audio_ID stringlengths 17 83 | sentence stringlengths 5 2.57k | audio_path stringlengths 34 100 |
|---|---|---|
moment_3_vegetative_20240417_88129f37-903b-4d49-b8dd-16f4caa58110_1714463594465.wav | Nini usichokipenda kuhusu aina B?.......Apa nashindwa kujibu kwa sababu mbona bado sio mabaya sanaaa maana uzao wake sio mbaya sana japo yaliungua sana lakini uzao sio mbaya sana. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_88129f37-903b-4d49-b8dd-16f4caa58110_1714463594465.wav |
1690458669446.wav | ni kitu gani umependa kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya biashara? cha kwanza ni ujazo, mbegu zimejaa vizuri lakini pia muonekano wake ni mzuri
| generated_audios/1690458669446.wav |
1690886415513.wav | je unaniruhusu kurekodi? ndio kwa ujumla aina ipi ya tricot uliipenda zaidi hii apa ni B hii apa ni C B B! | generated_audios/1690886415513.wav |
moment_4_reproductive_267c5f07-e039-410a-8e2b-e75dacb59d92_1715859552563.wav | Nini usichopenda kuusu aina B.Yaani kusiana na aina B.Mmm.Mi sioni sababu ya kipi nisicho kipenda katika hizii kishamba hiki isipokuwa nii uuu kulingana na hali ya hewa mbegu hii au kishamba hiki kinatakiwa mbegu hii kuiwahi mapema naya ni ikiona kwamba ikiwahiwa mapema sana ata uzao wake unakuwa ni mzuri zaidi kwaivo sioni sababu ya kwamba kuna jambo lolote au kuna kitu ambacho sikipendi kwenyee kishamba hiki cha aina B.Mmm.Eeee.Unavosema kuwahi mapema mmmm labda tuseme tunaanza kupanda kuanzia labda mwezi wa ngapi?.Labdaaa kuhusiana na mazingira tulionayo.EeeeHivi vishamba tulivipanda tarehekumi na ine mwezi waaa pili.Mmm.Ikiwezekana basi mwanzoni mwa mwezi wa pili kulingana na mbegu aina ya B.Mmm.Tukawahi zaidi tuwahi mwanzoni mwa mwezi wa pili tukipanda inawezekana ikawa sawa kwasabu mazingira ya hali ya kwetu ikikauka inanii mvua ikikata.Mmm.Huna wiki aridhi imekuwa kavu.Mmmh.Sasa hatuna aridhi yaaa kusema labda inahifadhi maji kwa kutunza kichaga chetu.Mmm.Hakitunzi maji kwa mda mrefu kwaiyo ubichi ukikauka mvua ikikatika ndani ya wiki moja kumeshakuwa kugumu hivyo ushauri wangu katika hili basi ni hii mbegu ni kuwahi kulima mapema hii tulipanda kumi na ine february tupande labda jan mwanzoni mwa mwezi wa pili hiyo inaweza ikatusaidia na mvua za ukanda wetu.Mmm.Kufika mpaka mwezi wa tano huwa ni kubahatika mwezi wa ine inakatika mvua hivyo tukiwahi marage mwezi huu saizi yangekuwaa yana kauka kwa maana ya kuma maandazi ya uvunaji.Asante.Aya nashkuru. | generated_audios/moment_4_reproductive_267c5f07-e039-410a-8e2b-e75dacb59d92_1715859552563.wav |
moment_3_vegetative_20240417_3c5fa5ac-0944-4b5a-8935-6ae951af1b24_1714383491530.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo?aina A ni nzuri kwa sababu inastaili ukame.kuna chochote ambacho haukipendi kuhusu aina A?hapana. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_3c5fa5ac-0944-4b5a-8935-6ae951af1b24_1714383491530.wav |
moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821659388.wav | angalia aina A na elezea chochote unachokipenda kuhusu hiyo?kwenye maharage haya ya aina A ninacho kipenda kwanza ni majani yake, na jinsi yanavyoota.pia unaweza ukaelezea zaidi kingine ambacho unakiona unakipenda kuhusu aina?ahaa si kitu ambacho kingine nakipenda kwenye aina A ni maua yake jinsi yalivyo, yanakua na maua ambayo ni mazuri.sawa sawa nashukuru. | generated_audios/moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821659388.wav |
moment_4_reproductive_89456981-1f79-4267-8dd5-257d79cf96f4_1715765679094.wav | nini usicho penda kuhusu aina C.aina C pale hamna ambacho sii sikipendi maana uzao iko sawa na kwenda inaenda vizuri. | generated_audios/moment_4_reproductive_89456981-1f79-4267-8dd5-257d79cf96f4_1715765679094.wav |
moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546541058.wav | Yeah angalia na aina B eleza chochote ambacho unakipenda?Haujaota vizuri.Mmmh ambacho umekipenda?Hapa sijakipenda kitu.Haujapenda kitu?Eee. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546541058.wav |
moment_4_reproductive_26314c34-2b51-4a99-ad42-1a82f6e0f502_1715670940440.wav | Nini usichopenda kuhusu aina B?Nisichokipenda hakuna kulingana na hali ya maharage yamekua mazuri japokua hali ya hewa imechafua tu aina ya maharage kidogo sio sana. | generated_audios/moment_4_reproductive_26314c34-2b51-4a99-ad42-1a82f6e0f502_1715670940440.wav |
moment_4_reproductive_12ac3617-e25e-45fe-9ff7-d659deaf7335_1715069400845.wav | angalia aina C na elezea chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.sipendi maana uotaji wake sio mzuri alafu utoaji wake watoto nao sio mzuri. | generated_audios/moment_4_reproductive_12ac3617-e25e-45fe-9ff7-d659deaf7335_1715069400845.wav |
moment_3_vegetative_20240417_2cd35252-1173-4743-a7f8-53aaa205e7eb_1714371646720.wav | Angalia aina C na eleza chochote unakiunachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo aina….sawa anasema kwamba uliota vizuri naa unatoa maua haraka tatizo nikwamba kwasababu ya mvua nyingi maamba kidogo yalibadilika kuwa narangi ya njano | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_2cd35252-1173-4743-a7f8-53aaa205e7eb_1714371646720.wav |
