name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Mustakabali wa Hezbollah ni upi? Zaidi ya wiki moja baada ya kusitishwa kwa makubaliano ya kumaliza uhasama kati ya Lebanon na Israel kuanza kutekelezwa, swali la msingi linazuka: Je, ni nini kinafuata kwa Hezbollah? Jibu la swali hili linategemea vipengele vingi, kuanzia tathmini ya vita vya hivi karibuni na matokeo y...
null
'Sisi si wanajeshi - kwa nini wanatushambulia?' - Author, Orla Guerin - Nafasi, BBC News World Wakati shambulio la anga lilipotokea, Mohammed alikuwa akiwagawia chakula cha moto majirani zake watu wazima – amekuwa akifanya hivyo yeye na marafiki zake tangu Israel ilipovamia Lebanon tarehe 1 Oktoba. Ni mhandisi wa ujenz...
null
Naim Qassim: Mfahamu kiongozi mpya wa Hezbollah Hezbollah imetangaza uteuzi wa Amin Qassem kama katibu mkuu wa chama, kumrithi Hassan Nasrallah, mwezi mmoja baada ya mauaji yake katika uvamizi wa Israel ambao ulilenga makao makuu ya uongozi wa kundi hilo kusini mwa mji mkuu wa Lebnon, Beirut mwishoni mwa Septemba. Naim...
null
"Kuumaliza utawala wa Khamenei ni chaguo pekee la Israeli katika mgogoro wake na Iran" - Yedioth Ahronoth Katika uchanganuzi wa magazeti ya leo, tutajadili makala kadhaa, ikiwemo inayosema kuwa chaguo pekee kwa Israeli katika mgogoro wake na Iran ni kuumaliza utawala wa Khamenei, na nyingine inahusu fursa inayopatikana...
null
Mzozo wa Israel na Palestina: Kwanini wimbi jipya la mzozo Jerusalem na Gaza halikuweza 'kuepukika'? Wimbi jipya la ghasia limekumba Israel na ukanda wa Gaza, huku matatizo ya jadi kati ya Wayahudi na Waarabu ambayo yameendelea kuathiri eneo hilo yakikosa utatuzi. Ni kidonda kilicho wazi katikati mwa eneo la mashariki ...
null
Mzozo wa Israel na Palestina: Wanajeshi wa Israel waendelea kukabiliana na wapiganaji wa Kipalestina Makabiliano kati ya wanamgambo wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na jeshi la Israeli yameongezeka sana, na umoja wa mataifa umeonya kuhusu uwezekano wa kutokea "vita kamili". Zaidi ya makombora 1,000 sasa yamerushwa na...
null
Msikiti wa Al-Aqsa: Fahamu umuhimu wa eneo hili la ibada linalogombaniwa na Waislamu na Wayahudi Jerusalem Mataifa mbalimbali duniani yanatoa matamko ya kuwataka Waisraeli na Wapalestina kuwa watulivu baada ya siku kadhaa za vurumai ambazo zimesababisha vifo na watu kujeruhiwa. Marekani, Uingereza na Umoja wa Ulaya ni ...
null
Israel ina mpango wa kutaka kuitwaa Gaza kaskazini - Gazeti la The Guardian Magazeti kadhaa ya Kiarabu, Uingereza na Marekani yaliangazia matokeo ya kurejea kwa Donald Trump katika kiti cha urais nchini Marekani kwa eneo la Mashariki ya Kati. Katika muktadha huu, Makala haya yanaangazia kuhusu hofu ya Israel kunyakua a...
null
Ushindi wa Trump unamaanisha nini kwa Ukraine, Mashariki ya Kati na China Kurudi kwa Donald Trump ikulu kunatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sera za mambo ya Nje za Marekani katika maeneo mengi nyeti, huku vita na wasiwasi vikiwa vinaikumbua dunia. Wakati wa kampeni yake, Trump alitoa ahadi za kisera, mara nyi...
null
Hatua ya Mwanamfalme Mohammed bin Salman wa Saudia kuitetea Iran dhidi ya Israel ina maana gani? Sio kitambo sana, utetezi wa Muhammad bin Salman kwa "uhuru wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran" dhidi ya uwezekano wa mashambulizi ya Israel ulionekana kutowezekana. Saudi Arabia haikuwa tu inajaribu kusimama mbele ya Iran, bal...
null
Matumaini na mashaka: Mashariki ya Kati ikisubiri kurejea kwa Trump - Author, Frank Gardner - Nafasi, BBC News World Wakati viongozi wa mataifa kadhaa ya Kiarabu na Kiislamu wakikusanyika katika mji mkuu wa Saudia kwa mkutano wa kilele, kuna swali juu ya muhula wa pili wa Trump kwa eneo hilo. Kinyume kabisa na hofu ili...
null
Kutoka Vietnam hadi Iran: Nani na kwa namna gani Korea Kaskazini ilisaidia kupambana Na Evgeny Buntman BBC Idhaa ya Kirusi Bunge la Urusi lililofahamika kama State Duma limeidhinisha mkataba wa "ushirikiano wa kimkakati wa kina" na Korea Kaskazini. Hati hii ina kifungu cha kutoa usaidizi wa kijeshi wa pande zote katika...
