name stringclasses 429
values | text stringlengths 0 767k ⌀ |
|---|---|
null | Nyangumi wa Urusi alivyokimbia mafunzo ya kijeshi Fumbo kuhusu nyangumi aina ya beluga, aliyeonekana kwenye ufuo wa Norway akiwa na kibandiko cha utambulisho, huenda sasa limefumbuliwa. Nyangumi huyo mweupe, ambaye wenyeji walimpa jina la Hvaldimir, aligonga vichwa vya habari miaka mitano iliyopita, baada ya kuwepo uvu... |
null | Wanasayansi wagundua kwa mara ya kwanza tembo wakiwazika na kuwafanyia tambiko watoto wao waliokufa Wanadamu sio viumbe hai pekee ambao wana matambiko ya kushughulikia kifo. Wanyama wengine pia huonesha tabia fulani wakati mmoja wao anapokufa. Mfano wa hawa ni tembo wa Asia, na kutokana na utafiti mpya ibada hizi zilip... |
null | Hadithi ya "punda na tembo" ambao wametawala Marekani kwa miongo kadhaa Katika siasa za Marekani, tembo wa chama cha Republican na punda wa chama cha Democrat wanasimama kama alama tofauti zinazoakisi utambulisho na nafasi za vyama hivyo viwili. Alama hizi sio tu kauli mbiu, lakini zinabeba historia ndefu na hadithi ze... |
null | Mvua ya damu ni nini na husababishwa na nini? Mara tu tunaposikia neno mvua, tunafikiria maji yanayotoka angani, lakini wakati mwingine vitu vingine visivyokuwa maji pia huanguka kutoka angani na kuna sababu za kimazingira. Inaweza kushangaza lakini 'mvua ya damu' ipo. Neno mvua ya damu hutumiwa pale maji yenye rangi n... |
null | Kwa nini bahari ya Pasifiki iko juu kuliko ya Atlantiki? - Author, Christina J. Arcas - Nafasi, BBC Kuna tofauti ya mwinuko wa karibu sentimita 20 kati ya Bahari ya Pasifiki na Bahari ya Atlantiki. Ni kama ukubwa wa penseli. Inaweza kuonekana kama tofauti ndogo, lakini ina athari kwa mzunguko wa bahari na hali ya hewa ... |
null | Kwa nini 'upande mchafu' wa kimbunga unaweza kuwa na nguvu 50% zaidi kuliko 'upande msafi' Katika dhoruba za kitropiki, eneo ni muhimu linapokuja suala la utarajie nini katika uharibifu - haswa katika upande "mchafu" wa kimbunga, ambapo upepo unaweza kuwa na nguvu hadi 50%." Vimbunga vinaweza kuwa vigumu kutabiri. Kasi... |
null | Kwanini papa hushambulia wanadamu? - Author, Richard Gray - Nafasi, BBC Mashambulizi ya papa ni matukio ya nadra sana. Lakini yanapotokea, yanaweza kuwa mabaya. Swali ni; kwa nini papa hushambulia watu? Kulikuwa na takribani watu 83 duniani kote walioshambuliwa na papa mwaka 2009. Ni takwimu ambazo zimesalia katika kiw... |
null | Mahali pekee ambapo nyangumi huja kutazama binadamu - Author, Kathleen Rellihan - Nafasi, BBC Kuna wakati waliwindwa karibu kutoweka, nyangumi wa kijivu katika bahari ya Pasifiki katika eneo la Laguna San Ignacio huko Mexico sasa wanaonekana kutaka kuwajua binadamu kama vile tunavyotaka kuwajua wao. "Anakuja tena!" mwo... |
null | Kwa nini bahari za dunia zinabadilika rangi? - Author, Frankie Adkins - Nafasi, BBC Utafiti wa hivi karibuni unaeleza kuwa bahari za ulimwengu wetu zinabadilika kuwa kijani kibichi. Na hilo huenda linachangiwa na mabadiliko ya tabia nchi. Phytoplankton ni viumbe vya baharini, vinavyofanana na koya la kijani vinavyoteng... |
null | Kwanini ugunduzi wa oksijeni kwenye 'kiza cha bahari' umewashangaza wanasayansi? - Author, Victoria Gill - Nafasi, BBC Wanasayansi wamegundua oksijeni kwenye kina kirefu cha bahari, ikizalishwa na vipande vya mawe kwenye sakafu ya bahari. Karibu nusu ya oksijeni tunayopumua hutoka baharini. Lakini, kabla ya ugunduzi hu... |
null | Kwanini maparachichi yana utata na ni mabaya kwa mazingira? Mahitaji ya parachichi barani Ulaya na Amerika Kaskazini yameongezeka mara tatu uzalishaji wa kimataifa katika kipindi cha zaidi ya miaka 20. Hata hivyo, tunda hili maarufu linazidi kuleta utata kutokana na athari za kimazingira zinazotokana na kilimo na usamb... |
null | Jamii Zanzibar inavyopambania mustakabali wa maisha kwenye matumbawe - Author, Na Alfred Lasteck - Nafasi, BBC Zanzibar Unapofika katika kisiwa cha Mnemba, Kaskazini Mashariki mwa Zanzibar utaona fukwe safi, mchanga mweupe lakini zaidi kwa umakini utaona matumbawe ‘coral reefs’ kwa chini, hatua chache tu pembezoni mwa ... |
