audio_ID stringlengths 27 93 | path audioduration (s) 0.84 168 | sentence stringlengths 5 2.45k | utterance_pitch_mean float64 122 337 | utterance_pitch_std float64 8.9 200 | snr float64 -1 58.6 | c50 float64 14.8 59.8 | speech_duration float64 0.83 162 | stoi float64 0.64 0.99 | si-sdr float64 -16.61 25 | pesq float64 1.11 3.53 | pitch stringclasses 7
values | speaking_rate stringclasses 7
values | noise stringclasses 7
values | reverberation stringclasses 6
values | speech_monotony stringclasses 7
values |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
moment_3_vegetative_20240417_a998343f-9d37-41a4-a2b1-e075b52482be_1713439360650_processed.wav | Nini usichokipenda kuhusu aina C Aina C ambacho sijakipenda ni ukuaji wake ni mdogo sana na pia naona inashambuliwa na magonjwa na pia utoaji wake wa maua sio mzuri eeh kwakweli hicho sijakipenda katika kitalu C.Anhaa.Ndio.Unaweza kunielezea zaidi kunifafanulia nataka kuelewa zaidi kuhusiana na hii aina C.Aah mimi bina... | 235.672562 | 78.152367 | 33.32592 | 57.128448 | 47.857498 | 0.917509 | 9.29968 | 1.801617 | moderate pitch | slightly slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_43e1cae5-a5ce-4bf0-a246-837d34e8b86e_1716619167048_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina B.ee hii aina B ndio nayoipenda katika mbegu zote kwasababu gani hii inaenda na wakati , halafu inazaa ,majani yake ni ya kawaida tunavyoona lakini ukiangalia matoto ni mengi imezaa na sasahivi tayari imeanza kuiva tofauti na zenzake hizi ambazo bado hata kuanza kuiva. | 163.215363 | 110.046303 | 42.435936 | 59.542347 | 15.255 | 0.886974 | 5.676811 | 1.616881 | quite low pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_7a3c386f-53a7-45c2-a53d-5b83527d87e9_1716616302667_processed.wav | Angalia aina C na ereza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo…...Uzazi nawo mzuri…. | 260.928131 | 135.305984 | 46.202164 | 55.594662 | 6.44625 | 0.941664 | 15.227506 | 2.489816 | slightly high pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | slightly expressive | |
1690354282500_processed.wav | ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula nilipenda kwa biashara kwa kua bei yake iko juu alafu kwa chakula ukila chakula chake hakileti madhara tumboni | 190.280914 | 44.426231 | 40.792553 | 53.869835 | 12.79125 | 0.914162 | 13.816272 | 2.075589 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_08b02ab2-2d13-446c-b22f-fe2c9345168f_1715604149675_processed.wav | Nini usichopenda kuusu aina C.Naona kama yatashambuliwa na wadudu mapema. | 180.921692 | 55.859356 | 49.387173 | 59.049904 | 3.645 | 0.932706 | 2.57258 | 1.725779 | quite low pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_6f06f971-dfd3-4e65-8fa2-7c8bd69d936b_1716802642066_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina A.Nayapenda kwasababu ya uzazi yote…... | 216.293243 | 84.21125 | 24.011692 | 59.386662 | 2.109375 | 0.945508 | 12.386834 | 2.2766 | moderate pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_5a87a12e-caa5-470c-90bb-eeb2c935db0e_1713866198443_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Katika kitalu hiki namba C kilichoniflahisha...na kuki kuni kunipendeza ni kwamba uotaji wake kwanza ulikuwa wa haraka lakini pili ulikuwam yalikuwa yameota vizuli. | 191.101227 | 111.409515 | 22.670845 | 42.763134 | 15.170625 | 0.961483 | 7.704456 | 2.060549 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | slightly confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_20240417_d5ad80c6-40e5-472c-9c1e-5ded741730d8_1714459483114_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina B.Aina B napenda kwasababu uzazi wake na naona umekuwa mzuri uzazi wake umenirizia. | 166.08902 | 35.940594 | 50.098713 | 59.242004 | 8.235 | 0.873794 | -2.505285 | 1.139783 | quite low pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | very monotone | |
