Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
id
stringlengths
1
8
speaker_id
stringclasses
36 values
text
stringlengths
9
32.7k
locale
stringclasses
4 values
gender
stringclasses
2 values
audio
audioduration (s)
1
4.64k
audio_language
stringclasses
4 values
swa_69
10001
Kumi mara kumi ni sawa sawa na mia moja
swa
Female
null
swa_65
10001
Sitini gawanya kwa mbili ni thelathini.
swa
Female
null
swa_64
10001
Nane mara tatu ni sawa na sabini na mbili.
swa
Female
null
swa_62
10001
Nne mara tano ni sawa na ishirini.
swa
Female
null
swa_61
10001
Moja jumlisha mbili ni sawa na tatu.
swa
Female
null
swa_77
10001
Moja ya kumi ya milioni moja ni laki moja.
swa
Female
null
swa_79
10001
Milioni moja mara moja ya tano ni laki mbili.
swa
Female
null
swa_67
10001
Kumi na mbili mara nne ni sawa na arobaini na nane.
swa
Female
null
swa_76
10001
Tatu ya nne ya mia moja ishirini ni tisini.
swa
Female
null
swa_78
10001
Mia moja mara moja ya nne ni sawa na ishirini na tano.
swa
Female
null
swa_81
10001
Tatu ya nane mara nane ni tatu.
swa
Female
null
swa_66
10001
Kumi na moja jumlisha tatu ni sawasawa na kumi na nne.
swa
Female
null
swa_72
10001
Moja ya tatu ya sitini ni ishirini,au theluthi ya sitini ni ishirini.
swa
Female
null
swa_73
10001
Moja ya nne ya ishirini ni tano,au robo ya ishirini ni tano.
swa
Female
null
swa_59
10001
Jioni ya leo hali ya hewa ni shwari yenye upepo mwanana na nyuzi joto kumi na nane.
swa
Female
null
swa_51
10001
Leo kuna joto sana nyuzi joto zimefikia sentrigredi thelathini na tatu.
swa
Female
null
swa_54
10001
Leo kuna joto sana maana hata dalili ya mvua hakuna na nyuzi joto imefika thelathini na nane.
swa
Female
null
swa_52
10001
Jumapili ya leo ni Jumapili tulivu ikiwa na nyuzi joto kumi na tano na mawingu kwa mbali.
swa
Female
null
swa_70
10001
Kumi na moja mara mia moja na kumi ni sawasawa na elfu moja mia mbili na kumi. Hesabu za sehemu.
swa
Female
null
swa_12
10001
Mche duara ni umbo lenye rangi ya manjano na juu yake kuna umbo la moyo lina rangi ya fedha umbo hili nzuri kwa wapendanao.
swa
Female
null
swa_55
10001
Leo mvua ni nyingi sana kwani hata katika viwango vya hali ya hewa asilimia yake imefika themanini na nane.
swa
Female
null
swa_74
10001
Moja ya tano ya jumla ya ishirini, thelathini na arobaini ni kumi na nane.
swa
Female
null
swa_30
10001
Nyoka mwenye rangi ya kahawia ni mnyama hatari sana mida ya jioni hupenda kujituliza kwenye miti ya rangi ya kahawia.
swa
Female
null
swa_2
10001
Umbo la duara liko kando ya umbo pembetatu. Umbo la duara lina rangi ya kijani huku umbo la pembetatu lina rangi ya kijivu.
swa
Female
null
swa_60
10001
Usiku tumeshauliwa kuvaa nguo nzito kwani kunategemewa kuwa na mvua kwa asilimia arobaini na nyuzi joto sita.
swa
Female
null
swa_17
10001
Wakati wa usiku mwezi huonekana vizuri juu ya uso wa dunia,na maji ya mto yakiwa chini yake basi maji yanaakisi mwanga wa mwezi.
swa
Female
null
swa_22
10001
Wakati wa asubuhi jua huonekana likiwa na rangi ya manjano na miale mieusi,huku mawingu yakipotelea kwa mbali yakiwa na rangi ya samawati.
swa
Female
null
swa_19
10001
Mayele ni fundi wa kucheza mpira, yuko nyuma ya mpira na mpira uko mbele yake. Mpira wa Mayele una rangi nyeusi na Mayele mwenyew ni mweusi tii.
swa
Female
null
swa_25
10001
Mezani kwangu juu, kuna machungwa yenye rangi ya chungwa au manjano na ni matamu sana. Machungwa mawili mazima yako nyuma ya chungwa nusu kipande.