null | 'Kufa kwa kiu': Athari ya mafuriko yaliyochanganyika na mafuta Sudan Kusini - Author, Maura Ajak & Stephanie Stafford - Nafasi, BBC Africa Eye Wafugaji wanaochota maji yenye matope katika madimbwi nchini Sudan Kusini wanafahamu vyema hatari wanayokumbana nayo iwapo watayanywa. "Maji ni machafu kwa sababu eneo hili lina... |
null | Kwanini hatuhisi kama dunia inazunguka kwa kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa? Na Juan Francisco Alonso BBC News Mundo Dunia ni chombo cha anga ambacho hutupeleka kwenye safari ya haraka kupitia anga. Sayari hii nainazunguka kwa kasi ya kilomita 107,280 kwa saa kuzunguka Jua. Inazunguka kwenye mhimili wake kwa takriban... |
null | Jinsi binti huyu mwanafunzi alivyoipenda miti Msichana mwenye umri wa miaka 14 kutoka Kenya amepata umaarufu duniani kwa jitihada zake za kuokoa sayari, kukutana na watu kama Mfalme Charles na kuungana na mshindi wa tuzo ya Grammy Meji Alabi na nyota wa zamani wa soka David Beckham katika kampeni dhidi ya mabadiliko ya... |
null | HFO: Mafuta hatari yanayoyeyusha barafu kwa kasi duniani - Author, Matt McGrath - Nafasi, BBC Marufuku ya matumizi mafuta yanayoathiri mabadiliko ya tabia nchi, imeanza kutekelezwa katika bahari ya Aktiki. Mafuta haya hutumika na meli zinazopita katika maji haya. Mafuta haya, yanayoitwa HFO, yanafanana na lami nzito. N... |
null | Maslahi ya Wanyama Mahali pekee ambapo nyangumi huja kutazama binadamu 12 Oktoba 2024 Sokwe asiyetaka kutenganishwa na mtoto wake aliyekufa miezi 3 iliyopita 23 Mei 2024 Mamilioni ya punda huuawa kila mwaka kutengeneza dawa 16 Februari 2024 Mtandao wa mateso ya tumbili duniani wafichuliwa na BBC 20 Juni 2023 Arikomban:... |
null | Wanyama Hatari ya kinyesi cha njiwa katika afya ya binadamu 15 Septemba 2024 Kwanini wanyama wa jamii ya mbwa hugagaa kwenye kinyesi? 1 Septemba 2024 Je, tunapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu Homa ya Nyani? 22 Agosti 2024 Kwa nini tunapenda wanyama wenye sura mbaya? 28 Juni 2024 Sokwe asiyetaka kutenganishwa na mtoto wake ... |
null | Kwa nini 'kusitishwa kwa huduma za serikali' hutokea Marekani pekee Serikali ya Marekani imefunga kazi mara kumi katika kipindi cha miaka 40 na zaidi. Wakati huo huo, katika nchi nyingine, serikali zinaendelea kufanya kazi, hata katikati ya vita na migogoro ya kikatiba. Kwa hivyo kwa nini jambo hili la kipekee la Marek... |
null | Matumizi ya magari ya umeme Rwanda yaanza kwa kusuasua Ikifahamika kama ardhi ya milima elfu moja, huenda Rwanda isiwe sehemu bora kuzindua matumizi ya magari ya umeme. Ardhi ngumu ya vijijini ni mbaya kwa gari lolote, lakini hususan ni kwa miundo ya magari yenye betri nzito. Lakini rais wa Rwanda Paul Kagame anataka k... |
null | Majengo ya siku za usoni ambapo maisha yatakua ndani ya uzio Miji yenye majengo ya kisasa imekuwa simulizi kwa ajili ya makazi ya siku zijazo katika hadithi za kisayansi. Ni makazi yanayojitosheleza, yakijumuisha miundombinu yote muhimu, uzalishaji wa nishati, chakula, udhibiti wa taka na maji. Neno linalochanganya usa... |
null | Mamlaka Tanzania inaendelea kukabiliana na moto Mlima Kilimanjaro Mamlaka nchini Tanzania inaendelea kukabiliana na moto mkali katika mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili. Moto huo ulianza usiku wa kuamkia leo katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro kutokana na moshi mkubwa. Zaidi ya wazima moto 500 wako kwenye tukio Zaidi... |
null | Je dunia inaweza kubeba watu wangapi? Ni miaka 72,000 kabla ya Kristo wakati volkeno kubwa iitwayo Toba, iliyo katika kisiwa cha Indonesia cha Sumatra, ililipuka. Ilichukuliwa kuwa tukio kubwa zaidi duniani katika miaka mia moja iliyopita. Matokeo yake, eneo kubwa la bara Asia lilikuwa vumbi lenye unene wa sentimita 3-... |
null | Uhaba wa maji: Ni wakati wa jiji la Dar es salaam kufunga mkanda? Yusuph Mazimu, BBC Swahili Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) linakadiria kwamba tatizo la uhaba wa maji, litakuwa moja ya janga kubwa duniani katika muongo mmoja ujao. Hata Ripoti ya tano ya tathimini ya mabadiliko ya tabia nchi ya mwaka 20... |
null | Glasi nane za maji kwa siku huenda ni nyingi sana-Wanayasansi Utafiti mpya umegundua kuwa glasi nane za maji zinazopendekezwa kwa siku zinaweza kuwa nyingi sana. Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Aberdeen waligundua unywaji uliopendekezwa wa lita mbili za maji kwa siku mara nyingi ulikuwa zaidi ya inavyohitajika Kwa ku... |
