path audioduration (s) 1.02 256 | audio_ID stringlengths 17 83 | sentence stringlengths 3 3.1k ⌀ | utterance_pitch_mean float64 58.5 306 | utterance_pitch_std float64 2.22 253 | snr float64 -2.92 74.5 | c50 float64 1.57 59.9 | speech_duration float64 0.02 234 | stoi float64 0.38 1 | si-sdr float64 -21.1 31.9 | pesq float64 1.1 4.09 | pitch stringclasses 7
values | speaking_rate stringclasses 7
values | sdr_noise stringclasses 7
values | reverberation stringclasses 7
values | speech_monotony stringclasses 7
values |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
moment_3_vegetative_20240417_aa3c03c7-fe9e-434f-b870-f1b3fc3b720b_1714655543389.wav | Nini unapenda kuhusu aina C?C umeota vizuri nao nimeupenda maua yake yalitoka vizuriii majani yake yanapendeza kwahiyo kwa kwali nime nimeenimeupenda. | 135.618958 | 53.236416 | 12.759658 | 58.868076 | 10.395 | 0.959261 | 10.613991 | 1.626895 | slightly low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_12ed6e4b-2eb9-497f-a80c-3215f1bdd0bd_1713947331734.wav | nini unapenda kuhusu aina B?Hapo kwenye aina B napenda kwanza uotaji wake umeota kabisa yani karibia asilimia tisini na tisa maharage yameota lakini pia nimependa rangi ya majani hayakubadili rangi sana lakini kingine ninachokipenda kwenye mistari, mistari imekaa vizuri.ukiwa unasema majani yamekaa vizuri majani yameka... | 149.769531 | 31.895302 | 34.025379 | 59.573467 | 38.5425 | 0.982108 | 21.855778 | 2.518466 | slightly low pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_e497fb3a-79b7-448b-97bb-8f736d9df848_1718352377511.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Hiyo mbegu ina nafuu kidogo siyo sawa na hii ingine.Ksema ina nafuu ina unamaanisha nini?.Unamaanisha kanakwamba yenyewe imezaa kidogo sio sawa na hizi nanihii zingine hizi mbegu zingine.SaaÉ. | 197.427078 | 31.700331 | 40.603481 | 57.138187 | 16.081875 | 0.98557 | 17.157246 | 2.991777 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_cf22d8e9-9303-4094-a44f-0a89420c4503_1713965297466.wav | ni nini unakipenda kuhusiana na aina C?mmm kwenye aina C nilicho kipenda hapa chakwanza ni uotaji wake, ndicho nilichokipenda kwenye aina C, vile vile aina C nimeona kama yana uwafadhali kwenye kushambuliwa na wadudu, majani kushambuliwa na wadudu.je kuna jambo lengine lolote ungependa kuongezea kwenye aina C ?eee jamb... | 121.772331 | 35.824333 | 24.01564 | 59.615883 | 53.797501 | 0.990726 | 23.750708 | 2.637137 | quite low pitch | quite slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_efe7202f-7207-48f7-b80f-6b5e5604182a_1713768620059.wav | katika aina Bndio.kitu ambacho ninakipenda ni namna maharage yalivyostawi, sawa.yamestawi na yanaridhisha yaani kuliko aina A na aina C ila aina B imejitahidi kwenye ustawishaji yani ustawi uko vizurisawa.mmh.nini nini cha tofauti kati ya aina B na C pamoja na A?tofautii ambayo inaonekana ni kwenye kuota, sawa.kwenye k... | 143.329819 | 41.590893 | 36.329659 | 59.246662 | 44.71875 | 0.997961 | 27.544106 | 3.78247 | slightly low pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_139bdcea-44ff-4ea8-b9a0-13e68fa401f9_1714132831553.wav | angalia aina C na eleza chochote unakiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.hiyo naipenda sana inatoa maua vizuri vizuri sasa inanza kutoa watoto haina wasiwasi naipenda sana mimi Halima S kinyango. | 224.340057 | 76.011475 | 31.579906 | 54.61977 | 16.621876 | 0.983958 | 22.632395 | 2.350546 | slightly high pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_6_postharvest_cd1cd1b3-5df2-4921-b559-ba4ebc748940_1718951167071.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokipenda kuhusu hiyo.Katika swala maharage haya ya grupu B aua aina B jambo nililofurahishwa kwanza imezaa vizuri, jambo la pili auotaji wake ulikua mzuri na wakti ata naivuna ilikua na kipato kuliko ata aina A, jambo la tatu ni kwamba inaiva katika mazingira yetu kwa hali ya juu ... | 106.205276 | 17.032293 | 39.595554 | 59.840855 | 45.056252 | 0.998941 | 30.643185 | 4.003921 | quite low pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_79840aea-6d8b-4be1-b44d-cdfd933a4209_1713933386161.wav | ndio ndugu mkulima sasa tupo kwenye aina B ya mbegu tuko kwenye kitalu B apaa, ah angalia aina B na eleza chochote unachokiona na ambacho hukipendi kuhusu aina hio.aah hapa naona nimependezwa zaidi ingawa inachelewa kutoa mauwa lakini imestawi vizuri nafikiri ata uzaaji wake utakua ni mzuri sana.ndio.eeh.sawa, Naa vip... | 115.3741 | 31.238014 | 32.952877 | 59.560684 | 32.568748 | 0.995588 | 26.089397 | 2.782215 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_5d91170b-7139-41d5-a78e-2ebdc7c303c5_1714388106551.wav | nini usicho usichopenda kuhusu aina B?kwa sasahivi bado sijajua nisichopenda kwa sababu sielewi hiyo hiyo mbegu ee ningeifahamu ningejua kwamba hii simpendi kwa sababu iko hivi awe na kosa ipi hivi sasahivi tu naona kwamba aijakaa vizuri ina makambakamba ile nasijui kwamba izo kamba zitaendelea nae kuweka ma matunda k... | 127.034065 | 51.749966 | 31.836308 | 57.658432 | 29.548124 | 0.907858 | 14.111908 | 1.768332 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_898cc4ee-2774-47f4-80aa-dbb41cb4d838_1716633317998.wav | Nini usichokipenda kuhusiana na aina C?Sijapenda tu kwa sababu yanashambuliwa sana na wadudummmh,Alafu pia hayana uzao wa kutosha hayana pia muonekano mzuri. | 180.044052 | 34.515114 | 36.340729 | 55.249687 | 9.804375 | 0.984961 | 19.536398 | 3.025488 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_c396b8f2-f1b3-4a30-a6fb-c9833c4d5665_1716195912386.wav | Nini unapenda kuhusu aina B ?aina B ninachoipendea kwa huku kwetu ni kwamba uki uki soko lake halisumbui ko ukipeleka sokoni inauzika kwa haraka ndio nilichoipendea hio aina B . | 160.34787 | 100.198372 | 33.232788 | 51.243923 | 12.96 | 0.990117 | 25.657124 | 3.046133 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
