id stringlengths 1 5 | label int64 0 59 | text stringlengths 1 221 | label_text stringlengths 8 24 |
|---|---|---|---|
16246 | 33 | tuma barua pepe kwa joanne kwa a. o. l. dot com na uongeze kama mwasiliani mpya | email_sendemail |
16247 | 44 | nina barua yoyote | email_query |
16250 | 17 | kutoa taarifa kuhusu muswada kutoka kwenye orodha yangu ya mawasiliano | email_querycontact |
16251 | 17 | alexa leta habari kuhusu juma kwenye orodha yangu ya nambari za simu | email_querycontact |
16252 | 17 | tafuta maelezo ya juma | email_querycontact |
16253 | 17 | alexa angalia habari ya said | email_querycontact |
16254 | 17 | una taarifa gani kwenye faili katika maelezo yangu kuhusu muswada | email_querycontact |
16255 | 17 | fungua alex ya mawasiliano kwenye kitabu cha simu | email_querycontact |
16256 | 17 | soma nambari ya mawasiliano ya abdi kutoka kwenye kitabu cha simu | email_querycontact |
16257 | 33 | mtumie mke wangu barua pepe kuhusu hali ya anga ya wiki inayofuata | email_sendemail |
16258 | 33 | tafadhali tuma barua pepe kwa mke wangu kuhusu hali ya hewa ya wiki ijayo | email_sendemail |
16259 | 33 | andika barua pepe kuhusu hali ya hewa ya wiki ijayo kwa mke wangu | email_sendemail |
16260 | 44 | barua pepe yoyote mpya | email_query |
16261 | 44 | nimepata barua pepe ngapi tangu jana | email_query |
16262 | 44 | changanua kisanduku pokezi changu kwa barua pepe zozote mpya kutoka kwa salim | email_query |
16264 | 44 | salim ametuma barua pepe zozote mpya kwangu | email_query |
16265 | 33 | tuma barua pepe kwa familia ukisema nawapenda nyote | email_sendemail |
16267 | 33 | tuma barua pepe kwa familia yangu nikisema nawapenda nyote | email_sendemail |
16268 | 33 | jibu barua pepe ya emma ya leo asubuhi | email_sendemail |
16269 | 33 | tuma jibu kwa juma kwa ile barua pepe nilioipata leo asubuhi | email_sendemail |
16270 | 44 | angalia kisanduku pokezi | email_query |
16272 | 17 | nili piga aje sarah | email_querycontact |
16274 | 44 | fanyiza upya kisanduku pokezi cha barua pepe | email_query |
16277 | 44 | nina barua mpya | email_query |
16278 | 33 | tuma barua pepe ifuatayo kwa kaka vipi njoo kwa chajio usiku | email_sendemail |
16281 | 33 | tafadhali tuma barua pepe kwa mkuu wa abdi kuhusu mkutano tulio nao kesho | email_sendemail |
16283 | 17 | angalia anwani | email_querycontact |
16284 | 17 | tekeleza utafutaji na kagua | email_querycontact |
16285 | 33 | tafadhali tuma mutinda barua pepe kuhusu gari lake | email_sendemail |
16287 | 33 | tuma barua pepe ya siku ya kuzaliwa kwa bosi wangu | email_sendemail |
16291 | 17 | tafadhali vuta habari kuhusu wasiliana | email_querycontact |
16292 | 17 | kuna njia ya kupata habari kuhusu mtu anayewasiliana naye | email_querycontact |
16293 | 44 | soma barua pepe zangu za hivi majuzi | email_query |
16295 | 44 | nina barua pepe ngapi | email_query |
16299 | 44 | kuna barua pepe yoyote mpya | email_query |
16300 | 44 | ni barua pepe gani nilizozipokea hivi karibuni | email_query |
16301 | 17 | nambari ya simu ya mutinda ni nini | email_querycontact |
16302 | 17 | niambie anwani ya barua pepe kwa shangazi fatuma | email_querycontact |
16304 | 44 | kuna barua pepe mpya yoyote kwenye kikasha changu asha sasa hivi | email_query |
16306 | 33 | tafadhali itumie familia yangu barua pepe | email_sendemail |
16307 | 33 | unda barua pepe ambayo inahitaji kwenda kwa familia yangu | email_sendemail |
16308 | 44 | nina barua pepe yoyote mpya leo | email_query |
16309 | 44 | unaweza kuona ikiwa nina barua pepe yoyote mpya | email_query |
16310 | 33 | tafadhali jibu | email_sendemail |
16311 | 33 | tuma jibu kwa barua pepe hiyo | email_sendemail |
16312 | 33 | tuma barua pepe kwa mutinda kazini | email_sendemail |
16313 | 33 | kutuma barua pepe kwa mama yangu | email_sendemail |
16315 | 44 | mimi nimepokea barua pepe kutoka kwa fatuma | email_query |
16316 | 44 | je nina barua pepe zozote mpya kutoka kwa fatma | email_query |
