Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
audio
audioduration (s)
30
30
speaker
stringclasses
1 value
text
stringlengths
289
501
abel
Wakurugenzii, haha. Mamen wakurugenzi minisodes kama k. Kabla sijaingia katika hekaya ya leo nataka tu niwakumbushe unatosha, unatosha mtu yangu. Mtu asijaribu kukuambia ati ooh ooh sijui ni unatoshaaa. We ni mzii bana. Mi sijui kama kuna mtu yu huambia. Mmmh. Huyo mtu anakudharau hapo job, mwambie hiyo kazi si ya nyanya yake bana. Ai unajua watu vile saa ingine mko kazini anataka kukuonyesha vile
abel
yeye na bossy wanapumuaga hewa ziko flavoured. AAh wakwende uko. Hao hawakutambui we. Skill yako bana ni unmatched. Ni nomaaa. Usikubali mtu akueke chini bana ah. Kwani ye ni nani? Ye ni naniii? Ah unatosha mkuru, uko tu sawa, alright? Hapo sawa. Uum wangwana bana najua wengi mtabishana na ooh sababu ambassadors
abel
wa hii kitu ni wengi sana na wanakujanga mpaka na facts. Lakini mtaniruhusu tu niseme. Aki aki aki, kwa mtu ambaye hana shida, ako tu sawa like yeye ako tu freshi hana sijui a medical condition, mimi sioni sioni umuhimu wa bangi. Aki! Mimi najua mtanisulubu sababu ya kusema hivi. Lakini mimi sijui bangi imesaidia nani kwa hii maisha. Wacheni tu niseme ukweli.
abel
Na najua it's a thing. Eeeh tunaskia fiti bana, eeih tunakaseti nini. Ehe, you look cool. Hakuna kitu! We oh! Hii bangi imevutwa hiyo kitu tangu nineteenth century. Yea ha! Iko tu! Hakuna ati manufaa. But ukaniuliza wale watu iyo kitu imewadhuru na wameenda vibaya nitakuonyesha wengi. Lakini ati mtu imemsaidia mazee yani, eeih maze siku hizi bana
abel
mambo yangu inaenda fiti tangu nianze bangi jo nimetengeneza two million. Yei! He hehe. Mi sijawahi. But ukiniambia sahii niwahesabie watu bangi imewaweka chini, eeih list kibao. So, I don't know. I don't know. Like kama, kama si neccessary jo uguzane na hiyo kitu, wachana nayo. Wacha tu.
abel
Wachana nayo. So nimepatana na stori ya mkurugenzi fulani hapa. Eeeh I was really I was going into the story expecting a very a very you know unajua stori za weed zinakuanga eeh aah happy storiz. Yani ni kucheka tupu nini ei but the more nasoma bana the more nashindwa ei hee eeh okay hii kitu si, wacha wachana nayo. Ikoo Haiwezi. So huyu mjamaa eeh okay ni kitu ya a while eeh a while a while back. Ni si stori ya juzi. Ni ya zamani
abel
eeeh ah amemaliza shule pale eeh eeh ni ako ka gap year before watu waingie kole. Saa hii gap year ndio unakaaga na mabeshte hapo kwanza unakutana na mabeshte wa-new eeh wenye pia mmemaliza pamoja. Eeh mnapiga piga mastori hapo unagundua hao mabeshte wako wanagonga gonga hii kitu. Ka-curiosity kanaanza kukuingia lakini unakumbuka maadili. Pastor alikataa mambo ya hiyo hataki. Ehe unajishikilia kidogo. So alijishikilia shikilia sana kabla
abel
aah aanze kuingia kwa majaribu. Until siku moja mazee amekam ametulia tu kejani hana mambo jamaa akakuja akamgongea hapo. Eeeh niaje fiti una-do nini? aah naona tu tv aah tokaaa. Unaona tv nini. Toka tuingie hata mtaa tupige pige ma-lap nini nini. Tucheki hata town inaendeleaje. So wakatoka wakaingia wakapiga ma-area za kwao huko ma-lap lap. Wakaenda wakatulia maskan fulani ka-base tu ka-fiti kametulia hakana mambo mingi. Jamaa akaingia kwa mfuko akakachomoa aah kakaseti pap pap
abel
pitaanga hapo nje ya kwake wanaskianga. Unajua harufu ya hii kitu unaiskiaga tu. So wakajiambia aa huyu jamaa juu ye huiseti lazima akue anajua vile kudeal na hii kitu. So akang'ang'ana akashuka chini mpaka kwa floor yake akaenda akagongea jamaa. Luckily mjamaa alikua area anakula tu reggae yake pole pole asumbui mtu. So akamgongea mjamaa akafungua eh msee akamwambia msee niko vizii jo. Nimegonga kitu inanifanya mbaya mazee I think nime-overdose man. Nimepiga nini nusu na ni first time yangu. Aah
abel
aah jamaa akamwambia eeh hapo umezidi. Hii kitu siku za kwanza kwanza inataka unagusa gusa tu kidogo unaachana nayo. So akamwambia haina mambo kile tutafanya eeh tutashuka chini tuende kwa shop. I think walienda kwa shop waka-buy nini. Wali-buy energy drink. Eeeh. Alimwambia tuende kwa shop tuende tu-buy energy drink uipige pige energy drink kabisa. eeh tuone kama mambo itarudi fiti. But before waende kubuy energy drink alimkalisha chini enyewe watu wa bangi