null | 'Nilijenga nyumba yangu ndogo kwa kutumia plastiki 35,000… 'Nilijenga nyumba yangu ndogo kwa kutumia plastiki 35,000… Indonesia ni nyumbani kwa mojawapo ya mito iliyochafuliwa zaidi duniani. Mwanaharakati wa mazingira Gary Bencheghib alianza harakati za kukabiliana na tatizo kubwa la taka za plastiki na amejenga nyumba... |
null | Tazama:‘Huyu ni Samaki ama mtu?’ Sasa hapa kuna kitu ambacho huoni kwenye maonyesho - mtu anayetumia mikono miwili kuinua samaki mkubwa zaidi aina ya Goldfish ambaye karibu anatoshana naye. Mvuvi wa Worcestershire Andy Hackett alimnasa mnyama huyo wa chungwa akiwa safarini kwenda Ufaransa. Jitu hilo, linalojulikana kam... |
null | Mwanaume mwenye mpango wa kupanda miti milioni 5 nchini Senegal - Author, Jo Hollis - Nafasi, BBC News Mwanamume mmoja kusini mwa Senegal amejiwekea kazi kubwa ya kupanda miti milioni tano katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Mradi huu ulimjia Adama Diémé aliporudi nyumbani eneo la Casamance mnamo 2020 baada ya miaka... |
null | COP 27: Mkutano wamalizika kwa makubaliano ya kihistoria, nchi zilizoathirika na hali ya hewa duniani kulipwa Mkutano wa kilele wa COP27 umefikia makubaliano na mpango mkubwa wa kihistoria wa hali ya hewa, ambapo pamoja na mengine, kuanzisha mfuko wa fedha za kulipa mataifa masikini kutokana na athari za mabadiliko ya ... |
null | Treni ya kustaajabisha ya safari ya kilomita 80 Zimbabwe Katika njia yake kati ya Dete na Ngamo, "Tembo Express" huwapa wageni uzoefu wa kipekee kabisa wakati wa safari. Tulitoka nje ya Kituo cha Dete kuelekea mpaka wa kaskazini-mashariki wa Mbuga ya Kitaifa ya Hwange ya Zimbabwe, wakiwa na shauku kweli - watalii tisa,... |
null | Wanadamu ni mara mia moja 'hatari ' zaidi kuliko papa Wanadamu wanajulikana sana kama wanyama wanaowinda wanyama wengine lakini kwa mara ya kwanza wanasayansi wameweka takwimu. Tunawinda karibu theluthi ya wanyama wote wa porini kwa chakula, dawa au kufuga kama wanyama wa nyumbani, na kuwaweka karibu nusu yao katika ha... |
null | Ugunduzi wa Pliosaur: Mnyama mkubwa wa baharini aibuka kutoka kwenye miamba ya Dorset Na Jonathan Amos na Alison Francis BBC News, Sayansi Fuvu la mnyama mkubwa sana wa baharini limetolewa kutoka kwenye miamba ya Pwani ya Jurassic ya Dorset. Ni mabaki ya pliosaur, kiumbe wa baharini ambaye alitisha bahari karibu miaka ... |
null | 'Miamba ya plastiki' inayopatikana katika paradiso ya Atlantiki - Author, Fernando Duarte - Nafasi, BBC World Service - Twitter, Trindade, kisiwa kilicho umbali wa zaidi ya kilomita 1,000 kutoka pwani ya Brazil, ni mahali ambapo huwavutia wageni wake wachache kutokana na fuo zake safi na viumbe hai vya kipekee. Kuna sa... |
null | UN: Asilimia 90 ya ardhi ya kilimo inaweza kuharibiwa ifikapo 2050 Wakulima walikuwa wakizika barafu yao ardhini ili kupima ubora wa udongo na kuangalia jinsi unavyooza haraka. Kadiri bakteria na vijidudu vyenye afya zaidi kama vile fangasi zilivyokuwepo kwa kasi kitambaa kingeharibiwa. Hata hivyo, wakati njia hii inaj... |
null | Wawindaji haramu hulenga viboko kutafuta meno yao makubwa kama mbadala wa pembe za ndovu Kuongezeka kwa vikwazo vya usafirishaji wa pembe za ndovu kumesababisha kuongezeka kwa biashara ya meno ya kiboko, wanaharakati wa wanyamapori wanaonya wa uwezekano wa madhara makubwa kwa spishi ambayo tayari imeorodheshwa kama "ka... |
null | Nectophrynoides asperginis: Vyura adimu wa Tanzania waliotunza Marekani Siku chache zilizopita, vyura wa Kihansi walizua gumzo nchini Tanzania, kutokana na ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuonesha kuwa wamekua wakigharimu pesa nyingi katika utunzaji wake nchini Marekani. “Ingawa haiwezekani kubainisha idad... |
null | China na Marekani zinavyozozania madini za Amerika Kusini Zaidi ya nusu ya madini ya lithiam duniani inapatikana Argentina, Bolivia na Chile, pembetatu ya masoko ambayo yamevutia wawekezaji na serikali za kitaifa. Nchi kama China na Markani zinatafuta kupata vifaa vya chuma muhimu kwa utengenezaji wa betri zinazotumiwa... |
