source stringlengths 16 628 | text stringlengths 7 374k |
|---|---|
5c6e3f2c9168d.md#### **Matumizi ya viboko shuleni yaangaliwe upya** | Tumesema hivyo kwa kutambua kwamba nyuma ya tukio la kifo cha mwanafunzi huyo wa shule ya msingi Kibeta, yapo matukio mengi, japo hayasababishi vifo, lakini watoto wanapata maumivu mkubwa. |
5c9af88a40b1d.md##### **Fedha za miradi ya maendeleo** | 96 trilioni zilikuwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Sh 2. |
5c6f0bbe35cc1.md#### Imani potofu zinavyokwamisha mapambano dhidi ya kifua kikuu | "Changamoto inayotukabili ni namna gani tutaweza kuwafikia, kuwagundua na kuwaingiza kwenye mfumo wa matibabu watu wenye maambukizi ya TB ili tuutokomeze ugonjwa huu kwa sababu wakianzishiwa tiba asilimia 90 wana uwezekano wa kupona kabisa. |
5c6f0bbe35cc1.md#### **Na Mwandishi Wetu** | Alisema wajumbe walijikita katika ulinzi na usalama kwenye uchimbaji, uchakataji na usafirishaji na matumizi salama ya urana. |
5c6ece7455713.md##### **Na RAMADHAN HASSAN** -DODOMA | 36/2019 Simpi akituhumiwa kwa kosa la ubadhirifu kinyume na kifungu cha 28 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa. |
5c6e3f2c9168d.md##### **GHARAMA** | 40, umri kati ya miaka 5 na 16 ni dola za Marekani 11. |
5c9a5634e6822.md##### **Na Mwajuma Juma, Zanzibar** | Sherehe hizo zilihudhuriwa na wafugaji zaidi ya 300, wakiwemo viongozi wao wakuu. |
5c9a5d806052c.md##### **Je ni kwanini?** | Kuimarika kwa bei za bidhaa pia kumeisaidia hali , pamojana mazingira mazuri yakifedha duniani na kupungua kwa gharama ya maisha hatua iliyochangia kuongezeka kwa mahitaji ya watu. |
5c6c5e7020eda.md### **Woods announces first two starts of 2019** | After missing the cut during an abbreviated comeback in 2017, he advanced to the weekend last year by making birdie on his 18th hole Friday to make the cut on the number. |
5c9a7f025714b.md### Dk George Kahangwa | Ana shahada ya Uzamivu kutoka katika Chuo cha Briston, Uingereza. |
5c9a7f025714b.md### MWANANCHI | Waziri wa zamani Njelu Kasaka anasema uamuzi wa Maalim Seif una faida kwa pande zote; kwaza utamnufaisha yeye kuendelea kubakia katika medali za siasa nchini. |
5c6f0bbe35cc1.md#### **Fresha Kinasa, Mara** | Alisema, madaktari bingwa waliopo kwa sasa ni wawili ambapo alisisitiza wataendelea kuwaleta madaktari kutoka sehemu mbalimbali, ili kutoa matibabu ya kibingwa kuwapunguzia usumbufu wananchi wa mkoa huo kufuata matibabu hayo Muhimbili, KCMC au Bungando. |
5c6c4db11f9c1.md## 13 | Mwaka 1967 nikiwa seminari ndogo ya Mlowo uongozi wa shule ulianzisha kikundi cha Scouting for Boys. |
5c6c4db11f9c1.md#### NA JANETH JOVIN | 15
*Pikipiki yenye namba za usajili MC846 BTE ikiwa uvunguni mwa daladala lenye namba za usajili T877 DNN lilalofanya safari zake kati ya Chanika na Gerezani, ajali hiyo ilitokea katika eneo Pugu, Kanisa jijini Dar es Salaam jana, ambapo dereva wa pikipiki anadai kufariki dunia. |
5c6c5e7020eda.md## needs more opportunity-driven Why Africa entrepreneurs | The reality, however, is that these enterprises are generally run by "necessity-driven entrepreneurs" or individuals who start firms because they have no other viable opportunities for gainful employment. |
5c6c4db11f9c1.md## NA TIGANYA VINCENT | NMB yatoa siri ya kusaidia afya, jamii
Augustino alisema, kwa kawaida NMB imekuwa ikipokea maombi mengi ya kuchangia miradi ya jamii kutoka pande mbalimbali, lakini benki hiyo imejikita zaidi katika eneo la afya, elimu na misaada ya hali na mali katika majanga, kutokana na umuhimu wake. |
