name
stringclasses
429 values
text
stringlengths
0
767k
null
Mapungufu na mbinu za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vinavyoakisi Uchaguzi Mkuu Tanzania - Author, Sammy Awami - Nafasi, BBC Swahili - Akiripoti kutoka Tanzania Siku moja kabla Watanzania hawajaenda kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, wadadisi wa uchaguzi huo wanasema utamaduni wa kuwapuuza wananachi kat...
null
'Kwa nini nilitumia ada yangu ya chuo kikuu kwenye vita vya TikTok vya Somalia' Ukikagua vizuri miamala ambayo Zara hufanya inaonyesha ametumia maelfu ya dola kwenye TikTok. Zara, sio jina lake halisi, ana umri wa miaka 20, anaishi Marekani na ana asili ya Kisomali. Alivutiwa na kipengele cha majibizano mubashara mtand...
null
Nyakati tofauti za maisha ya Harris na Trump ambazo huzifahamu Katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi, wapiga kura nchini Marekani wamekuwa wakikutana na picha za wagombea wawili - wakizungumza kwenye jukwaa, wakisalimiana na umati wa watu na kushuka ngazi za ndege. Huu hapa ni mtazamo tofauti utakaokufahamisha w...
null
'Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao Aleem Maqbool Mhariri wa Masuala ya dini Akiwa amesimama kwenye jukwaa katika kituo cha mikutano cha Florida usiku wa uchaguzi, safu ya bendera za Marekani nyuma yake na umati wa watu wenye furaha wakitazama, Donald Trump alisema: "Watu wengi wameniamb...
null
Matokeo ya uchaguzi Marekani 2024: Mzaliwa wa Kenya ashinda kiti cha ubunge katika uchaguzi wa Marekani Na Dinah Gahamanyi BBC News Swahili Mmarekani mzaliwa wa Kenya, Huldah Momanyi ameweka historia kwa kujinyakulia kiti katika Baraza la Wawakilishi katika jimbo la Minnesota. Momanyi, 39, anakuwa mwanasiasa wa kwanza ...
null
Nani amejiunga na timu ya Trump na nani anahusishwa nayo? Donald Trump amefanya kazi ya kwanza rasmi ya utawala wake unaoingia madarakani, akimtaja mkuu wa wafanyakazi, kushughulikia mipaka, balozi wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa shirika la ulinzi wa mazingira. Timu ya mpito ya rais mteule inawachunguza wagombea kabla y...
null
Je, nchi hii itafuata nyayo za Tanzania kumpata Rais wake wa kwanza mwanamke? - Author, Frauke Jensen - Nafasi, BBC News, Windhoek Iwapo siasa za Nambia zinazoendelea kuchacha na matumaini ya chama tawala yatazaa matunda, taifa hilo litachagua rais wa kike wa kwanza wiki hii. Hata hivyo, hisia za kutokuwa na imani na h...
null
'Jezi za mpira wa miguu imekuwa kitu cha anasa' Kombe la Dunia la FIFA la 2022 la Wanaume sio tu kwamba ndilo ghali zaidi kuwahi kutokea kwa wenyeji Qatar: mashabiki ulimwenguni kote wanaotaka kununua jezi mfano wa timu zao za kitaifa wanazozipenda lakini wanalazimika kugharamika zaidi. Katika baadhi ya nchi, hiyo inam...
null
Kombe la Dunia Qatar 2022: Kwa nini kuna muda mwingi wa ziada unaoongezwa? Tuna siku mbili pekee katika Kombe hili la Dunia na tayari tunaona mtindo fulani unaondelezwa: Muda wa ziada Mechi hizo nne hadi sasa zimeongezwa takriban dakika 65 kati yao, na mechi ya England dhidi ya Iran ikidumu kwa dakika 117 na sekunde 16...
null
Qatar Kwanini Qatar imeshindwa kuipatanisha Israel na Hamas? 15 Novemba 2024 Kwa nini Qatar imeruhusu uwepo wa ofisi ya Hamas nchini mwake? 25 Aprili 2024 Mechi kati ya Messi na Ronaldo inatoa taswira gani kwa mustakabali wa michezo 19 Januari 2023 Samia Suluhu Hassan aingia kwenye orodha ya watu wenye ushawishi mkubwa...
null
Kombe la Dunia 2022: Wachezaji 17 waliozaliwa Afrika wanaoyawakilisha mataifa nje Afrika Na Dinah Gahamanyi BBC News Swahili Huku mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yakiendelea nchini Qatar, maswali yamekuwa yakiibuka, mijadala imekuwa ikiibuka hususan miongoni mwa baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu wa...
null
Kombe la Dunia 2022 Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 08.08.2024 8 Agosti 2024 Lionel Messi: Nguli wa soka nchini Argentina atacheza wapi msimu ujao? 6 Aprili 2023 Mechi kati ya Messi na Ronaldo inatoa taswira gani kwa mustakabali wa michezo 19 Januari 2023 Waafrika, Waarabu au Amazigh? Mgogoro wa utambulisho wa Morocco 21...
