keystats/kiswahili_sahihi_asr_adapted_3
Automatic Speech Recognition • Updated • 32
audio audioduration (s) 1.19 10.7 | transcript stringlengths 4 4.02k |
|---|---|
Aliweza kufanya kazi ya kukitangaza hicho kipindi mpaka mwaka elfu mbili na tisa | |
Wameanza kutoa vibali kwa kutumia mfumo wa kielektroniki | |
Yakaunganisha na kupata neno moja lenye maana ya Tanzania | |
Wengi wakiamini kuwa ukatili anaotuhumiwa kuufanya zilikuwa ni propaganda za kumchafua | |
Baadhi ni metali, kama dhahabu au chuma. | |
Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi Kisiwa cha Bahrain kiko karibu | |
Umuhimu wake katika historia unatokana na kwamba mwaka wa elfu moja mia nane arobaini | |
thomas muller alifunga mabao matano akiwa kwenye michuano hiyo | |
Ndiwe chanzo cha zahama, umewaitia vikwazo, | |
Awapo uwanjani haimaanishi ana majukumu fulani pekee | |
pango hilo limebeba historia ya shujaa wa kabila la wahehe | |
Wakili wa Kibelgiji akathibitisha kwamba Lumumba amesharejesha zile fedha | |
kupigania hali ya demokrasia nchini tunisia | |
huduma ya afya haijaelimishwa na elimu hii haijawafikia vizuri watu | |
Mei mwaka elfu mbili na kumi na tisa aliishinda tuzo ya mchezaji bora Ubelgiji | |
Awali wengi walimwogopa kwa sababu ya heshima yao kwake | |
Kwa mfano Kivunjo kinafanana na Kioldimoshi | |
Kutoa Msaada wa Kiroho na Kisaikososholojia kwa Watu walio | |
unaweza kujaribu miundo mbalimbali ya kutangaza maudhui yako | |
Kamerun ilikuwa koloni la Ujerumani hadi Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. | |
Aliposhambuliwa alijitahidi kutetea msimamo wake huo | |
siku hizi kama hapa drc huwa | |
haraka na sio sahihi hawana maana kabisa ya wakati | |
Kesho tutaenda kazini mapema. | |
Waliona mama. | |
Mame andanena mara nyingine chukichokosa isii chunchilie munyu kathithi | |
Kuna jumla ya makabila thelathini yanayodai kujitegemea Wasangu | |
hadi tarehe kumi na tisa mwezi wa nane mwaka elfu mbili na kumi tatu | |
Ilikuwa na mahitaji makubwa ya wanyama aina ya tembo | |
ukimwi unasababisha upungufu wa kipato Katika kiwango cha familia | |
Mwaka jana shirika la FlipoFlopi liliongozwa na Bwana Ali Skanda | |
Mke wangu ambadilika sana, tabia zimebadilika, yaweza kuwa hata mavazi yake yamebadilika | |
ka miaka ya elfu moja mia tisa tisini na moja hadi elfu tisa mia | |
pepu yupo kwenye orodha ya makocha watano bora duniania | |
Mwisho wa mto mara nyingi huitwa mdomo | |
ujerumani walifikia mafanikio waliyokuwa nayo brazil na italia | |
richard alifanikiwa kumtazama baba yake vizuri | |
Bandari hutengenezwa kando ya bahari, maziwa au mito. | |
Watalii hupata nafasi ya kuona hatua za uandaaji wa kinywaji cha kahawa | |
Wakiongozwa na aliyekuwa kiogozi wa chama cha ukombozi wa Kenya Jommo Kenyatta | |
Baada ya vita alikuwa mkuu wa jeshi huko Kilwa. | |
Idadi ya watoto yatima Kutokana na Ukimwi ni milioni kumi na mbili | |
mengi chini ya Sultani wa Konstantinopoli Hilo dola | |
Ilikuwa koloni la Ufaransa halafu la Uingereza halafu la Uswidi halafu la Ufaransa tena. | |
tanzania inasifika kwa mbuga kubwa na maarufu za wanyama | |
Mamia ya watu walitupwa jela na kwenye kambi za kutumikisha kazi za sulba | |
Wavulana wengine ambao kesi zao huonekana kuwa maalumu | |
