id stringlengths 1 5 | label int64 0 59 | text stringlengths 1 221 | label_text stringlengths 8 24 |
|---|---|---|---|
15799 | 44 | nionyeshe barua pepe mpya | email_query |
15800 | 44 | angalia barua pepe zangu mpya | email_query |
15801 | 44 | nilipokea barua pepe kutoka kwa mutinda na alisema nini | email_query |
15803 | 33 | mtumie barua pepe dada yangu kuhusu siku ya kuzaliwa ya mama jane tunapaswa kufikiria kuandaa sherehe kwenye bustani | email_sendemail |
15804 | 33 | tumia james barua pepe kuhusiana na mchezo wa softball james tunajitaji kupata vinywaji kabla ya kuenda huko | email_sendemail |
15806 | 44 | je mimi nina barua pepe yoyote kutoka kwa juma | email_query |
15807 | 44 | olly nina barua pepe zozote kutoka kwa juma | email_query |
15808 | 44 | olly rashid bado ana barua pepe yangu | email_query |
15810 | 44 | mutinda amenijibu kweli | email_query |
15811 | 44 | olly wacha nijue nikipata ujumbe kutoka kwa asha kuhusu sherehe | email_query |
15813 | 44 | asha niarifu kuhusu barua pepe kutoka kwa dave kuhusu mkutano huo | email_query |
15814 | 44 | niarifu kuhusu barua pepe kutoka kwa juma kuhusu mkutano huo | email_query |
15816 | 44 | habari yoyote kutoka kwa asha | email_query |
15817 | 44 | barua pepe zozote za hivi majuzi kutoka kwa emma | email_query |
15818 | 44 | nilipata majibu yoyote kutoka kwa abdi | email_query |
15819 | 15 | tengeneza mawasiliano mapya | email_addcontact |
15820 | 15 | badilisha barua pepe ya mama yangu kwenye kitabu changu cha simu | email_addcontact |
15821 | 22 | nini kipya | news_query |
15822 | 22 | nisasishe | news_query |
15823 | 44 | nilipata kitu kipya kutoka kwa bosi wangu | email_query |
15824 | 44 | kuna mabadiliko kwenye barua pepe | email_query |
15826 | 33 | kujibu yote niko njiani | email_sendemail |
15827 | 33 | nenda kwa anwani na uongeze barua pepe mpya kwenye orodha | email_sendemail |
15830 | 33 | tuma hiyo | email_sendemail |
15831 | 33 | anzisha barua pepe mpya kwa | email_sendemail |
15832 | 33 | tuma barua pepe kwa mwasiliani kama ifuatavyo | email_sendemail |
15833 | 33 | nenda kwa barua pepe na utume ujumbe kwa | email_sendemail |
15834 | 44 | je kuna barua pepe yangu kwenye kisanduku pokezi ambazo haijasomwa | email_query |
15835 | 33 | tafadhali jibu barua pepe yangu ya hivi karibuni | email_sendemail |
15840 | 33 | tuma barua pepe kwa ray | email_sendemail |
15842 | 33 | andika barua pepe ya mpokeaji asha | email_sendemail |
15846 | 33 | imefikaje kwetu | email_sendemail |
15848 | 33 | mtumie mama yangu barua pepe | email_sendemail |
15850 | 33 | tuma barua pepe kwa sjobs at apple dot com | email_sendemail |
15851 | 44 | soma barua pepe kutoka kwa julia | email_query |
15852 | 44 | soma barua pepe subject chemistry | email_query |
15853 | 44 | nina barua pepe zozote kuhusu kemia | email_query |
15854 | 33 | sambaza barua pepe kwa barua pepe yangu mpya olly | email_sendemail |
15855 | 33 | sambaza barua pepe kwa barua pepe yangu mpya | email_sendemail |
15856 | 33 | tuma barua pepe kwa anwani za barua pepe za hivi karibuni | email_sendemail |
15859 | 33 | sambaza yaliyoonyeshwa kwa blahblah at blah dot com na barua pepe | email_sendemail |
15860 | 33 | mtumie mama barua pepe ukimwuliza kuhusu hali ya anga | email_sendemail |
15864 | 17 | alex imehifadhiwa katika orodha yangu ya anwani | email_querycontact |
15865 | 17 | kuna anwani ya barua pepe ya asha kwenye orodha | email_querycontact |
15866 | 17 | kuna watu wangapi walioitwa juma | email_querycontact |
15869 | 17 | fungua wasifu wa juma kutoka kwa mawasiliano yangu | email_querycontact |
15870 | 17 | nambari ya barua pepe ya john ni nini | email_querycontact |
15871 | 17 | pata mawasiliano yote yenye jina joni | email_querycontact |
15872 | 44 | niambie ni nani nilipata barua pepe ya mwisho | email_query |
15873 | 44 | tafadhali nisomee barua pepe ya mwisho | email_query |
15874 | 44 | tafadhali angalia barua pepe mpya kwenye kisanduku pokezi | email_query |
