audio
audioduration (s) 0.51
242
| text
stringlengths 2
3.09k
| case_id
stringclasses 263
values | farmer_id
float64 0
473
| date_time
stringdate 1970-01-01 00:00:00
2024-08-10 11:41:09
| growth_stage
stringclasses 3
values | village_name
stringclasses 41
values | district_name
stringclasses 7
values | region_name
stringclasses 6
values | Respondent_gender
stringclasses 3
values | language_1
stringclasses 15
values | language_2
stringclasses 17
values | literacy
stringclasses 4
values | Respondent_age
float64 0
80
| duration
float64 0.51
242
| sampling_rate
float64 16k
44.1k
|
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kwa ujumla ni aina gani ya TRICOT uliyoipenda zaidi? Hiyo nyekundu
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 7.008
| 32,000
|
|
Ni nini ulipenda kuhusu kukuza aian A elekeza kwenye sifa za kilimo Nimeipenda kwa sababu ina bei ukiipeleka sokoni ina bei Ndiyo nyingine? Nyingine ukiipika kama unapika ni nzuri pia inaiva vizuri bila shida Sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 23.072
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A elezea kwenye sifa za kilimo Hamna
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 11.84
| 32,000
|
|
Ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina A elekeza kwenye sifa za kilimo Nimeipenda kwa sababu ina bei ukiipeleka sokoni ina bei Ndiyo na nyingine? Nyingine ukiipika kama unapika ni nzuri pia inaiva vizuri bila shida Sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 13.056
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula Hapana hamna
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 8.672
| 32,000
|
|
Nini ulipenda zaidi kuhusu kukuza aina C elezea kwenye sifa za kilimo Kwanza ni maharage mapya kwahiyo hayapo kwahiyo ningependa labda maharage yawepo yaani kama nilivyo nilivyo nilivyo otesha saizi tulivyo yaweka hivyo na kuyavuna nategemea kwamba ni niyatunze sasa si hayaliwi ni mbegu iliyokuepo hapa niweze kuotesha sehemu kubwa zaidi Ni sifa gani sasa ya kilimo ambayo ilikufanye uipende zaidi? Nipate hii nani utaratibu mzuri wa kuotesha vizuri zaidi Sifa ya kilimo ambayo imekufanya wewe uipende zaidi? Nimeipenda kwa sababu inazaa Inazaa? sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 49.856
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C? Eleza kwenye sifa za kilimo Ni ukame tu Ukame?
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 11.392
| 32,000
|
|
Ni mbegu zipi kati ya hizi A na B katika majaribio ambayo uliyapenda zaidi na nyingine na iyo B uikua huipendi kwa nini Nianze kujibu A au hiyo B A Hiyo A sa ile si hiyo nyekundu iyo si nilikua nimesema naipenda Iyo B siipendi kwa sababu nimeotesha haijaota na ilivyoota tena ikawa jua imepitia ikafa kwa hiyo haijaota chochote
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 35.04
| 32,000
|
|
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwa biashara yanajaza vizuri hata kwa chakula Yanajaza vizuri Sifa nyingine ambayo ilikufanya uipende zaidi aina C? Si hiyo kujaza vizuri Kujaza vizuri, sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 25.376
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Hakuna Hakuna? sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 9.376
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukukipnda kukuza kuhusu kukuza aina A Hakuna hiyo A nimeipenda kwa sababu inayo bei ila hiyo B haina soko na ukiotesha haikui
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 15.68
| 32,000
|
|
Ni aina gani ya Tricot ambayo umeipenda kwa uchache? Nimeipenda kwa uchache? Amna yote ziko sawa Zote ziko sawa Zote ni nzuri Ukilinganisha ipi inakua chini? Inakua chini ni hiyo B tu lakini hii nyingine iko sawa Sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 22.944
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote ulichokipenda kuhusu kukuza aina ya B Hapana
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 7.84
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya chakula Sikukipenda kwa sababu haikui na haina soko
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 11.872
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula Ndiyo kwa sababu tukipata mafunzo inaeza ikatusaidia ikawa nzuri namna ya kuitumia sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 16.544
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina B? Elezea kwa sifa za kilimo Sifa za kilimo ni kwamba tu haya maharage yanazaa kilichosababisha yakawa hivyo ni Ukame Ukame? sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 17.952
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya chakula? Hamna Hamna?
