audio_ID stringlengths 27 93 | path audioduration (s) 0.33 212 | sentence stringlengths 3 3.1k ⌀ | utterance_pitch_mean float64 73.4 368 | utterance_pitch_std float64 4.29 276 | snr float64 -2.42 67.4 | c50 float64 5.99 59.9 | speech_duration float64 0.32 187 | stoi float64 0.38 1 | si-sdr float64 -17.98 27.2 | pesq float64 1.09 4.04 | pitch stringclasses 7
values | speaking_rate stringclasses 7
values | sdr_noise stringclasses 7
values | reverberation stringclasses 7
values | speech_monotony stringclasses 7
values |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
moment_3_vegetative_20240417_58599095-b2e6-47d0-a396-391d047f1ee5_1713783585719_processed.wav | Nini usichopenda kuusu aina B.aina B nisichopendaa maharage haya yanakuwaga hayana bei zaidii. | 159.719269 | 87.370049 | 40.142033 | 57.346752 | 2.73375 | 0.929138 | 16.616779 | 2.043997 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_c8dc1074-6bb4-442d-9926-73dc4ed721fd_1715758140444_processed.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Aina A nimeipenda imezaa vizuri tena imekua nzuri kwa hali hiiyo.Je unakitu kingine ambacho umekipenda tofauti na hivyo?Nilicho kipendea aina A imevumilia sana kwa hali ya hewa.Una kingine cha kuongezea?Sina. | 188.534485 | 125.874809 | 33.249416 | 57.287495 | 12.808125 | 0.92651 | 5.693151 | 1.601158 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020253320_processed.wav | ah angalia aina C afu niambie ni kipi ambacho hujakipenda kuhusu hiii aina C.kwenyee C ambacho sijakipe sijakipenda nii kwamba inachelewa kuzaa, pia inaonekana kunaa kama inakimbiliwa kidogo na ugonjwa. | 128.423218 | 31.589293 | 39.145142 | 58.916065 | 11.77875 | 0.953627 | 3.858207 | 1.438322 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_2ac205b4-75ea-44dc-af56-636b3691a914_1718365875507_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.aina C na yenyewe inashambuliwa sana na wadudu.kingineinaenda juu sana .sawa. | 214.076187 | 48.388039 | 39.239063 | 57.892696 | 8.758125 | 0.931933 | 8.505833 | 1.643973 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
1690278607906_processed.wav | ni kitu gani hukukpenda wakati unakuza aina ya B ukiielezea kwenye sifa za kilimo kwakweli hakuna kitu sikukipenda kwenye aina hii ya B hamna, hakuna
| 158.894943 | 47.560165 | 41.945194 | 51.852329 | 10.985625 | 0.926904 | 14.27171 | 1.738204 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_7062dd35-5cf5-4fa6-a530-f5f7e6cafad4_1715598073940_processed.wav | Error. | 217.12738 | 17.633446 | 50.110439 | 27.610735 | 0.405 | 0.973499 | 20.055893 | 3.776771 | moderate pitch | very slowly | quite clear | moderate reverberation | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_683a8874-2112-474e-bc5e-418693954121_1716044167931_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina C?Hamna. | 177.117752 | 43.622784 | 10.746687 | 56.094414 | 2.6325 | 0.990559 | 24.463337 | 3.760999 | slightly low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_11bb9b1c-3480-4d9f-bfc9-ba2c76c5051b_1713424539124_processed.wav | kuna kitu chochote ambacho hukipendi kwenye aina B?hapana hakuna kitu ikoo ambacho sikipendi. | 205.576202 | 98.567238 | 39.545322 | 58.482723 | 4.404375 | 0.880934 | 12.492247 | 1.797286 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
1690965375981_processed.wav | Kwa ujumla ni aina gani ya Tricot uliipenda zaidi kati ya A, B na C? Ni A na B Uliyoipenda zaidi? Ni A | 302.369324 | 187.927902 | 14.321261 | 44.344341 | 10.209375 | 0.918793 | 2.063154 | 1.447758 | quite high pitch | very slowly | quite noisy | quite confined sounding | slightly expressive | |
1690458583714_processed.wav | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aiinaya B kwa biashara au matumizi ya c hakula hiyo B, sijaizoea | 191.426086 | 124.439049 | 45.772739 | 51.132954 | 6.48 | 0.693671 | -6.625535 | 1.176385 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | moderate intonation | |
1690623098907_processed.wav | ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? biashara na matumizi ya chakula kwa sababu inatoka kwa wakati | 134.505508 | 100.301987 | 40.289883 | 59.069778 | 7.408125 | 0.890756 | 11.751425 | 1.740061 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_7bc7a712-23b3-4b1c-80eb-532b122c723d_1713591645770_processed.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?Sijaipenda kwa sababu haikuota. | 140.097168 | 80.323799 | 46.253853 | 59.441235 | 7.29 | 0.958922 | 21.851107 | 2.712425 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_d980b043-1931-40ed-9e8f-5f3f3233b7e8_1713675846538_processed.wav | tunaendelea na maswali nini usicho kipenda kuhusu aina A. mimi nimependa yame ungua lakini sijapenda. hujapenda nini.yalivyoungua. yalivyo ungua.ndioo.yamee eehee unaonaje. yamengua na mvua. mvua.ndio.sawa sawa kingineee ambacho hupendi katika aina hiyo.amna.amna.ndio. | 177.900269 | 79.253036 | 35.711498 | 59.125587 | 19.74375 | 0.965974 | 10.593266 | 2.173102 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_4c200026-d826-4fe9-88d4-9fb186757d1b_1716456600623_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina B?ninachokipenda kuhusu aina B yanaanyauka kwa wakati lakini sasa uzao wake sio mzuri. | 171.772766 | 69.906372 | 44.301678 | 58.579784 | 6.91875 | 0.947981 | 21.731411 | 2.565767 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_6_postharvest_bd63d598-e311-4cca-87d6-f7cc4e75a6a4_1718968733531_processed.wav | Nini usichopenda kuhusu aina C?Aina C ni maharage ambayo ukipika hayaivi pia kwa haraka yanatumia muda mwingi. | 146.321625 | 42.71949 | 37.621544 | 59.149033 | 8.353125 | 0.973946 | 17.775347 | 2.500309 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