null | Mlima Kilimanjaro: Mamlaka Tanzania zashirikiana na wananchi kuzima moto Mamlaka nchini Tanzania kwa kushirikiana na wananchi wanapambana kuzima moto uliozuka kwenye eneo la Karanga lilipo njia ya kupanda kilele cha Mlima Kilimanjaro. Chanzo cha moto huo ulioanza Ijumaa usiku bado haujafahamika. Moto huo umezuka kwenye... |
null | Mafuriko Somalia: Miili yafukuliwa na madaraja kusombwa Na Sahnun Ahmed BBC News Somali Maji yanayosonga kwa kasi yamesomba makaburi katikati mwa jiji la Galkayo nchini Somalia, na kuacha miili ikielea mitaani, kufuatia mafuriko mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini humo katika karne moja. Kuonekana kwa miili iliyofuk... |
null | Nini hutokea unapopumua kwa kutumia mdomo? Watu wengi mara nyingi hupata baridi wakati wa msimu wa masika na ugumu wa kupumua kwa sababu ya pua iliyoziba. Kwa kushindwa kupumua kupitia pua, wengine hupumua kwa kutumia kinywa. Na, je, ni vizuri kupumua kupitia mdomo? Nini kitatokea ukifanya hivi? Wacha tuone wataalam wa... |
null | Ubongo wa binadamu umekuwa ukisinyaa na hakuna anayejua ni kwanini Na Jasmin Fox-Skelly Ubongo wa wanadamu wa enzi ya sasa ni ndogo kwa karibu 13% kuliko ule wa binadamu wa enzi ya Homo sapiens (binadamu) walioishi miaka 100,000 iliyopita. Kwa nini bado inawashangaza watafiti. Kijadi "ubongo wetu mkubwa" hufikiriwa kuw... |
null | Wanasayansi wanaeleza jinsi Dunia itakuwa na "Mwezi" wa pili kwa muda mfupi Wanasayansi wanasema dunia iko katika hali ya mshangao msimu huu: itapata mwezi mwingine. Asteroidi (mwamba mdogo unaozungunga kwenye uzio wa jua) ndogo inatarajiwa kuingia kwenye uwanja wa sumaku ya Dunia, kwa muda kuwa "mwezi wa mdogo." Mgeni... |
null | Ni nini huifanya Canada kuwavutia watu wengi kutaka kuishi huko? Ikiwa na Vancouver, Calgary na Toronto zote zimeorodheshwa kwenye kundi la 10 bora katika kipimo cha ‘Global Liveability Index 2023’, tunazungumza na wakazi katika kila jiji ili kujua ni nini hufanya maisha kuwa mazuri zaidi maeneo hayo. Ingawa maeneo ya ... |
null | Jinsi mwezi unavyorefusha siku duniani Mabilioni ya miaka iliyopita, wastani wa siku ya duniani ilikuwa ni chini ya saa 13. Tangu wakati huo ukubwa wa siku umekuwa ukirefuka polepole, kwa sababu ya mwezi na bahari zetu. Baadhi ya watu kwa karne, hutumia mienendo ya mwezi kwa ajili ya kalenda zao – kutokana na mwanga wa... |
null | Kutumia "mkono wa kushoto" haimaanishi ni mkono tu, bali pia viungo vingine Agosti 13 ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Kushoto, na bado haijafahamika ni kwa nini watu wanaotumia mkono wa kushoto wana uwezekano mdogo wa kutumia mkono wa kulia. Hata hivyo, utafiti wa kisayansi wa jambo la " matumizi ya mkono wa kushoto," ... |
null | Wafahamu wanyama walio na kasi zaidi duniani Baadhi ya wanyama hao huruka angani, wengine huogelea baharini na wengine hukimbia ardhini kulingana na mtandao wa OneKindPlanet unaoangazia elimu ya wanyama. Hawa ni wanyama 10 bora walio na kasi zaidi duniani 10. Sungura wa Hudhurungi Ana miguu mirefu ya rangi nyeusi inayo... |
null | Je utaweza kustahamili safari ya ndege ya saa 19? Shirika la ndege la nchini Australia la Qantas litafanya majaribio ya safari za saa 19 ili kuona kama abiria na wahudumu wanaweza kustahamili safari hizo za mbali. Shirika hilo linataka kufanya safari za moja kwa moja kutoka jiji la Sydney kwenda London na kutoka Sydney... |
null | Aina 8 za wanyama ambao wanaweza kutoweka milele Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bioanuwai (COP 15), uliofanyika Desemba mwaka jana nchini Canada, uligonga vichwa vya habari kote duniani kutokana na kutangazwa kwa makubaliano ya kihistoria ya kulinda thuluthi moja ya ardhi na maji ya dunia hii hadi mwisho wa muongo ... |
null | Magonjwa ya kale ambayo yaliwasumbua dinosaria Wanasayansi wamegundua ishara za magonjwa ya dinosaria na kugundua kuwa yanafanana sana na yale yanayoathiri wanyama walio hai leo. Katika siku yenye mvua na dhoruba miaka milioni 77 iliyopita katika eneo ambalo sasa ni kusini-mashariki mwa Alberta, Canada, dinosaria fulan... |
null | Ndege huyu alisafiri vipi umbali mrefu zaidi duniani? Kwa kutumia mbinu ya kumuwekea setilaiti ndege, wanasayansi wamemfuatilia ndege ambaye amepaa zaidi ya maili 7,500 (sawa na kilomita 12,000) kutoka Afrika Kusini hadi katika eneo la kuzalia lililopo Mongolia. Ndege huyo ameweza kupita na kunusurika baada ya kuvuka m... |
