Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
text
stringlengths
10
3.8k
<s>[INST] Mradi wa Kuzidisha Ubora wa Chakula cha Siku zijazo (AVCD) nchini Kenya- Kitengo cha Mifugo [/INST] Mwongozo wa Nyanjani wa magonjwa ya mifugo kwa kutegemea dalili zao katika maeneo ya Kaskazini mwa Kenya </s>
<s>[INST] Dibaji [/INST] Magonjwa ya mifugo hupunguza kiwango cha ufugaji na biashara za mifugo, hasa katika maeneo ya ufugaji ambako huduma za tiba ya mifugo ni adimu. Mifumo mipana ya ufugaji inayotumiwa maeneo haya- kama vile ufugaji wa kuhamahama, uhamaji wa kila msimu na mifumo-mseto ya ufugaji na ukuzaji wa mazao...
<s>[INST] Utaratibu wa mwongozo wa ngamia [/INST] Mwongozo huu wa ngamia umewasilishwa kama Awamu ya 3 inayoangazia magonjwa ya ngamia. Magonjwa hayo yameanishwa katika makundi tisa kulingana na dalili zayo kuu; kama vile, kuathiriwa kwa mfumo wa kupumua, maambukizi na uvamizi wa ngozi, madonda ya miguu na midomo, ukos...
<s>[INST] Shukrani [/INST] Watu wengi walichangia katika utayarishaji wa mwongozo huu. Wanajumuisha maafisa wa afya ya wanyama kutoka kaunti za Turkana, Marsabit, Isiolo, Garissa na Wajir walioshiriki katika warsha za mafunzo; Michael Baariu, Dabasso Barako, Changayo Orkhobeshe, Ehele Haile, Stephen Mutahi, Boku Bodha...
<s>[INST] Marejeleo yaliyopendekezwa [/INST] Bett, B., Kihu, S., Wamwere-Njoroge, G. and Kiara, H. 2019. Field manual for livestock diseases in pastoral areas in northern Kenya based on syndromes. Camel diseases (Volume 3). Accelerated Value Chain Development (AVCD) Program - Livestock Component. Nairobi, Kenya: ILRI. ...
<s>[INST] Magonjwa ya maambukizi na uvamizi wa ngozi kwa jumla [/INST] Sehemu hii inahusu magonjwa ambayo dalili zake hujidhihirisha kupitia maambukizi ya ngozi. Yanajumuisha upele unaowasha (ambao huathiri aina zote za mifugo), majipu, mapunye na tetekuwanga (Camel pox) ya ngamia. </s>
<s>[INST] Mifugo wote [/INST] Picha 1.1.1 Ngamia aliyeathirika na upele unaowasha hupoteza manyoya na ngozi kujikunjakunja(wrinkles). </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Mnyama aliye mzima kiafya hupata ugonjwa huu kwa kugusana na mwenzake aliyeambukizwa au kwa kujisugulia mahali ambapo wanyama wagonjwa walijisugulia. Upele wa Kuwasha husababishwa na wadudu wanaopenyeza na kukaa kwenye ngozi. Wadudu hao huweza kuishi katika mazingira hayo kwa hadi muda wa...