null
Wakenya wahadaiwa kuwa walaghai wa 'mapenzi' bila kujua Katika msururu wa barua zetu kutoka kwa wanahabari wa Kiafrika, Waihiga Mwaura kutoka runinga ya Citizen ya Kenya anaangazia jinsi Wakenya wanavyotapeliwa na mashirika ya magendo yanayojifanya kuwa mawakala wa kuajiri. Ikiwa kitu kinaonekana kuwa kizuri sana fikir...
null
Mwanamke ambaye picha zake zilizoibiwa zilivyotumiwa kuwalaghai wanaume maelfu ya pesa Kwa zaidi ya muongo mmoja, picha zilizoibwa za nyota wa zamani zimetumiwa kuwalaghai waathiriwa maelfu ya dola. Je, unahisije kuwa uso usiojua wa matapeli wengi wa mapenzi? Takriban kila siku, Vanessa hupokea ujumbe kutoka kwa wanaum...
null
Familia Kwa nini ni vigumu kusema ‘hapana?’ 16 Novemba 2024 Je, kuna hatari gani ya mwanaume kuzaa uzeeni? 16 Oktoba 2024 Waridi wa BBC: Nimebadili maisha ya wanawake elfu 10 kwa taulo za bure 16 Oktoba 2024 'Mwanangu anajua sauti ya mabomu kuliko anavyojua sauti za wanasesere' 15 Oktoba 2024 “Mtoto wetu wa kiume alifa...
null
Matangazo Ndoa Mimi sio mjinga, nimeamua kuzungumza-mwanamke aliyelaghaiwa kimapenzi kwa miaka tisa 21 Oktoba 2024 'Mchumba wangu mtarajiwa kutoka Kenya alinilaghai pauni elfu 85' 5 Septemba 2024 'Afadhali kumuoza binti yangu kuliko majambazi wamuibe' 29 Mei 2024 Waridi wa BBC: ‘Nimewafunda wanawake 700, sitaki yeyote ...
null
Waliokuwa wakitafuta wapenzi mtandaoni walaghaiwa karibu dola miliojni 7 Wanaume wanane wa Nigeria wanaotuhumiwa kwa kashfa ya ulaghai wa uchumba kupitia mtandao wameshtakiwa katika korti ya Afrika Kusini baada ya operesheni kubwa ya kimataifa iliyohusisha FBI na Interpol. Mamlaka nchini Marekani ambapo uchunguzi ulian...
null
Samia Suluhu Hassan Je, nchi hii itafuata nyayo za Tanzania kumpata Rais wake wa kwanza mwanamke? 27 Novemba 2024 Rais Samia aagiza majengo yote Kariakoo kukaguliwa; waliofariki wafikia 13 18 Novemba 2024 Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania? 25 Septemba 2024 Je, maandama...
null
Thamani ya sarafu ya Bitcoin yaongezeka mara dufu Thamani ya sarafu za kielektroniki-Bitcoin imeongezeka na kufikia $ 34,000 (£ 24,850) kwa mara ya kwanza siku ya Jumapili. Sarafu hiyo imeweka ongezeko la karibu dola 5,000, ingawa licha ya kuwa bei ilikuwa imeshuka hadi karibu $ 33,000, kwa mujibu wa mtandao wa Coindes...
null
Je Tanzania iko tayari kwa matumizi ya sarafu ya kidijitali? Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa nchi hiyo kujiandaa kutumia ya sarafu za mauzo ya mtandaoni, maarufu Bitcoin. Moja kwa moja Ambia Hirsi Hofu yakumba kijiji cha Afrika Kusini kinachodaiwa kuwa na almasi Kundi kubwa la watu limekusanyika ka...
null
F-35: Ndege hatari zaidi ya kivita duniani yatumiwa na Israel Israel imesema kwamba imetumia ndege za kivita zenye uwezo wa kukwepa mitambo ya rada ambazo zimetengenezewa Marekani kwa mara ya kwanza katika vita. Ni mara ya kwanza kwa ndege hiyo kutumiwa vitani pahala popote duniani. Ndege hiyo ilitumiwa katika opereshe...
null
Netanyahu aishambulia Iran akiita "chui milia hatari" Waziri mkuu wa Israel ameishambulia vikali Iran akiuambia mkutano wa ulinzi huko Munich kuwa Iranana tisho kubwa kwa dunia yetu. Benjamin Netanyahu alisema kuwa "Israel haitaruhusu Iran kuiweka kamba ya ugaidi kwenye shingo lake. Bw Netanyahu alifananisha makubalian...
null
Avgdor Lieberman: apinga kusitishwa mapigano Israel, ajiuzulu Waziri wa Ulinzi wa Israel amejiuzulu kufuatia uamuzi wa Baraza la Mawazi la nchi yake kukubali kusitishwa mapigano yaliyodumu kwa siku mbili na wapiganaji wa Palestina ukanda wa Gaza. Avgdor Lieberman ameishutumu hatua hiyo na kuiita kama ni kusalimu amri k...
null
Trump ameutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel Rais Trump amefanya maamuzi ya kihistoria ya kuipindua sera za miaka mingi ya Marekani kwa kuutambua mji wa Yerusalem kuwa ndio mji mkuu wa Israel. Rais huyo pia ametangaza kuwa Ubalozi wa Marekani utahamishwa kutoka katika eneo la sasa la Tel Aviv kwenda Yerusalem. Am...
