text
stringlengths
7
183k
HABARI NA MATUKIO: RAIS DKT. MAGUFULI ATOA SABABU YA UTENGUZI WA MKUU WA WILAYA YA IKUNGI RAIS DKT. MAGUFULI ATOA SABABU YA UTENGUZI WA MKUU WA WILAYA YA IKUNGI Juni 26 mwaka huu Rais John Pombe Magufuli alitangaza kuteua Wakuu wa Wilaya zote nchini, na Wakuu wa Mkoa watatu. Kati ya Wakuu wa Wilaya 139 walioteuliwa, 39...
Microsoft imefanya uwekezaji wa kimkakati katika huduma ya wapanda farasi na huduma ya mahitaji kama sehemu ya mpango ambayo inajumuisha kushirikiana katika data kubwa na miradi ya AI.
Lugano ni mji uliopo nchini Uswisi katika jimbo la Ticino. Mnamo Januari 2019 ulikuwa na wakazi 62,000 . Tazama pia Orodha ya miji ya Uswisi Tanbihi L Ticino
Waandamanaji Hong Kong watishia kuzingira ofisi za utawala | Matukio ya Kisiasa | DW | 02.10.2014\nWaandamanaji Hong Kong watishia kuzingira ofisi za utawala\nMamia ya wanafunzi wamefunga njia zinazotoka katika ofisi ya afisa mkuu wa Utawala wa Hong Kong leo, ikiwa sehemu ya maandamano ya wanaharakati wanaotaka demokra...
Gabane ni kijiji katika Kweneng East, Wilaya ya Kweneng huko nchini Botswana. Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 15,237 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011. Bibliografia 2011 Census Alphabetical Index of Districts Central Statistics Office ya Botswana 2011 Census Alphabetical Index of Villages Cen...
OMOG ALIVYOSHANGAZWA NA VIJANA WAKE KUIPASUA MBAO DAKIKA 7 ZA MWISHO - SALEH JEMBE\nHome » Kitaifa » OMOG ALIVYOSHANGAZWA NA VIJANA WAKE KUIPASUA MBAO DAKIKA 7 ZA MWISHO\nOMOG ALIVYOSHANGAZWA NA VIJANA WAKE KUIPASUA MBAO DAKIKA 7 ZA MWISHO\nKocha wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon, ameweka wazi kwamba kitendo cha w...
Mazungumzo ya Kampala juu ya DRC huwenda yakaanza wiki hii Jumapili, Septemba 26, 2021 Local time: 12:35 wapiganaji wa M23 wakiondoka kutoka Masisi na Sake mashariki ya Kongo, Nov 30, 2012. Viongozi wa wapiganaji wa kundi la waasi la M23 kutoka mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanaeleza matumaini kwamba d...
Alisema muundo wa sekta hiyo unapaswa kurekebishwa kwa ama kufutwa au kuondoshwa utaratibu wa kupanga viwango vya ufaulu wa GPA kwa wanafunzi wa elimu ya sekondari katika mitihani ya kidato cha sita na cha nne.
Zanzibar ijifunze maana ya mapinduzi kutoka Oman – Zanzibar Daima\nHomeKALAMU YA GHASSANIZanzibar ijifunze maana ya mapinduzi kutoka Oman\nZanzibar ijifunze maana ya mapinduzi kutoka Oman\nApril 5, 2017 Zanzibar Daima KALAMU YA GHASSANI 3\nKwa makusudi kabisa, wenye satwa ya kutunga sera na mwelekeo wa taifa letu wanat...
Utaifa ni itikadi ya mtu kupenda taifa lake kupita kiasi, hata kudharau watu wa mataifa mengine. Hivyo ni tofauti na uzalendo unaomfanya mtu apende nchi yake kwa kutambua mema mengi aliyopata kutoka kwake. Mara nyingi unajitokeza pia kama dharau kwa wananchi walio tofauti na kawaida kwa utamaduni, lugha n.k. Katika n...
Anayejua website ya tbc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers\nAnayejua website ya tbc\nDiscussion in 'Entertainment' started by Jamco_Za, Oct 2, 2008.\njamani nahitaji web site ya TBC maana nasikia ze comedy wameanza huko ili niweze kuona kama nitapata clips za maonyesho yao.\nLeo wametoa shoo moja kali sana siju...
Hivi karibuni pini Pro kwa WordPress ni Plugin kwamba matangazo nguvu Pinterest widget kwenye tovuti yako. Kuonyesha hadi 25 ya pini yako ya hivi karibuni wakati na kamili juu-res, picha ubora wa juu na kujengwa katika lightbox nyumba ya sanaa msaada! Je, unajua kwamba Pinterest anatoa zaidi ya rufaa trafiki kuliko Goo...
Mifumo ya ukusanyaji mapato kufumuliwa\nMAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameagiza mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji mapato ya Serikali, kufumuliwa mara moja, ili kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea).\nRais Samia ametoa agizo hilo leo Jumapili tarehe 28 Ma...
