| {"id": "6", "text": "Bandari kubwa nchini Kenya iko wapi?"} | |
| {"id": "8", "text": "Je,mji mkuu Australia ni gani?"} | |
| {"id": "12", "text": "Je,hadithi ya Pinokyo ilitungwa lini?"} | |
| {"id": "13", "text": "Timu ya taifa ya soka ya Brazil imeshinda kombe la dunia mara ngapi?"} | |
| {"id": "22", "text": "Rais wa kwanza wa Gabon aliitwa nani?"} | |
| {"id": "29", "text": "Nchi ya Thailand ina idadi ngapi ya watu?"} | |
| {"id": "32", "text": "Nchi ya Kongo ilipata uhuru mwaka gani?"} | |
| {"id": "34", "text": "Je,msitu ipi kubwa zaidi bara Afrika?"} | |
| {"id": "35", "text": "Je,makao makuu ya kaunti ya Samburu ni wapi?"} | |
| {"id": "38", "text": "Jina kamili la Pelé ni lipi?"} | |
| {"id": "43", "text": "Masinde muliro alijiunga na siasa mwaka gani?"} | |
| {"id": "49", "text": "Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement ni nani?"} | |
| {"id": "52", "text": "Ngugi wa Thiong'o alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "56", "text": "Je,Steven Zuber alijiunga na klabu ya Hoffenheim mwaka upi?"} | |
| {"id": "62", "text": "Dodoma iko na idadi ngapi ya watu?"} | |
| {"id": "72", "text": "Je,mtoto wa umri wa miaka mbili anaweza pata ugonjwa wa kisukari?"} | |
| {"id": "80", "text": "Je,Flamingo inapatikana katika ziwa gani nchini Kenya?"} | |
| {"id": "99", "text": "Je,Raila Odinga alikuwa waziri mkuu mwaka upi?"} | |
| {"id": "105", "text": "Je,Mji mkuu wa Kenya ni upi?"} | |
| {"id": "108", "text": "Mji mkuu wa Nigeria ni?"} | |
| {"id": "119", "text": "Je,nani mwanzilishi wa mziki wa hIhop nchini Tanzania?"} | |
| {"id": "122", "text": "Kikurdi ni lugha ya wapi?"} | |
| {"id": "128", "text": "Bahari kuu duniani ni gani?"} | |
| {"id": "136", "text": "Je,mji wa Gold Coast inapatikana nchi gani?"} | |
| {"id": "138", "text": "Mji mkuu wa Hawaii unaitwaje?"} | |
| {"id": "141", "text": "Je rais wa kwanza wa Tanzania aliitwa nani?"} | |
| {"id": "144", "text": "Carleton Gajdusek alisoma udaktari chuo gani kikuu?"} | |
| {"id": "146", "text": "Mji mkuu wa Norway unaitwaje?"} | |
| {"id": "172", "text": "Rais wa kwanza wa Malawi ni nani?"} | |
| {"id": "178", "text": "Je, Adolf Hitler alikuwa anatoka nchi gani?"} | |
| {"id": "182", "text": "Nani alizundua kifaa cha kupima joto?"} | |
| {"id": "185", "text": "Je, T-Pain alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "187", "text": "Ukubwa wa Japani ni geographia ni kiasi gani?"} | |
| {"id": "193", "text": "Je Nigeria ilipata uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "195", "text": "Nchi ya Sudan ilipata uhuru mwaka gani?"} | |
| {"id": "203", "text": "Je, Jibuti ilipata uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "209", "text": "Je,rais wa kwanza wa Ethiopia aliitwa nani?"} | |
| {"id": "213", "text": "Je,rais wa kwanza wa Marekani aliitwa nani?"} | |
| {"id": "214", "text": "Je,Uhispania ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "215", "text": "Mbegu ya maharagwe iko na asili gani?"} | |
| {"id": "221", "text": "Mtandao wa Youtube ulianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "226", "text": "Je,Günter Wilhelm Grass alishinda tuzo la Nobel mwaka upi?"} | |
| {"id": "232", "text": "Je, Togo ilipata uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "234", "text": "Muimbaji Celine Dion ana miaka mingapi?"} | |
| {"id": "238", "text": "Lanhydrock House inapatikana wapi?"} | |
| {"id": "242", "text": "LL Cool J, alizaliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "244", "text": "Je,Kampuni ya Kenya Breweries Limited ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "248", "text": "Je,Samir Nasri alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "254", "text": "Je,Alain Didier Zokora Deguy alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "256", "text": "Bahari ya Atlantiki iko na ukubwa wa kiasi gani?"} | |
| {"id": "258", "text": "Kenya ilipata Uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "259", "text": "Je mlima mkubwa zaidi nchini Uganda ni gani?"} | |
| {"id": "265", "text": "Je,Burundi ilpata uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "279", "text": "Je,Kenya ina vyama ngapi vya kisiasa kufikia mwaka 2019?"} | |
| {"id": "283", "text": "Bergisch Gladbach ina idadi ngapi ya watu?"} | |
| {"id": "284", "text": "Rais wa kwanza wa Ethiopia aliitwa nani?"} | |
| {"id": "289", "text": "Simba huzaa baada ya muda gani?"} | |
| {"id": "301", "text": "Tanzania ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "302", "text": "Mji mkuu wa South Sudan ni upi?"} | |