moment_3_vegetative_20240417_ee2db739-6057-4c7b-9878-9b1fc6619582_1714132043758.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Eee ain aina C naipenda uzazi wake takuwa ni mzuri zaidi kwenyeee mbegu hiiÉ... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_ee2db739-6057-4c7b-9878-9b1fc6619582_1714132043758.wav |
1690615122670.wav | kwa ujumla ni tricot gani hujaipenda zaidi kuliko zote? mimi ambayo sijaipenda sana ni A, na kwasabau, sababu ni kwamba ina pods chache japokua ata C ina pods chache lakini A ni chache zaidi, lakiini pia saizi yake ni ndogo kwamaana ya umbo ya punje ya harage ni ndogo ukilinganisha na aina C , lakini pia wateja ni wengi lakini sasa watu wenye uelewa wanaangalia kitu ambacho hakina madhara kwao kiafya na biashara pia kwa maana ya soko
| generated_audios/1690615122670.wav |
moment_3_vegetative_83040e51-0435-46c8-b4c7-e2767adecacf_1713169410559.wav | Nini usichopenda kuusu aina hii A.Aaa nisichopenda ni kwamba mbegu hii iliota vizuli lakini nisicho nisichopenda ni kwamba ina badiika majani na langi inabadilika kwaiyo ndicho ambacho kitu ambacho nisichopenda.Asawe ni nikitu gani ambacho unakiona aukipendi kwenye mbegu ii.Ni mabadiliko ya majani yani kuachiliwa naaa magonjwa tuseme. | generated_audios/moment_3_vegetative_83040e51-0435-46c8-b4c7-e2767adecacf_1713169410559.wav |
1690617575194.wav | je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina A? Haya maharage hata majani yake yalivyopuputika chini yalifanya kuleta rutuba shambani | generated_audios/1690617575194.wav |
moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714105991830.wav | angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kwenyee kuhusu hio.aina A nimeipenda sababu maharage yake yamekaa vizuri sana na yanashusha vizuri.mmh.mmh.kingine labda?ndo ivo tuu.mmmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714105991830.wav |
moment_3_vegetative_20240417_b3886a0d-e560-4311-baf7-90e649d5262d_1715599136385.wav | Nini uschopenda kuhusu aina B.Aina B kwakweliii tuseme kwa maharage yenye kamba huku kwetu tunaona kama yana usumbufu saabu yanafunga sana hata kuja kung'oa.Mmh.Mh mara nyingi watu hawayataki kwasababu ile kuu kuu kusababisha unaeza kung'oa mstari mmoja ukashangaa imeshkana mstari wa pili..... kama maharage tumependelea sana ambayo hayana kamba ila kwa uzaaji tuipe mda kwanza tuangalie na uzaaji inawezekana ikawa na kamba lakini ikazaa kuliko hata aina A labda hiyo ambaye haina kambaaa ila tuendelee kuipa muda ila maharage yenye kamba mara nyingi huwaga tunasema yana usumbufu kidogo hata kwenye kung'oa sabu ni maharage yanayoshikana sana.Sawa.Eeeh. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b3886a0d-e560-4311-baf7-90e649d5262d_1715599136385.wav |
moment_3_vegetative_20240417_431b491f-1734-4b7d-b93a-c483f943e657_1719238540088.wav | nini unapenda kuhusu aina A?aa mikwakweli aina A sijaipenda ila nimeipenda aina B na C. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_431b491f-1734-4b7d-b93a-c483f943e657_1719238540088.wav |
moment_3_vegetative_20240417_ee080b23-41b1-4ff7-8fe5-e3c51ccad16a_1713865186592.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.Aina C nisichokipenda ni ilee imepanda juu alafu inachelewa kutoa maua ambao maua ndo zao sasa yani inakua alafu inachelewa kutoa yale matunda sasa nisichokipenda nataka ikinanii tu itoe mapema lakini hii inachelewa.mmh je labda kuna sababu zozote ambazo unazifahamu kwambaa kwanini hazija zimechelewa kutoaa maua.sababu sizijui maana hii mbegu ni mpyaa sijajua yaa kwamba matokeo yake mbele yatakueje. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_ee080b23-41b1-4ff7-8fe5-e3c51ccad16a_1713865186592.wav |
moment_3_vegetative_20240417_3adcc9d0-7b4a-4173-8d7b-95e99814e14c_1713954390672.wav | Nini unapenda kuhusu aina B?Kuhusu aina B mimi nimependa maana kwanza ina ina inaiva kwa mda mfupi maana angalia kama ile aina A imeche;ewa maua lakini hii aina B maua imetangulia, pia majani yake pia ni mazuri.Majani yake yanaonekanaje?Majani yake yanaonekana yako vizuri na uzao wake unaonekana vizuri na ni ya kijani.sawasawa. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_3adcc9d0-7b4a-4173-8d7b-95e99814e14c_1713954390672.wav |
moment_3_vegetative_05c9b41a-fff4-4cbc-a66b-51d35e308548_1712831605003.wav | angaalia aina B eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?aina B nimeyapenda nimependa uzuri wake yanapanda yakiwa meusi yaani yana nguvu ni still na badooo naona yenyowe hayapandi sana lakini naona yana yana muelekeo kama vile yanaanza kutaga mapema. | generated_audios/moment_3_vegetative_05c9b41a-fff4-4cbc-a66b-51d35e308548_1712831605003.wav |
moment_3_vegetative_5d845f1a-c261-4449-bcbf-3894fa33270c_1713418913379.wav | twende sasahivi hapo kwa nini labda huyapendi hayo maharage.aya.mmh.kwasababu ya ugonjwa au ugonjwa tu ndio unaosumbua.ugonjwa ndio unaosumbua.mmh.ndio unaosababisha mpaka unajikuta.watu hawayapandi sana.hawayapandi sana.ok. | generated_audios/moment_3_vegetative_5d845f1a-c261-4449-bcbf-3894fa33270c_1713418913379.wav |
moment_4_reproductive_38f177a7-0496-4bbe-9f34-b63a1ee8ffc7_1716272774031.wav | nini unapenda kuhusu aina A?aina A nimependa kuhusu maswala ya ukuwaji , na kwamba maharage yamekua vizuri sana , na yamestawi vizuri na pia na uzaaji wenyewe uko vizuri mmh ndiyo.… | generated_audios/moment_4_reproductive_38f177a7-0496-4bbe-9f34-b63a1ee8ffc7_1716272774031.wav |