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 8.8
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote kinaweza kufanya aina ya B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Ni kitu gani? Yana yana hayana gesi alafu pia yanapendwa sokoni kwaajili ya ile rangi nzuri yaliyokua nayo Rangi? aya
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 20.32
| 32,000
|
|
Kwa ujumla aina gani ya Tricot uliipenda zaidi? Mimi niliipenda A A ndo niliipenda zaidi Okay sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 14.976
| 32,000
|
|
Ngoja nikusomee swali Nini ulipenda kuhusu kukuza aina A elezea kwenye sifa za kilimo Kwenye sifa za kilimo, kwanza hii A mimi nimeipenda wa sabau inafanya vizuri, inavumilia ukame pamoja na changamoto mbalimbali za jua na nini lakini bado inafanya vizuri Ndio ndio Sifa ya tatu, ina uhakika wa soko ndio Kwahiyo ukipeleka kule sokoni inajiuza bila ku bila kuitafutia soko mwenyewe tayari ina bei yake nzuri
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 53.824
| 32,000
|
|
Nasema ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya A elekeza kwenye sifa za kilimo Kitu ambacho sikupenda ni upigaji wa mashimo yani zile kanuni sa za uoteshaji utumiaji wa mashimo ko yalikua karibu karibu sana kiasi kwamba maharage yanapotatuka yani yanakua kama yamesongamana hayapati hewa Okay
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 28.448
| 32,000
|
|
Ni kitu gani nikitu gani ulichokipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumzi ya chakula Mi sifa ya kwanza niliyoipenda hii A kwanza ni maharage ambayo yani yako vizuri yako vizuri na yana sifa yote ya ile maharage maharage golori ko kibiashara pia yanani yanatoka maana yako vizuri Ndio
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 31.104
| 32,000
|
|
Ni Tricot ipi kati ya hizi ambazo ulikuanazo uliipenda kwa kiwango kidogo Niliipenda C C ndo ilikua ni, kwa kiwango cha chini Kwa kiwango cha chini niliipenda C Sawa sawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 16.032
| 32,000
|
|
Kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi? namba A
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 8.992
| 32,000
|
|
kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi katika hizi mbegu ulizopokea mimi naona hizi zote aina mbili hii zote hizi ni nzuri isipokua sasa hayo yalioko shambani ambayo bado sijayavuna bado sijajua maana yale bado sijayavuna nione kwamba uzao wake uko ukoje, mpaka nitakapovuna nijue kwamba nimepata kilo ngapi, imepata moja, imepata nusu nitajua nitakadiria saa hiyo lakini kwa sasa siwezi kukadiria iliyopo shambani nakadiria hii iliyopo hapa, kwa maana hiyo hizi mbegu zote mbilli zote zinaifaa mimi zote zinanifaa mimi sawa, na mimi nahitaji chagua lako wewe, kwa hizi unavoziona chagua moja tu! sasa hapo ni mitihani kwa sababu zote nimezipenda, zote nimependa sijui sasa niseme ni ipi maana sasa zote hizi imeshazipenda na ndo maana nimesema kwamba sitakula nataka nitengeneze mbegu ya kunitosha baadae lakini sasa hitaji langu ni moja tu we nichagulie moja tu ambayo unaona unaipenda hata kwa kuiona kwa kuishika ah mimi ningependelea kama haya hii ya B eeee
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 86.24
| 32,000
|
|
nini ulipenda kuhusu kukuza aina A, elekeza kwenye sifa za kilimo nilipenda kwasabu muonekano ni mzuri lakini pia nilipootesha niliona matokeo yake iko juu kuliko hizi aina nyingine, na lakini kwenye chanagmoto ya wadudu bado niliona wadudu hawavamii sana kama hizi aina mbili lakini zaidi sana C ndo inashambuliwa kwahiyo A ndo niliona kwamba na kwasabu hizo mbili nilizozitaja kwaza inavumilia ukame lakini matokeo iko juu kuliko mengine
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 38.368
| 32,000
|
|
na ni kwanini umependa kuchagua B, naomba unielezee sifa za kilimo kwenye B ah nimeipendelea kwa sababu inaonekana kama vile hii sasa niliyokwisha otesha imenileteamazao mengi kidogo zaidi ya hii, lakini pia hii inastahimili ukame kwa maana hiyo sasa jua llikiwaka inauwezo wa kustahimili kwahiyo ndo maana nimependelea
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 33.952
| 32,000
|
|