1690278122280_processed.wav | Haya twende je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Nilikipenda? Ambacho ulikipenda Nilikipenda maana ni mazuri yanavumilia ukame ni mazuri maana yanavumilia ukame Na pia ni maharage mazuri kwa kutumia chakula cha nyumbani Ndio bado? Kingine? Kingine nilicho kipenda pia ni maharage ambayo yaan... | 188.967331 | 171.034378 | 6.821277 | 42.772774 | 2.278125 | 0.640762 | -16.613083 | 1.162118 | slightly low pitch | very slowly | very noisy | slightly confined sounding | quite expressive | |
1690968771240_processed.wav | ni kitu gani kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula! nimeipenda kwa sababu inavumilia kwenye kuhifadhi pia ina ladha nzuri nyingine? aina nyingine sifa nyingine? sifa nyinginena rangi yake piaukiipanda kipindi ambacho kina mvua nzuir lazima pia itatoa rangi nzuri inayovutia kuliko hii ya ukame mmmh kwahiyo ... | 182.982254 | 83.334503 | 18.470758 | 45.022739 | 49.629375 | 0.945009 | 5.670045 | 1.360328 | quite low pitch | slightly slowly | slightly noisy | slightly confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_51a68c08-2471-461a-84e3-596428ab9c2b_1714136001640_processed.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Imechanuwa vizuliii.Mmmh.Na yameota vizulii.Mmmh.Mmmh. | 300.675201 | 143.777771 | 27.347708 | 53.192673 | 7.39125 | 0.903683 | 8.266409 | 1.544737 | quite high pitch | very slowly | moderate ambient sound | quite confined sounding | slightly expressive | |
moment_4_reproductive_1c77129f-acc8-46a6-a59c-aa7fe63dadae_1715770944061_processed.wav | mmh ukiangalia kitalu unapenda nini kutoka aina A.aina A naipenda kwasababu inaota vizurimmh.na inakuwa vizuri.inazaa vizuri.mmh.hivo tu.kingine cha ziada ambacho kinakuvutia.yani haina changamoto nyingi kiujumla yani haina channgamoto nyingi ee. | 211.388458 | 97.355446 | 30.10729 | 57.920879 | 15.55875 | 0.860362 | 2.704432 | 1.58582 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_b31fbf1d-4d94-4a17-8e5e-4c8fed7f3957_1716716679260_processed.wav | Angalia aina A na ereza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Naipenda kwasababu inavumilia ukame. | 187.769485 | 92.236641 | 51.576202 | 55.678413 | 6.4125 | 0.906898 | 15.424764 | 2.07787 | slightly low pitch | very slowly | very clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_20240417_7613f2bc-e93e-4209-8c31-9c471f173e82_1713760652237_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina B ?aina B pia imenivutia katika eneo langu inaonyesha ustawi mzuri na kutoa maua mapema na bado inaendelea kuniridhisha . | 165.860397 | 96.380524 | 40.870991 | 51.582649 | 10.36125 | 0.912442 | 4.61892 | 1.497238 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | quite confined sounding | moderate intonation | |
1690617146976_processed.wav | ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya B kwa biashra au matumizi ya chakula? ina soko nzuri na kwenye chakula ina ladha nzuri | 153.279251 | 68.473495 | 25.397606 | 55.55611 | 8.60625 | 0.903458 | 8.388053 | 1.773626 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_4730a39f-f7db-4b58-bfcf-8906692c97df_1713858071996_processed.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.aina C kiukweli ni nzuri imeota vizuri na imestawi vizuri yote zinalingana sasa kwenye kundi C bana ni nzuri imetoa maua yote kwa usawa japo ni chache sana hazijaota.je kuna kitu kingine zaidi labda.kwenye kitu apo aisee kiukweli hakuna maana zo... | 234.130585 | 90.184525 | 31.239361 | 57.27832 | 21.785625 | 0.953712 | 2.312125 | 1.296044 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_024d481a-4b47-4f5a-87b7-340e66c96882_1713849284055_processed.wav | Mh angalia aina C na eleza chochote unachokiona mbacho huu nakipenda kusu hiyo.imeea vizuli. | 141.573593 | 39.679043 | 58.507397 | 59.200428 | 5.63625 | 0.970125 | 21.117332 | 3.209785 | very low pitch | very slowly | very clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_abbe0f2d-df27-4bdc-98ee-404d2b00666b_1712821917411_processed.wav | C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?aina hii ya maharage aina C kitu ambacho sikipendi inaweza kuwa na mfanano maharage ya aina B kwamba katika kupanda inaota lakini kuna ambazo zinapotea potea ndicho kitu ambacho sikipendi. pia unaweza ukaelezea zaidi ambacho ukipendi kuhusu aina C?maharage h... | 192.640137 | 129.356781 | 28.418383 | 59.128685 | 8.994375 | 0.82376 | 3.830488 | 1.472348 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly expressive | |
