name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Urusi 'Siku 10 zilizoitikisa Mashariki ya Kati' – gazeti la Washington Post 10 Disemba 2024 Ni nini kilisababisha jeshi la Syria kushindwa kwa urahisi? 9 Disemba 2024 Kwanini kuanguka kwa Rais Assad wa Syria ni pigo kubwa kwa Urusi? 9 Disemba 2024 Kuitengenezea Urusi "Jehannamu": Nini kinajulikana kuhusu kombora jipya ...
null
Unyanyasaji wa Kingono P. Diddy anaweza kukabiliwa na hadi kesi 300 - Wakili Saa 6 zilizopita Justin Welby: Ifahamu kashfa iliyomuondoa askofu mkuu wa Anglikana 13 Novemba 2024 Kesi ya Diddy inaanza lini? Na unayofaa kujua kuhusu matatizo yake ya kisheria 11 Oktoba 2024 Tanzania: Wanne waliombaka na kumlawiti binti mmo...
null
Muziki P. Diddy anaweza kukabiliwa na hadi kesi 300 - Wakili Saa 6 zilizopita Mkutano wa siri uliojaribu kuzuia vurugu za muziki wa kufoka 14 Novemba 2024 'Alijiona kama Mfalme': Tafrija zilizosababisha anguko la Diddy 18 Oktoba 2024 Miaka 35 bila Franco: Mjadala wa kumuenzi nguli wa rhumba DRC waendelea 12 Oktoba 2024...
null
Marekani P. Diddy anaweza kukabiliwa na hadi kesi 300 - Wakili Saa 6 zilizopita Ni nini kilisababisha jeshi la Syria kushindwa kwa urahisi? 9 Disemba 2024 Wanajeshi waliochoka wa Ukraine nchini Urusi waambiwa wavumilie wakimsubiri Trump 3 Disemba 2024 Kwa nini ndege zisizo na rubani zinapaa karibu na vituo vya kijeshi ...
null
Diddy ni nani na anatuhumiwa nini? Ni nguli wa muziki aliyefanikiwa sana, Sean "Diddy" Combs, lakini sasa anakabiliwa na msururu wa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ambazo zinaweza kuhitimisha kazi yake ya miongo mitatu. Rapa huyo wa Marekani alikamatwa tarehe 17 Septemba na kushtakiwa kwa utumwa wa kingono na utapeli ...
null
Kesi ya Diddy inaanza lini? Na unayofaa kujua kuhusu matatizo yake ya kisheria Emma Vardy Ndani ya mahakama Nadine Yousif BBC News Sean 'Diddy' Combs, mmoja wa wasanii wa rapa na nguli wa muziki waliofanikiwa zaidi nchini Marekani, hivi karibuni atafikishwa mahakamani kwa mashtaka ya utumwa wa ngono na ulaghai. Katika ...
null
'Alijiona kama Mfalme': Tafrija zilizosababisha anguko la Diddy Kuna wakati mwaliko wa tafrija iliyoandaliwa na Sean “Diddy” Combs ilikuwa moja ya tiketi zilizotafutwa sana katika tasnia ya burudani. Kukiwa na orodha za wageni zilizojumuisha Justin Bieber, Mariah Carey, Paris Hilton na Jennifer Lopez, ilikuwa ni nafasi...
null
Uganda Shabiki wa Uganda apigwa risasi akisherehekea Arsenal kuifunga Manchester United 5 Disemba 2024 Jinsi kiongozi wa upinzani Uganda alivyotoweka nchini Kenya na kuishia katika mahakama ya kijeshi 2 Disemba 2024 ‘Ulemavu wetu ndiyo nguvu yetu’: Kijiji ambacho watu wote wana upofu 10 Oktoba 2024 Waafrika nchini Leba...
null
Lebanon Mustakabali wa Hezbollah ni upi? 6 Disemba 2024 Alitoroka mabomu ya Israel mara 4, lakini akapatikana mwishowe 2 Disemba 2024 Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano 28 Novemba 2024 Kwanini usitishaji mapigano wa Lebanon ni ahueni na sio suluhu kwa mzozo wa Mashariki ya Ka...
null
Iran Ni nini kilisababisha jeshi la Syria kushindwa kwa urahisi? 9 Disemba 2024 Je, Uturuki na Urusi zinaushughulikiaje mgogoro wa Syria, na tofauti zao ni zipi? 6 Disemba 2024 Je, Israel ilifanikiwa kuzuia uwezo wa Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu? 5 Disemba 2024 Daniel Khalifa, mwanajeshi wa Uingereza aliyek...
null
Assad Gereza la Saydnaya: Jinsi jengo la 'kichinjio cha binadamu' la Assad lilivyo 10 Disemba 2024 Je, mwisho wa utawala wa Assad unamaanisha nini kwa wakimbizi wa Syria? 10 Disemba 2024 'Siku 10 zilizoitikisa Mashariki ya Kati' – gazeti la Washington Post 10 Disemba 2024 Bashar al-Assad: Kutoka kuwa daktari wa macho h...
