audio_ID
stringlengths
17
83
sentence
stringlengths
5
2.57k
audio_path
stringlengths
34
100
1690444385919.wav
je ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina B kwa matumizi biashara au matumizi ya chakula naona ni kwa matumizi ya chakula zaidi ambacho ni kitu gani umekipenda labda nimekipenda kwa sababu mvuto wa rangi yake na vilevile naona kwamba ni rangi ambayo inayofaa kula isiyokua na rangi nyingi
generated_audios/1690444385919.wav
moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594590586.wav
nini unapenda kuhusu aina C.aina C naipendaa kwasababu kwanza ni nzuri hata kwenye kula ni nzuri lakini sasa alafu inaonyesha mazao yake yana kuwa mengi zaidi mh.sawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_4b6be429-493d-47d1-b957-116576fbd45d_1715594590586.wav
moment_3_vegetative_5ab9417b-4989-47f8-8542-34078289b4ea_1718013442598.wav
Ni unachokipenda katika mbegu A?.Aaah uu ustawi wake ndo naupendaÉ.
generated_audios/moment_3_vegetative_5ab9417b-4989-47f8-8542-34078289b4ea_1718013442598.wav
moment_3_vegetative_20240417_667836fe-11a0-45a8-80c5-87b416c5e9e1_1714029546902.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendezwi nacho au hupendi kuhusu aina hiyokuhusu aina A kitu sipendi nimeona kwanini yanakuwa njano ndo nimeona tofauti yake ndo hiyoje unaweza ukani ukanielezea au ukanionesha labda mmea ambao umekuwa njano ndiyoembu ni niambie upo kwenye msari wa ngapi, labda ...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_667836fe-11a0-45a8-80c5-87b416c5e9e1_1714029546902.wav
moment_3_vegetative_20240417_2d8a90fb-fd59-4cef-b579-025481aea23f_1713511661415.wav
Ni nini usichokipenda kuhusu aina A?hakuna nisichokipenda.Anhaa.Mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_2d8a90fb-fd59-4cef-b579-025481aea23f_1713511661415.wav
moment_3_vegetative_4a82feaf-3bc6-4200-b973-29517cf784f3_1718012326385.wav
ok unaweza kunisaidia kuniambia kwenyeee eneo hili C kitu gani ambacho unakiipenda sana?yaani kwenye eneo Cmmhkwanza nilichokipendammhkwanzia uotaji wake yameota vizuriiimmhpaka sasahivi yanaendelea vizuriiimmhyana ukijani wa kutoshaammhna yana chakula cha kutosha yaani watoto wamejaa vizuriimmhsasa nataka tuangalie h...
generated_audios/moment_3_vegetative_4a82feaf-3bc6-4200-b973-29517cf784f3_1718012326385.wav
moment_3_vegetative_20240417_5796e49c-470f-429a-8ef4-fc7e08927f15_1713618012911.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokipenda kuhusiana na aina B.Kwenye kitalu hiki cha cha Beeekitu ambacho nimekipenda kwanza ni tulivoyapanda yameota vizuri kuliko mengine lakini pia mmea wake umekua na afya yani mmea wakeumekua na afya na majani yake kwa kweli ynaridhisha yameshiba kwa hiyo tunategemea pia kuna u...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5796e49c-470f-429a-8ef4-fc7e08927f15_1713618012911.wav
moment_3_vegetative_20240417_b540a1f8-96a0-457e-97af-5e1006c1ce08_1714459834627.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina C?Plot C nisichokipenda ni kuhusu maua maua kidogo hayajakaa vizuri nayanashambuliwa na waduddu alafu pia maua hayo yana njano inatoka ndo kitu nisichokipenda kwenye plot C.Njano inatoka kwenye majani kwenye maua? Njano kwenye majani.Aaa kingine ambacho ukipendi?Ambacho sikipendiii ni u...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b540a1f8-96a0-457e-97af-5e1006c1ce08_1714459834627.wav
moment_4_reproductive_6f153ca9-cff5-44f2-9b56-aca94b153a1b_1716966677999.wav
angalia aina C na eleza chochote unachokiona hupendi kuhusu hiyo?.yani C nimependa kila kitu yani kuanzia kuota kwake yani kuzaa kwake sasaivi ni hali nzuri tu yani C hakuna dosari yeyote kumependeza.asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_6f153ca9-cff5-44f2-9b56-aca94b153a1b_1716966677999.wav
moment_3_vegetative_6dcec13f-6fdc-426f-af76-8869900e5990_1714819368543.wav
…. mmh ukiangalia kitalu A.Mmm.Wewe unaweza ukaniii elezea chochote ambacho unakipenda kutoka kwenye aina iii.A eee nakipenda kweli kwasabu kwanza malage yale yanaota vizuli.Mmm.Eeee yanaota vizuli mbbegu yake ni nzuli.Unavosema yanaota vizuli unaenza ukanielezea uwo uzuli wake we umeuona kwenye nini.Nimeona kwasabu kw...