moment_3_vegetative_41c413d1-944a-47ff-ba79-bde9da98f8b5_1714452308736.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.aina C nimeipenda kwa sababu imekua vizuri pia nayo ina maua imetoa maua vizuri.mmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_41c413d1-944a-47ff-ba79-bde9da98f8b5_1714452308736.wav |
moment_3_vegetative_20240417_a69014d0-d408-4f8e-86ed-a9e50aafb92e_1714564725724.wav | angalia aina A na elezea chochote unachokiona unachokipenda kuhusu aina hiyo.aah aina hii ya A naipenda imeota vizuri, ina maua vizuri imerefuka kidogo naipenda.ni hicho tu kurefuka hakuna kingine ulichokipenda.yani hii nimeipendea haishambuliwi sana na magonjwa imekaa tu vizuri.aya asante. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a69014d0-d408-4f8e-86ed-a9e50aafb92e_1714564725724.wav |
moment_3_vegetative_20240417_48f73bbd-d19b-4cec-8947-6d7daa1be36d_1714130909771.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina aina B ukiangalia hapa umependa nini?hapa nimependaeehkwa saabueehuotaji wa maharagemmhkutoa mauammhkustawimmh naona yamekaa vizuri.sawa. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_48f73bbd-d19b-4cec-8947-6d7daa1be36d_1714130909771.wav |
1690456913062.wav | kwa hiyo which tricot do you like ni A ee eeee | generated_audios/1690456913062.wav |
moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758257679.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi?Aina B bhana hamna ninachokipenda kwa kweli. | generated_audios/moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758257679.wav |
moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126339005.wav | nini unapenda kuhusu aina B.aina B nayoo maharage yake ni mazuri yame kuwa vizuri yana afya nzuri na yana watoto wengi.eeh sababu gani nyingine imekufanya upende aina B.hakuna sababu nyingine.hakuna?eeh. | generated_audios/moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126339005.wav |
moment_3_vegetative_50d9ac99-dd8c-460f-a5e5-5bd0051f44ac_1718015888454.wav | Nini umependa kuhusu aina A ?Ina majani mengi .ingine.ingine?mmmh.haina…. Imeanza kunanii kustawi vizuri.aya.mmmmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_50d9ac99-dd8c-460f-a5e5-5bd0051f44ac_1718015888454.wav |
moment_4_reproductive_96cc8669-13ca-4680-bef1-67c81a07aff5_1716784540000.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?.katika sehemu A kitu ninachokipenda ni uzaaji wake ingawaje si wa kuridhisha sana lakini najua ni kwasababu mvua, mvua kuzidi lakini uzaaji wake unaridhisha.sawa. | generated_audios/moment_4_reproductive_96cc8669-13ca-4680-bef1-67c81a07aff5_1716784540000.wav |
moment_3_vegetative_20240417_a7766d3a-7378-43c3-8b6d-faf053589d2e_1713705101214.wav | … Nini unapenda kuhusu aina A ?Aina A hayajaota vizuri lakini yanamwonekano mzuri. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a7766d3a-7378-43c3-8b6d-faf053589d2e_1713705101214.wav |
1690617468112.wav | je kati ya hizi aina tatu za tricot ni ipi ambayo hukuipenda maharage ambayo sikuipenda kwa aina hizi tatu ni namba A, haya maharage ni mazuri kwa biashara lakini kwa chakula kidogo sikuifurahia
| generated_audios/1690617468112.wav |
moment_3_vegetative_20240417_431b491f-1734-4b7d-b93a-c483f943e657_1719238586919.wav | Nini usichopenda kuhusu aina B?.Aina B hakuna ambacho sijakipenda nimependa vyoteÉ | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_431b491f-1734-4b7d-b93a-c483f943e657_1719238586919.wav |
moment_3_vegetative_20240417_f6a2c281-f75f-4d6d-86a5-2fca94df6d86_1713695240825.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hio.Aina B sijaipenda kwa sababu inachelewa kii kutoa maua kwa wingi.aya asante. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_f6a2c281-f75f-4d6d-86a5-2fca94df6d86_1713695240825.wav |
moment_4_reproductive_c1030c5b-88b7-4c19-9e9c-fe9b4c902aa2_1716451935602.wav | nini usichokipenda kuhusu aina B?hamna nacho nisichokipenda. | generated_audios/moment_4_reproductive_c1030c5b-88b7-4c19-9e9c-fe9b4c902aa2_1716451935602.wav |
moment_3_vegetative_0fb68881-b3af-408d-94ed-ea70b1af9cbd_1713859188206.wav | ndio ndugu mkulima tuko kwenye aina C labda nikuulize nini umependa kwenye aina hii ya C. C C ni mbegu nzuri imeonekana kwamba imetulia na enyewe yani enyewe imetulia kwa maana hiyo hizi mbegu zote mimi naona zinanifaa hii C nayo iko kitofauti kidogo inaonekana kwamba inaenda juu.mmh.na inavyoonekana bado inaendelea kwenda juu zaidi kwa maana hiyo hii nayo ina ina ubora wake.ee.sawa. | generated_audios/moment_3_vegetative_0fb68881-b3af-408d-94ed-ea70b1af9cbd_1713859188206.wav |
moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958117855.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.eeeh katika hii mbegu ya B yani hakuna yani nisichokipenda yani chochote kile yani kwenye mbegu hii ni sawasawa tu na ile ile tu A tu. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7350bb39-4cfd-43d2-9e0e-8f22e1896d01_1713958117855.wav |