| {"id": "304", "text": "Akwilina Akwilini Bafta alizaliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "309", "text": "Je,Fransisko wa Asizi alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "317", "text": "Je,idadi ya watu nchini Ufaransa ni ngapi?"} | |
| {"id": "320", "text": "Je,Martin Luther alianzisha Uprotestanti mwaka upi?"} | |
| {"id": "321", "text": "Je,Mlima kilimanjaro ina urefu wa kilomita ngapi?"} | |
| {"id": "325", "text": "Maktoum bin Rashid Al Maktoum alikuwa makamu wa rais wa falme ipi?"} | |
| {"id": "337", "text": "Idadi ya watu wa Nchini Meksiko ni ngapi?"} | |
| {"id": "338", "text": "Kipima joto kiligunduliwa na nani?"} | |
| {"id": "343", "text": "Je, blogu ni nini?"} | |
| {"id": "351", "text": "Je, Rhodesia ya Kaskazini ina jina gani kwa sasa?"} | |
| {"id": "354", "text": "Je, ziwa Nakuru lina ndege gani maarufu?"} | |
| {"id": "358", "text": "Taifa la Kenya lilipata uhuru mwaka gani?"} | |
| {"id": "364", "text": "Kenya ina kaunti ngapi?"} | |
| {"id": "366", "text": "Je,mto mkubwa gani zaidi bara Afrika ni?"} | |
| {"id": "384", "text": "Kemikali ni nini?"} | |
| {"id": "388", "text": "Je,mwanamziki Beyonce alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "395", "text": "Jennifer Garner ana miaka mingapi?"} | |
| {"id": "396", "text": "Nani alikuwa rais wa kwanza Urusi?"} | |
| {"id": "399", "text": "Je,chama cha KANU kilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "404", "text": "Mhariri mkuu wa gazeti la NRC Handelsblad anaitwa nani?"} | |
| {"id": "408", "text": "Mtindo wa muziki wa hip hop ulianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "409", "text": "Aina za tarakilishi ni ngapi?"} | |
| {"id": "421", "text": "Astronomia ni nini?"} | |
| {"id": "422", "text": "Je,mnyama mkubwa baharini ni yupi?"} | |
| {"id": "423", "text": "Mji mkubwa nchini Afrika Kusini unaitwaje?"} | |
| {"id": "425", "text": "Je,yesu alikuwa na wafuasi wanawake?"} | |
| {"id": "429", "text": "Je, mji mkuu wa Jibuti ni upi?"} | |
| {"id": "435", "text": "Je,Mengistu Haile Mariam alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "438", "text": "Je,lugha ni nini?"} | |
| {"id": "450", "text": "Je,nani aligundua kifaa cha darubini?"} | |
| {"id": "458", "text": "Je somo la kiswahili linafunzwa Uganda?"} | |
| {"id": "459", "text": "Simone Gooden alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "466", "text": "Je,sensa hufanyika nchini Kenya baada ya kila miaka ngapi?"} | |
| {"id": "472", "text": "Je,Mji mkuu wa Namibia ni upi?"} | |
| {"id": "478", "text": "2pac Shakur aliuwawa akiwa na miaka ngapi?"} | |
| {"id": "480", "text": "Edith Chewangel Masai alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "482", "text": "Nani rais wa shirikisho la FIFA duniani?"} | |
| {"id": "491", "text": "Je,Bill Gates ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "499", "text": "Otto Von Bismarck alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "501", "text": "Je,twiga hubeba uja uzito kwa miezi ngapi?"} | |
| {"id": "502", "text": "Nchi ya Urusi iko na ukubwa wa kiasi gani?"} | |
| {"id": "504", "text": "Nani mmiliki wa kampuni ya google?"} | |
| {"id": "513", "text": "Je,Vita vya kwanza vya dunia viliisha mwaka gani?"} | |
| {"id": "516", "text": "Nchi ya Msumbiji imepakana na nchi ngapi?"} | |
| {"id": "519", "text": "Dini ya Kiislamu ina takriban watu wangapi?"} | |
| {"id": "527", "text": "Je,Michael Wamalwa Kijana alikuwa katika chama gani ya kisiasa?"} | |
| {"id": "534", "text": "Eneo la Uajemi lina ukubwa gani?"} | |
| {"id": "536", "text": "Nyuki ni nini?"} | |
| {"id": "539", "text": "Gabon ilipata uhuru mwaka gani?"} | |
| {"id": "543", "text": "Xenoni ni nini?"} | |
| {"id": "544", "text": "Je,chuo kikuu cha Moi kilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "555", "text": "Je mtoto huanza kumea meno akiwa na miezi mingapi?"} | |
| {"id": "558", "text": "Je,Elizabeth Cady Stanton alikuwa na watoto wangapi?"} | |
| {"id": "564", "text": "Jina la kisayansi la maharagwe ni nini?"} | |
| {"id": "568", "text": "Mlima Kenya una futi ngapi?"} | |
| {"id": "570", "text": "Kakao iligunduliwa na nani?"} | |
| {"id": "572", "text": "Mji mkuu wa Burundi?"} | |
| {"id": "573", "text": "Je,aliye kuwa rais wa Tanzania Julius Nyerere aliaga dunia mwaka upi?"} | |
| {"id": "575", "text": "Je,mlima Kilimanjaro in urefu wa mita ngapi?"} | |
| {"id": "596", "text": "Je,Nash Aguas alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "613", "text": "Mji mkuu wa Algeria ni upi?"} | |
| {"id": "616", "text": "Inter-territorial Language committee ilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "622", "text": "Je,maharage iko katika kundi gani ya chakula?"} | |