<s>[INST] Idadi inayoambukizwa katika kundi la wanyama [/INST] Hadi asilimia 20 ya wanyama katika kundi moja huambukizwa ila hii hutegemea ubora wa mbinu zinazotumika kuudhibiti ugonjwa huu. </s>
<s>[INST] Kutoka manyoya katika sehemu za ngozi zilizoathirika [/INST] Huanzia sehemu yoyote iliyogusana na mnyama mgonjwa/ mnyama aliyeathirika na kuenea katika sehemu nyingine za mwili </s>
<s>[INST] Epuka kuchanganya makundi ya wanyama [/INST] Tenganisha wanyama wageni, uwatibu kwa kufuata ushauri wa afisa wa tiba ya mifugo ndipo uwachanganye na wengine </s>
<s>[INST] [Ni mifugo wepi wengine wanaothirika] [/INST] Picha 1.2.1 Majipu pembeni mwa jicho Picha 1.2.2 Jipu hatari kwenye kiwiko cha kushoto </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Majipu yanaweza kutokana na maambukizi kwenye sehemu zilizokwaruzwa au majeraha, kiwewe (trauma), au kutumia sindano chafu kumdungia mnyama mwingine. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Ugonjwa huu hausababishi vifo isipokuwa iwapo viini vimeingia ndani ya damu na kusababisha maambukizi. </s>
<s>[INST] Majipu haya yanaweza kupasuka na kutoa usaha wenye rangi ya manjano isiyokolea [/INST] Hutokea mahali popote mwilini lakini mara nyingi huwa kwenye tezi, kichwa, shingo, kifua, mgongo na miguuni. </s>
<s>[INST] Wanyama wote huambukizwa [/INST] Picha 1.3.1 Sehemu ya madonda ya mviringo iliyoathiriwa na mashilingi (mapunye) kwenye shavu la mguu wa ngamia </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Mgusano wa moja kwa moja baina ya Wanyama wagonjwa na wazima kiafya. Wanyama hao pia wanaweza kushikwa na mapunye kwa kujisugulia mahali ambapo mnyama aliyeambukizwa alijisugulia. </s>
<s>[INST] Idadi ya Wanyama wanaoambukizwa katika kundi [/INST] Wanyama wachanga kiumri ndio hasa huambukizwa, na wengi wa wanyama (hasa wanaofugwa pamoja) huambukizwa. </s>
<s>[INST] Hakuna [/INST] Picha 1.4.1 Vipele vya tetekuwanga (Camel pox) sehemu ya mdomo Picha 1.4.2 Vipele sehemu ya chini ya mkia </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ni ugonjwa wa kuambukizana sana wa ngozi unaosababisha vipele, na unaosambazwa kupitia migusano baina ya wanyama wagonjwa na wasio wagonjwa. </s>
<s>[INST] Idadi ya wanaoathirika kwenye kundi [/INST] Huathiri zaidi wanyama wachanga, hasa wenye umri usiozidi miaka mitatu (wanyama waliozaliwa baada ya mkurupuko wa mwisho wa upele huo). Ikiwa wakomavu wataathirika, fahamu kuwa ugonjwa huo ni hatari zaidi. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Ugonjwa huu hausababishi vifo lakini panapotokea mkurupuko hatari, kati ya ngamia 10 wachanga walioathirika 3 wanaweza kufa; wale wa kike huavya mimba, na kiwango cha maziwa kuvurugwa. </s>
<s>[INST] Vipele na vidonda kutokea kwenye pua, mdomo, macho na chini ya mkia [/INST] Picha 1.4.3 Vidonda vingi vigumu kwenye mdomo Picha 1.4.4 Vidonda vigumu katika sehemu kadhaa za mwili wa ngamia </s>
<s>[INST] Magonjwa yenye dalili za kukosa utulivu/kiwewe [/INST] Sehemu hii inaangazia magonjwa yenye dalili za kukosa utulivu kama vile kuzungukazunguka kila mara, kufinyilia kichwa kwenye kitu miongoni mwa nyingine. Magonjwa yaliyoangaziwa katika sehemu hii yanajumuisha kichaa cha mbwa na maji kujaa kwenye moyo. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Maambukizi hutokea baada ya mnyama aliyeambukizwa kumuuma mwingine, hasa mbwa na wanyamapori wa jamii ya mbwa. </s>
<s>[INST] Ndogo zaidi--- mara nyingi huwa ni mnyama mmoja tu katika kundi [/INST] Idadi ya vifo </s>