1690622537039_processed.wav | je kuna kitu chochote ambacho ulikipenda kuhusu kukuza aina ya B? eleza kwenye sifa za kilimo hakuna | 201.281189 | 47.404438 | 53.608822 | 57.319679 | 4.674375 | 0.958355 | 19.888664 | 2.868351 | moderate pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_36a113c0-cdfe-4983-9cd6-c6a4585a991e_1716808502294_processed.wav | Nini usichopenda kuhusu aina B?.Hakuna…. | 185.424667 | 95.359169 | 43.262951 | 41.508949 | 2.39625 | 0.961452 | 4.914058 | 2.065462 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | slightly confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_62a1df88-6d60-4916-b52a-ac261ce1629a_1714052134681_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina A.aina A naipendaa inawezaku , inawahi inachelewa tu kutoa maua lakini ni kwaajili tulipanda halafu ikashikwa ikabanwa sana na kajua kidogo na ilivyoota ikashambuliwa na ndege pamoja na wadudu lakini hii mbegu mi naona ni nzuri na naipenda. | 265.35379 | 111.101585 | 32.503124 | 50.115219 | 20.385 | 0.902171 | 10.941583 | 1.894901 | slightly high pitch | very slowly | moderate ambient sound | quite confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_431b491f-1734-4b7d-b93a-c483f943e657_1719238540088_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina A?aa mikwakweli aina A sijaipenda ila nimeipenda aina B na C. | 188.092697 | 122.160568 | 44.921104 | 59.380642 | 7.104375 | 0.863106 | 9.580204 | 1.780418 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_20240417_86564fdc-af66-4e24-af04-8eb1dbcd75fd_1713972730871_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo. namba C hii siipendi kwasababu ina ma naona majani yanakauka. | 229.572281 | 119.381783 | 41.586601 | 57.708866 | 10.850625 | 0.937079 | 11.737958 | 1.536215 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_e9d92465-5d87-475e-a10b-db13825f6fba_1716976860396_processed.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hii.… sijaona kibaya kwenye aina B.hakuna kitu ambacho hakijakupendeza .ee.aya asante. | 123.400963 | 108.649292 | 25.906351 | 57.78561 | 11.053125 | 0.921169 | 6.856816 | 1.543447 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_88129f37-903b-4d49-b8dd-16f4caa58110_1714463484415_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina A?.......Aina A naona kama yamezaa vizuri kuliko nanii kuliko mbegu zingine.. | 193.469757 | 45.711994 | 32.615299 | 56.395306 | 1.99125 | 0.972009 | 16.936548 | 3.3726 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_afd58fd7-51ad-4e95-9041-8b420daa9863_1716126278575_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina A.aina A napenda maarage yame zaa watoto wengi halafu yame stawi vizuri.kipi kingine umependa kuhusu aina A.hakuna.hakuna?eeh. | 172.944366 | 61.945126 | 44.238308 | 54.933723 | 11.660625 | 0.964758 | 17.008657 | 2.865451 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_adc3479b-0251-4db0-a79e-11afa4cdd2b3_1714990445646_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina B.aina B inaa inatoa maua vizuri na uzao wake pia sio mbaya. | 121.860886 | 91.333954 | 46.410835 | 57.139107 | 3.358125 | 0.941428 | 14.27559 | 1.685261 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
1691145407146_processed.wav | ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya B? cha kwanza rangi yake nimependa , pilli nawahi kukomaa haraka ndio, cha tatu? cha tatu hata uzaaji wake sawa ahsante
| 242.835968 | 185.750275 | 18.403605 | 46.582649 | 10.648125 | 0.773298 | 8.205017 | 1.298416 | slightly high pitch | very slowly | slightly noisy | quite confined sounding | slightly expressive | |
moment_4_reproductive_e4a75e5d-fe35-4553-b67f-c10ddaa6d892_1716964890850_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina A?aina A nimependa uazaaji wake pia sio mbaya saana alafu katika biashara wengi wanayapendelea hasa mashule maana hayana gesi tumboniee sawa kuna kingine?kingineee labda mradi kama utatuhurumia basi uje utuongezee maana hivi ni vidogo mno.sawammh. | 172.011688 | 41.658691 | 38.989426 | 52.508949 | 19.929375 | 0.892096 | 1.191333 | 1.189283 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_6_postharvest_c95f24bb-f720-4ec1-abb6-e5cef6ffb54e_1719475578822_processed.wav | ukiangalia aina A umependa nini?A nimeyapenda ni mazuri.mh.mmh. | 330.179688 | 207.413437 | 7.032368 | 39.87331 | 2.80125 | 0.884053 | 2.313872 | 1.265377 | very high pitch | very slowly | quite noisy | slightly confined sounding | quite expressive | |