1690968947470.wav | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C, kwa biashasra au matumizi ya chakula matumizi tu ya chakula kwahiiyo hukupenda kwaajilli ya biashara , kwanini haina soko haya maharage hayana soko kumbe haya apa C naongelea C ndo haya apa haina soko hii ndo C nimeileta katikati aah umeileta katikati ee ee haina soko
| 182.940063 | 64.613396 | 18.73192 | 22.843481 | 16.63875 | 0.941506 | 11.224433 | 1.52405 | moderate pitch | very slowly | quite noisy | slightly roomy sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_63c86006-d26e-4393-8c29-b0a3bfdeb3d8_1718029559665.wav | ÉNischopenda?.Uschopenda kwenye B.Kwenye BÉMmhÉUlaji É. ulaji wake mimi ile rangi kwenye kula mimiÉ. | 99.404472 | 41.143562 | 4.844305 | 45.262863 | 5.720625 | 0.811378 | 3.104416 | 1.274375 | quite low pitch | very slowly | very noisy | quite confined sounding | quite monotone | |
1691053681201.wav | nini ulipenda kuhusu kukuza aina B elekeza kwenye sifa za kilimo kwa sababu ilivumilia ukame | 114.709816 | 16.639511 | 33.595978 | 54.298138 | 9.18 | 0.952654 | 20.400448 | 1.773365 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
1691148804281.wav | Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya A kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwa kuitizama au kwa namna ambavyo umekutana nayo? Kitu chochote ambacho kinaeza kikakufanya aina A kuwa nzuri kwa biashara Hapo kwa upande wangu mimi? Ndiyo Yaani kinachonivutia zaidi ni hiyo tu mapato , yaani ... | 100.040993 | 39.100307 | 13.672964 | 24.995281 | 20.705626 | 0.899928 | 9.422029 | 1.313045 | quite low pitch | very slowly | quite noisy | slightly roomy sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020124258.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina B.kwenye kitalu B kinachonipendeza saidi nikuu zaa haraka inaonekana inauharaka kulikoni chochote kile. | 100.065857 | 27.614763 | 33.229588 | 59.48415 | 13.483125 | 0.980884 | 12.106317 | 2.828688 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_f6bfb287-519f-4a5e-b86d-37f1a9223cad_1716214657949.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Hapa nime nilichokiona malage yako vizuli naya yamekaa mkao wa kuzaa kwa kweli naona tu yako bola.Eheee ubola wake nini apo.Ubola wake ina maana kwamba yani ina maana yana jimudu.Ki vipi.Yana jimudu tu kwa kwajili ya kujitahidi kuzaa.Aya asante. | 130.218781 | 69.606682 | 18.239061 | 57.205608 | 22.241249 | 0.941565 | 9.44022 | 1.663917 | slightly low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_5ea93754-04b7-4bdd-a507-3b6739f10d1b_1716889563987.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.ee kwa upande ya aina B ya mbegu sijaona kitu ambacho sikipendi kwa ujumla kwasababu kungewa labda uzaaji wake ungekuwa ni wa tabu ndipo ningeweza kuona kuwa kuna matatatizo yanaonekana kuwa mbegu hii hai ingekuwa hainifai kwasababu isingekuwa ime... | 126.780914 | 42.137295 | 27.431883 | 56.882339 | 41.090626 | 0.980848 | 14.04406 | 2.297911 | quite low pitch | quite slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_0ff06128-1c51-41f6-b26c-4c2de0feb9f8_1714026883594.wav | angalia aina C na ele na elezea chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Kwenye kipengele hiki cha haina C kitu ambacho labda sikipendi sidhani kama kunakitu ambacho kiko tofauti na kingine hila ambacho sikipendi labda nilikua nasema tusijaribu tu tu tutofautishe labda tutofautishe mbegu hii ya aina C tuwe t... | 165.907837 | 63.756226 | 33.558346 | 59.595219 | 138.813751 | 0.9902 | 22.491007 | 2.418341 | moderate pitch | slightly fast | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_9b402a5a-4036-4638-a6c9-d9e1adc77d2e_1715839910711.wav | Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu aina hiyo.Aina C ambacho nnachokipenda ina uzao mzuu.Tuendelee.Eeee aina C ambacho nnachokipenda ina uzao mzuri.Mmm.Alafu mpaka sasa hivi inavyo onekana ata imeonyesha dalili yakukomaa tofauti naa aina zingine ambazo tulizo zi angalia apo.Mmm.Eee b ... | 159.48851 | 60.826309 | 33.341427 | 58.458157 | 70.77375 | 0.989749 | 26.491543 | 3.214326 | slightly low pitch | slightly slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_d5797c45-b2ce-4c2d-9836-171995789980_1715087733489.wav | Angalia aina C na elezea chochote unahokiona ambacho hupendi kuusu hiyo.Apana.Una maanisha nini unavosema apana.Ani meona ni meona imeota vizuri tuu amna ubaya wake.Unaeza kunielea zaidi unavo maanisha nini kuusu kusema haina ubaya.Uotaji kwake na mauwa na majani yake umeota vizuri.je! Kuna kitu kingine chochote unakic... | 187.781677 | 65.333565 | 27.190094 | 59.442993 | 24.958124 | 0.947004 | 8.667735 | 1.753915 | moderate pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
1690617469084.wav | je kuna kitu chochote umafikiri kinaweza kufanya aina ya A kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula hiyo sijui, ni mara yangu ya kwanza kujaribu hiyo
| 126.92495 | 39.769444 | 26.301899 | 52.631535 | 9.905625 | 0.94307 | 14.353312 | 2.037663 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