sawa, ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza hii aina B sasa mimi kitu ambacho sijakipenda sana ni kwasababu tu changamoto ya jua maana tuliotesha wakati tarehe zimeshapita, na hua mazao ya maharage ukikosea tu tarehe basi ni kwamba hautavuna kama ulivyotaka lakini ukalenga tarehe ya maharage kama hivi sasa hivi watu wanavyootesha maharage ya umwagiliaji mwezi huu wa saba ukiisha inamaana hawapati tena maharage bora kama wanavyohitaji ndo maana wanafukuzana sasa hivi kuhakikisha tarehe za mwezi huu wa saba ndo wanaakimbizana nazo sababu wana uhahika wa mavuno ya baadae ikishafika mwezi wa nane hawana tena uhakika na ile kilimo sawasawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 58.816
| 32,000
|
|
ni kitu gani ulichopenda kkuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula? nilipenda kwasabau kwanza kwa muonekano wa macho pamija na kua bado sikupika lakinini nahisipia I nzuri iikipikwa kwa sababu kwanza yana afya, maharage yenyewe yana afya kwahiyo ninachoamini mimi, naamini itakua ni nzuri zaidi kuliko hizi aina nyingine
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 26.72
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukuppenda kuhusu aina A kwa bishara au matumizi ya chakula? hakuna
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 8.832
| 32,000
|
|
katika mbegu zote za tricot, ipi haukuipenda zaidi? C
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 7.104
| 32,000
|
|
kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi nilipenda aina C asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 8.256
| 32,000
|
|
je mama ni aina gani ya tricot ambayo uliipenda zaidi kati ya aina A, B na C aina niliyoipoenda zaidi ni aina B aina B ndio ok
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 11.808
| 32,000
|
|
na je ni nini ulikipenda zaidi kuhusu B kwenye sifa za kilimo B nimeipnda kwa sababu zifuatazo kwanza ina rangi nzuri, pili yake ina mazao mengi na inavumilia ukame pia ninaipenda zaidi kwasababu hata ukiipeleka sokoni kwa jinsi ilivyoonekana imefanya vizuri itapata soko
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 28.512
| 32,000
|
|
nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C eleza kwenye sifa za kilimo kwenye sifa za kilimo niliipenda kwa sababu ina mavuno mengi lakini pia inavumilia ukame lakini pia ukiipeleka sokoni itapata soko kwa sababu ina rangi nzuri
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 20.704
| 32,000
|
|
Haya twende je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Nilikipenda? Ambacho ulikipenda Nilikipenda maana ni mazuri yanavumilia ukame ni mazuri maana yanavumilia ukame Na pia ni maharage mazuri kwa kutumia chakula cha nyumbani Ndio bado? Kingine? Kingine nilicho kipenda pia ni maharage ambayo yaani kwanza yana rangi ya kupendeza ni mazuri ndio Kingine kuongelea ukame si tumeshasema
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 46.528
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochite ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina C? nilichokipenda kwasababu ni maharage kama maharahe yanaotesheka vizuri, lakini pia yanakua hayana shida katika ukuaji kwahiyo ni pale tu katika kuvuna yanakua na chanhamoto
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 24.896
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C eleza kwenye sifa za kilimo kwa kweli hii aina hakuna kitu ambacho sikukipenda kwa sababu imefanya vizuri kwa jinsi ambavyo nimeiotesha haikuniangusha kama ni mazao mengi nimeyaona, mavuno mengi
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 22.464
| 32,000
|
|
je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B ukielezea kwenye sifa za kilimo aina hii B, hakuna kitu ambacho sikukipenda imefanya vizuri kwenye mavuno imefanya vizuri kwa hiyo nimeipenda
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 19.456
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukupenda kuhusu aina C, mkwa biashara au matumizi ya chakula? mmmm,mkw abiashara au matumizi ya chakula, nahisi haitakua na soko , kwanza muonekano haina sura nzuri kwa ujumla, lakini pia kwenye bishara utapata faida ndogo sana kwa sabau unapata faida kuufatana na wingi wa kitu unachokiuza, leo nimeoteshakidogo unapata kidogo sana, ingekua ni maharage mengine mfano ningeotesha debe ningevuna kidogo tu, kwahiyo nahisi hata kwa biashara ingetofautisha kwamba uzao wake unakua kidogo kuliko A sawa na wakati unakua shambani pia? ee, kwa shambani una tabia ya kurefuka sana, kwahiyo manake ata kwa zile mita zinazotakia zioteshwe zenyewe zinabanana mno na nahisi ndio kinatoa matokeo ya kutokuzaa sana