moment_4_reproductive_3416baef-1385-43bc-96d4-123cabbf40cd_1716020216747_processed.wav | angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hii haina C ninachokipenda kwenye group C kwambaa ina uzazi mzuri afuu majani yake kidogo yanahifadhi chakula chakee kwahioo inaa kidogo inaenda na wakatimmh ….inaa vumilia ukamendio pia inaonekana inavumilia ukame.sawa sawa. | 130.563995 | 60.312927 | 43.478992 | 58.673992 | 14.698125 | 0.901651 | 5.558845 | 1.357602 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
1690361890035_processed.wav | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina C, eleza kwenye sifa za kilimo Kwa ujumla hakuna kitu ambayo kimenisababisha nisiskipende kwasababu tayari nimeshaona zao ni zuri, kwaio sijapata sehemu ambayo itanisababisha nisiipende, nimeipenda mimi sawa | 251.372299 | 206.968063 | 13.196709 | 57.106487 | 15.8625 | 0.909333 | -5.195213 | 1.127568 | slightly high pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | quite expressive | |
moment_4_reproductive_a2b047f3-7c1c-43cc-a14b-b3afff91d5a4_1715675649594_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda?Aina C kuna baadhi ya maharage ambayo yanafanya vizuri sana ingawa mengi yameathirika lakini nimeopenda kwa sababu kuna baadhi ya maharage yamezaa vizuri kabisa.Kuna kitu kingine cha kuongezea kwenye aina hii ya maharage?Cha kuongezea kwa kweli sina. | 171.246353 | 102.887413 | 39.425018 | 56.01828 | 18.106874 | 0.947074 | 8.2778 | 1.791547 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_6df59816-321a-4ed1-bd0a-a8853d1cf1aa_1715921387422_processed.wav | labda ni kitu gani unapenda kuhusiana na aina hii ya maharage haya?ina uzazieehya kwake ni nzurieehna pia kwa beiaah okafu haina mazungumzo mengi sasahivi.sawasawa. | 220.880722 | 156.200699 | 12.847572 | 54.718285 | 2.4975 | 0.846419 | 4.375084 | 1.298774 | moderate pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_e0d1095d-2200-401c-bdbd-f2b03c8f4a8f_1716467088084_processed.wav | Nini usichopenda kuhusu aina A?Aaah haionekani kama vile wanaa wanapenda kushambulia.Kuna kingine ambacho unakiona ambacho hupendi kuhusu aina A?Hamna. | 176.554642 | 96.411957 | 44.439659 | 54.829578 | 7.306875 | 0.951127 | 19.127666 | 2.741205 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_7b72d8fe-15d5-4d83-872e-82e2e93fff6a_1713608020055_processed.wav | Nini unape nini usichopenda kuhusu aina A?.hakuna nnachochukia kwenye aina eyii. | 160.533401 | 92.558792 | 23.37694 | 57.060692 | 7.036875 | 0.956237 | 10.330653 | 1.641147 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_981f65d0-fa91-437f-858e-c439d4058cf4_1719216209120_processed.wav | Nini usichopenda kuhusu aina C?.Aina C kitu nsichopenda nikiangalia zaidi sijui wadudu wanapendelea, ndio kimamba vileeÉ | 162.979218 | 64.911179 | 15.040977 | 59.037361 | 10.850625 | 0.949304 | 3.585303 | 1.427542 | slightly low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_ca90120b-daf2-4b51-84e8-4ed9860be01b_1716791427336_processed.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.sipendi kutegemeana kwamba inatobolewa na wadudummh.halafu kutoshambuliwa tena na wadudu kwahiyo hicho ndio sikipendi zaidi.mmh inashambuliwa ama haishambuliwi.inashambuliwa.mmh. | 188.160034 | 83.430695 | 44.597794 | 59.292545 | 13.60125 | 0.942846 | 4.410322 | 1.606812 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_e4df4754-e46b-45cf-b768-f6306def5cd2_1716194323016_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina C?aina C naipenda kwa sababu hii mmea imekua vizuri ushambuliaji wa wadudu naona sio mwingi maharage yaliamka vizuri sana. | 209.539825 | 92.755798 | 41.093185 | 56.002308 | 10.395 | 0.91416 | -1.496834 | 1.204345 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_89c5118a-310b-4b66-ac23-4bf6ac58007e_1715934649487_processed.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona unakipenda kuhusu hiyo.mmmh, KaribuAsante, mimi naona mbona kama vile haijazaa vizuri, imezaa moja mojaUnavosema imezaa moja moja unamanisha nini.?Si haijaota vizuri.Hamna kinakuvutia kwenye aina A chochote kinachokuvutia?Hamna kwa kweli kwa sababu sijaona uzaaji wake kama n... | 229.899307 | 79.919785 | 30.114111 | 56.157513 | 24.013124 | 0.910305 | 2.545141 | 1.328915 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_b70983b5-d554-4690-aefe-f67de8058b08_1716285232197_processed.wav | Error | 124.726822 | 4.295812 | 59.334816 | 19.888378 | 0.928125 | 0.934157 | 8.300235 | 2.402442 | quite low pitch | very slowly | very clear | slightly roomy sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_00517240-9e93-4fd2-94b2-54b60c07a9f6_1716471297325_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina C? nini unachokipenda kwenye aina C.Aina C naipenda imetoa imezaa sana.Kuna kingine unachokipenda kwenye aina C?Kingine ... hakuna.Hakuna.Mmmh.Yani tangia tumeanza jaribio mpaka sasa hivi nini kimekuvutia kwenye aina C.Ndio maana imezaa sana.Sawa.Mmmh kitu naipenda.Sawa. | 152.04039 | 60.492203 | 42.394268 | 59.587383 | 16.605 | 0.929214 | 15.767791 | 2.597912 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_dc6855f2-2df8-4fff-b081-3294cd0eadfe_1716442773244_processed.wav | Ni usichopenda kuhusu aina B?Nisichokipenda hapa ni pia ni hii rangi ya njano ambayo inasababishwa na kuzidiwa majani kuzidiwa na mvua ikasababisha kubadilika kuwa rangi ya njano kabla ya wakati. | 183.327652 | 53.408005 | 36.328011 | 56.515724 | 12.740625 | 0.957798 | 7.102647 | 1.394492 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_ae4a6c9f-0160-4971-88ea-cfd5bd90c3c2_1715952291783_processed.