1691047281606.wav | nini ulipenda kuhusu kuilima au kuikuza hiyo aina C inazaaa alafu inavumilia haishambuliwi na wadudu kama hizi zingine | 111.846901 | 20.6989 | 25.671705 | 53.182781 | 19.608749 | 0.959813 | 21.57357 | 2.14509 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_ce3b7f50-3e8e-4f04-8fc2-49632479c762_1715672723517.wav | aah angalia aina A unaweza ukanielezea kitu chochote ambacho unakipenda kutoka kwenye aina hiyo .kwenye aina A nimependa kwa sababu maharage yenyewe yapo vizuri .mmmheeh kwa hiyo nimependezwa nayo .unaposema yako vizuri unaweza ukanielezea zaidi labda yapo vizuri kwenye upande upi ?aah kwenye u uzaajimmhyanaonyesha yan... | 206.494537 | 56.23476 | 28.500975 | 59.27351 | 24.2325 | 0.975302 | 21.084373 | 2.670557 | slightly high pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_96197074-61a4-4605-8621-565699b2acf3_1715843673912.wav | Nini unakipenda kuhusu aina C?.....Aina C yani aina C maharage yake huwa yani kwa mboga ni mazuri sana.Mmh.Ni mazuri.Mmh…Eeeh. | 182.004639 | 57.122784 | 30.275543 | 56.333462 | 6.91875 | 0.959388 | 12.008347 | 2.481125 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_6_postharvest_e9f743a9-5194-4a4c-82da-aeedb0d4bf0b_1719297879311.wav | nini unapenda kuhusu aina A?ana A napenda ih inauzao. | 143.647949 | 37.86871 | 36.581612 | 59.417419 | 4.573125 | 0.994129 | 21.952929 | 3.315633 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_49f43ea2-c5d7-4ee7-b8a7-7351c997c6e8_1715754825342.wav | Nini unapenda kuhusu aina A ?ninachokipenda .ndio.yanaendelea kukua vizuri.yanaendelea kukua vizuri..eee.sawasawa. | 103.576462 | 19.250193 | 23.681696 | 58.258369 | 9.500625 | 0.964968 | 9.703628 | 2.098376 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_ca800e3e-9730-45d3-824f-9d7a711278c6_1712825131809.wav | angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?aina A hapa hii maharage nilichopenda kwanza hapa maharage hii inavumilia ukame kwasababu tangu imepandwa mpaka leo kufikia hapa haikuwa na gaza chochote yani haikuwa na hadha chochote aijapata maradhi yoyote mpaka hapa ilipo.sawa sawa ku... | 127.27639 | 32.25161 | 37.259956 | 59.646706 | 35.285625 | 0.992038 | 24.689598 | 2.879208 | quite low pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_699bb424-1c29-457f-be3a-6cfb06ae33a4_1714222820351.wav | Ni nini usichokipenda kuhusu aina B?Haakuna nisichookipenda napenda tu nimeyapenda maharage.Haya asante. | 184.997604 | 76.636169 | 39.923485 | 59.212212 | 8.589375 | 0.984118 | 16.20376 | 2.936161 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_242a9b55-8951-4249-83d5-8a366349fa54_1718390653118.wav | ERROR.. | 220.395309 | 15.27198 | 40.114941 | 27.358009 | 0.253125 | 0.99638 | 25.778587 | 2.610879 | slightly high pitch | very slowly | moderate ambient sound | moderate reverberation | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_86564fdc-af66-4e24-af04-8eb1dbcd75fd_1713972804292.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo.namba B namba C hii siipendi kwa saaabu naona majani yana rangi ya kijani na dalili kwenye mashina hapa naona inaleta dalili ya kukauka sijui ni mvua imezidi au maji ya chemchem inayotoka chini hapo ndipo sielewi namba C . | 167.557175 | 76.020508 | 16.384016 | 41.655476 | 28.873125 | 0.980263 | 11.709215 | 1.335065 | moderate pitch | very slowly | quite noisy | slightly confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_40ce6c7d-43ed-46ec-a01e-af84b472c08e_1712647246051.wav | angalia aina A na elezea chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?kitu nisicho kipenda kwa haya maharage ni haya maua maua yanapatwa na mnyauko ukiwa una, ukiwa unasema kwamba kuhusu mnyauko unamaanisha yani unielezee ki kwa kwa undani kidogo kwamba unavyoelezea kwamba kuhusu mnyauko wa mauwa ninamsemea mnyauk... | 173.934448 | 53.776661 | 37.235992 | 59.280266 | 57.830624 | 0.966629 | 16.245613 | 2.150967 | moderate pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_46440c2d-092b-4fc5-afb1-1b7ed9476895_1718362587641.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.aina B haishambuliwi na magonjwa saana ukilinganisha na aina hizi zingine aina A na Csawa. | 159.937927 | 56.953007 | 44.404778 | 52.874477 | 12.31875 | 0.992736 | 18.736198 | 2.453445 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_900a40d2-078b-4ba5-b7da-e970c61d3b7e_1717578266768.wav | Nini usichopenda kuhusu aina B?Hamna | 242.140472 | 37.880653 | 44.574554 | 59.752068 | 1.873125 | 0.966608 | 24.75565 | 2.696777 | quite high pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | very monotone | |
1690360076482.wav | ni kitu gani ambacho hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C? eleza kwenye sifa za kilimo hakuna kitu ambacho sikukipenda kwenye C
| 180.752594 | 58.670063 | 30.244209 | 55.699608 | 8.3025 | 0.949449 | 20.139553 | 1.980726 | moderate pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_48100a7b-0686-45fa-a657-f89fe6916bb9_1718087528094.wav | anga angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo aina , hiii aina A.aina A ni nzuri naipenda kwa sababu imestawi vizuri tatizo moja ni hapa tuko vichakani.umesema vitu ulivyovipenda.aah huku ni vichakani kidogo .kwa vitu ulivyovipenda tu .haina shida kupenda naipenda vizuri .sawasawa kwa... | 133.716049 | 24.065193 | 37.746998 | 59.08289 | 33.125626 | 0.942164 | 17.921341 | 2.366885 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_3dad5b75-de58-42a6-b7b5-e4cdc2b68efe_1716961177954.wav | Ndio sasa ndugu mkulima tuko kwenye aina C ya kitaru chetu cha majaribio aah….. angalia aina C kwa makini na ueleze chochote ambacho aah unakipenda kuhusu aina hiyo.Aina hii ni nzuri ni nzuri na inaonekana inazaa kuliko mengine yote.Ndiyo.Kwasababu ninavyoangalia ina utofauti mkubwa naaa nyingine kwahiyo ii aina C kwak... | 100.146263 | 32.830029 | 6.538986 | 59.658764 | 54.945 | 0.933396 | 5.269458 | 1.401968 | quite low pitch | quite slowly | very noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_82486127-f244-46fe-8c45-84d9f24067d5_1712817006775.wav | nini husicho penda kuhsu aina B?aina B hamna nitakacho ki ki hamna nitakacho kipenda kwasabu hakuna kilichoota.sawa sawa. | 117.175049 | 20.779493 | 38.072872 | 58.842682 | 10.5975 | 0.989145 | 20.164639 | 2.188207 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_eefba714-f1aa-40a8-ad55-0e21693fb325_1713332960530.