null
Mjane wa kiongozi wa IS afichua maisha aliyoishi na mumewe Katika mahojiano nadra kutoka gerezani, mjane wa kiongozi wa kundi la Islamic State ameelezea maisha yao. Umm Hudaifa alikuwa mke wa kwanza wa Abu Bakr al-Baghdadi na aliolewa naye huku akisimamia utawala wa kikatili wa IS kwenye sehemu kubwa za Syria na Iraq. ...
null
Hezbollah yasema italipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano Kundi la Hezbollah la Lebanon limesema katika taarifa yake siku ya Jumatano kwamba Katibu Mkuu wa kundi hilo, Hassan Nasrallah, atatoa hotuba siku ya Alhamisi, kufuatia milipuko ya vifaa vya mawasiliano kote Lebanon siku ya Ju...
null
Tunachojua kuhusu kijiji cha Syria kinachoweza 'kuchochea vita kati ya Israel na Hezbollah' Wakati Hizbollah ikikanusha kuhusika na shambulio la kijiji cha Majdal Shams katika eneo la Milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu, Israel inaendelea kulishutumu kundi la waasi la Lebanon kwa kuua watu 12 na kujeruhi makumi, na ...
null
Kwa nini Iran haina haraka kuisaidia Hezbollah? Wiki iliyopita, Hezbollah nchini Lebanon imekumbwa na msururu wa mashambulizi ambayo hayajawahi kushuhudiwa ambayo baadhi ya watu wanasema yamesababisha mgogoro mkubwa zaidi wa kundi hilo katika miongo minne. Kwanza, vifaa vya mawasiliano vya kikundi hilo – ‘pagers’ na ‘w...
null
Israel na Wahouthi: Je, makabiliano yao yamefikia kiwango hatari? Katika jibu la hivi punde la Israel dhidi ya kuendelea kwa mashambulizi ya Wahouthi dhidi ya Tel Aviv, Israel imepanua shabaha yake katika mkoa wa Hodeidah wa magharibi mwa Yemeni, ikilenga kile ilichosema kuwa ni maeneo na vituo vinavyotumiwa na wanamga...
null
Je, Biden hatimaye ataweza kuizuia Iran?" - Jarida la Wall Street Magazeti ya kimataifa yalitoa maoni yake kuhusu mashambulizi ya Marekani ambayo yalilenga maeneo saba ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini Syria na Iraq siku ya Ijumaa, kulingana na taarifa ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani. Jarida la Wall Street,...
null
Je, Hezbollah ina uwezo gani wa kijeshi na inaweza kuanzisha vita vikubwa dhidi ya Israel? Jeshi la Israel lilisema kuwa ndege yake ilishambulia kwa ghafla maelfu ya mitambo ya kurusha roketi za Hezbollah kusini mwa Lebanon siku ya Jumapili, baada ya kupata taarifa kwamba kundi hilo la wanamgambo lilikuwa linajiandaa k...
null
Tunachojua kuhusu Mohammad Reza Zahedi, Jenerali wa Iran aliyeuawa Syria Saa tano usiku wa Jumatatu, jengo la ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus lilikumbwa na mashambulio ya anga ya Israel, na kusababisha vifo na majeruhi, kulingana na Wizara ya Habari ya Syria, ambayo iliishutumu Israel kwa "kuanzisha mashambulizi y...
null
Je, Iran inapanga nini juu ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya wapiganaji wake nchini Syria, Iraq na Yemen? Iran imethibitisha kuwa haitaki kuingia katika vita dhidi ya Marekani, lakini imeahidi kujibu kwa nguvu mashambulizi yoyote dhidi ya ardhi yake au dhidi ya maslahi yake katika Mashariki ya Kati. Rais wa Iran Ebr...
null
Kifo kwenye kivuko cha kuingia Uingereza - ni nini kilisababisha mvulana wa miaka 14 kufanya safari ya kifo? Na Andrew Harding BBC News Usiku aliozama, Obada Abd Rabbo mwenye umri wa miaka 14 alikuwa na mashaka kwa mara nyingine tena. “Siwezi kuogelea,” aliendelea kuwaambia wanaume waliokuwa karibu naye, huku wakijisog...
null
Wahamiaji 'Tuliambiwa alikufa kutokana na njaa' 2 Disemba 2024 Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, kwanini watafuta hifadhi wa Afrika wana wasiwasi? 30 Oktoba 2024 Mfanya magendo afichua namna anavyowasaidia watu kufika Ulaya 29 Oktoba 2024 'Kufa au kupona': Juhudi za mtu huyu kutaka kufika visiwa vya Canary 14 Oktoba 2024 ...
null
Matangazo Wafanyakazi wahamiaji Mataifa 5 ambayo yatakusaidia kujua chimbuko la ukoo wako 26 Novemba 2024 Watu wa kujitolea wanaingia shimoni Afrika Kusini kuwasaidia wachimba madini 15 Novemba 2024 Jimbo la Marekani linalowavutia raia wa kigeni kwa pato kubwa 2 Novemba 2024 Mwanaume mmoja aambiwa yeye si Muingereza ba...
null
Jinsi wahamiaji kutoka Afrika wanavyohatarisha maisha kuingia Ulaya "Nilisema kwaheri kwa familia yangu na nikaondoka bila kitu chochote," anaeleza Mohamed, mwenye umri wa miaka 30 kutoka Morocco. Akizungumza na chombo cha utangazaji cha Uhispania RTVE, alitoa maelezo juu ya jinsi alivyojiunga na wahamiaji wengine weng...