moment_3_vegetative_20240417_98a4edaf-ceb3-4fc7-b97b-a435a896ebda_1715593396121.wav | Nini unachopenda kuhusu aina C?Aina C yani hile bado sijaielewa kwa sababu nahisi labda ilikua ni mafuriko yasingekua mafuriko ningeweza nikaielewa kwa sababu hata sahivi nikiangalia naona yenyewe hata majani yake ni machache sana ila naona kama vile yalikumbwa na mafuriko labda ndo ikawa imeathirika zaidi kwahiyo nimeshindwa ku kuielewa yani.Sawa. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_98a4edaf-ceb3-4fc7-b97b-a435a896ebda_1715593396121.wav |
moment_3_vegetative_20240417_c4a0a3b1-e336-4d77-9bf0-3f48dd3b5f06_1716046697712.wav | Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Kwenye maharage ya aina C sijakiona kitu chochote ambacho kinanipendeza. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c4a0a3b1-e336-4d77-9bf0-3f48dd3b5f06_1716046697712.wav |
moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944563667.wav | je ni nini usicho kipenda kuhusiana na aina B?ngoja ngoja ngoja ngojaaina B kiuwalisia sina ambacho sikipendi, bado haya maharage nayapenda sina sababu bado ni mazuri sawa sawa asante | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_750b9a5c-8eab-478d-9b40-f8bb6f73536b_1713944563667.wav |
moment_4_reproductive_aed00eee-3314-4628-8ada-270c312146d6_1715000631142.wav | nini unapenda kuhusu aina C.ninacho kipenda hapa ni kwamba aa aiogopi ukungu. | generated_audios/moment_4_reproductive_aed00eee-3314-4628-8ada-270c312146d6_1715000631142.wav |
moment_3_vegetative_55d7666a-dacd-4acc-8d5d-9252bbe05f68_1716285364262.wav | Error | generated_audios/moment_3_vegetative_55d7666a-dacd-4acc-8d5d-9252bbe05f68_1716285364262.wav |
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713519057461.wav | ni kipi usichokipenda kuhusiana na aina A? Aaaah samahani aina B?Aina B mbegu ya aina B inataka sasa sijajua inataka mvua nyingi, ila wakatii umepanda mbegu yake sio kama ile aina A, kwa hiyo mbegu ya aina B kidogo ina changamotommmh changamoto ipi.uotaji wake ilivyoota lakini baadae kuna ugonjwa ukaingia sasa ule ugonjwa sijui ni nini.ahaaeeeh na baada ya kuweka sasa sijui ndombolea baada ya kuweka hiyo mbolea kidogo ikabadilisha rangi ya majani na uotaji wake sio mbaya ila ilikuja kuleta shida kwenye majani.ahaa nashukuru. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713519057461.wav |
moment_4_reproductive_a13149f4-665d-44d9-b143-b8c6e4691841_1716440598833.wav | nin unapenda kuhusu aina B?eeh aina B nayo vilevile nasema naipenda kwa sababu kwanza ni mara yangu ya kwanza ni mara yangu ya kwanza kuiona kwahiyo ni wajibu niipende ili tutakavyokuwa tunaendeleanazo mbele najua ubora wake utaku zidi zaidi ya hapa nilivyokuwa nimepanda.sawanayo ina changamoto ile kwamba katika kupanda ikawa haijaota lakiniii ni matatizo yaki ya ya ya ya ya Mungu hayo sasa. | generated_audios/moment_4_reproductive_a13149f4-665d-44d9-b143-b8c6e4691841_1716440598833.wav |
moment_3_vegetative_20240417_e84a5d04-d029-4f70-abc0-5c3bbd96cfcc_1713526434537.wav | Angalia tena aina B eleza chochote unachokiona ambacho unachokipenda kuhusu aina hii.Yaani haya naharage mi nikiyaangalia hayajaota vizuri na majani yake sio mazuri.Nilikuwa namaanisha unachokipenda kuhusiana na aina ya B hapa unachokipenda kilichokufurahisha.Hee yaani mi sioni kweli hahah ni kidogo sana majani yake kwa kweli mh hayajanibariki kwa ujumla haya maharage kwasaabu me sioni kinachoniridhisha hapa. Anhaa.Eeh.Hamna hata chochote unachokiona unaweza kuelezea kuhusiana na unachokipenda hapa hivi kwenye aina hii ya B.Kigodo tu majani maana bado hata haijatoa maua kidogo tuu majani ndio naona afadhali lakini maua bado sijayaona kidogo tuu majani.Anhaa,Eeh.Haya asante. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_e84a5d04-d029-4f70-abc0-5c3bbd96cfcc_1713526434537.wav |
moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943876382.wav | nini usichokipenda kuhusu aina B?.aina B hii hakuna ambacho sikipendi hali yake yote mimi naipenda isipokua hiki nilichokizungumzia kama athari ni imetokana na mfululizo wa unyeshaji wa mvua.mmmh.mmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943876382.wav |
moment_3_vegetative_20240417_4aa50242-2dfe-4f25-88a5-53c40a21c31a_1715684781876.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Haya maharage A kwa upande wangu mimi nayapenda kwanza yana soko yana wateja wengi kibiashara huwa yanapendwa na watu wengi hata kwenye ulaji huwa wengi wanapenda kutumia maharage haya, kwahiyo kwa upande wangu ninaweza nikakuambia ni mazuri na ninayapenda. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4aa50242-2dfe-4f25-88a5-53c40a21c31a_1715684781876.wav |
moment_6_postharvest_fef17f4f-745e-4b1d-9f41-d8348b91b931_1718974556887.wav | Angalia aina C na eleza kitu ambacho hukipendi kuhusu aina hiyo.Kwenye aina C hakuna nina nisichokipenda. | generated_audios/moment_6_postharvest_fef17f4f-745e-4b1d-9f41-d8348b91b931_1718974556887.wav |
moment_3_vegetative_70198d08-33c9-4415-b85a-0171b9bdb821_1713334144581.wav | angalia aina A na eleza chochote unanchokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.aina A naona imeota vizuri na inaendelea kukua vizuri.sawa sawa kwahiyo umeona imeota vizuri na inaendelea kukua vizuri.mmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_70198d08-33c9-4415-b85a-0171b9bdb821_1713334144581.wav |
moment_4_reproductive_0dc99119-7e9f-4dda-8b13-68eceb9e4be7_1716352303063.wav | nini unapenda kuhusu aina A?Aina A sijapenda chochote. | generated_audios/moment_4_reproductive_0dc99119-7e9f-4dda-8b13-68eceb9e4be7_1716352303063.wav |