5c9a5634e6822.md#### Ukosefu wa madinijoto unavyosababisha watoto kuwa na mtindio wa ubongo | Mkuu wa mkoa ndio mwenyekiti wa kikao na pia agenda ya lishe imekuwa ni ya kudumu katika vikao vya kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) pamoja na vikao vya kamati za ushauri za Wilaya (DCC)," anasema. |
5c9a5634e6822.md##### **Na Irene Clemence** | Katika hatua nyingine aliwataka wabunge wote wa CUF kuendeleza ushirikiano na chama chao kwa kufika ofisi na kupeana mikono na kukijenga chama. |
5c6c5e7020eda.md##### **By Valentine Oforo, Dodoma** News@thebusinesstimes. co.tz | Central Zone farmers and pastoralists have been challenged to adapt the use of modern agricultural and animal husbandry tools to improve their production and productivity. |
5c6ece7455713.md##### **Na FRANCIS GODWIN** | **
**Akizungumza na viongozi wa kata za serikali 106 za Mkoa wa Iringa jana, Mwenyekiti wa CCM mkoani humo, Dk. |
5c6c5e7020eda.md##### **Asia and the Pacific** | 6 per cent until 2020, below the global average. |
5c6f0bbe35cc1.md#### *Na Nuru Kamchape* | "
Anaendelea kusema: "Jukumu la Umoja wa Mataifa katika kutokomeza TB ni la dharura na kwamba gonjwa hili baya linagusa kila bara na kila nchi. |
5c6c5e7020eda.md##### **OUR 2019 ANNUAL LETTER | BILL & MELINDA GATES 6** | Instead, it should be to extend pregnancies closer to full term for everyone. |
5c6f0bbe35cc1.md##### **Na Dotto Mwaibale** | "Tunaunga mkono juhudi zinazofanywa na EfG za kuwawekea mazingira bora ya kufanyia biashara wafanyabiashara masokoni," alisema Houben. |
5c9a5634e6822.md##### *Na Philemon Muhanuzi* | Licha ya kufulika kwa wingi, lakini zilipatikana milioni 342, huku wenyeji wa mchezo huo Yanga walipata fedha kiduchu jambo ambalo wengi walihoji kulikoni. |
5c9a5634e6822.md#### Ukosefu wa madinijoto unavyosababisha watoto kuwa na mtindio wa ubongo | Lakini bado hali ni tete kwa watoto ambao ndio wanaokumbana na tatizo hili la udumavu na ukondefu unaosababishwa na kukosa lishe bora. |
5c6d877f90a05.md##### ¢ NA HABIBU B. ANGA | Chaguo la pili lilikuwa kwa makomando wa Kikosi cha Wanamaji (Navy) SEALs, wavamie makazi hayo kwa kutumia helikopta maalum zinazoruka bila kutoa kelele na sio rahisi kuonekana na rada ya adui. |
5c6f0bbe35cc1.md#### Imani potofu zinavyokwamisha mapambano dhidi ya kifua kikuu | "Hatujui tunawapataje, ingawa hii si changamoto kwa Tanzania pekee, hivi karibuni nilihudhuria mkutano huko India wenzetu nao wanazungumzia changamoto hii hii,î anabainisha. |
5c9a7f025714b.md### Kuungua kwa cylinder head gus- | Iwapo utagundua mapema na kuchukua hatua basi haitoweza kufikia hatua ya kupinda kwa cylinder head au cvlinder block. |
5c6d877f90a05.md## **Ujenzi reli ya TAZARA funzo chanya kwa mradi wa SGR** | DHIDI YA MRADI
Baada ya Vita vya Kwanza ya Dunia, nchi hii, wakati huo ikiitwa German East Afrika ilikabidhiwa Uingereza kuitawala chini ya Udhamini ya iliyokuwa Jumuiya ya Kimataifa (League of Nations – mtangulizi wa Umoja wa Mataifa (United Nations). |
5c6c5e7020eda.md#### Stock futures dip ahead of fresh US-China trade talks | US stock index futures dipped yesterday as investors started a holiday-shortened week on a cautious note ahead of a fresh round of trade talks between the United States and China. |
