disemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 4 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 4 Disemba 2024
null
Dira Ya Dunia, 29 Novemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 29 Novemba 2024
null
Kandanda Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Manchester United kumuuza Marcus Rushford 11 Disemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Real Madrid yavutiwa na mshambuliaji wa Chelsea Cole Palmer 10 Disemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Arsenal, Chelsea na Manchester United zampigania Dusan Vlahovic 9 Disemba 2024 Tetesi...
null
Ulaya Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Manchester United kumuuza Marcus Rushford 11 Disemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Real Madrid yavutiwa na mshambuliaji wa Chelsea Cole Palmer 10 Disemba 2024 Kwanini kuanguka kwa Rais Assad wa Syria ni pigo kubwa kwa Urusi? 9 Disemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Arsenal...
null
Ni nini kinachotokea kaskazini magharibi mwa Syria, na kwanini sasa? Makundi ya upinzani yenye silaha yalianzisha mashambulizi yao makubwa dhidi ya serikali ya Syria miaka kadhaa iliyopita na kuyateka maeneo makubwa kaskazini magharibi mwa Syria, ikiwa ni pamoja na sehemu kubwa ya Aleppo, mji wa pili kwa ukubwa nchini ...
null
Ukraine vita Kwanini kuanguka kwa Rais Assad wa Syria ni pigo kubwa kwa Urusi? 9 Disemba 2024 Kuitengenezea Urusi "Jehannamu": Nini kinajulikana kuhusu kombora jipya la Ukraine la droni? 7 Disemba 2024 Wanajeshi waliochoka wa Ukraine nchini Urusi waambiwa wavumilie wakimsubiri Trump 3 Disemba 2024 Kwa nini baadhi ya Wa...
null
Ukraine Kwanini kuanguka kwa Rais Assad wa Syria ni pigo kubwa kwa Urusi? 9 Disemba 2024 Kuitengenezea Urusi "Jehannamu": Nini kinajulikana kuhusu kombora jipya la Ukraine la droni? 7 Disemba 2024 Wanajeshi waliochoka wa Ukraine nchini Urusi waambiwa wavumilie wakimsubiri Trump 3 Disemba 2024 Mwanajeshi aliyetoroka vit...
null
Jeshi la Urusi latangaza msaada kwa jeshi la serikali ya Syria dhidi ya vikundi pinzani Jeshi la Urusi lilitangaza kuwa linalisaidia jeshi la Syria "kuondoa" makundi ya upinzani katika majimbo matatu kaskazini mwa nchi hiyo. Jeshi la Urusi limesema katika taarifa fupi kwenye tovuti yake kwamba "Jeshi la Waarabu wa Syri...
null
Vladimir Putin Kwanini kuanguka kwa Rais Assad wa Syria ni pigo kubwa kwa Urusi? 9 Disemba 2024 Mwanajeshi aliyetoroka vita Urusi afichua siri za kulinda kambi ya silaha za nyuklia 26 Novemba 2024 Kombora la masafa marefu linaloweza kurushwa kutoka bara moja hadi jingine ni la aina gani? 25 Novemba 2024 Oreshnik: Tunac...