<s>[INST] Dalili kuu za ugonjwa huu [/INST] Mnyama anaweza kuwashambulia wanyama wengine, watu na vitu vilivyo katika mwendo lakini mashambulio hayo huwa hayajakusudiwa. </s>
<s>[INST] Mbwa kuchanjwa [/INST] Mfungie mnyama aliyeathiriwa mahali na upige ripoti iwapo kisa chochote cha kichaa cha mbwa kimetokea. </s>
<s>[INST] Maji kujaa kwenye moyo [/INST] Hakuna jina la wenyeji kwa ugonjwa huu wa ngamia. Ugonjwa huu uligunduliwa na kuripotiwa kwa mara ya kwanza miongoni mwa ngamia mnamo mwaka 2016. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Viini vinavyosababisha ugonjwa huu hupitishwa na kupe, hasa wenye rangi nyingi. Kupe huyo huchukua viini hivyo wakati akimfyonza damu mnyama aliyeambukizwa. Viini hivi hukua ndani ya kupe huyo na baadaye kupitishwa hadi kwa mnyama mwingine anayefyonzwa damu na kupe huyo huyo. </s>
<s>[INST] Idadi ya mifugo wanaoathiriwa [/INST] Idadi ya wanyama wanaoathirika hutofautiana kutegemea eneo husika kulingana na idadi ya kupe, wanyama kuwahi kuambukizwa hapo awali, na mbinu zinazotumika kuudhibiti ugonjwa huu. Mkurupuko wa mwisho wa ugonjwa huu miongoni mwa ngamia nchini Kenya, uliripotiwa kuchangia vi...
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Idadi ya wanyama wanaokufa baada ya kuambukizwa ni ya juu katika maeneo yanayoshuhudia ugonjwa huo kwa mara ya kwanza. </s>
<s>[INST] Usambaaji [/INST] Ingawa ugonjwa huu unapatikana katika kaunti zote, kaunti ya Marsabit ndiyo iliyokuwa ya kwanza kuripoti kisa cha kwanza cha ugonjwa huu wa maji kwenye moyo. </s>
<s>[INST] Kifo cha ghafla [/INST] Dalili za kukosa utulivu na uthabiti kama vile kushindwa kutembea vizuri, kuchomoza ulimi nje, kuinua miguu juu zaidi wakati wa kutembea, kujizungusha na mwili kutetemeka. </s>
<s>[INST] Wanyama waliokufa/Mizoga [/INST] Maji mengi yenye rangi kwenye moyo, sehemu inayohifadhi moyo na kwenye chemba ya tumbo (abdominal cavity) </s>
<s>[INST] Magonjwa yanayosababisha mimba kuharibika [/INST] Magonjwa yanayohusiana na kuharibika kwa mimba kama vile Homa ya Rift Valley (RVF) na Ugonjwa wa Mimba Kutoka (Ugonjwa wa Maziwa na Nyama kwa binadamu) yameangaziwa katika sehemu hii. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Mbu hupata virusi kutoka kwa mnyama mgonjwa anapomfyonza damu. Kisha husambaza virusi hivyo kwa mnyama asiye mgonjwa baadaye anapomfyonza damu mnyama mwingine. Watu huambukizwa ugonjwa huu kwa kugusa damu, majimaji ya mwili na sehemu nyingine za mwili wa mnyama aliyeambukizwa. </s>
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoambukizwa katika kundi [/INST] Homa ya Rift Valley huathiri wanyama wengi hasa baada ya msimu wa mvua nyingi na ya kipindi kirefu, ambapo mbu wengi huwa wanazaana na kukua. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Ugonjwa huu unaweza kuua karibu asilimia 10 hadi 50 ya wanyama wenye umri mdogo. Wanyama waliokomaa wanaweza kuambukizwa lakini ni wachache (asilimia 10) ambao hufa. </s>
<s>[INST] Hutokea hasa baada ya kunyesha kwa mvua kubwa na ya kipindi kirefu inayosababisha mafuriko [/INST] Visa vichache pia vinaweza kutokea nyakati za mvua ya kiwango cha kawaida, lakini visa hivi ni vigumu kutambuliwa. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Njia kuu ya uambukizaji wa ugonjwa huu ni ulaji wa lishe au unywaji wa maji yaliyochafuliwa na vijusi/vitoto na uchafu mwingine kutoka kwa ng’ombe au ngamia walioambukizwa. Njia nyingine zinazoweza kuchangia hili ni kama vile dume aliyeambukizwa anapomtungisha mimba ngamia jike. Watu wanaw...
