Datasets:
text stringlengths 0 24.2k | label class label 6
classes |
|---|---|
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema, itafanya misafara ya kutangaza utalii kwenye miji minne nchini China kati ya Juni 19 hadi Juni 26 mwaka huu.Misafara hiyo itatembelea miji ya Beijing Juni 19, Shanghai Juni 21, Nanjig Juni 24 na Changsha Juni 26.Mwenyekiti wa bodi TTB, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameyasema hayo kw... | 0uchumi |
PENDO FUNDISHA-MBEYA RAIS Dk. John Magufuri, ametangaza kuwafukuza
kazi wakurugenzi wote wa halmashauri ambao watabainika kukiuka sheria ya
ufutaji wa tozo za ushuru wa mazao. Alisema baada ya kuingia madarakani, Serikali
iliondoa tozo 80, miongoni mwa hizo tozo ushuru wakulima ambao walikuwa
wakilipa mazao kutoka hal... | 1kitaifa |
Mwandishi Wetu -Singida BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 katika wilaya kadhaa nchini. Misaada iliyotolewa na benki hiyo inayoongoza kwa kutengeneza faida kati ya benki zote zinazofanya biashara humu nchini ndani ya miezi mitano mwaka huu, inahusisha vifaa vya ujen... | 0uchumi |
TIMU ya taifa ya Tanzania, Serengeti Boys jana ilijiweka katika nafasi fi nyu katika mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 17 baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Uganda kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Uganda waliandika bao lao la kwanza katika dakika ya 15 lililofungwa na Kawooya And... | 2michezo |
Na AGATHA CHARLES – DAR ES SALAAM ALIYEKUWA Katibu wa Bunge na Serikali za Mitaa katika Sekretarieti ya Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange, amejiondoa uanachama wa chama hicho na kujiweka kando na siasa. Taarifa ya uamuzi huo wa Mchange ilisambazwa jana katika mitandao ya kijamii, ikionyesha kuandikwa naye huku i... | 1kitaifa |
MAJADILIANO kati ya aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kulthum Mansoor anayekabiliwa na mashitaka ya utakatishaji fedha na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), yamekufa baada ya pande hizo kushindwa kuafi kiana.Wakili wa Utetezi,... | 1kitaifa |
Mwandishi
Wetu – butiama MKUU wa majeshi
mstaafu, Jenerali David Msuguri, ameadhimisha miaka 100 tangu azaliwe Januari
4, 1920. Licha ya
uwezo wake wa kutembea kupungua, Jenerali Msuguri ambaye amelitumikia Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka 55 na miezi saba, ameadhimisha miaka 100
akionekana mwenye nguvu ... | 1kitaifa |
['Huenda Manchester United ikasubiri ukaguzi wa mchezaji wa kiungo cha mbele raia wa Ufaransa Anthony Martial, mwenye umri wa miaka 23, kabla ya kuruhusu uhamisho wa mkopo wa mchezaji wa kimataifa wa Chile Alexis Sanchez, mwenye umri wa miaka 30, kwenda Inter Milan. (Guardian)', 'Paris St-Germain imeambia Real Madrid i... | 2michezo |
SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) linakuja na Bima ya Kilimo, itakayosaidia kuunga mkono jitihada za serikali za kujenga uchumi wa viwanda.Mkurugenzi Mtendaji wa NIC, Sam Kamanga amesema kilimo ndiyo uti wa mgongo wa taifa na ndicho kinachotoa malighafi nyingi za viwandani nchini, hivyo aina hiyo ya bima itasaidia kujeng... | 0uchumi |
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Zanzibar kuendelea kuidumisha hali ya amani na utulivu ambayo ndio msingi wa mafanikio yanayoendelea kupatikana hivi sasa na yatakayopatikana baadaye.Dk Shein aliyasema hayo juzi katika risala yake ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2019 aliyoitoa kupitia vyombo ... | 1kitaifa |
STOCKHOLM, SWEDEN SERIKALI ya Sweden
imemrudisha nyumbani balozi wake nchini China kuhusiana na kuhusika kwake
katika mkutano wenye utata uliohusisha binti wa muuza vitabu mwenye asili ya
mataifa hayo mawili, ambaye anashikiliwa na China. Balozi Anna
Lindstedt, aliondoka Beijing juzi, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ... | 3kimataifa |
KAMPUNI ya Kuhifadhi Mafuta ya Tanzania (Tiper) imesema gawio la Sh bilioni sita iliyotoa kwa wanahisa wake, ambao ni serikali na Kampuni ya ADDAX-ORYX GROUP ya Uswisi, ni ongezeko kutoka kiwango cha Sh bilioni moja iliyotoa katika miaka ya mwisho ya 2000.Akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi hisa kwa serikali ambayo ... | 0uchumi |
Na SAMWEL MWANGA
SERIKALI Wilaya ya Maswa imewaonya wamiliki wa pikipiki zinazosafirisha abiria maarufu kwa jina la bodaboda kuhakikisha madereva wanaowakabidhi pikipiki hizo ni wale waliopata mafunzo ya usalama barabarani.