15875 | 33 | tuma barua pepe kwa asha kuwa niko njiani kuelekea nyumbani | email_sendemail |
15876 | 33 | tuma nakala ya bili kwa abdi kwa barua pepe | email_sendemail |
15878 | 17 | tafuta anwani ya makazi ya kiongozi wa timu yangu | email_querycontact |
15879 | 17 | niletee nambari ya simu ya abdi | email_querycontact |
15881 | 44 | niko na barua pepe yoyote mpya | email_query |
15882 | 44 | angalia barua pepe mpya kwa kisanduku pokezi changu | email_query |
15883 | 33 | nataka kumjibu juma | email_sendemail |
15884 | 44 | tafuta sasisho zangu za barua pepe | email_query |
15887 | 33 | tafadhali unaweza kutuma barua pepe kwa mume wangu | email_sendemail |
15888 | 33 | tafadhali tafuta orodha ya mikahawa yote katika hili eneo kisha uzitume kwa barua pepe ya mume wangu | email_sendemail |
15889 | 33 | tafadhali unaweza kutuma na barua pepe kwa rafiki yangu susana kumjulisha kuwa sitaenda kanisani kesho | email_sendemail |
15891 | 44 | kuna barua pepe yoyote mpya kutoka kwa baba yangu | email_query |
15892 | 33 | mtumie franco barua pepe | email_sendemail |
15894 | 15 | ongeza john at gmail dot com kwa anwani | email_addcontact |
15895 | 15 | ongeza barua pepe mpya kwa anwani | email_addcontact |
15896 | 33 | kiungo john katika gmail dot com kwa john katika mawasiliano | email_sendemail |
15898 | 33 | mwandikie asha barua pepe ya heri ya mwaka mpya | email_sendemail |
15899 | 17 | lini siku ya kuzaliwa ya fahim | email_querycontact |
15901 | 17 | nambari ya simu ya juma ni gani | email_querycontact |
15902 | 33 | tafadhali jibu barua pepe ya mwenzangu kuhusu swali lake | email_sendemail |
15905 | 44 | angalia barua pepe zote mpya na utie alama kuwa nyota | email_query |
15907 | 33 | tuma nitafanya asante kwa john kama jibu la ujumbe wake wa mwisho | email_sendemail |
15908 | 33 | tuma barua pepe ya jibu asante sana kwa john kwa gmail dot com | email_sendemail |
15912 | 33 | barua pepe juma | email_sendemail |
15913 | 44 | mimi nina barua pepe yoyote kutoka kwa asha | email_query |
15914 | 44 | mimi nina barua pepe yoyote ya kusoma kutoka kwa juma | email_query |
15915 | 44 | orodhesha barua pepe mpya | email_query |
15916 | 44 | onyesha barua pepe za hivi punde | email_query |
15917 | 44 | orodhesha barua pepe za saa iliyopita | email_query |
15918 | 15 | ongeza anwani mpya kwa mutinda | email_addcontact |
15919 | 15 | nahitaji kuongeza anwani hii mpya ya sam smith ssmith kwenye yahoo dot com | email_addcontact |
15922 | 44 | angalia barua pepe mpya kutoka kwa juma | email_query |
15923 | 44 | angalia barua pepe kutoka kwa mwende kwa saa iliyopita | email_query |
15924 | 44 | orodhesha barua pepe za leo kutoka kwa jim | email_query |
15925 | 33 | tumia familia barua pepe | email_sendemail |
15926 | 33 | tuma barua pepe kwa emma kumwambia kwamba simu yangu imerejea kwenye huduma | email_sendemail |
15927 | 33 | tuma barua pepe kwa asha ili nikutane naye jumamosi saa saba mchana | email_sendemail |
15928 | 33 | tuma barua pepe kwa juma kwamba samahani sikugundua alikuwa mgonjwa sana | email_sendemail |
15929 | 44 | angalia ili kuona kama barua pepe mpya zimetoka kwa abdi | email_query |
15931 | 44 | nijulishe lini barua pepe mpya itafika kutoka kwa asha | email_query |
15932 | 44 | mimi nina barua pepe ngapi mpya | email_query |
15934 | 44 | unaweza kunisoma barua pepe zangu za hivi punde | email_query |
15935 | 44 | barua pepe zangu mpya ni zipi | email_query |
15936 | 15 | ongeza barua pepe mpya kwa anwani zangu | email_addcontact |
15937 | 15 | ongeza barua pepe kwa nambari za simu | email_addcontact |
15938 | 15 | ongeza barua pepe hii orodha yangu ya mwasiliani | email_addcontact |
15940 | 33 | jibu barua pepe ya mwisho kabisa | email_sendemail |
15941 | 33 | tafadhali jibu barua pepe | email_sendemail |
15943 | 15 | tafadhali unaweza kuweka kitu katika gmail dot com katika mawasiliano yangu | email_addcontact |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.