null | Marais 6 ndani ya miaka 4: Kwanini taifa hili ni vigumu kuliongoza? Pedro Castillo alikuwa rais wa mwisho kuondolewa, lakini yeye na watangulizi wake wanagawana muda mfupi waliohudumu madarakani Mrithi wake, Dina Boluarte aliyeapishwa hivi karibuni, anakuwa rais wa kwanza mwanamke katika historia ya Peru, lakini pia ki... |
null | Mwanamume wa Marekani aliyeibwa akiwa mtoto na kumpata mama yake mzazi nchini Chile miaka 42 baadaye - Author, Leire Ventas - Nafasi, BBC World Service - Twitter, Ilikuwa hadi tarehe 22 Agosti mwaka huu ambapo Jimmy Lippert Thyden, wakili kutoka Ashburn katika jimbo la Virginia la Marekani, hatimaye aliweza kumkumbatia... |
null | 'Sisi ni nchi ya nyama ya ng'ombe, lakini tunaweza kununua kuku pekee' Na James Menendez na Alba Morgade BBC Buenos Aires Argentina wakati mmoja ilikuwa moja ya nchi tajiri zaidi duniani, tajiri kuliko Ufaransa au Ujerumani, na sehemu kubwa ya utajiri huo ulijengwa kwa mauzo ya nyama ya ng'ombe, hawa Uingereza. Lakini ... |
null | 'Usiwaangalie machoni': Uso kwa uso na wafungwa wa siri katika gereza-kubwa 'Usiwaangalie machoni': Uso kwa uso na wafungwa wa siri katika gereza-kubwa Siku chache baada ya rais wa El Salvador Nayib Bukele kuchaguliwa tena, BBC imepewa fursa adimu ya kuingia katika gereza kubwa ambalo limekuwa ishara ya vita vya rais h... |
null | Jinsi magenge yalivyoibuka na kuitawala Haiti - Author, By Vanessa Buschschlüter - Nafasi, BBC News Online Latin America and Caribbean editor Maelfu ya wafungwa wamekuwa huru baada ya magenge kuvamia jela na kuwaachia huru, katika nchi yenye serikali isiyo na afisa hata mmoja aliyechaguliwa na raia na kiongozi wa genge... |
null | Wimbo wa kibaguzi watia doa ushindi wa Argentina wa Copa America - Author, Tim Vickery - Nafasi, BBC Argentina imeshinda Copa America, lakini imepoteza heshima ya wengi kwa namna ya usherehekeaji wao. Kiungo wa timu hiyo Enzo Fernandez anakabiliwa na kesi ya kinidhamu huko Chelsea, baada ya kuchapisha video kwenye mtan... |
null | China, Urusi, Iran zinafaidika vipi kwa kumsaidia Nicolás Maduro kusalia madarakani nchini Venezuela? Uhalali wa Rais wa Venezuela Nicolás Maduro unasalia kuwa mashakani baada ya uchaguzi wa Julai 28, ambapo alitangazwa mshindi na Baraza la Taifa la Uchaguzi linalounga mkono serikali (CNE). Mwanadiplomasia mkuu wa Umoj... |
null | Jinsi ghasia za magenge zilivyoteka ‘Paradiso’ ya utalii Na Ana María Roura, Daniel Wittenbeg & Blanca Moncada, BBC News Mundo, Guayaquil "Mambo ni hatari hivi sasa. Kifo kinaweza kutoka popote," Paul anatuambia. Paul ambaye ni mwanaume mwembamba, mwenye umbo dogo mwenye umri wa miaka takriban 30 ni mwanachana wa genge... |
null | Viboko wa Pablo Escobar kuhamishwa kwa dola milioni 3.5 Viboko wa Pablo Escobar kuhamishwa kwa dola milioni 3.5 Colombia imesema mpango wa kuwahamisha viboko 70 hadi kwenye hifadhi za ng'ambo utagharimu dola milioni 3.5. Mlanguzi wa dawa za kulevya Pablo Escobar, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi mwaka 1993, ... |
null | Jenerali wa Bolivia Gary Prado Salmon aliyemkamata mwanamapinduzi wa Cuba afariki dunia Jenerali wa Bolivia aliyemteka mwanamapinduzi wa Cuba Ernesto "Che" Guevara na kuwa shujaa wa taifa amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84. Mnamo mwaka wa 1967 Gary Prado Salmon aliongoza operesheni ya kijeshi huko Bolivia, akiun... |
null | Familia yangu bado iko hai? Swali la kila siku wanalojiuliza Wahaiti Kwa muda wa mwezi mmoja uliopita, Nun Neethoudjif Méléance amezoea utaratibu wenye machungu. Yeye huangalia simu yake kila siku ili kuona ikiwa familia yake bado iko hai. Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 22 anaishi Cap-Haitien pamoja na kaka yake. La... |
null | Kwa nini Nicaragua inawafukuza viongozi wa Kikristo? Mapema mwaka jana, serikali ya Nicaragua iliwakamata viongozi kadhaa wa Kikatoliki, akiwemo Askofu wa Kanisa Katoliki nchini humo Rolando Alvarez, na kuwafunga katika jela la La Modela - kilomita 12 kutoka mji mkuu wa Nicaragua, Managua. Askofu Rolando alihukumiwa ki... |