Agizo hilo lilitolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk. Seif Shekalaghe alipofun... | 1kitaifa |
NA CHRISTOPHER MSEKENA MWIMBAJI wa nyimbo za Injili, Ussy Charugamba, amesema katika wakongwe kwenye tasnia hiyo, anamkubali zaidi Rose Mhando kwa kuwa amewaonyesha njia waimbaji wengi. Bosi huyo wa Ussy Production, ameliambia MTANZANIA kuwa anajiona mwenye bahati kufanya kazi na Rose Mhando kwa kumshirikisha kwenye w... | 4burudani |
MBUNGE wa Makambako, Deo Sanga maarufu Jah People (CCM), ameshauri Rais John Magufuli kuongezewa kipindi kimoja cha uongozi ambacho badala ya kumaliza urais mwaka 2025, akae hadi mwaka 2030.“Rais wetu (Magufuli) ana maono makubwa ya kuifikisha mbali nchi yetu, hivyo aombewe awe rais wa kudumu, aongezewe kipindi kimoja... | 1kitaifa |
Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, ambapo mshindi mbali na kutwaa taji hilo, pia atapata tiketi ya kuiwakilisha nchi katika Kombe la Shirikisho Afrika. Pia mshindi huyo atakabidhiwa kitita cha Sh milioni 50.Homa na presha kwa mashabiki na viongozi mbalimbali wa timu hizo imekuwa kubwa na wengi ... | 2michezo |
BRUSSELS, UBELGIJI
VIONGOZI wa Ulaya wametangaza wataendelea kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya Iran muda mfupi baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kujitoa kutoka mkataba huo.
Wakati Umoja wa Mataifa (UN), Ulaya, Iran, Urusi na China zikiishangaa Marekani, Israel na Saudi Arabia zimeshangilia uamuzi w... | 3kimataifa |
Na FESTO POLEA-DAR ES SALAAM KATI ya redio zaidi ya 100 na runinga zaidi ya 20 zilizopo nchini, ni vituo vitatu tu vikiwamo vya Mlimani tv, Azam tv na Joy Fm ya Kigoma ndivyo vilivyolipa mirabaha kwa kutumia kazi za wasanii nchini. Mkaguzi wa Hakimiliki kutoka Chama cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), Paul Mabula, alise... | 4burudani |
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM WAAMUZI kutoka nchini Somalia wamepangwa kuchezesha mechi ya hatua ya awali ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi kati ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na Malawi ‘The Flames’ utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa. Mtandao wa Shirikisho la Soka la Kimat... | 2michezo |
UUNGANISHAJI maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kwa mkopo umeshika kasi katika maeneo mbalimbali huku mamlaka ikisema inakwenda hatua kwa hatua na wakazi wote jijini watapata maji.Akizungumza hivi karibuni katika kipindi cha ‘Tunatekeleza’ kinachorushwa na chaneli ya TBC One ya Shirika la U... | 1kitaifa |
Shabalala aliumia juzi usiku nyama za paja katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya URA ambapo Simba ilishinda bao 1-0.Katika mchezo huo mchezaji huyo aliumia dakika ya 64 na anatarajiwa kuwa nje kwa takribani wiki sita. “Tshabalala ameumia na atakuwa nje karibu wiki sita, kwa kweli kutanigharimu,” alisema.Aidha k... | 2michezo |
NIMEKUWA nikikagua kwa umakini sana video za wasanii mbalimbali hususan wa Bongo Fleva katika ubora wake ili kujiridhisha kama bajeti za kushutia wanazozitaja zinalingana na ukweli halisi kwa kuzingatia mambo mbalimbali ya kiweledi. Kwenye kwaliti sio inshu lakini kwenye uhalisia ndiyo inshu na kichupa kikibamba na ku... | 4burudani |
Kadhalika, serikali imetakiwa kudhibiti matumizi ya dola nchini, hatua ambayo itasaidia kuimarisha thamani ya Shilingi ambayo kushuka kwake kunasababisha bidhaa zinazoingia nchini kupanda bei.Akichangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/16, Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola, alisema kuachwa kwa nchi yetu ... | 0uchumi |
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika barua kwenda kwa Wenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akiwataka wasaidie kuzuia chama hicho kisifutiwe usajili wa kudumu, ikiwezekana kwa kuzungumza na Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli.Alisema hayo mjini ... | 1kitaifa |