null
Afrika Kwanini wapigaji kura wanavipa kisogo vyama tawala barani Afrika? 6 Disemba 2024 Kuanzia mpiganiaji wa uhuru hadi kuwa rais wa kwanza mwanamke Namibia 5 Disemba 2024 Viumbe vipya vya ajabu vya bonde la Congo 4 Disemba 2024 'Maiti zimetapakaa kila mahali' - wanakijiji wanaomboleza vifo vya watoto waliodondoshewa ...
null
Ndege adimu: Nusu jike, nusu dume amenaswa kwenye kamera Kuna kitu cha kipekee kuhusu ndege huyu ambaye mtaalamu wa ndege John Murillo alikiona katika Hifadhi ya Mazingira ya Don Miguel huko Colombia, karibu kilomita 10 kusini-magharibi mwa jiji la Manizales. Ndege mwitu aliyevutia macho yake - anajuulikana kama Green ...
null
Wanyama Viumbe vipya vya ajabu vya bonde la Congo 4 Disemba 2024 Nyangumi wa Urusi alivyokimbia mafunzo ya kijeshi 13 Novemba 2024 Mwamba mkubwa ulioua Dinosaria haukuwa peke yake 4 Oktoba 2024 Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha? 13 Septemba 2024 Hadithi ya "punda na tembo" ambao wametawala M...
null
Mazingira Viumbe vipya vya ajabu vya bonde la Congo 4 Disemba 2024 Ni ‘makombora’gani hayawezi kuua mara moja, yanaweza kuua baada ya muda 15 Novemba 2024 'Kufa kwa kiu': Athari ya mafuriko yaliyochanganyika na mafuta Sudan Kusini 12 Novemba 2024 Jinsi binti huyu mwanafunzi alivyoipenda miti 17 Oktoba 2024 Mahali pekee...
null
Wafahamu ndege wa Tanzania wanaokabiliwa na tisho la kuangamia Toka enzi za kale baadhi ya ndege wamekuwa wakitumika kama njia ya asili ya kutoa ishara kwa wakulima na wananchi wa jamii za kiafrika hasa Tanzania kuashiria kipindi cha masika au kiangazi. Miongoni mwa ndege hao ni Lesser Flamingo ambao wanapatikana nchin...
null
Uhifadhi (Maumbile na maliasili) Viumbe vipya vya ajabu vya bonde la Congo 4 Disemba 2024 Ni ‘makombora’gani hayawezi kuua mara moja, yanaweza kuua baada ya muda 15 Novemba 2024 Nyoka aliyezaa watoto 14 bila kupewa mimba na mwenza 28 Juni 2024 Ndege adimu: Nusu jike, nusu dume amenaswa kwenye kamera 13 Januari 2024 Ugu...
null
Maumbile Viumbe vipya vya ajabu vya bonde la Congo 4 Disemba 2024 Chumvi hufanya nini katika mwili wako? 15 Oktoba 2024 Mahali pekee ambapo nyangumi huja kutazama binadamu 12 Oktoba 2024 Mwamba mkubwa ulioua Dinosaria haukuwa peke yake 4 Oktoba 2024 Wanasayansi wanaeleza jinsi Dunia itakuwa na "Mwezi" wa pili kwa muda ...
null
Wanyama wanaoweza kusafiri mbali zaidi duniani Wanyama wengi hutembea maelfu ya maili kila mwaka kutafuta chakula, maji na kuzaana. Lakini ni vigumu kubaini ni mnyama yupi anatembea mwendo mrefu zaidi, kutokana na sababu mbili. Kwanza, baadhi yao husafiri kwa awamu, kumaanisha muda kamili wa kila "safari" unaweza kuhoj...
null
Ndege mwenye haya lakini hatari zaidi duniani - Author, Abdalla Seif Dzungu - Nafasi, BBC Swahili - Twitter, - Akiripoti kutoka Nairobi Kenya Si vigumu kufikiria kwamba ndege aina ya cassowaries wanatoka katika familia ya mababu ya dinosari. Ndege hawa wana haya na kwa kawaida ni vigumu kuwaona katika makazi yao ya asi...
null
Amerika ya Kusini Wahalifu wa Urusi walivyosaidia magenge ya dawa za kulevya Uingereza kutakatisha fedha 5 Disemba 2024 China, Urusi, Iran zinafaidika vipi kwa kumsaidia Nicolás Maduro kusalia madarakani nchini Venezuela? 24 Septemba 2024 Kwa nini Marekani iliikamata ndege ya Rais Maduro huko Dominika? 3 Septemba 2024 ...
null
Tapeli wa mapenzi alivyowalaghai wanawake pauni 80,000 Kundi la wanawake linawaonya wengine kufanya upelelezi kuhusu wenzi waliokutana nao kupitia programu za uchumba baada ya mikopo yenye thamani ya maelfu ya pauni kuchukuliwa kwa majina yao na mtu mmoja. Peter Gray, mwenye umri wa miaka 35, ambaye alikutana na wanawa...