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Idadi ndogo ya wanyama hufa kwa kuathiriwa na minyoo, ingawa ndama wanaoathiriwa na minyoo wanaweza kufa kuliko wanyama waliokomaa. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ulaji wa chakula kilichoambukizwa na viini vinavyosababisha tatizo hili kama vile rotavirus na bakteria wengine wanaosababisha mharo huo. Unywaji wa maziwa kupindukia pia husababisha kuhara. </s>
<s>[INST] Idadi ya Vifo [/INST] Idadi ya vifo hutofautiana, na athari ya matibabu huwa hafifu. Kiwango cha vifo cha karibu asilimia 25 kimewahi kuripotiwa. </s>
<s>[INST] Ndama kunyonya maziwa mengi kupindukia [/INST] Ndama wanaozaliwa na majike wachanga wako katika hatari kubwa ya kuambukizwa ugonjwa huu kuliko wanaozaliwa na majike waliokomaa kiumri </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu hubebwa kwenye pumzi ya wanyama walioambukizwa (kwa njia ya matone). Pia hubebwa kwenye mate, uchafu unaotoka mdomoni na puani, na kwenye kinyesi. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Asilimia kubwa (hadi 80%) ya wanyama walioambukizwa hufa. Kifo kinaweza kutokea ghafla lakini wakati mwingine huwa kati ya siku 2 — 8 baada ya dalili za kwanza kuonekana. </s>
<s>[INST] Usambaaji [/INST] Ugonjwa huu hutokea hasa katika msimu wa mvua, na wakati mwingine unahusishwa na unywaji wa maji ya mafuriko. Mara nyingi hutokea ghafla na kuua wanyama haraka. Unaathiri wanyama wanaoonekana kuwa na hali nzuri kiafya hasa walioanza kukomaa na ndama wanaoanza kula nyasi. </s>
<s>[INST] Shingo iliyofura [/INST] Tezi (limfu) iliyofura na yenye uchungu hasa pembeni ndani ya mashavu na chini ya shingo (tezi au limfu ni kiungo kinachobeba majimaji yenye kinga ya mwili) </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Kimeta husababishwa na bakteria wanaoweza kuishi kwenye udongo kama viini kwa muda wa hadi miaka 60 na ni sugu au hustahimili joto jingi na ukame. Ugonjwa huu unaweza kuzuka katika maeneo ambayo wanyama hukusanyika, kwa mfano, mahali pa kunywa maji na pa kuramba udongo wa magadi. Mnyama h...