Na Mwandishi wetu, Mbeya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara ambao hawajakadiriwa Kodi ya mapato kwa kipindi kinachoishia Marchi 31, mwaka huu kufika katika ofisi za mamlaka hiyo kukadiriwa na kulipa Kodi zao kabla ya Juni 30,2020. Hayo yamezungumzwa leo jijini Mbeya na Kaimu Meneja wa Elimu kwa ... | 0uchumi |
NEW YORK, MAREKANI NYOTA wa muziki wa RnB nchini Marekani, Shaffer
Smith maarufu kwa jina la Ne-Yo, ameweka wazi kuwa hajala nyama wala vitu
vyovyote vinavyotokana na wanyama kwa miaka miwili sasa. Msanii huyo mwenye umri wa miaka 39, amedai
kwa kipindi hicho chote alikuwa anakula vyakula vinavyotokana na mimea huku
a... | 3kimataifa |
RAMADHAN HASSAN -DODOMA WAZIRI wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika, amezitaka
wizara pamoja na taasisi zote kuhakikisha zinawalipa mishahara pamoja na
stahili zote watumishi ambao wamepandishwa madaraja kulingana na nafasi walizo
nazo sasa. Pia ameagiza
upandishaji wa madaraja kwa watumish... | 1kitaifa |
*Puma
yaungana na Umoja wa Mataifa kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabara Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam KAMPUNI ya Mafuta Energy Tanzania imeungana na
Shirika la Umoja wa Mataifa kuadhimisha wiki ya usalama barabarani huku kampuni
hiyo ikitoa wito kwa madereva nchini kuzingatia sheria za usalama barabarani
kw... | 1kitaifa |
NA JESSCA NANGAWE BEKI wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa, Hamis Yusuph, amemtaka Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina, kumpa nafasi beki wake chipukizi, Hajji Shaibu ‘Ninja’, ili kumjengea kujiamini na kuonyesha kipaji chake na si kumuweka benchi. Yanga leo itashuka dimbani kuvaana na Njombe Mji, iliyopanda daraja... | 2michezo |
Sherehe ya tuzo hizo iliyofanyika kwa mara ya 29 ilifanyika jijini Paris ambapo kampuni mbalimbali zilishinda. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kuonesha tuzo hiyo, Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Lanfang Liao amesema kuwa hiyo ni habari njema si tu kwa kampuni bali kwa... | 0uchumi |
Na ASHA BANI-DAR ES SALAAM BAADHI ya wenyeviti wa Serikali za mitaa wa Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Dar es Salaam, wamemuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad huku wakigomea uamuzi wa kuitwa kuhojiwa na Mwenyekiti anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Profesa Ibrahim Lipu... | 1kitaifa |
HARARE, ZIMBABWE
FAMILIA zaidi ya 100 zilizotimuliwa na mke wa Rais Robert Mugabe, Grace kutoka makazi yao mashambani, zimeitaka Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC kuingilia kati.
Hilo linakuja huku ripoti zikisema mahakama ilitoa hukumu kuzuia uamuzi huo wa Grace, ambaye anatafuta namna ya kupa... | 3kimataifa |
Hadija Omary, Lindi Jumla ya mashauri 161 ya utelekezwaji wa watoto yameripotiwa katika Shirika
la usaidizi wa kisheria mkoani Lindi, Lindi Women Paralegals (LIWOPAC)
katika kipindi cha mwaka 2019/2020. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Cosma Bullu mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa
anazungumza... | 1kitaifa |
Brighiter Masaki – Dar es Salaam Miss Tanzania 2004, Faraja Nyalandu na Mwanamuziki Grace Matata wamelamba dili la ubalozi wa Kampuni ya Usafiri wa Anga ya Travelstart katika kampeni ya kuwafikia wateja kwenye huduma zitolewazo na kampuni hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar, Meneja wa Travels... | 4burudani |
Mwandishi wetu, Tanga WAFANYABIASHARA wa Mkoa wa Tanga, wamesema hawaoni shidakulipa kodi baada ya kuona utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleoinayofanywa na Rais Dk. John Magufuli kupitia kodi zao. Hayo yalizungumzwa na wafanyabiashara wakati wa kampeni ya elimukwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo ambako maafisa... | 0uchumi |
AVELINE KITOMARY – DAR ES SALAAM Daktari
Bingwa wa Upasuaji Mifupa na Magonjwa ya Ajali
kutoka Taasisi ya Tiba na Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Kennedy Nchimbi
amesema binadamu huzaliwa akiwa na mifupa 300 lakini anapokuwa mtu mzima
huungana na kuwa 206 Dk. Nchimbi
amesema baadhi ya mifupa hiyo kuungana na kutengeneza ... | 5afya |
Kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa leo, Alhamisi, shule 10 zilizofanya vizuri zaidi kwenye mtihani huu kitaifa zinatoka katika mikoa kmbalimbali.Shule hizo ni pamoja na Kemebn, St. Francis Girls ya Mbeya, Feza Boys ya Dar es Salaam, Canossa ya Dar es Salaam na Anwarite Girls ya Kilimanjaro.Nyingine... | 1kitaifa |
UKARABATI mkubwa uliofanywa katika Bandari ya Kisumu nchini Kenya umeifanya bandari hiyo ambayo ni ya tatu kwa ukubwa nchini humo kuwa kichocheo cha uchumi wa taifa hilo na Afrika Mashariki kwa ujumla.Wananchi wa Kenya wana hamu kubwa kuona bandari hiyo ikizinduliwa rasmi katika kiwango cha hali ya juu tofauti na iliv... | 1kitaifa |
Na LUCY SAID (TURDARCO) MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Fish crab, maarufu kwa jina la Lamar, amesema uwepo wa studio nyingi nchini haumtishi kwa kuwa uwezo wake bado ni mkubwa japokuwa yupo kimya. Akizungumza na MTANZANIA jana, alisema wasanii wengi hapa nchini wamefungua studio kwa ajili ya kufanya kazi zao ... | 4burudani |
MOHAMED KASSARA-DAR ES SALAAM KATIKA kuthibitisha kuwa imepania kupindua
meza, kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘ Taifa Stars’, tayari kimetua Sudan, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kusaka
tiketi ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji Wanaocheza Ligi za
Ndani(Chan), utakaopigwa Ijumaa hii jijini K... | 2michezo |
WIKI hii, Julai 1, Benki ya Dunia iliingiza Tanzania katika kundi la nchi zenye kipato cha kati. Hizi ni habari njema hata pamoja na kwamba wapo wanaoona kuna mapungufu fulani fulani katika utendaji. Hatua ya kutoka katika umaskini na kupanda kwenda katika hatua nyingine ya juu huusisha suala zima la uchumi au maendele... | 0uchumi |
TANZANIA inakisiwa kuwa na vifo vya watu 150,000 kwa mwaka vinavyotokana na kuumwa na mbwa wenye ugonjwa wa kichaa.Akitoa takwimu hizo jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Tanzania, Dk Martin Ruheta amesema ripoti ya Wizara ya Afya ya mwaka 2017, inaonesha kwamba katika mwaka huo kulikuwa na matukio 28,... | 1kitaifa |
EDITHA KARLO SERIKALI mkoani Kigoma imeamuru kukamatwa na kuchukuliwa kwa leseni zao za biashara kwa wafanyabiashara watano wa mjini Kigoma ambao walikamatwa wakiuza sukari kwa bei ya juu tofauti na bei elekezi ya Sh 3200 iliyowekwa na serikali. Hatua hiyo imekuja kutokana na ziara ya ukaguzi ya wajumbe wa kamati ya u... | 1kitaifa |
Makocha hayo wa kigeni wamekuwa wakilipwa fedha nyingi na kuzisababishia timu zinazoingia mikataba nao kubeba mzigo kubwa wa gharama za kuwagharamia mishahara, posho sambamba na uendeshaji wa timu.Pia Mbunge huyo ameishauri Serikali kuona uwezekano wa kuwatumia makocha wazawa wenye uwezo wa kuifundisha timu ya taifa ‘... | 2michezo |
Na NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM KANISA la Free Pentecoste (FPTC) limetoa mwongozo kwa waumini wake kwa lengo la kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona. Mwongozo huo wenye vipengele 20 ni maagizo ya Askofu Mkuu wa FPCT, Stevie Mulenga, kwa makanisa na taasisi za kanisa hilo unaoelekeza Jumapili ibada iwe moja tu ama... | 1kitaifa |
Na Ras Inno, JUMA moja lililopita Shirika la Kutetea Haki za Binadamu Duniani ‘Amnesty International’ lilitoa taarifa iliyotonesha kidonda cha madhila yaliyotokea nchini Nigeria miongo mitatu na nusu na ushei iliyopita, ambayo inawezekana dunia imeshayasau kutokana na kuangazia zaidi migogoro mingine inayofukuta kwa s... | 1kitaifa |
MAHAKAMA ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara, imewahukumu raia watatu wa China kulipa faini ya Sh milioni 105 kila mmoja au kwenda jela miaka sita baada ya kukiri makosa mawili ya kusafi risha madini kwa nia ya kuyapeleka nje ya nchi bila ya kibali.Watuhumiwa hao walilipa faini na kuikwepa jela. Chini ya Hakimu Mkazi Veron... | 1kitaifa |
KULWA MZEE -DAR ES SALAAM VIGOGO sita wa Kampuni ya Viettel Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Halotel, Son Nguyen (46), wanaokabiliwa na mashtaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78, wanaendelea kusota rumande wakisubiri majibu kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nc... | 0uchumi |