Kunapaswa kuwe na mwonekano wa jaribio wa kuangalia athari za kichujio kabla ya kuhamishiwa kwa mtazamo kuu wa kuripoti.
Utimilifu Wako Unafanya Moyo wa Yehova Ushangilie\nMnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo | Aprili 2009\nSOMA KATIKA Chinese Cantonese (Simplified) Kiajemi Kialbania Kiamhara Kiarabu Kiarmenia (cha Magharibi) Kibikoli Kicheki Kichewa Kichina (Kikantoni) Kichina (Kilicho Rahisi) Kichina (cha Kitamaduni) Kidachi Kidenishi Kiesto...
Mona Lisa (pia huitwa La Gioconda ambayo kwa Kiitalia ina maana ya mwanamke mchangamfu) ni mchoro maarufu wa mwanzoni mwa karne ya 16, kazi ya mwanasayansi na mchoraji Leonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri zaidi duniani kote. Kwa sasa mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesho (m...
Shughuli School Shule ya Biashara ya Schellhammer\nShule ya Biashara ya Schellhammer inapea wanafunzi wake shughuli nyingi za nje ili kuhakikisha kuwa wameandaliwa ujuzi bora na zana bora kukabiliana na changamoto za maisha yao ya kitaaluma ya kibinafsi na ya kibinafsi. Msingi wa msingi wa waanzishaji wote wa nje inayo...
Mafundisho na uzoefu kwa maaskofu wa maeneo ya kimisionari - | Vatican News\nKardinali Fernando Filoni, Rais wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Uinjilishaji wa Watu\nMafundisho na uzoefu kwa maaskofu wa maeneo ya kimisionari\nSemina kwa ajili ya Maaskofu wa maeneo ya kimisionari ambao wamepata daraja la uaskofu kwa miaka...
Kinaga ya Maring ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanaga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinaga ya Maring imehesabiwa kuwa watu 22,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaga ya Maring iko katika kundi la Kisal. Viungo vya nje lugha ya Kinaga ya Maring kwenye Multitree makala za OLAC kuh...
Wengi wamlilia mtangazaji Marin Hassan - Mtanzania\nWengi wamlilia mtangazaji Marin Hassan\nRAIS Dk. John Magufuli ameungana na wanafamilia, wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na wanahabari kuomboleza kifo cha ghafla cha mtangazaji Marin Hassan kilichotokea Dar es Salaam jana.\nKatika salamu zake za ra...
Mashambulio katika makambi ya wakimbizi huko Mogadishu yameongeza kero - Sabahionline.com\nNa Mahmoud Mohaned huko Mogadishu.\nMlipuko mkubwa unaolenga kambi kubwa kwa watu wasio na makazi ndani ya nchi (IDPs) huko Mogadishu umeeneza hofu kubwa miongoni mwa wakazi wake na kuchochea wito kwa serikali kuongeza ulinzi wa ...
Bundi (pia mabundi) ni ndege mbuai wa familia Tytonidae na jenasi mbalimbali ya familia Strigidae. Ukurasa huu unahusu familia Tytonidae. Spishi hizi zina rangi ya kahawa nyuma na nyeupe mbele pamoja na madoa madogo meusi. Kichwa chao kina umbo la mviringo na uso mwao una umbo la moyo. Bundi hula ndege na wanyama wadog...
Mwanamfalme Charles atoa heshima kwa wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda – Mwanzo TV\nMwanamfalme Charles atoa heshima kwa wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda\nViongozi wa mataifa ya Jumuiya ya Madola wanatarajiwa mjini Kigali katika siku zijazo kwa mkutano wa jumuiya hiyo yenye wanachama 54 ya makoloni y...
UN: Raia sita wauawa katika shambulio la waasi kaskazini mwa CAR - Pars Today\nAug 01, 2021 08:04 UTC\nMsemaji wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo (Minusca) amesema watu hao waliuawa jana Jumamosi baada ya watu waliobeba silaha wa genge la 3R (Return, Reclamation, Rehabilitation) kushambulia ki...
Jinsi upotofu wa chromatic na upotovu huathiri faili za picha - Chengdu Ruibo Technology Co, Ltd.\nJinsi upotofu wa chromatic na upotovu huathiri faili za ima\n1. mabadiliko ya chromatic\n1.1 Ukosefu wa chromatic ni nini\nUtoaji wa chromatic unasababishwa na tofauti katika upitishaji wa nyenzo. Nuru ya asili inajumuish...
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO YAWATAKA WAMILIKI WA VIBANDA SOKO LA SHEKILANGO NA SINZA KULIPA KODI KULINGANA NA BEI ELEKEZI\nAfisa Biashara wa Manispaa ya Ubungo Prisca Mjema wakati akitoa ufafanuzi kuhusiana na bei iliyowekwa na Manispaa kama malipo ya kodi ya vibanda vya soko la Shekilango na Sinza.\nAkiongea na ...
Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili: IBRAHIM\nIBRAHIM - سورة ابراهيم\nAlif Lam Ra. (A. L. R.) Hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha kwako ili uwatowe watu kwenye giza uwapeleke kwenye muwangaza, kwa idhini ya Mola wao Mlezi, uwafikishe kwenye Njia ya Mwenye nguvu, Msifiwa,\nNaye ni Mwenyezi Mungu ambaye ni vyake Yeye vy...
Kinshasa yataka kufungwa kwa mitandao ya kijamii\nImechapishwa: 18/12/2016 - 17:48\nMitandao ya kijamii inatazamiwa kufungwa nchini DRC, baada ya serikali kuagiza juma hili makampuni ya kutoa huduma za intaneti kufunga mitanado hiyo. REUTERS/Dado Ruvic/Illustration\nSerikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeyaomb...
Felicity Ann Dawn Aston alizaliwa 7 Oktoba 1977 ni mtafiti kutokea nchini Uingereza, mwandishi na mwanasayansi wa zamani wa masuala ya hali ya hewa. Maisha ya Awali na Taaluma Alizaliwa katika mji wa Birchington-on-Sea, Kent, na kusoma katika shule ya wasichana na kupata elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha London . K...
JAMBAZI LAUAWA KISA PESA ZA ATM ~ Blogu ya Wananchi\nJAMBAZI LAUAWA KISA PESA ZA ATM\nMTU mmoja anayesaidikiwa kuwa ni jambazi ameuawa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) katika eneo la Kurasini, wakati yeye na wenzake wawili wakijaribu kupora fedha zilizokuwa zinapelekwa kwenye ATM ya benki.\nTaarifa zilizos...
Jinsi Matangazo yanavyofanya kazi\nJumatano, Mei 4, 2016 Alhamisi, Mei 5, 2016 Douglas Karr\nWakati wa kutafiti mada ya matangazo, Nilitokea juu ya infographic kwenye Jinsi Matangazo Yanatufanya Kununua. Infographic hapa chini inafungua na wazo kwamba kampuni ni tajiri na zina milundo ya pesa na hutumia kudhibiti hadhi...
Kwanini vizazi vya ukoo wa Yesu vinajipinga katika Mathayo na Luka. – Site title\nKwamfano tukisoma katika injili ya Mathayo, tunaona, mwandishi anaanza kueleza ukoo wa Yesu tangu Ibrahimu Mpaka Yusufu, lakini alipofika kwa Daudi, aliendelea na kusema Daudi akamzaa Sulemani, (Mathayo 1:6)..Lakini tukirudi tena kwenye L...
Kaseja awekwa kiporo Simba – Bingwa\nBy Bingwa -- September 12, 2019 September 12, 2019\nNo Comments on Kaseja awekwa kiporo Simba\nMWAMVITA MTANDA NA PENDO HAMISI (TUDARCo)\nKUTOKANA na kazi kubwa aliyoifanya katika mchezo wa kuwania kutinga makundi ya kusaka tiketi ya fainali za Kombe la Dunia 2022, kipa wa Taifa Sta...
WAKULIMA MBARALI WAPEWA ELIMU KUHUSU KILIMO CHA UMWAGILIAJI NA UTUNZAJI WA UOTO WA ASILI. - MSUMBA NEWS BLOG Mhandisi John Chacha Nyamuhanga Mratibu Umwagiliaji wa Mradi wa Regrow akiongelea kuhusu lengo la Mradi katika Skimu ya Kilimo cha Umwagiliaji ya Isinyela, Iliyopo Chimala Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya. Katika p...
Arsenal watangaza rasmi ufufuo wao ligini kwa kupokeza West Brom kichapo kinono cha 4-0 ugenini – Taifa Leo\nARSENAL waliendeleza ufufuo wao kwenye kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kuwapokeza West Bromwich Albion kichapo cha 4-0 mnamo Jumamosi usiku uwanjani The Hawthorns.\nBeki Kieran Tierney aliwaweka Arsen...
SIKU moja baada ya majambazi 12 yenye silaha kuvamia tawi la benki ya Access la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na kuua kisha kupora Sh. milioni 20, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ametangaza uwezekano wa kutumia Jeshi la Wananchi (JWTZ) kusaka wahalifu wote.\nKatika tukio hilo watu sita wal...
Kiwelisi (kwa lugha hiyo: Cymraeg; kwa Kiingereza "Welsh") ni kati ya lugha ya Kiselti ya nchi ya Welisi jirani na Uingereza kwenye kisiwa cha Britania. Idadi ya wasemaji hukadiriwa kuwa kati ya watu 500,000 na 750,000. Leo hi ndiyo lugha ya Kiselti yenye wasemaji wengi. Katika Welisi ni lugha rasmi pamoja na Kiinge...