5c6c5e7020eda.md## needs more opportunity-driven Why Africa entrepreneurs | - Entrepreneurship supports economic growth and development through the introduction of innovations that add value to the economy. |
5c9a7f025714b.md### **NI KWA KUMPINGA RAIS UHURU** | TZ JUMATANO, MACHI 27, 2019** Siasa
> Vilevile Kambaya anasema haoni kama uamuzi huo wa Maalim Seif utamjenga, badala yake utambomoa na kumuondoa katika medali za siasa wa
muda mfupi. |
5c9a7f025714b.md### **2018** | Awali, katika eneo hilo kulikuwa na mti uliotumiwa na wakoloni kuwanyongea Waafrika enzi za utawala wao. |
5c6ece7455713.md#### Uhaba wa maji wawakimbiza watumishi wa zahanati DODOMA | **
**"Hali ya maji ni mbaya hapa kijijini kwetu kwani hadi tunavyozungumza, watumishi wa zahanati wameshahama wawili na tumebakiwa na mmoja ambaye anaishi mbali zaidi. |
5c6e3f2c9168d.md## **Tuna mambo ya kujifunza mfumo wa zamani wa elimu** | Sifa hii imefanya taifa letu kusifiwa kote duniani, huku wengine wakijaribu kuiga bila mafanikio. |
5c9a5d806052c.md##### **Ukuaji** | 8, kiwango cha mali iliyotokana na urithi kiliongezeka mwaka 2017 kwa asilimia 13. |
5c6f0bbe35cc1.md##### **Na Esther Macha, Mbeya** | Alisema katika kipindi cha kabla ya Uchaguzi Mkuu atajishughulisha na kuandaa ushauri wa mambo yanayopaswa kufanywa na Serikali ijayo. |
5c6c5e7020eda.md## **Tourist arrivals surge, thanks to super promos, better services** | 8 per cent, and social welfare and education at 25. |
5c9a7f025714b.md## 12 HABARI **MWANANCHI** | Naye mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) oisi ya Brazzaville Congo, Dk Assumpta Murizhi alisema katika miaka miwili baada ya kujifungua wanawake wanapitia kipindi kigumu. |
5c6c4db11f9c1.md## 13 | Kwa wale wezangu na mimi ambao siyo wanafiki watakubaliana na Kamusi kuu ya Kiswahili kuwa kunaweza kuwa na nchi bila kuwa na Taifa. |
5c6e3f2c9168d.md## **Tuna mambo ya kujifunza mfumo wa zamani wa elimu** | Wakiwa kwenye ëzungukazungukaí hiyo walikutana watu wa makabila mbalimbali na kuishi kama ndugu wa baba na
mama mmoja. |
5c6c5e7020eda.md##### **One-quarter of services revenue** | So, it seems Apple will see more steady growth from Google for the next few quarters. |
5c6f0bbe35cc1.md##### **Na Mwandishi Wetu** | Muray alisema, mbali ya kujiendeleza katika masuala ya kilimo, pia atafungua ofisi ili kufanya shughuli zake za kilimo na biashara kisasa zaidi. |
5c9a5634e6822.md##### **Na Margareth Chambiri** | Tume ya Taifa ya Uchaguzi pia inawajulisha wakazi wa kata hizo zinazofanya uandikishaji wa majaribio na ambao walijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwaka 2015 kuwa, wanaweza kutumia fursa hiyo kuhakiki taarifa zao katika vituo
walivyojiandikishia. |
5c9af88a40b1d.md##### **NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR** | Rai hiyo ameitoa mara baada ya kuwasili jana Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kutembelea Mikoa miwili ya kichama ambayo ni Mkoa wa Kaskazini Unguja na Mkoa wa Kusini Unguja. |
5c6f0bbe35cc1.md#### **CHANGAMOTO** | Wanasema ugonjwa huo husababishwa na bakteria wanaojulikana kwa jina la kitaalamu ëMyco-bacteria tuberculosisí, ambapo wapo wa aina mbili. |
5c6c4db11f9c1.md#### machungu kwa Taifa. | Huyu ni Mtanzania angerudi hapa Tanzania aeleze maumivu yake tumsikilize tumsaidie kulia, ameamua kwenda ughaibuni anamtukana Rais eti Rais wetu Magufuli hawezi kutunga sentensi moja ya Kiingereza, ni msomi wa Kemia na Hesabu kama mimi. |