| {"id": "623", "text": "Nchini Kenya masomo ya Sekondari huchukua miaka mingapi?"} | |
| {"id": "627", "text": "Serbia iko na wakazi wangapi?"} | |
| {"id": "628", "text": "Ethiopia ilitawali na nchi gani katika enzi ya mkoloni?"} | |
| {"id": "637", "text": "Je,Kingereza ni lugha rasmi nchini Kanada?"} | |
| {"id": "640", "text": "Je,Mwai Kibaki ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "653", "text": "Je,mke wa Ellen DeGeneres anaitwa nani?"} | |
| {"id": "660", "text": "Mama Teresa alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "677", "text": "Mji mkuu was Tanzania ni upi?"} | |
| {"id": "680", "text": "Je,simba wa kike ndiye huwinda?"} | |
| {"id": "686", "text": "Ni nani mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft?"} | |
| {"id": "688", "text": "Albamu ya kwanza ya Diamond Platnumz inaitwaje?"} | |
| {"id": "689", "text": "Merikebu ya Argo ina nyota ngapi?"} | |
| {"id": "693", "text": "Je, zabibu hutumika kutengeneza mvinyo?"} | |
| {"id": "695", "text": "Rais wa Marekani mwaka wa 1970 anaitwaje?"} | |
| {"id": "698", "text": "Fat Joe alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "699", "text": "Geac Computer Corporation ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "705", "text": "Kuna utawa mara ngapi?"} | |
| {"id": "716", "text": "Mji mkuu wa Mexiko unaitwaje?"} | |
| {"id": "718", "text": "Je,kundi la muziki ya Westlife ina wanachama wangapi?"} | |
| {"id": "719", "text": "Je,Nollywood ni jina ya filamu za nchi gani?"} | |
| {"id": "726", "text": "FORD-Asili ilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "734", "text": "Marekani iko na idadi ngapi ya watu?"} | |
| {"id": "740", "text": "Charles-Édouard alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "754", "text": "Je, ufugaji wa wanyama ni mfumo wa kilimo?"} | |
| {"id": "755", "text": "Je,bwawa kubwa zaidi duniani ni ipi?"} | |
| {"id": "756", "text": "Je,dini ya ukristo ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "760", "text": "Antiokia ya Siria inapatika wapi?"} | |
| {"id": "780", "text": "Je, Kofi Annan alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "789", "text": "Je Kangaroo huishi kwa miaka ngapi?"} | |
| {"id": "795", "text": "Je,rais wa Syria mwaka 2019 ni nani?"} | |
| {"id": "800", "text": "Je,mashindano ya kombe la dunia ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "802", "text": "Je, kuna asilimia ngapi ya wakristo nchini Misri?"} | |
| {"id": "805", "text": "Je kuna tofauti ya farasi na punda?"} | |
| {"id": "807", "text": "Adolf Hitler alizaliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "808", "text": "Kuna aina ngapi za bakteria?"} | |
| {"id": "814", "text": "Je,Kenya ina kaunti kwa jumla?"} | |
| {"id": "821", "text": "Je,mji mkuu wa Niger ni upi?"} | |
| {"id": "827", "text": "Je, Ice Cube ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "828", "text": "Chelsea F.C. ilizinduliwa lini?"} | |
| {"id": "834", "text": "Eritrea ilipata uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "837", "text": "Simoni Petro alifariki mwaka gani?"} | |
| {"id": "850", "text": "Je,Manchester United ilizinduliwa lini?"} | |
| {"id": "862", "text": "Mji mkubwa nchini Kenya ni?"} | |
| {"id": "869", "text": "Je,mnyoo wa Ascaris lumbricoides unaweza kua hadi sentimita ngapi?"} | |
| {"id": "871", "text": "Fiziolojia ni somo la nini?"} | |
| {"id": "876", "text": "Je,Simoni Petro ndiye alimkana yesu?"} | |
| {"id": "879", "text": "Chanzo kuu cha ugonjwa wa ukambi ni gani?"} | |
| {"id": "885", "text": "Ushairi ni nini?"} | |
| {"id": "898", "text": "Je,msitu mkubwa zaidi nchini Kenya ni ipi?"} | |
| {"id": "904", "text": "Rais wa Ufaransa ni nani?"} | |
| {"id": "909", "text": "Je,bahari ya Atlantiki ina ukubwa kiasi gani?"} | |
| {"id": "913", "text": "Jina Musambwa linatokana na nini?"} | |
| {"id": "920", "text": "Je,jangwa la Sahara inapatikana katika bara gani?"} | |
| {"id": "924", "text": "Je, geji ni nini?"} | |
| {"id": "925", "text": "Rais wa kwanza wa Ghana alikuwa anaitwa nani?"} | |
| {"id": "932", "text": "Je virusi vya ukimwi vina kinga?"} | |
| {"id": "934", "text": "Msitu wa Amazon una ukubwa gani?"} | |
| {"id": "937", "text": "Albamu ya Better Dayz ilitolewa mwaka upi?"} | |
| {"id": "938", "text": "Rais wa Marekani mwaka wa 2000 anaitwa nani?"} | |
| {"id": "939", "text": "Hermann von Wissmann alianza upelelezi mwaka gani?"} | |
| {"id": "940", "text": "Mji mkuu wa Kenya ni gani?"} | |
| {"id": "957", "text": "Rais wa kwanza wa Sudan ni nani?"} | |