null
Kuna mifupa ya watu katika mpaka hatari wa Afrika Kusini - Author, Jenny Hill - Nafasi, BBC News, Musina Wahamiaji wengi wanahatarisha maisha yao kufika Afrika Kusini, wakifanya safari ya hatari kuvuka mpaka kutoka Zimbabwe. Hukimbia umaskini na kukata tamaa katika nchi zingine za Afrika - hujihisi hawana chaguo. Lakin...
null
Ni njia zipi hatari zaidi za wahamiaji duniani? Maafa mawili mabaya ambayo yameathiri watu wanaojaribu kuvuka mipaka ya kimataifa katika muda wa siku chache. Siku ya Ijumaa, takriban watu 23 walikufa wakati umati mkubwa ulipojaribu kuvuka uzio wa mpaka kutoka Morocco na kuingia katika eneo la Melilla Afrika Kaskazini n...
null
Wasiwasi huku Rwanda ikijiandaa kuwasili kwa wahamiaji wa Uingereza Na Barbara Plett Usher Mwandishi wa BBC Africa, Rwanda Makazi ya Hope Hostel nchini Rwanda yako tayari kupokea wahamiaji wasiotakiwa kutoka Uingereza kwa siku 664. Sasa, baada ya Bunge la Uingereza kuidhinisha sheria hiyo, serikali ya Rwanda inataka ku...
null
Miaka 24 ya Mkutano wa Afrika na China, Afrika itarajie kuambulia nini? - Author, Sammy Awami - Nafasi, BBC Swahili - Akiripoti kutoka Tanzania Leo (Alhamis) Rais wa China Xi Jinping atafungua mkutano wa tisa kati ya China na Afrika huko Beijing. Ukijulikana kama Forum on China–Africa Cooperation (FOCAC), mkutano huu u...
null
Waafrika Kusini bado wanapambana na 'ubaguzi wa kiuchumi' miaka 30 baada ya uhuru Chumba cha Jamelah hapo awali kilikuwa chumba cha kuhifadhia maiti; Faldilah ilikuwa bafu; Bevil's - ofisi ya daktari ambapo alikuja kuchukua dawa yake ya ugonjwa wa kisukari. Wote wamechuchumaa katika hospitali iliyoharibika katika mji w...
null
Maelfu ya waandamanaji wasisitiza kuondolewa kwa Muswada wa fedha wa 2024 jijini Nairobi Na Abdalla Seif Dzungu BBC Swahili Makabiliano makali yamezuka katikati ya mji wa Nairobi na viungani mwake baada ya polisi kukabiliana na waandamanaji wanaopinga muswada wa fedha wa 2024 na kuwatawanya. Umati wa waandamanaji uliok...
null
Julius Malema: Mwanasiasa anayeiongoza EFF katika uchaguzi wa 2024 wa Afrika Kusini Julius Malema ana sifa ya kukiuka mipaka. Chama alichokijenga karibu miaka 11 iliyopita, kimekua na sasa ni chama cha tatu kwa ukubwa nchini Afrika Kusini. Uhai wa chama chake, ulioambatana na itikadi kali, umewatia moyo Waafrika Kusini...
null
Kwanini Marekani ndio inayoongoza kwa utalii 2024? - Author, Lindsey Galloway - Nafasi, BBC Baada ya changamoto ya usafiri kutokana na janga la corona, watalii wa kimataifa wanatarajiwa kufikia viwango vya kabla ya janga la uviko 19 mwaka 2024. Hata hivyo kukua kwa safari za kimataifa ni jambo ambalo bado halina uhakik...
null
Mgomo wa madaktari Kenya: Umma ulivyobaki njia panda Vitanda vingi katika wadi ya wazazi ya Hospitali ya Kihara Level 4 nje kidogo ya mji mkuu wa Kenya, Nairobi, havina watu. Ni tatu tu ambazo zilizo na watu kati ya zaidi ya dazeni. Muuguzi mmoja anasema hospitali hiyo haiwapokei wanawake wanaohitaji upasuaji kwa vile ...
null
Ufanye nini ukipoteza ajira ghafla? Kutoka Hyderabad, Ganesh ni mfanyakazi wa kampuni inayohusika na masuala ya TEHAMA. Ametumikia kampuni hiyo kwa takriban miaka 15, alipanda wadhifa hadi kiwango cha meneja. Kuna kifurushi cha takriban rupia laki 30 kila mwaka. Kumekuwa na mabadiliko katika ndoa, watoto, masomo na mti...
null
Je, uchaguzi wa Marekani unaweza kubadilisha dunia kwa jinsi gani? - Author, Na Liz Doucet - Nafasi, Mwandishi mkuu wa habari za Kimataifa - BBC Wakati Rais wa Marekani Joe Biden alipoitembea Kyiv mnamo Februari 2023 katika ziara ya kushtukiza kuonyesha mshikamano na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky, za ving’ora ...
null
Jinsi nguvu ya Gen Z ilivyomlazimu rais wa Kenya kunyenyekea Matukio ambayo yalisababisha William Ruto kuachana na bajeti yake huenda baadaye yakaonekana kama wakati muhimu, sio tu kwa rais wa Kenya lakini pia kwa nguvu ya vijana katika bara changa zaidi duniani. Kupitia nguvu ya maandamano, yaliyoandaliwa kwa kiasi ki...
