id stringlengths 1 5 | label int64 0 59 | text stringlengths 1 221 | label_text stringlengths 8 24 |
|---|---|---|---|
14738 | 19 | haya guguli ni wapi mahala pazuri na pasipo ghali pa kukaa hapa dodoma | recommendation_locations |
14740 | 26 | im tawa inakaa aje | qa_definition |
14741 | 12 | ni vipimo gani vya iphone mpya | general_quirky |
14743 | 10 | shilingi moja ya kenya ni ngapi kwa euro | qa_currency |
14747 | 49 | mombasa iko kwenye pwani ya kenya | qa_factoid |
14748 | 12 | ni ipi njia rahisi ya kuwa milionea chini ya miaka mitano | general_quirky |
14749 | 49 | mwai kibaki alizaliwa lini | qa_factoid |
14750 | 49 | ni mara ngapi otile brown aliolewa | qa_factoid |
14751 | 49 | jinsi mrefu ni mlima kenya | qa_factoid |
14753 | 49 | nani rais wa kenya | qa_factoid |
14754 | 49 | saa hii ni wakati gani katika eneo la cuba | qa_factoid |
14756 | 39 | nini kipeo cha thelathini na nne | qa_maths |
14758 | 10 | shilingi ya kenya kwa shilingi ya tanzania | qa_currency |
14760 | 26 | nini ufafanuzi wa neno papa | qa_definition |
14765 | 26 | olly utaelezea vipi mpira | qa_definition |
14766 | 26 | alexa unawezaje kuuelezea mpira | qa_definition |
14768 | 49 | je bahari kuu duniani ni pacific | qa_factoid |
14769 | 49 | alexa niambie bahari kubwa zaidi duniani | qa_factoid |
14771 | 49 | alexa yeri kombe ni nani | qa_factoid |
14772 | 49 | nipatie yote uyajuwayo juu ya wangari maathai | qa_factoid |
14776 | 4 | alexa bei za hisa za itel ni zipi | qa_stock |
14777 | 4 | alexa bei ya hivi karibuni ya hisa za sameer group | qa_stock |
14778 | 49 | alexa nieleze ukubwa wa ulimwengu kwa maili | qa_factoid |
14779 | 12 | lini wanadamu watafikia ubinafsi | general_quirky |
14780 | 12 | alexa lina wanadamu watafikia umoja | general_quirky |
14781 | 12 | kuna uwezekano gani wa donald trump kugeuka dikteta | general_quirky |
14785 | 49 | niambie umbali hadi nairobi west | qa_factoid |
14786 | 49 | maeneo ya marekani kaskazini | qa_factoid |
14788 | 10 | ni ngapi thamana ya dola ikilinganishwa na shilingi ya tanzania | qa_currency |
14789 | 10 | je shilingi ina thamani kubwa kuliko dola | qa_currency |
14790 | 10 | kuna tofauti gani ya thamani ya dola na shilingi | qa_currency |
14793 | 49 | siku ya kuzaliwa ya makokha ipo lini | qa_factoid |
14795 | 4 | nini bei ya hisa za safaricom | qa_stock |
14797 | 4 | ni zipi habari za hisa za jumia | qa_stock |
14798 | 26 | nyumba ya kazi ni nini | qa_definition |
14799 | 49 | mji mkuu wa kenya ni upi | qa_factoid |
14800 | 49 | mto tana una urefu wa maili ngapi | qa_factoid |
14801 | 12 | jinsi ya kutatua tatizo | general_quirky |
14802 | 12 | jinsi watu wanavyo teseka utawasaidiaje | general_quirky |
14804 | 49 | watoto wa vera sidika wana umri mgani | qa_factoid |
14805 | 49 | ni lini siku kuzaliwa ya sanaipei tande | qa_factoid |
14806 | 49 | tafuta wimbo suzanna umeibwa na sauti sol | qa_factoid |
14807 | 10 | badilisha dola ya marekani kwa shilingi ya kenya | qa_currency |
14809 | 12 | katika suala hili kwa fedha | general_quirky |
14810 | 10 | viwango vya ubadilishaji shida yoyote | qa_currency |
14811 | 12 | ni vitu vyema bila matatizo yoyote | general_quirky |
14812 | 12 | ni data anayopendelea matatizo yoyote katika vitu | general_quirky |
14813 | 12 | toa athari | general_quirky |
14815 | 12 | mtu huyu ni wa ajabu | general_quirky |
14816 | 12 | jinsi anavyofanya kazi kikamilifu | general_quirky |
14818 | 4 | bei ya chini ya hisa | qa_stock |
14821 | 49 | linganisha zaidi ya nchi | qa_factoid |
14823 | 10 | niambie thamani ya shilingi ya kenya dhidi ya dola | qa_currency |