generated_audios/moment_3_vegetative_6dcec13f-6fdc-426f-af76-8869900e5990_1714819368543.wav
moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020065597.wav
ah angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu ainaa aina A.ambacho sikipendii kwenye A kwenye group A ni kupukutisha majani haraka kitu ambacho kinashinhwa kuiilisha vizuri au kukauka kwa wakati wake.sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020065597.wav
moment_4_reproductive_6f153ca9-cff5-44f2-9b56-aca94b153a1b_1716966577250.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho ambacho hupendi kuhusu hioyakuninga mbee khihiiikitu ambacho hupendiyaani ambacho sijakipenda ni uzaaji wake yaan haujazaa vizuri yaani haupo sawa yaani
generated_audios/moment_4_reproductive_6f153ca9-cff5-44f2-9b56-aca94b153a1b_1716966577250.wav
moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546653276.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho ujakipenda nini ujakipenda kwenye aina C?Haujakua.Haujakua?Eee.Ni kwanini haujakua lab?Mvua.Aaah mvua ndo imesababisha usikue?Eee.Kuna kiingine labda ujakipenda?Ni hicho tu haujakua.Sawa asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546653276.wav
moment_3_vegetative_20240417_b3886a0d-e560-4311-baf7-90e649d5262d_1715599093802.wav
Nini unapenda kuhusu aina B.Aina B na enyewe maharage yanaonekana yako vizuri.Mmmh.Ila kidogo naiyona ni tofauti kidogo na labda kwa vile sijui ina kambaaa eeh ila nabado inaelekea bado ina inazaa.Mmmh.Japokuwa naona kama hii awamu ya kwanza hii imewahi kutoa mauwa kabla ya aina ya pili ukiicheki naona kama iko nyuma k...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b3886a0d-e560-4311-baf7-90e649d5262d_1715599093802.wav
moment_3_vegetative_20240417_5716fdcb-c51b-414d-91f9-2a3a4c06fe54_1714120847005.wav
Nini unachopenda kuhusu aina C?Aina C nimeipenda imeota kwa wakati mzuri na tena imetoa maua kwa wakati.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_5716fdcb-c51b-414d-91f9-2a3a4c06fe54_1714120847005.wav
1690893975045.wav
ni kitu umekipenda kuhusu aina C kwabiashara au matumizi ya chakula? aina C nimependa kwa sababu inatoa maharage mengi alafu tutapata faida kwenye masoko na matumizi ya mboga
generated_audios/1690893975045.wav
1690976252396.wav
je ni kitu gani chochote ambacho ulikipend akuhusu kukuza aina A inawahi kukomaa
generated_audios/1690976252396.wav
moment_3_vegetative_20240417_ab9f4ff0-e585-47a5-bdd3-61c6601fb821_1714474955906.wav
angalia aina C na eleza chochote ambacho haukipendi kuhusu aina C. kumee.kwambaa.hakuna imeota vizurii pasipo kuwa ule uharibifu wa kuku ndio kitu sipendi. kuna chochote ambacho haukipendi kuhusu aina C. akunaa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_ab9f4ff0-e585-47a5-bdd3-61c6601fb821_1714474955906.wav
moment_4_reproductive_8bc48f2d-83f1-4854-b34c-9639f777ce2a_1716890445973.wav
Error.
generated_audios/moment_4_reproductive_8bc48f2d-83f1-4854-b34c-9639f777ce2a_1716890445973.wav
moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943073790.wav
ndio ndugu mkulima sasa tupo kwenye aina A ya mbegu zetusawa.unatakiwa unagalie chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio A karibu.aina A ya mbegu hii nimeiona ipo vizurindio. haina matatizo imestawi vizuri na imenawiri kwa wakati.sawa.haina shida hii mbegu inaonekana inauhitaji tutaihitaji kwa mara nyin...
generated_audios/moment_3_vegetative_2d9e0b31-ad30-4807-9211-598a2a09f9ba_1713943073790.wav
moment_3_vegetative_eed0ff1f-9b23-49ab-a47f-15405c370161_1714827096245.wav
Na ni kitu gani labda ambacho huuja hukipendi kutoka kwenye hiyo aina B yama ya malage.Eeee ainaaa B iii kitu kingine ambacho sikipendi.Mmm.Inashambuliwa na wadudu sana.Mmm.Eeee wadudu ani wanakula sana kuliko ata mbegu izo zingine.Mmm.Eeee.
generated_audios/moment_3_vegetative_eed0ff1f-9b23-49ab-a47f-15405c370161_1714827096245.wav
moment_6_postharvest_e9f743a9-5194-4a4c-82da-aeedb0d4bf0b_1719297941322.wav
nini unapenda kuhusu aina C?aina C ni nzuri ha haina gesi kwa mboga ni mazuri.
generated_audios/moment_6_postharvest_e9f743a9-5194-4a4c-82da-aeedb0d4bf0b_1719297941322.wav
moment_4_reproductive_ef3b9f66-c2ba-4598-bea3-73a7f9d8df37_1716530552374.wav
Nini usichokipenda kuusiana na aina C.Hakuna.…...
generated_audios/moment_4_reproductive_ef3b9f66-c2ba-4598-bea3-73a7f9d8df37_1716530552374.wav
moment_4_reproductive_2c9e8f61-f429-412f-b8c4-fb2744274310_1716182415774.wav
Nini usichopenda kuhusu aina A?.Ee kuna dosari nimeiona kidogo apo kuna baazi ya mashina mengine yani yanawahiii yani yanawahi kunyauka akati bado yani maharage hayajakomaa vizuri.Sawa hakuna kingine labdaaa unachokichukia nje na sababu hiyo.Aa zaidi ya apo nahisi ntakuwa sina kingine…..