1690622210195.wav | nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya A eleza kwenye sifa za kilimo A anazaa zaidi na hashambuliwi na wadudu alafu anahimili hali ya hewa | generated_audios/1690622210195.wav |
moment_4_reproductive_fb461d21-2b8b-4650-baca-bca10a0a0157_1716882889985.wav | nini unapenda kuhusu aina A?aina A ninapenda kwa sababu maharage hii imezaa na imeiva mapema hasa kwakeli nimependa.mmh kuna kingine ulichokipenda kutoka aina A?eey kwakweli kuu kingine nilichopenda zaidi sijatumia gharama nyiingi kwa sababu nimengolea tu na kweli ikawa tayari kwahiyo nimependa sana kwa sababu yaaa kwakweli kwanza mvua ndogo tu ikaiva.sawa. | generated_audios/moment_4_reproductive_fb461d21-2b8b-4650-baca-bca10a0a0157_1716882889985.wav |
moment_3_vegetative_4a82feaf-3bc6-4200-b973-29517cf784f3_1718012343342.wav | ok ain aina C ni kitu gani ambacho hujakipenda kabisa?kwenye aina C kwakweli nikisema hakuna nisichokipenda ntakuwa nimejidanganya hapo kwa ujumla vyote viko vizuri.aaahndiyosantee. | generated_audios/moment_3_vegetative_4a82feaf-3bc6-4200-b973-29517cf784f3_1718012343342.wav |
moment_3_vegetative_20240417_67c466e0-1c3b-4ede-bb33-c45730163528_1713612400724.wav | Mama G anaglia aina A na eleza chochote ambacho unakipenda kwenye aina hii.Aya Sante, kwenye aina ANaomba uongeze sauti alafu angalia huku.Kwenye aina A nilichokipenda hapa haina majani mengi sana eeee alafu miche yake ni ni ni ni nyembamba sio pana.mmmmhEEEEHKingineKingine nilichokipenda ina ina ina ya inamaua yani imetoa maua vizuri.AhaaEeeeemmh uumesema majani yake yamekuwaje?Mjani yake si si yani majani yake sio mapana mnoAhaa.ni ya wastaniahaaaEeeehNashukuru unaweza ukaelezea zaidi nielewe natamani kuelewa zaidi.EEEH kama nilivosema mimi kwenye hii sehemu A yani imee nanii maharage yametoa maua vizuri na hayana majani mengi sana.MmmmheeeeUmesema majani ma sio mapana yani unamanisha nini yakiwa mapana na yasipokua mapana unamanisha nini?Yani yakiwa mapana sana katika uzalishaji unakua mdogo lakini yakiwa machache yanpoendelea kutoa maua hivi watoto yani inkuja inakuja kujijenga yani watoto wanakua wengi. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_67c466e0-1c3b-4ede-bb33-c45730163528_1713612400724.wav |
1690525556625.wav | ni aina gani ya tricot ambayo hukuipenda zaidi kati ya hizo zote tatu ambayo hujaipenda zaidi sijaipenda zaidi C
| generated_audios/1690525556625.wav |
moment_3_vegetative_20240417_e6083db1-0791-4741-8ffd-090a04e59246_1715954826168.wav | Nini unapenda kuhusu aina C?Napenda kuhusu aina CCC aina C jinsi maharage yanavyoonekana yanavutia sana. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_e6083db1-0791-4741-8ffd-090a04e59246_1715954826168.wav |
moment_3_vegetative_20240417_c847d6c8-18af-4e1f-8a90-4bbe62b28ad6_1713853270294.wav | nini usichopenda kuhusu aina C?.sipendi kwa sababu kuna nyingine zimekufaa afu kunaa ming nyingine zimeota lakini ukuaji wake sio sawa naa maarage mengine. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c847d6c8-18af-4e1f-8a90-4bbe62b28ad6_1713853270294.wav |
moment_4_reproductive_a2b047f3-7c1c-43cc-a14b-b3afff91d5a4_1715675385328.wav | Agalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?Aaah nimefurahi namna ilivyo stawi, haya maharage yalivyostawi ya aina A.Je una kitu kingine unachokipenda tofauti na hicho au hakuna?Kitu tofauti na hicho ambacho nimekipenda ni kwamba uzaaji wake pamoja na kustawi lakini uzaaji wake unaonekana una nguvu.Unaweza ukaelezea zaidi au umeishia hapo?Nimeishia hapo. | generated_audios/moment_4_reproductive_a2b047f3-7c1c-43cc-a14b-b3afff91d5a4_1715675385328.wav |
moment_3_vegetative_753e0d34-c0a4-4e14-b08e-62392420eeee_1712810390782.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?hii haina ya maharage mimi naona kwamba haina tatiso loloteee inatoa maua kwa wakati alafu inahenda inakimbia sana. | generated_audios/moment_3_vegetative_753e0d34-c0a4-4e14-b08e-62392420eeee_1712810390782.wav |
1691152187143.wav | Ni kitu gani ulichopenda kuhusu kukuza aina ya A elezea kwenye sifa za kilimo Sifa ya kwanza Sifa ya kwanza ni sehemu isiyo na rutuba Sifa ya pili Hainanii haivumilii ukame kwa sana Sifa ya tatu Sifa ya tatu hainenepi sana Sifa ya nne Izoizo tatu zinatosha Izoizo tatu zinatosha mmh | generated_audios/1691152187143.wav |
1690615333993.wav | ni kitu gani hukupenda kuhusu aina ya A? eleza kwa biasharea au matumizi ya chakula ahaa mimi labda ni kwenye matumizi ya chakula tu, nadhani kwenye chakula hiyo apo ina changamoto moja inakua na kiungulia kikali sana lakini kwenye biahshara haina changamoto inanunulika tu vizuri kwa sababu ni bei rahisi
| generated_audios/1690615333993.wav |