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hio.yaanii labda mvua.ndio.zinavyozidi kunyesha maharage yanaweza yakaharibika.yanaweza yakaharibika.eee.sawa sawa hicho ndo kitu ambachoo hukipendi, yanaweza labda yakaharibikaje?.yanaweza yakaharibika sababu mvua zinavyonyesha kua nyingi.ndio.ya... | 101.022537 | 21.234896 | 31.134207 | 57.855946 | 30.577499 | 0.975416 | 15.884887 | 3.099486 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
1690283504121.wav | Swali linasema ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B elezea kwenye sifa za kilimo Hamna | 150.067017 | 47.454258 | 40.08403 | 57.548317 | 7.678125 | 0.990243 | 23.028973 | 3.408122 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_cdd48a45-c690-4583-8ee5-2d7aa8c5aebf_1716459134595.wav | Nini usichokipenda kuhusu aina C?Kitu ambayo sipendi mimi nikiangalia ni hamna kwasababu nimeona imekuja vizuri sana na haiitaki dawa haina shida.Kuna ambacho hukipendi kuhusu aina C tangia tumeanza jaribio mpaka wakati huu.Aaa hamna sijaona chochote naona imekuja vizuri.… | 110.222519 | 12.072918 | 19.251232 | 56.65591 | 17.026875 | 0.966011 | 23.176712 | 2.475213 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
1690970803960.wav | kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi C ndo niliipenda zaidi | 105.124435 | 25.731697 | 27.011652 | 17.602406 | 11.424375 | 0.957772 | 12.874049 | 2.141431 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | slightly roomy sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_036d105d-485d-4316-9182-06b09efa10cf_1715069114333.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Aina B iii nimeipenda kwasaabu imeota vizuri imeniridhisha katika kutoa mauwa imetoa mauwa vizuri sanaa pia katika majani yake yameniridhi ridhisha ni mapana mmm.je! Unaeza kunieleza kwa undani zaidi.wa undani zaidi aina B haikukataa hataku kwen... | 234.709778 | 47.424328 | 31.54203 | 54.33432 | 51.755627 | 0.976602 | 23.463419 | 2.548363 | slightly high pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_88129f37-903b-4d49-b8dd-16f4caa58110_1714463520374.wav | Ttsaah nini usichokipenda kuhusu aina A?.Mmh kwa kweli sijaona tatizo laaa la mbegu hii hii mbegu sijaona tatizo lake..naona tu ipo vizuri. | 159.522919 | 47.664974 | 23.89027 | 40.657303 | 7.72875 | 0.986741 | 14.466921 | 2.505441 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | slightly confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_d6046bb3-c6bf-4ff4-bf0d-72e050ea7483_1714133700748.wav | Nini usichopenda kuhusu aina C.Aina C nisichokipenda.Mmmh.Ni kwamba inaonekanaaa inahitaji sana sehemu yenyeee yenye rutuba.Mmmh.Kwaiyo eneo ambalo ni la kawaida inaonekana haitafanya vizuri.Mmmh.Kwaiyo mbegu hii inaonekana ina mashariti makubwa.Aaah. | 151.551529 | 64.097267 | 34.951046 | 58.705006 | 15.575625 | 0.977838 | 23.354164 | 2.684382 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_ee62bcd5-1a2b-45c5-a24d-9908f309d687_1713680804542.wav | nini unapenda kuhusu aina A?.aina A napenda kwasababu imeota vizuri kitu cha kwanza kwa asilimia kubwa lakini kitu ambacho nakipenda ukuaji wake inaendelea kukua vizuri na inapendeza pia hicho kinanifurahisha .una sababu zozote za kuipenda aina hii ya mbegu .naipenda kwasababu ukuaji wake uko vizuri ,inaendelea kupamba... | 124.97496 | 53.72892 | 40.917118 | 59.803017 | 41.731876 | 0.984266 | 14.600669 | 2.644228 | quite low pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
1691217499622.wav | ni kitu gani hukukioenda kuhusu kukuza aina ya A/ elekeza kwenye sifa za kililmo, kitu ambacho hujakipenda kipindi unakuza aiina ya A? aah zote nimependa tu, sikua na kutokupenda, mimi nimependa tu ile mbegu kwa sababu ile A tatizo lake ni hilo tu ambalo lilikua mashina yanyauka na imenyauka mpka inafikia hatua sikuel... | 119.861511 | 32.799221 | 3.738876 | 46.577744 | 24.80625 | 0.827786 | 3.507288 | 1.210521 | quite low pitch | very slowly | very noisy | quite confined sounding | very monotone | |
1690364256840.wav | Katika hizi Tricot zote ni ipi ambayo uliipenda kwa kiwango cha chini C C? Okay | 124.330833 | 23.884243 | 25.841707 | 59.480083 | 5.4675 | 0.952529 | 16.646694 | 1.784245 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_cab67d3a-b367-4209-b16e-863cb9889f77_1713935409891.wav | nini usichokipenda kuhusu aina A?. icho nsiko nsichokipenda kwa ajili imeshambuliwa sana na wadudu alafu inachelewa sana kueka maua.kitu kingine ambacho kuhipendi kwenye aina hiyo.kitu hichoo ambayo sikipendii ah afu nimefanya nini apoo usemaji mgumu bana ile ya mimea iliokufa kwamba mimea. | 144.210815 | 41.628399 | 26.224356 | 57.58408 | 18.039375 | 0.990316 | 25.298553 | 2.766069 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