KATIKA juhudi kubwa za kuondoa changamoto zinazokabili awamu ya kwanza ya huduma za usafiri kati ya Kimara- Kivukoni-Gerezani na Morocco, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema wanatarajia Julai mwaka huu mwekezaji mwenye hadhi ya kimataifa atakuwa ameanza kazi.Aidha wakala huo umesema kwamba Machi mwaka huu ... | 1kitaifa |
UONGOZI wa klabu ya Rangers jana umemsimamisha kwa wiki tatu kiungo wa timu hiyo, Joey Barton, baada ya kukutwa na hatia ya kupigana na mchezaji mwenzake, Andy Halliday. Uamuzi huo ulifanyika ikiwa ni siku sita baada ya nyota huyo kurudishwa kwao kutokana na kutuhumiwa kufanya kitendo hicho. Barton mwenye umri wa mi... | 2michezo |
BEATRICE KAIZA MREMBO anayefanya vyema kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Wema Sepetu, wiki hii amekuwa gumzo baada ya picha yake kusambaa mtandaoni ikimwonyesha amepungua mwili tofauti na ilivyozoeleka. Swaggaz tumepata nafasi ya kufanya mahojiano ‘X-clusive’ na Wema Sepetu ambaye jana alitangazwa kuwa balozi wa bidh... | 4burudani |
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Julius Kalanga amemtaka Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa asimdharau kwa sababu ya umasikini.Amesema anamwachia Mungu kwani ndiye atahukumu kwani alimtii Lowassa kama baba yake alipokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lakini ana... | 1kitaifa |
Awataka kutorudi nyuma kunadi sera zao, atoa neno kwa wabunge wa vyama tawala Na Deogratias Mushi -Johannesburg RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, amevionya vyama tawala katika Bara la Afrika kuacha kasumba ya kuvichukulia vyama vya upinzani maadui bali viwaone kama washindani. Kikwete ambaye tangu astaafu ... | 1kitaifa |
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Marco Gaguti amemaliza mgogoro wa wakulima na wafugaji, uliodumu kwa zaidi ya miaka 11 katika Kijiji cha Kahundwe wilayani Karagwe.Alikutana na wananchi wa kijiji hicho na kutoa msimamo wa serikali na kuonya juu ya uvunjifu wa amani uliowahi kutokea kutokana na mgogoro huo mwaka 2008.Awali kabl... | 1kitaifa |
kauli Mwenyekiti wa Jumuiya Vjana ya CCM (UVCCM) Taifa, Kheri James kuhusu kuwatia mimba wanawake wa watu wote wanaodhani serikali ya Rais Mgufuli hifanyikazi imeleta gumzo mitandaoni baada ya watu mbalimbali kumshambulia kwa kile wanachodai ni kauli ya udhalilishaji. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi w... | 2michezo |
KITENDAWILI cha mrithi wa Gadiel Michael ambaye anatajwa kutua Simba akitokea Yanga kimejibiwa kwa Yanga kumsainisha beki wa kushoto wa Malindi ya Zanzibar, Muharami Salum ‘Marcelo’.Marcelo alisaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Yanga juzi usiku ikiwa ni siku chache baada ya beki huyo mwenye umri wa miaka 24 kusai... | 2michezo |
Matokeo hayo yanaifanya Azam kufikisha pointi 35 na kuwashusha nafasi ya pili mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 33, huku timu zote mbili zikilingana kwa idadi ya mechi walizocheza 13.Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, timu zote zilionesha kiwango cha juu na kushambuliana kwa zama huku wenyeji Azam wak... | 2michezo |
NEW DELHI, INDIA WAISLAMU wa dhehebu la Shia nchini India, Anjuman-e-Haideri
wamesema watalipia gharama za matibabu yote ya Ibraheem Zakzaky, ambaye ni
kiongozi wa kundi la Shia lililopigwa marufuku nchini Nigeria. Sheikh Zakzaky na mke wake, ambao wamekuwa gerezani kwa
miaka minne sasa nchini Nigeria, waliwasili nchi... | 3kimataifa |
SERIKALI itaendelea kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa watumishi wa umma watakaofanya ubadhirifu katika miradi ambayo serikali imeweka fedha nyingi kwa maendeleo.Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William ole Nasha ameyasema hayo alipozungumza na watendaji wa serikali ya mkoa wa Morogoro baada ya k... | 1kitaifa |
Kulwa Mzee, Dar es Salaam Wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
wanaokabiliwa na kesi ya kufanya mkusanyiko isivyo halali na kusababisha chuki