| {"id": "958", "text": "Je,Mwai Kibaki alitawala Kenya kwa miaka ngapi?"} | |
| {"id": "959", "text": "Je, ni chembe gani za damu husafirisha oksijeni?"} | |
| {"id": "962", "text": "Nigeria ilipata huru mwaka gani?"} | |
| {"id": "963", "text": "Jina wa mji wa Ifakara linatokana na nini?"} | |
| {"id": "971", "text": "Ni bahari gani kubwa zaidi duniani?"} | |
| {"id": "978", "text": "Je,punda iko katika spishi gani ya wanyama?"} | |
| {"id": "979", "text": "Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilianzishwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "981", "text": "Meddie Kagere alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "986", "text": "Taifa la Rwanda lilipata uhuru mwaka gani?"} | |
| {"id": "987", "text": "Je mziki wa hiphop ulianza mwaka upi marekani?"} | |
| {"id": "988", "text": "Jokate Mwegelo aliteuliwa kama DC mwaka gani?"} | |
| {"id": "993", "text": "Je,mji mkuu wa Mexiko ni upi?"} | |
| {"id": "1016", "text": "Je,kuna wanaume wenye homoni ya Estrojeni?"} | |
| {"id": "1018", "text": "Je,Nigeria ilipata uhuru lini?"} | |
| {"id": "1020", "text": "Je,jangwa kubwa kabisa bara Afrika ni ipi?"} | |
| {"id": "1030", "text": "Mji mkuu wa Burundi ni upi?"} | |
| {"id": "1031", "text": "Je,Diamond Platnumz ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "1033", "text": "Je,Togo ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "1038", "text": "Je, nchi ya Nigeria ilitawaliwa na nchi gani enzi za mkoloni?"} | |
| {"id": "1040", "text": "Mlipuko wa Hiroshima ulitokea mwaka gani?"} | |
| {"id": "1041", "text": "Uturuki iko na idadi ngapi ya watu?"} | |
| {"id": "1045", "text": "Mengistu Haile Mariam ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "1048", "text": "Je,bahari ya Shamu ina ukubwa wa kiasi gani?"} | |
| {"id": "1049", "text": "Je, bangi ni dawa?"} | |
| {"id": "1056", "text": "Je,Kenya ina kabila ngapi kwa jumla?"} | |
| {"id": "1058", "text": "Je, gari la kwanza lilitumia mafuta aina gani?"} | |
| {"id": "1068", "text": "Je, kuna aina ngapi za elementi?"} | |
| {"id": "1077", "text": "Je,Sherone Simpson alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "1084", "text": "Burukenge iko katika spishi gani ya wanyama?"} | |
| {"id": "1085", "text": "Wakurdi ni watu wa jamii gani?"} | |
| {"id": "1087", "text": "Je, Ni bahari ipi kubwa zaidi?"} | |
| {"id": "1089", "text": "Marekani imekuwa na rais wangapi?"} | |
| {"id": "1090", "text": "Je mwanamziki Chrisbrown alianza kuimba mwaka upi?"} | |
| {"id": "1105", "text": "Je,mji mkuu wa Irani ni upi?"} | |
| {"id": "1118", "text": "Nani mwanzilishi wa kitabu ya rekodi ya guinness?"} | |
| {"id": "1126", "text": "Je,Emily Ruete alikuwa na watoto?"} | |
| {"id": "1135", "text": "Panya-mito ana ukubwa gani?"} | |
| {"id": "1138", "text": "Bahari kubwa duniani inaitwaje?"} | |
| {"id": "1141", "text": "NASA ilianzishwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1143", "text": "Chupong Changprung alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "1150", "text": "Ugonjwa wa Tutuko una tiba?"} | |
| {"id": "1151", "text": "Goat Island inapatikana nchi gani?"} | |
| {"id": "1152", "text": "Je,Marianne Koch ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "1154", "text": "Ukuta wa China ulijengwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "1170", "text": "Je,Kenya ina idadi ya vyama vya kisiasa ngapi mwaka 2019?"} | |
| {"id": "1177", "text": "Je,Uholanzi iko katika bara gani?"} | |
| {"id": "1178", "text": "Je,Twiga hubeba uja uzito kwa muda gani?"} | |
| {"id": "1179", "text": "Mji mkuu wa Hispania ni upi?"} | |
| {"id": "1181", "text": "Je,mlima Teide ina urefu wa mita ngapi?"} | |
| {"id": "1182", "text": "Je,Don Riddell alisomea katika chuo gani kikuu?"} | |
| {"id": "1193", "text": "Kuna aina ngapi ya maua ya Buganivilia?"} | |
| {"id": "1204", "text": "Je,chombo cha kupima joto mwilini kinaitwa vipi?"} | |
| {"id": "1221", "text": "Wafransisko ni watu wa dini gani?"} | |
| {"id": "1233", "text": "Je,Christiano Ronaldo alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1236", "text": "Shule ya Kimataifa ya Brookhouse ilifunguliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1244", "text": "Kampuni ya Safaricom ilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "1246", "text": "Je,Barack Obama ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "1247", "text": "Je, mke wa rais wa Tanzania aliitwa nani?"} | |
| {"id": "1249", "text": "Je,Safaricom ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "1252", "text": "Je, Ellen ana mume?"} | |