1691243365158.wav | ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya B kwa biashra au matumizi ya chakula? kwa biashara ulipenda kwa biashara lakini kwa biashara sasa ni sifa ipi sasa, kwanini umependa kwa biashara kwenbye hiyo B kwasababu uzalishaji wake ni mzuri sababu nyingine unaweza kufikiria sababu ya pili, yani kwa ujumla hiyo uzalishaji wa... | 134.683548 | 39.030338 | 21.881115 | 59.071228 | 3.931875 | 0.957863 | 14.156995 | 2.084436 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_5c07438f-2ac5-4873-a574-30a0905abacc_1718091790769.wav | ok baba samahani unaweza kunielezea kitu ambacho umekipenda kwenye eneo A mbegu ee eneo A ambacho umekipenda sana?eneo A ni si hiyapa?mmhkwakweli eneo A hii mbegu inaaa utaratibu mrefummhna ukuaji wakemmhna uzaaji wake haujakaa kiubora vilemmhhii mbegu mi sijaipendamhnina ni nzuuri lakini inahitaji gharama kubwa ya mi... | 132.749542 | 58.881554 | 28.375702 | 56.092319 | 28.906876 | 0.987012 | 24.119534 | 2.670084 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_bd005b48-cc43-4100-a925-59f53cdddf65_1712729924579.wav | nini unapenda kuhusu aina A?napenda uwotaji wake yako vizuri, maua imetoa kuanzia chini mpaka huku juu, yanamajani mapana imeota vizuri kwakweli panapendeza.unaweza ukaelezea zaidi kuhusu unavyosema kuhusu majani mapana?mmm majani yake ni mazuri yanii imekaa kwaujumla imekaa vizuri haya maharage yani nayapenda sana, ki... | 160.904205 | 36.795147 | 28.828144 | 58.664162 | 28.78875 | 0.979548 | 21.504667 | 2.409892 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_cb83154d-9ad6-497f-929b-7151f9f5e537_1713690378561.wav | Ninii unapenda kuhusu aina A?Aina A napendaa ina anza kukuota mapema alafu inakua vizuri alafu inatoa maua mengi.Hasa wewe umependa nini kwenye aina hii kitu ulichofurahia zaidi kwenye hivyo ulivyovitaja?Nafurahia zaidi kukua inakua vizuri alafu inatoa maua mengi.Unaaa maelezo ya kuongezea au hauna?Hapo cha kuongezea s... | 156.475464 | 48.778927 | 38.114429 | 59.286652 | 29.683125 | 0.993145 | 26.528931 | 3.359878 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
1690458745166.wav | ni aina gani ya variety ambayo hukuipenda? na nii Ainaaaa C | 110.770599 | 10.519934 | 39.0131 | 53.280743 | 6.496875 | 0.912765 | 18.64278 | 2.4883 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_d531b536-a0f3-4661-93fb-959d11982c59_1713508562489.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu kuhusu hiyo?Yani zaidi ni kutokuota vizuri hii mbegu.Kwa uzoefu wako kwa haya majaribio kwa jinsi ilivyokua mpaka sasa hivi.Mmmh.Kipi ambacho unakipenda kuhusu aina A?Aaah sijaona kitu pale.Sawa. | 115.279884 | 21.325705 | 26.196867 | 58.516144 | 9.500625 | 0.991636 | 13.176426 | 2.826529 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_3c5fa5ac-0944-4b5a-8935-6ae951af1b24_1714383564460.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo?aina B watu wanaipendelea kwa sababu ya biashara maana ndio nzuri kwa biashara ya kuuza haraka haraka kwahiyo ndo maana unakuta mara nyingi watu wa wanaitegemea sana.ni kitu gani ambacho hukipendi kuhusu aina B?hapana. | 157.143448 | 49.624836 | 25.777575 | 48.907005 | 19.794374 | 0.931341 | 12.882346 | 1.799863 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | quite confined sounding | quite monotone | |
1690533663542.wav | Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya A, kwa biashara au matumizi ya chakula? A naipenda kwa matumizi ya chakula pia kwa biashara sokoni Kwani kwa nini kwa jia ya matumizi ya chakula au kwa nini ya biashara? ni kwa sababu sokoni inaweza kutembea haraka pia kwa matumizi ya chakula ni nzuri | 133.945984 | 40.907333 | 20.05979 | 57.199436 | 16.756874 | 0.948358 | 18.11842 | 1.668695 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_b93c55a1-5150-4056-af25-ca034206f4a5_1716123211082.wav | Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Sitaki aina A. | 143.536987 | 55.031651 | 26.517101 | 59.626064 | 8.353125 | 0.988415 | 21.370754 | 2.708118 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_e84a5d04-d029-4f70-abc0-5c3bbd96cfcc_1713526320974.wav | Angalia tena aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.Hapa kitu ambacho naona sipendi ni inaliwa na wadudu na kosa naona kama ni la kwangu sijapiga dawa alafu japo lingine ni mashina mengine kama hayajakuwa mashina kama kadhaa lakini sio mengi kasoro yake ni kidogo sana naona haya maharage... | 206.572235 | 72.999504 | 24.588053 | 58.239811 | 30.358126 | 0.973299 | 16.686258 | 1.867779 | slightly high pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603447970.wav | Angalia aina Cii naa eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hapa nnavyoona aina ziii hakuna kitu ambacho sikipendi ambacho nakichukia hakuna. | 167.65361 | 36.009045 | 36.419815 | 59.556114 | 14.1075 | 0.993093 | 23.148365 | 3.048906 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020029065.wav | angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hio.ninachokipenda naona kama ina wahi kuzaa,mmhyani ninachokipenda naona hana ina wahi kuzaa ivi.okay.mmh.kingine labda? Kuwahi kuzaa, kuwahi kuzaa pengine labda kunaa kunamaanisha nini au kuna faida gani? Eehfaida yake ni kukimbiza muda kwa... | 101.963425 | 28.602257 | 14.632986 | 57.643879 | 23.608126 | 0.927937 | 4.962203 | 1.590879 | quite low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_c49355aa-a31f-4d55-8842-62100a6a7efe_1715774181173.wav | mmh ni kitu gani ambacho pia hukipendi kutoka kwenye aina B ?yani kitalu B ambacho kilicho acha yani nakichukia miche kwa sababu imegoma kuota yani haiko vizuri saaana japo ndo hivo lakini ndo hicho ambacho kimeacha mimi nakichukia yani haijaota vizuri .mmhmmh ni michache. | 207.711975 | 54.375134 | 28.06559 | 59.73893 | 21.009375 | 0.974601 | 14.61494 | 2.316684 | slightly high pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_8d3445f4-2149-4672-b841-dcc6eb8ff267_1713936903672.wav | Nini usichopenda kuhusu aina A?Nisichopenda kwenye aina hii A kwa chini kidogo yameungua ungua alafu mbegu hii huwa haipendi maeneo ya miti miti hivi kivuli maana yake.Ukiwa unamaanisha kwamba yameungua ungua kwa chini unamaanisha kwamba.Yameungua kweli chini hii ni kutokana huenda ikawa na baridi kali kwa mwaka huu k... | 141.097855 | 38.435699 | 38.900841 | 59.618633 | 42.406876 | 0.982923 | 22.699818 | 2.787724 | slightly low pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_1e9fcb31-44f4-4394-b7a7-9366e4a4e775_1713759900607.