na uchochezi wa uasi, John Heche, Mchungaji Peter Msigwa, Halima Mdee na Ester
Bulaya leo wameiangukia mahakama wakiomba isiwafutie dhamana. Washtakiwa h... | 1kitaifa |
Na Mwandishi Wetu VYOMBO vya dola vimetakiwa kuharakisha upelelezi wa kesi za waislamu wakiwamo masheikh na maimamu waliopo magerezani, ili haki iweze kutendeka. Wito huo ulitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis, wakati akizungumza na waandishi wa habari ... | 1kitaifa |
WAKATI jana tukishuhudia Liverpool ikiifunga Arsenal bao 3-1 kwenye mechi ya Ligi Kuu ya England, DStv Tanzania imeona vyema ikapunguza vifurushi ili watanzania waweze kufurahia burudani ya soka la Ulaya.Hivyo kampuni hiyo ambayo ina haki za kurusha matangazo ya mechi za Ulaya mubashara imethibitisha rasmi kupunguza k... | 2michezo |
BARAZA la Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limetoa waraka mzito unaochambua masuala ya jamii, uchumi, maisha ya siasa, umuhimu wa Katiba Mpya na matukio yaliyo kinyume na tunu na misingi ya taifa. Waraka wa baraza hilo linaloundwa na idadi ya maaskofu 27, akiwamo Askofu Mkuu wa KKKT, Dk. Fre... | 1kitaifa |
Akizungumza na gazeti hili, Makamu Mwenyekiti wa African Sports, Abdul Ahmed “Bosnia” alisema timu yao imejindaa kufanya vizuri katika michezo yote ya Ligi Kuu hususan mchezo wa ufunguzi dhidi ya Simba na kuwataka mashabiki wao kujitokeza kwa wingi siku hiyo kuishangiliana timu yao.Abdul alisema wanafahamu kwamba Simb... | 2michezo |
LIVERPOOL, ENGLAND BEKI wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk, amewatoa
wasiwasi mashabiki wa timu hiyo baada ya safu yake ya ulinzi kuruhusu mabao
matatu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi dhidi ya Red
Bull, Jumatano wiki hii. Katika mchezo huo ambao Liverpool walikuwa kwenye
uwanja wa nyumbani ... | 2michezo |
NEW YORK, MAREKANI MKALI wa muziki nchini Marekani, Ciara Harris, juzi alijikuta akiwa na kigugumizi wakati wa utoaji tuzo za Billboard. Ciara alipata nafasi ya kuwataja wasanii wa hip hop wanaowania tuzo hizo huku likiwemo jina la mpenzi wake wa zamani Future. Ciara alipata nafasi hiyo akiwa na mkali wa hip hop, Ludac... | 4burudani |
BENJAMIN MASESE-MWANZA WAZIRI Mkuu Kassim
Majaliwa amewaagiza wakurugenzi wote
nchini kufanya tathmini kwa kila halmashauri kwa kupitia ahadi zote za Rais
Dk. John Magufuli alizozitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Alitoa agizo
hilo jana jijini Mwanza wakati akifungua mkutano wa 35 wa
Jumuiya ya Tawala za Mitaa... | 1kitaifa |
Na FLORENCE SANAWA-MTWARA ULAJI wa panya umekuwa ukiwashangaza wengi huku wengine wakistaajabu juu ya ulaji wa mbwa, konokono, vyura, kenge na chatu. Viumbe hivi huliwa katika maeneo mengi duniani na hata kwa baadhi ya makabila nchini huvitumia kama kitoweo hali ambayo hufanya wengine kustaajabu pale wanapoona makabil... | 5afya |
VYAMA vya ushirika vimekumbwa na kashfa nzito ya ubadhirifu na wizi wa zaidi ya Sh bilioni 124.05, ambazo ni fedha za wanachama kutokana na ukaguzi wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika (Coasco) katika mwaka 2018/19.Orodha ya vyama vilinavyotuhumiwa kuhusika na ubadhirifu wa Sh 124,053,250,874.00, amekabidhiwa Kaimu Mku... | 1kitaifa |
Na JUDITH NYANGE-MWANZA JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Deus Chacha (20), mkazi wa Mtaa wa Nyanza, Kata ya Mkolani, wilayani Nyamagana, kwa tuhuma za kuanzisha kiwanda bubu cha viroba. Kiwanda hicho kinadaiwa kujihusisha na kubadili vifungashio vya pombe zilizohifadhiwa kwenye mifuko ya plastiki maarufu... | 1kitaifa |
Na JUDITH NYANGE- MWANZA MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, amesema Serikali itahakikisha inafuatilia matibabu na masomo ya mtoto mwenye umri wa miaka 11 (jina linahifadhiwa) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyabulugoya, aliyebakwa na Mtendaji wa Kata ya Mkuyuni, James Chilagwire (42). Sambamba na hilo, Mon... | 1kitaifa |
MAKALA haya yanaangalia matumizi ya maneno ya Kiswahili ambayo waandishi wa habari na watangazaji mara nyingi wamekuwa wakiyatumia kinyume na maana zake halisi.Usuli wa tatizo lenyewe ni baadhi ya waandishi na watangazaji kuandika habari huku wakibadilisha matumizi ya baadhi ya maneno kwa lengo la kuvutia wasomaji. Ma... | 1kitaifa |