CCM MKOA WA IRINGA YAKANUSHA TAARIFA ZA MITANDAONI DHIDI YA CHADEMA, KUFANYA MKUTANO WA HADHARA KESHO - Bongo Leaks\nCCM MKOA WA IRINGA YAKANUSHA TAARIFA ZA MITANDAONI DHIDI YA CHADEMA, KUFANYA MKUTANO WA HADHARA KESHO\nKatibu wa CCM Mkoa wa Iringa Hassana Mtenga\nCHAMA cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimekanusha ta...
Burudan Mwanzo - Mwisho: Mtangazaji mahiri wa RTD Ben Kiko afariki dunia\nMtangazaji wa zamani wa Radio Tanzania (RTD) sasa TBC,Ben Hamis Kikoromo maarufu kama Ben Kiko enzi za uhai wake akiwa katika moja ya semina alizohudhuria.\nMTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamki...
Mazungumzo ya amani kuhusu Syria yang'oa nanga mjini Geneva huku pinzani ukisuasua kushiriki\nImechapishwa: 01/02/2016 - 10:32\nUjumbe wa Serikali ya Syria ukiwa mjini Geneva REUTERS/Goran\nMjumbe maalumu wa umoja wa Mataifa kuhusu Syria, anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha mazungumzo ya amani kumaliza mzozo...
VIGOGO Wawili Waliotajwa Ripoti ya Makinikia Wamwaga Fedha Kanisani - BonGossip - Bongo Gossip - Udaku Hardcore\nVIGOGO Wawili Waliotajwa Ripoti ya Makinikia Wamwaga Fedha Kanisani\nWABUNGE watatu, wakiwamo Andrew Chenge na William Ngeleja ambao Kamati ya pili ya Rais kuchunguza masuala ya kisheria na kiuchumi kuhusian...
Lilith ni jina la mwanamke ambaye katika hadithi fulani za Mesopotamia ya kale anatajwa kama mungu mke ambaye anahusika na dhoruba akazaa majini. :Picha:==Katika Biblia== Biblia inasimulia jinsi dunia ilivyoumbwa na mwanzo wa binadamu. Katika maandiko hayo, masimulizi ya uumbaji yana changamoto kuyafahamu sawasawa, hu...
Hivi jamani kuna vya wanawake na vya wanaume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers\nHivi jamani kuna vya wanawake na vya wanaume?\nDiscussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WomanOfSubstance, Nov 11, 2009.\nNinaleta mada hii ili kujaribu kuelewa zaidi kuhusu wanawake na wanaume katika kupendelea vitu ...
Siku ileile (28-12-1965) ambayo Mtaguso wa pili wa Vatikano ulitoa hati kuhusu uchungaji wa maaskofu ilitolewa hii nyingine kuhusu kurekebisha upya maisha ya kitawa, nayo pia msingi wake ni hati Lumen Gentium juu ya Kanisa ambamo watawa wana nafasi yao (sura ya sita). Hati ilitolewa na Papa Paulo VI baada ya kupata ku...
Wakati wa kufunguliwa kwa bunge NASA nao walikuwa wakiendelea na mkutano wao katika ngome yao kisiasa, mtaa wa Kibera mjini Nairobi.
ni kati ya mito ya mkoa wa Lindi (Tanzania Kusini Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi. Tazama pia Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa wa Lindi Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Tanzania Mkoa wa Lindi Bahari ya Hindi
Jinsi ya Kuongeza Gadgets katika Windows 7 - Mediahuru\nHatua ya 1: Kuleta Gadget Window\nMojawapo ya changamoto za kuhama kutoka kwenye Windows Vista hadi Windows 7 ni kujifunza sehemu ambazo vitu vimehamia. Kwa mfano, Vista ilikuwa na “Gadgets” – programu ndogo ya uzalishaji ambazo daima huonekana kwenye desktop yako...
Kama ilivyo kawaida yake mzee wa Surpries mheshimiwa kanali dokta JEYKEY anatarajia kuushangaza umma leo kwa kutoa jina la Waziri mkuu ambaye watu hawataamini masikioni mwao! Tumeanza na sita sasa Subirini! UPDATES: JK akabidhi rasmi jina la Waziri Mkuu kwa Spika Anne Makinda!! JINA...\nOle wenu chaka chua matokeo (ccm...
WASIRA ARUDI KORTINI KUMNG’ANG’ANIA BULAYA - Mtanzania\nWASIRA ARUDI KORTINI KUMNG’ANG’ANIA BULAYA\nMAHAKAMA ya Rufaa Tanzania imepanga kusikiliza rufaa ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Bunda Alhamisi ya wiki hii.\nMahakama hiyo ilitoa uamuzi huo jana katika rufaa iliyokatwa na wapigakura wanne wa jimbo hilo....