Komba na pongo bila kusahau Kimburu na Duma | |
Huyu ni mvamizi, Wamevamia vitu vyetu vya Mombasa vyote | |
Nilijikuta nashangaa baada ya kumuona ulikuwa wapii kwanii nilimuuliza | |
Taifa linatakiwa kuzungumza lugha moja kwenye vita ya uchumi | |
na tabia ya kumwita kila mtu mwanangu ingawa yeye mwenyewe hakubahatika kupata mtoto Katika | |
Kwa upande wa ziwa Nyasa limezigusa nchi za Tanzania na Malawi bila kuisahau Msumbiji | |
Ambapo sehemu nyingi hupatikana huduma za malazi na vyakula | |
Machozi na vilio vilitanda nchi mzima | |
asante sana na mimi natakiwa nijibu aifaithina | |
Mji huu unatarajiwa kuingizwa katika orodha ya Urithi wa Dunia | |
Mataifa ya ushirikiano yalikaribia mipaka ya Ujerumani | |
Lakini kwenye simu hizi ni lazima kutumia pia namba ya mtandao muda wote. | |
Jina hili la bagamoyo zamani lilikuwa linaitwa Bwagamoyo | |
Kichwa kimekusumbua. | |
Kuwa peku ni kitendo Cha kutembea bila kuvaa viatu miguuni | |
Payn pia alifanya kazi ya filamu. | |
Ni biashara iliyokuwa inafanywa katika maeneo ya bara na pwani ya afrika kwa ujumla | |
milima ya Andes tambarere za mto Orinoko katikati ya | |
Serikali itahakikisha kwamba kila senti inayoongezeka inatumika vyema | |
kutokea katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi | |
Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu. | |
Hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kufanya kazi Kenya. | |
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini. | |
lugha ambayo huzaliwa kutokana na kukutanika kwa | |
Wachaga wana historia ndefu ya asili yao na ya maingiliano yao na makabila mengine | |
Mwendesha mashtaka wa kijeshi ,Joseph Makelele aliiambia mahakama | |
kumi akigombea kwa Chama cha mapinduziTarehe kumi na tisa mwezi wa kumi na | |
Mtoto huyu alizaliwa mwaka jana | |
nguo za pamba katika miaka ya elfu moja mia tisa sitini Sabini na moja | |
Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Wales. | |
Mlima umekuwa sehemu ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani | |
Mpanda ngazi hushuka | |
Wana watoto mapacha. | |
Masomo hayawezi kunilemea | |
Musoma Vijjini Musoma Mjini Bunda na Serengati hao ndio Wakurya wa kusini Mara | |
Waliitumia pia Bandari ya Mombasa katika eneo la Kenya | |
Wakati wa msafara waligawanyika makundi matatu | |
na na nana na familia | |
benki kuu inaagiza fedha kukidhi mahitaji ya fedha nchini | |
fukwe za kisiwa hiki ni miongoni mwa makazi ya pongo na nzohe | |
umoja huo unasaidia nchi wanachama kufanya biashara vizuri | |
hiyoPombe na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya pia ni ya | |
bunge ni moja kati ya mihimili mikuu ya taifa la tanzania | |
Mmoja wa marubani waliotumika kujaribu kulilipua daraja hilo ni Meja John Amunga | |
na wenzake Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwapo wote mahali | |
Ndipo pamoja na shirika la afya na wadau wengine Serikali ikafanya yafuatayo | |
malkia Kandake wa Kushi katika mji mkuu wa Meroe Agano Jipya | |
Mfumuko wa Bei Nchini Uganda | |
ilikutoa nafasi kwa wananchi wengi kujitokeza | |
Nimeishi hadi amerejea Ghana huku akiwa na masikitiko makubwa moyono mwake | |
Haina milima mirefu. | |
Mugabe alijaribu kutunisha misuli kilichomkuta wazimbabwe hawakuchoka kumuona hafai | |
Kake apaliya mpunga |