null | Jinsi ya kuishi katika nchi ambayo bei ya bidhaa inapanda kwa karibu asilimia 109 kila mwaka Kwa Yanina, kuishi katika nchi yenye mfumuko mkubwa wa bei sio jambo geni: alipofungua duka lake dogo miaka kumi iliyopita katika kitongoji cha Buenos Aires, mfumuko wa bei wa kila mwaka ulizidi asilimia 25. Licha ya kwamba bei... |
null | Wanaume wanaopigana na kiongozi wa genge Barbecue kuwania madaraka nchini Haiti Askari wa zamani ambaye anapenda kufanya mikutano ya wanahabari akiwa amebeba bunduki yenye nguvu na mhalifu mchanga anayependa kuigiza katika video za rap kwa kuwa anasafirisha silaha na dawa za kulevya. Hawa ni wawili tu kati ya viongozi ... |
null | 'Malkia wa uhalifu' - Wanawake sita wanaoendesha biashara ya dawa za kulevya Amerika ya Kati Tukio la hivi karibuni la Kukamatwa kwa Herlinda Bobadilla huko Honduras lilizua maswali mengi kuhusu mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 61 ambaye angekuwa kiongozi wa moja ya wasambazaji wakubwa dawa za kulevya Amerika ya Kati... |
null | Zifahamu silaha zisizo za kawaida zinazotumiwa na magenge ya wahalifu Mexico Kifo cha mkulima mmoja Februari mwaka huu, baada ya kukanyaga bomu lililotegwa na walanguzi wa dawa za kulevya huko Aguililla, magharibi mwa Mexico, kiliibua wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa ghasia katika eneo ambalo tayari limeathiriwa kwa miak... |
null | Je, hii ndiyo nchi yenye mapinduzi mengi zaidi duniani? Polisi walimkamata kiongozi wa mapinduzi saa chache baada ya wanajeshi kuivamia ikulu ya rais katika mji mkuu wa Bolivia, La Paz. Bustani ya Murillo, medani ambazo ofisi muhimu za serikali ziko, zimejaa mamia ya askari na magari ya kivita. Gari la kivita lilijarib... |
null | El Chapo Guzmán: "Katika miaka 6 sijaona jua" Joaquín "El Chapo" Guzmán, ambaye alikuwa mmoja wa walanguzi wa dawa za kulevya waliokuwa wakisakwa zaidi duniani, amewasilisha ombi lakutaka usaidizi kwa kwa rais wa Mexico. Mmoja wa mawakili wa "El Chapo", José Refugio Rodríguez, alieleza kuwa mteja wake alimweleza kuhusu... |
null | Mzozo kuhusu eneo lisilojulikana sana lenye utajiri wa mafuta unaosababisha wasiwasi wa kimataifa - Author, Norberto Paredes - Nafasi, BBC World Service Katikati ya Amerika, mivutano ya mpaka juu ya eneo linaloshindaniwa inasababisha wasiwasi wa kimataifa. Mzozo ni juu ya uhuru wa Essequibo, eneo linalounda theluthi mb... |
null | Kwa nini Marekani iliikamata ndege ya Rais Maduro huko Dominika? Mamlaka nchini Marekani imeikamata ndege inayotumiwa na Rais wa Venezuela Nicolas Maduro kutoka Jamhuri ya Dominika na kuipeleka Florida Kusini. Wizara ya Sheria ilisema ndege hiyo ilikamatwa kwa ombi la Marekani baada ya kukiuka vikwazo. Akijibu hatua hi... |
null | Herlinda Bobadilla: Je mwanamke huyu mkuu wa genge la mihadarati la Montes Bobadilla aliyekamatwa Honduras ni nani? Ni kama athari kubwa: mara baada ya mmoja kukamatwa, baadhi ya wahusika wakuu katika biashara ya dawa za kulevya nchini Honduras wameanza kunaswa mmoja baada ya mwingine. Wa kwanza Juan Antonio Hernández,... |
null | Ariel Henry: Kupanda na kuporomoka kwa Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry, waziri mkuu wa Haiti tangu Julai 2021, alitangaza Jumatatu kwamba atajiuzulu punde tu baraza la mpito litakapoundwa kuchukua nafasi yake. Kujiuzulu kwake kulitarajiwa kwani wimbi la ghasia za magenge limeikumba mji mkuu, na kufanya isiwezekane kwa... |
null | Utapeli wa mapenzi : Mwanamke atekwa zaidi ya mwaka Nigeria Mwanamke wa Marekani aliyehadaiwa na kupelekwa Nigeria kwa ahadi ya kuolewa na mwamume aliyekutana nae katika mtandao wa kijamii wa by Facebook ameokolewa baada ya kuzuiliwa mateka kwa zaidi ya mwaka mmoja, polisi wamesema. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 4... |
null | Mbinu za kuepuka walaghai wa mtandao - Author, Yaniv Hanoch & Nicholas J. Kelley - Nafasi, The Conversation Kufuatilia ulaghai wa hivi punde wa kidijitali kunachosha. Walaghai wanaonekana kuwa hatua moja mbele kila wakati. Lakini utafiti wetu uligundua kuwa kuna jambo moja rahisi unaweza kufanya ili kupunguza kwa kiasi... |
null | Uhalifu Daniel Khalifa, mwanajeshi wa Uingereza aliyekuwa na ndoto ya umaarufu na kuwa jasusi wa Iran 5 Disemba 2024 Wizi mkubwa wa benki uliowashangaza wapelelezi wa Scotland Yard 21 Novemba 2024 Mkuu wa genge la wahalifu anayeliongoza genge lake akiwa gerezani 17 Oktoba 2024 Mkulima mzungu atuhumiwa kuwaua wanawake w... |