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Kwenye aina B sipendi chochote hapa. | 162.269028 | 115.168312 | 21.10714 | 57.969959 | 8.9775 | 0.944858 | 11.475274 | 1.950234 | slightly low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_6cb8fbdd-d5f7-48a8-9431-41ed79d7e0c7_1714402153617_processed.wav | nini usichopenda kuhusu aina c? aina C nilichokichukia ni kwasababu inavyobeba maua ake naona chini yake majani mekundumekundu nikasema hiyo lazima niitafutie dawa mpaka nijihakikishie hiyo CBD nimeitoa. | 200.522629 | 44.433132 | 39.352871 | 58.023987 | 10.816875 | 0.938414 | 9.15506 | 2.390382 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_af6ad00e-63fc-413d-83e6-dbed334a7148_1714133515386_processed.wav | angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio aina A.Kitu ambacho sikipendi kwenye A ukuaji wake, ukuaji wake sioo kwa wastani sana.changamoto nyingine ambayo pengine umeiona kwenye hio aina A?changamoto nyinginee, ah haina changamoto zaidi. | 127.521179 | 69.451538 | 17.461588 | 57.773937 | 15.795 | 0.843006 | 1.045059 | 1.323721 | quite low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_9c229d56-3d6e-4d1c-8bf5-35d3f12cae35_1718391480046_processed.wav | ERROR.. | 203.560593 | 11.760018 | 58.050583 | 20.009155 | 0.43875 | 0.934529 | 17.880377 | 2.88372 | moderate pitch | very slowly | very clear | slightly roomy sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_cf6e61fe-0c9c-423f-8e6c-7f4e8094493e_1716285472044_processed.wav | Error | 184.019821 | 155.074783 | 58.620441 | 15.13816 | 0.826875 | 0.868353 | 9.876266 | 2.612412 | slightly low pitch | very slowly | very clear | quite roomy sounding | moderate intonation | |
1690874432892_processed.wav | hiyo B ndo ulisema umeipenda sana, kitu gani katika kukuza hujakipenda kwenye B, yani ukiachana na mazuri yake kitu gani kibaya kwenye B apo kidogo sawa
| 187.523987 | 37.364429 | 48.053677 | 59.2061 | 5.63625 | 0.92297 | 18.2901 | 2.776751 | slightly low pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_6f7465b8-96d6-4f8e-bb58-fa1153ffbf97_1713960276121_processed.wav | tazama au angalia aina aina A na uniambie chochote ambacho kitakuwa chochote ambacho haki kuvutii kuhusiana na aina hiyo?ambacho kitu ambayo hainivutii, naona imeungua inahadhirika na mvua au na baridi, mmm ndo kitu ambacho akinivutii sana.sasa we umesema kwamba inaungua au inahadhirika na mvua, unaweza kunionesha labd... | 151.815002 | 54.422619 | 45.691994 | 56.719494 | 60.631874 | 0.912599 | 4.570293 | 1.42822 | quite low pitch | slightly slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_bac54207-48a5-4ec8-be3e-7520126ade74_1715859711455_processed.wav | ee ni kitu gani ambacho labda unapenda kwenye aina hii ya maharage?ni aina hii ya maharage yame ….. Pia kimei iko vizurindioee kiuzaziukipanda kwa wakati muafakaeehiko vizurindiokwa kwa matumizi ya mbogaaeehyako vizuri hata kwa watu wenye matatizo ya taifod na vidonda vya tumbo wanatumia kwahiyoeehhiyo hali kwangu pia ... | 187.526184 | 119.602516 | 19.184212 | 55.968658 | 52.5825 | 0.848883 | 0.981727 | 1.17313 | slightly low pitch | quite slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
1690628928062_processed.wav | je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina A? hapana | 133.963089 | 22.332602 | 45.381439 | 59.585854 | 5.180625 | 0.958623 | 15.438586 | 2.443005 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_3824226a-1f87-4ece-94c2-6a071447d271_1714033894372_processed.wav | tss ni nini unapenda kuhusu aina A?aaa katika aina A hakuna nilicho kipenda pale kwasababu inashambuliwa na ni inapata magonjwa magonjwa mm ee si unaona kama inavyoonekana pale magonjwa yamekithiri pale miche imebaki michache kwahiyo sipendi hileume ume umeongelea swala la miche kubaki michache inashambuliwa na magonjw... | 135.794662 | 71.365295 | 50.961121 | 59.255096 | 61.441875 | 0.947886 | 13.453807 | 2.43434 | quite low pitch | slightly slowly | quite clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_3fcd0bca-fde9-468a-8a6d-d5a0671b2ca0_1714314934660_processed.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?Nimeipenda tu imeota vizuri aina shida yoyote.Umependezewa na nini sasa hapo kwenye aina B ambacho unakiona umekipenda sasa kutokana na uotaji wake hadi kufikia hapo umependa nini?Uotaji wake na kuchanua kwake maua yametoka vizuri hayana shida ... | 157.712357 | 82.69754 | 35.606915 | 59.536987 | 19.946251 | 0.927296 | 9.654133 | 1.523385 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_48f73bbd-d19b-4cec-8947-6d7daa1be36d_1714130909771_processed.wav | angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina aina B ukiangalia hapa umependa nini?hapa nimependaeehkwa saabueehuotaji wa maharagemmhkutoa mauammhkustawimmh naona yamekaa vizuri.sawa. | 205.913162 | 82.288635 | 28.892977 | 56.187313 | 15.406875 | 0.900756 | 13.806355 | 1.706111 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_fa79b46d-9c5a-4988-be52-e8404e34b891_1714724274396_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina C.naipenda kutokana na uzao wake, uko vizuri .jambo lingine lilokupelekea uipende.jambo nilopendea niloipenda ni uzao wake unazaa vizuri haidondoshi hata nanii hata maua ee.asante kwenye la magonjwa na wadudu.halina.asantee. | 201.006897 | 127.666443 | 31.689896 | 54.03186 | 10.36125 | 0.912739 | -0.291565 | 1.342533 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_885c1112-99b7-4c2c-9cb6-f65fe67f68f4_1715700817470_processed.wav | mmh ukiangalia aina C iyo iyo kitu gani ambacho usichokipenda sasa kutoka kwenye aina C?.aina C sema mimi navutiwa tu naipenda.mmh.kwasababu iko vizuri.mmh.inawahi kutoa maua.mmh.inainatoa na watoto.mmh.inakauka haraka.mmh.ee.kwahiyo ukiangalia kitu ambacho usichokipenda kwenye aina C?.hamna mi vyote navipenda.