null
Mwizi aliyeiba pesa za kidigitali arejesha dola milioni 260 akisema hana haja sana ya pesa Mvamizi aliyetekeleza wizi wa pesa nyingi za kidigitali hadi hii leo amerejesha karibu nusu ya kile kilichoibiwa dola milioni 600 (£ 433m). Siku ya Jumanne, kampuni iliyoathirika, Poly Network iliandika barua kwenye mtandao wa Tw...
null
Utapeli wa ustadi wa juu duniani unaojumuisha Wanigeria kwa kuzimiwa simu tu ‘’Nambari ya simu ya kampuni yangu imeunganishwa na akaunti ya benki ya kampuni yangu na simu hii ilizimwa ghafla jioni moja. Siku iliyofuata niliangalia akaunti ya benki na nikagundua kuwa mamilioni ya rupia zimehamishwa usiku mmoja kutoka kw...
null
Vita vya Ukraine: Jinsi wadukuzi wanavyojaribu kumhujumu Putin Kundi la Wanaharakati Wasiojulikana limekuwa likiishambulia Urusi mtandaoni tangu lilipotangaza "vita vya kimtandao" dhidi ya Rais Vladimir Putin ili kulipiza kisasi uvamizi wa Ukraine.Watu kadhaa wanaoendesha shughuli zao kwa ushirikiano na kundi hilo wame...
null
Kundi la Lazarus lilivyofanikiwa kuiba dola milioni 14 kutoka ATM kote ulimwenguni Fikiria wewe ni mtu wa kipato cha chini ambaye umepewa kazi ya siku kama ziada katika filamu ya Bollywood. Jukumu lako ni kwenda kwenye ATM na utoe pesa. Mnamo mwaka wa 2018, wanaume kadhaa katika jimbo la Maharashtra walidhani wangekuba...
null
Intaneti (Mtandao) Wahalifu wa Urusi walivyosaidia magenge ya dawa za kulevya Uingereza kutakatisha fedha 5 Disemba 2024 Mitandao ya kijamii inavyotumia data 'vibaya' kuonesha wavulana video za ngono 15 Septemba 2024 Muda mwafaka,bahati au talanta-kipi humfanya mtu kuwa bilionea? 29 Julai 2024 Je, bosi wa akili mnemba ...
null
Home News Sport Weather iPlayer Sounds 404 Not Found Sorry, we couldn’t find that page Check the page address or search for it below. BBC Homepage
null
What to expect We circulate your complaint in full with all the other reaction we receive overnight for producers and managers to read and consider. Please complain centrally in writing or we can’t guarantee you a reply. We investigate possible breaches of standards but won’t reply in detail to views and other comments...
null
Home News Sport Weather iPlayer Sounds 404 Not Found Sorry, we couldn’t find that page Check the page address or search for it below. BBC Homepage
null
Print a pdf of the Guidelines in English Print a pdf of the Guidelines in Welsh - Argraffu pdf o’r Canllawiau yn Gymraeg Forewords David Clementi, BBC Chairman *Chairman at the time of publication of the guidelines (2019). Chair is now Samir Shah. Tony Hall, BBC Director-General *DG at the time of publication of the gu...
null
Home News Sport Weather iPlayer Sounds 404 Not Found Sorry, we couldn’t find that page Check the page address or search for it below. BBC Homepage
null
BBC News Board The BBC News Group Board members are listed below: - Deborah Turness, CEO, News and Current Affairs - Jonathan Munro, Global Director and Deputy CEO, News and Current Affairs - Richard Burgess, Director, News Content - John McAndrew, Director, News Programmes - Naja Nielsen, Director, Digital, Channels a...
null
Printiwch y rhan hon yn Gymraeg The BBC is committed to achieving due accuracy in all its output. This commitment is fundamental to our reputation and the trust of audiences. The term ‘due’ means that the accuracy must be adequate and appropriate to the output, taking account of the subject and nature of the content, t...
null
Home News Sport Weather iPlayer Sounds 404 Not Found Sorry, we couldn’t find that page Check the page address or search for it below. BBC Homepage
null
Editorial Guidelines issues This guidance note sets out the considerations around the removal or amendment of our online content in response to complaints, errors, legal issues or possible breaches of Editorial Guidelines. It applies to text, audio-visual content and UGC material, both short and long-form, published on...
null
Home News Sport Weather iPlayer Sounds 404 Not Found Sorry, we couldn’t find that page Check the page address or search for it below. BBC Homepage
null
Explore more than 100 years of the BBC’s history – click on our interactive timeline or investigate a topical anniversary, unpack the story of fascinating objects from our varied collections, or go in-depth via one of our long-form articles. And tell us your memories of what the BBC means to you. - Attenborough at 70 S...
null
Mandatory Referrals are part of the BBC’s editorial management system. They are an essential part of the process to ensure compliance and must be observed. Referrals to Director Editorial Policy and Standards 3.2.1 Any proposal to rely on a single unnamed source making a serious allegation or to grant anonymity to a si...