Lepurko ni kata ya Wilaya ya Monduli katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23413. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,151 walioishi humo. Marejeo Wilaya ya Monduli
ni mji na wilaya iliopo Mkoani Konya kwenye kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki. Viungo vya Nje
Waabudu hela waeneza vifo nchini – Taifa Leo\nWAKENYA wanapozama katika umaskini na kufa kwa maradhi na njaa, watu wenye ushawishi serikalini na wafanyabiashara walafi wameendelea kutumia majanga kujinufaisha na pesa zinazopaswa kuokoa maisha.\nNi watu wasiojali maisha ya binadamu na msukumo wao maishani ni kupata pesa...
National Audit Office of Tanzania » CAG ahudhuria kikao cha 67 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBOA)\nCAG ahudhuria kikao cha 67 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBOA)\nCAG AHUDHURIA KIKAO CHA 67 CHA BODI YA UKAGUZI YA\nUMOJA WA MATAIFA (UNBoA)\nMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw...
MATUKIO @ MICHUZI BLOG: MAJABA ALIVYOPOKELEWA KWENYE NYUMBA YAKE BUNJU B JIJINI DAR\nNyumba iliyopo Bunju B ilivyokuwa kabla ya makabidhiano jana. Mkurugenzi wa Mkuu wa Global Group, Eric Shigongo (wa kwanza kulia) na George Majaba (wa pili kulia) pamoja na Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho wakijadiliana jambo. .....
BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero\nTuesday, April 07, 2009 7:35 AM\nBENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imesema imetoa ushauri kwa Benki ya Nation Microfinance Banki kujiunga na mfumo wa omoja switch ambayo imekuwa ikirahisha huduma ya kutoa fedha kwa wateja wake.\nHayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Usimamiazi wa ...
Jacques Berman Webster II (anajulikana pia kama Travis Scott ambalo ni jina lake la kisanii; alizaliwa Aprili 30, 1991) ni mwanamuziki, mwandishi, rapa na mtayarishaji wa muziki wa Marekani. Mnamo mwaka 2012 Travis aliweka mkataba na lebo ya Epic Records. Mnamo mwezi wa Novemba mwaka huohuo alijiunga na lebo ya GOOD ...
Kimandolu ni kata ya Jiji la Arusha katika Mkoa wa Arusha, Tanzania yenye postikodi namba 23110. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 27,649 walioishi humo. Marejeo Wilaya ya Arusha Mjini Mkoa wa Arusha
Philip Douglas Jones (aliyezaliwa 22 Aprili 1952) ni mkurugenzi wa zamani wa Kitengo cha Utafiti wa Hali ya Hewa (CRU) na profesa katika Shule ya Sayansi ya Mazingira katika Chuo Kikuu cha East Anglia (UEA) kuanzia mwaka 1998. Alistaafu kutoka nyadhifa hizi mwishoni mwa 2016, na nafasi yake ikachukuliwa kama mkurugenzi...
Utafiti: Njugu zinavyoboresha nguvu za kiume | Dar24\n3 years ago Comments Off on Utafiti: Njugu zinavyoboresha nguvu za kiume\nMoja kati ya changamoto kubwa inayoikabili dunia hivi sasa, ni tatizo la kuzorota kwa ufanisi katika utungaji mimba ili kufanikisha agizo la Mwenyezi Mungu, “Zaeni Mkaongezeke”.\nTatizo hilo k...
TANTRADE YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI TEMEKE - Mtanzania\nTANTRADE YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI TEMEKE\nMAOFISA watendaji kata 23 katika Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wamepewa mafunzo ya biashara na ujasiriamali kwa lengo la kuhamasisha wananchi katika maeneo yao kutambua fursa zinazowazunguka ili kubadiisha m...
MASTAA HAWA NYOTA ZAO ZINAWAKA HATARI - Mtanzania\nMTU anaweza kufanya kazi au biashara fulani kwa muda mrefu asifanikiwe, lakini akija mwingine kwenye mazingira yaleyale akatusua! Hapo sasa ndipo kitu kinachoitwa nyota au mvuto hutambulika.\nKatika tasnia ya burudani Bongo napo kuna wasanii ambao wameonekana kuwa na n...
TANESCO Kanda ya Kusini yaagizwa kuuangalia upya mgao wa umeme kwa Mkoa wa Lindi TANESCO Kanda ya Kusini yaagizwa kuuangaliaa upya mgao wa umeme kwa Mkoa wa Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi amemuagiza Meneja wa TANESCO Kanda ya Kusini kuuangalia upya mgao wa umeme kwa Mkoa wa Lindi kwani umeme umekuwa u...
Kimongol ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamongol. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimongol imehesabiwa kuwa watu 340. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimongol iko katika kundi la Kimongol-Langam, na inahusiana na lugha mbili nyingine tu, Kilangam na Kiyaul. Viungo vya nje lugha ya ...