moment_3_vegetative_20240417_9b5d4c33-a05e-4a87-a663-b5f25edcbc1a_1713515285540_processed.wav | nini usichopenda kuhusu aina C?.ni napenda.ndio.kwa sababu ninavyoona maharage yangu.ndio.yanaenda yanaendelea kukua vizuri.ndio.kwahio nayapenda saidi.unayapenda ee.ndio.kwahio aa kuna chochote ambacho labda hukipendii.hapana.hapana.ee. | 149.493591 | 63.514236 | 35.300705 | 56.594112 | 14.326875 | 0.941504 | 16.267685 | 2.259694 | very low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_d49f4239-8808-4ccd-b8b4-7aeb58b8b4c4_1714367598000_processed.wav | Nini usichopenda kuusu aina B.aina B baazi ya miea mingine haijaota lakini pia mingine imedumaa kooo hichondao ambacho umesemaaa ndoo ambacho sijakipendaa. | 128.894623 | 66.278038 | 37.436386 | 57.631878 | 8.94375 | 0.960986 | 19.923719 | 2.489194 | very low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_13522e48-5758-4016-8b6b-7179232a4cb9_1714378970979_processed.wav | angalia aina C na eleza chochote ambacho hupendi kuhusu aina C. aina C naipenda aina makambaaa imeota vizuli imestawi aina shida. sawaaa kuna maelezo mengine. … | 157.93219 | 50.614651 | 33.655865 | 58.18808 | 9.568125 | 0.949822 | 18.268957 | 2.85142 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_2d862ea7-a150-4151-a62c-d2747133dbaa_1717042325968_processed.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio.A kuna kitu nilichokipenda maharage yamezaa vizuri na yameanza kukauka. | 144.409622 | 66.14595 | 10.696274 | 56.591564 | 8.775 | 0.78688 | 1.391168 | 1.241915 | very low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_cf6e61fe-0c9c-423f-8e6c-7f4e8094493e_1716285472044_processed.wav | Error | 184.019821 | 155.074783 | 58.620441 | 15.13816 | 0.826875 | 0.868353 | 9.876266 | 2.612412 | slightly low pitch | very slowly | very clear | very roomy sounding | quite expressive | |
moment_4_reproductive_6f06f971-dfd3-4e65-8fa2-7c8bd69d936b_1716802682876_processed.wav | Nini usichopenda kuhusu aina B?.Nnakipenda kosababu ya uzazi wake….. | 226.785416 | 72.583099 | 31.384981 | 53.325439 | 2.750625 | 0.951078 | 1.793594 | 1.255944 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | quite confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_b6b05fbd-aaf5-45b1-8ff9-274f959814b3_1713876418778_processed.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.mmmh kwenye aina B kunaa baadhi ya mimea naona kama imedumaa eee kwaiyo haijamea sana kwaiyo haija haija nipendeza sana japo kuwaa mingine inamea lakini nyingine imedumaa. | 158.391876 | 123.468361 | 36.070641 | 57.954586 | 14.6475 | 0.930043 | 11.721135 | 2.256671 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly expressive | |
moment_4_reproductive_c7c517c6-6cb7-44e6-a8da-cfb373e3a497_1715070570145_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina C.aina C naipenda pia nayo ni nzuri kwa kula. | 174.603882 | 34.268631 | 33.299389 | 59.77504 | 1.45125 | 0.967834 | 17.214684 | 1.789399 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_f424bb6d-3054-4987-9929-1b90e5d526fd_1714041692932_processed.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.ai B ndo naipenda imebeba vizuri watoto na ina maua vizuri na ina vumilia ukame. | 226.768021 | 105.59111 | 35.371624 | 54.006962 | 10.7325 | 0.889127 | 11.672826 | 1.989302 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_20240417_13522e48-5758-4016-8b6b-7179232a4cb9_1714378769195_processed.wav | angalia aina B na eleza chochote unacho kiona ambacho una kipenda kuhusu aina B. aina B apa si inakamba lakini yote haina kamba nyingi ni moja moja tu. sawaa kinginee.kingine hamna aina shidaa. | 166.089783 | 79.678238 | 34.918362 | 59.202141 | 7.610625 | 0.970114 | 17.534821 | 2.605529 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
