id stringlengths 1 5 | label int64 0 59 | text stringlengths 1 221 | label_text stringlengths 8 24 |
|---|---|---|---|
9925 | 9 | nina muda upi kuchemsha yai | cooking_recipe |
9927 | 9 | olly ni muda gani wa kupika wali | cooking_recipe |
9928 | 9 | nionyeshe jinsi ya kupika pasta | cooking_recipe |
9929 | 9 | olly jinsi gani ya kupika pasta | cooking_recipe |
9932 | 9 | olly nini viungo zinahitajika kwa ajili ya pilau | cooking_recipe |
9933 | 9 | tafuta resipe ya kimapenzi ya chajio cha watu wawili | cooking_recipe |
9937 | 9 | nina papa ninawezaje kuandaa hii | cooking_recipe |
9938 | 9 | nafaa kupika hamburger kwa muda gani kila upande | cooking_recipe |
9939 | 9 | mafuta ya kukaanga mayai yanafaa kuwa joto gani | cooking_recipe |
9944 | 9 | nini resipe ya pizza | cooking_recipe |
9945 | 9 | tafuta resipe ya umaarufu zaidi ya kupika pilau | cooking_recipe |
9946 | 9 | ni resipe ipi nzuri ya kupika vibanzi | cooking_recipe |
9949 | 9 | je unapika kwa muda gani | cooking_recipe |
9950 | 9 | nitafutie resipe | cooking_recipe |
9954 | 9 | kuku wa kuoka anafaa kuwa na joto lipi | cooking_recipe |
9957 | 9 | unafaa kupika kuku mzima kwa muda gani kwenye digrii celcius mia tatu na sabini na tano | cooking_recipe |
9960 | 9 | ni vipi na chemsha mchele | cooking_recipe |
9963 | 9 | mambo ya ajabu watu wanataka kujua | cooking_recipe |
9967 | 9 | ni njia ipi bora ya kupika spaghetti | cooking_recipe |
9970 | 9 | kuna kitu ya kuifanyia kaimati isionje vibaya | cooking_recipe |
9972 | 9 | ni njia gani bora zaidi ya kukonoa kisu cha mchinjaji | cooking_recipe |
9974 | 9 | je ni nini mbadala nzuri wa yai la mboga | cooking_recipe |
9975 | 9 | olly gani mbadala wa yai iliyokaangwa kwa wanamboga | cooking_recipe |
9981 | 9 | nipikie pasta yenye jibini na asali ndani yake | cooking_recipe |
9983 | 9 | olly naanzaje kuandaa pilau | cooking_recipe |
9984 | 9 | nipatie resipe ya nyama | cooking_recipe |
9985 | 9 | tunaweza kutengeneza nyama na kuku | cooking_recipe |
9987 | 9 | kuganda | cooking_recipe |
9988 | 9 | kuyeyuka | cooking_recipe |
9989 | 9 | naeza jifunza vipi kupika | cooking_recipe |
9990 | 9 | niambie njia za kujifunza kupika | cooking_recipe |
9991 | 9 | nionyeshe mafunzo ya upishi wa chakula | cooking_recipe |
9992 | 9 | niambie resipe ya kupika pilau | cooking_recipe |
9995 | 9 | inachukua muda gani maji ku chemsha | cooking_recipe |
9997 | 9 | mtu ana uharibifu gani katika cream kufanya siagi | cooking_recipe |
9998 | 49 | nini hutengeneza tindi | qa_factoid |
10000 | 9 | jinsi ya chemsha yai | cooking_recipe |
10001 | 9 | jinsi ya kuunda siagi kutoka kwa maziwa | cooking_recipe |
10002 | 9 | nionyeshe jinsi ya kupika kifungua kinywa cha chini cha kalori | cooking_recipe |
10003 | 9 | nataka kupika pasta kwa staili ya kikenya nionyeshe jinsi | cooking_recipe |
10005 | 9 | jinsi ya kupika mchele olly | cooking_recipe |
10006 | 9 | jinsi ya kupika wali | cooking_recipe |
10007 | 9 | olly kuonyesha njia ya kuandaa mokimo | cooking_recipe |
10008 | 9 | olly niambie jinsi ya mboga upikwa | cooking_recipe |
10009 | 9 | resipe ya kupika chakula | cooking_recipe |
10010 | 9 | nitapika aje chakula | cooking_recipe |
10011 | 9 | chagua aina ya chakula kama ni kifungua kinywa ama chakula cha mchana ama chakula cha jioni | cooking_recipe |
10012 | 9 | tafuta chakula ukipendacho zaidi | cooking_recipe |
10013 | 9 | chagua mbinu ya kupika | cooking_recipe |
10014 | 9 | nataka kujua utaratibi wa kupika chapati katika sentensi tano | cooking_recipe |