Tarehe iliyowekwa: November 8th, 2018\nAfisa Elimu Msingi Wilaya ya Igunga Bibi Dora Stephen Simbachawene, amewataka walimu wa hisabati wa darasa la kwanza na la pili, kufata maelekezo waliyopewa na wakufunzi na yaliyopo kwenye moduli ya mwalimu ya 10 hadi 13, akifungua mafunzo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya y...
Wakati Wizara ya Maliasili ikiwakilisha bajeti yake Ufisadi wa kutisha (MBOMIPA) jimboni kwa Lukuvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers\nWakati Wizara ya Maliasili ikiwakilisha bajeti yake Ufisadi wa kutisha (MBOMIPA) jimboni kwa Lukuvi\nDiscussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fidel80, Aug 16, 2011.\nWewe dog...
Nguchiro (Kiing. mongoose) ni wanyama wadogo kiasi wa familia Herpestidae. Kuna spishi nne huko Madagaska ziitwazo nguchiro pia (nguchiro-bukini) na ambazo ziliainishwa katika Herpestidae, lakini malinganisho ya ADN yameonyesha kwamba spishi hizi zina mnasaba zaidi na spishi za Eupleridae. Sasa zimepewa nusufamilia yao...
Lissu ang'ang'aniwa Kisutu | JamiiForums\nLissu ang'ang'aniwa Kisutu\nLICHA ya utetezi wa kutaka kuondolewa kwa shitaka la kwanza na tano uliofanywa na wakili wake katika kesi ya uchochezi kwenye Gazeti la Mawio inayomuhusu Tundu Lissu, Jabir Idrissa, Simon Mkina na Ismail Mahaboob, mashtaka hayo wamesomewa leo,\nAwali...
Makala hii inahusu mwaka 912 KK (kabla ya Kristo). Matukio Waliozaliwa Waliofariki Karne ya 10 KK
Balozi wa Ujerumani Avutiwa na Mazingira ya Biashara Nchini - HABARI ZA JAMII\nHome / Unlabelled / Balozi wa Ujerumani Avutiwa na Mazingira ya Biashara Nchini\nBalozi mdogo wa Ujerumani nchini Balozi John Reyes (wa kwanza kulia) akiwa na sehemu ya wageni waalikwa katika hafla ya kupongeza kampuni za Kijerumani zinazosh...
RAIS Zuma Kutua Nchini Tanzania Leo - MuzikiZaidi\nRais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anatarajiwa kuwasili nchini leo (Jumatano) saa 10.00 jioni. Rasi Zuma atakuwa nchini kwa ziara ya siku tatu kufuatia mwaliko kutoka kwa Rais John Magufuli. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Afrik...
Matukio na Wanavyuo: MWANAFUNZI WA CBE-DODOMA AFARIKI DUNIA.‏\nMWANAFUNZI WA CBE-DODOMA AFARIKI DUNIA.‏\nMAREHEMU SAMWEL P. KITULA\nIkiwa ni siku moja imepita Tangu Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dodoma kiondokewe na aliye wahi kuwa Mwanafunzi wa Chuo hicho katika Level ya Diploma 2012/2013 Marehemu Zeinabu J. Kaseng...
Kisingpho ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasingpho. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisingpho imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisingpho iko katika kundi la Kisal. Viungo vya nje lugha ya Kisingpho kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kisingpho lugha ya Kisi...
100,000 hufa kwa dawa bandia Afrika | Afya na masuala ya kijamii | DW | 17.01.2018\n100,000 hufa kwa dawa bandia Afrika\nBara la Afrika linakabiliwa na changamoto kubwa ya magonjwa lakini sasa kuna changamoto kubwa zaidi ya kutibu magonjwa hayo. Kukua kwa biashara ya dawa bandia ni janga jingine barani humo ambalo husa...
The Herbs | Live Natural\nISHI KWA ASILI\nAsante kwa kuchukua muda kujifunza kuhusu mitishamba 7 ya kupendeza\nAlpha-Omega 7, kizazi cha pili cha Alpha RX Plus kudhibiti\nUpungufu wa nguvu za kiume.\n"Mmea 7 bora kuwahi kuunganishwa kwa mwanadamu!"\nAlpha-Omega7 inashiriki mimea sawa ya kuboresha afya ambayo ilitumiwa ...
Msimamo wenye utata wa Gulbuddin Hekmatyar kuhusu kuundwa serikali ya muda Afghanistan - Pars Today Oct 27, 2020 02:27 UTC Mkuu wa chama cha Kiislamu cha Afghanistan katika msimamo wake uliozusha utata na mjadala amesema kuwa njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ni kuunda serikali ya muda. Gulbuddin Hek...
kwa waliokosa mkopo ila wameripoti vyuoni | JamiiForums\nkwa waliokosa mkopo ila wameripoti vyuoni\nThread starter Bayeke\nnaomba niulize hiyo risiti ya malipo wanayodai ni ya direct cost au ada kwa mwaka wa kwanza.\nKuna walikosa mkopo ambao wameripoti vyuoni,sasa naomba kujuzwa wakiwa wanasajiliwa ni lazima walipe nu...