swa
Female
null
swa_87
10001
Wauguzi sita wamelazwa katika hospitali ya Mulago. Muuguzi wa kwanza ndiye bibi harusi mtarajiwa.
swa
Female
null
swa_84
10001
Gori la sita lilifungwa na Chama kutoka kwenye timu ya Simba. Timu ya Yanga imeshika nafasi ya tatu katika ligi kuu hapo Tanzania.
swa
Female
null
swa_99
10001
Kila mtu ana haki ya utaifa. Hakuna mtu atakayenyang'anywa utaifa wake kiholela wala kunyimwa haki ya kubadilisha utaifa wake.
swa
Female
null
swa_86
10001
Mto Nile ni wa kwanza kwa urefu duniani. Mto Amazon ndio wa pili kwa urefu duniani,wa mwisho ni mto Kongo.
swa
Female
null
swa_20
10001
Nyanya mbili na karoti zenye rangi nyekundu ziko juu ya meza. Nyanya hizi mbili zina kikonyo kwa juu cha rangi ya kijani na karoti ina majani kwa juu yenye rangi ya kijani.
swa
Female
null
swa_90
10001
Mnyama mkali wa kwanza msituni ni baba simba. Mnyama mrembo msituni na mrefu zaidi wa kwanza ni twiga.
swa
Female
null
swa_83
10001
Mshindi wa pili katika mbio za magari atapewa nyumba mpya. Farasi wangu alishika nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya kukimbia.
swa
Female
null
swa_3
10001
Maumbo matatu ya pembe tano yamo ndani ya umbo la mstatiri. Maumbo matatu hayo yenye pembe tano yana rangi ya kijivu wakati umbo lenyewe mstatiri lina rangi ya dhambarau.
swa
Female
null
swa_29
10001
Mgomba wetu hutoa ndizi tamu sana, una majani ya kijani na ndizi zake zake zina rangi ya manjano. Mbele ya mgomba, kuna ndizi tatu zenye rangi ya manjano hakika ni tamu sana.
swa
Female
null
swa_89
10001
Katika mfumo wa jua kuna sayari zifuatazo: ya kwanza kabisa ni zebaki, ya pili ni zuhura na ya tatu ni dunia ambapo watu huishi.
swa
Female
null
swa_82
10001
Neema ni mtoto wa kwanza kwenye familia yao. Minah ndiye aliyeshika nafasi ya mwisho yaani kitinda mimba kuzaliwa katika familia ya Bwana Kheri.
swa
Female
null
swa_36
10001
Mbele ya duara zuri la manjano kuna farasi mrembo sana mwenye rangi za dhambarau, nyekundu na mkia mweupe, na juu ya kichwa kuna manyoya meupe pee.
swa
Female
null
swa_58
10001
Mida ya asubuhi hali ya mvua imeonekana kuwa asilimia kumi na nane lakini imebadilika mida ya saa saba mchana na kufikia asilimia tatu. Kwa hiyo mida ya mchana kumekuwa na jua pamoja upepo kiasi.
swa
Female
null
swa_34
10001
Jana jioni wakati narudi nyumbani nilinunua tufaha mbili zenye rangi ya kijani na umbo la duara. Tufaha lenye umbo la nusu duara liko mbele ya tufaha zima.
swa
Female
null
swa_96
10001
Wanadamu wote wamezaliwa huru na sawa katika utu na haki. Wamejaaliwa akili na dhamiri na wanapaswa kupendana wao kwa wao kwa roho ya udugu.
swa
Female
null
swa_15
10001
Bwana Mashaka aliketi juu ya kiti wakati akisoma makala yenye habari mbali mbali. Kiti alichokalia kilikuwa na rangi nyekundu na miguu ya kiti hicho ina rangi ya kahawia. Lakini yeye alionekana kuvalia nguo ya manjano.
swa
Female
null
swa_0
10001
Ng’ombe mwenye madoa meupe na meusi anakula majani pembezoni mwa mti. Majani yalioko juu ya mtu yana rangi ya kijani na yanapendeza sana. Jua huchomoza asubuhi na mapema likionekana kwa rangi ya kupendeza ya manjano.
swa
Female
null
swa_92
10001
Mwezi wa kumi na mbili natimiza miaka thelathini ya ndoa yangu, nitawaalika watu sabini tu na kila mtu atapata sahani mbili za nyama choma na soda mbili na mvinyo glasi sita, karibuni sana.
