id string | story_id string | context string | question string | answer string | paragraph_id string |
|---|---|---|---|---|---|
5241_swa_4 | 5241_swa | UFAHAMU 8 Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi? Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo h... | Kwa nini project X ilipotosha vijana | Wanaafunzi wanajihusisha na kila aina ya uovu | x |
5242_swa_0 | 5242_swa | UFAHAMU 9 Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoya... | Mtazamo hasi ni nini | Ni kukata tamaa | x |
5242_swa_1 | 5242_swa | UFAHAMU 9 Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoya... | Asilimia kubwa ya wanaotambua hutatizika kujikwamua kutoka wapi | Katika hali hii | x |
5242_swa_2 | 5242_swa | UFAHAMU 9 Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoya... | Kwa kila saa 24 inakadiriwa kwamba watu huwa na takribani mawazo mangapi | Elfu sitini | x |
5242_swa_3 | 5242_swa | UFAHAMU 9 Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoya... | Mitazamo hasi ina vyanzo na pia nini | Suluhu | x |
5242_swa_4 | 5242_swa | UFAHAMU 9 Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoya... | Ni nini kinachomuingiza mtu katika hali hii | Fikra zake au za watangulizi | x |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.