… | 253.381485 | 92.625694 | 50.287682 | 56.756119 | 20.553749 | 0.934636 | 11.377637 | 1.988123 | slightly high pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_3824226a-1f87-4ece-94c2-6a071447d271_1714034318828_processed.wav | nini usicho kipenda kwenye aina C?aaa katika aina C aaam mi bana nisicho kipenda nikwamba mm inaonekana aina C inachelewa kutoa maua bwana, aaem eee inachelewa kuuu ku kumpa mkulima ma aa eee matokeo, lakini aina B inaonesha matokeo yapo siku za karibuni kwahiyo ma aina C ni choyo ina ee di i inachelewa kuleta matokeo ... | 151.209915 | 88.910873 | 52.142204 | 58.55098 | 65.205002 | 0.952136 | 15.010834 | 2.754934 | quite low pitch | slightly slowly | quite clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_07cb48a6-ee0f-453c-8afe-f8fc77ccb6df_1716876089003_processed.wav | nini ambacho hujakipenda kuhusu aina A? ambacho hujakipenda, kua huru tu yan we jibu tu ambachoo unaona.hapa nisichokipenda nnaona kamaa maharage yangu tuseme.enhee.tuseme yalivyoaribika.aah ambacho ndo umekichukia yani.eeh.yameharibika.eeh.yameharibikaje yani unaweza ukaelezea ata kama mtu ambae haoni aseme yameharibi... | 210.184296 | 170.573212 | 20.917273 | 51.678688 | 12.65625 | 0.750752 | -9.48212 | 1.242603 | moderate pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly expressive | |
1690277646498_processed.wav | kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi katika hizi mbegu ulizopokea mimi naona hizi zote aina mbili hii zote hizi ni nzuri isipokua sasa hayo yalioko shambani ambayo bado sijayavuna bado sijajua maana yale bado sijayavuna nione kwamba uzao wake uko ukoje, mpaka nitakapovuna nijue kwamba nimepata kilo ngapi... | 186.041168 | 122.547127 | 31.638573 | 53.191944 | 58.438126 | 0.908676 | 2.931705 | 1.385224 | slightly low pitch | slightly slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_20240417_4902a28d-0ab2-45d9-babf-68d0b21f0335_1714567749025_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina A?.nakuhusu aina A naipenda kwasababu inatoa na kutoa nanii mzao moja kwa moja.ni hicho ulichopenda hakuna jambo lingine ulichopenda.pia imeota vizuri halafu haijaliwa na wadudu.…mmh…asante | 206.03421 | 120.688828 | 50.092037 | 56.826618 | 10.749375 | 0.910866 | -0.437389 | 1.54371 | moderate pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | moderate intonation | |
1690612289299_processed.wav | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa matumizi ya biashara au chakula hakuna | 123.547348 | 22.663607 | 42.947788 | 59.711613 | 3.560625 | 0.915014 | 12.735114 | 1.85046 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_fdb43fda-4ed2-43ee-bf38-1b04ee438a8b_1713336903195_processed.wav | nini ambacho hujakipenda kwenye aina A?Ah mi kwanza yote napenda maana yote ni sawa tu naona hii.mmh.apa kila kitu nakipenda.lakini ukiambiwa kitu ambacho ujakipenda atakama ni kidogo.nichague kimojawapo sasa.yah kwa kwa ileile aina A pale.kwa kwa ile aina A?mmh.mi napenda vyote sijui sasa.unapenda vyote.mmh. | 216.499084 | 67.247398 | 27.454065 | 59.182419 | 16.014376 | 0.884558 | 5.714636 | 1.293233 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
1690615419645_processed.wav | je kuna kitu chochote kinaweza kufanya aina ya A kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? ndio, nafikiri kua watafiti sasa wanalo jukumu ama wamepewa jukumu kubwa ana serikali au sisi wakulima waingie kazini sasa tunajua wwamefanya tafiti mbalimbali lakini ili kupata matokeo chanya wafanye tafiti myimgi sa... | 160.591339 | 79.00386 | 48.932934 | 58.941479 | 40.550625 | 0.938341 | 5.627805 | 1.433211 | slightly low pitch | quite slowly | quite clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240796156_processed.wav | Ngalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyoÉB hakuna ambacho sikipendi kwakweli naipenda nimeipenda hiiÉ | 158.775192 | 57.609428 | 27.756557 | 58.369015 | 8.791875 | 0.943966 | 13.298958 | 2.074562 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_753e0d34-c0a4-4e14-b08e-62392420eeee_1712810497861_processed.wav | angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho upendi kuhusu hiyo?hakuna nisishokipenda kwenye hii ii aina B kwasa aina C kwasababu yanahenda kwa wakati wake na yako vizuri hayana tatizo lolotesawa nashukurusande sana | 214.000565 | 91.536964 | 57.167618 | 59.601994 | 15.62625 | 0.943321 | 12.17479 | 2.163868 | moderate pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | slightly monotone | |