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 69.216
| 32,000
|
|
Haya ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Kitu ambacho sikupenda kulima hili zao la C kama matumizi kama biashara mavuno yake ni machache Ndio Lakini kwa matumizi ya nyumbani ni mazuri maana kwanza ni maharage ambayo ata mtu mwenye vidonda vya tumbo anatumia hayana gesi Kitu ambacho sikukipenda kwa biashara ni kwa sababu naweza nikalima eneo kubwa nikapata mavuno machache lakini kwa chakula haina shida
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 35.392
| 32,000
|
|
ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina C je ni kwa ajili ya biashara au kwa matumizi au ni kitu gani haswa, yani ni kity gani haswa biashara au matumizi ya chakula nimeipenda kwa sababu ya biashara kwa sababu ina mavuno mengi, ina rangi nzuri ina soko
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 17.216
| 32,000
|
|
kwa mbegu zote tulizokupatia ipi unaona ngalau kwako wewe pia ina Umeipenda aah sasa ni kama nilivyokuambia si kama sipendi A, ni kwmba napenda hii kwasababu ina mazao mengi lakini haya nazo ni mazuri sana si kwamba sipendi ni kwasabu sasa tunaongelea tu kwamba unaipenda ipi sana yaani ni ipi ambayo umependelea sana zote ni mazuri lakini sasa ndo inaonekana maksi zake ziko juu
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 48.32
| 32,000
|
|
katika hizi aina tatu ipi hukuipenda yani unaipenda kwa uchache? ambayo naipenda kwa uchache sana ni aina A
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 13.856
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukukipenda kwenye kuizalisha au kupanda na ku hii mbegu A, kipi kilisababisha hapa ukapata mavuno tofauti na B ninavyoiona? ah, hapo sitaweza kutoa ufafanuzi sana, kwasababu sasa ni mazao tu nimeyapada na ni mara ya kwanza nimeipanda, alafu sasa nimepanda haya maharage wakati ambao hakuna mvua tena, kwa maana hiyo ndo maana nikasema kwamba kidogo inavumilia ukame kutokana na muda ambao tulipanda hii mbegu
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 40.992
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukukpenda wakati unakuza aina ya B ukiielezea kwenye sifa za kilimo kwakweli hakuna kitu sikukipenda kwenye aina hii ya B hamna, hakuna
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 17.472
| 32,000
|
|
kitu gani kingine, ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A hizo mbegu A kwa biashara au matumizi ya chakula hakuna ambacho sijapenda kwa sababu sijauza nijue bei yake, kwahiyo hakuna nilichokifanyia chochote kwa sasa hivi, labda baadae nikirudia ndo nitaweza kuchanganua kwamba ni ipi inayonifaa zaidi au ni ipi ambayo nitapangua kua hainifai
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 33.056
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochote ambaacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya A eleza kwenye sifa za kilimo kwanza miliipenda sana nilipoona ni arage geni, ni nzuri nilitegemea kwamba niipande nione kama itafanya vizuri kwenye shamba langu na nashukuru kwamba sasa hivi nimepata mbegu
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 22.432
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya C kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Ndio labda hii hii C ukataka kuifanya kua ni ya biashara ili upate faida nyingi ni lazima utafute shamba kubwa, utumie mbolea utafute pia na mtaji Ndio ndio Na pia uitafutie soko mwenyewe Na pia uitafutie soko mwenyewe Sawa na kwa upande wa chakula? Kwa upande wa chakula yanafanya vizuri maana mtu yoyote anaweza akatumia hata mwenye vidonda vya tumbo anatumia maana hayana gesi ndio ndio Kwa hiyo yanafaa kwa chakula
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 37.088
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina C? ukielezea kwenye sifa za kilimo, je ipo yoyote ambacho ulipenda! aina hii ya C nilipenda kuona ni aina geni ya mbegu kwahiyo wakati nazipanda nilitegemea kutokuapa matokeo mazuri kutoka kwake
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 27.36