Hakuna Mwingine Aliyezungumza Hivyo | Maisha ya Yesu\n‘Hakuna Mtu Mwingine Ambaye Amewahi Kuzungumza Hivyo’\nMAOFISA WATUMWA WAKAMKAMATE YESU\nNIKODEMO AMTETEA YESU\nBado Yesu yuko Yerusalemu kwa ajili ya Sherehe ya Vibanda. Anafurahi kwamba ‘wengi katika umati wanamwamini.’ Hata hivyo, viongozi wa kidini hawafurahishw...
Rais wa Korea ya kusini atoa wito wa majadiliano zaidi katika kuuvunja mpango wa kinuklia wa Korea ya kaskazini Lee amesema kuwa kuna hali ya dharura mkubwa kwa sababu Korea ya kaskazini imepanga mwaka 2012 kufanya maadhimisho ya miaka 100 tangu kuzaliwa kwa muasisi wa taifa hilo, Kim Il Sung , na kuwa utakuwa mwaka nc...
Wakimbizi wa DRC huko Rwanda waleta tafrani\nJanga kubwa la kibinadamu linanyemelea Tanganyika, DRC\nJanga kubwa la kibinadamu linanyemelea maeneo ya kusini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wakati huu ambapo eneo hilo linakumbwa na mapigano na ukiukwaji mkubwa wa kibinadamu.\nJanga kubwa la kibinadam...
Orodha ya mito ya kaunti ya Narok inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya eneo hilo la Kenya magharibi. Mto Absege Mto Ainumutungwe Mto Alaroshi Mto Angarrani Mto Assurr Mto Asure Mto Baboon Mto Balbal (korongo) Mto Berouajou Mto Borrowet Mto Chebuin Mto Derito Mto Donga Mto Emukur Mto Em...
Makala Ya Wazi: #BaruaYaShushushu Wazalendo (kama mpo) TISS Mjifunze Kinachoendelea Marekani\nKwenda Kinyume na Sheria/Kanuni Ili Kuinusuru Nchi Ni Uzalendo Uliotukuka\nKaribu katika makala ya wazi ya toleo la wiki hii la kijarida cha #BaruaYaShushushu ambacho hutumwa Ijumaa kwa wanachama wa #BaruaYaChahali yenye mkusa...
Punguzo la 70% la Kuponi na Kuponi za iPaint.us\niPaint.us Nambari za kuponi\nOfa ya $ 20 ya Zaidi ya $ 100 + Usafirishaji wa Bure Jinsi ya kutumia kuponi ya IPAINT.US IPAINT inatoa bei za kuuza kwa vitu bora kuuza na nafasi za mwisho. Jisajili kwenye orodha ya barua pepe kuwa na utaalam, matangazo, na kuponi zilizotum...
Robert Rihmeek Williams (anajulikana kama Meek Mill; amezaliwa Mei 6, 1987) ni rapa, mwandishi wa nyimbo, na mwanaharakati wa Marekani. Alizaliwa na kukulia Philadelphia, na baadaye akaunda kikundi cha rap cha muda mfupi, The Bloodhoundz. Mnamo Februari 2011, baada ya kuacha rekodi ya Grand Hustle, Mill alisaini na R...
Kwa mwaka huu 2022 usinunue simu iliyotoka mwaka 2018 kurudi nyuma Aprili 22, 2022, 7:00 um Lakini kabla ya kufanya hivyo pengine unipe muda wako nikwambie ni kwanini usinunue simu yenye umri zaidi ya miaka 4 kuanzia simu hiyo ilipo zinduliwa rasmi. Hii ni sawa na kusema kwa sasa mwaka 2020 usinunue simu iliyo zinduliw...
Chama Awekewa Mil 300 Yanga SC | Udaku Special\nHomeMichezoChama Awekewa Mil 300 Yanga SC\nChama Awekewa Mil 300 Yanga SC\nIMEFAHAMIKA kuwa kiungo mchezeshaji raia wa Zambia, Clatous Chama, amekataa mkataba wa miaka miwili Simba wenye dau la Sh milioni 150 huku watani wao wa jadi wakimtengea Sh milioni 300.\nKiungo huy...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) jana tarehe 13 Machi, 2020 ilifanya ziara katika Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara kwa kutembelea miradi ya Ujenzi wa Barabara za lami na Standi Mpya ya Mabasi ya Babati.\nMkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Babati Bw. Fortunatus Fwema ( wa kwanza kulia) ...
Felicity Okpete Ovai (alizaliwa mnamo 1961) ni mhandisi na mwanataaluma kutoka kijiji cha Degema, Rivers State huko nchini Nigeria. Ni mwanachama wa chama cha Rivers State People's Democratic Party, akiwa ni mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kwenye nafasi ya kamishna wa kazi akitumikia kwenye kitengo hicho tangu mwak...