null
Home News Sport Weather iPlayer Sounds 404 Not Found Sorry, we couldn’t find that page Check the page address or search for it below. BBC Homepage
null
Learn how the BBC is working to strengthen trust and transparency in online news The BBC is recognised by audiences in the UK and around the world as a provider of news that you can trust. Our website, like our TV and radio services, strives for journalism that is accurate, impartial, independent and fair. Our editoria...
null
Maisha (kwa maana ya mtindo wa kuishi) Unakosa usingizi? Kuandika orodha ya mambo ya kufanya kutakusaidia 7 Disemba 2024 Je, ni kwanini watoto wa miaka 6 hupata hedhi? 24 Novemba 2024 Ajuza wa Kiafrika mwenye miwani mikubwa na mtindo wa mavazi wa kipekee 19 Novemba 2024 Waridi wa BBC: Nimebadili maisha ya wanawake elfu...
null
Chakula Kwanini binadamu hufurahia kula kwa pamoja? 29 Novemba 2024 Video za mapishi ya kuchanganya 'mate' na 'mkojo 'katika chakula zaibua ghadhabu India 30 Oktoba 2024 Kinachotokea mwilini wakati unakula chakula haraka sana 20 Oktoba 2024 Je, mkate ni mbaya kwa afya yako? 19 Oktoba 2024 Chumvi hufanya nini katika mwi...
null
Kisukari: Unahitaji kujua nini kuhusu ugonjwa wa kisukari? Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa magonjwa ambayo yanaua watu zaidi ya milioni moja kila mwaka - na mtu yeyote anaweza kuupata. Husababishwa wakati mwili hauwezi kuchakata sukari (glucose) yote katika mfumo wa damu; matatizo yake yanaweza kusababisha mshtuko ...
null
Zifahamu njia nane za kupunguza matumizi ya sukari mwilini Tunafahamu kwamba matumizi ya sukari kwa kiasi kikubwa sio nzuri kwa afya yako. Utafiti umeonyesha kuwa utumiaji wa sukari nyingi huchangia magonjwa kama vile kunenepa kupita kiasi, ugonjwa wa moyo, kisukari cha aina ya 2, na kuoza kwa meno. Sukari asilia hupat...
null
Kisukari Ukigundua una dalili hizi 10 nenda ukapimwe maradhi ya Kisukari 15 Novemba 2024 Kinywa kinaashiria nini kuhusu afya ya miili yetu? 9 Disemba 2023 Dalili za kwanza za ugonjwa wa kisukari na maswali mengine 4 yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu ugonjwa huu 24 Novemba 2023 Zifahamu njia nane za kupunguza matumizi y...
null
Kisukari: Epuka vyakula ikiwa una kisukari Katika msururu wa kuadhimisha Siku ya Uelewa kuhusu ugonjwa wa Kisukari tunakupatia vidokezo vya namna kukabiliana na ugonjwa huo na jinsi ya kuulinda na jamii nzima. Idadi ya watu wenye kisukari duniani kote inakadiriwa kufikia milioni 422 lakini ukweli ni kwamba hata watoto ...
null
Donald Trump Putin aidhinisha muongozo mpya kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia 19 Novemba 2024 'Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao 17 Novemba 2024 Trump atafanya nini siku ya kwanza Ikulu? 13 Novemba 2024 Nani amejiunga na timu ya Trump na nani anahusishwa nayo? 12 Novemba 2024 Trump a...
null
Kwa nini Trump ni maarufu miongoni mwa Republican? Mpende au umchukie, amerudi. Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameimarisha ushawishi wake kama mgombea wa urais wa chama cha Republican 2024, kufuatia ushindi wa kishindo huko Iowa. Ushindi uliompa kura nyingi kuliko wagombea wengine wote kwa pamoja. Iwapo Trump ...
null
Biden v Trump: Wana mitazamo gani kuhusu Urusi, China, Ukraine na Israeli-Palestina? Wamarekani wanakaribia kumchagua rais wao ajaye, uchaguzi huo unafuatiliwa karibu kote ulimwenguni. Kwani sera za nje za Marekani, huathiri sehemu mbalimbali za dunia. Joe Biden na Donald Trump watakuwa na mjadala wa kwanza siku ya Alh...
null
Uchaguzi wa Marekani 2024 Habari Kuu Uchaguzi wa Marekani 2024: Ni lini tutajua nani ameshinda uchaguzi? Matokeo ya uchaguzi wa Marekani wakati mwingine hutangazwa ndani ya saa chache baada ya vituo kufungwa. Na katika baadhi ya kinyang'anyiro cha urais mshindi alitangazwa usiku wa siku ya uchaguzi, au mapema asubuhi i...
null
Huenda Trump akavuna mabilioni ya dola kupitia mtandao wake wa kijamii, kwa nini? Donald Trump anaonekana kuhangaika kutafuta pesa za kulipa faini ya ulaghai ya dola milioni 464. Je, soko la hisa linaweza kumuokoa? Trump Media, ambayo inasimamia mitandao wa kijamii Truth Social, iko tayari kujumuishwa kwenye soko la hi...