generated_audios/moment_4_reproductive_2c9e8f61-f429-412f-b8c4-fb2744274310_1716182415774.wav
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
Kaka naomba unielezea unachopenda kuhusiana na aina B.Aina B tangia tumepanda imeota vizuri lakini baada ya kufika hatua fulani hatua kidogo ikasogeasogea haikunirizisha eeh majani yake sio nzuri na haujamwaga maua yake vizuri.Anhaa. Sasa nilikuwa nataka kufahamu unachokipenda kuhusiana na hii aina kipi kimekupendeza k...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
moment_3_vegetative_20240417_1b122681-17ec-4004-8caf-41754088b46c_1714041236311.wav
angalia aina B na ele na elezea chochote unachokiona ambacho hupeni kuhusu hiyo?hii aina B mimi nimeona kwamba si kwavile sijaona matokeo bado na na narudia jambo la kuona matokeo hila sasa kitu ambacho sikukipenda sana rangi yake ya majani ni tofauti na aina nyengine niliyoona kwahivyo sijui huu mpauko unatokana na ni...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_1b122681-17ec-4004-8caf-41754088b46c_1714041236311.wav
moment_3_vegetative_20240417_a22e485b-f788-4c3d-af5b-9bf0f591338f_1715690107816.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.C nayapenda kwa kiasi .ndiyo.kwa sababu chakula chake hata ukipika.mmhyaani ni kinakuwa rangi kinatoa rangi yani hakina radha kama ya haya ila yani unatakiwa ukipika chakula chake ukitumie kwa wakati ule ule.sawa.eee alafu kingine na sokoni bei ...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_a22e485b-f788-4c3d-af5b-9bf0f591338f_1715690107816.wav
moment_3_vegetative_20240417_babd59a3-fe5f-42c0-87ca-9b990a5147f8_1714552535092.wav
angalia aina C na elezea chochote unachokiona unachokipenda kuhusu aina hiyo.aina C mbegu hii nimeipenda kwasababu kuanzia toka nilivyopanda maharage yameota vizuri hayakuleta tatizo mbegu yake imeota vizuri na mpaka hata hivi sasa. yanaonekana mpaka hata majani yake yako vizuri yanavutia yana maana hata unapoyatazama...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_babd59a3-fe5f-42c0-87ca-9b990a5147f8_1714552535092.wav
moment_3_vegetative_20240417_c0c4441b-efed-4b3a-82f8-013adc5ca39a_1713605496264.wav
Mama Rashi aingalia tena aina A eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.Kusema kweli maharage hayajaota vizuri alafu pia uotaji wake yamekua na rangi ya njanoeeeKaaah, kwa mfa yani majani yake kama yamejisokota flani hivi.Mmh kingine?Kwa kweli hayajaota vizuir kwa ujumla hayajaota vizuri yani hayao...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_c0c4441b-efed-4b3a-82f8-013adc5ca39a_1713605496264.wav
moment_4_reproductive_38026046-4ea4-42f1-921e-f300a8e93126_1716444963244.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo aina?aina A ni nzuri na nimeipenda ina uzazi mzuri na inakua vizuri naa inastahimili vizuri kipindi cha mvua chache na nyingi.
generated_audios/moment_4_reproductive_38026046-4ea4-42f1-921e-f300a8e93126_1716444963244.wav
moment_3_vegetative_20240417_139bdcea-44ff-4ea8-b9a0-13e68fa401f9_1714132486363.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.mediakwanza aa napenda sana haiendi mbele haipandi juu, inatoa maua vizuri haina wasiwasi naipenda tu kama kawaida.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_139bdcea-44ff-4ea8-b9a0-13e68fa401f9_1714132486363.wav
moment_3_vegetative_6dcec13f-6fdc-426f-af76-8869900e5990_1714819451818.wav
Aaa ukiangalia tuamietu asa tunaamia B ukiangalia kitalu B unaweza ukanielezea au ukaniambia kitu chochote ambacho unakipenda kutoka kwenye aina iyo toka ulivoanza kuudumia.B ni nzuli lakini sio nzuli kwasabu ... uwotaji wake wenyewe kwanza inaota kwa shida ….. Kwaiyo kidogo haileti picha nzuli.Uuu nasema unavosema ina...
generated_audios/moment_3_vegetative_6dcec13f-6fdc-426f-af76-8869900e5990_1714819451818.wav
moment_4_reproductive_12e8c350-5df6-4693-a6a9-02bf42ef67aa_1716721748107.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.Aaah hakuna.
generated_audios/moment_4_reproductive_12e8c350-5df6-4693-a6a9-02bf42ef67aa_1716721748107.wav
moment_3_vegetative_82486127-f244-46fe-8c45-84d9f24067d5_1712816885724.wav
nini unapenda kuhusu aina B?kwenye aina B sina nitakacho kipenda kwasababu hakuna kilichoota hata moja, kwahiyo sioni cha kukifurahia pale.sawa nashukuru.
generated_audios/moment_3_vegetative_82486127-f244-46fe-8c45-84d9f24067d5_1712816885724.wav
moment_3_vegetative_175cd231-5445-4c55-b69f-2fb2953e55ae_1713418302763.wav
ukiangalia aina C nieleze chochote ambacho we hukukipenda kuhusuaina hio.ah kuna shina mojamoja imeleta mabadiliko mh.ingawaje yanakauka moja moja ndo icho tu ambacho nilikua sipendi.mmh.eeh.icho tuu?eeh.