null
Kwa nini baadhi ya Wakorea Kaskazini wanataka kupigana na Urusi nchini Ukraine? Kundi la waasi wa Korea Kaskazini walioko Korea Kusini wanatetea misheni ya uthubutu na ambayo haijawahi kushuhudiwa: kusafiri hadi mstari wa mbele nchini Ukraine na kuwasaidia wanajeshi wa Korea Kaskazini waliotumwa huko. Wanasema ujuzi wa...
null
Korea Kusini Mwanamke aliyempokonya bunduki mwanajeshi Korea Kusini na kuwa ishara ya kukataa sheria ya utawala wa kijeshi 6 Disemba 2024 Je, rais wa Korea Kusini aliyetangaza amri ya kijeshi anayekumbwa na kashfa ni nani? 4 Disemba 2024 Kwanini rais wa Korea Kusini alitangaza ghafla sheria za kijeshi? 4 Disemba 2024 K...
null
Kwaheri hadi kesho Na hapa ndio mwisho wa matangazo ya moja kwa moja, tukutane kesho. Makundi hayo yanasema makadirio hayo yanatokana na taarifa kutoka hospitali, makaburi, mashahidi katika uwanja huo, familia za wahanga, misikiti, makanisa na vyombo vya habari vya ndani. Na Asha Juma, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah N...
null
Korea Kusini yahofia kushambuliwa na Kaskazini kwa mtindo wa Hamas Siku ya Jumapili, wakati Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol alipomkaribisha Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin nyumbani kwake kwenye chakula cha jioni, alimtaka Bw Austin kuwa macho dhidi ya aina yoyote ya mashambulizi ya Korea Kaskazini, ikiwa n...
null
Ufisadi Je, rais wa Korea Kusini aliyetangaza amri ya kijeshi anayekumbwa na kashfa ni nani? 4 Disemba 2024 Sababu za kutaka kumuondoa madarakani naibu rais wa Kenya 2 Oktoba 2024 Saa za mwisho za Sheikh Hasina kama dikteta aliyechukiwa 7 Agosti 2024 Sura mpya za maandamano - Wanamapinduzi wa Kenya wa Gen Z wanaopinga ...
null
Mitandao ya Kijamii Australia: Je, marufuku ya watoto kutumia mitandao, itawezekana? 21 Novemba 2024 'Kwa nini nilitumia ada yangu ya chuo kikuu kwenye vita vya TikTok vya Somalia' 1 Novemba 2024 Tajiri mpya wa China: Je, muanzilishi wa TikTok ni nani? 30 Oktoba 2024 Unatumia WhatsApp bure: Je, mtandao huo unapataje pe...
null
Mapenzi: Kwa nini vijana wa sasa hawataki uhusiano wa muda mrefu Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 wanaitwa Generation Z kwa lugha ya kingereza...
null
Je,urafiki una manufaa kuliko mapenzi? Imethibitishwa kuwa uhusiano wa kimapenzi unaweza kuboresha afya yako na hata kukusaidia kuishi maisha marefu. Lakini je, urafiki huleta manufaa sawa? Benny Shakes anapaswa kugawa nguvu yake linapokuja suala la marafiki zake. "Ninaghairimikutano na marafiki kila wakati," anakiri. ...
null
Mwanamke ajioa baada ya kukosa mchumba Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mchumba kwa muda mrefu. May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan ameambia BBC kwamba anaugua ugonjwa huo lakini hajakubali sababu hiyo kuhujumu ndoto yake ya kuolewa. ''Nimekuwa nikisubiri mt...
null
Valentines Day: Je, unatafuta mpenzi - hizi hapa mbinu saba za kumpata mpenzi Je una upweke wa kimapenzi siku ya wapendanao na pengine ungependelea kumtafuta nyonda wako mkalia ini? Inakadiriwa kwamba takriban watu milioni 240 duniani huenda mitandaoni kutafuta mpenzi kulingana na Statista, lakini unajua kwamba sio wot...
null
Wafungwa wa kivita wa Korea Kusini walivyotelekezwa kwa miongo kadhaa Korea Kaskazini Akiwa na umri wa miaka 92, Lee Dae-bong hafurahii haswa kuamka kitandani. Ameishi maisha ya kutosha. Anaporekebisha nguo yake ya kulalia , mkono wake wa kushoto unaonesha vidole vitatu vilivyokosekana. Jeraha lake si matokeo ya vita a...
null
Korea Kaskazini Kwanini rais wa Korea Kusini alitangaza ghafla sheria za kijeshi? 4 Disemba 2024 Kwanini Putin anatumia wanajeshi wa Korea Kaskazini na anafaidikaje nao katika vita vya Ukraine? 14 Novemba 2024 Ukraine yasema ilipigana na wanajeshi wa Korea Kaskazini kwa mara ya kwanza 6 Novemba 2024 Kutoka Vietnam hadi...