swa
Female
null
swa_91
10001
Katika mitaa minne yenye majengo mazuri, na sisi tumo pia. Katika mtaa wa Kazamoyo nyumba yetu ni ya kwanza kwa ubora na uzuri ina milango minne ya kioo,na madirisha manane ya kioo.
swa
Female
null
swa_56
10001
Jumamosi ya leo hali ya hewa ni mbaya kuna baridi na mvua nyingi sana kwa nyuzi joto nane na unyevunyevu asilimia sabini na tano baridi kali nyakati za alfajiri,ila itakapofika asubuhi kiwango cha mvua kitapungua na jua kuchomoza.
swa
Female
null
swa_94
10001
Takribani ng'ombe mia moja walikuwa mnadani kwaajili ya kuuzwa. Bwana Heri alikuwa na ng'ombe hamsini na mama Ishengoma ng'ombe thelathini na Aisha ng'ombe ishirini jumla tunapata ng'ombe mia moja.
swa
Female
null
swa_16
10001
Watu hupenda kwenda kuogelea katika Mto Maragarasi,mto huu umezungukwa na uoto wa asili wa kijani pia mto huu uko katikati ya milima miwili mmoja upande wa kushoto na kulia . Ndani ya mto kuna maji na wadogo zangu hupendelea kuogelea.
swa
Female
null
swa_28
10001
Mlima Meru ni mlima mrefu sana; juu yake kuna theluji yenye rangi nyeupe lakini pembezoni kuna uoto wa asili wenye rangi ya kijani yaani miti na nyasi. Ukiuangalia kwa mbali mlima wetu unavutia ile rangi yake ya bluu na umbo la pembe tatu.
swa
Female
null
swa_4
10001
Katika maumbo haya mawili moja ni umbo la kinyota na lingine ni umbo la duara. Maumbo haya mawili ni nyota iliyo ndani ya umbo la duara na umbo la duara lina rangi ya samawati bluu bahari hivyo hivyo umbo la nyota lina rangi nzuri nyeupe.
swa
Female
null
swa_21
10001
Nyumbani kwetu kuna ng'ombe ambaye amepambwa na rangi nyeusi na madoa meupe, juu yake kuna mapembe mawili, lakini kwa nyuma kuna mkia mrefu mweusi ambao hutumia kufukuzia nzi, kwa chini ya ng'ombe kuna miguu minne na chuchu tatu za kutolea maziwa.
swa
Female
null
swa_35
10001
Nyuki ni wadudu ambao hupenda sana maua. Nyuki watatu walioneka kwenye bustani ya maua wakiwa wako juu ya maua mekundu na ya kijani. Nyuki wale walikuwa na rangi ya manjano mistari mieusi na kwa juu kuna mkia wa rangi ya samawati.
swa
Female
null
swa_8
10001
Ndani ya umbo la mstatiri kuna mashimo manne yanayofanana na mipira. Sanduku hili lenye umbo la mstatiri nimelipamba na rangi ya samawati bluu bahari. Mipira ile minne yenye umbo la duara ina rangi ya kijani inayopendwa sana na watoto.
swa
Female
null
swa_9
10001
Umbo la mraba ni zuri sana. Nimechora maumbo matatu ya mraba na kuyapaka rangi ya manjano, pembeni ya maumbo ya mraba kuna maumbo mawili ya duara yafananayo kama mpira wa kandanda wenye rangi ya bluu. Maumbo mawili ya duara yafananayo kama mayai yako pembeni mwa maumbo mawili ya mraba.
swa
Female
null
swa_1
10001
Baada ya goli kipa Aishi Manula kushindwa kuudaka mpira ule uliingia moja kwa moja ndani ya nyavu. Mpira ule ulio ñdani ya nyavu, una rangi nyeupe na nyeusi na unapendeza sana. Siku ile mchezo ulipokuwa ukichezwa, ilikuwa ni jioni na juu ya uso wa dunia mawingu yenye rangi ya bluu yalipendezesha jioni ile.
swa
Female
null
swa_24
10001
Bi. Aisha alitumwa kunununua birika zuri sokoni. Yeye alileta barika lenye mfuniko wa mviringo, kwa pembeni lina mshikio wenye umbo la nusu duara hakika linapendeza. Upande wake wa mbele, lina mdomo kwa ajili ya kutolea chai, limerembeka kwa rangi nyeupe pamoja na nyeusi.