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya mbegu A kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula mimi nadhani haya maharage ninavyofikiri mimi japo sijafanya lakini mimi najua kabisa nikijakupata mazao mengi nitakuja kukuza kwa kilo , na nitapata hela nitapata faida, kipi sasa kifanye mpaka uzalishe mengi hii sasa mimi nitapanda kwa ubora nitapata msari kwa umbali unaotakiwa kwa sentimita inayotakiwa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 50.336
| 32,000
|
|
je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula mmmh bado hakuna kitu ambacho sijakipenda kwa sababu sijaila nijue ubora wake wala sijaipeleka sokoni ikose biashara au nikose ununuzi kutokana na kutokufahamika
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 22.56
| 32,000
|
|
je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula kwakweli hakuna kwasababu nilitegemea nioteshe kwa mara ya kwanza kuiotesha nione matokeo yake kwahiyo labda nitakavyoila au kuipeleka sokoni ndo nitajua ubora wake ina wanunuzi au nitakavyokula nitaona kua ni nzuri kwa kula haya mama nashukuru
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 28.256
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina C kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula kwa mawazo yangu mimi kama mkulima ni mbegu geni nafikiri ninavyoiona, kwa hiyo kitakachoweza kuifanya ikawa bora zaidi labda ikiingia sokoni watu wakaipenda inaweza iakwa bora zaidi au ukiipika ukila ukiona ina ladha nzuri inaweza ikawa bora lakini kwa sasa bado kutoa matokeo
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 32.832
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochote unafikiria kinaweza kufanya aina C kua nzuri kwa biashra au matumizi ya chakula mmh inawezekana lakini kwa sasa ni mapema kuisemea kwa sababu hatujapika wala hatujapeleka sokoni tukaona kwamba ina wateja ni mwali bado lakini baada ya matokeo hayo mazuri kupika na kula na kuona ladha yake na kupeleka sokoni ikapata soko inaweza ikawa nzuri
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 31.104
| 32,000
|
|
Aya swali linasema hivi kwamba kwa ujumla ni aina gani ya mbegu ambazo ambayo uliipenda zaidi kati ya mbegu hizo hapo Mbegu B
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 11.808
| 32,000
|
|
Swali linasema ni nini ulipenda kukuza mbegu B elekeza kwa sifa za kilimo haya karibu Mbegu hii ni nzuri sana na inavumilia na uvumilivu inavumilia magonjwa pia sokoni ni mazuri yanauzwa kwa bei nzuri sana maana hupendelewa sana na wakulima
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 37.952
| 32,000
|
|
Swali linasema hivi ni kitu gani hukukipenda kabisa kukuza aina B ya mbegu eleza kwa sifa za kilimo Sijaona tatizo lolote Asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 13.536
| 32,000
|
|
Aya swali linasema ni kwamba ni kitu gani ulikupenda kutoka kwa mbegu B iwe kwa biashara au kwa chakula Mimi nilipendelea nilichokipendea sana ni mtamu ila sijawahi uza sijawahi uza nijue kwamba ina faida kiasi gani Asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 34.272
| 32,000
|
|
Aya swali linasema ni kitu gani hujapenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula Hamna ambacho sijakipenda kibiashara na kwa chakula kwa ujumla kwa maana hayana gesi na ni matamu sana Asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 22.816
| 32,000
|
|
Swali linasema kwa ujumla ni aina gani ya mbegu uliipenda kati ya hizi A, B, na C Mbegu B ndo nimeipenda zaidi
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 13.92
| 32,000
|
|
Swali linasema ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B elezea kwenye sifa za kilimo Hamna
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 14.624
| 32,000
|
|
Swali linasema je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya C elekeza kwenye sifa za kilimo Ndiyo niliyapenda kwa muonekano wake n apia ni mazuri ni makubwa na nategemea tena mwaka ujao Mungu akinisaidia ntajaribu tena kuyapanda Magonjwa labda? Pia yaliweza kustahimili ugonjwa maana hayakupata tatizo lolote kwa haya kidogo niliyoyavuna na pia yanastahimili ukame maana nimevuna kidogo asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 54.496
| 32,000
|
|
Swali linasema ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula nyumbani Niliyapenda Uliyapenda? Niliyapenda kwa matumizi ya nyumbani
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 22.112
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote unadhani kinaweza kufanya aina C aina C ya mbegu ya maharage kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula Sijui Asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 17.088