<s>[INST] Wanyama waliokufa/mizoga [/INST] Usiwahi kumchinja mnyama aliyekufa kutokana na kimeta. Mzoga wake haujikazi (kushikamana au kukakamaa) kama inavyotarajiwa kwa mnyama mfu. </s>
<s>[INST] Weka katika karantini/watenganishe wanyama wanaougua na wasiougua [/INST] Hakikisha mzoga wenye kimeta na vifaa vilivyoambukizwa vimezikwa vizuri kwenye shimo refu (futi sita) WEKA BANGO LENYE MAANDISHI ‘USIENDELEE KUNA HATARI’: USIPASUE MZOGA WA MNYAMA ALIYEKUFA KUTOKANA NA KIMETA. </s>
<s>[INST] Idadi inayoathirika kwenye kundi [/INST] Kifo cha ghafla cha ngamia hutokea kwa wingi wakati wa mikurupuko ya maradhi ambayo huambukiza wanyama wengi kwa wakati mmoja </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Wanyama wachache kwenye kundi hufa, lakini huwa na athari kubwa ya kiuchumi kwa sababu vifo huwaathiri wanyama wenye thamani kubwa. </s>
<s>[INST] Dalili kuu za ugonjwa huu [/INST] Kifo cha ghafla cha ngamia hutokea kwa kiwango kikubwa hasa miongoni mwa ngamia waliokomaa, wa kike wajawazito na wanaonyonyesha, madume ya kuzalisha na kubeba mizigo, wenye uzani mwingi na/au walio na afya nzuri. </s>
<s>[INST] Kifo katika muda usiozidi saa moja baada ya kuanguka. [/INST] Hakuna dalili zinazoweza kutoa tahadhari kabla ya mnyama mgonjwa kuanguka. Wanyama kwenye kundi moja hufa mmoja mmoja kwa muda fulani kisha wanaacha. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Maambukizi ya ugonjwa huu yanatokana na kugusana kwa wanyama walioathirika na wazima kiafya. Wanyama hawa wazima kiafya huwa kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa huu wanapogusa vidonda vya wanyama walioambukizwa. Maambukizi haya mara nyingi hufanyika kupitia kwa majeraha yaliyo kwenye ngo...
<s>[INST] Idadi ya mifugo wanaoathiriwa kwenye kundi [/INST] Wengi wa wanyama hao hasa wachanga huathirika. Maambukizi mapya baada ya kupona ni ya kawaida kwa sababu ugonjwa huu haujengi kinga thabiti mwilini. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Ugonjwa huu kwa kawaida hauui bali majeraha yanayotokea kwenye midomo yanaweza kuwazuia kula hasa wanyama wachanga. Vidonda hivi pia vinaweza kupata viini na kuzua maambukizi hatari zaidi yanayoweza kusababisha kifo. </s>
<s>[INST] Vidonda hivyo hutokea kwenye mdomo na wakati mwingine kwenye pua. [/INST] Vidonda hivyo hugeuka kuwa upele mbaya kwenye mdomo na wakati mwingine husambaa hadi ndani ya mdomo, sehemu ya chini ya miguu, na hata kwenye matiti ya mnyama anayenyonyesha. </s>
<s>[INST] Dalili nyingine [/INST] Ugonjwa huu mara nyingi hudumu kwa wiki nne hadi sita kisha baadaye mnyama huyo huanza kupona polepole. </s>
<s>[INST] Safisha maboma ya wanyama kwa dawa za kuua viini [/INST] Osha mikono kwa sabuni baada ya kushika vidonda vya ugonjwa huu kwa sababu virusi hivyo vinaweza kumshika binadamu. </s>
<s>[INST] Mifugo wengine wanaoathiriwa [/INST] Ng'ombe, kondoo, na mbuzi ingawa panaweza kuwapo tofauti za aina ya vimelea vinavyoambukiza kila jamii ya mnyama. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ngamia wanaweza kuambukizwa ugonjwa huu kupitia kwa mbung'o au nzi wanaouma yaani pange/kipanga walio na viini (pange au kipanga wanajulikana kisayansi kama Tabanids au Stomoxys) </s>