null
Jeshi Kwanini rais wa Korea Kusini alitangaza ghafla sheria za kijeshi? 4 Disemba 2024 Kwa nini ndege zisizo na rubani zinapaa karibu na vituo vya kijeshi vya Marekani, nchini Uingereza? 30 Novemba 2024 Je, ni kwanini shujaa wa propaganda wa Urusi Afrika alirejeshwa nyumbani? 28 Novemba 2024 Je, kisiwa hiki kidogo cha ...
null
Uchaguzi Israel : Ni kwanini vyama vya kiarabu vinamuunga mkono Gantz hasimu wa Netanyahu? Wabunge Waarabu nchini Israeli wamependekeza kuwa mkuu wa majeshi wa zamani Israeli Benny Gantz ndiye anayepaswa kuwa waziri mkuu wa Israeli. Katika uchaguzi uliopita kiongozi wa Israeli Benjamin Netanyahu alikuwa bega kwa bega n...
null
Benjamin Netanyahu: Waziri mkuu wa Israel akataa kung'atuka licha ya tuhuma za ufisadi zinazomkabili Waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu amekataa katakata kuondoka madarakani baada ya kushtakiwa na tuhuma za kutoa hongo, kufanya udanganyifu na kuwavunja imani raia waliomchagua kuhusiana na kesi tatu tofauti. Alis...
null
Uchaguzi wa urais Uganda: Ni rasmi Kizza Besigye hatagombea urais nchini humo Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye amewaambia wafuasi wake kwamba hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2021. Alikuwa akizungumza katika ofisi za chama cha Forum for Democratic Change katika siku za mwisho za uteuzi wa w...
null
Bobi Wine na Kizza Besigye waungana kukitimuwa NRM cha rais Museveni Uganda Mbunge wa upinzani Uganda Robert Kyagulanyi na mwanaharakati wa kisiasa na mpinzani Dkt Kizza Besigye wameahidi kushirikiana kukiondosha madarakani chama tawala National Resistance Movement (NRM) kinachoongozwa na rais Yoweri Museveni. Chama ta...
null
Dira Ya Dunia, 10 Disemba 2024 Play video, "Dira ya Dunia", Muda 30,00 30:00 Dira Ya Dunia , Dira ya Dunia A fresh, energetic, and pacy news programme that keeps listeners informed and engaged. 10 Disemba 2024
null
Je, Erling Braut Haaland atasalia Man City au ataondoka? Manchester City wana imani kuwa mshambuliaji wa Norway Erling Haaland, 24, atamfuata meneja Pep Guardiola kusaini mkataba mpya na klabu hiyo. (Give Me Sport) Newcastle wanavutiwa na mshambuliaji wa Bournemouth Mghana Antoine Semenyo, 24, lakini hawana uwezo wa ku...
null
Chelsea na Arsenal zampigania mshambuliaji wa Newcastle Alexander Isak Chelsea wameungana na Arsenal katika mbio za kumnasa Alexander Isak - lakini Newcastle United itadai angalau pauni milioni 115 kwa mshambuliaji wao wa Uswidi mwenye umri wa miaka 25. (TeamTalks), Aston Villa, AC Milan na Juventus zitamenyana na Arse...
null
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 24.11.2024 Meneja mpya wa Manchester United Ruben Amorim ameweka kipaumbele cha kumsajili mshambuliaji wa Sweden Viktor Gyokeres kutoka klabu ya zamani ya Sporting msimu ujao lakini Manchester City pia wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26. (Sunday Mirror) Manchester United imefa...
null
Wanajeshi waliochoka wa Ukraine nchini Urusi waambiwa wavumilie wakimsubiri Trump "Hali inazidi kuwa mbaya kila siku." “Hatuoni mbele. Ardhi yetu haipo hapa.” Takribani miezi minne baada ya wanajeshi wa Ukraine kuanzisha mashambulizi katika eneo la Kursk nchini Urusi, ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwa wanajeshi wana...
null
Je, ni maeneo gani ya Urusi yanayoweza kushambuliwa na makombora ya masafa marefu ya Marekani? Maafisa wa Marekani wanasema Rais wa Marekani Joe Biden ameidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kushambulia nchini Urusi. Hapo awali Marekani haikuruhusu, ikisema inaweza kuzidisha vit...
null
Urusi yaushambulia mji wa Aleppo huku waasi wakichukua udhibiti Vikosi vya waasi nchini Syria vimechukua udhibiti wa "nusu" ya mji wa pili kwa ukubwa nchini humo, Aleppo, kwa mujibu wa shirika la waangalizi wa haki za binadamu wa Syria lenye makao yake nchini Uingereza Na mpaka hapo ndio tunafikia mwisho wa matangazo h...
null
Ukraine yarusha makombora ya masafa marefu nchini Urusi - Kremlin Urusi imesema Ukraine ilirusha makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani nchini humo kwa mara ya kwanza siku ya Jumanne. Ukraine ilitumia makombora ya Atacms katika shambulizi la eneo la Bryansk nchini Urusi asubuhi ya leo, wizara ya ulinzi mji...
null
Ni nini kilichotokea kwa wanajeshi wa Urusi waliokimbia vita? Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na BBC Idhaa ya Urusi, kumekuwa na ongezeko la wanajeshi wa Urusi wanaoondoka katika vitengo vyao au kutorejea nyumbani likizo. Wengi wanakimbilia kwa ndugu zao. Wale wanaowahifadhi watoro wana hatari ya kushtakiwa. Asubuhi...