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo… ndio karibu.aina C iko vizuri zaidi.ndio.ee imestawi vizuri, imeota vizuri .ndio.na pia nimeipenda sana zaidi ee kwa kweli iko vizuri.sawaee.kuna utofauti wa wowote kati ya aina C, A na B?.aa aina.jinsi ilivyootaA iko vizuri B hafifu C nd... | 149.461319 | 42.144341 | 26.056242 | 58.823456 | 34.678123 | 0.964119 | 21.788332 | 2.672003 | slightly low pitch | quite slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_e609d93b-6ed3-492d-9d6d-aacfbe4a25c6_1716352236751.wav | nini usichopenda kuhusu aina B?.kwenye aina B kitu nisichopenda nii kwa kweli ni hamna, maharage haya yanavutia tu yako vizuri. | 109.723579 | 38.140339 | 34.190395 | 59.08049 | 8.859375 | 0.976785 | 16.410341 | 2.529083 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
1690970596085.wav | ni kitu gani hukipendi kuhusu kukuza aina C eleza kwenye sifa za kilimo kwanza inachelewa kukomaa hii A lakini pia hata kuzaa kwake haizai sana | 108.009766 | 24.075529 | 27.390009 | 21.185692 | 4.640625 | 0.9426 | 14.283969 | 1.929772 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | slightly roomy sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_da59fc00-a9b0-4eac-bc81-952428e94787_1713961751147.wav | Angalia aina B na eleza chochote ambacho unakipenda kuhusu hiyo.uzazi wake mzuri. | 127.291962 | 44.148815 | 27.964159 | 46.608627 | 7.99875 | 0.944128 | 13.884549 | 1.661183 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | quite confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_a69014d0-d408-4f8e-86ed-a9e50aafb92e_1714564887689.wav | angalia aina B na elezea chochote ambacho hupendi kuhusu aina hiyo?.aa yani kitu ambacho sipendi kwenye kwenye hii mbegu aina B ni ina ina inashambuliwa sana na magonjwa halafu uotaji wake nao ni wa shida kidogo.hakuna kingine ni hicho tu ambacho hujakipenda.hamna hamna.aya asantee. | 136.657471 | 107.900795 | 39.850739 | 59.66346 | 19.709999 | 0.990713 | 24.757669 | 3.400387 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_a11bfe95-ceb5-4815-9339-47eee2d1b317_1714201928143.wav | É...É.... | 210.371918 | 86.261169 | 1.466343 | 1.570994 | 2.565 | 0.376645 | -9.470855 | 1.187403 | slightly high pitch | very slowly | very noisy | very roomy sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_1502ddf6-4874-48c2-b9f8-77a812def689_1713334042333.wav | nini usichokipenda kwenye aina B?kwenye aina B hakuna ambacho sikipendi maana yote.mmh. mtiririko wake uko vizuri. | 217.043259 | 56.358215 | 10.773871 | 47.038033 | 6.2775 | 0.922155 | 11.764811 | 1.545082 | slightly high pitch | very slowly | quite noisy | quite confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_19bd7d50-53bd-4096-b6cb-d2db728ba6c7_1713518982738.wav | Kaka naomba unielezea unachopenda kuhusiana na aina B.Aina B tangia tumepanda imeota vizuri lakini baada ya kufika hatua fulani hatua kidogo ikasogeasogea haikunirizisha eeh majani yake sio nzuri na haujamwaga maua yake vizuri.Anhaa. Sasa nilikuwa nataka kufahamu unachokipenda kuhusiana na hii aina kipi kimekupendeza k... | 163.24823 | 63.38311 | 30.87738 | 58.683395 | 114.125626 | 0.976112 | 16.291679 | 2.177821 | slightly low pitch | moderate speed | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_f35e13f9-99d0-470f-800f-0f4830358359_1713954708141.wav | ni nini husicho kipenda kuhusiana na aina B?haa hakuna.asante. | 101.759048 | 41.659435 | 30.825323 | 59.522045 | 2.46375 | 0.864888 | 14.690295 | 1.667281 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_55f35808-7169-4109-b5f0-2bcdcaab2de3_1717477181440.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.ile pale.mmh, hupendi.aa kitu ambachooo kinakuwa na utofauti niseme jambo ambalo labda silipendi ni vile ambapo ikianza kukauka yote hayakauki kwa wakati mmoja kuna mengine yamekauka na mengine yanaendelea kubaki kuwa mabichi.kuhusu jambo l... | 95.96273 | 23.925783 | 26.704197 | 58.197712 | 27.067499 | 0.953686 | 13.911113 | 1.891891 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