generated_audios/moment_3_vegetative_175cd231-5445-4c55-b69f-2fb2953e55ae_1713418302763.wav
moment_3_vegetative_fdb43fda-4ed2-43ee-bf38-1b04ee438a8b_1713336992562.wav
nini ambacho hujapenda kwenda aina C?sijapenda maana nguvu yake naona ya …. sio kama ya yenzake?eh lakini ni mazuri lakini sio kama ya yenzake.ahaa
generated_audios/moment_3_vegetative_fdb43fda-4ed2-43ee-bf38-1b04ee438a8b_1713336992562.wav
moment_3_vegetative_20240417_9b8eb960-ed89-4c7b-8ec1-612d514abc77_1714572587058.wav
Nini usichokipenda kuhusu aina B.Nisichokipendaaa hukoo nimeangalia matawi yake yanashambuliwa naaa kunaaa aina kunaaa mdudu flani ambae ameshambulia kidogo kwenye matawi kwahiyo amee yamekuwa na rangi fulani ya ya njano kwahiyo hiyos hiyo hali niliyoiyona hapo sijaipenda.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_9b8eb960-ed89-4c7b-8ec1-612d514abc77_1714572587058.wav
1690277109466.wav
Nasema ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya A elekeza kwenye sifa za kilimo Kitu ambacho sikupenda ni upigaji wa mashimo yani zile kanuni sa za uoteshaji utumiaji wa mashimo ko yalikua karibu karibu sana kiasi kwamba maharage yanapotatuka yani yanakua kama yamesongamana hayapati hewa Okay
generated_audios/1690277109466.wav
moment_6_postharvest_e7e37525-69d8-419d-aeaa-b2bb352002dd_1719239819317.wav
nini unapond unapenda kuhusu aina A?kitu ninachokipenda kuhusu aina A ni kwamba kinaiva kwa muda.
generated_audios/moment_6_postharvest_e7e37525-69d8-419d-aeaa-b2bb352002dd_1719239819317.wav
1690456976789.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C kwenye sifa za kilimo, ilikusumbua nini aina ya C aina ya C ilinisumbua kwanza kwenye kuota inaota yani ni kuota yani kama umepanda mstari kumi yani apo tuseme zaidi ya nne hazioti kwa hiyo uzalishaji mdogo alafu pia kwenye kukua kuna changamoto ya pili inashambuliwa ...
generated_audios/1690456976789.wav
moment_6_postharvest_57ce1cc0-a657-46d8-be36-3693f88fe9f7_1719472006923.wav
nini unachokipenda kuhusu aina C?aina C ni mbegu ya kidigitali mbegu ya kisasa kwanza ina pesa nyingi zaidi mmh,eeh ndo maana naipenda zaidi.sawa
generated_audios/moment_6_postharvest_57ce1cc0-a657-46d8-be36-3693f88fe9f7_1719472006923.wav
moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005561637.wav
Nini unapenda kuhusu aina A ?Aina A inastahimili baridi pia hailiwi na ba wadudu pia inazaa majani vizuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_02026786-23a3-4433-9ad9-a4e3eb513498_1718005561637.wav
moment_3_vegetative_20240417_dee2860f-6d96-4664-a23e-1a7af4e64e75_1713596467332.wav
Nini unapenda kuhusu aina C?Aina C sijapenda kitu chochote kwa sababu yani haujaota vizuri.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_dee2860f-6d96-4664-a23e-1a7af4e64e75_1713596467332.wav
1691142427682.wav
je ni kitu gani unach ni kitu gani kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya hii aina A kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? yaani hii apa tukipata soko, kwasababu matumizi ya chakula haina shida, ila tukipata soko lake itaweza kufanya vizuri kwasababu inazaa mpaka inaanguka inazidiwa yani inazidiwa yan...
generated_audios/1691142427682.wav
moment_3_vegetative_20240417_7bc7a712-23b3-4b1c-80eb-532b122c723d_1713591722831.wav
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo aina B?Sijaipenda kwa sababu uotaji wake ulikua unasumbua.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7bc7a712-23b3-4b1c-80eb-532b122c723d_1713591722831.wav
1690628928062.wav
je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina A? hapana
generated_audios/1690628928062.wav
moment_4_reproductive_5ea93754-04b7-4bdd-a507-3b6739f10d1b_1716889392804.wav
angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?ee mimi kwa aina A kwa jinsi nilivyoina toka ilivyoanza kukomaa kwanza ninaipenda kwasababu inawahi kukomaa pia inawahi kukauka ee ndio kwa aina A napendea hicho cha kuwahi kukauka kwanza kuwahi kukomaa na halafu kuwahi kukauka kwa maan...
generated_audios/moment_4_reproductive_5ea93754-04b7-4bdd-a507-3b6739f10d1b_1716889392804.wav
moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963723962.wav
angalia aina B na elezea chochote ambacho hupendi kuhusu hiyo.mmh sasa hapo nitakwama sasa … hapa hamna .hakuna ambacho hakikupendezi.hamna ambacho hakijanipendeza yani yani kuanzia uotaji wake mpaka sasahivi hapa iko na maua yani imenipendezea vizuri vizuri.aya asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_36a3c2ab-dfdc-4512-abfa-afe257a8a195_1713963723962.wav
moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943848322.wav
nini unapenda kuhusu aina B?.aina B kinachonifanya niipende ni uotaji wake mzuri.mmmh.pia hata ukuaji wake mzuri na ninavyoona hata u uustahimilivu waa waa waa waa madhara yatokanayo na na na uotaji.….hususani kwa mfano kwa mfano mwaka huu kumekua na mfululizo wa mvua nyingi lakini yenyewe imejitahidi kuu kuota na ku...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_0c0f022c-401b-469d-9031-25c0fbac6ffe_1713943848322.wav
moment_4_reproductive_983969f6-6dac-42aa-a8f7-f96f990eeab2_1716375257017.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina C?Aina C kwakweli nili nilichokipenda ni wakati wa kuota imeota vizuri lakini badae ikawa imedumaa sana.Kingine unachokipenda kuhusu aina C?Aina C kwakweli haiki haijanifurahisha.