1690894334245_processed.wav | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumozi ya chakula? hasa kwa biashara mmh kitu gani hukukipenda ? hasa kwa biashara
| 254.696213 | 182.637558 | 25.440857 | 53.074554 | 5.70375 | 0.864678 | 3.445617 | 1.703023 | slightly high pitch | very slowly | moderate ambient sound | quite confined sounding | very expressive | |
1690526031847_processed.wav | kitu gani hukupenda kuhusu kukuza aina ya C? kitu gani kilikusumbua kuhusu kukuza aina ya C ambacho hujakipenda ambacho sijakipnda ? unahisi kitu gani kilikusumbua labda kwenye swala la hao wanyama aaah lakini kwenye mambo mengine yote iko sawa
| 142.064865 | 84.023781 | 46.690136 | 51.46648 | 10.96875 | 0.88697 | 8.791421 | 1.787502 | very low pitch | very slowly | quite clear | quite confined sounding | slightly monotone | |
1690286423441_processed.wav | ni kitu gani hukipendi kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula kama haitakua na soko sipendi ukienda kwenye matumizi ya chakula labda kwenye matumizi ya chakula, sijawahi kula lakini endapo nitaenda kula kama italeta madhara, sio tamu sitapenda | 133.992538 | 48.328465 | 38.298557 | 55.0578 | 7.543125 | 0.971842 | 11.511792 | 1.947508 | very low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_4d19ba4d-1f01-43c4-ad5e-a55ccc1dec85_1715587060700_processed.wav | angalia aina A na eleza chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hii inaonekana kwamba ni fupi sana na uzao wake unaonekana kwamba ni mdogo. | 208.363235 | 72.805756 | 51.309772 | 59.159134 | 7.610625 | 0.952814 | 5.694565 | 1.760397 | slightly low pitch | very slowly | very clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_9d8ef41f-9fc7-405d-82da-0e70e175cef4_1716285450608_processed.wav | Error | 142.107239 | 44.979465 | 57.023148 | 14.824198 | 1.096875 | 0.726012 | 0.358309 | 1.829659 | very low pitch | very slowly | very clear | very roomy sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_bede46bc-c366-4d32-b776-ba8b8e04666c_1714472049987_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambaho hupendi kuhusu hiyo?Aina C ninaipenda kwa sababu imestawi vizuri na inapendeza na ina maua mazuri pia naipenda sana.Hakuna ambacho upendi hapa?Hapa hakuna ambacho sipendi navipenda vyote. | 214.07692 | 124.065765 | 50.88459 | 56.417461 | 14.95125 | 0.950903 | 13.413188 | 1.708454 | moderate pitch | very slowly | very clear | very confined sounding | slightly expressive | |
1690296138540_processed.wav | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula kwa kweli sijaipenda kwa kitu chochote, kwa biashara au kwa kula
| 195.745361 | 70.527229 | 35.2383 | 59.601421 | 8.926875 | 0.960726 | 14.122861 | 2.890899 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
1690445666048_processed.wav | je ni kitu gani ulichopenda kwa ajili ya A kwa biashra au matumizi ya chakula kwa biashara na matumizi ya chakula kwa biashara, yani vyote vyote ni sawa | 166.76828 | 105.113121 | 38.3144 | 55.732296 | 25.734375 | 0.886025 | 8.431891 | 1.516132 | quite low pitch | quite slowly | slightly clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_43c1d704-1f73-4cd5-9d6f-fc917d09908d_1716887772079_processed.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hioaah apa ninachokiona apa hii mbegu ni nzuri lakini sasa nilichokionaa hii mvua ndo ilizidiimmh.eenh ilizidi mvua maj.ilivyozidi ilisababisha nini?ii ilisababisha kidogo ukungu.sawaa.eeh imeingiliwa na ukungu ndio maana unakuta sasa haya maha... | 159.354843 | 113.723595 | 21.678778 | 57.664898 | 32.315624 | 0.727102 | -4.450438 | 1.12422 | quite low pitch | quite slowly | slightly noisy | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_9f872569-a675-4a0f-b2e2-99a84938d595_1716462662206_processed.