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav | Kaka naomba unielezea unachopenda kuhusiana na aina B.Aina B tangia tumepanda imeota vizuri lakini baada ya kufika hatua fulani hatua kidogo ikasogeasogea haikunirizisha eeh majani yake sio nzuri na haujamwaga maua yake vizuri.Anhaa. Sasa nilikuwa nataka kufahamu unachokipenda kuhusiana na hii aina kipi kimekupendeza kuhusiana na hii aina.Kidogo ni majani.Unavyosema majani unamaanisha nini.Majani imenawiri kidogo majani ni mazuri na nimeweka mbolea mbolea ya samadi lakini sasa sijajua ni nini tatizo mpaka leo kidogo ndo nilivyoweka mbolea ya samadi ndio kidogo ikasogeasogea ndio mpaka sahivi ikabadilisha rangi ya majani ikawa mazuri majani ilikuwa imenyongonyea.Kwani rangi ya majani ilikuaje unavyosema rangi ya majani ilikuaje.Ilikuwa njano.Anhaa.Mmh.Naomba jitahidi kunielezea zaidi nataka kuelewa.Nanii majani wakati inaanza kuu ilivyoota iliota vizuri baada ya kufika hatua fulani majani ikabadilisha rangi ikawa ya njano, baaada ya kuona imekuwa ya njano mikaenda kuchukua mbolea ile ya mbuzi nikamwaga kidogo hapo ikanyeshewa na mvua sasa nikaona baada ya kukaa wiki moja nikaona ikabadilisha rangi ikawa ya kijani.Yaani kilichokupendeza kwenye hii aina. Ilivyoweka majani imenipendeza sahivi ndio imeanza kuweka maua kwahiyo sio mbaya tangia nimeweka mbolea ndio inaanza kuweka maua. Kwa sasa sio mbaya inakuja kuja wakati nimetumia kuweka mbolea ya samadi.Anhaa. Nashukuru. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav |
moment_3_vegetative_20240417_218444c8-288d-4123-8af6-3a9fea9f463e_1714626967075.wav | Nini unapenda kuhusu aina B?.Aah hii mbegu mi nmeipenda kwa saabu imeshavumilia ukame wa huku kwetu na ina mazao ina inazaa vizuliiÉ.... | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_218444c8-288d-4123-8af6-3a9fea9f463e_1714626967075.wav |
moment_3_vegetative_20240417_db6709b0-5486-4a7d-95ee-2f3f0e0ac610_1713946186421.wav | sawa, angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.aina hii nimeipenda kutegemeana imeota vizuri na tangia ni tangia tupande si sijawahi kuona dosari yoyote mpaka muda huu na na tayari ishastawi vii vizuri sana kwa hio mpaka mu mpaka muda muda huu sijaona dosari yoyote ile.sawa na labda kwa hayo hakuna kingine labda kimekuvutia zaidi nje na uotaji ustawi wake labda hakuna cha ziada ambacho kimekupa nguvu ya kuipenda zaidi au kigezo chochote ambacho kimekuvutia zaidi nje na vigezo hivyo? Aaah kwa mimi naona tu ina maana kwa sababu nishaipanda vizuri na imeota vizuri nahisi tatizo bado si sijaliona halipo.sawa. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_db6709b0-5486-4a7d-95ee-2f3f0e0ac610_1713946186421.wav |
moment_4_reproductive_f4f3502d-bcfa-4fe5-8453-caed76ed3b50_1716471575088.wav | nini unapenda kuhusu aina B.aina B ninacho kipenda ni kwamba imee ota vizurii pia japo kuwa imeota kwa uchache ila imezaa pia vizuri. | generated_audios/moment_4_reproductive_f4f3502d-bcfa-4fe5-8453-caed76ed3b50_1716471575088.wav |
moment_6_postharvest_8d9518ed-dcea-4aa2-9818-72fac61c9733_1719314322500.wav | Nini usichopenda kuhusu A?Hamna. | generated_audios/moment_6_postharvest_8d9518ed-dcea-4aa2-9818-72fac61c9733_1719314322500.wav |
moment_4_reproductive_7ff3a845-3cf1-4583-9398-761712793264_1717072840309.wav | … angalia aina C chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.kuhusu aina aina C kitu ambacho hakijanipendezea ni kwamba ina mnyauko halafu vile vile mi naona niishie tu hapo.aya asante.mmh. | generated_audios/moment_4_reproductive_7ff3a845-3cf1-4583-9398-761712793264_1717072840309.wav |
moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126306406.wav | nini usicho penda kuhusu aina A.hakuna nisicho penda.hakuna?hakuna naona maharage ni mazuri yame stawi vizuri na yana zaa vizuri.sauti kidogo.yamestawi vizuri maharage na yame zaa vizuri yana watoto wengi.sawa. | generated_audios/moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126306406.wav |
moment_4_reproductive_43e1cae5-a5ce-4bf0-a246-837d34e8b86e_1716619167048.wav | nini unapenda kuhusu aina B.ee hii aina B ndio nayoipenda katika mbegu zote kwasababu gani hii inaenda na wakati , halafu inazaa ,majani yake ni ya kawaida tunavyoona lakini ukiangalia matoto ni mengi imezaa na sasahivi tayari imeanza kuiva tofauti na zenzake hizi ambazo bado hata kuanza kuiva. | generated_audios/moment_4_reproductive_43e1cae5-a5ce-4bf0-a246-837d34e8b86e_1716619167048.wav |
moment_3_vegetative_20240417_99379068-fcd5-42e8-ad36-c1dfa8e52a4f_1713950955931.wav | …Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.B ha haina changamoto yoyote .sawa, kwa hiyo umeikubali kwa asilimia kubwa.B nimeikubali kwa asilimia kubwa na ni nzuri kwa utoaji maua na uotaji .sawa…. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_99379068-fcd5-42e8-ad36-c1dfa8e52a4f_1713950955931.wav |
moment_3_vegetative_bd005b48-cc43-4100-a925-59f53cdddf65_1712730122422.wav | nini unapenda kuhusu aina C?aaa majani yake nayo yamekaa vizuri yani yapo vizuri yamekaa vizuri uotaji wake sio mbaya nayapenda kwakweli, napenda sana maharage soya. unaweza ukaangalia zaidi kwa ambacho unakiona ukasema unapenda kitu gani?ndiyo, maua yake yapo vizuri, yametoa maua kwanzia chini majani yake mapana kwakweli ni mazuri, sawa nashukuru. | generated_audios/moment_3_vegetative_bd005b48-cc43-4100-a925-59f53cdddf65_1712730122422.wav |
moment_3_vegetative_20240417_57b27c07-73ea-498b-9036-5aa5b016b55e_1713683983519.wav | Nini unapenda kuhusu aina B?Aina B naipenda kwa sababu maharage haya ni mazuri yameota vizuri alafu pia yana majani mazuri.Unaweza ukaelezea kwa undani zaidi?Haya majani majani yameota vizuri yame yametoa lakini sasa maja maua hayakuna ninii yamechelewa kutoka kuliko ya wanzake mengine haya nayo nayapenda vile vile ni mazuri kwa sababu yameota vizuri majani yake ni mazuri | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_57b27c07-73ea-498b-9036-5aa5b016b55e_1713683983519.wav |