generated_audios/moment_4_reproductive_983969f6-6dac-42aa-a8f7-f96f990eeab2_1716375257017.wav
moment_3_vegetative_0f48a4ac-16b1-40a6-a5df-b036b3cd8fa9_1715167826348.wav
nini unapenda kuhusu aina C.aina C kweli nimeipenda kwasababu imestawi vizuri.una sababu nyingine inayo kufanya upende aina C.hakuna sababu nyingine.haya asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_0f48a4ac-16b1-40a6-a5df-b036b3cd8fa9_1715167826348.wav
moment_3_vegetative_61b2793a-da0b-4d1c-8b3f-bf4ad68ef443_1718008209781.wav
ok mama unaweza ukaelezea kuhusu eneo A kitu gani ambacho umekipenda sorry eneo B kitu gani ambacho umekipenda?nimependa tu piapia nayo mbegu yake nimeipenda hii mbegu ya maharageee ni nzuri sana.eneo B ni kitu kingine ambacho umekipenda zaidi kuliko maeneo mengine?mmh nimependa tu hii mbegu ila kwakweli pale hayakutok...
generated_audios/moment_3_vegetative_61b2793a-da0b-4d1c-8b3f-bf4ad68ef443_1718008209781.wav
moment_4_reproductive_01e14d17-dac9-4f88-99d9-c42d6ae26baa_1717044852645.wav
nini usichopenda kuhusu aina C?aina C mbegu yakee kilee ilee mbovu kidogo uzaaji wake mbovu.
generated_audios/moment_4_reproductive_01e14d17-dac9-4f88-99d9-c42d6ae26baa_1717044852645.wav
moment_3_vegetative_0bf834c6-19bb-4702-88e8-3cd2f94819e7_1713338967027.wav
nini unapenda kuhusu aina A?.vizuri. eeh.yanazidi kukua vizuri.nacho maaanisha namanisha yanaonekana yanipa moyo.unaposema labda yazidi kukua vizuri unamaanisha kitu gani?.ee.yanakupa moyo.ninachokipenda ninachokipenda kwenye mazao yangu yaneonekana yako vizuri.una maelezo menigine labda zaidi kuhusu kitalu A kuhusu ni...
generated_audios/moment_3_vegetative_0bf834c6-19bb-4702-88e8-3cd2f94819e7_1713338967027.wav
moment_3_vegetative_b6b890ea-a9db-486e-a8bf-84ea6ab000b5_1715598273241.wav
Error.
generated_audios/moment_3_vegetative_b6b890ea-a9db-486e-a8bf-84ea6ab000b5_1715598273241.wav
moment_4_reproductive_25252469-2e4c-4d82-ad29-66d04fea9b47_1715762087200.wav
Nini usichopenda kuhusu aina B?Hapa hakuna kitu ambacho sijakipenda ninapenda.Unaweza ukaelezea zaidi?Hapa naona kwamba napenda kwa sababu maharage yenyewe yamekua mee ingawaje yameharibika lakini hayakuharibika vii sana ila nimefurahi kwaajili yamezaa vizuri kidogo.
generated_audios/moment_4_reproductive_25252469-2e4c-4d82-ad29-66d04fea9b47_1715762087200.wav
moment_3_vegetative_750c9c8b-7ae4-4972-a284-a1a63487b286_1712644112105.wav
angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?aina C kitu nilicho kipenda nikwamba nani, majani yake yamekuwa mapana na inapendeza.ukisema kuhusu majani mapana yani unamaanisha kwamba yani unielezee kidogo kuhusu unavyoelewa kuhusu majani mapana ukiwa unamaanisha kuhusu kusema majani...
generated_audios/moment_3_vegetative_750c9c8b-7ae4-4972-a284-a1a63487b286_1712644112105.wav
moment_4_reproductive_918b1f80-8ae4-42ce-bf71-88f0405f8694_1715067632676.wav
nini usicho penda kuhusu aina B.aina B zingine kwa kweli bado zina endelea kukauka zina kuwa za njano kwa hiyo uzao wake hau ridhishi sawa.kuna kingine ambacho una kiona ambacho hau kipendi kuhusu aina B.kwa sasa bado sija kiona.sawa.
generated_audios/moment_4_reproductive_918b1f80-8ae4-42ce-bf71-88f0405f8694_1715067632676.wav
1691152258015.wav
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya B elezea kwenye sifa za kilimo Inashambuliwa na wadudu Inashambuliwa na wadudu Haivumilii ukame Sifa ya tatu Haistawi vizuri Sifa ya nne Haina soko Sifa ya tano naona hizo hizo zinatosha
generated_audios/1691152258015.wav
moment_3_vegetative_435536f1-3c7c-431f-856b-33f73ecaae02_1713423548774.wav
ebu labda nini unachokipenda kulingana na hichi kitalu … kwa jinsi unavyokitazama.aa hichi kitalu kwa kweli maharage yake si mabaya sana.ehe.pamoja na kwamba kuna dalili nimezigundua.…baada haya maharage kuota.mmh.majani yake ni yana kitu kama alama alama za njano.ehekitu ambacho inaashiria kama kusingekua na mvua haya...