1690278271203.wav | Haya ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Kitu ambacho sikupenda kulima hili zao la C kama matumizi kama biashara mavuno yake ni machache Ndio Lakini kwa matumizi ya nyumbani ni mazuri maana kwanza ni maharage ambayo ata mtu mwenye vidonda vya tumbo anatumia hayana gesi Kitu... | 80.089005 | 23.321362 | -0.794967 | 34.527336 | 22.983749 | 0.801648 | -8.108129 | 1.099094 | very low pitch | very slowly | very noisy | slightly confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_872b2883-b04b-4c54-a12a-f2a46ec1caf7_1715174478193.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona amacho unakipenda kuusu hiyoAina B marage ni mazuri alafu ina yani mauwa zipo m mingi sana.Unamaanisha nini ukisema marage ni mazuri.Marage ni mazuri yamestawi vizuri alafu kisha kwenye ata ukienda kwenye kipato inakuwaa juu.je! Kuna kitu kingine una chochote unakipenda kuu... | 176.395645 | 60.297684 | 42.345154 | 56.203239 | 29.716875 | 0.927187 | 11.885847 | 2.174164 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_6_postharvest_23d21210-0bb3-455a-a061-2be8aff535e4_1719229440819.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?aina A naipenda maana ni nzuri ukipika ni tamu na nau na rangi zake ni nzuri pia | 126.806793 | 52.210575 | 30.721014 | 56.484394 | 13.449375 | 0.996956 | 17.291958 | 2.855599 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_ee080b23-41b1-4ff7-8fe5-e3c51ccad16a_1713864956629.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Ninachokipenda kuhusu B inamaana kwanza imeota vizurii pili imeanza kutoa maua vizuri nayo pia.hakuna sababu nyingine ambayo kwanini unaipenda.nime kuitoa naona ata maua yako vizuri yame yame jitahidi kutoa maua sijajua mbele yake kutaku... | 139.488022 | 57.647839 | 26.668295 | 59.775837 | 29.86875 | 0.987525 | 22.07217 | 2.390424 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
1691145540357.wav | je kuna kitu chochote unakipenda kuhusu kukuza aina A? A? eeee A kuikuza nilichokipenda ni kwamba tangia nilivoipanda mpaka inakua imeenda tu vizuri sasa shida imekkuja kutikea pale kwenye mnyauko wakati imeshaanza kubeba kushusha wale watoto ndo hapo ambapo sikuipenda
| 93.444794 | 23.629436 | 8.762486 | 39.837486 | 26.459999 | 0.895573 | 5.342903 | 1.292888 | very low pitch | very slowly | quite noisy | slightly confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_a391662e-c54f-42c1-8026-a12f45ee51f6_1715833604373.wav | ukipendi kuhusu aina hii ya maharage ambacho hakikupendezi.mmh kitu ambacho sikipendi ndo kama hivi labda ilivyokuwa imebadilika ghafla na kuwa hivi hiyo ndiyo imenikatisha tamaa kwa kweli.nikasema hivi haya maharage nitakuja kuyalima kweli?kwahiyo yalivyobadilika tu yalianza vizuri ghafla yalibadilika.mmhukaona haya l... | 221.143707 | 179.605957 | 14.597815 | 52.186489 | 18.748125 | 0.69262 | -9.326465 | 1.227149 | slightly high pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | slightly expressive | |
1690456793684.wav | ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina C kwa bishara au matumizi ya chakula kwa biashara ni mvuto wake kwa wateja, pia ina punje, punje zake ni ndogo alafu nyingi, punje zake ni ndogo alafu ziko nyingi inavutia kwa rangi yake Kwa wateja | 85.989914 | 21.814623 | 14.471015 | 51.634163 | 15.0525 | 0.874519 | 7.440404 | 1.521551 | very low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_542ad3ed-0687-456b-a50c-a3491cecf42d_1713952396695.wav | …angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hii.katika aina C hii apa kitu ambacho sikipendi ni kwamba ni kama vile vile tu na A na B kwamba kuna baadhi ya miche tena imefanyaje imekatwa na wadudu lakini sasa kitu ambacho tena nakipenda zaidi nikwamba maua yake yako sahihi yani hayako ... | 148.751877 | 58.971111 | 37.620983 | 59.63533 | 55.991249 | 0.993713 | 27.159828 | 3.748155 | slightly low pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_7052c18a-e25e-4a62-9abf-f5ae2b792cb6_1715924589768.wav | eeh ni kitu gani ambacho labda unakipenda kwenye aina hii ya maharage jinsi unavyoyatazama.haya nayapenda muonekano wake rangi yake nzuri.ndio kingine ukiacha rangi?kwenye uzaaji sijui.kwenye aujui.kama ndo hivihivi auaa oksaabu yameharibikaeeh.ukiachilia mbali uzaajia labda kulingana na uzoefu wako labda wa ku aina hi... | 159.489609 | 94.335892 | 15.78089 | 53.48624 | 24.030001 | 0.974983 | 15.280293 | 1.469896 | slightly low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_41c413d1-944a-47ff-ba79-bde9da98f8b5_1714452221744.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.aina B nimeipenda kwa sababu imeota vizuri.mmh.alafu sasa imetoa maua tena vizuri.aah. | 177.832657 | 38.703018 | 34.631973 | 58.495148 | 12.69 | 0.991644 | 21.452364 | 2.995879 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
1690615168350.wav | ni kitu gani huukipenda kuhusu aina C?eleza kwenye sifa za kilimo ahaa wakulima wengi hawapendi C kwasababu kwanza inauzwa bei kubwa sokoni lakini pia ina pods chache
| 146.980667 | 58.258099 | 32.994686 | 59.518642 | 10.96875 | 0.977169 | 12.177022 | 2.122067 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_823f70ef-b9ab-4d96-b060-fe8e30595930_1712736158463.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?hakuna ninacho kipenda kwasababu hakuna maharage yalioota sawa nashukuru | 166.512085 | 39.396378 | 25.896284 | 59.276985 | 8.791875 | 0.984109 | 15.848475 | 2.349634 | moderate pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_04498c79-e783-41b3-8e06-c629a7d06689_1714366936809.wav | Nini usichopenda kuhusu aina B?Aaa kweli aina B kwa kweli sina kitu ambacho sijakipenda hii hiko vizuri. | 102.775192 | 36.172081 | 11.057731 | 56.807079 | 6.885 | 0.949107 | 8.803813 | 1.879496 | quite low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_46440c2d-092b-4fc5-afb1-1b7ed9476895_1718362650187.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.aina C inachelewa ni ya ni ya mda mrefu kwa hio inachelewa kupata mavuno yake japokuwa ina mavuno mengi lakini ya mda mrefu.sawa. | 144.661179 | 60.610081 | 43.20536 | 52.697414 | 11.728125 | 0.966962 | 11.008283 | 1.748112 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_18d6d844-b353-496a-84bf-df217dcca609_1716452893744.wav | nini usichopenda kuhusu ainaB?kuhusu aina B hakuna sababu. | 124.920631 | 28.939505 | 15.996933 | 59.168076 | 5.805 | 0.968002 | 12.936785 | 2.08933 | quite low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603009052.