moment_4_reproductive_e288a59b-9a56-4ea0-a566-ce73107c0df0_1717077197123.wav | angalia na eleza chochote hupendi kuhusu aina C.aina C ambacho sipendi ni kwamba inanyauka tu majani ndicho ambacho tu sikipendi.jambo lingine.jambo lingine naona hamna.aya asante. | generated_audios/moment_4_reproductive_e288a59b-9a56-4ea0-a566-ce73107c0df0_1717077197123.wav |
moment_4_reproductive_6a09a2ae-9c72-42e1-8d54-09bc7607be13_1715845703210.wav | Nini unapenda kuhusu aina A?aina A naipenda kwa sababu punje zake za maharage ni nene. | generated_audios/moment_4_reproductive_6a09a2ae-9c72-42e1-8d54-09bc7607be13_1715845703210.wav |
moment_4_reproductive_fb4de259-ea2b-456a-9715-d354855955fa_1715083295941.wav | angalia aina C na eleza chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu hiyo. chochote unacho kiona unakipenda kuhusu hiyo.kuhusu aina C hakuna nisicho kipenda. | generated_audios/moment_4_reproductive_fb4de259-ea2b-456a-9715-d354855955fa_1715083295941.wav |
moment_4_reproductive_3860871c-1f3f-4661-9bcf-076985622990_1715780576606.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio .mimi sijaona sababu ya kuyachukia kwa sababu mbona yamejitahidi yameota vizuri na uzaaji wake ni mzuri . | generated_audios/moment_4_reproductive_3860871c-1f3f-4661-9bcf-076985622990_1715780576606.wav |
1690617797360.wav | je kuna kitu chochote kinaweza kufanya aina A kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula ndio, kwa upande a chakula naweza nikaandaa kama chakula, mfano nililoweka ,nikiloweka hii rangi inapotoka then nakuja kuibandika jikoni basi inapunguza yale makali ya gesi
| generated_audios/1690617797360.wav |
1691151945431.wav | Nikisomee swali ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya nyumbani Kwanza ina soko la kwanza La kwanza ina soko ya pili Ya pili inapendwa na watu kuliko nyingine Kuliko nyingine sawa, alafu ya tatu Haina gesi tumboni Haina gesi tumboni ya nne Izo zinatosha Zinatosha eeh | generated_audios/1691151945431.wav |
moment_4_reproductive_dc6855f2-2df8-4fff-b081-3294cd0eadfe_1716442773244.wav | Ni usichopenda kuhusu aina B?Nisichokipenda hapa ni pia ni hii rangi ya njano ambayo inasababishwa na kuzidiwa majani kuzidiwa na mvua ikasababisha kubadilika kuwa rangi ya njano kabla ya wakati. | generated_audios/moment_4_reproductive_dc6855f2-2df8-4fff-b081-3294cd0eadfe_1716442773244.wav |
moment_4_reproductive_95e361c4-be7d-4b7f-b210-049f07e3aac1_1716191623188.wav | nini usichopenda kuhusu aina C?.aina C nisichokipenda katika aina hizi tatu aina C iinaonekana inashambuliwa zaidi na ukungu tofauti na aina zilizo tangulia.aah kingine?.sina kingine. | generated_audios/moment_4_reproductive_95e361c4-be7d-4b7f-b210-049f07e3aac1_1716191623188.wav |
moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106170626.wav | angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho ukipendi kuhusu hio aina.sijayapenda viz maana hayajaota vizurini uotaji tu peke ake au kuna kingine?ni uotaji tu pekeake.mmh. | generated_audios/moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106170626.wav |
1690274487542.wav | Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina B? Elezea kwa sifa za kilimo Sifa za kilimo ni kwamba tu haya maharage yanazaa kilichosababisha yakawa hivyo ni Ukame Ukame? sawa | generated_audios/1690274487542.wav |
moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821874220.wav | A na C na elezea chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?aina hii ya sss maharage aina C kitu ambacho nakipenda yanapo kipanda yanaota vizuri na majani yake sio mbaya ni mazuriUkisema majani yake ni mazuri unaweza ukaelezea kwa undani kidogo kuhusu majani yake?Eee majani yake ni mazuri kwanza niya ni ya kijani ya ya yana rangi nzuri ni yakijani kwahiyo majani yake ni mazuri yanaonesha yana yanaweza kwenda vizuriSawa nashukuruuu unaweza ukaelezeaaa zaidi kwa ambacho unakipenda kuhusu aina C?Kwasasa sinaSawa nashukuruu | generated_audios/moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821874220.wav |
moment_6_postharvest_375dbeef-319c-4f3d-9724-2e4878b50586_1718973040263.wav | Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unachokipenda kuhusu hiyo.Hakuna ninachokipenda kwa sababu tangia nilivootesha hakuna mbegu iliyoota. | generated_audios/moment_6_postharvest_375dbeef-319c-4f3d-9724-2e4878b50586_1718973040263.wav |