generated_audios/moment_3_vegetative_435536f1-3c7c-431f-856b-33f73ecaae02_1713423548774.wav
moment_4_reproductive_c5dee759-0de2-4814-b32a-5333f6912f8e_1716438902191.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?.aina B ambacho sipendi mstari mmoja uliota bila uliota kwa kusua sua kwahiyo kwenye upande wa aina B ambacho sijapendezwa nacho ni mstari mmoja tu haujaota vizuri.
generated_audios/moment_4_reproductive_c5dee759-0de2-4814-b32a-5333f6912f8e_1716438902191.wav
moment_4_reproductive_5c9c760a-aebe-4eb5-bbb7-8ab0c7937f64_1715747415988.wav
mmh na kitu gani pia ambacho hukipendi kutoka aina C?.ni kama vile vile tu Ammh.nilivyokuwa nimeongea kwamba siipendi kwasababu kuna mnyauko fulani.mmh.inahitajiwa kwama ni dawa tupate dawa ya kuweka basi inakuwa ni vizuri zaidina unafikiri iyo dawa labda ni nani anatakiwa akupe iyo dawaiyo dawa inatakiwa itolewe huko ...
generated_audios/moment_4_reproductive_5c9c760a-aebe-4eb5-bbb7-8ab0c7937f64_1715747415988.wav
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
Kaka naomba unielezea unachopenda kuhusiana na aina B.Aina B tangia tumepanda imeota vizuri lakini baada ya kufika hatua fulani hatua kidogo ikasogeasogea haikunirizisha eeh majani yake sio nzuri na haujamwaga maua yake vizuri.Anhaa. Sasa nilikuwa nataka kufahamu unachokipenda kuhusiana na hii aina kipi kimekupendeza k...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav
moment_4_reproductive_ba536e00-a349-4585-a444-610de00158cf_1716467686368.wav
nini usichokipenda kuhusu aina A?nisichokipenda kuhusu aina A kwemye uzao wake pia inapukutisha majani haraka.
generated_audios/moment_4_reproductive_ba536e00-a349-4585-a444-610de00158cf_1716467686368.wav
moment_4_reproductive_961d34a3-ec58-4fd3-a60b-db1ebfb552de_1717140886912.wav
nini usichopenda kuhusu aina C?.ee nisichokipenda katika aina C ni kwamba baadhi ya maharage mengine yameshambuliwa na wadudu na yana mnyauko yani mshina mwingine unakuta vina kauka kauka.jambo lingine ambalo halijakupendeza zaidi.hamna.aya asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_961d34a3-ec58-4fd3-a60b-db1ebfb552de_1717140886912.wav
1690614873537.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C ? Eleza kwemye sifa za kilimo mmh kwanza kwenye mbegu C ni nzuri, lakini changamoto yake kubwa ambacho mimi sikukipenda ,na kama watafiti wanaweza kufanyia utafiti tukapata majibu ingependeza, ni kwamba number of pods au vile vidole vyake ni vichache sana ukilinganisha...
generated_audios/1690614873537.wav
moment_4_reproductive_efa0935c-8c98-4c5b-88cf-df2d788fd415_1716450613286.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?C nimeipenda kwa sababu japokua imeliwa majani na digidigi lakini imezaa vizuri nimeipenda kwa kweli.
generated_audios/moment_4_reproductive_efa0935c-8c98-4c5b-88cf-df2d788fd415_1716450613286.wav
moment_3_vegetative_20240417_b6b19c48-2edc-453c-9ba7-4d09161e8ccd_1713684715893.wav
Angalia aina C aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Sina.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_b6b19c48-2edc-453c-9ba7-4d09161e8ccd_1713684715893.wav
moment_4_reproductive_f65817a5-f267-4ed1-b573-14c7afee79b8_1716179697002.wav
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.aina A nimependa namna ya uzaaji wake imezaa vizuri Hmm.
generated_audios/moment_4_reproductive_f65817a5-f267-4ed1-b573-14c7afee79b8_1716179697002.wav
moment_3_vegetative_20240417_8dd3763a-a33d-4d58-bbd4-55495f45975c_1715321629705.wav
Nini usichopenda kuusu aina A.Amna nsichokipenda.Aaaah sawa asante.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_8dd3763a-a33d-4d58-bbd4-55495f45975c_1715321629705.wav
moment_3_vegetative_20240417_3adcc9d0-7b4a-4173-8d7b-95e99814e14c_1713954409452.wav
Nini usichopenda kuhusu aina B?Kuhusu aina B hamna ambacho sikipendiSawasawa.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_3adcc9d0-7b4a-4173-8d7b-95e99814e14c_1713954409452.wav
1690533753142.wav
Katika majaribio matatu ipi uliipenda kwa uchacha wake Katika majaribio matatu niliyoipenda kwa uchacha yake ni C
generated_audios/1690533753142.wav
moment_3_vegetative_20240417_f88b864a-3299-4463-88c7-8c0d2f4b4ddd_1713952746673.wav
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho haupendi kuhusu hio.Aina C kitu ambacho sipendi ni hizi kambakamba hizi.Pia kuna kingine ambacho unakiona hukipendi kuhusu C.Kinginee, kusema kweli hapa sintaweza kutoa makosa mengi kwasababu uotaji ulisababishwa ulipungua idadi ya uotaji kwasababu kulikuwa na unye...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_f88b864a-3299-4463-88c7-8c0d2f4b4ddd_1713952746673.wav
1690611732868.wav
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina B? Aina B mavuno yake ni chache
generated_audios/1690611732868.wav
moment_4_reproductive_b92c9cdc-8a22-490f-b266-b0d8b11ab088_1716895423231.wav
nini usichopenda kuhusu aina B?ni hicho tu kwamba siii si sio sijaona kama ina umahimu sanammhsindio B hii?eeh ndiyoeehkwao kikubwa umesema ni kambakambakambakamba alafu inachelewa hata kutoa kwake maua ni tofauti na hizisawammh maana nilikuwa naangalia tu mara kwa mara naangalia ni ipi imewahi eeh.