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoathirika kwenye kundi [/INST] Hadi thuluthi moja (yaani mmoja kati ya watatu) ya ngamia wanaweza kuambukizwa ugonjwa huu kwenye kundi lakini idadi hii hutofautiana zaidi kutegemea idadi ya mbung'o na nzi wa kuuma walio katika eneo hilo. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Karibu ngamia wote walio na ugonjwa huu hufa ikiwa hawatatibiwa. Huwa wanaugua kwa muda mrefu. Kwa kawaida, karibu asilimia 3 hivi ya ngamia hufa kutokana na ugonjwa huu. </s>
<s>[INST] Usambaaji [/INST] Ugonjwa huu unapatikana katika maeneo yote ambayo yana mbung'o. Nzi wanaouma huongeza hatari katika eneo hilo, hasa ikiwa kuna mnyama aliye na ugonjwa huo mwilini. </s>
<s>[INST] Wanyama waliokufa/mizoga [/INST] Wanyama waliokufa huwa wamedhoofika sana. Ugonjwa huu hausababishi vidonda kwenye viungo vya ndani ya mwili. </s>
<s>[INST] Kinga [/INST] Angamiza mbung'o na nzi wanaouma kwa kutumia dawa za kuua wadudu, kama ulivyoagizwa na afisa wa tiba ya mifugo. </s>
<s>[INST] Mbuzi na twiga. [/INST] Picha 7.2.1 Hatua ya awali ya ugonjwa wa kupinda shingo isiyokuwa hatari Picha 7.2.2 Hatua hatari ya ugonjwa wa kupinda shingo kwa ngamia </s>
<s>[INST] Mradi wa Kuzidisha Ubora wa Chakula cha Siku zijazo (AVCD) nchini Kenya-Kitengo cha Mifugo [/INST] Mwongozo wa Nyanjani wa magonjwa ya mifugo kwa kutegemea dalili zao katika maeneo ya Kaskazini mwa Kenya </s>
<s>[INST] Dibaji [/INST] Ufugaji ni mbinu kuu ya kujipa riziki miongoni mwa jamii za wafugaji katika ukanda wote wa Kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika. Jamii hizi nchini Kenya huishi katika kanda za malisho ya mifugo ambazo hupata huduma duni sana za tiba ya mifugo na miundomsingi hafifu inayohitajika kwa ufugaj...
<s>[INST] Utaratibu [/INST] Mwongozo huu unaangazia magonjwa ya ng'ombe. Magonjwa haya yameainishwa katika makundi tisa kulingana na dalili kuu ambazo magonjwa hayo yanaonyesha, kwa mfano: kupumua, maambukizi ya ngozi/uvamizi wa viini, vidonda vya miguu na midomo, ukosefu wa utulivu, mimba kutoka, mharo/kuendesha, ugon...
<s>[INST] Shukrani [/INST] Watu wengi walichangia katika utayarishaji wa mwongozo huu; wanajumuisha maafisa wa afya ya mifugo na maafisa wengineo katika Kaunti za Turkana, Marsabit, Isiolo, Garissa na Wajir; walioshiriki katika vikao vya mafunzo: Michael Baariu, Dabasso Barako, Changayo Orkhobeshe, Ehele Haile, Stephen...
<s>[INST] Marejeleo [/INST] Bett, B., Kihu, S., Kiara, H. and Wamwere-Njoroge, G. 2018. Field manual for livestock diseases based on syndromes in pastoral areas in northern Kenya: Cattle diseases. Accelerated Value Chain Program (AVCD) program-Livestock Value Chain Component, Nairobi, Kenya: ILRI. </s>
<s>[INST] Magonjwa yanayobainika kwa namna ya kupumua [/INST] Magonjwa yaliyoangaziwa katika sehemu hii ni yale ambayo dalili zake kuu hugunduliwa kwa kuangalia jinsi mnyama anavyopumua. Maradhi hayo yanajumuisha Homa ya Mapafu na Ndigana Kali almaarufu East Coast Fever (ECF). </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ng'ombe walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu, huambukizwa kwa kuvuta ndani ya mwili pumzi kutoka kwa mnyama aliyeathirika. Pia ugonjwa huu unaweza kuambukiza kupitia matone ya mkojo kutoka kwa mnyama anayeugua. Maambukizi hayo yanaweza kutokea hata ikiwa ng’ombe asiye mgonjwa yuko mit...