| {"id": "1258", "text": "Bandari ya Alexandria inapatikana wapi?"} | |
| {"id": "1259", "text": "Derby Museum and Art Gallery ilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "1261", "text": "Bahari kubwa duniani ina ukubwa gani?"} | |
| {"id": "1264", "text": "Je,Ndovu hubeba mimba kwa miezi ngapi?"} | |
| {"id": "1270", "text": "Umeme hupimwa kwa kifaa kipi?"} | |
| {"id": "1275", "text": "Paul Labile Pogba alizaliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "1277", "text": "Martin Luther aliandika vitabu vingapi?"} | |
| {"id": "1280", "text": "Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "1282", "text": "Mpira wa kikapu ulianzia nchi gani?"} | |
| {"id": "1302", "text": "Mji mkuu wa Mongolia unaitwaje?"} | |
| {"id": "1304", "text": "Aliyekuwa rais wa Iraki, Sadam Hussein alifariki mwaka gani?"} | |
| {"id": "1306", "text": "Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani lilitawala kwa miaka mingapi?"} | |
| {"id": "1310", "text": "Kuna idadi ngapi ya Wamaasai nchini Kenya?"} | |
| {"id": "1313", "text": "Geac Computer Corporation ilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "1315", "text": "Je, klabu ya Manchester United ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "1316", "text": "Rais wa kwanza wa Urusi alikuwa nani?"} | |
| {"id": "1319", "text": "Je, mziki wa hip hop nchini Tanzania ulianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "1321", "text": "Rais wa kwanza wa Malawi anaitwa nani?"} | |
| {"id": "1335", "text": "Je,mto mkubwa zaidi bara Afrika ni upi?"} | |
| {"id": "1338", "text": "Sinkopu ina tiba?"} | |
| {"id": "1339", "text": "Je,chama cha Nazi kilianza uongozi nchini Ujerumani mwaka upi?"} | |
| {"id": "1343", "text": "Je,Ice Cube ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "1348", "text": "Homa ya Bonde la Ufa ina tiba?"} | |
| {"id": "1349", "text": "Je,Nigeria ilipata uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "1356", "text": "Nchi ya Rwanda ilipata uhuru mwaka gani?"} | |
| {"id": "1376", "text": "Visiwa vya South Georgia vina ukubwa gani?"} | |
| {"id": "1377", "text": "Jangwa kubwa zaidi duniani ni gani?"} | |
| {"id": "1379", "text": "Dk. Angela Dorothea Merkel alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "1380", "text": "Je,ashiki ni nini?"} | |
| {"id": "1383", "text": "Je,Lagos ina idadi ya takriban watu wangapi?"} | |
| {"id": "1384", "text": "Mto mrefu zaidi nchini Misri ni upi?"} | |
| {"id": "1386", "text": "Je, rais wa kwanza Malawi aliitwa nani?"} | |
| {"id": "1387", "text": "Je,nani mwanzilishi wa dini ya Katoliki?"} | |
| {"id": "1399", "text": "Kabila la Wazigula lina idadi ngapi ya watu?"} | |
| {"id": "1407", "text": "Bahari kubwa duniani ni gani?"} | |
| {"id": "1408", "text": "Japani iko na jumla ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "1411", "text": "Je,jeraha ya moto kwa ngozi hutibiwa na nini?"} | |
| {"id": "1416", "text": "Je,ni ziwa gani kubwa zaidi nchini Kenya?"} | |
| {"id": "1422", "text": "Mji mkuu wa Côte d'Ivoire unaitwaje?"} | |
| {"id": "1423", "text": "Asili ya muziki wa dansi ni gani?"} | |
| {"id": "1425", "text": "Je,kampuni ya mawasiliano ya Safaricom ilianza lini?"} | |
| {"id": "1430", "text": "Je,mji mkuu wa Italy ni upi?"} | |
| {"id": "1432", "text": "Je kuku anaishi kwa muda gani?"} | |
| {"id": "1440", "text": "Mtayarishaji wa kipindi cha 24 anaitwa nani?"} | |
| {"id": "1441", "text": "Ni Kisiwa gani kubwa zaidi duniani?"} | |
| {"id": "1455", "text": "Mariah Carey alianza kuimba akiwa na miaka mingapi?"} | |
| {"id": "1459", "text": "Je, Soya iligunduliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "1463", "text": "Nani mwanzilishi wa mtandao ya kijamii ya whatsapp?"} | |
| {"id": "1465", "text": "Je, Edith Chewangel Masai ana miaka mingapi?"} | |
| {"id": "1477", "text": "Mlima mrefu zaidi nchini Tanzania ni upi?"} | |
| {"id": "1479", "text": "Je, rais wa kwanza wa Jamhuri ya Tanzania anaitwa nani?"} | |
| {"id": "1480", "text": "Je,Jada Koren Pinkett Smith ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "1484", "text": "Je,rais wa kwanza wa Marekani alikuwa nani?"} | |
| {"id": "1491", "text": "Kenya ilitawaliwa na nchi gani enzi za ukoloni?"} | |
| {"id": "1495", "text": "Je,Kenya ilipata Uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "1498", "text": "Je,chombo cha kupima joto mwilini kilizinduliwa na nani?"} | |
| {"id": "1503", "text": "Je, Martin Luther alikuwa mlutheri?"} | |
| {"id": "1507", "text": "Je,serikali ya nchi ya Kenya ina mfumo upi ?"} | |
| {"id": "1514", "text": "Mwanafalsafa wa kwanza Uchina alikuwa anaitwa nani?"} | |