swa
Female
null
swa_14
10001
Jana nilifanikiwa kupita katika daraja moja liitwalo Kijichi. Chini ya daraja lile la Kijichi kulikuwa na maji mazuri yenye rangi ya samawati bluu bahari, lakini pia pembeni mwa daraja Kuna nguzo zenye taa nzuri na za kupendeza. Nguzo zile zimenakshiwa kwa rangi ya manjano.
swa
Female
null
swa_93
10001
Wazazi wangu wanasherekea miaka hamsini ya ndoa yao katika misa takatifu Jumapili ya kwanza ya mwezi ujao. Wabunge ishirini na sita wa bunge la jamhuri ya muungano wanatarajiwa kuapishwa siku ya pili ya juma katika kikao cha kumi na moja cha bunge.
swa
Female
null
swa_31
10001
Baiskeli ni nyeusi kwa rangi yake, "alisema mwalimu." Baiskeli yake ilisimamishwa juu ya kibalaza cha nyumbani kwao. Kuna magurudumu mawili yanasaidia baiskeli yangu kuendesheka,moja linakuwa mbele lingine lina kuwa nyuma na yanakuwa na maumbo ya duara.
swa
Female
null
swa_33
10001
Mbwa wa binamu yangu ni mweusi na anatisha kweli. Jioni hii alikuwa anachezea mpira wake ulionakishiwa na rangi nyeupe, nyekundu na bluu. Wakati akichezea mpira ulikuwa mbele na kwenye shingo yake alifungwa kamba nyeupe.
swa
Female
null
swa_95
10001
Baba yangu ana wake wa tatu wa kwanza ana mbuzi kumi na mbili, wa pili ana kuku thelathini na mke wa tatu ana bata arobaini na sita, wake zake wote walifanikiwa kuwa na watoto; mke wa kwanza ana watoto wanne wa pili sita na wa tatu mmoja tu.
swa
Female
null
swa_10
10001
Haya ni maumbo matatu ya miraba yanayofanana kama vigae vya kutengenezea sakafu vikiwa ndani ya maumbo mawili ya duara. Pili maumbo hayo yalipakwa rangi duara la kwanza kabisa kubwa liwe na rangi ya pinki na duara dogo liwe na rangi nyeupe na maumbo mraba matatu yawe na rangi nyeupe.
swa
Female
null
swa_5
10001
Kuna maumbo matatu, mawili ambayo ni mstatiri pia umbo moja la duara. Maumbo haya mawili ya msambamba yamepambwa na rangi ya manjano na umbo la duara lina rangi bluu. Umbo la duara lenyewe lina rangi ya bluu na liko katikati mwa maumbo mawili ya msambamba sawa.
swa
Female
null
swa_7
10001
Medadi alipokuwa katika matembezi yake alikutana na mchoro ulioonyesha umbo la mshare likiwa juu ya maumbo mawili ya duara, umbo lile la mshare lilipendeza na rangi yake ya manjano na duara kubwa lilipambwa na rangi ya zambarau. Lile duara dogo lililo ndani ya duara kubwa linapendeza na rangi nyeupe.
swa
Female
null
swa_38
10001
Jamani nasikia uchungu, tufaha langu limeingiliwa na mdudu, yaani ametoboa upande mmoja na kutokezea upande mwingine huyu mdudu ana rangi ya pinki na macho meupe. Tufaha langu lilikuwa zuri na lenye rangi nyekundu umbo la duara na lilipambwa na kikonyo cha kijani na kahawia.
swa
Female
null
swa_26
10001
Dirisha hili la mama mkubwa, kwa nje limepakwa rangi ya pinki na kuwekewa ua safi la rangi ya manjano na kijani. Lakini kwa ndani ya dirisha kuna pazia zuri jeupe na limejiachilia kwa uzuri na kutengeneza umbo la pembetatu. Fundi aliyejenga dirisha hilo hakika ni bora kwani alizingatia vipimo na kutoa dirisha lenye umbo la mraba.
swa
Female
null
swa_37
10001
Mwezi uliopita Amina alinunua vitabu mbali mbali vya kujisomea kuhusu lugha adhimu ya Kiswahili. Amina alivipangilia vitabu vile juu ya meza yake. Kitabu chake cha juu kabisa kilikuwa cha rangi ya bluu, cha chini kabisa kina rangi ya zambarau nyekundu na vitabu vya katikati ni vya kijani.