null
Wapenzi wa Jinsia Moja Kwanini kuna mgawanyiko katika Ligi ya Premia kuhusu uungaji mkono wa kampeni ya wapenzi wa jinsi moja? 5 Disemba 2024 Carlo Maria Viganò, askofu mkuu mkosoaji wa Papa Francis ambaye alitengwa na Vatican ni nani? 6 Julai 2024 'Tiba ya uongofu kwa wapenzi wa jinsi moja katika Kanisa Katoliki nchin...
null
'Tiba ya uongofu kwa wapenzi wa jinsi moja katika Kanisa Katoliki nchini Italia' Rosario Lonegro alikuwa na umri wa miaka 20 tu alipoingia katika seminari ya Kikatoliki huko Sicily akiwa kasisi anayejiandaa kutawazwa. Lakini alipokuwa huko alipendana na mwanamume mwingine na wakuu wake walimtaka afanyiwe tiba ya uongof...
null
Kwanini Kanisa Katoliki haliko tayari kutambua ndoa za wapenzi wa jinsia moja - Author, Edison Veiga - Nafasi, BBC News Brasil Tangazo kwamba Papa Francis amewaruhusu makasisi kuwabariki wapenzi wa jinsia moja ni maendeleo makubwa kwa watu wa LGBT+ katika Kanisa Katoliki la Roma. Lakini wataalam wanasema kwamba uamuzi ...
null
Kwa nini kanisa la Kiafrika linaipinga Vatican kuhusu suala la mapenzi ya jinsi moja? Taarifa ya kwamba Vatcan imeidhinisha baraka kwa wenzi wapenzi wa jinsia moja iligonga vichwa vya habari na kurasa za mbele za vyombo vyote vya habari hususan vya kimataifa. Uamuzi wa kihistoria ambao uliwashangaza Wakristo wengi wa K...
null
Changomoto za kuishi kama mpenzi wa jinsi moja katika nchi ya Kiislamu Huku Thailand ikichukua hatua ya kihistoria kukaribia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsi moja, jamuiya ya LGBTQ+ nchini humo wanaimbia BBC kuwa ingawa wanakaribisha hatua hiyo, bado kuna safari ndefu. "Naunga mkono mswada huo lakini kama ningekuwa na...
null
"Ngono ni marufuku": Uvamizi uliofanywa na polisi wa Urusi kwenye karamu kusaka "shughuli za wapenzi wa jinsi moja" Na Amalia Zatari &Anastasia Golubeva Jukumu, BBC Habari za Kirusi Mamlaka ya Urusi yana fuatilia kwa karibu tafrija za ngono zinazoandaliwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja baada ya Mahakama ya ...
null
Kwanini Uturuki inataka kujiunga na muungano wa kiuchumi unaoongozwa na Urusi na China? - Author, Selin Girit and Mahmut Hamsici - Nafasi, BBC World Service "Rais wetu amesema wazi, Uturuki inataka kushiriki katika majukwaa yote muhimu, ikiwa ni pamoja na BRICS," alisema Omer Celik, msemaji wa chama tawala cha Rais wa ...
null
Mzozo wa Ukraine: Jinsi Rais Erdogan anavyouma na kupuliza kwa ndimi mbili Huku vita vya Ukraine vikiendelea, Uturuki imetoka kuwa mshirika wa nchi za Magharibi hadi kuwa mshirika wa karibu na wa Urusi, katika kile ambacho wengi wanakielezea kuwa ni mchezo wa pande mbili. Mwanachama wa NATO na mshirika wa jadi wa Ukrai...
null
Türkiye : Nchi tano zilizobadilisha majina yake na ni kwanini Uturuki inataka dunia iite Türkiye. Umoja wa Matifa ulitangaza wiki iliyopita kwamba inaweza kubadili jina la na kuwa Türkiye. Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema kuwa jina jipya la nchi hiyo "litaonyesha taswira halisi ya utamaduni , ustaarabu na maadili a nc...
null
Uchunguzi wa machapisho ya uwongo kuhusu tetemeko la ardhi la Uturuki Saa chache baada ya tetemeko la ardhi lililokumba Uturuki na Syria, maudhui ya uongo na ya kupotosha yalianza kusambazwa mtandaoni. Picha na video kutoka kwa majanga yaliyofanyika kitambo katika nchi zingine zilishirikishwa mitandaoni na watu walioda...
null
Uturuki Je, Uturuki na Urusi zinaushughulikiaje mgogoro wa Syria, na tofauti zao ni zipi? 6 Disemba 2024 'Tunaishi kwa uoga' - utekaji wawatia hofu wakimbizi na waomba hifadhi Kenya 8 Novemba 2024 Fahamu sakata la uhamisho wa Victor Osimhen 6 Septemba 2024 Wapiganaji wanaoondoka katika vita Syria na kuwa mamluki Afrika...
null
EDP Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Real Madrid yavutiwa na mshambuliaji wa Chelsea Cole Palmer 10 Disemba 2024 Kwanini nyota wa Westham huvalia jezi yenye muundo tofauti? 26 Novemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumanne 12.11.2024 12 Novemba 2024 Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 11.11.2024 11 Novemba 2024 Je, Arsenal wana tati...