| {"id": "1517", "text": "Je,nani mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha KANU?"} | |
| {"id": "1523", "text": "Simba huanza kuwinda baada ya miezi ngapi?"} | |
| {"id": "1528", "text": "Je,Nelson Mandela alifungwa jela kwa muda upi?"} | |
| {"id": "1533", "text": "Kikokotoo kiligunduliwa na nani?"} | |
| {"id": "1535", "text": "Fasihi andishi ni nini?"} | |
| {"id": "1541", "text": "Kiongozi wa kwanza wa jeshi la Izz ad-Din al-Qassam Brigades anaitwa nani?"} | |
| {"id": "1550", "text": "Mlima mrefu zaidi nchini Tanzania unaitwaje?"} | |
| {"id": "1555", "text": "Raila Odinga aliingia katika siasa mwaka gani?"} | |
| {"id": "1557", "text": "Bara Asia ina nchi ngapi?"} | |
| {"id": "1564", "text": "Je,mke wa rais wa Tanzania Pombe Magufuli anaitwa nani?"} | |
| {"id": "1576", "text": "Je,jina la kisayansi ya bata ni ipi?"} | |
| {"id": "1587", "text": "Je,Msitu wa Kakamega ina ukubwa gani?"} | |
| {"id": "1588", "text": "Je,Ndovu anaweza ishi kwa takriban miaka ngapi?"} | |
| {"id": "1600", "text": "Robert Baden-Powell alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "1605", "text": "Waashanti ni watu wa nchi gani?"} | |
| {"id": "1609", "text": "Jefferson Antonio Montero alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "1610", "text": "How to Stop an Exploding Man ni sehemu ya ishirini na tatu ya kipindi gani?"} | |
| {"id": "1629", "text": "Je, Benito Mussolini alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "1639", "text": "Je,jina la kisayansi ya tunda ya ndimu ni ipi?"} | |
| {"id": "1648", "text": "Je,2Pac alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1656", "text": "Je,Ally Kleist Sykes alizaliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "1661", "text": "Je,mziki wa kizazi kipya nchini Tanzania ina jina gani?"} | |
| {"id": "1669", "text": "Je, Ali Muhsin Al-Barwani alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "1674", "text": "Je,mji wa Yamoussoukro ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "1677", "text": "Tawahudi ina tiba?"} | |
| {"id": "1689", "text": "Mohammed VI ana mke?"} | |
| {"id": "1694", "text": "Je,albamu ya kwanza ya Westlife ilikuwa gani?"} | |
| {"id": "1697", "text": "Je, lugha ya Swahili inazungumziwa na nchi ngapi bara Afrika?"} | |
| {"id": "1703", "text": "Jean Pruitt alikuwa nani?"} | |
| {"id": "1714", "text": "Je,Orange Democratic Movement Party of Kenya kilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "1722", "text": "Je,klabu ya Manchester united ilizinduliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1729", "text": "Vita,vya pili vya dunia vilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "1748", "text": "Je, Harriet Tubman alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "1749", "text": "Je,Ethipoia ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "1754", "text": "Je,mke wa Bill Gates anaitwa nani?"} | |
| {"id": "1756", "text": "Tanzania ilitawaliwa na nchi gani kipindi cha ukoloni?"} | |
| {"id": "1770", "text": "Nani alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania?"} | |
| {"id": "1772", "text": "Sultan wa kwanza wa Zanzibar anaitwaje?"} | |
| {"id": "1778", "text": "Je,kampuni ya Kenya Data Networks ilizinduliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1782", "text": "Je,mto mkubwa kabisa duniani ni upi?"} | |
| {"id": "1796", "text": "Ugonjwa wa Ukimwi uligunduliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "1797", "text": "Je, mwanamziki Diamond alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1804", "text": "Spishi ya pili ya Cheche inaitwaje?"} | |
| {"id": "1808", "text": "Uganda ina wilaya ngapi?"} | |
| {"id": "1809", "text": "Je, mfumo wa NATO ulianza mwaka gani?"} | |
| {"id": "1813", "text": "Guinea ilipata uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "1816", "text": "Khalilou Fadiga alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1818", "text": "Je,jiji la Nairobi ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "1826", "text": "Je,mbwa huishi takriban miaka ngapi?"} | |
| {"id": "1835", "text": "Je,mlima Kilimanjaro ina urefu wa mita ngapi?"} | |
| {"id": "1840", "text": "Je, Irene Kiwia alisomea katika chuo kikuu gani?"} | |
| {"id": "1843", "text": "Ni nchi gani ilijulikana kama Rhodesia hapo awali?"} | |
| {"id": "1844", "text": "Kuna aina ngapi ya fasihi?"} | |
| {"id": "1845", "text": "Je,Uganda ilipata Uhuru mwaka upi?"} | |
| {"id": "1849", "text": "Mchezo wa soka una wachezaji wangapi kila upande?"} | |
| {"id": "1853", "text": "Je,nani mwanzilishi wa chama cha kisiasa ya Nazi?"} | |
