id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
13235
39
kupata jumla ya kumi na tatu na kumi na nne
qa_maths
13236
26
nini ufafanuzi wa mbalimbali
qa_definition
13237
26
nini maana ya neno mbalimbali
qa_definition
13238
26
visawe
qa_definition
13239
49
twiga wana urefu gani
qa_factoid
13240
12
bei ya wastani ya nyumba huko michigan ni ngapi
general_quirky
13241
42
ni tiketi gani iliyo rahisi zaidi inayopatikana wiki ijayo ya ziara ya mzunguko wa siku tatu huko kenya
transport_query
13243
26
nini mchanganyiko wa viungo
qa_definition
13244
12
ni sehemu gani bora ya kuwa wewe
general_quirky
13245
12
ungemiliki mbwa kama ungeweza
general_quirky
13246
12
ungenipa jibu la swali hili
general_quirky
13247
12
ningependa uje na jibu la swali
general_quirky
13248
49
siku ya kuzaliwa ya brenda wairimu ni lini
qa_factoid
13249
49
tamasha ya mwisho ya sautisol ilikuwa wapi
qa_factoid
13250
49
bill clinton alizaliwa wapi
qa_factoid
13251
12
ripoti yangu ya unajimu kwa leo
general_quirky
13253
39
ni nini mzizi wa mraba wa mia moja na arobaini na nane elfu mia tano na themanini saba
qa_maths
13254
49
unajua nini kuhusu eliud wabukala
qa_factoid
13256
12
jinsi ya kupata abs kwa wiki sita
general_quirky
13257
19
wapi kwa kununua kamera za canon
recommendation_locations
13258
12
maili ya magari ya b. m. w
general_quirky
13259
49
nionyeshe kiwango cha ukuaji wa idadi ya watu wa kenya katika miaka kumi iliyopita
qa_factoid
13260
49
orodhesha watu mashuhuri ambao wamekuwa nchini kwangu katika miaka mitano iliyopita
qa_factoid
13261
19
java iliyo karibu iko wapi
recommendation_locations
13262
49
nani alijenga kigali genocide memorial
qa_factoid
13264
5
siku ilikuwaje
general_greet
13265
12
natumai tungeweza kula biskuti
general_quirky
13266
26
fafanua mchezo wa kompyuta
qa_definition
13267
26
maana ya mchezo wa tarakilishi
qa_definition
13268
26
maana ya neno kompyuta
qa_definition
13269
49
papa shirandula ana miaka mingapi
qa_factoid
13270
49
charlize theron alijifunza vipi kuongea kiingereza
qa_factoid
13272
49
angalia urefu wa mlima everest
qa_factoid
13273
49
nataka kujua urefu wa mlima everest
qa_factoid
13274
12
umri wangu ni upi
general_quirky
13276
49
kuelezea bob dylan
qa_factoid
13277
49
muda upi umesalia hadi kifo cha joto cha ulimwengu
qa_factoid
13278
49
je nywele imetengenezwa na nini
qa_factoid
13279
49
ni nini vitungaji vya makucha yetu
qa_factoid
13282
49
niambie kila kitu kuhusu richard leakey
qa_factoid
13285
12
elezea mfumuko wa bei ni nini na uhusiano wake na uchumi
general_quirky
13286
12
fafanua mfumuko wa bei na elezea athari zake kwa uchumi
general_quirky
13287
12
taja ufafanuzi wa mfumuko wa bei na ueleze jinsi ilivyo muhimu kwa uchumi wowote
general_quirky
13289
26
fafanua daima
qa_definition
13290
26
maana ya daima
qa_definition
13291
49
macdonald mariga siku ya kuzaliwa
qa_factoid
13292
49
siku ya kuzaliwa ya nyota wa kuigiza keanu reeves
qa_factoid
13293
39
nataka kujua asilimia hii
qa_maths
13294
39
kiasi gani ni mia moja thelathini na sita pamoja na mia tatu themanini na saba