moment_3_vegetative_20240417_1b122681-17ec-4004-8caf-41754088b46c_1714040607304.wav | angalia aina A na elezea chochote unachokiona na ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?hii aina A ninavyoiona mimi, ni kwamba kidogo ni dhaifu kuliko aina B, na nanafikiri pia hii kama mtu ataweka mbolea pia haita kuwa mbaya sana kwasababu naona upande mmoja kwasababu kutokana na ardhi ninavyoiona huu upande wa kushoto kwetu naona mazao yake ni mazuri, kulia mazao yake ni dhaifu, kwahivyo naamini ukiweka mbolea unaweza ukafanikiwa, si mbaya sana. je kwa mtazamo wako sasa, kuna jambo lengine lolote ambalo unalipenda kuhusiana na hii aina?hii aina ni mpaka labda tutakapo vuna ndo nitapata matokeo mazuri na kujua tatizo lake ni nini, kwa sasahivi siwezi kujua sanaa kwamba faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi, tukivuna ndo nitaangalia inakiasi kagi katika kila kitalu ndiyo.je nje ya kuangalia sasa jinsi itakavyo, kwenye uzaaji na vitu vingine, kutokea kwenye kupanda mpaka sasahivi hapa tulipo sasahivi katika stage hii, katika ukuji huu, je kuna jambo lolote ambalo limekuvutia?jambo lililo nivutia ni ni kwamba kwamba hile aina C, ABC hile kidogo hapa naona kama ni nzuri zaidi kuliko hata B na A hilo tu ndo naona tofauti, lakini kweli hizi aina nafikiri kama zi tutazipanda kwa mbolea lazima zitakuwa nzuri karibu zote, kwahivyo sijaona tofauti kubwa kwakweli.sawa sawa.mmmnadhani takua tashukuru, asante.ndiyo. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_1b122681-17ec-4004-8caf-41754088b46c_1714040607304.wav |
1690353699986.wav | Ni kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda kidogo? B? ni B ndiyo | generated_audios/1690353699986.wav |
moment_4_reproductive_0c84251b-328c-497c-99db-7ef76aef45f1_1716874796204.wav | nini usichokipenda kuhusu aina C?.aina c nisichokipenda ni kwamba hii mbegu ikiwa mvua chache haizai. | generated_audios/moment_4_reproductive_0c84251b-328c-497c-99db-7ef76aef45f1_1716874796204.wav |
moment_4_reproductive_3dad5b75-de58-42a6-b7b5-e4cdc2b68efe_1716961064943.wav | Naam ndio ndugu mkulima sasa tuko kwenye aina B ya kitalu chetu hikiii cha majaribio uangalie kwa umakini alafu ueleze chochote ambacho unakiona umekipenda kuhusu aina hiyo.Na hii nimeipenda pia ila isipokuwa inavamiwa kidogo kuna baazi ya mashina yamekufa.Ndio.Kulingana naaa nahisi ni ardhi yenyewe kama ina wadudu.Mmmh.Lakini kwa ujumla kwakweli ni imekaa vizuri imekaa vizuri haina tatizo, tatizo tu ni hayo tu kuna miche baadhi.Ndio.Ndio imeathirika kidogo.Sawa. | generated_audios/moment_4_reproductive_3dad5b75-de58-42a6-b7b5-e4cdc2b68efe_1716961064943.wav |
moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546483774.wav | Angalia aina A na eleza ambacho na eleza chochote unachoona ambacho unakipends kuhusu aina hiyo?Kuota umeota vizuri.Mmmh.Ila hayajakua.Ko kuota uliota vizuri ?Eee.Kingine ambacho umekipenda labda unavyoangalia umependa nini?Hapa nimependa kuota kwake.Kuota kwake?Eee.Aaah sawa. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546483774.wav |
moment_4_reproductive_900a40d2-078b-4ba5-b7da-e970c61d3b7e_1717578240973.wav | Nini uaichopenda kwenye aina A?Yani kwenye aina A zingine hazikuota kabisa na ni chache | generated_audios/moment_4_reproductive_900a40d2-078b-4ba5-b7da-e970c61d3b7e_1717578240973.wav |
1691243430868.wav | kwa ujumala aina gani ya tricot uliipenda zaidi B! B ee eeee | generated_audios/1691243430868.wav |
moment_3_vegetative_20240417_dee2860f-6d96-4664-a23e-1a7af4e64e75_1713596423964.wav | Nini usichopenda kuhusu aina A?Yapo vizuri sana nimefutiwa sana na majani yake.Una kingine cha kuongezea?Hapana sina. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_dee2860f-6d96-4664-a23e-1a7af4e64e75_1713596423964.wav |
moment_3_vegetative_20240417_ee62bcd5-1a2b-45c5-a24d-9908f309d687_1713681211460.wav | angalia aina C na eleza chochote ambacho hukipendi.katika aina C hakuna kitu chochote ambacho sikipendi au ninchokichukia kwani aina C bado inafanya vizuri na inaendelea kuwa na afya nzuri kwahiyo hakuna kitu chochote ambacho ninakichukia katika hii aina C ya maharage.na kingine la kuongezea .hapana nimeishia hapo. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_ee62bcd5-1a2b-45c5-a24d-9908f309d687_1713681211460.wav |
moment_3_vegetative_20240417_71caf606-1af2-475b-89ca-acbb535efac3_1713869544617.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo...Mmmh ni kuwahi tu kushambuliwa na kuptiwa na waduduuu.Sawa ndo changamoto ambayo.Changamotooo iliyopoo.Hakuna nyingine lakini zaidi ya hiyo changamoto?. Hamna nyingine.Sawa.. | generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_71caf606-1af2-475b-89ca-acbb535efac3_1713869544617.wav |
moment_4_reproductive_b1a4aa25-3b6d-44d9-93a6-26033bf36bb0_1716459488751.wav | nini usichokipenda kuhusu aina C?aina C nisichokipenda imeshambuliwa sana na wadudu. | generated_audios/moment_4_reproductive_b1a4aa25-3b6d-44d9-93a6-26033bf36bb0_1716459488751.wav |
1690965983587.wav | ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? ni ushambuliwaji wa wadudu | generated_audios/1690965983587.wav |
moment_4_reproductive_16f3ef22-0560-45b7-b486-d2eff9e9e8e2_1716471303422.wav | nini unapenda kuhusu aina B.yote iko sawa tu … vizuri yoteee hazina shida. | generated_audios/moment_4_reproductive_16f3ef22-0560-45b7-b486-d2eff9e9e8e2_1716471303422.wav |
1690525514387.wav | je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au chakula aah kwa biashara haifai
| generated_audios/1690525514387.wav |
1690456761730.wav | ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina C aina C sikupenda kwa sababu ya hali ya hewa,ile jua, kuna jua kali, sababu pia inaonekana inashambuliwa na wadudu sana kwenye ile hatua kabla haijachanua kuna wadudu wadudu wanaishambulia kwenye majani | generated_audios/1690456761730.wav |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.