null
Oreshnik: Tunachojua kuhusu kombora la Urusi - Author, Robert Greenall & Chris Partridge - Nafasi, BBC News Alhamisi wiki hii, mji wa viwanda wa Dnipro nchini Ukraine ulikumbwa na shambulio la anga la Urusi ambalo walioshuhudia walilielezea kuwa lisilo la kawaida kutokana na milipuko iliyoendelea kwa saa tatu. Shambuli...
null
Putin aidhinisha muongozo mpya kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia Na Steve Rosenberg Jukumu, Mhariri taarifa za Urusi - BBC News Rais wa Urusi Vladimir Putin ameidhinisha "muongozo wa nyuklia" wa hivi punde ambao waraka wake umechapishwa kwenye tovuti ya serikali ya Urusi. Ikulu ya Kremlin imesema kuwa kupanua uwezek...
null
Mwanajeshi aliyetoroka vita Urusi afichua siri za kulinda kambi ya silaha za nyuklia Katika siku ya uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine mwezi Februari 2022, Anton anasema kambi ya silaha za nyuklia aliyokuwa akihudumu iliwekwa katika hali ya tahadhari tayari kwa vita. "Kabla ya hapo, tulikuwa na mazoezi tu. Lakini s...
null
Biden akubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini Rais wa Marekani Joe Biden amekubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini, afisa wa Marekani ameiambia BBC. Afisa huyo ambaye alizungumza kwa sharti la kutotajwa jina, anasema mabomu ya aina hiyo yatapelekwa hivi karibuni na Washington inatarajia yatatumika katik...
null
Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Marekani itaendelea kuiunga mkono au kuitelekeza Ukraine baada ya uchaguzi? - Author, Grigor Atanesyan - Nafasi, BBC News Rais ajaye wa Marekani ataamua kuhusu matarajio ya Ukraine kuingia NATO, kuendelea na usambazaji wa silaha za Magharibi na masharti ya mazungumzo ya amani kati ya Kyiv...
null
Silaha za Ukraine: Marekani, Uingereza na mataifa mengine yanaipatia Ukraine silaha gani? Maafisa wa Marekani wanasema Rais Biden ameipa Ukraine ruhusa ya kurusha makombora ya masafa marefu ya ATACMS katika ardhi ya Urusi. Inafikiriwa kuwa Uingereza na Ufaransa zinaweza kufuata mkondo huo kwa kusema kuwa makombora ya S...
null
Je, makombora ya masafa marefu ya kuishambulia Urusi yatabadilishaje vita? - Author, Ido Vock - Nafasi, BBC News World Marekani kwa mara ya kwanza imeiruhusu Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu kulenga maeneo ndani ya Urusi. Utawala unaomaliza muda wake wa Joe Biden umeiambia Kyiv kuwa inaweza kutumia makombora ...
null
Biden airuhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora - Author, Paul Adams & Kathryn Armstrong - Nafasi, BBC News World Rais wa Marekani Joe Biden ametoa ruhusa kwa Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kuishambulia Urusi. Afisa mmoja wa Marekani ameithibitishia CBS kuhusu ruhusa...
null
Je, Uingereza itaifuata Marekani na kuruhusu matumizi ya makombora yake ya masafa marefu? Sasa kwa vile Marekani imeipa Ukraine rukhsa ya makombora ya masafa marefu yanayotolewa na Marekani nchini Urusi, Uingereza itaamua nini? Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekuwa akishinikiza kupata kibali kutoka kwa Washington ...
null
Ongezeko la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za Urusi zaathiri ulinzi wa Ukraine na kuziharibu familia Maria Troyanivska alirejea nyumbani kwake mapema usiku ambao ndege isiyo na rubani ya Urusi ilishambulia chumba chake. "Ilishambulia kupitia dirishani, hadi ndani ya chumba chake," mama yake Viktoria aliambia BB...
null
Kombora la masafa marefu linaloweza kurushwa kutoka bara moja hadi jingine ni la aina gani? Kulingana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, Urusi inatumia ardhi ya Ukraine kama uwanja wa majaribio ya silaha zake. "Maelezo yote, ikiwa ni pamoja na kasi na urefu, yanalingana na sifa za kombora la masafa marefu la ICBM,"...
null
Kuitengenezea Urusi "Jehannamu": Nini kinajulikana kuhusu kombora jipya la Ukraine la droni? Katika siku ya majeshi ya Ulinzi nchini Ukraine, kuna zana mpya za kijeshi zilizoonekana. Zana hizi ni pamoja na kile kinachojulikana kama "Kombora la droni au "drone-missile" au ndege isiyo na rubani inayoitwa "Hell". Kabla ya...
null
Vita vya kielektroniki': Mbinu ya kuharibu silaha ya Urusi inayoishangaza NATO Tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine mnamo Februari 2022, nchi hizo mbili zimefanya mashambulizi mengi zaidi ya ndege zisizo na rubani katika siku za hivi karibuni. Kwamujibu wa ripoti, Ukraine imefanya mashambulizi zaidi ya 80 ya ndeg...