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa niaba ya Serikali ya Tanzania imetoa msimamo wake kwa jumuiya ya kimataifa kuhusu kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda siku za hivi karibuni.Wizara umeieleza jumuiya ya kimataifa, vyombo vya habari vya nje na ndani kuwa alichokianzi... | 1kitaifa |
WADAU wa Maendeleo nchini kupitia Mradi wa Uimarishaji Mifumo katika Sekta za Umma wameitikia wito wa serikali na kujitokeza kufanikisha kazi ya uimarisha mfumo wa uendeshaji wa shughuli za afya katika maeneo yote ya kutolea huduma za afya serikalini.Wadau hao wameitika wito kufutia maelekezo ya serikali kutaka mfumo ... | 1kitaifa |
MANENO SELANYIKA Na MAMII MSHANA (Tudarco)–Dar es Salaam ALIYEKUWA Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, amejitosa kuwatetea ndugu watatu wa kiume kutoka familia moja wanaokabiliwa na tuhuma za mauaji ya dada yao. Tendwa ambaye kwa sasa ni wakili wa kujitegemea, anawatetea watuhumiwa hao ambao ni Robert Buga... | 1kitaifa |
Na LILIAN JUSTICE, MVOMERO
WANANCHI wa vijiji vya Kunke na Mlumbilo wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, wamemuomba Rais Dk. John Magufuli kuwasaidia ili wabakie kwenye maeneo yao.
Hatua hiyo imetokana na agizo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kutoa tamko la kuwataka kuhama ifikapo Agosti 30, mwaka huu, kwa kile ki... | 1kitaifa |
Kulwa Mzee -Dar es salaam MHASIBU Wizara ya Afya, Luis Lymo (54) na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Christian Social Services Commission, Peter Maduki (61), wamefikishwa mahakamani
wakikabiliwa na mashtaka 280 yakiwamo ya wizi na kutakatisha Sh bilioni 1.7. Washtakiwa hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisut... | 1kitaifa |
NA ASIFIWE GEORGE SHINDANO la shika ndika linaloendeshwa na Redio EFM litaanza kuchezeshwa kesho. Ofisa Habari wa EFM, Aneth Mrindoko, alisema shindano hilo litawahusisha wakazi wa Dar es Salaam katika Wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni pamoja na wakazi wa Mkoa wa Pwani katika Wilaya ya Bagamoyo na Kibaha. “Mwaka huu... | 4burudani |
VATICAN CITY, VATICAN KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anasema anatambua kwamba anaweza kuwa mlengwa wa shambulio la kigaidi, lakini ataendelea na ziara zake bila ya kutumia mavazi na magari ya kiusalama yenye kuzuia risasi kwa sababu anataka kuwa karibu na watu. Hii ni kwa mujibu wa maelezo kati... | 3kimataifa |
UTUMIKISHWAJI wa watoto wa kike ili kusaidia familia, umaskini, mazingira magumu kwenye shule, mimba za utotoni ni miongoni mwa sababu zinazowafanya wasichana kuacha shule katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma.Akizungumza wakati wa mahojiano jana, Mratibu wa Programu wa Shirika lisilokuwa la kiserikali la Marafiki wa El... | 1kitaifa |
NEW YORK MAREKANI MKALI wa filamu nchini Kenya, Lupita Nyongo, amepania kufanya makubwa kwa mwaka 2016 ili kuweza kutangaza jina lake zaidi. Mrembo huyo ambaye aliwahi kuchukua Tuzo ya BET mwaka 2014 na Tuzo za Oscar mwaka 2015, amekuwa akifanya vizuri katika filamu na sasa amekuja kivingine katika filamu mpya ya ‘Star... | 4burudani |
TURIN, ITALIA MAMA wa Cristiano Ronaldo, Maria Dolores Aveiro, amekanusha taarifa kwamba, alimtaka staa huyo kurudi katika klabu ya zamani ya Manchester United mara baada ya kumalizana na Real Madrid. Kuna baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari jijini Manchester, vilitoa taarifa kwamba mama wa mchezaji huyo anamtaka m... | 2michezo |
Anna Potinus-Dar Es Salaam Licha ya rais Dk John Magufuli kutoa zawadi ya viwanja vya kujengea
nyumba Mkoani Dodoma kwa wachezaji, viongozi wao na bondia Hassan Mwakinyo kama
ishara ya kuonyesha furaha yake kwa Tanzania kufuzu kushiriki mashindano ya
Mataifa ya Afrika pia amempa zawadi nyingine mchezaji wa zamani wa Ta... | 2michezo |