null | Waridi wa BBC: ''Nilimpata mume wangu kupitia mtandao wa kijamii'' - Author, Anne Ngugi - Nafasi, BBC Swahili Alice Njeri au kwa jina la lengine akifahamika kama Jeje Ndung’u , ni mwanamke kutoka Kenya anayeishi jimbo la Washington nchini Marekani. Miaka nane iliyopita alifunga ndoa na barafu wake wa moyo , mume wake. ... |
null | Haki za Wanawake 'Ikiwa unataka kupata mtoto, kwa nini usubiri kupata mwanaume?' 9 Disemba 2024 Julia Pastrana: Mfahamu mwanamke wa karne ya 19 ambaye uso wake ulifunikwa na nywele 24 Novemba 2024 Wafahamu wanawake wanaotetea haki za wanaume duniani 20 Novemba 2024 Waridi wa BBC: Nimebadili maisha ya wanawake elfu 10 k... |
null | Uhalifu wa Kimitandao Je, bosi wa akili mnemba (AI) atakuwa bora zaidi kuliko bosi binadamu? 7 Julai 2024 'Wadukuzi walivujisha picha zangu za utupu baada ya kipakatalishi changu kuibiwa' 17 Juni 2024 Vijana wa kiume wanaotumia picha za utupu kufanya utapeli 6 Juni 2024 Ruja Ignatova: Malkia wa sarafu ya mtandaoni aliy... |
null | Usalama wa Kompyuta Je, bosi wa akili mnemba (AI) atakuwa bora zaidi kuliko bosi binadamu? 7 Julai 2024 'Niliulizwa kutuma picha za utupu baada ya kuunda 'urafiki' kwenye Roblox' 13 Mei 2024 Tapeli wa mapenzi alivyowalaghai wanawake pauni 80,000 7 Mei 2024 Huduma ya kuwapa wanawake ujauzito India: Jinsi wanaume hawa wa... |
null | Catfishing: Jinsi nilivyozama mapenzini na tapeli wa mtandaoni Upendo unaweza kudanganya. Hata mapenzi yetu ya kila siku ya ana kwa ana yanaweza kuwa ya siri na yenye uchungu. Lakini unapofanya uhusiano kupitia ulimwengu wa uwongo wa teknolojia ya hali ya juu, hisia zako za karibu zaidi zinaweza kuwa hatarini zaidi kuk... |
null | Barua kutoka Afrika : Tamaa ya utajiri wa haraka yawapelekea wengi kutapeliwa Kenya Katika mfululizo wetu wa makala kutoka kwa wanahabari wa Afrika, Waihiga Mwaura kutoka Kenya ameandika kuhusu utapeli wa pesa za mtandaoni ikiwemo mmoja ambaye alifanya biashara kwa kutumia jina lake kulaghai wawekezaji. Nilipigiwa simu... |
null | Uvamizi wa Kimitandao "Walinivua nguo, wakanikalisha kwenye kiti na kuipiga miguu yangu kwa umeme ." 9 Aprili 2024 Jinsi ya kugundua ulaghai wa ofa za kazi kwenye WhatsApp na nini cha kufanya ili kuziepuka 5 Februari 2024 Programu ya mkopo wa papo hapo ambayo inatumia picha za utupu kukulaghai 11 Oktoba 2023 Je, kundi ... |
null | Biashara ya kidijitali Unatumia WhatsApp bure: Je, mtandao huo unapataje pesa? 27 Oktoba 2024 Bilionea wa Afrika Kusini ampiku Dangote kama mtu tajiri zaidi barani Afrika 28 Agosti 2024 Utafutaji wa namba za bahati nasibu zinazoendesha maisha yetu 21 Julai 2024 Je, bosi wa akili mnemba (AI) atakuwa bora zaidi kuliko bo... |
null | India Ukomo wa hedhi: Mwiko unaowahangaisha wanawake wa Kihindi 23 Novemba 2024 Je, kisiwa hiki kidogo cha Mauritius ni kituo cha siri cha ujasusi? 23 Novemba 2024 Namna tuhuma za hongo zinazomwandama Adani zitaathiri uchumi na siasa za India 22 Novemba 2024 Video za mapishi ya kuchanganya 'mate' na 'mkojo 'katika chak... |
null | Benki Wizi mkubwa wa benki uliowashangaza wapelelezi wa Scotland Yard 21 Novemba 2024 Utapeli wa ustadi wa juu duniani unaojumuisha Wanigeria kwa kuzimiwa simu tu 11 Juni 2023 Tunachokijua kufikia sasa kuhusu benki iliyoporomoka ya SVB nchini Marekani 14 Machi 2023 Hii ndiyo mashine ya ATM ya juu zaidi duniani 9 Oktoba... |
null | Ulaghai na kushawishiwa katika mipango ya kupata utajiri wa haraka wa kuuza bidhaa Kampuni ya kuuza moja kwa moja ya QNET imeshutumiwa na wakala wa uhalifu wa kiuchumi nchini India kwa kudanganya, "idadi kubwa ya wawekezaji wasio na hatia". BBC imekuwa ikizungumza na waathiriwa na wanaharakati dhidi ya mpango huo, amba... |
null | Nigeria 'Maiti zimetapakaa kila mahali' - wanakijiji wanaomboleza vifo vya watoto waliodondoshewa makombora 3 Disemba 2024 Ujauzito wa miezi 15!: Fahamu sakata la mimba za 'muujiza' Nigeria 25 Novemba 2024 Mvutano wa Dangote na mafia wa mafuta Nigeria: Nani atashinda? 18 Novemba 2024 Mfalme aliyekatazwa kumuona mama ya... |