swa
Female
null
swa_32
10001
Leo nimegawa mwavuli wangu wa bei ya ghali , maana mvua ilikuwa ikinyesha na jirani yangu hakuwa na mwavuli, mwavuli ule una rangi za kuvutia tano nazo ni: nyeupe ikiwa katikati pembeni nyekundu na kijani na upande mwingine bluu na nyekundu; na mshikio wake ukiwa na rangi nyeusi.
swa
Female
null
swa_18
10001
Shangazi Imelda amepanda maua mengi nyumbani kwake lakini anapenda ua moja sana sana. Ua hilo ni zuri lenye rangi tofauti tofauti. Maua ya juu kabisa yanapendeza kwa rangi ya bluu na manjano na kwa chini kabisa kuna kiungio kina rangi ya kijani na maua ya chini pia yana rangi ya kijani.
swa
Female
null
swa_23
10001
Mjomba wangu aliwaambia watoto wà dada yake kuchora maumbo mbali mbali,walichora maumbo mawili ya pembe tatu ,moja tukapaka rangi ya kijani na lingine rangi ya kahawia,maumbo mengine mraba matatu ,mawili yenye rangi nyekundu na moja kahawia. Wakachora umbo lingine la mstatili na kulipaka rangi ya bluu.... Juu ya umbo la nusu duara lenye rangi ya manjano limebeba maumbo matatu juu, nayo ni maumbo mawili ya pembe tatu na umbo mraba.
swa
Female
null
swa_47
10001
Siku ya Jumatano tarehe thelathini na moja kunatarajiwa kuwa na mvua kubwa na upepo kwa wastani. Ifikapo saa kumi na mbili asubuhi mvua inatarajiwa kupungua na kuwa na asilimia kumi. Ifikapo saa nne asubuhi kiwango cha mvua kinatarajiwa kuongezeka na kufika asilimia themanini na nane, ifikapo saa moja usiku kiwango cha mvua kina pungua na mwangaza wa jua unaonekana.
swa
Female
null
swa_49
10001
Ni Jumatano ya tarehe thelathini na moja yenye vipindi virefu vya jua na upepo kwa wastani, inatarajiwa kuwa na nyuzi joto ishirini na moja, mnamo saa kumi na mbili asubuhi kiwango cha joto kinatarajiwa kuwa asilimia sifuri na nyuzi joto kumi na moja lakini mida ya saa saba mchana kunatarajiwa kuwa joto na upepo mwanana wenye nyuzi joto kumi na nane,na kupungua mida ya saa moja usiku kwa nyuzi joto kumi na tisa na kiwango cha mvua kuwa asilimia sifuri.
swa
Female
null
swa_50
10001
Jumatano hii ya tarehe thelathini na moja ni yenye kuwa na hali ya joto na upepo mwanana, ikiwa na nyuzi joto ishirini na tatu pamoja na jua .Mida ya saa moja asubuhi kiwango cha mvua kinatarajiwa kuwa ishirini na majira ya saa nane mchana kiwango cha mvua kushuka kufikia asilimia kumi. Ila mida ya saa moja jioni dalili za mvua zinapotea kabisa na kufikia asilimia sifuri. Alhamisi, Ijumaa , Jumamosi na Jumapili kunatarajiwa kuwa na vipindi virefu vya jua.
swa
Female
null
swa_97
10001
Kila mtu anastahili haki na uhuru wote uliofafanuliwa katika Azimio hili, bila ubaguzi wa aina yoyote, kama vile rangi, rangi, jinsia, lugha, dini, maoni ya kisiasa au nyinginezo, asili ya kitaifa au kijamii, mali, kuzaliwa au hali nyingine. Zaidi ya hayo, hakuna ubaguzi utakaofanywa kwa misingi ya kisiasa, mamlaka au hadhi ya kimataifa ya nchi au eneo ambalo mtu anamiliki, iwe ni huru, uaminifu, isiyojitawala au chini ya ukomo mwingine wowote wa mamlaka.
swa
Female
null
swa_42
10001
Ni siku ya Jumatano saa nane usiku hali ya hewa inaonekana kuwa na mawingu,nyuzi joto ni sentigredi nane unyevu ukiwa asilimia tisini na nne huku upepo ukivuma kilometa sita kwa saa. Lakini inapofika saa tisa alfajiri kunaonekana kuwa na mvua lakini Alhamisi asubuhi vipindi vya jua na mawingu. Wiki nzima kutakuwa na vipindi virefu vya jua na mawingu kiasi. Wikendi, yaani siku za mwisho za wiki Jumamosi na Jumapili itakuwa salama hasa kwenda baharini kuogelea. Watu wanaweza kuvaa nguo nyepesi na wala si nzito sana.