14824 | 10 | tafadhali angalia kiwango cha ubadilishanaji fedha kati ya shilingi ya kenya na euro | qa_currency |
14825 | 10 | gani yenye thamani zaidi kati ya dola ya marekani na shilingi ya kenya | qa_currency |
14826 | 26 | tafadhali tafuta maelezo ya kamera ya canon rebel mpya | qa_definition |
14828 | 26 | ni nini ufafanuzi wa kachumbari | qa_definition |
14829 | 49 | mlima kenya ni mrefu kiasi gani | qa_factoid |
14830 | 49 | je mlima kenya ni mlima refu zaidi katika nchi ya kenya | qa_factoid |
14831 | 49 | tafuta umri nadia mukami | qa_factoid |
14832 | 49 | ni nini dhamani ya huyo mwana mashuhuri | qa_factoid |
14833 | 49 | je mtu mashuhuri ameoa ama yupo pekee | qa_factoid |
14834 | 12 | je mtu mashuhuri amefanya kazi yoyote ya hisani | general_quirky |
14835 | 4 | bei ya hisa ya eveready ni ngapi kwa sasa | qa_stock |
14836 | 4 | tafadhali tafuta bei za leo za kampuni ya brookside | qa_stock |
14837 | 12 | nifundishe kuhusu mipangilio ya mfiduo ambayo inaweza kuwa bora kwa siku ya mawingu huko nairobi | general_quirky |
14839 | 10 | ni kipi kiwango cha ubadilishanaji fedha kati ya shilingi ya kenya na shilingi ya tanzania | qa_currency |
14840 | 10 | ni kiwango gani cha shillingi kwa dola | qa_currency |
14841 | 10 | ni pesos ngapi inajumuisha dola za amerika | qa_currency |
14842 | 26 | kidhibitisho ni nini | qa_definition |
14843 | 26 | kimbunga kunafafanuliwa aje | qa_definition |
14845 | 26 | niambie mchakato ina maana gani | qa_definition |
14846 | 49 | jina la ziwa ambalo limekauka kwa miaka mingi ni nini | qa_factoid |
14851 | 39 | nini matokeo ya mia moja kuondoa hamsini | qa_maths |
14853 | 49 | niambie bien baraza ana umri gani | qa_factoid |
14854 | 49 | eneo la ndani kabisa la nairobi lina kina jinsi gani | qa_factoid |
14855 | 49 | sehemu gani ya afrika ni ya marekani | qa_factoid |
14856 | 49 | wangari maathai alizaliwa lini | qa_factoid |
14860 | 10 | badilisha dola ya marekani kwa shilingi ya tanzania | qa_currency |
14862 | 10 | kama nina dola tano ya amerika ni kiasi gani kwamba katika dola ya australia | qa_currency |
14863 | 26 | nini hufafanua pembe tatu | qa_definition |
14864 | 49 | ni vitu tofauti gani za pande zote | qa_factoid |
14867 | 49 | je ni kwa kiwango kipi cha maji kimo duniani | qa_factoid |
14869 | 12 | huwa inakaa aje | general_quirky |
14870 | 12 | ikiwa kitu kinauzwa basi ni bei gani | general_quirky |
14873 | 4 | je ni ipi bei ya sameer group | qa_stock |
14875 | 4 | nionyeshe bei ya hisa ya trm leo | qa_stock |
14876 | 49 | ni usawa gani wa bahari wa mahali hapo | qa_factoid |
14878 | 26 | maana | qa_definition |
14880 | 26 | nini maana ya | qa_definition |
14881 | 10 | thamani ya shilingi ya kenya na dola ya marekani ni nini | qa_currency |
14883 | 10 | kwa ngapi tutabadilisha dola ya marekani kwa shilingi ya tanzania | qa_currency |
14885 | 49 | ni asilimia ngapi ya watu ulaya wanahusiana na damu ya kifalme kwa njia fulani | qa_factoid |
14886 | 49 | raphel tuju ana urefu kiasi gani | qa_factoid |
14887 | 49 | ni bei gani nafuu cha kitabu cha kwanza cha ken walbora | qa_factoid |
14890 | 26 | kitu hicho kinahusu nini | qa_definition |
14892 | 49 | je yule mtu anatakribani ya mashabiki wangapi | qa_factoid |
14893 | 12 | je mtu huyo anaishi kwa sasa kama ndiyo yuko wapi na ana umri gani sasa | general_quirky |
14894 | 12 | naomba kujua kuna nini eneo la milioni moja laki mbili hamsini na nane mia saba arobaini na tano | general_quirky |
14895 | 49 | ratibu za kilimanjaro ni zipi | qa_factoid |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.