null | Volodymyr Zelensky: Mfahamu rais wa Ukraine aliyeacha umaarufu wake wa TV na kuingia kwenye siasa Wakati Volodymyr Zelensky anaonekana kwa mara ya kwanza kwenye TV kama rais wa Ukraine, alifanya hivyo kama muigizaji katika mfululizo maarufu wa vichekesho. Amelihamasisha taifa kwa hotuba zake na picha zake za video na k... |
null | Vladimir Putin: Rais wa Urusi aliyeagiza shambulio Ukraine Huenda Rais wa Urusi, Vladimir Putin amewashangaza wengi kwa kuivamia Ukraine, hatua yake kubwa zaidi katika eneo hilo tangu kulinyakua jimbo la Crimea mwaka 2014 lakini hajawahi kufanya azma yake ya kurejesha ushawishi wa Urusi kuwa siri. Putin amekuwa madarak... |
null | Vita vya Ukraine: Majasusi wa nchi za Magharibi wataka kuingia 'ndani ya kichwa cha Putin' Kiongozi wa Urusi Vladimir Putin amenaswa katika ulimwengu uliofungiwa wa kujitengenezea mwenyewe, majasusi wa nchi za Magharibi wanaamini. Na hilo linawatia wasiwasi. Kwa miaka mingi wamekuwa wakitafuta kuingia akilini mwa Putin... |
null | Mzozo wa Ukraine: Putin humsikiliza nani? Katika wiki chache zilizopita, Rais wa Urusi Vladimir Putin amefanya maamuzi muhimu ambayo yatakuwa na athari ya kudumu sio tu kwa Ukraine na Urusi lakini kwa ulimwengu wote. Alipoyafanya maamuzi haya alishauriana na nani? Je, sauti ya kijeshi ya Moscow ni matokeo ya ushawishi ... |
null | Mzozo wa Ukraine: Swift ni nini na kwa nini kuipiga marufuku Urusi ni muhimu sana? Umoja wa Ulaya, Marekani, Uingereza na washirika wamekubali kuzitenga benki kadhaa za Urusi kutoka kwa Swift, mfumo wa malipo wa kimataifa unaotumiwa na maelfu ya taasisi za kifedha. Hatua hiyo inalenga kugusa mtandao wa benki nchini hum... |
null | Mzozo wa Ukraine: Kwanini Urusi inaivamia Ukraine na Putin anataka nini? Kupitia angani , nchi kavu, na baharini, Urusi imeanzisha shambulio baya dhidi ya Ukraine, nchi yenye demokrasia barani Ulaya ya watu milioni 44. Kwa miezi kadhaa Rais Vladimir Putin alikuwa amekanusha kuwa angevamia jirani yake, lakini kisha akav... |
null | Mzozo wa Ukraine:Makombora ya stinger na silaha nyingine kali zinazotumiwa Ukraine Urusi imeshutumiwa kwa kutumia silaha haramu na hatari hatua inayochukuliwa kama ukatili na unyama dhidi ya raia nchini Ukraine tangu ilipoivamia nchi hiyo jirani. Matumizi ya silaha za thermobaric na mabomu ya 'cluster' yamelaaniwa sana... |
null | Uvamizi wa Ukraine: Shambulio la Urusi kwenye ramani Urusi imetekeleza uvamizi mkubwa dhidi ya Ukraine kutoka pande tatu kuu. Ripoti zinasema wanajeshi wanasonga mbele kutoka kaskazini kuelekea Kyiv; kutoka mashariki kupitia Donetsk, Luhansk na Kharkiv; na kutoka Crimea kusini. Katika chini ya saa 24, maeneo kadhaa yam... |
null | Ulaya ya Mashariki Vita vya kielektroniki': Mbinu ya kuharibu silaha ya Urusi inayoishangaza NATO 15 Novemba 2024 'Inatisha - lakini hata kujifungua ni hivyo tu': Kikosi cha wanawake kinachozisaka ndege zisizo na rubani za Urusi 16 Oktoba 2024 Siri ya silaha ya siri ya urusi iliyoanguka Ukraine 12 Oktoba 2024 Je, Polan... |
null | Mzozo wa Ukraine: Putin anataka nini Ukraine na je Urusi inaweza kumaliza vita ilivyovianzisha? Wakati Vladimir Putin alipovunja amani huko Ulaya kwa kuanzisha vita juu ya demokrasia ya watu milioni 44, alihalalisha hilo kwa kusema kwamba Ukraine ya kisasa, inayofuata umagharibi ilikuwa tishio na Urusi haikuweza kujion... |
null | Masuala ya Kifedha ya Kibinafsi Muda mwafaka,bahati au talanta-kipi humfanya mtu kuwa bilionea? 29 Julai 2024 Viza ya Dhahabu ni nini na kwa nini ina utata? 21 Aprili 2024 Mabilionea wanavyotoa pesa zao kuboresha maisha ulimwenguni 5 Machi 2024 AI: Je, ni mianya gani ya uhalifu wa kifedha ya benki inayosababishwa na te... |
null | Muda mwafaka,bahati au talanta-kipi humfanya mtu kuwa bilionea? - Author, Simon Jack - Nafasi, Mhariri wa Biashara, BBC News Je,Mwanafunzi wa kikomunisti wa Kiitaliano na mwigizaji, mtoto mchanga anayependa mpira na mcheshi anayefanya mzaha kuhusu chochote wana uhusiano gani? Wote walipiga hatua na kuwa wanachama wa kl... |
null | Urembo: Mwanadada avimba mdomo baada ya kudungwa sindano ya kuibadilisha muonekano Wakati Harriet Green alipoondoka kwenye saluni baada ya kudungwa sindano ya kubana mdomo, alihakikishiwa kwamba uvimbe wa ziada uliojitokeza utaisha baada ya siku chache, lakini miezi mitatu baadaye midomo yake ilikuwa bado imevimba kwel... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.