10015 | 9 | kwa sentensi tano wacha nijue utaratibu wa kuandaa keki ya harusi | cooking_recipe |
10018 | 9 | unachomaje nyama ya kondoo | cooking_recipe |
10021 | 9 | nionyeshe viungo ni vipi | cooking_recipe |
10024 | 9 | nitafutie maelezo ya kupika bata | cooking_recipe |
10025 | 9 | niambie jinsi ya kupika pizza | cooking_recipe |
10026 | 9 | google hatua za kuunda maankuli hayo | cooking_recipe |
10028 | 9 | nitafutie mapishi ambayo yanatumia nyama ya ngombe na tangawizi | cooking_recipe |
10029 | 9 | ni kwa joto lipi unaoka viazi | cooking_recipe |
10030 | 9 | nahitaji resipe ya omena yenye tarehe kabla ya elfu moja mia tisa na sabini | cooking_recipe |
10032 | 9 | jinsi ya kupika chapati | cooking_recipe |
10033 | 9 | elezea kwa kifupi kuhusu samaki wa kukaangwa | cooking_recipe |
10034 | 9 | jinsi ya kutengeneza burger | cooking_recipe |
10035 | 9 | niambie resipe ya mchele wa manjano | cooking_recipe |
10036 | 9 | jinsi ya kupika mchele wa manjano | cooking_recipe |
10040 | 9 | ni ipi mbinu ya kupika kidakuzi | cooking_recipe |
10042 | 9 | ni wapi naweza pata jinsi ya kupika vibanzi vya kukaanga | cooking_recipe |
10043 | 9 | vikombe vingapi vya sukari kwa keki | cooking_recipe |
10044 | 9 | ni jinsi gani ya kutengeza nyama ya kuku kuanzia mwanzo | cooking_recipe |
10046 | 9 | je napika aje nyama ya ugumu wa wastani | cooking_recipe |
10047 | 9 | jinsi ya kupika huo mlo | cooking_recipe |
10051 | 9 | nitafutie jinsi ya kupika spaghetti | cooking_recipe |
10052 | 9 | nitafutie resipe ya supu ya karoti | cooking_recipe |
10054 | 9 | ni nini resipe bora ya kupikia pasta | cooking_recipe |
10056 | 9 | jinsi ya kutengeneza pasta | cooking_recipe |
10057 | 9 | je nahitaji nini kupika mukimo | cooking_recipe |
10059 | 9 | ni nini mbadala wa mafuta ya kupika | cooking_recipe |
10060 | 9 | nafaa kupika brisket kwa muda upi ndio ikuwe wastani | cooking_recipe |
10062 | 9 | ni chakula kipi kizuri | cooking_recipe |
10063 | 9 | ni nini katika curry | cooking_recipe |
10064 | 9 | nafaa kula mboga ngapi kwa siku | cooking_recipe |
10065 | 9 | viungo vipi vipo kwenye chakula cha kihindi | cooking_recipe |
10066 | 9 | niambie resipe ya viazi zilizosokotwa | cooking_recipe |
10067 | 9 | vipi jinsi ya kupika viazi | cooking_recipe |
10068 | 9 | muda wa kupika vibanzi ni gani | cooking_recipe |
10069 | 9 | kuna vijiko vingapi vya chai kwenye kikombe | cooking_recipe |
10071 | 9 | ni muda upi wa kupika kuku mzima kwa mia tatu na hamsini | cooking_recipe |
10073 | 9 | tafuta bidhaa za kupika pilau | cooking_recipe |
10074 | 9 | ni vipi unapika yai kiurahisi | cooking_recipe |
10075 | 9 | mukimo iko kwenye msimu lini | cooking_recipe |
10079 | 9 | ni resipe gani rahisi ya kupika chakula | cooking_recipe |
10082 | 9 | jinsi gani ya kutayarisha mboga za kienyeji | cooking_recipe |
10083 | 9 | tafuta resipe ya keki ya siku ya kuzaliwa | cooking_recipe |
10084 | 9 | ni njia gani mbadala ya unga | cooking_recipe |
10085 | 9 | fafuta resipe tofauti | cooking_recipe |
10087 | 9 | napika vipi mishkaki | cooking_recipe |
10088 | 9 | nipe jinsi ya kupika mipira ya nyama | cooking_recipe |
10089 | 9 | ni resipe gani bora zaidi ya mpira wa nyama | cooking_recipe |
10091 | 9 | nyama ya nguruwe inapikwa vipi | cooking_recipe |
10094 | 9 | jinsi ya kupika omena | cooking_recipe |
10095 | 9 | vyakula vya afya | cooking_recipe |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.