Katika aya hiyo inayopatikana katika Qur’an, 96:1-2 na ambayo ilikuwa ya kwanza kuteremshwa kwa Mtume Muhammad na kutakiwa kuisoma inasema:
Udemy sio ya kila mtu na neema yao ya kuokoa iko katika hifadhidata kubwa ya yaliyomo. Shida ni kwamba kwa kuwa pia ni kituo cha watu kupata pesa, motisha nyuma ya uundaji wa rasilimali hizo inaweza kuathiri ufanisi wake.
Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Maendeleo (maana) Maendeleo ni mabadiliko yanayoonekana kuboresha hali ya binadamu. Hali hiyo inajitokeza katika nyanja mbalimbali za maisha na kulisha mawazo mengi. Upande wa sayansi yanahusika na ongezeko la ujuzi kutokana na utafiti na mabadilishano ya matokeo yake...
Tendwa: Aishukia CCJ/Mpendazoe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers\nTendwa: Aishukia CCJ/Mpendazoe\nDiscussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtu Mmoja, Apr 1, 2010.\nmsajili wa vyama vya siasa nchini bw. john tendwa amesema aliyekuwa mbunge wa kishapu kwa tiketi ya ccm bw. fred mpendazoe amekurupuk...
Mwalusako ajiuzulu Yanga\nKatibu Mkuu Lawrance Mwalusako kujiudhuru kwa sababu alizoziita za "kiafya".\nJuzi Mwalusako aliandika barua kwa mwenyekiti Nchunga ya kujiuzulu kuendelea kuitumikia klabu hiyo akiwa kama katibu wa kuajiliwa.\nHabari za uhakika zilizotolewa na mmoja wa viongozi wa Yanga zimeeleza kuwa Mwalusak...
Kampuni nyingi zinazotuma barua pepe hazidharau ni kiasi gani utoaji unaweza kuathiri mashirika yao. Barua pepe nzuri, iliyojengwa vizuri, na yenye ufanisi sana inaweza kumaliza kwenye folda ya taka ya mtu aliyejiandikisha na alitaka kubadilisha na kampuni yako. Hiyo ni hali mbaya kuwa ndani.\nwingu cloud.sample.domain...
Kati ya MBOWE na ZITTO, nani yuko sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers\nKati ya MBOWE na ZITTO, nani yuko sahihi?\nDiscussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jiwejeusi, May 5, 2011.\nNdugu zangu wajf, baada ya marumbano na minyukano baina ya MBOWE na ZITTO. Sasa naomba mwongozo wenu wanajf kwa kuuliza mas...
Hii inatumika katika ndege ya angani - umewahi kuangalia ramani halisi ya ndege na kugundua kuwa zimepigwa? Hiyo ni kwa sababu ni fupi kuruka kwa upinde kati ya alama mbili kuliko moja kwa moja kwa eneo. Asante sana kwa kushiriki nambari hii. Iliniokoa wakati mwingi wa maendeleo. Pia, asante kwa wasomaji wako kwa kuony...
Rada (ing. radar) ni jina kwa mitambo inayotumia mawimbi ya redio kutambua vitu na vyombo mbalimbali kwa kuangalia mambo kama aina, mwelekeo, kasi n.k. Rada hutumika kuchunguza ndege, meli, roketi, magari, mawingu katika utabiri wa hali ya hewa, n.k. Mfumo wa rada unatumia transimita kuzalisha mawimbi ya umeme na s...
Kuimarisha ufanisi wa utoaji wa huduma kwa umma kwa kutoa mafunzo, vitendea kazi bora na kuboresha maslahi ya Watumishi wa Umma Kuongeza kwa kasi mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Kimataifa kwa kusisitiza uzalishaji wa bidhaa zinazokidhi viwango vya kimataifa.
MHE. FLATEI G. MASSAY: Mheshimiwa Mwenyekiti, nikushukuru sana kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipa uhai na afya tele. Pia niwashukuru wananchi wa Jimbo la Mbulu Vijijini kwa kunileta humu. (Makofi)\nMheshimiwa Mwenyekiti, kwanza naomba nimpongeze kabisa Rais wetu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magu...
Katika 2017, tumeonyesha mipangilio ya 20 kutoka kwenye programu ya XL Afrika kama sehemu ya Mkutano wa Wawekezaji wa Mapema wa Afrika, na kusababisha idadi ya Mipango ya Mfululizo wa jumla ya $ 12M. Kujenga mafanikio haya, 'VC4A Showure - Mfululizo A' sasa imeunganishwa kama sehemu kuu ya Mkutano wetu wa kila mwaka. H...
ni volkeno ya kale lakini hai yenye kimo cha mita 1,528 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Baringo. Tazama pia Orodha ya milima ya Kenya Orodha ya milima ya Afrika Orodha ya milima Orodha ya volkeno nchini Kenya Marejeo Bonde la Ufa la Afrika Mashariki Milima ya Ken...