| 32,000
|
|
kwa hiyo unaonaje katika mbegu hizi zote tatu, nini maoni yako maoni yangu , maoni yangu ni kwkenye B kwanza uzalishaji wake ni mkubwa maana zinakua manene kwa upande wa mbegu inafaa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 7.904
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya B kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula kwa upande wa chakula, kwa matumizi ya chakula hapana kwa kweli lakini kwa upande wa biashara inafaa, sawa eee ikijaa vizuri, yani maana yake ikipata mvua kabisa ya kushiba inavuta kw aupande wa biashara inawezzekana
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 9.856
| 32,000
|
|
je kuna kitu chochote ulipenda kuhusu kukuza aina ya B ukuzaji wa B napenda kwa sababu kwa upande wa kuuza inavuta wateja kwa sababu inashiba, inakua manene
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 10.24
| 32,000
|
|
Katika mbegu tulizokukabidhi au kukupatia ni aina gani uliipenda zaidi kutokana na wewe ulivyoenda kuifanyia kazi shambani namba A
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 10.912
| 32,000
|
|
Nini kilikufanya uipende aina A kwenye kuikuza au kuilima shambani moja inavumilia ukame mbili uzao wake ni mzuri sawasawa
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 15.072
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukukipenda kuhusu ainaya B kwa biashara au matumizi ya chakula kwa matumizi ya chakula sipenda maan yanaonekana kwanza sio matamu lakini upande wa biashara ni nzuri kwa sababu ata wakinunua wataenda kutengenezea biskuti
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 21.856
| 32,000
|
|
Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula nyumbani Aina A nilichokipenda uzao wake naona utakua mzuri kulingana na nilivyoona
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 15.2
| 32,000
|
|
nini ulipenda kuhusu kukuza ina ya C nimependa rangi yake jinsi ilivyo na pia kupeleka sokoni itavuta wateja
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 23.936
| 32,000
|
|
Ni kitu gani hukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula Nisicho kipenda ni kama nilivyokuambia kwamba yale maharage ni mazuri lakini shida yake ni kwamba yale maharage hayataki uchelewe yani sikupenda nilivyochelewa kuyaotesha
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 24.48
| 32,000
|
|
Kwa ujumla tukiangalia mbegu zote A, B n a C ipi nyingine ambayo imekuvutia zaidi na umeipenda C
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 10.176
| 32,000
|
|
Kipi kimekufanya uipende mbegu C pia Nayo pia inavumilia
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 7.392
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukipendi kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula kama haitakua na soko sipendi ukienda kwenye matumizi ya chakula labda kwenye matumizi ya chakula, sijawahi kula lakini endapo nitaenda kula kama italeta madhara, sio tamu sitapenda
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 10.752
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza ina C Hapana Hakuna kitu kingine ambacho kilikufanya upende kukuza hiyo mbegu aina C
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 15.232
| 32,000
|
|
ni ana gani ya tricot uliipenda zaidi niliipenda C
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 16.864
| 32,000
|
|
Ni kitu gani kukukipenda kuhusu aina C kwa biashara na matumizi ya chakula nyumbani Kitu ambacho sikukipenda kuhusu aina C kwa biashara na matumizi ya nyumbani? Ndio Kitu ambacho sikukipenda ni kwamba nimekwambia kwamba haivumilii kama namba A
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 23.616
| 32,000
|
|
Kipi kimekufanya uipende mbegu C pia Nayo pia inavumilia
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 11.008
| 32,000
|
|
ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? kw matumizi ya chakula ni nzuri maana kwanza kwenye ulaji haina gesi na pia ina soko
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 17.6
| 32,000
|
|
Kwa ujumla katika aina hizi tatu, ni aina ipi ya Tricot ambayo uliipenda zaidi? Ni A
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 8.864
| 32,000
|
|
kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi? ni C
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 7.584