<s>[INST] Idadi inayoathirika kwenye kundi [/INST] Katika maeneo ambayo hayajawahi kushuhudia ugonjwa huu, hadi asilimia (%) 100 ya wanyama huathirika. Katika maeneo ambayo hushuhudia ugonjwa huu mara kwa mara, kati ya 10%—%60 huathirika. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Katika maeneo ambayo hayajawahi kushuhudia maambukizi haya, ugonjwa huu huua zaidi ya 50% ya wanyama. Katika maeneo ambayo maambukizi hutokea mara kwa mara, chini ya 10% ya wanyama hao ndio hufa kutokana na ugonjwa huu. </s>
<s>[INST] Dalili kuu za ugonjwa huu [/INST] Mwili kujivuta nyuma kisha mbele anapopumua, pamoja na sauti ya kunguruma kutokana na maumivu —upumuaji wa juujuu na wa haraka </s>
<s>[INST] Kikohozi kikavu anaporukaruka [/INST] Ng’ombe kupinda mgongo kwa juu akiwa amesimama, visugudi au viwiko vikiwa nje huku kichwa na shingo vimerefushwa </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Ugonjwa huu huambukizwa kupitia kwa kupe wa kahawia wa masikioni. Kupe hawa hubeba viini vya ugonjwa huu kutoka kwa mnyama aliyeambukizwa wanapomfyonza damu yake. Halafu kupe hao huambukiza mnyama anayefuatia wanapomnyonya/kufyonza damu.. Kupe hawa wanaweza kuishi na viini hivyo kwenye ma...
<s>[INST] Idadi inayoathiriwa kwenye kundi [/INST] Inategemea idadi ya kupe walioambukizwa katika eneo hilo pamoja na afya ya mnyama. Miongoni mwa ng'ombe wa kiasili (Zebu, Borana), maambukizi yanaweza kufika 100%, lakini kwa kawaida vifo huwa vichache. Lakini kwa ng'ombe wa kigeni, vifo vinaweza kufika 100% ikiwa ugo...
<s>[INST] Magonjwa ya maambukizi na mavamizi ya ngozi kwa jumla [/INST] Sehemu hii inashughulikia magonjwa ambayo maambukizi au uvamizi wa ngozi ndio dalili kuu. Haya yanajumuisha Vinundu vya Ngozi na Upele Unaowasha/Ukurutu ambao huathiri kila aina ya mifugo. </s>
<s>[INST] Ugonjwa huu husambazwa kupitia kwa angalau njia tatu kuu: [/INST] Wanyama wasio wagonjwa wanapogusana na walioathirika, wanapata viini vya ugonjwa huu hasa kupitia kwa mate. Nzi wa kuuma (pange/vipanga) na mbu wanaweza kupata viini kutoka kwa mnyama anayeugua wanapomfyonza damu na kuvihamisha hadi kwa wanyama...
<s>[INST] Idadi ya wanyama wanaoathiriwa [/INST] Hii hutofautiana sana, na hutegemea iwapo mnyama huyo aliwahi kuugua ugonjwa huo hapo awali au la. Kati ya asilimia 3-80 ya mifugo wanaweza kuambukizwa. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Wanyama wachache hufa, mara nyingi chini ya 5% ya wale walioathirika. Ni nadra sana idadi ya vifo vya wanyama wanaoathirika kufika 20%. </s>
<s>[INST] Zuia migusano kati ya mifugo wa makundi tofauti (k.m. katika maeneo ya kunywa maji, malishoni) [/INST] Epuka kutumia wanyama (ndume), vifaa, magari, na wafanyakazi kutoka mashamba mengine katika kipindi cha ugonjwa huu. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Mnyama mzima hupata ugonjwa huu kwa kugusana na aliyeathirika, au iwapo ataegemea sehemu zilizotumiwa na wanyama wagonjwa kujisugua, na/au kulala katika maeneo yaliyotumiwa na mnyama anayeugua ugonjwa huu. Unasababishwa na vimelea ambacho hujipenyeza hadi ndani ya ngozi. Kiroboto hicho ki...