| {"id": "1858", "text": "Je,Adolf Hitler alizikwa wapi?"} | |
| {"id": "1860", "text": "Ashiki ni nini?"} | |
| {"id": "1867", "text": "NRC Handelsblad huchapishwa na kampuni gani?"} | |
| {"id": "1874", "text": "Msanii Dknob alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "1892", "text": "Chanzo cha Ziwa Tanganyika ni gani?"} | |
| {"id": "1893", "text": "Je,mji mkuu wa Sudan ni Upi?"} | |
| {"id": "1895", "text": "Samir Nasri ni raia wa nchi gani?"} | |
| {"id": "1897", "text": "Rais wa kwanza wa Zambia alikuwa nani?"} | |
| {"id": "1899", "text": "Uhalisia ni nini?"} | |
| {"id": "1905", "text": "Je,ndimu iko katika kundi moja na tunda la machungwa?"} | |
| {"id": "1914", "text": "Je,kaunti ya Nakuru iko na idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "1923", "text": "Je,ni sayari gani kubwa zaidi?"} | |
| {"id": "1926", "text": "Zamaradi Mketema ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "1928", "text": "Pesa kuu duniani ni gani?"} | |
| {"id": "1936", "text": "Je,bara Asia ina idadi ya nchi ngapi kwa jumla?"} | |
| {"id": "1938", "text": "Kundinyota la Mkuku Carina lina nyota ngapi?"} | |
| {"id": "1944", "text": "Je,Madagaska ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "1951", "text": "Kamusi ya kwanza ya lugha ya Kiswahili iliandikwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "1958", "text": "Rais wa kwanza wa Ghana anaitwa na nani?"} | |
| {"id": "1961", "text": "Mji mkuu wa New Zealand unaitwaje?"} | |
| {"id": "1968", "text": "Je,bakteria ni nini?"} | |
| {"id": "1994", "text": "Polyakova alishinda medali gani katika olimpiki ya 2008?"} | |
| {"id": "2000", "text": "Nguruwe anaweza pata watoto wangapi wakati mmoja?"} | |
| {"id": "2013", "text": "Je, kuna tiba ya maumivu ya kiuno?"} | |
| {"id": "2023", "text": "Mlima kubwa Asia ni gani?"} | |
| {"id": "2026", "text": "Je,idadi ya watu nchini Sudani ni ngapi?"} | |
| {"id": "2047", "text": "Je,kombe la dunia ya kandanda ilifanyika nchi gani mwaka 2014?"} | |
| {"id": "2062", "text": "Kerron Stewart alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "2068", "text": "Je, Mto mrefu zaidi ulimwenguni unaitwaje?"} | |
| {"id": "2071", "text": "Jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikirgizi liliandikwa kwa lugha gani?"} | |
| {"id": "2081", "text": "Je,mji mkuu wa Meksiko ni upi?"} | |
| {"id": "2083", "text": "Mji mkuu wa Australia ni upi?"} | |
| {"id": "2086", "text": "Je,mlima mkubwa zaidi barani Asia ni ipi?"} | |
| {"id": "2089", "text": "Tofauti kuu baina ya Punda na Punda milia ni ipi?"} | |
| {"id": "2091", "text": "Wiktionary ilianzishwa lini?"} | |
| {"id": "2092", "text": "Rais wa kwanza wa Meksiko ni nani?"} | |
| {"id": "2095", "text": "Je,Carlos Federico Ruckauf alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "2097", "text": "Je,Adolf Hitler alikuwa na mke?"} | |
| {"id": "2098", "text": "Mafuta ya petroli yanatoa wapi jina lake?"} | |
| {"id": "2100", "text": "Je,kaswende ina tiba?"} | |
| {"id": "2105", "text": "Nini maana ya fasihi simulizi?"} | |
| {"id": "2113", "text": "Je,Bahari hindi iko katika kaunti ngapi nchini Kenya?"} | |
| {"id": "2122", "text": "Mkurugenzi mkuu wa kwanza wa Microsoft ni nani?"} | |
| {"id": "2125", "text": "Nchi ya Côte d'Ivoire ina idadi gani ya watu?"} | |
| {"id": "2132", "text": "Je,kampuni ya Microsoft ilianza lini?"} | |
| {"id": "2133", "text": "Je,hidrojeni ni nini?"} | |
| {"id": "2134", "text": "Je,ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa lini kwa mara ya kwanza?"} | |
| {"id": "2140", "text": "Mwili wa mwanadamu una mifupa mingapi?"} | |
| {"id": "2141", "text": "Fransisko wa Asizi alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "2142", "text": "Je, bahari ya Pasifiki ina kina kiasi gani?"} | |
| {"id": "2147", "text": "Je,Kiswahili ndio ligha pekee rasmi ya Tanzania?"} | |
| {"id": "2148", "text": "Je,kuna elementi ngapi za kemikali?"} | |
| {"id": "2153", "text": "Mji mkuu Senegal ni upi?"} | |
| {"id": "2155", "text": "Je,Johann Bayer alisomea katika chuo kikuu gani?"} | |
| {"id": "2180", "text": "Je, Ndovu huishi kwa miaka ngapi?"} | |
| {"id": "2181", "text": "Falsafa ni nini?"} | |
| {"id": "2192", "text": "Chama cha Nazi kilianzishwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "2196", "text": "Bahari Atlantiki iko na ukubwa wa kiasi gani?"} | |
| {"id": "2197", "text": "Je, minyoo iko katika spishi gani ya wadudu?"} | |
| {"id": "2205", "text": "Je, nchi ya Kenya ina vyama vingapi vya kisiasa?"} | |