1690622466926_processed.wav | Kti ya haya majaribio matatu ipi uliipenda kwa uchache B | 173.38382 | 53.552807 | 43.873852 | 58.831932 | 3.763125 | 0.866702 | -3.988851 | 1.148779 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_dd18aa85-b51e-4ac0-b0a3-d68d2b75e1ea_1715600536383_processed.wav | Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Aina C ni kwambaaa haina uzao mkubwa japo kwamba inapendeza sanaa lakini uzao wake ni mdogo sana.Saa…. | 189.359497 | 80.632744 | 50.583469 | 53.151867 | 10.26 | 0.889059 | 0.45282 | 1.202588 | slightly low pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_846b5d40-cc34-4db4-a61c-cb3573ffa64a_1715949710662_processed.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.Hamna. | 155.951202 | 72.808823 | 10.057188 | 58.174896 | 6.44625 | 0.912667 | 7.179926 | 1.463427 | quite low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_e23281d8-f239-48d1-99c9-bb8108ad4b37_1714106170626_processed.wav | angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho ukipendi kuhusu hio aina.sijayapenda viz maana hayajaota vizurini uotaji tu peke ake au kuna kingine?ni uotaji tu pekeake.mmh. | 149.907669 | 37.680809 | 27.57781 | 55.57832 | 9.433125 | 0.859075 | -1.463197 | 1.229101 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | very monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_fd389813-30b5-4398-a079-7bbeff5fe2be_1714546541058_processed.wav | Yeah angalia na aina B eleza chochote ambacho unakipenda?Haujaota vizuri.Mmmh ambacho umekipenda?Hapa sijakipenda kitu.Haujapenda kitu?Eee. | 216.109116 | 185.665512 | 27.909706 | 56.562424 | 2.565 | 0.71986 | -7.929465 | 1.243456 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly expressive | |
moment_3_vegetative_e9c7c7bb-fb2f-456e-ad65-e60813ba84b9_1712848809515_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina B?ninachokipenda kwenye aina B inaota vizuri. | 228.45224 | 69.07959 | 48.78228 | 58.905529 | 4.28625 | 0.954065 | 16.616329 | 3.274654 | moderate pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_51a68c08-2471-461a-84e3-596428ab9c2b_1714136129033_processed.wav | Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.Ndiyo,imeota vizuli lakini sehemu nyingine hajiz hazijashika vizuli.Mmmh.mmh. | 236.628693 | 75.321922 | 20.564648 | 51.621216 | 8.083125 | 0.911294 | 10.736325 | 1.668872 | moderate pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_6cb8fbdd-d5f7-48a8-9431-41ed79d7e0c7_1714402000041_processed.wav | nini usichopenda kuhusu aina B? aina B sijaona kosa lolote nitakalolichukia iko vizuri maana najua kwamba nilirudishia udongo nikaja nikapita hapo na dawa ya kuchoma majani ili isilete magugu kwahivyo sijaona tatizo lake lolote. | 193.126862 | 45.977108 | 37.087433 | 55.648945 | 10.665 | 0.947117 | 15.573967 | 3.533294 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_4_reproductive_43c1d704-1f73-4cd5-9d6f-fc917d09908d_1716887941802_processed.wav | mmh angalia aina C na eleza chochote ambacho unaona umekipenda.eeh ninacho nilichokipendaa hii mbegu ni nzuri ila sasa kulikua na dosari tu wakati ilivopandwa sijui nyingine ilioozaa.mmh.lakini ambayo ilioko pale kuota imeota vizuri.mmh.na na ata ivo yani yako vizuri maharage yenyewe.unataka kusema kwambaa wakati wa ku... | 149.578964 | 88.891739 | 10.402597 | 57.464752 | 20.25 | 0.83298 | -0.84708 | 1.212471 | quite low pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_9a67f8fc-45c3-49d7-b169-9adf7be5abcb_1718366825196_processed.wav | Sawa nini unapenda kuhusu aina B?.Mmmh.Aina B unachokipendaÉ.Sijui sasa mimi sijui nisemejeÉ. mimi aina B naipendaaaÉMmhÉKwasaabu haina kamba.Mmh.Pamoja naa kuzaa kwake sio kamana kama A.Mmh.Lakini asa sii sijui nii nione kwamba bado ni mazuri huenda yanaeza yakavumilia.Mmh.Kama hata yale yangekuwa yanazaa mapema.Mmh.H... | 184.396988 | 87.192215 | 35.196938 | 57.257313 | 65.71125 | 0.886369 | 12.048604 | 1.744814 | slightly low pitch | slightly slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_750c9c8b-7ae4-4972-a284-a1a63487b286_1712643675103_processed.wav | angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?aina A ninacho kipenda ni kwamba majani yake ni mazuri sio mabaya sana ila uwotaji wake ilikua ni shida.ahaa nashukuru kuhusu aina A kwa ambacho unakipenda. | 201.362106 | 110.144981 | 32.886356 | 59.542789 | 16.875 | 0.938596 | 13.775699 | 1.851449 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_162d9e48-56d9-4507-8bd1-74513fb29b94_1715761542548_processed.wav | angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hukukipenda kuhusu hio.aina B sikuipenda kwasababu kamba zinapanda sana shambani na inafungaa ndo maana zile kamba zinafanya inasokota yanasokotana kwa muda kwa muda yanasokotana shambani sana.unaweza kunieleza sababu nyingine?.sababu nyinginee ninaona kama inashambu... | 187.245163 | 120.888176 | 38.918797 | 58.385365 | 36.821251 | 0.935693 | 9.829003 | 1.627266 | slightly low pitch | quite slowly | slightly clear | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_6f0eaacd-a68a-48be-ab3d-70513072a458_1715090869145_processed.wav | Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.