null
Hamaki nchini Urusi baada ya 'kuzidishwa kwa mzozo' na hatua ya kutumiwa makombora - Author, Steve Rosenberg - Nafasi, Russia editor, BBC News - Twitter, - Akiripoti kutoka Moscow Uamuzi wa Rais Biden wa kuiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani umeibua hasira ...
null
Warusi wanaotuhumiwa kwa uhalifu wanapewa chaguo la kwenda vitani badala ya mahakamani - Author, Olga Ivshina - Nafasi, BBC Machi 28, polisi walifika kwenye nyumba ya Andrey Perlov huko Novosibirsk, Siberia. Wakimshutumu kwa kuiba takribani rubles milioni tatu ($32,000; £24,000) kutoka katika klabu moja ya soka ya Novo...
null
Ukraine inaweza ‘kupoteza’ vita katika mstari wa mbele huku Urusi ikiongeza kasi ya mashambulizi, wataalam waonya Na Matt Murphy, Paul Brown, Olga Robinson, Thomas Spencer & Alex Murray BBC Verify Uamuzi wa Rais Biden wa kutoa mabomu ya kutegwa ardhini kwa Ukraine, na kuruhusu matumizi ya makombora ya masafa marefu kat...
null
Ni ‘makombora’gani hayawezi kuua mara moja, yanaweza kuua baada ya muda Ingawa wanadamu wamehusika katika vita kwa maelfu ya miaka, majadiliano juu ya athari za wanadamu kwa mazingira ya asili, hasa kutokana na vita hivi yameanza kusambaa katika miaka michache iliyopita. Vita vya kwanza vya Ghuba wakati visima vya mafu...
null
'Inatisha - lakini hata kujifungua ni hivyo tu': Kikosi cha wanawake kinachozisaka ndege zisizo na rubani za Urusi Ni wakati giza linapoingia mjini Bucha ambapo wachawi hutoka, kwa sababu wakati huo ndege zisizo na rubani za Urusi huanza kuvuma. Wachawi wa Bucha, kama wanavyojiita, ni kitengo cha kujitolea cha ulinzi w...
null
Jinsi Urusi ilivyobadilisha masharti ya mashambulizi ya nyuklia Muongozo mpya wa nyuklia, ambao Vladimir Putin aliuidhinisha mnamo Novemba 19, 2024, una vipengele na dhana kadhaa ambazo hazikuwa katika toleo la awali. Zaidi ya hayo, kwa namna muongozo huo ulivyobadilishwa umeonekana kuleta mabadiliko maana katika vifun...
null
Urusi na Ukraine: Ifahamu kambi ya kijeshi ya Urusi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi iliyoijenga juu ya dunia Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha kali aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum, mabomu ya cluster na kwamba huenda ikawa inajiandaa kwa mashambulio ya nyuklia -katika vit...
null
Je, madai ya uwepo wa wanajeshi wa Korea Kaskazini katika vita vya Ukraine ni ya kweli? Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa "muungano wa pamoja" unaundwa kati ya Urusi na tawala kama vile Korea Kaskazini. Amedai kuwa Pyongyang ilituma silaha na wanajeshi nchini Urusi ili kuimarisha jeshi la nchi hiyo. Rais ...
null
Je, Iran inaweza kuitegemea Urusi katika mgogoro wake na Israel? Ushirikiano katika teknolojia ya kijeshi na ushirikiano wa kijeshi kati ya Tehran na Moscow unahusishwa na vita vya Ukraine, ambavyo Urusi ilianzisha mnamo 2022 na pia vinahusiana na mashambulizi ya Iran dhidi ya Israeli, ambayo yanaweza kuzidi kuwa mzozo...
null
Siri ya silaha ya siri ya urusi iliyoanguka Ukraine Njia mbili za moshi mweupe zinapoonekana kuvuka anga karibu na mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Ukraine, huwa inamaanisha jambo moja: Ndege za Urusi zinakaribia kushambulia. Lakini kilichotokea karibu na jiji la Kostyantynivka hakikuwa cha kawaida. Njia ya ch...
null
Nilichokiona kwenye kisiwa cha siri ambacho hawataki ukione - Author, Alice Cuddy - Nafasi, BBC Diego Garcia, kisiwa kilicho mbali katika Bahari ya Hindi, ni peponi kwa mimea na fukwe zenye mchanga mweupe, kwenye maji ya buluu. Lakini kisiwa hiki sio kivutio cha watalii. Ni kituo cha kambi ya siri ya kijeshi ya Uingere...
null
Tetemeko la ardhi Uturuki Jeshi la Urusi latangaza msaada kwa jeshi la serikali ya Syria dhidi ya vikundi pinzani 3 Disemba 2024 Tetemeko la ardhi Uturuki: Jinsi walionusurika wanavyokabiliana na kiwewe 27 Februari 2023 Christian Atsu wa Ghana alikuwa na 'moyo wa kipekee' 24 Februari 2023 Madai ya uongo yasambaa kuwa k...