| 32,000
|
|
kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi nilipenda B na C B na C, ipi uliipenda zaidi kati ya B na C? B ni B
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 13.856
| 32,000
|
|
Je ni kitu gani ulikipenda sana kuhusu aina A jinsi ya kuikuza ukielezea kwenye sifa za kilimo A ni nzuri kwa kula, ina rangi ya kuvutia A ina biashara Asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 18.656
| 32,000
|
|
ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Eleza kwenye sifa ya kilimo C ni nzuri maana haina gesi tumboni, alafu C ina biashara
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 16.096
| 32,000
|
|
Nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya B? eleza kwa sifa za kilmo B nimeipenda maana ukiotesha ina mifuko mingi na ukiipika hua ni tamu sana ukisema mifuko mingi unamaanisha nini namaanisha inabeba inabeba, inazaa sana eeee
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 24.416
| 32,000
|
|
Je ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A ukielezea katika sifa za kilimo Hakuna kitu niliona kibaya cha kwake Aya, asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 12.96
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C? Eleza kwenye sifa za kilimo sikuona utofauti wowote maana ni bora hiyo mbegu
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 13.952
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B eleza kwenye sifa za kilimo niliipenda kwa sababu ukiiweka kwenye udongo wenye rutuba hua inabeba sana kitu ambacho haukukipenda kuhusu hiyo aina B, uliipenda kwa sababu ya udongo wenye rutuba , lakini kitu ambacho haukukipenda kitu amabcho sikukipenda ukiotesha kwenye udongo,kwenye mawe hapo haibebi
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 35.36
| 32,000
|
|
Ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina A kwa matumizi ya biashara au kwa matumizi ya chakula?Niliipenda kwa matumizi ya chakula na biashara Kwa sababu gani, kitu gani kilikuvutia kwa matumizi ya biashara na matumizi ya chakula Ina rangi nzuri Na kwa matumizi, iyo ni biashara au chakula? Kwa biashara, kwa chakula ni matamu Asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 26.592
| 32,000
|
|
je ni kitu gani ulipenda kuhusu aina C je ni kwa biashara su matumizi ya chakula? niliyapenda kwa matumizi ya chakula na biashara kwa sababu gani kwa matumizi ya chakula na biashara? yenyewe ni matamu yenyewe hayana gesi kwa upande upi sasa kwa kula kwa biashara? kwabiashara iko juu zaidi ya maharage mengine
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 23.456
| 32,000
|
|
ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya B kwa biashra au matumizi ya chakula? niliipenda kwa matumizi ya chakula nikaipenda pia kwa matumizi ya biashara kwa sababu gani? kwa sababu yenyewe yana rangi ya kuvutia, kwa sababu yenyewe ukiiweka kwenye chakula yanakolea alafu ni matamu
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 27.072
| 32,000
|
|
je ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula? hakuna kitu ambacho sikukipenda kwa hiyo vyote umevipenda ? ndio haya
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 11.84
| 32,000
|
|
kwa ujumla ni aina gani ya tricot ambayo haukuipenda sana ni A A! ndio
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 9.216
| 32,000
|
|
Je ni aina ipi ya Tricot ambayo haukuipenda sana, yaani uliipenda sawa ila haukuipenda ukilinganisha na aina nyingine? Aina ya B Asante
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 12.832
| 32,000
|
|
je ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya C? eleza kwenye sifa za kilimo aina C hua haibebi mifuko mingi ikichelewa kuota au ikipigwa na jua
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 17.152
| 32,000
|
|
ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B? Elekeza kwenye sifa za kilimo B ni kwamba ukichelewa kuotesha haiji alafu ikipigwa na jua hua haileti mifuko mifuko mingi
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 19.36
| 32,000
|
|
Je kuna kitu chochote ambacho ulikipenda kuhusu kukuza aina B katika sifa za kilimo ukielezea Kwa kweli hamna kitu ambacho nimekipenda
|
none
| 0
|
1970-01-01 00:00:00
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
|
none
| 0
| 12.352
| 32,000
|
End of preview. Expand
in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 50