Mohamed Hamad, Kiteto Shirika la Ujamaa Community Resouce Team (UCRT), lenye makao yake makuu mkoani Arusha, limeikabidhi hospitali ya Wilaya ya Kiteto vifaa vya kujinginga na maambukizi ya ya virusi vya corona kama njia ya kuisaidia serikali kuhudumia jamii Vifaa hivyo vimetajwa kuwa na thamani ya Sh milioni nne moja ... | 1kitaifa |
Dataset Card for Swahili : News Classification Dataset
Dataset Summary
Swahili is spoken by 100-150 million people across East Africa. In Tanzania, it is one of two national languages (the other is English) and it is the official language of instruction in all schools. News in Swahili is an important part of the media sphere in Tanzania.
News contributes to education, technology, and the economic growth of a country, and news in local languages plays an important cultural role in many Africa countries. In the modern age, African languages in news and other spheres are at risk of being lost as English becomes the dominant language in online spaces.
The Swahili news dataset was created to reduce the gap of using the Swahili language to create NLP technologies and help AI practitioners in Tanzania and across Africa continent to practice their NLP skills to solve different problems in organizations or societies related to Swahili language. Swahili News were collected from different websites that provide news in the Swahili language. I was able to find some websites that provide news in Swahili only and others in different languages including Swahili.
The dataset was created for a specific task of text classification, this means each news content can be categorized into six different topics (Local news, International news , Finance news, Health news, Sports news, and Entertainment news). The dataset comes with a specified train/test split. The train set contains 75% of the dataset and test set contains 25% of the dataset.
Supported Tasks and Leaderboards
[More Information Needed]
Languages
The language used is Swahili
Dataset Structure
Data Instances
A data instance:
{
'text': ' Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema, itafanya misafara ya kutangaza utalii kwenye miji minne nchini China kati ya Juni 19 hadi Juni 26 mwaka huu.Misafara hiyo itatembelea miji ya Beijing Juni 19, Shanghai Juni 21, Nanjig Juni 24 na Changsha Juni 26.Mwenyekiti wa bodi TTB, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameyasema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.“Tunafanya jitihada kuhakikisha tunavuna watalii wengi zaidi kutoka China hasa tukizingatia umuhimu wa soko la sekta ya utalii nchini,” amesema Jaji Mihayo.Novemba 2018 TTB ilifanya ziara kwenye miji ya Beijing, Shanghai, Chengdu, Guangzhou na Hong Kong kutangaza vivutio vya utalii sanjari kuzitangaza safari za ndege za Air Tanzania.Ziara hiyo inaelezwa kuzaa matunda ikiwa ni pamoja na watalii zaidi ya 300 kuja nchini Mei mwaka huu kutembelea vivutio vya utalii.',
'label': 0
}
Data Fields
text: the news articleslabel: the label of the news article
Data Splits
Dataset contains train and test splits.
Dataset Creation
Curation Rationale
[More Information Needed]
Source Data
Initial Data Collection and Normalization
[More Information Needed]
Who are the source language producers?
[More Information Needed]
Annotations
Annotation process
[More Information Needed]
Who are the annotators?
[More Information Needed]
Personal and Sensitive Information
[More Information Needed]
Considerations for Using the Data
Social Impact of Dataset
[More Information Needed]
Discussion of Biases
[More Information Needed]
Other Known Limitations
[More Information Needed]
Additional Information
Dataset Curators
[More Information Needed]
Licensing Information
Creative Commons Attribution 4.0 International
Citation Information
@dataset{davis_david_2020_5514203,
author = {Davis David},
title = {Swahili : News Classification Dataset},
month = dec,
year = 2020,
note = {{The news version contains both train and test sets.}},
publisher = {Zenodo},
version = {0.2},
doi = {10.5281/zenodo.5514203},
url = {https://doi.org/10.5281/zenodo.5514203}
}
Contributions
Thanks to @yvonnegitau for adding this dataset.
- Downloads last month
- 168