| {"id": "2220", "text": "Amerigo Vespucci alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "2224", "text": "Kemia kaboni ni nini?"} | |
| {"id": "2227", "text": "Je, Paul Labile Pogba ana pacha?"} | |
| {"id": "2234", "text": "Je,malkia wa kwanza wa Uingereza aliitwa nani?"} | |
| {"id": "2236", "text": "Je,TANU inamaanisha nini?"} | |
| {"id": "2245", "text": "Longido iko wilaya gani?"} | |
| {"id": "2258", "text": "Jada Koren Pinkett Smith ana watoto wangapi?"} | |
| {"id": "2260", "text": "Eneo la Uskoti una ukubwa gani?"} | |
| {"id": "2275", "text": "Je, bara la asia lina nchi ngapi?"} | |
| {"id": "2276", "text": "Je,chuo kikuu kongwe zaidi nchini Kenya ni gani?"} | |
| {"id": "2278", "text": "Je,Kombe la Mataifa ya Afrika ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "2286", "text": "Je, nchi ya Mexico ina takriban watu wangapi?"} | |
| {"id": "2288", "text": "Je,kuna tofauti kati ya Sungura na Sungura wa Kizungu?"} | |
| {"id": "2297", "text": "Kampuni ya Rockport ilianzishwa na nani?"} | |
| {"id": "2308", "text": "Blog ni nini?"} | |
| {"id": "2330", "text": "Je simba hubeba mimba kwa miezi ngapi?"} | |
| {"id": "2340", "text": "Bahari ya Mediteranea ina ukubwa gani?"} | |
| {"id": "2344", "text": "Je,mke wa Jawaharlal Nehru alikuwa anaitwa nani?"} | |
| {"id": "2348", "text": "Yesu Kristo aliishi duniani kwa miaka mingapi?"} | |
| {"id": "2353", "text": "TANU ina maana gani?"} | |
| {"id": "2364", "text": "Malkia Kleopatra alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "2372", "text": "Kabila lenye idadi kubwa ya watu nchini Tanzania ni lipi?"} | |
| {"id": "2382", "text": "Ziwa Natron lina kina kiasi gani?"} | |
| {"id": "2384", "text": "Je ni nyota gani yenye mwangaza zaidi?"} | |
| {"id": "2388", "text": "Otto Von Bismarck alifariki mwaka gani?"} | |
| {"id": "2389", "text": "Je,mkoa wa Shinyanga ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "2393", "text": "Je, China ina idadi ngapi ya watu?"} | |
| {"id": "2407", "text": "Albamu ya R U Still Down, ilizinduliwa mwaka gani?"} | |
| {"id": "2408", "text": "Je,Wilma Rudolph alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "2412", "text": "Je,Madgaska ina ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "2414", "text": "Yeroboamu II alitawala kwa miaka mingapi?"} | |
| {"id": "2434", "text": "Mji mkuu wa Tanzania unaitwaje?"} | |
| {"id": "2439", "text": "Je,mji mkuu wa Uswidi ni upi?"} | |
| {"id": "2440", "text": "Je,The Weeknd alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "2449", "text": "Makoto Hasebe alizaliwa wapi?"} | |
| {"id": "2453", "text": "Adolf Hitler alikuwa rais wa Ugerumani mwaka upi?"} | |
| {"id": "2455", "text": "Je,mwanamuziki Beyonce alifunga harusi mwaka upi?"} | |
| {"id": "2458", "text": "Je,Abuja ina idadi ya watu wangapi?"} | |
| {"id": "2465", "text": "Je,Tom Mboya alizaliwa lini?"} | |
| {"id": "2466", "text": "Maandishi ya kwanza yalikuwa katika lugha gani?"} | |
| {"id": "2470", "text": "Je,mji mkuu Uganda ni upi?"} | |
| {"id": "2471", "text": "Je, nchi ya kenya ina jamii ngapi?"} | |
| {"id": "2477", "text": "Alinikisa Cheyo aliteuliwa kuwa askofu mwaka upi?"} | |
| {"id": "2485", "text": "Mohamed Said Salum ametunga vitabu vingapi?"} | |
| {"id": "2493", "text": "Je,nini maana ya sayansi?"} | |
| {"id": "2501", "text": "Je,nani wa kwanza duniani kuenda kwa mwezi?"} | |
| {"id": "2514", "text": "Bahari kubwa zaidi ulimwenguni inaitwaje?"} | |
| {"id": "2522", "text": "Je, Kampuni ya Rockport ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "2530", "text": "Mto mrefu zaidi Afrika ni gani?"} | |
| {"id": "2535", "text": "Mchezo wa voliboli ulianzishwa na nchi gani?"} | |
| {"id": "2542", "text": "Chama cha kisiasa kilicho tawala Kenya kwa muda mrefu ni kipi?"} | |
| {"id": "2545", "text": "Je,bunge la juu jimbo la Illinois ilianza mwaka upi?"} | |
| {"id": "2546", "text": "Mwanamziki wa Kenya Willy Paul alizaliwa mwaka upi?"} | |
| {"id": "2549", "text": "Bakteria iligunduliwa na nani?"} | |
| {"id": "2561", "text": "Jina la kuzaliwa la msanii 2Pac ni nini?"} | |
| {"id": "2564", "text": "Rais wa kwanza wa Zimbabwe anaitwa nani?"} | |
| {"id": "2566", "text": "Je,rais wa tano nchini Marekani alikuwa nani?"} | |
| {"id": "2569", "text": "Bahari zote ziko na maji ya chumvi?"} | |
| {"id": "2575", "text": "Je, Sayari ya Dunia ina ukubwa gani?"} | |
| {"id": "2577", "text": "Je, bara Asia lina visiwa vingapi?"} | |
| {"id": "2580", "text": "Satelaiti iliwekwa angani na nani?"} | |
| {"id": "2592", "text": "Mlima Kilimanjaro ina futi ngapi?"} | |
| {"id": "2597", "text": "Paul Schulze alizaliwa mwaka upi?"} | |