5c6c5e7020eda.md#### Stock futures dip ahead of fresh US-China trade talks | 3 percent and Caterpillar Inc 0. |
5c6e3f2c9168d.md##### **Na David Jonh** BAADHI ya wananchi wa Mtaa wa Kigenzi chini Kata ya Buyuni Walalamikia taratibu za urasimishaji ardhi | Wengine ni Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyau (wa tatu kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Geita, Josephat Maganga (wa tano kulia). |
5c9a5d806052c.md### Mwenyekiti CHADEMA ajiunga CCM | Pamoja na hayo alisema kasi hiyo ni pamoja na ku- patikana kwa umeme katika maeneo mbalimbali ya vijijini ikiwemo katika sehemu anayotoka ya Chamwino, hali ambayo itachangia wananchi kupata maendeleo ya kiuchumi. |
5c6d877f90a05.md##### ¢ NA MWANDISHI WETU | Aidha, amefanya mihadhara na wasomi wa Chuo Kikuu cha Mambo ya Kimataifa cha Elliot nchini Marekani. |
5c6e3f2c9168d.md##### **Na Fresha Kinasa, Mara** | WANANCHI wa Mkoa wa Mara wamehimizwa kulinda na kusimamia haki za watoto pamoja na maisha yao, kuwapa fursa ya elimu, kuwapatia matibabu bora na kuwalea katika maadili mema kwa kuzingatia sheria, taratibu na haki za binadamu ili waje kulitumikia taifa na kuliletea maendeleo kwa siku za baadaye. |
5c6ece7455713.md##### **Na RENATHA KIPAKA** | Waziri Mkuu alisikitishwa na Mkandarasi, Nyanza Roadworks Ltd ya Mwanza anayejenga barabara ya Nyakanazi-Kibondo yenye urefu wa kilometa 50 kutotekeleza mradi huo kwa wakati licha ya Serikali kuilipa kampuni hiyo fedha za kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo. |
5c9a5634e6822.md##### **Madai ya kuchoma bendera** | Alisema chama chao hakihusiki kabisa na uchomaji wa bendera wala kadi za Chama chochote. |
5c6d877f90a05.md##### ¢ NA MPOKI BUYAH | Kutokana na kujituma kwake alifikia cheo kikubwa cha Kopro. |
5c9a7f025714b.md### CUF watua mahakamani, yawaonya wabunge wake | Peter Elias na Habel Chidawali mwananchipapers@mwananchi. |
5c6c5e7020eda.md## **Tourist arrivals surge, thanks to super promos, better services** | 0 per cent, followed by Africa -- at 16. |
5c9a5634e6822.md#### **Ukosefu wa madinijoto unavyosababisha watoto kuwa na mtindio wa ubongo** | Baadhi ya vyakula vilivyotengenezwa viwandani vina madini ya sodium ambayo havionyeshi katika lebo, na ladha ya chumvi haisikiki. |
5c9a5634e6822.md##### **Na Shufaa Lyimo** | Katika mchezo huo Stars iliibuka na ushindi wa bao 3-0, na kupata tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON),baada ya miaka 39, huku magoli yake yakitiwa kimiani na Simon Msuva, Erasto Nyoni na Agrey Morris. |
5c6ece7455713.md##### **Na MWANDISHI WETU** | Awali, Waziri Mkuu akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera, alitembelea Kambi ya Nyanza Roads inayojenga Barabara ya Nyakanazi-Kabingo inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera na kusema kuwa hajaridhishwa na kasi ya mkandarasi huyo. |
5c6ece7455713.md##### **JOSEPH HIZA NA MTANDAO** | Kampeni yake inaendelea kuwa maarufu na majimbo mengine manne nchini India yalifungua jela huru mwaka jana. |
5c9a7f025714b.md### Jumla ya watoto 10 waliuawa na baadhi yao kunyofolewa sehemu zao za siri mkoani Njombe. | Tunahitaji kuwa na Taifa imara na lenye amani hivyo ni vema wote kwa pamoja tukashikamana kuhakikisha waganga wa jadi wanaopiga ramli chonganishi wanaichuliwa na kuikishwa kwenye vyombo vya sheria. |