null
Kutekwa nyara na kusafirishwa mara mbili - maisha ya mfanyabiashara wa ngono nchini Sierra Leone Isata, mama asiye na mwenzi mwenye umri wa miaka ishirini, ni kielelezo cha kutisha cha maisha ya wafanyabiashara wa ngono nchini Sierra Leone. Amepigwa, ameibiwa, ametekwa nyara, amesafirishwa hadi nchi nyingine, ameokolew...
null
Rais wa Kenya apata pigo mara mbili katika mipango yake ya kodi Basillioh Rukanga na Jewel Kiriungi BBC News, Nairobi Bila shaka Rais wa Kenya William Ruto anajihisi kukwama - baada ya kupata pigo jingine kwa mipango yake ya kuongeza ushuru kwa serikali yake yenye ukosefu wa fedha na inayolemewa na madeni. Baada ya maa...
null
Viza ya Dhahabu ni nini na kwa nini ina utata? Uhispania inakusudia kuondosha mpango wa Viza ya Dhahabu, ambayo hutoa makazi ya kudumu na ya haraka kwa raia kutoka nje ya Jumuiya ya Ulaya badala ya uwekezaji mkubwa wa kifedha. Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez alisema, hatua hiyo inalenga "kuhakikisha kuwa suala l...
null
Mpatakuva: Majani yanayotumika kama mbadala wa karatasi za chooni Afrika na Marekani - Author, Soo Min Kim - Nafasi, BBC Je, majani ya mpatakuva ama Plectranthus barbatus (boldo) kwa lugha ya kiengereza, ni mbadala endelevu kwa karatasi za gharama kubwa za chooni katika bara la Afrika? Martin Odhiambo, mtaalamu wa miti...
null
Kwanini rais wa Kenya anataka wananchi wampende mtoza ushuru - Author, Basillioh Rukanga - Nafasi, BBC News, Nairobi Wakenya wanaendelea kuelewa ukweli na maana ya msemo wa zamani kwamba kodi, pamoja na kifo, ndio vitu viwili pekee vyenye uhakika katika maisha. Hii ni kwa sababu Rais William Ruto anajaribu kuwashawishi...
null
Kwanini baadhi ya nchi Afrika zinakabiliwa na uhaba wa umeme? - Author, Ladislas Didier Lando - Nafasi, BBC Chad, Guinea, Niger, Mali, na nchi nyingine nyingi za Afŕika Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa zimekuwa zikikabiliwa na uhaba wa nishati kwa miezi kadhaa. Kulingana na ripoti ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati (IEA) ili...
null
Mtanziko wa ANC katika kuamua mustakabali wa Afrika Kusini - Author, Farouk Chothia - Nafasi, BBC Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC), kinakabiliwa na kizungumkuti juu ya mustakabali wa nchi hiyo baada ya kupoteza idadi kubwa ya wabunge katika uchaguzi wa wiki iliyopita. Kimeshinda kwa...
null
Kwa nini kuporomoka kwa ANC ni ishara mbaya kwa vyama vya ukombozi Afrika? - Author, Danai Nesta Kupemba - Nafasi, BBC Chama kikongwe zaidi cha ukombozi barani Afrika kiko taabani na huenda kikapotea kama vyama vingine vya aina hiyo barani Afrika. Chama cha African National Congress (ANC) - kilichoanzishwa nchini Afrik...
null
Bilionea ahukumiwa kifo kwa ulaghai wa dola bilioni 44 nchini Vietnam Ilikuwa ni kesi ya kuvutia zaidi kuwahi kutokea nchini Vietnam, ikihusisha mojawapo ya ulaghai mkubwa zaidi wa kibenki ambao Vietnam haijawahi kuona. Ndani ya ukumbi mzuri wa mahakama ya tangu enzi ya ukoloni katika Jiji la Ho Chi Minh, mfanyabiashar...
null
Majengo ya Kariakoo: Serikali ya Tanzania yatakiwa kuchukua hatua kali kuepusha majanga - Author, Na Alfred Lasteck - Nafasi, BBC Swahili Wataalamu wa ujenzi nchini Tanzania wamezitaka mamlaka nchini humo kuzingatia na kutekeleza yale yanayoshauriwa na tume zinazoundwa kuchunguza hali ya majengo yaliyopo Kariakoo na ka...
null
'Tunahitaji muujiza' - Uchumi wa Israeli na Palestina ulivyoathiriwa na vita Na Wyre Davies, BBC News Jerusalem Vita vya Gaza ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miezi sita vimekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Israeli na Palestina. Takriban shughuli zote za kiuchumi huko Gaza zimesitishwa na Benki ya Dunia inasema vita hiv...
null
Rais wa Kenya akabiliwa na wakati mgumu baada ya siku ya umwagaji damu Baada ya siku ya maandamano, ghasia na umwagaji damu, Rais wa Kenya William Ruto alihutubia taifa kwa ujumbe wa huzuni na wenye nguvu. Akisema maandamano "halali" dhidi ya sera zake "yametekwa nyara na kundi la wahalifu waliopangwa," alionya serikal...
null
Je, kwa nini wafanyakazi wengi wa China wanalengwa na kuuawa duniani kote? Oktoba 6, raia wawili wa China waliuawa na wengine 10 kujeruhiwa katika shambulio la bomu la kujitoa muhanga nje ya uwanja wa ndege wa Karachi nchini Pakistan. Jeshi la Ukombozi la Balochistan (BLA) limedai kuhusika na shambulio hilo, ikiwa ni m...