qa_maths
13295
12
ni maelezo gani ya kupika viazi karanga za chokoleti
general_quirky
13296
49
mwai kibaki ana miaka mingapi
qa_factoid
13299
12
niambie kuhusu mtu mashuhuri
general_quirky
13300
12
niambie kitu cha kusisimua
general_quirky
13301
12
nisaidie kupata usingizi
general_quirky
13302
12
nini kitakuwa chakula cha lishe bora kwa chajio
general_quirky
13304
12
fanya kazi zangu zote ili nilale kidogo
general_quirky
13305
12
alexa fanya kazi zangu zote ili nilale kidogo
general_quirky
13306
49
kenyatta ni nani
qa_factoid
13307
49
kibaki anatoka wapi
qa_factoid
13308
39
ni kiasi gani kinachobaki baada ya kutoa nne kutoka nane
qa_maths
13309
39
jibu mbili ongeza nne
qa_maths
13311
39
nina dola za mwezi huu nafaa kumtumia dola ngapi kila siku ya hii mwezi
qa_maths
13314
49
kulingana na jukumu unaloendea hili litaathiri jibu lako
qa_factoid
13315
49
jaribu kufuata hatua hizi kuchagua jibu sahihi
qa_factoid
13317
49
nini utakuwa utabiri wa hali ya hewa wa kesho nairobi
qa_factoid
13320
49
ambao ni wapiga gitaa wakubwa wa wakati wote
qa_factoid
13321
49
oktagoni ina sehemu ngapi
qa_factoid
13322
49
anga ni rangi gani
qa_factoid
13323
49
kinyozi karibu zaidi iko wapi
qa_factoid
13324
12
niambie jina la msanii ambaye wimbo wake upo kwenye movie ninayoitazama
general_quirky
13325
3
niambie supu ya siku kwenye mkahawa safari park
takeaway_query
13326
12
saa ngapi kutoka kisumu
general_quirky
13327
16
piga simu kwenye mkahawa wa kiafrika iliyo karibu
takeaway_order
13328
16
leta menu ya mkahawa wa kiafrika ulio karibu zaidi
takeaway_order
13329
49
mikanda ya hurujuani husaidia nini
qa_factoid
13331
49
wasifu wa ali kiba
qa_factoid
13332
12
habari juu ya juma bakari
general_quirky
13333
39
ni nini kwa hesabu ya kuongeza ya y
qa_maths
13334
39
kumi ongeza y.
qa_maths
13337
26
tafadhali fafanua neno unafiki
qa_definition
13343
19
nitafutie eneo la bei nafuu zaidi pa kununua mkoba mpya
recommendation_locations
13344
49
vijiko vingapi vya mezani vipo kwenye kikombe
qa_factoid
13347
12
utani tu hapa au pale
general_quirky
13350
39
hesabu mbili ongeza mbili
qa_maths
13351
26
jina hili linamaanisha nini
qa_definition
13352
26
nini ufafanuzi wa neno hili
qa_definition
13356
26
bure inamaanisha nini
qa_definition
13357
26
waweza niambia maana ya neno zamu tafadhali
qa_definition
13358
39
ni nini kumi na nne kugawa na mbili
qa_maths
13360
26
ni nini maana ya wamejishughulisha
qa_definition
13362
49
ni kiwango gani cha kuchemka kwa cha maji
qa_factoid
13364
49
lini siku ya rais
qa_factoid
13365
26
niambie maana ya neno kabisa
qa_definition
13366
26
kufafanua na kutumia katika sentensi neno kabisa
qa_definition
13368
39
jibu mlingano nane mara saba
qa_maths
13369
39
olly nini jumla ya nambari mbili nne na sita
qa_maths
13371
39
unaondoaje nambari
qa_maths
13374
12
acha mbwa nje
general_quirky
13375
12
je afrika itaonekana kama nini katika miaka kumi
general_quirky
13376
12
ukiweka velociraptor na kiboko pamoja nini kitatokea
general_quirky