5c6c5e7020eda.md### *US 'country girl' who rocked the world with her music* **Dolly Rebecca Parton:** | Often in poor health, she still managed to keep house and entertain her children with songs and tales of mountain folklore. |
5c9a5634e6822.md#### 'Vikoba ni mkombozi wa wananchi' **Na Nuru Kamchape** | JAMII imetakiwa kutumia fursa zitokanazo na vikoba k w a k u a n z i s h a m i r a d i itakayowawezesha kujiendeleza kiuchumi, ili kutoa ajira kwa wananchi. |
5c6e3f2c9168d.md#### **Waanza kufanya maandalizi mkutano wa Rais Trump, Kim** | M k u t a n o h u o unaosubiriwa kwa hamu kati ya Rais Trump na Kim Jong Un ambao unatarajiwa kufanyika wiki ijayo unafuatia mkutano wa kilele wa kihistoria uliofanyika mwezi Juni, mwaka jana nchini Singapore. |
5c9a7f025714b.md### **Ninauliza, ninaomba nijibiwe** | Tulimwondoa mkoloni ili kujenga taifa na utaifa? |
5c9a5634e6822.md### **Ushindi wa Stars ni mafanikio mtambuka yenye mlolongo mrefu** | Hata timu ya taifa iliyoshiriki AFRCON mwaka 1980 ilitokana na misingi mizuri iliyokuwa ikiwekezwa kwenye michezo kupita michezo ya shule za Msingi (UMISHUMITA) Umoja wa Shule za Sekondari (UMISETA) na hata kwenye vyuo. |
5c9a5d806052c.md#### UCHAMBUZI **Mikakati kuwawezesha wakimbizi kukidhi mahitaji** | Hayo ni kwa mujibu wa wataalam wa Umoja wa Mataifa na Igad
Kulingana na wataalam wa Umoja Mataifa pamoja na shirika la IGAD asili mia 60 ya wakimbizi wana uwezo wa kufanya kazi za kimapato huku wale ambao ni watoto wanaweza kushiriki elimu na mafunzo yatakayowandaa kwa maisha bora. |
5c9af88a40b1d.md#### **NA MWANDISHI WETU** | Mshtakiwa Mehboob anadaiwa kuwa Januari 13, 2016 katika jengo la Jamana lililopo Manispaa ya Ilala, alichapisha gazeti la Mawio lililokuwa na taarifa za uchochezi. |
5c9af88a40b1d.md### Serikali ihakiki mashtaka kubaini waliobambikwa | Jina la akaunti ni CZ Information & | | | | |
namba: 0654 831113. |
5c6f0bbe35cc1.md##### **Wiki iliyopita tuliishia kuwa:** | Tajiri alibakia mwenyewe
pamoja na aliyekuwa amekuja naye "Sasa binti atakuwa wapiíí alikongea huku akitizama saa yake ya mkononi "Atakuja kweli huyu" aliuliza yule kijana aliyekuwa ameambatana nae aliingiwa na wasiwasi kabla hata ya muhusika mwenyewe. |
5c6d877f90a05.md##### **TUJIFUNZE** | Fuata link link hii kujifunza zaidi.. |
5c6f0bbe35cc1.md#### *Na Christian Gaya* | Ni ukweli usiopingika kwamba wakati watu wanaongezeka kwa kasi hiyo, ardhi au maeneo ya uzalishaji hayaendi na kasi hiyo. |
5c6f0bbe35cc1.md##### **Na Penina Malundo** | 100 ambayo serikali inatumia kununua dawa nchini, sh. |
5c6d877f90a05.md##### **CHANGAMOTO ZA KAZI YA UTANDIKAJI RELI** | 5 ndani ya mlima. |
5c9a5d806052c.md##### NA MWANDISHI WETU | Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa, ilieleza kuwa Mayongela anatakiwa kuripoti Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ambako atapangiwa kazi nyingine. |
5c6ece7455713.md##### **Na MARKUS MPANGALA** | Wanasema hiyo pekee ni sababu iliyochangia Tanzania kuporomoka kwa sekta za uzalishaji, kwakuwa viwanda na mashirika yake ya umma yalianguka na ghafl a hali ya nchi kiuchumi ilibadilika. |
5c9a7f025714b.md### KATIKAKATIKA HII YA UMEME VIPI? | Tayari watuhumiwa hao wameikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili. |
5c9a7f025714b.md### Mwakinyo ataka kuzipiga na bondia Manny Pacquiao | "Ninapokwenda ni pakubwa zaidi ya nilipotoka, lakini naamini siku ninayoisubiri kwa hamu ya kucheza na Pacquiao itatimia na ndipo nitawathibitishia Watanzania nini nahitaji katika ngumi," alisema Mwakinyo anayetoka mkoani Tanga. |