null
Ligi Kuu England: Wachezaji kutoka Afrika watafanya nini msimu huu? - Author, Ian Williams - Nafasi, BBC Sport Africa Baada ya kipindi chenye shughuli nyingi cha michuano ya Ulaya, Copa America na Olimpiki, sasa mashabiki wa soka barani Afrika kwa mara nyingine tena wanaelekeza macho yao kwenye Ligi Kuu ya England. Msi...
null
Chanjo ya Malaria - Maswali ambayo hayajajibiwa Watafiti na wataalamu wa afya wamekua wakisherehekea hatua ya Shirika la Afya Duniani kuidhinisha utumizi wa chanjo ya kwanza ya malaria. Huku zaidi ya watoto 260,000 walio na umri wa chini ya miaka mitano wakifariki kutokana na malaria kila mwaka katika eneo la Kusini mw...
null
Dhahabu, gharama ya bidhaa, na nafasi za kazi: Ni masuala yapi muhimu katika uchaguzi wa Ghana? Ghana inatazamiwa kupata rais mpya baada ya uchaguzi wa Disemba. Makamu wa rais wa sasa, Mahamudu Bawumia, na mkuu wa zamani wa nchi, John Mahama, ndio wagombea wawili wanaoongoza katika kinyang'anyiro cha kushinda uchaguzi ...
null
Kwa nini mihogo inaweza kutumika kupunguza gharama ya juu ya chakula Katika mfululizo wa barua zetu kutoka kwa waandishi wa habari wa Afrika, mwanahabari wa Ghana Elizabeth Ohene anazingatia wito wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa watu kula mihogo huku bei ya ngano ikipanda duniani kote. Kuna mboga kuu mbili za mizi...
null
Cherif Souleymane: Nilikuwa mchezaji pekee mweusi Ujerumani Mashariki Wakati Cherif Souleymane alisafri kutoka Guinea hadi Ujerumani Mashariki kusomea usanifu mwaka 1962 akiwa na umri wa miaka 17, hakujua kuwa ndani ya mwaka mmoja angefikia kuibadilisha soka nchini Ujerumani. Sio tu alikuja kuwa raia wa kwanza wa Guine...
null
Ghana inavyotumia vitu vilivyochakatwa katika ujenzi na kutengeneza bidhaa nyingine Tunaendelea kuangazia taarifa kuhusu masuala ya maji, usafi, kote barani Afrika. Leo tunaiangazia Ghana, ambayo huzalisha zaidi ya tani milioni moja za takataka za plastiki kila mwaka, lakini ikichata chini ya 6% ya takataka hizo. Ziliz...
null
Virusi vya Marburg ni nini? Watu wawili nchini Ghana wamefariki dunia baada ya kuambukizwa virusi vya Marburg - na 98 wamewekwa karantini - huku kukiwa na hofu ya kuzuka kwa ugonjwa huo unaoambukizana sana. Dalili za ugonjwa huo ni pamoja na kikohozi, maumivu ya viungo, kuhara na kutapika, na mara nyingi hata upungufu ...
null
Agnes Mba: Msichana wa miaka 9 anayetambaa kilomita moja kila siku kwenda shule Msichana wa miaka tisa Agnes Mba ambaye amekuwa akitambaa kwa kilomita moja hadi shule kila siku. Alikishangaza Kijiji kizima alipoamka siku moja , na kuvalia sare za shule na kuanza kutambaa kwa magoti kwenda shule ili kutimiza ndoto yake....
null
Jinsi baadhi ya nchi za Afrika zinavyotegemea nishati kutoka Uturuki Zaidi ya watu milioni 100 barani Afrika wanakabiliwa na ukosefu wa nishati ya umeme huku tatizo la nishati likiendelea kuathiri mataifa tofauti ya bara hilo. Mahitaji ya nishati yanapoongezeka, baadhi ya nchi zinageukia vyanzo vingine kama vile Kampun...
null
Ziara ya Kamala Afrika: Je Marekani inaweza 'kupora'' ushawishi wa China Afrika? Na Anne Soy, BBC Kwanza alikuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyefanya ziara Afrika, lakini sasa ni makamu wa rais na baadaye mwakani rais mwenyewe wa Mraekani, Joe Biden anatarajiwa kuja Afrika. Mfulululizo wa ziara hizi kwa viongo...
null
Watoto wa Ghana wachukuliwa kwa nguvu kutoka makazi yao kwa madai ya uongo ya kuwasafirisha Uchunguzi wa BBC Africa Eye umeibua wasiwasi mkubwa kuhusu mojawapo ya mashirika makubwa duniani ya kupambana na utumwa na operesheni zao za Afrika Magharibi. Operesheni ya Kimataifa ya Haki (IJM) ilikusanya zaidi ya pauni milio...
null
Je,huyu ndiye mtu mrefu zaidi duniani? Niliposikia fununu za mshindani mpya wa mwanaume mrefu zaidi duniani kaskazini mwa Ghana, niliamua kujua kama ni kweli. Tatizo pekee? Kumpima. Hospitali ya eneo la kaskazini mwa Ghana ilimwambia Sulemana Abdul Samed mwenye umri wa miaka 29 wakati wa uchunguzi wake wa hivi majuzi k...