16321 | 33 | jibu tena kwa juma bakari | email_sendemail |
16326 | 44 | barua pepe yoyote katika saa iliyopita | email_query |
16327 | 44 | kuna mtu yeyote alinitumia barua pepe mpya katika saa iliyopita | email_query |
16328 | 44 | nimerudi barua pepe zozote mpya tangu nilipoondoka | email_query |
16329 | 33 | jibu barua pepe ya asha | email_sendemail |
16331 | 44 | andika yaliyomo kwenye barua pepe | email_query |
16333 | 15 | ongeza anwani mpya ya barua pepe | email_addcontact |
16335 | 44 | je asha alijibu barua pepe zangu zozote asubuhi ya leo | email_query |
16336 | 44 | je nina barua pepe yoyote ambayo haijasomwa kutoka kwa juma | email_query |
16337 | 44 | ambia kuhusu barua pepe zangu mpya | email_query |
16338 | 44 | fungua barua pepe mpya | email_query |
16339 | 44 | nionyeshe barua pepe za hivi karibuni zaidi | email_query |
16340 | 44 | wacha niangalie barua pepe yangu ya hivi karibuni | email_query |
16341 | 44 | nimepokea barua pepe zozote kutoka kwa emma | email_query |
16342 | 44 | je asha alinitumia barua pepe yoyote | email_query |
16343 | 44 | amenitumia barua pepe abdi | email_query |
16345 | 33 | nahitaji kutuma barua pepe mpya hii hapa ni anwani kisha uiongeze kwenye orodha ya mawasiliano | email_sendemail |
16346 | 33 | tuma barua pepe kwa njoroge na umkumbushe asisahau machungwa asubuhi | email_sendemail |
16347 | 33 | tuma ujumbe kwa mama mkwe wangu aweke nafasi kabla ya ijumaa au muda wake utaisha | email_sendemail |
16348 | 33 | jibu barua pepe ya juma leo ukisema nitachelewa | email_sendemail |
16349 | 17 | nani ndiye mtu anayeitwa mara kwa mara katika kitabu changu cha simu | email_querycontact |
16350 | 17 | anwani ya juma ni nini | email_querycontact |
16351 | 44 | angalia kisanduku cha barua na unijulishe kama kuna barua yoyote ya leo saa moja asubuhi | email_query |
16352 | 44 | barua pepe yoyote ya hivi karibuni | email_query |
16355 | 44 | barua pepe yangu ya mwisho kwa asha ilikuwa nini | email_query |
16358 | 44 | soma barua pepe iliyotumwa na mwasiliani huyu | email_query |
16359 | 44 | ni barua pepe gani iliyotumwa na wasiliana hii iliyosomwa | email_query |
16360 | 33 | waandikie barua pepe mutinda na asha | email_sendemail |
16362 | 44 | ni barua pepe ngapi mpya tangu nilipoangalia mara ya mwisho | email_query |
16363 | 44 | nionyeshe barua pepe zangu mpya | email_query |
16364 | 44 | ngoja nione ni barua pepe gani nimepata | email_query |
16365 | 44 | nina arifa gani za barua pepe | email_query |
16366 | 44 | ambaye amenitumia barua pepe hivi majuzi | email_query |
16367 | 44 | ambaye alinitumia barua pepe wiki hii | email_query |
16368 | 44 | nilitumiwa nini kwenye barua pepe wiki hii | email_query |
16369 | 44 | barua pepe zozote mpya kutoka kwa asha | email_query |
16370 | 44 | bado maria amenijibu barua pepe | email_query |
16371 | 44 | bado kuna barua pepe yoyote mpya | email_query |
16374 | 44 | kuna barua pepe zozote kutoka shuleni kuhusu mkutano wangu | email_query |
16378 | 33 | alexa tumia mama barua pepe sasa | email_sendemail |
16379 | 44 | kuna barua pepe zozote mpya kutoka kwa asha | email_query |
16380 | 44 | nijulishe ikiwa kuna barua pepe mpya kutoka kwa emma | email_query |
16381 | 44 | tafadhali angalia barua pepe kutoka kwa mama | email_query |
16382 | 44 | je baba ametuma barua pepe zozote mpya hivi karibuni | email_query |
16383 | 44 | jamani olly nina barua pepe zozote mpya | email_query |
16387 | 44 | fungua barua pepe zote ambazo hazijasomwa | email_query |
16388 | 44 | hujambo olly nina barua pepe yoyote kutoka kwa asha kuhusu mwende | email_query |
16389 | 44 | tafuta barua pepe kutoka kwa bob kuhusu bulldog | email_query |
16390 | 44 | ni barua pepe gani ambazo haijasomwa ninazo | email_query |
16391 | 44 | je juma bakari amenitumia barua pepe yoyote mpya | email_query |
16392 | 44 | unaweza kuona kama juma amejibu barua pepe yangu bado | email_query |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.