5c9a7f025714b.md### **KUMRADHI** > | Tayari tumechukua hatua stahili kutokana na kosa hilo. |
5c6c4db11f9c1.md## NA MWANDISHI WETU | Jambo liko Mahakamani si utaratibu kulizungumzia! |
5c9af88a40b1d.md##### **NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR** | "Siku zao zinahesabika kabla ya kimbunga aina ya katrina hakijakikumba ACT Wazalendo. |
5c9a5d806052c.md#### **Mabantu wafunguka Whozu kukata nywele** | Hivi karibuni Whozu alikumbwa na sakata la ugomvi na mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wa Video Vixen na mwanadada maarufu mtandaoni, Tunda kutokana na sababu za kimapenzi, hali iliyopelekea Whozu kukatwa nywele zake za kichwani. |
5c6e3f2c9168d.md##### Mazungumzo ya kibiashara yaendelea | A k i z u n g u m z a n a kituo kimoja cha redio, Waziri Altmaier alisema bado hawajafikia mahali wanapotaka kufikia na pengine wamefikia theluthi moja tu ya kile wanachokilenga na sasa wameingia katika awamu ngumu zaidi ya mazungumzo hayo. |
5c9a5d806052c.md## **NSSF, Magereza kuanzisha kiwanda cha Sukari Morogoro** | Said Salim Bakhresa, alizipongeza taasisi hizo za Serikali kwa hatua hizo na akawataka kuendelea kujifunza na kuonesha milango kuwa wazi wakati wowote. |
5c9a5634e6822.md##### **Na Ahmad Mmow, Nachingwea** | Wakati ukweli ni kwamba chuki ya dini haina dini, kwani hata watu wa dini moja wanaweza kupigana kwa sababu ya kupishana mitazamo na kukosekana uvumilivu tu," alisema
Mwalimu Mbanga. |
5c6ece7455713.md##### **Na ASHA BANI** - DAR ES SALAAM | Uchakavu huo unatokana na shule kuwa za muda mrefu na kutofanyiwa ukarabati wa mara kwa mara. |
5c6ece7455713.md##### **JOSEPH HIZA NA MTANDAO** | Jela hii haina maeneo ya kuwazuia kutotoka nje, haina walinzi katika lango lake kuu na wafungwa huruhusiwa na hata kushawishiwa kwenda mjini na kutafuta kazi. |
5c6c4db11f9c1.md#### NA SULEIMAN MSUYA | (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
5c9a7f025714b.md##### Hosted by College of Agriculture | Crop Science, 2. |
5c6c5e7020eda.md### *US 'country girl' who rocked the world with her music* **Dolly Rebecca Parton:** | [1] Two of Parton's brothers are no longer living; Larry died shortly after birth in 1955, and Floyd died in 2018. |
5c9af88a40b1d.md### Baba asema Neymar ataongeza mkataba PSG | Alidai: "Watu wanasema mara zote Neymar yupo kwenye soko la usajili na kuhusishwa na klabu kubwa. |
5c6f0bbe35cc1.md#### **KIWANJA** | Kinauzwa kipo Tabata bei ni nafuu sana na maelewano yapo. |
5c9a7f025714b.md### DISTRICT LAND AND | FOR TANGA AT TANGA CATION NO. |
5c6ece7455713.md##### faida. | Swali moja liliulizwa, nini kimekwenda kombo Afrika? |
5c9a5634e6822.md##### **Na Mwandishi Wetu** | Alisema TAKUKURU inawajibika kutangaza kutafutwa kwake, kabla
ya kutaifisha mali zake. |
5c6f0bbe35cc1.md##### **Na Penina Malundo** | Ashatu Kijaji (Mb) alipotembelea mradi huo ambao hadi kukamilika kwake utagharimu sh. |
5c6d877f90a05.md### Wakurugenzi wasiwe chanzo cha kuua viwanda | Ukiambiwa ni kwanini Shirika la Kilimo Mbinga (SUKIMBI) limekufa utakutana na maelezo yaleyale. |
5c6e3f2c9168d.md##### halmashauri. | Halmashauri ya Mji Njombe inaipongeza TAMISEMI na PS3 kwa mfumo wa uandaaji wa mpango wa bajeti, kwani umerahisisha utendaji kazi na inapendekeza mapungufu madogo yaliyopo kwenye mfumo wa sasa yapatiwe ufumbuzi. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.