…. Kwa kweli mairagee ya aina ya aina B ni mazuri naaa piaa yanahadhi naa kweli ukuaji wake pia ni mzuri.Unamaanisha nini ukisema ivo.Namaanisha kwamba haya maarage yako vizuri.em nieleze kwa kinaa nieleze zaidi.ukweli ni kwamba hakuna marage am... | 222.586227 | 136.894882 | 35.572941 | 55.628017 | 24.384375 | 0.921179 | 2.332369 | 1.814398 | moderate pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_4_reproductive_a13149f4-665d-44d9-b143-b8c6e4691841_1716440649362_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina C?aina C nayoo pia ni miongoni mwa jamii ya hizi mbegu tatu ambao zote nazipenda kwa sababu kama hii hapa inwezekana hii inazaa vizuri zaidi.sawa.kwakuwa inonyesha hata dalili yake mpaka muda tuliokuwa nao hapa. | 171.768738 | 66.127983 | 37.849396 | 59.602036 | 17.701876 | 0.951726 | 7.176139 | 1.637248 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_e35d6c99-c978-4117-85d8-dc2a665eb4fa_1714633369496_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina A.A naona kidogo inaaa.... A naona inauvumilivu kidogo cha mvua... | 245.87944 | 130.485413 | 12.488177 | 52.743843 | 5.416875 | 0.959772 | 14.759421 | 2.745172 | slightly high pitch | very slowly | quite noisy | very confined sounding | moderate intonation | |
moment_3_vegetative_435536f1-3c7c-431f-856b-33f73ecaae02_1713423905190_processed.wav | …ehe labda ni kipi ambacho labda hukipendi kulingana na haya maharage jinsi unavyoyatazama.hata kwa kweli mimi nilivyoangalia ubora nliouwona wa awali siwezi nikawa nimeona changamoto yoyote ya haya maharage haipo changamoto yeyote.sawa.haipo changamoto yoyote.sawa.ila kuna kuna vitu ambavyo.…vinaonekana kwamba ni cha... | 231.487717 | 181.018219 | 13.609818 | 57.457447 | 37.259998 | 0.728835 | -4.87937 | 1.155061 | moderate pitch | quite slowly | quite noisy | very confined sounding | slightly expressive | |
moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354643007_processed.wav | Nini usichopenda kuhusu aina C?Aina C ambacho sikipendi hamna kitu ambacho sikipendi ni sawa tu ila sasa unyaukaji wa maharage kutokana na mvua nyingi yamepata ukungu. | 166.826782 | 40.418507 | 44.102657 | 59.413864 | 10.580625 | 0.977121 | 21.062408 | 2.736771 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_9d8908eb-c44a-4b91-a60a-493b5693046f_1716804411884_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuusu hiyo.Hakuna nisicho kipenda. | 240.363602 | 82.031433 | 44.654938 | 59.222675 | 4.944375 | 0.950995 | 21.369808 | 3.098322 | moderate pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_da341ce7-fa8e-4020-ac69-76d19f135cf5_1716782576069_processed.wav | nini unapenda kuhusu aina B?aina B sijaupenda kwasababu haujazaa vizuri kuota kwake haujaota vizuri ni hicho tu | 113.996971 | 49.188606 | 44.661961 | 59.18763 | 7.52625 | 0.94604 | 21.645687 | 2.543385 | very low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_7f0bda74-5b7a-423f-87df-7ddf025b20fc_1715780501730_processed.wav | Angalia aina B na elezea chochote unachokiona ambacho hukukipenda kuusu hiyo.kwakweli aina B navo angalia.Mmm.Kitu ambacho sikupenda.Mmm.Sioni kama kuna kitu ambacho sijakipenda ladaa.Mmm.Kwa uoteshaji wa kwau kuota kwake yalioteshwa vizuri lakini naona kidogo kamaa.Mmm.Kunaa changamoto kidogo kwaaa kuna maeneo mengine... | 207.234421 | 119.175171 | 23.783705 | 58.237038 | 22.426874 | 0.90687 | 10.601134 | 1.45718 | moderate pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_e51c04f5-9c4d-4ea5-ac5f-01f8d0f8dcc7_1713354379009_processed.wav | Nini unapenda kuhusu aina B?Aina B naipenda kwa sababu maharage haya ni mazuri yameota vizuri alafu pia yana majani mazuri.Unaweza ukaelezea kwa undani zaidi?Haya majani majani yameota vizuri yame yametoa lakini sasa maja maua hayakuna ninii yamechelewa kutoka kuliko ya wanzake mengine haya nayo nayapenda vile vile n... | 193.249649 | 71.416191 | 34.414658 | 57.098976 | 23.1525 | 0.963448 | 15.071053 | 2.413774 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_b595ccfc-b727-4d58-b1f8-09bebcff7746_1713431188708_processed.wav | nini usichopenda kuhusu aina C?.Ninavyoyaoona maharage yangu.ndio.mvua zikiendelea kunyesha.ndio.yanaweza yakaharibika maharage yangu.ko hicho ndo ambacho hukipendi.hicho ndioo sikipendi.kwa hio mvua unavyoona mvua zikiendelea kunyesha inamaana maharage yanaweza.yakaharibika.sawa. | 172.499359 | 106.910194 | 34.344147 | 54.743649 | 17.870625 | 0.917702 | 6.839874 | 1.345165 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_55d7666a-dacd-4acc-8d5d-9252bbe05f68_1716285360314_processed.wav | Error | 135.02626 | 34.002789 | 60.08276 | 17.462923 | 0.826875 | 0.906677 | 15.411542 | 3.323929 | quite low pitch | very slowly | very clear | slightly roomy sounding | very monotone | |