null
Waasi waonyesha wasiwasi kusitishwa mapigano nchini Syria Makundi ya waasi nchini Syria yameonesha kutoridhishwa na kusitishwa kwa mapigano kunakosimamiwa na Urusi na Marekani ambapo kusitishwa huko kunatarijiwa kuanza Jumatatu jioni. Makundi hayo yanatakiwa kusema kama watajiunga kwenye makubaliano hayo ama la. Kuna m...
null
Mapigano yasitishwa kwa muda Syria Rais wa Urusi Vladmir Putin ameagiza usitishwaji wa mapigano kwa takriban saa tano katika mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria katika maeneo ya mashariki mwa eneo la Ghouta linalodhibitiwa na waasi. Usitishwaji huo wa mapigano unaanza leo Jumanne na utajumuisha kuundwa kwa k...
null
Mapigano yaanza upya Syria, baada ya mkataba kumalizika Ndege za kivita nchini Syria zimeanza kushambulia mji wa Aleppo muda mfupi tu, baada ya jeshi kutangaza kumalizika kwa wiki ya kusimamisha mapigano. Wanaharakati wanasema kuna watu waliouawa na kujeruhiwa katika mashambulio hayo ya anga katika eneo linaloshikiliwa...
null
Safari ya mvulana wa miaka 11 kutoka Syria kwenda Ulaya - Author, Stefan Veselinovic and Selin Girit - Nafasi, BBC World Service Khalil alikuwa na umri wa miaka sita wakati alipoondoka Syria, wakati huo mapigano ya kila siku ya vita vya wenyewe kwa wenyewe yakiendelea. Alikuwa akiishi katika mkoa wa Homs, magharibi mwa...
null
Putin apendekeza sheria mpya za kutumia silaha za nyuklia - Author, Frances Mao - Nafasi, BBC Vladimir Putin anasema Urusi itachukulia shambulio kutoka katika taifa lisilo na silaha za nyuklia ambalo linaungwa mkono na taifa lenye silaha za nyuklia kuwa "shambulio la pamoja," kauli inayoweza kuzingatiwa kuwa ni tishio ...
null
Steve Rosenberg: Uvamizi wa Ukraine unaonyesha vita vya Urusi haviendi kama ilivyopangwa - Author, Steve Rosenberg - Nafasi, Mhariri BBC Russia Uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine ulichukuliwa na Kremlin kama operesheni fupi ya kijeshi. Matarajio yalikuwa kwamba itachukua muda wa siku, kadhaa au wiki chache ikizidi ...
null
Putin anakusanya washirika kuonyesha vikwazo vya Magharibi havifanyi kazi - Author, Steve Rosenberg - Nafasi, BBC Fikiria wewe ni Vladimir Putin. Nchi za Magharibi zinakutenga kwa sababu ya kuivamia Ukraine. Vikwazo vinalenga kuumiza uchumi wa nchi yako katika masoko ya kimataifa. Na kuna hati ya kukamatwa kwako kutoka...
null
Kwa nini Ukraine imeanzisha mashambulizi ya mpakani dhidi ya Urusi? Na James Waterhouse BBC News, Kyiv Wakati Kyiv ilipoanzisha mashambulizi ya kuvuka mpaka katika eneo la Kursk la Urusi linalopakana na Ukraine, swali kutoka kwa wataalamu fulani wa kijeshi lilikuwa: “Kwa nini?” Moja ya matatizo makubwa ya uwanja wa vit...
null
Watafiti wa Marekani wagundua maeneo ya Urusi ya kurushia kombora la Burevestnik Watafiti wawili wa Marekani wanadai kuwa Urusi inajiandaa kutumia kombora la masafa linalotumia nguvu ya nyukilia la 9M370 Burevestnik, ambalo Vladimir Putin alilizungumzia katika hotuba yake kwa bunge mwezi Machi 2018. BBC inaripoti kile ...
null
Steve Rosenberg: Uvamizi wa Ukraine dhidi ya Urusi unatia doa sifa ya Putin kama 'Bw Usalama' - Author, Steve Rosenberg - Nafasi, Mhariri BBC Russia - Akiripoti kutoka Moscow Kursk. Ni moja ya maneno ya kwanza niliyoandika na kuzungumza kama mwandishi wa BBC. Mnamo 2000, niliripoti juu ya kuzama kwa nyambizi ya Kursk k...
null
Kwanini Putin anatumia wanajeshi wa Korea Kaskazini na anafaidikaje nao katika vita vya Ukraine? Kuna ushahidi unaoongezeka kwamba wanajeshi wa Korea Kaskazini wanapigana pamoja na jeshi la Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Idara ya ujasusi ya Korea Kusini imesema Urusi ambayo ni jirani yake wa kaskazini imepel...
null
Je, mihimili ya kijeshi ambayo Putin aliitegemea inaanza kuporomoka? Uhamasishaji uliotangazwa nchini Urusi kuhusiana na vita vya Ukraine uliwalazimisha wengine kuondoka nchini au kujificha, wengine kununua risasi peke yao na kwa utiifu kwenda kwa kamisaa ya kijeshi. Kwa nini mshtuko uliathiri karibu kila familia na ku...
null
Je! Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanajiunga na vita vya Urusi huko Ukraine? Jeshi la Urusi linaunda kikosi cha takriban wanajeshi 3,000 wa Korea Kaskazini, chanzo cha kijasusi cha kijeshi cha Ukraine kimeiambia BBC, katika ripoti ya hivi punde inayodokeza kwamba Pyongyang inaunda muungano wa karibu wa kijeshi na Urusi....