null
Jinsia 'haipaswi kuwa kizuizi' katika kuwafundisha wanaume soka - Author, Kelvin Kimathi - Nafasi, BBC Sport Africa - Akiripoti kutoka Nairobi Jackline Juma anaweka historia kama mwanamke wa kwanza kufundisha timu ya wanaume katika ligi kuu ya Kenya - lakini bado anatakiwa kukabiliana na ubaguzi wa kijinsia pembezoni m...
null
Tanzania 'Baadhi ya watu waliniambia nimemtoa kafara mwanangu ili nipate pesa' 11 Disemba 2024 Miaka 63 ya uhuru: Hapa ndipo Watanzania walitaka kuwa? 9 Disemba 2024 'Ninajuta kuwekeza kihisia na kiuchumi katika mahusiano ambayo hayakudumu' 4 Disemba 2024 Waridi wa BBC: Maisha ya uyatima utotoni yalinifanya niwahudumie...
null
Mabadiliko ya Tabia Nchi Ni ‘makombora’gani hayawezi kuua mara moja, yanaweza kuua baada ya muda 15 Novemba 2024 'Kufa kwa kiu': Athari ya mafuriko yaliyochanganyika na mafuta Sudan Kusini 12 Novemba 2024 Kwa nini 'upande mchafu' wa kimbunga unaweza kuwa na nguvu 50% zaidi kuliko 'upande msafi' 29 Septemba 2024 Kipini:...
null
Afya ya kiakili Unakosa usingizi? Kuandika orodha ya mambo ya kufanya kutakusaidia 7 Disemba 2024 Kwa nini ni vigumu kusema ‘hapana?’ 16 Novemba 2024 Ubongo wa nzi kuleta mafanikio katika kuuelewa ubongo wa binadamu 4 Oktoba 2024 Je, unaujua mtindo mpya wa maisha wa kufanya kazi kidogo na kupumzika sana? 9 Agosti 2024 ...
null
Sayansi: Kwa nini tunaweza kuota katika lugha zaidi ya moja? Na Sophie Hardach, BBC Uzbekstan Inatokea kwamba usingizi una jukumu kubwa katika kujifunza lugha kuliko tulivyofikiri hapo awali. Je, hii inaweza kufichua nini kuhusu ubongo wetu tunapolala? Nilipoanza kuandika makala hii, nilikuwa na ndoto ambayo inalingana...
null
Je, mwangaza huathiri usingizi au ni dhana tu? Wajua kwamba wazo kuwa taa wakati wa usiku huzuia usingizi ni uongo? Wanasayansi ambao wamekuwa wakichunguza mwangaza bora zaidi kuleta usingizi wamesema. Kulingana na watafiti kutoka chuo kikuu cha Manchester, mwangaza wa rangi ya samwati sio shida. Matokeo hayo tata yana...
null
Kwa nini wanandoa wengi huchagua kulala vitanda tofauti? - Author, Fernanda Paul - Nafasi, BBC Yote yalianza baada ya kusambaa kwa virusi vya Corona. Mkoromo ukawa hauvumiliki na Cecilia 35 hakupata usingizi. Alikuwa akimsukuma mwenzake, akijaribu kumfanya ageuke ili aache kukoroma, lakini jitihada hizo zilishindikana....
null
Usingizi Unakosa usingizi? Kuandika orodha ya mambo ya kufanya kutakusaidia 7 Disemba 2024 Je, unaujua mtindo mpya wa maisha wa kufanya kazi kidogo na kupumzika sana? 9 Agosti 2024 Kwa nini wanandoa wengi huchagua kulala vitanda tofauti? 14 Februari 2024 Kwa nini baadhi ya watu huhisi uchovu kila wakati? 4 Februari 202...
null
Je, unaujua mtindo mpya wa maisha wa kufanya kazi kidogo na kupumzika sana? - Author, Holly Williams - Nafasi, BBC Wazo la kutofanya chochote kwa mwaka mzima limekaaje? Yaani hakuna kufanya kazi, hakuna kutuma au kupokea barua pepe, hakuna kujiendeleza kitaaluma, hakuna kujitahidi au kujituma au kusaka mafanikio. Kwa w...
null
Kwa nini baadhi ya watu huhisi uchovu kila wakati? Na Sandy Ong BBC Future Kwa baadhi ya watu , haijalishi wamelala kiasi gani, bado watahisi uchovu na kupungukiwa nguvu kidogo, hii inatokana na nini? Kwa kawaida mara nyingi, mimi huwa ni mtu wa kawaida, hasa linapokuja suala la kulala. Ninajiandaa kwa ajili ya kulala ...
null
Akon: Mafanikio yananiwezesha kufuatilia asili yangu Afrika Nyota wa RnB Akon amekuwa kwenye biashara ya muziki kwa takriban miaka 20. Na mwimbaji huyo wa mwenye uraia wa Senagal na Marekani anasema hatimaye ameweza kuanza kujitengenezea muziki. Mwanamuziki huyo ambaye alizaliwa Marekani Marekani, katika maisha yake ya...