moment_4_reproductive_bac54207-48a5-4ec8-be3e-7520126ade74_1715859781819_processed.wav | labda hasa ukipendi kwenye aina hii ya maharage.kitu ambacho sikipendi inamanaa sikipendi inaposema sikipendi kwenye aina hii ya maharage.eehni wakati muafaka wa kuweza kuipanda hiyo mbegu.aah ok.kwa saabu utakapoikosea mbegu hii muda wa kuiipanda.mmhitakuwa utaiyona kwamba mbegu hoihaifai.haifai katika mazingira haya.... | 176.677765 | 104.12278 | 28.148815 | 55.681274 | 55.130627 | 0.769546 | -0.175261 | 1.179021 | slightly low pitch | slightly slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_19fb3e0c-04e9-4ea0-94b3-a1fe157d4ef2_1713603447970_processed.wav | Angalia aina Cii naa eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.hapa nnavyoona aina ziii hakuna kitu ambacho sikipendi ambacho nakichukia hakuna. | 186.424866 | 75.774063 | 46.429352 | 58.912521 | 12.706875 | 0.964228 | 12.172831 | 2.085395 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_6205a4da-6fb7-45cf-ba12-68e7fe3f1648_1713764960444_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.aina C inashambuliwa sana na wadudu na pia uotaji wake si mzuri sana. | 162.533966 | 45.299007 | 31.725508 | 58.94162 | 9.34875 | 0.918949 | 5.557959 | 1.325567 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_b444dfcd-e1db-4f57-986d-2ee011fc5b8c_1719240731136_processed.wav | Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Aina A ninaipenda kwasababuuu wa imeota vizuri kwa asilimia tisini labda na tisa yotee imeota vizuriÉ. | 184.451141 | 99.533875 | 47.833881 | 55.444054 | 13.46625 | 0.949965 | 13.470833 | 2.440576 | slightly low pitch | very slowly | quite clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_4_reproductive_224808ea-3ceb-423d-89d5-e28865eaf832_1716185471318_processed.wav | ndugu mkulima tuna endelea na maswali yetu angalia aina B na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.maharage mazuri.ongeza sauti kidogo.maarage mazuri.mazuri?ndio.kipi kinginee kime kupendezesha katika aina B.amna.hamna.ndio. | 164.071732 | 65.571632 | 32.236626 | 56.527187 | 15.01875 | 0.96014 | 12.7552 | 2.219786 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
1690622672119_processed.wav | Kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa bishara au matumizi ya chakula? kwa sabau ni mara yangu ya kwanza sijui biahara nanii yaa Biashara yake
| 189.810059 | 146.544952 | 28.440577 | 54.274647 | 8.015625 | 0.816736 | 2.638465 | 1.403832 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | moderate intonation | |
1690612697583_processed.wav | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula Inashambuliwa na wadudu na inashindwa kuvumilia hali ya hewa | 144.629959 | 88.663071 | 28.694431 | 55.513088 | 7.981875 | 0.88638 | 1.175389 | 1.46664 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20240417_b595ccfc-b727-4d58-b1f8-09bebcff7746_1713431123153_processed.wav | nini usichopenda kuhusu aina B?.aina B hakuna nisichokipenda naona maharage yangu yanaendelea kukua vizuri.naendelea kukua vizuri.yanaendelea kukua vizuri.sawa sawa kwahio hakuna ambacho hukipendi.ndio. | 158.828705 | 82.482597 | 27.373499 | 57.593262 | 11.64375 | 0.885764 | 13.445056 | 1.716629 | slightly low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | slightly monotone | |
1690444411190_processed.wav | je ni kitu gani ambacho hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula hakuna | 159.505798 | 50.921749 | 4.448431 | 44.367638 | 3.796875 | 0.848723 | -8.517242 | 1.149209 | slightly low pitch | very slowly | very noisy | quite confined sounding | quite monotone | |
1690637179386_processed.wav | Kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A elezea kwenye sifa za kilimo Hakuna | 101.041573 | 22.905081 | 24.690199 | 52.178139 | 4.15125 | 0.874697 | 0.362804 | 1.511609 | very low pitch | very slowly | slightly noisy | very confined sounding | very monotone | |
1690637146966_processed.wav | Kiujumla ni aina gani ya Tricot ambayo hujaipenda zaidi kuliko zote? B sijawahi kui kuitumia kuitumia lakini ndo maana sikuipenda Asante | 137.546066 | 72.143425 | 29.576258 | 54.642967 | 7.52625 | 0.827253 | 6.7862 | 1.269567 | quite low pitch | very slowly | moderate ambient sound | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_ef860715-99d6-40be-bdbf-d546e94311b9_1718010661207_processed.wav | nielezee ambacho haukipendi kwenye eneo C?C?ndiyoaasheeeambacho haukipendi au ipo tofauti elezea?niiikuambie?mmhC?mmhkidogo inafifiafifia.mmheehhaijanawiri?haijanawiri kama A.okndiyosawa na kingine ambacho hakipo sawa kwenye eneo C mpaka sasa?hapana ni kutaka ushauri kwenu nifanyaje iliii yayasififie?isififieoohhuo ndo... | 175.372467 | 80.233162 | 40.312279 | 57.331379 | 25.700624 | 0.850829 | -0.906074 | 1.272173 | slightly low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone | |
moment_3_vegetative_6f0eaacd-a68a-48be-ab3d-70513072a458_1715091570281_processed.wav | Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Ukweli ni kwamba marage haya ni mazuri naaa yanatoa mauwa mapema.Unaeza kunii kunieleza zaidi kuusu hiyo una maanisha nini ukisema ni mazuri.Kwa kweli ni mazuri naaa yanaweza yakaja yakatoa mauwa maaa vizuri na mawe yake kweli yametangulia ukian... | 201.590683 | 108.95668 | 37.217232 | 56.042339 | 32.990623 | 0.86932 | -2.677597 | 1.285405 | moderate pitch | quite slowly | slightly clear | very confined sounding | slightly monotone | |
moment_3_vegetative_20041fbe-71aa-4959-857b-0cc8c52f4c4d_1718009754627_processed.wav | Nini uschokipenda katika aina A.Aina A sijapendaa kwasababu inaaa inakambaÉ | 150.535767 | 53.119415 | 41.041904 | 59.084866 | 6.834375 | 0.958662 | 17.362343 | 2.234883 | quite low pitch | very slowly | slightly clear | very confined sounding | quite monotone |
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 8