<s>[INST] Idadi inayoathirika katika kundi [/INST] Kwa kutegemea unavyowalisha, kuwatunza na ubora wa mbinu za kuyadhibiti maradhi haya, ni hadi 20% ya wanyama katika kundi moja wanaoathiriwa. </s>
<s>[INST] Epuka kuchanganya mifugo katika eneo la kuwanywesha maji na malishoni [/INST] Watenge/kuwaweka katika karantini na kuwakagua kwa umakinifu wanyama wapya — tafuta usaidizi wa afisa wa tiba ya mifugo </s>
<s>[INST] Magonjwa ya vidonda vya miguu na midomo [/INST] Sehemu hii inafafanua magonjwa yanayosababisha vidonda kwenye midomo na miguuni: ugonjwa huu huathiri wanyama wote wenye kwato zenye mwanya katikati, na mwozo wa miguu hasakwato. </s>
<s>[INST] Wanyama wengine wanaoathiriwa [/INST] Wanyama wote wenye kwato zenye mwanya huathiriwa na FMD. Mara nyingi ng’ombe huathirika zaidi kuliko kondoo na mbuzi. Nguruwe hunya virusi zaidi kuliko ng'ombe, kondoo au mbuzi lakini makali ya ugonjwa huo hutegemea aina ya virusi na uthabiti wa afya ya nguruwe hao. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Wanyama wazima kiafya hupata ugonjwa huu wanapogusana na uchafu unaotoka mwilini, k.m. mate, mkojo, maziwa, kinyesi au mbegu za kiume/manii kutoka kwa wanyama walioathirika. Ugonjwa huu husambaa kwa kugusana na wanyama walioathirika, vitu vilivyoambukizwa (vifaa vilivyoambukizwa) au magar...
<s>[INST] Idadi ya mifugo wanaoathirika katika kundi [/INST] Husambaa kwa kasi miongoni mwa wanyama walio katika hatari ya kupata ugonjwa/wadhaifu kiafya. Pia kuna uwezekano wa wanyama wote kwenye kundi kuathirika. </s>
<s>[INST] Idadi ya vifo [/INST] Ugonjwa huu hauui sana wanyama waliokomaa kwa sababu wengi huwa na uwezo wa kupona. Wanyama wachache wachanga hufa kutokana na matatizo ya moyo. Ndama wenye umri wa chini ya miezi 3 wanaweza kufa zaidi. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Kukaa kwenye unyevu kwa muda mrefu au kuumia mguuni huwezesha viini vinavyoishi hasa katika ngozi kuingia miguuni/kwatoni, hivyo basi kusababisha ugonjwa huu. </s>
<s>[INST] Dalili za ugonjwa huu kwa wanyama waliokufa/mizoga [/INST] Uchelewaji wa matibabu unaweza kuzidisha maambukizi hadi kwenye mifupa ya ndani, tando laini za viungo, na kupunguza uwezekano wa kupona. </s>
<s>[INST] Magonjwa yenye dalili za Kuhangaika [/INST] Sehemu hii inashughulikia magonjwa yenye dalili za kukosa utulivu kama vile kuzungukazunguka, kufinyilia kichwa mahali na kadhalika. Magonjwa makuu yanayoangaziwa hapa ni Maji kujaa kwenye Moyo na Kichaa cha Mbwa (T9), ambayo huathiri aina nyingi za mifugo. </s>
<s>[INST] Uambukizaji [/INST] Viini vinavyosababisha ugonjwa huu husambazwa na kupe, hasa kupe wa Kusini mwa Afrika (bont-. Kupe hubeba bakteria wa ugonjwa huu wanapowafyonza/kunyonya damu wanyama walioambukizwa. Bakteria hawa hukua zaidi kwenye kupe hao na kuambukiza mnyama asiyeugua wakati kupe huyo anapomnyonya dam...
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
4