null
Kwanini Bollywood bado inatengeneza filamu zenye 'kudhalilisha wanawake na mawazo ya kizamani' Bollywood, tasnia maarufu ya filamu ya Kihindi nchini India, mara nyingi hufafanuliwa kama ulimwengu wa mwanamume. Ni jambo ambalo limekuwa likizungumzwa kwa muda mrefu, lakini sasa utafiti mpya unaonyesha jinsi usawa wa kiji...
null
Mkutano wa siri uliojaribu kuzuia vurugu za muziki wa kufoka - Author, Ian Youngs - Nafasi, BBC News World Kabla ya mvutano wa waimbaji wa kufoka foka (rapa) kutoka mashariki na magharibi katika miaka ya 1990 kuchemka na mauaji ya Tupac Shakur na Notorious BIG, mtayarishaji mashuhuri wa muziki Quincy Jones aliitisha mk...
null
Tazama: Msanii wa Tanzania Dipper Rato anavyopania kukuza mziki wa Rege Tazama: Msanii wa Tanzania Dipper Rato anavyopania kukuza mziki wa Rege Mwanamuziki wa Rege nchini Tanzania Dipper Bonaventure Kivuyo almaarufu ‘Dipper Rato’ amedhamiria kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwenye muziki huo kutokana na kutopewa ...
null
Je ,video ya Diddy akimshambulia mpenzi wake wa zamani itatia kaburini umaarufu wake kwenye hip hop? Picha za video za CCTV zilithibitisha kile ambacho watu wengi katika tasnia ya muziki walijua kilikuwa kikisubiriwa: kipindi cha kuporomoka kwa wasanii wa hip-hop wenye ushawishi mkubwa katika historia. Klipu za Sean "D...
null
Hip-hop: Eve awaelezea wanamuziki wa kike ambao walibadilisha tasnia - Author, Mark Savage - Nafasi, Mwandishi wa Habari za Muziki, BBC Hip-hop inaweza kuonekana kama ulimwengu wa wanaume, lakini wanawake wamekuwepo tangu mwanzo. sherehe maarufu ya Bronx iliyozalisha wasanii hao iliandaliwa na Cindy Campbell , mwanafun...
null
Ney wa Mitego: Wakati mwingine sipewi vibali hata nikiandaa matamasha yangu Ney wa Mitego: Wakati mwingine sipewi vibali hata nikiandaa matamasha yangu Mashabiki wake hupenda kumuita 'rais wa kitaa', Emmanuel Elibariki, maarufu Nay wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa muziki nchini Tanzania ambaye tungo zake mara kadha...
null
Bob Marley na mambo ambayo hukuyafahamu kumhusu - Author, Aaron Akinyemi - Nafasi, BBC News Filamu mpya, One Love, inaadhimisha maisha na kazi ya mwanamuziki nguli wa reggae wa Jamaica, Bob Marley. Filamu hiyo inaeleza safari ya mwanamuziki huyo kutoka utotoni mwake hadi umaarufu mkubwa na inaangazia hadithi na matukio...
null
Tazama: 'Hii sio ngoma bali ni dhikiri' Tazama: 'Hii sio ngoma bali ni dhikiri' Kikundi maarufu cha ngoma cha Twalikadiria maarufu kwa jina la Chunda Mkoani Morogoro kinaendelea kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na mtindo wake wa kuimba na kucheza ngoma tangu mwishoni mwa miaka ya 90 Kikundi hiki kinaundwa na wanaume ...
null
Miaka 35 bila Franco: Mjadala wa kumuenzi nguli wa rhumba DRC waendelea Na Mbelechi Msochi Kinshasa Leo Oktoba 12, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Afrika na dunia wanamkumbuka mwanamuziki nguli na kiongozi wa bendi ya TPOK Jazz, Franco Luambo Luanzo Makiadi aliyefariki dunia miaka 35 iliyopita akiwa na umri wa miaka 5...
null
P-Square: Jinsi nyota maarufu wa Afrobeat walivyojikuta katika hali ya kutengena tena Wakiwa mapacha walioimba pamoja P-Square, walitawala muziki wa Afrobeat nchini Nigeria kwa miaka mingi na walikuwa moja ya vikundi vya kwanza kueneza muzikii huo katika sehemu nyingine za bara. Kuvunjika kwa kundi hilo kati ya pacha P...
null
‘Napenda kazi yangu initambulishe kuliko kiki’ - Phina, Mwanamuziki wa Tanzania ‘Napenda kazi yangu initambulishe kuliko kiki’ - Phina, Mwanamuziki wa Tanzania Msanii wa Tanzania Saraphina maarufu kama @phina_tz amekuwa akikua kimuziki tangu alipoachia kibao chake kinachopendwa na wengi katika uga wa Afrika Mashariki n...