null
Je, mkopo wa dola bilioni tatu wa IMF utatatua mgogoro wa kiuchumi wa Ghana? Ghana, mojawapo ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu na kakao duniani, inakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi kuwahi kutokea, huku bei ya bidhaa ikipanda kwa wastani wa asilimia 41 mwaka uliopita. Nchi hiyo sasa imetia saini mpango mpya wa ...
null
'Ngome ya kwanza ya watumwa wa Uingereza barani Afrika' yagunduliwa - Author, Na Favour Nunoo - Nafasi, BBC News Pidgin, Ghana Mahali halisi ya kile kinachodhaniwa kuwa ngome ya kwanza ya watumwa wa Uingereza barani Afrika huenda imepatikana - BBC imekuwa ikiangazia juu ya umuhimu wa ugunduzi huo nchini Ghana. Kwa uang...
null
Kutana na jamii ya watu nchini Ghana ambao Mbwa na Paka ni kitoweo kizuri Kwa watu wengi wanyama wa kufugwa majumbani ni marafiki ndani ya nyumba, lakini baadhi ya Waghana huwatumia wanyama paka na mbwa kama chakula maalum. ''Joseph'' jina maarufu la nyama ya paka nchini Ghana. Watu wa mkoa wa Volta nchini humo wanataz...
null
Ghana ya kwanza kuidhinisha chanjo ya malaria 'inayobadilisha ulimwengu' - Author, James Gallagher - Nafasi, Health and science correspondent Ghana ni nchi ya kwanza kuidhinisha chanjo mpya ya malaria ambayo imeelezwa kuwa "mabadiliko ya ulimwengu" na wanasayansi walioitengeneza. Chanjo inayoitwa R21 - inaonekana kuwa ...
null
Christian Atsu wa Ghana alikuwa na 'moyo wa kipekee' Mwana wa mvuvi, Christian Atsu hakuwahi kunaswa na mitego ya umaarufu. Mwanzo wake duni ulimaanisha kuwa kiungo huyo wa Ghana, ambaye alikufa katika tetemeko la ardhi la hivi karibuni lililoharibu Uturuki na Syria, hakupoteza kamwe tamaa ya kutumia mafanikio yake kus...
null
Imamu achangia $8,000 kwa ajili ya ujenzi wa kanisa Imamu mkuu wa Ghana, Shehe Osman Sharubutu amechangia zaidi ya $8,000 (£5,800) ili kusaidia ujenzi wa kanisa kuu la kitaifa lenye utata. Ghana ina historia ya kuwa na mahusiano mazuri ya amani ingawa hatua ya kiongozi wa dini kuchangia fedha nyingi kwa imani nyingine ...
null
Kuanzia Dos Santos hadi Mugabe - mizozo ya mazishi ya viongozi wa zamani Afrika Hii ni kuhusu mizozo inayozuka kuhusu maeneo ya mwisho ya kupumzisha miili ya viongozi wa Afrika lakini haimaanishi kuwa kutakuwa na utata kuhusu mahali pa kupumzika kila rais wa barani Afrika anapofariki . Mwandishi wa BBC amefuatilia mzoz...
null
Wagonjwa wa Ghana wapo hatarini kwani wauguzi wanaelekea NHS nchini Uingereza - madaktari Kuajiriwa kwa wauguzi na nchi zenye mapato ya juu kutoka mataifa maskini "kuko nje ya udhibiti", kulingana na mkuu wa moja ya vikundi vikubwa zaidi vya wauguzi duniani. Maoni hayo yanakuja wakati BBC inapata ushahidi wa jinsi mfum...
null
Jinsi benki kuu ya Ghana ilivyopoteza $5bn kwa mwaka mmoja - Author, Thomas Naadi - Nafasi, BBC News, Accra Ghana - ambayo wakati mmoja ilijivunia kuwa mafanikio ya kiuchumi barani Afrika - inakabiliwa na mzozo wa kifedha ambao haujawahi kutokea. Wiki hii, mamia ya waandamanaji waliingia barabarani katika mji mkuu wa A...
null
Ubunifu na Mitindo ya Mavazi Ajuza wa Kiafrika mwenye miwani mikubwa na mtindo wa mavazi wa kipekee 19 Novemba 2024 Ni nani hugharamia mavazi ya viongozi wa dunia na wenzi wao? 16 Septemba 2024 Sare za 9 za kuvutia zitakazovaliwa na wachezaji katika Olimpiki 2024 25 Julai 2024 Nthenya Mwendwa: Jinsi Tuzo za Oscar ziliv...
null
Wanaume wapenzi wa jinsia moja walichapwa na umeme ili ''kutibu hali zao'' chuoni " Baadhi ya nyaya za umeme kwa mara ya kwanza zilifungwa kwenye miguu yangu. " walikuwa wakinipiga na umeme na kuendelea kufanya hivyo kwa kila baada ya sekunde 15 au 30 ." John,ambaye sio jina lake halisi , alipitia mateso ya kupigwa na ...
null
Kasisi anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja: 'Nililia nilipolipata kanisa hili' - Author, Esther Ogola - Nafasi, BBC News, Kenya Kanisa moja nchini Kenya limekuwa likiendesha shughuli zake kisiri kwa muongo mmoja uliopita. Halitangazi huduma zake katika nchi hiyo ya kihafidhina kwa sababu inawapokea washirika ambao ni w...