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.hapan navyo angaliya aina A maharage yameota vizuli nayama nzuli saidi.kipi unakipenda kwenye aina hii.hapana vyoangalia ndio hichotu maharage nimeyapenda yameota vizuli.yameota vinzuli.eeeh.sawa lakini piyaa hakuna kitu kingine ambacho umekipe... | 169.188797 | 41.197765 | 32.722462 | 58.241982 | 31.08375 | 0.992274 | 26.526678 | 3.194743 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_b595ccfc-b727-4d58-b1f8-09bebcff7746_1713431123153.wav | nini usichopenda kuhusu aina B?.aina B hakuna nisichokipenda naona maharage yangu yanaendelea kukua vizuri.naendelea kukua vizuri.yanaendelea kukua vizuri.sawa sawa kwahio hakuna ambacho hukipendi.ndio. | 144.428741 | 45.4431 | 32.761726 | 59.467163 | 15.508125 | 0.915566 | 14.050658 | 1.943626 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_5c07438f-2ac5-4873-a574-30a0905abacc_1718091833806.wav | k unaweza tena kunielezea kuhusu aina A kitu ambacho haujakipeeenda kabisa?kitu ambacho sijakipenda kabisa kwenyeee A?mmhinachelewa kutoa mauandiyohaitoi maua kama hizi nyinginemmhkingine?mmhhaionyeshi kuridhika na ardhi iliyoko hapa yaani inaonyesha kwamba inaitaji mtu upandie mbolea.ahaammhsawa na kitu kingine?aah kw... | 133.145996 | 54.055668 | 33.107082 | 58.216442 | 29.969999 | 0.993412 | 17.689938 | 2.738061 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
1691045609813.wav | Uvunaji mazao yake yanakuwa ni mengi zaidi kuliko hizi mbegu nyingine | 236.190948 | 70.383469 | -1.246704 | 15.730228 | 7.138125 | 0.603114 | -0.718205 | 1.136801 | slightly high pitch | very slowly | very noisy | quite roomy sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_9f872569-a675-4a0f-b2e2-99a84938d595_1716462598403.wav | angalia aina A naeleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina A.Naona maharage yameshambuliwa kidogo na wadudu.kuna kingine ambacho hupendi kuhusu aina A?hamna. | 120.842766 | 48.066441 | 37.440929 | 59.029018 | 9.365625 | 0.996607 | 13.936419 | 3.104816 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_ae5594b3-7530-4c07-88cd-5b44607c1d62_1716533765530.wav | Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina A?Hakuna kitu kingine zaidi ya hizi nanii zakeNini?Inapotoa kambakamba hizo refu refu kwa kuchelewa yani mvua ikiwa chache itakua na ita haitazaa na kamba zake na itachelewa itakua na kamba zake zitadumaa.Sawa kuna kingine ambacho hupendi kwenye ... | 87.745438 | 27.867825 | 3.805185 | 49.908527 | 20.924999 | 0.917314 | 4.723345 | 1.666699 | very low pitch | very slowly | very noisy | quite confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_a85af22b-fac6-4b23-b168-69cac752cb71_1713257379938.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Haaakana niseme ukweli kwenye eneo ili la A hakuna ambacho nasema sikipendi maana mambo yanaendelea vizuri isipokua hali ya hewa ndio inatutinga kidogo mvua inapozidi kidogo kunakua na hali tatanishi kidogo. | 104.380394 | 21.886778 | 33.682713 | 59.374321 | 18.4275 | 0.954441 | 12.974928 | 2.175552 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_40ce6c7d-43ed-46ec-a01e-af84b472c08e_1712647400502.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?maharage ainaa B yameota vizuri mistari imeonekana, kiufupi haya maharage yako vizuri.pia unaweza ukaelezea kingine ambacho unakiona kuhusu aina hii B ambacho unakipenda.ndiyo, haya maharage nayapenda kwasababu yanaota sijaona cha ngamoto zake... | 169.471848 | 49.076859 | 34.049561 | 58.719059 | 54.928123 | 0.996471 | 16.34272 | 2.7282 | moderate pitch | quite slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_7613f2bc-e93e-4209-8c31-9c471f173e82_1713760621953.wav | ….......aina A.nisichokipenda kuhusu aina A naona hakipo sikioni sababu imekaa vizuri imestawi na imetulia .sawa. | 108.708847 | 23.75897 | 27.805647 | 55.064465 | 8.825625 | 0.947092 | 7.49696 | 1.882826 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_51adbafa-c637-402e-b449-f0dce8b972d0_1714544083801.wav | Eheee nini ambacho ujakipenda kwenye aina hii A ambayo.umeona kama changamoto.hapa hamna.hakunaa.mmm.ayaaa santeee. | 95.323418 | 40.603802 | 7.565094 | 58.281216 | 7.306875 | 0.94398 | 4.970261 | 1.471653 | quite low pitch | very slowly | very noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_9dd79e84-1293-4c8e-a15d-d1b61df930a5_1714470789920.wav | angalia aina B na eleza chochote amb unachokiona ambacho hupendi kuusu aina B. yote aina shida naona aina B ni nzuri kidogo lakini haija istawi vizuli palee.…ilikuwa kuna matatizo … hata haija ota vizuri paleee saivi ndo inaongeza ongezeka itakuwa vizuri kidogo. kuna maelezo yoyote unaweza kutoa.hamna. kutokana na uot... | 133.426254 | 57.152885 | 21.409355 | 58.440849 | 22.241249 | 0.899596 | 12.482712 | 1.905908 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_09a2443b-bfeb-491a-9db4-8d916da32d75_1713426667633.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina A.Aina A ni maharage ambayo sisi kwa uzoefu tunaichukia kama bwana shamba kwa jina lake tulilolizoea lakini pia aina A huwa tunaipenda sana kwasababu kwa watumiaji wa maharage hayo ni mazuri kwenye mboga hivyo na ni maharage ambayo kwa maeneo h... | 141.232193 | 59.227051 | 25.397503 | 59.280876 | 100.085625 | 0.980489 | 20.040695 | 2.872237 | slightly low pitch | slightly slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone |
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 12