generated_audios/moment_4_reproductive_b92c9cdc-8a22-490f-b266-b0d8b11ab088_1716895423231.wav
1690277889108.wav
ni kitu gani hukuppenda kuhusu aina A kwa bishara au matumizi ya chakula? hakuna
generated_audios/1690277889108.wav
moment_3_vegetative_20240417_7b72d8fe-15d5-4d83-872e-82e2e93fff6a_1713607369889.wav
Nini unapenda kuhusu aina A?.ninaipenda aina A jinzi ya maharage yalivyoota. najinziyanavyokuayalivyokuwaunanivutiasanayananivutiasanamaharageainaeyii.je! Unaeza kunielezea zaa kiundani zaidi?.kiundani zaidi naweza kukuelezea kulingana naa jinzi ninavyolimaga maharage mengine aina yengine nimeonaa kwenye ainaa kwenye m...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_7b72d8fe-15d5-4d83-872e-82e2e93fff6a_1713607369889.wav
moment_3_vegetative_20240417_67c466e0-1c3b-4ede-bb33-c45730163528_1713612937871.wav
Angalia tena aina B eleza chochote ambacho unakiona unakipenda.Kwenye aina B hapa nisichokipenda kwanza maharage yameiota kwa mpangilio hakuna iliyopotea yameota vizuri.Mama D naomba tuendelee kuhusiana na unachokipenda,Ninachokipenda maharage yameota kwa mpangilio na pia majani yake ni ya kijani yani yameota vizuri h...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_67c466e0-1c3b-4ede-bb33-c45730163528_1713612937871.wav
moment_3_vegetative_d5797c45-b2ce-4c2d-9836-171995789980_1715087491127.wav
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona amacho hupendi kwaa aina hiyo.Aina B naipenda sioni ubaya kwenye aina B.
generated_audios/moment_3_vegetative_d5797c45-b2ce-4c2d-9836-171995789980_1715087491127.wav
1691053738300.wav
ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina ya B kwa bishara au matumizi ya chakula soko lake ni zuri nyingine , kwa chakula inafaa
generated_audios/1691053738300.wav
1690460899738.wav
nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C?elekeza kwenye sifa za kilimo wakati kama shamba lina rutuba ndogo unaweza kupanda alafu na kupata mavuno, sifa ya pili sifa ya pili kama shamba ni lidogo unaweza ukapata mavuno mengi
generated_audios/1690460899738.wav
moment_3_vegetative_753e0d34-c0a4-4e14-b08e-62392420eeee_1712810420857.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?mimi haina B naki naipenda kwa sababu haina matawi mengi la maua ni mengi.
generated_audios/moment_3_vegetative_753e0d34-c0a4-4e14-b08e-62392420eeee_1712810420857.wav
moment_3_vegetative_cf6e61fe-0c9c-423f-8e6c-7f4e8094493e_1716285476335.wav
Error
generated_audios/moment_3_vegetative_cf6e61fe-0c9c-423f-8e6c-7f4e8094493e_1716285476335.wav
moment_3_vegetative_0ffcf03c-52df-4afa-8dbd-0bc0efc14082_1713505900142.wav
nini usichopenda kuhusu aina B?Nisichopenda kuhusu aina B, kwa sababu huku kwetu haioti.
generated_audios/moment_3_vegetative_0ffcf03c-52df-4afa-8dbd-0bc0efc14082_1713505900142.wav
1690874432892.wav
hiyo B ndo ulisema umeipenda sana, kitu gani katika kukuza hujakipenda kwenye B, yani ukiachana na mazuri yake kitu gani kibaya kwenye B apo kidogo sawa
generated_audios/1690874432892.wav
moment_3_vegetative_40ce6c7d-43ed-46ec-a01e-af84b472c08e_1712647634447.wav
angalia aina C na elezea chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?mmm kiujumla maharage hii ni iko vizuri, ninaona hata haishambuliwi sana na wadudu, majani yake yanajaa sana.ukiwa unasema kwamba majani yanajaa, unamaanisha kwamba yani unaweza ukaelezea zaidi kuhusu unavyosema majani yanajaa sana?ndiyo...
generated_audios/moment_3_vegetative_40ce6c7d-43ed-46ec-a01e-af84b472c08e_1712647634447.wav
moment_4_reproductive_04d21576-2aa3-40ea-92d2-4142bc880e68_1717401945766.wav
Angalia aina C na na eleza chochote ambacho unakipenda.Aina C naona mimea imeenda vizuli na kuna baazi ya mimea mingine imekufa.Imekufa kwanini.Eee ii apa naona ni jua pamo.
generated_audios/moment_4_reproductive_04d21576-2aa3-40ea-92d2-4142bc880e68_1717401945766.wav
moment_3_vegetative_20240417_28cb88f7-d2b6-4659-9d5c-69c597db4367_1713516314918.wav
nini unapenda kuhusu aina A?.ainaa A napenda jinsi ya mbegu zilivyoota vizuri sana nimependezwa nazo na dalili ya pale unai …. Kwamba nanii maharage yaliota vizuri sana.yaliota vizuri sana.mmh.