null
Unene kupita kiasi hudhoofisha uwezo wa kukumbuka Watu wanene kupita kiasi wana kumbu kumbu mbaya zaidi kuliko wenzao wembamba zaidi, utafiti mdogo umeonyesha. Uchunguzi uliofanywa kwa watu 50 ulionyesha kwamba kuwa mmene kupita kiasi kulikua na uhusiano na '' kumbu kumbu ya msururu wa matukio " ama uwezo wa kukumbuka ...
null
Mfahamu kiongozi mkuu wa dini nchini Iran Ayatollah Ali Khamenei Ayatollah Ali Khamenei ndiye kiongozi wa dini mbali na kuwa kiongozi mkuu wa utawala wa Iran. Yeye ndiye anayefanya uamuzi wa mwisho kuhusua msawala ya kisiasa nchini Iran. Akijulikana kama kiongozi mkuu wa taifa hilo , Ayatollah Khamenei mara ka mara ame...
null
Fahamu mashirika ya ujasusi yenye uwezo mkubwa duniani Wataalamu wa usalama wanapozungumza kuhusu kulinda nchi, kipaumbele chao cha kwanza ni kuwa na wakala imara wa kijasusi. Ndio maana nchi kote ulimwenguni hutumia pesa nyingi zaidi kusasisha na kukuza uwezo wao . Ujasusi ndio 'kiini tete' cha kila nchi na ujasusi wa...
null
Uhamiaji: Kwanini Uingereza inataka kuwapeleka waomba hifadhi Rwanda? Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly anatia saini mkataba mpya wa uhamiaji na Rwanda ili kujaribu kushughulikia wasiwasi kuhusu mpango wa serikali wa kuwapeleka wanaotafuta hifadhi nchini humo. Mwezi Novemba mwaka huu, Mahakama ya Juu...
null
Upinzani ni hatari nchini Urusi lakini wanaharakati hawajakata tamaa - Author, Sarah Rainsford - Nafasi, Mwandishi wa BBC Ulaya Masharikii Kufuatia kifo cha kiongozi wa upinzani wa Urusi Alexei Navalny, mfungwa mwingine wa kisiasa anajaribu kuweka hai matumaini ya mabadiliko - hata kutoka gerezani. "Uhuru unagharimu sa...
null
Wafahamu 'vigogo' wa Idara za ujasusi wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani Wataalamu wa usalama wanapozungumza kuhusu kulinda nchi, kipaumbele chao cha kwanza ni kuwa na wakala Shirika imara wa kijasusi. Ndio maana nchi zote duniani hutumia pesa nyingi zaidi kuyawezesha kisasa na kuimarisha uwezo wa mashirika haya ya K...
null
Kinachojulikana kuhusu kifo cha Alexei Navalny, mwanasiasa wa Urusi ambaye alimpinga Putin Toleo rasmi linasema kwamba Ijumaa wiki hii Alexei Navalny alifanya matembezi mafupi katika gereza Siberia ambapo alifungwa, alisema alijisikia vibaya, kisha akaanguka na hakupata tena fahamu. Mpinzani huyo mkuiu wa Rais Vladimir...
null
Wanawake wakaidi wa Iran: 'Sasa Ninavaa kile ninachopenda' Mwanamke wa umri wa makamo anatembea barabarani mjini Tehran, nywele zake hazijafunikwa, suruali yake ya jeans ikiwa imechanika. Wachumba ambao hawajafunga ndoa wanatembea wakiwa wameshikana mikono. Mwanamke akiinua kichwa chake alipoombwa avae hijab na polisi ...
null
Matukio: Kwa nini Navalny alikuwa mpinzani mkuu wa Putin? 2007 - Kutokana na matumizi yake ya ustadi wa mitandao ya kijamii katika mfumo wa blogu, Alexei Navalny anapata umaarufu kwa kuweka kumbukumbu za uwekezaji wake katika kampuni za mafuta zinazomilikiwa na serikali, kutafuta ushahidi wa ufisadi. Muda mfupi baadaye...
null
'Ngome 12 za siri': Jinsi CIA inavyoisaidia Ukraine kupambana na Putin - NYT Kwa zaidi ya miaka 10, Marekani imedumisha ushirikiano wa siri wa kijasusi na Ukraine, ambao sasa ni muhimu kwa nchi zote mbili katika kukabiliana na Urusi, limeandika gazeti la The New York Times la Marekani , baada ya kuhoji vyanzo 200 katik...
null
Afya: Kwanini baadhi ya watu hawapungui uzito hata kwa mazoezi na lishe? Watu ambao ni wanene au wazito wanalalamika kwamba hawawezi kupunguza uzito licha ya lishe na mazoezi, au hawawezi kudhibiti uzito wao. Sababu ya hilo ni nini? Mtu anaposikia neno 'mafuta, ongezeko la uzito, au kunenepa,’ jambo linalokuja akilini ...
null
Kiongozi Mkuu wa Iran: Ni nani anayeweza kumrithi Ayatollah Ali Khamenei? Uvumi wa hivi karibuni juu ya afya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, umezua gumzo juu ya nini kitatokea ikiwa atakuwa mgonjwa sana kutawala, au kufa. Kiongozi huyo mweye umri wa miaka 81- ana mamlaka ya juu zaidi ya kisiasa katika...