swa
Female
null
swa_40
10001
Ni siku ya jumatano mnamo saa saba usiku. Kunaoneka kuna manyunyu mepesi na nyuzi joto kumi na mbili. Upepo utavuma kilometa nane kwa saa,na unyevu kuwa asilimia sabini na tisa,inapofika saa nane manyunyu yanakata na kuonekana mawingu na jua. Katika juma hili linaonekana kuwa shwari kabisa watu wanaweza kuendelea na shughuli za kiuchumi na biashara kwani hali ya hewa inakuwa nzuri, kutakuwa na mawingu kidogo na vipindi vya jua. Watu wavae nguo za kawaida si nzito sana na wala si nyepesi sana. Lakini katika siku ya Jumatatu kutakuwa nyuzi joto ya juu kabisa sentigredi ishirini.
swa
Female
null
swa_44
10001
Siku ya Jumatano saa tatu asubuhi utabiri wa hali ya hewa unaonesha kuwa na mvua huku nyuzi joto ikiwa sentigredi kumi na tisa na unyevunyevu ukiwa asilimia kumi na moja na upepo ukivuma kilometa kumi na moja kwa saa. Lakini ifikapo saa nne asubuhi mvua inaweza kukata na kuwa na vipindi vya jua na mawingu kiasi. Juma hili lina vipindi tofauti vya hali ya hewa Alhamisi na Ijumaa kunamvua lakini Jumamosi na Ijumaa pili kuna vipindi vya jua hii itakuwa nzuri watu wanaweza kutembeleana na kufurahi baharini Jumanne na Jumatano inatarajiwa kuwa mvua watu wavae nguo nzito pia wabebe miavuli. Wakulima wanaweza kwenda mashambani kupanda mazao, Alhamisi pia mida ya saa saba mchana na Ijumaa saa kumi jioni mvua inaweza kunyesha pia.
swa
Female
null
swa_1102
10003
Mto wa Nile uko miongoni mwa mito mirefu duniani.
swa
Male
null
swa_1100
10003
Machi hii, Arsenal imefunga mabao ishirini ikaruhusu kumi.
swa
Male
null
swa_1104
10003
Febuari ni mwezi wa pili katika mwaka na Juni ni wa sita.
swa
Male
null
swa_1105
10003
Ardhi ni sayari ya tatu kwa sayari saba kwenye mfuo wetu wa jua.
swa
Male
null
swa_1171
10003
Kampala ni mji mkuu wa Uganda.
swa
Male
null
swa_1101
10003
Mlima wa Rwenzori ndio mlima mrefu kuliko milima yote ya Afrika Mashariki.
swa
Male
null
swa_1106
10003
Wanyama wa pori wakiamua kushindana katika mbio, Chui atakuwa wa kwanza.
swa
Male
null
swa_1189
10003
Huwezi kupika tikitimaji.
swa
Male
null
swa_1148
10003
Tanzania huchukua eneo kubwa la ziwa la Victoria.
swa
Male
null
swa_1110
10003
Nina ng’ombe wangu mmoja. Kila siku ng’ombe wangu huwa wa kwanza kunywa maji.
swa
Male
null
swa_1190
10003
Tunatengeneza juisi ya machungwa.
swa
Male
null
swa_1184
10003
Ndizi hulimwa sana angalau katika sehemu zote za Uganda.
swa
Male
null
swa_1191
10003
Maharagwe ni matamu sana ukiyala kwa ugali.
swa
Male
null
swa_1175
10003
Chanzo cha mto wa Nile ni ziwa la Victoria.
swa
Male
null
swa_1193
10003
Wadudu waitwao ensenene hupatikana sana mwezi wa Disemba.
swa
Male
null
swa_1143
10003
Daktari Julius alihitimu katika masomo yake ya udaktari.
swa
Male
null
swa_1103
10003
Muuguzi aliyemtibu babangu alikuwa miongoni mwa wauguzi wa kwanza kuajiliwa katika hospitali ya Mbarara.
swa
Male
null
swa_1160
10003
Jessica Alupo alichaguliwa na Rais Yoweri Museveni kuwa naibu wake.
swa
Male
null
swa_1145
10003
Michael ni mchezaji wa mpira wa mikono aliyeshinda mashindano ya mwaka uliopita.
swa
Male
null
swa_1192
10003
Unga wa kutengenezea ugali unatoka kwa mahindi yaliyosagwa.
swa
Male
null
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
20