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_28cb88f7-d2b6-4659-9d5c-69c597db4367_1713516314918.wav
moment_4_reproductive_688a02cd-801f-4b94-a457-2ec19e7b62d6_1716537780030.wav
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina C?Kuhusu aina C nisichokipenda pale ni hile kamba mingine ina mchanganyiko wa kamba.Kingine.Hakuna.Tangia tumeanza jaribio mpaka sasa hivi ambacho hukipendi?Hakuna.
generated_audios/moment_4_reproductive_688a02cd-801f-4b94-a457-2ec19e7b62d6_1716537780030.wav
moment_3_vegetative_20240417_0ff06128-1c51-41f6-b26c-4c2de0feb9f8_1714025822798.wav
analia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.kwenye uoto kwenye kipengele cha pili ambacho nicha kukataa kitu ambacho sikipendi kwanza uotaji wa maharage ulikua mzuri kwahiyo sasa hivi mvua ililvyozidi maharage yote. yameharibika ambacho ni kitu ambacho sikipendi kwasababu mimi ni kitu ambach...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_0ff06128-1c51-41f6-b26c-4c2de0feb9f8_1714025822798.wav
moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133604068.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuusu hiyo.Hii nimeipenda.
generated_audios/moment_4_reproductive_d6182628-04ff-4856-aa6b-3b76a4150ff0_1717133604068.wav
1690527187226.wav
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya chakula? sipendelei kwa matumizi ya chakula
generated_audios/1690527187226.wav
moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038219611.wav
Nini unapenda kuhuusu aina B?Kwenye aina B imeota vizuri na hamna iliyopotea na ina watoto wengi.Kingine kilichokuvutia kwenye aina hii ya maharage?Kama nilivosema uotaji wake ni mzuri na na ime ime imebeba watoto vizuri.Aaaah, cha kuongezea? Kuhusu kitu usicho unachokipenda?EEEEHcha kuongezea? Kuhusu kitu usicho unach...
generated_audios/moment_4_reproductive_08387a77-fec9-4b82-b50d-7c4408efaef0_1716038219611.wav
moment_4_reproductive_b1a6d502-7a64-4b9a-ab88-888739461184_1715677462962.wav
mmh kwenye aina hiyo hiyo A nini ambacho hukipendi sasa ?sikipendi aah ila nakipenda kiko vizuri haina shida .mmh.eee yale yale yako vizuri hakina shida .mmmh.mmmh.
generated_audios/moment_4_reproductive_b1a6d502-7a64-4b9a-ab88-888739461184_1715677462962.wav
moment_6_postharvest_fef17f4f-745e-4b1d-9f41-d8348b91b931_1718974441570.wav
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona unakipenda kuhusu hiyo.Aina A nimependa kwa sababu ni nzuri na inaiva vizuri na kwenye uzao pia inajitahidi imeiva vizuri.Pia unaweza ukaelezea zaidi ambacho unakiona kuhusu aina A ambacho unakipenda?Naam?unaweza ukaelezea zaidi ambacho unakiona kuhusu aina A ambacho unaki...
generated_audios/moment_6_postharvest_fef17f4f-745e-4b1d-9f41-d8348b91b931_1718974441570.wav
moment_4_reproductive_9a85da1e-e588-47ca-8549-e80e62242911_1717061340090.wav
angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.kwa aina hiyo hamna… sote ninazozipenda ila kwenye magonjwa kulikuwa baridi, ilipata baridi ikawa sijaipiga dawa tatizo ndio hilo.mmh aya asante.
generated_audios/moment_4_reproductive_9a85da1e-e588-47ca-8549-e80e62242911_1717061340090.wav
1690445697940.wav
kwa hiyo ni aina gani sasa kati ya hizi tatu ambayo hukuipenda sana, ambayo hujaipenda sana kati ya A, B na C ila hii kwa ukame inatoa rangi ya njano mapema sawa, hizi zote umesema umezipenda, ila ambayo hujaipenda sana ukilinganisha kati ya hizi tatu zote nimezipenda bana zote nazikubali kwa hiyo unaweza kupenda vitu ...
generated_audios/1690445697940.wav
moment_3_vegetative_20240417_09a2443b-bfeb-491a-9db4-8d916da32d75_1713427416479.wav
angalia aina C na eleza chcohote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.aina C ni mbegu ambayo tumeipanda kwenye kishamba chake, kitu ammbacho nakiona na inabidi nikiseme, mbegu imeoota tuseme kwa sailimia themanini lakini mbegu hii majani yake imeonyesha dallili ya kukomaa majani kabla ya mmea haujasogea mbali, h...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_09a2443b-bfeb-491a-9db4-8d916da32d75_1713427416479.wav
moment_4_reproductive_8388270d-485e-47dc-854b-746fb7bd6fcf_1716361932514.wav
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?.Ki ikweli hakuna ambacho sikipendi
generated_audios/moment_4_reproductive_8388270d-485e-47dc-854b-746fb7bd6fcf_1716361932514.wav
moment_3_vegetative_20240417_ab9f4ff0-e585-47a5-bdd3-61c6601fb821_1714474908520.wav
angalia aina C na eleza chochote unacho kiona ambacho unapenda kuhusu aina C. aina C imeota vizuri na majani yake ni marefu na pia pia aina hai nyauki inaota sawa sawa. kitu kingine unacho kipenda kuhusu aina C. majani yake ya kijani kweli kweli mabichi ayakauu ayanyauki. kuna kingine unacho kipenda kuhusu aina C. aina...
generated_audios/moment_3_vegetative_20240417_ab9f4ff0-e585-47a5-bdd3-61c6601fb821_1714474908520.wav