null
Ni nini huwafanya mashabiki kuwarushia vitu wasanii jukwaani? Fikiria kuwa unacheza jukwaani mbele ya maelfu ya watu, na unashangaa mtu fulani katika hadhira anapokutupia kitu. Ni kama vile kumekuwa na video inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii kila wikendi, inayomuonesha mdau akiwarushia wasanii vitu ya ajabu na to...
null
Oscar Academy Awards: Mambo 11 unayohitaji kujua kuhusu Tuzo za 96 Kumekuwa na hamu kubwa katika sekta ya filamu katika mwaka mmoja uliopita hasa kuhusiana na filamu kama vile Super Mario ambayo ilivutia watazamaji wengi kwenye sinema , na vile vile neno la utani la BABENHEIMER lilitokea sana kwenye mitandao, huku fila...
null
Kiongozi wa zamani wa genge la wahalifu ashtakiwa kwa mauaji ya Tupac Kiongozi wa zamani wa genge la wahalifu nchini Marekani amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya mwanamuziki nyota Tupac Shakur, yaliyotokea mwaka 1996. Tupac alipigwa risasi akiwa katika gari yake katika jiji la Las Vegas, akiwa na miaka 25 tu. Tukio hilo...
null
Orodha kamili ya washindi wa Tuzo za Oscar 2024 Wasanii bora wa Hollywood wametuzwa kwa vinyago vya dhahabu katika Tuzo za Oscars huko Los Angeles' Dolby Theatre. Hii hapa orodha kamili ya washindi, pamoja na walioteuliwa. Picha bora Mshindi: Oppenheimer - American Fiction - Anatomy of a Fall - Barbie - The Holdovers -...
null
Idris Elba: Kwa nini ninapanga kuhamia Afrika? - Author, Thomas Naadi - Nafasi, BBC Mwigizaji wa Uingereza Idris Elba ameiambia BBC kwamba atahamia Afrika ndani ya muongo mmoja ujao, ikiwa ni sehemu ya mipango yake ya kusaidia tasnia ya filamu barani humo. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 52, ana mpango wa kujenga studi...
null
Ma-DJ wa kike wa Iran wanaotumbuiza na kuvunja miiko Ngoma za watu wa jinsia tofauti ni kinyume cha sheria nchini Iran lakini hata hivyo zinafanyika - mbali na macho ya polisi wa maadili - na baadhi ya ma-DJ wa kike wanaochezesha na umati pia wanavunja miiko na kuvuka mipaka ya kitamaduni. Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979...
null
‘Dawa za kulevya zilinipoteza, mke wangu akanisaidia kubadilika’ - Mr. Blue ‘Dawa za kulevya zilinipoteza, mke wangu akanisaidia kubadilika’ - Mr. Blue Mwanamuziki wa kizazi kipya ‘Bongo flava’ Herry Sameer Rajab almaarufu kama Mr. Blue ameongea kuhusiana na safari yake ya muziki na maisha yake kwa ujumla, huku akikiri...
null
Je, Akili Bandia(AI) inaweza kuchukua nafasi ya DJ kwenye ukumbi wa burudani? Hebu tafakari uko kwenye ukumbi wa burudani, muziki unavuma na taa zinawaka. Unatazama eneo analofanyia kazi DJ lakini hakuna mtu, kwa sababu ni mchanganyiko wa muziki ulioandaliwa kwa kutumia tenknolojia ya Akili Bandia. Huku programu za kis...
null
Arnold Schwarzenegger: Ningekuwa rais mzuri wa Marekani "Nenda kwenye helicopta." "Nitarudi." Ni saa tano asubuhi mjini London na Arnold Schwarzenegger ni mtu anayejua watu wanataka nini. Ninapouliza ikiwa mgomo wa waigizaji unaoendelea unamaanisha kwamba mimi nitalazimika kufanya tungo zake anazozifahamu zaidi, hakusi...
null
Msani Ney wa Mitego afungiwa kufanya maonesho Tanzania Msanii Emmanuel Elibariki maarufu kama ‘Nay wa Mitego’ wa Tanzania amefungukiwa kufanya matamasha nchini humo kutokana na wimbo wake wa ‘Amkeni’. Ingawa hakusema amefungiwa kufanya matamasha kwa muda gani, Wakili wa Msanii huyo, Jebra Kambole ameithibitishia BBC kw...
null
Amka Na BBC, Amka Na BBC Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Vipindi vya Redio Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Disemba 2024, Muda 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Listen...
null
Amka Na BBC, Amka Na BBC Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Vipindi vya Redio Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Disemba 2024, Muda 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Listen...
null
Amka Na BBC, Amka Na BBC Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Vipindi vya Redio Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 12 Disemba 2024, Muda 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Listen...
null
Kwanini binadamu hufurahia kula kwa pamoja? - Author, Veronique Greenwood - Nafasi, BBC Kwa miongo sasa, wanadamu wamekuwa wakikusanyika kwa vikundi vidogo kula chakula pamoja. Kwa nini ni muhimu – na kwa nini tunaendelea na mila hii? Kula chakula pamoja ni jambo la kawaida sana kwa wanadamu. Mikusanyiko ya chakula na ...