null
Urusi yaongeza mashambulizi dhidi ya wakosoaji wake nje ya nchi - Author, Will Vernon - Nafasi, BBC News Maafisa wawili wa polisi ambao hawakuwa wamevalia sare rasmi walikuwa wakimsubiri Dmitry Gudkov katika Uwanja wa Ndege wa Luton wa London majira ya joto yaliyopita. Mwanasiasa huyo wa upinzani wa Urusi, ambaye anais...
null
Mauaji ya mateka wa shule mwaka 2004 ambayo yalifichua udhaifu wa Putin - Author, Sarah Rainsford - Nafasi, BBC Siku ambayo mji wa Beslan ulianza kuzika wapendwa wake, kulikuwa na magari mengi yakiwa yamepakia majeneza kuelekea makaburini. Katika mji mdogo wa Caucasus, kila mtu alikuwa amepoteza jamaa au alijua mtu ali...
null
Kwa nini Putin amekwenda Azerbaijan licha ya kuwa nyumbani kuna 'moto'? Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa Azerbaijan, kwa mujibu wa taarifa rasmi, ziara yake itachukua siku mbili, Agosti 18 na 19. Putin anawasili Baku wakati ambapo mapigano dhidi ya jeshi la Ukraine yanafanyika katika eneo la Urusi, katika eneo la Kur...
null
Kwanini kombora hili la masafa marefu linalosifiwa na rais Putin lilikataa kuruka? Kuna uwezekano kulikuwa na ajali mbaya katika kituo cha anga za juu cha jeshi la Urusi, Plesetsk mnamo Septemba 20. Watafiti na wataalamu wa OSINT wanaamini kwamba kuna uwezekano mkubwa lilikuwa jaribio lisilofaulu la kombora la masafa m...
null
Mfungwa kijana wa Ujerumani aliyebadilishwa na muuaji wa Urusi - Author, Sergei Goryashko - Nafasi, BBC Kevin Lik (19) pamoja na mwandishi wa habari wa Marekani Evan Gershkovich, ni miongoni mwa watu 16 walioachiliwa na Urusi tarehe 1 Agosti, katika mpango wa kubadilishana wafungwa kati ya Marekani na nchi nyingine za ...
null
Je, ni kwanini shujaa wa propaganda wa Urusi Afrika alirejeshwa nyumbani? Kukwepa risasi, kulipua mabomu, kulinda siri za serikali. Filamu za propaganda za milipuko yenye sauti kubwa (Bombastic) zinamuonyesha mwanasiasa wa Urusi Maxim Shugalei kama mtu shujaa - ambaye anaacha kila kitu katika jitihada zake za kunadi Ur...
null
Je, kuna uhusiano upi kati ya mwanamitindo huyu, teknolojia ya Uingereza na vita vya Urusi? - Author, Angus Crawford and Tony Smith - Nafasi, BBC News Investigations Vifaa vya hali ya juu vilivyotengenezwa na kampuni ya Uingereza vyenye thamani ya dola milini 2.1 vimeuzwa kwa makampuni yanayohusiana na jeshi nchini Uru...
null
Rais alitangaza ubakaji kuwa janga la kitaifa. Nini kilitokea baadaye? Tyson Conteh & Tamasin Ford, BBC Africa Eye, Makeni & London Mwaka wa 2019 Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio alichukua hatua ya kijasiri kutangaza ubakaji na unyanyasaji wa kingono kuwa janga la kitaifa. Miaka mitano baadaye, BBC Africa Eye inac...
null
Mauaji ya wanawake Kenya: Kwanini wanaume wanashindwa kushutumu chuki - Author, Waihiga Mwaura - Nafasi, BBC Focus on Africa TV, Nairobi Saa kadhaa kabla ya maandamano ya kitaifa Kenya dhidi ya kuongezeka visa vya mauaji na unyanyasaji wa wanawake – kanda ya video ilichapishwa katika mtandao wa kijamii ilioonyesha jins...
null
Masaibu ya kutekwa nyara na kubakwa na mwendesha bodaboda Na Anne Ngugi BBC News Swahili Shyro Ogolla ni mwanamke mwenye umri wa miaka 28 kutoka nchini Kenya, kwa miaka aliyonayo amekumbana na matukio mengi ya dhiki katika maisha yake, na sasa ameamua atumie fursa hii kama njia ya kuielimisha jamii na pia kutoa nasaha ...
null
Kiongozi wa kanisa aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi, BBC imegundua - Author, Charlie Northcott na Helen Spooner - Nafasi, BBC News, Africa Eye Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zaman...
null
Mwanamfalme Andrew na Bill Clinton watajwa katika nyaraka za myanyasaji wa kingono Jeffrey Epstein - Author, Max Matza & Bernd Debusmann Jr - Nafasi, BBC News Bill Clinton na Mwanamfalme Andrew wametajwa katika nyaraka za mahakama za watu wanaohusishwa na bilionea na myanyasaji wa kingono Jeffrey Epstein. Jaji wa mahak...