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina B?Aisee nimeipenda sana sijaona tofauti yoyote kwenye marage ya B.kuna kitu ambacho hukipendi kwenye aina B unaweza kutueleza?amna. | 163.850082 | 78.764732 | 39.529274 | 58.950108 | 9.095625 | 0.972333 | 17.74856 | 2.88039 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_74ab6aab-6d52-4580-a0f6-c9766a9e5ed5_1713945848296_processed.wav | sichopenda kuhusu aina C?Wakati inaota majani yake ya chini ninani ni madogo sana ndio maana sipendi ni madogo sana sio kama zingine tulizoziona huku nyuma.Kuna ambacho haukipendi unachokiona kuhusu aina C?Nae inagongwa na wadudu sana kwenye majani.Sawa nashukuru. | 197.560898 | 106.21302 | 28.180893 | 59.490032 | 13.4325 | 0.863625 | 1.493266 | 1.305851 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_6cb8fbdd-d5f7-48a8-9431-41ed79d7e0c7_1714402000041_processed.wav | nini usichopenda kuhusu aina B? aina B sijaona kosa lolote nitakalolichukia iko vizuri maana najua kwamba nilirudishia udongo nikaja nikapita hapo na dawa ya kuchoma majani ili isilete magugu kwahivyo sijaona tatizo lake lolote. | 193.126862 | 45.977108 | 37.087433 | 55.648945 | 10.665 | 0.947117 | 15.573967 | 3.533294 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
1690612398541_processed.wav | ni aina gani ya tricot kati ya hizi tatu ambayo hukuipenda hiyo namba, hiyo C | 130.122208 | 54.866474 | 56.750286 | 59.000462 | 6.44625 | 0.959082 | 21.277843 | 2.653888 | very low pitch | very slowly | very clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_c5f614bb-c8c0-485b-bd29-e4a0f2e89919_1715775980479_processed.wav | angalia aina B na eleza chochote unacho kiona ambacho una kipenda kuhusu hiyo.napenda B maana yenyewe haija pata dhoruba na bado yame zaa vizuri. | 162.113113 | 73.655846 | 40.281204 | 59.316662 | 9.230625 | 0.988358 | 11.795648 | 2.165375 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_de6319d2-795e-41cc-ad26-359a21713230_1714462697179_processed.wav | nini usicho penda kwenye aina C. akuna. | 126.844086 | 8.898248 | 48.868671 | 59.745869 | 2.39625 | 0.985704 | 25.000874 | 3.327207 | very low pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_1c1154c3-b006-4a59-81bb-8974f8845b77_1714108528703_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Ambacho sikipendi kwenye kitalu C ni kwamba hii mbegu inavyoonekana mvua ikiwa chache hii mbegu itadumaa naaa kingine ni kwamba hata maua yatachelewa kutoka kwa ajili mvua inanyesha nyingi lakini yenyewe imechelewa kwenye kutoa maua ndo kitu amb... | 207.780807 | 103.139481 | 25.268116 | 55.330978 | 12.0825 | 0.878592 | -2.917747 | 1.175208 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_6f596f5b-9509-4225-8fdc-a4c3f5cfe5a5_1716882451206_processed.wav | angalia aina B na eleza chochote ambacho umekiona ambacho hujakipenda.hapa tu nimekipenda sij.hakuna ambacho hujakicheeh.hujakipenda.eeh. | 162.523163 | 90.241486 | 17.408113 | 58.957142 | 3.24 | 0.954325 | 1.859451 | 1.427224 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_e3ed73e9-018f-4b31-b85b-64729bba6438_1716441232829_processed.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Hamna ambacho sikipendi. | 177.278519 | 100.025085 | 50.605553 | 59.823227 | 4.7925 | 0.890755 | 7.674928 | 1.703196 | quite low pitch | very slowly | very clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_20240417_498219cd-420b-481d-b661-8b292244f482_1714125647847_processed.wav | eeeheeee mkulima tuna endelea na maswali yetu angalia aina A na eleza chochote ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.apa sijachukia chochote kwa kuwa ni mara yangu ya kwanza kupandaa sija chukia chochote. eeee unaweza ukatoa sababu zaidi ya kipi kingine ambachoo haujapendezwa zaidi katika aina hii A. sijapendezwa na chochot... | 189.098389 | 108.727654 | 45.889492 | 57.525307 | 55.012501 | 0.965571 | 12.645391 | 2.270391 | slightly low pitch | slightly slowly | quite clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_2f83467d-cf62-4fb5-82f6-3bdc25a49de2_1715605846305_processed.wav | Nini usichopenda kuhusu aina B?aina B sijapenda kwa sababu ugonjwa umeharibu sana .umejuaje kwamba maharage yameharibika na ugonjwa.hayako vizuri. | 180.960861 | 67.294029 | 30.130405 | 57.078808 | 8.505 | 0.913787 | -6.296329 | 1.237514 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.