null
Afya: Kwanini watoto wengi wana unene wa kupindukia? India imekuwa ikiongoza kwa muda mrefu katika orodha ya nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watoto wenye utapiamlo duniani. Sasa inazidi pia kuripoti viwango vya kutisha vya kunenepa kwa watoto ambavyo, wataalam wanasema, vinaweza kuwa janga ikiwa suala hilo halitashughu...
null
Jinsi maisha yalivyokuwa kwa wanawake nchini Iran kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu "Niliona picha nyingi za bibi yangu kutoka kabla ya mapinduzi, yeye akiwa na pazia na mama yangu akiwa na sketi ndogo, wakiishi kwa amani, bega kwa bega." Anachokumbuka Rana Rahimpour, mtangazaji wa Iran-Uingereza kwenye idhaa ya BBC ya Ki...
null
Mjane wa Navalny 'mwenye msimamo na jasiri' - Author, Robert Greenall - Nafasi, BBC News Yulia, mke wa Alexei Navalny, kwa muda mrefu aliishi kwa faragha akisisitiza kuwa jukumu lake kuu lilikuwa la mke na mama sio mwanasiasa. Lakini kutokana na kifo cha mume wake siku ya Ijumaa na wito wake wa hisia kali ya kutaka hak...
null
Kithure Kindiki: Wakili wa Ruto ICC ndiye Naibu Rais mpya wa Kenya - Author, Yusuf Jumah - Nafasi, BBC Swahili - Twitter, - Akiripoti kutoka Nairobi Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani nchini kenya Proffesa Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa naibu rais mpya wa kenya. Kithure Kindiki anachukua mahala pake Rigathi Ga...
null
Jinsi rais muinjilisti wa Kenya alivyokosana na makanisa Imani ya Kikristo ya William Ruto imekuwa msingi wa maisha yake binafsi na safari yake ya kisiasa. William Ruto, ambaye alikua rais wa Kenya miaka miwili iliyopita akipata kura nyingi za Wakristo, ameonekana kushtushwa na kugundua kuwa katika miezi michache iliyo...
null
Miaka 63 ya uhuru: Hapa ndipo Watanzania walitaka kuwa? - Author, Ezekiel Kamwaga - Nafasi, Mchambuzi Desemba 9 mwaka 1961 - mambo makubwa mawili yalifanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika; Mosi ilikuwa ni kushusha chini bendera ya mkoloni na kupandisha ya taifa huru na wakati huohuo kupandisha Mweng...
null
Kuvuja kwa video za ngono kunaweza kuwa vita ya mamlaka nchini Equatorial Guinea Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya video za ngono inaweza kuwa sehemu ya hiki kilichoshuhudiwa hivi karibuni katika maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea. Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita,...
null
Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani Tanzania waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba' - Author, Sammy Awami - Nafasi, BBC Swahili Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo. Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia...
null
Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, kwanini watafuta hifadhi wa Afrika wana wasiwasi? Daktari wa Congo, Yves Kaduli, anasema aliikimbia nchi yake baada ya kutekwa nyara na kuteswa. Kutokana na ongezeko la idadi ya Waafrika wanaotafuta hifadhi na wahamiaji wa kiuchumi nchini Marekani, uchaguzi ujao wa rais unaweza kuunda upy...
null
Je, hiki ndicho kilichomponza Gachagua? - Author, Sammy Awami - Nafasi, BBC Dar es Salaam Mahakama Kuu nchini Kenya imeamua kuwa Kithure Kindiki anaweza kuapishwa kuwa Naibu Rais Mpya baada ya kutupilia mbali ombi la Naibu wa Rais aliyeondolewa madarakani Rigathi Gachagua. Wakati likitoa uamuzi huo, jopo la majaji wata...
null
Maandamano ya baada ya uchaguzi ya Msumbiji yanaendelea huku kukiwa na wito wa mazungumzo Na Evelin Uachave na Alex Wright Msumbiji imekumbwa na maandamano mabaya ya wiki kadhaa kuhusu uchaguzi wa urais wa tarehe 9 Oktoba, ambao umefichua kutoridhika kwa umma na utawala wa nchi hiyo. Maandamano hayo yalianza tarehe 21 ...
null
Donald John Trump alizaliwa mwaka 1946 mjini Queens huko New York Marekani. Ni mwana wa nne kati ya ndugu zake watano, alikuwa na ndugu wawili - Fred Jr na Robert - na ndugu wawili wa kike, Maryanne na Elizabeth. Elizabeth ndiye ndugu yake pekee aliye hai. Baba yake mzazi Fred aliendesha kampuni ya ujenzi iliyopata ufa...
null
Kwanini wapigaji kura wanavipa kisogo vyama tawala barani Afrika? - Author, Nic Cheeseman - Nafasi, Mchambuzi Afrika Chama tawala cha Namibia, Swapo, kimeendelea kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30, hata hivyo ushawishi wake umepungua mno-ikiwa ni nchi ya hivi punde zaidi ya Afrika ambapo viongozi walio madarakani wa...
null
Ni nini kinachosababisha wimbi la vurugu nchini Msumbiji? BBC Africa Digital BBC News Wanajeshi na polisi wanashika doria katika barabara za mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, huku wafuasi wa upinzani wakipinga matokeo yenye utata ya uchaguzi wa mwezi uliopita . Polisi walirusha mabomu ya machozi katika umati wa waandamanaj...