abel
wa bangi wanajua mambo yao. Alimkalisha chini kwanza akampiga ka ka-session ka-counselling. Umjua vile unaendanga kwa therapist. Anakaa pale unamwambia shida zako nini sasa ilikua anamwongelesha tu. Ku-try kum-cool kumwambia niaje uko sawa. Haina mambo nishai ona wasee wako kama wewe so it happens. This is nothing unique, so don't worry utarudi tu fiti. Hii kitu inataka una-relax. Eeeeh. Wacha mafikra mingi nini ukikubali thoughts zako zi-run wild itakua blunder. So tulia
abel
aah. Tuliaa. Unajua watu wa weed hawanaga mbio. Wanaongeanga hivyo. Hata unaweza kua unadedi, unaeza kua unaungua you might be literally on fire like hu flames, mtu wa weed usi-panick. Cheki lala chini na ubingirikeeee. Itakua sawa. Hawanaga pressure. So jamaa maze ametulia hapo ameongeleshwa wakaamka wakashuka chini wakaenda akashika energy drink akapigwa energy drink yake safi
abel
then akaambiwa sasa kutoka hapa usifikirie kitu. Uko na woofer mtaani? Eeeh. We ingia, seti doba yako mdogo na utulie. Tulia. Haitaki mambo mingi. Ei jamaa akasema hiyo iko sawa. Akapandishwa stairs mpaka kwao. Akaenda akaingia. Akaseti doba yake vizuri kamuziki kwa system na akaenda akatulia. Akaingia kwa simu akaingia pale Tiktok akaanza tu ku-scroll pole pole pole pole . Wakati una-scroll pale Tiktok
abel
huonangi idhaa ikienda. Aliingizwa pale saa sita mchana by the time anashtukia ni saa tisa. Imeshuka. Imeenda kabisa. okay haijashuka yote ako kama ninty percent okay saa hii. Aaah bas, akarudi form akarudi form akaamka akaenda chini tena akatafuta kamaziwa kengine akakagonga bas na akarudi mtaa akatulia vizuri. By the time mama yake anatoka job akuje mtaa anapata jamaa ako sawa hata asharudi one hundred kila kitu iko freshi. Lakini
abel
kwa minyororo ingekua mbaya. Sasa naskia kuna watu izo thoughts zao zuwaambia hivo. You need to do xyz wanaenda wanafanya hiyo kitu na ni noma. Like kuna mtu ingemwambia apo tenth floor mahali alikua we ruka uskie hiyo breeze. Wallahi na angeruka. Hiyo ndio kitu mi naogopa na hiyo kitu. Juu ni nini hiyo inakusmamisha from kufanya hiyo kitu? Mmmh. Ni nini hiyo? Jee
abel
hiyo hiyo intuition iki ikienda leave kidogo. Sasa kama huyo kijana tu by the way tuuu weed to imwambie aah eeh ruka by the way hio utaskia upepo safi sana by the utaskia fiti sana. Hivyo ndio tungekimbiza mwili. Aaah wacha. Halafu the fact that ati inasemekanaga kuna watu wengine wakigusa hiyo kitu wanachizi. So unajuanga aje wewe si hao watu wengine? So hii ni ni first time yako ndio hii. Ehee ndio hii. Ehee. So how do you know wewe si hao
abel
wenye ukitandika una. Aah we wachananeni na hiyo kitu man. Yooh. Na najua mtaninyorosha nyorosha lakini aah wale wa kuskia wacha waskie. Nyinyi endeleeni. Kama mume ninii na mnaona manufaa ah okay. It's okay. But hao wenye hawajaanza wacha tuachane nayo. Mmmm. Na genz mna-experiment na drugs sana. Naona mnaeka vitu kwa macho siku hizi. Munaa chukua sijui ninii eeh vinywaji
abel
kali kali mnaweka kwa tampon. Aiih. Hapana. Hata kama. Unajua hii sherehe haijaanza na nyinyi. Sijui kama eh mnasahauingi hiyo fact. Hii sherehe haijaanza na nyinyi. Hii sherehe ilikua. Guka yako akimaliza kuonyesha shosho kuendesha baiskeli unafikiria alikua anaenda wapi? Chang'aa! Ehe ha ha! Alikua anaingia sherehe. Na guka yake pia. Wako wapi saa hii? Si tuliwazika. Sherehe imeenda mahali? Si
abel
iko. sooo hiyo high unatafuta na nguvu hivyo ni ya nini? Like why? Eeeh? Why? Ee buda jidunge hii kitu halafu ukule mayai mbili tatu flash. Why? Ah we wacheni bana. Eeh tuonane next time. Mna mnasemaje forty. Ooh Michi, ooh hata yeye alikua wa hizo. Eeeh eeh. Mambo ya Michi tuliskia. Anakata maji yani mpaka jasho yake
abel
yako inanuka County. Ehe hehe. Ehe. Sasa Michiii, hiyo tungekimbiza mwili hiyo time ebu imagine. Na si sherehe inaendelea. Mpaka leo. Watu wanapiga tu sherehe. Wewe tungekua tulikimbiza mwili Mosocho. He he he. Ukaachia wazazi stress hapo. Mmh. Na Mungu ni mwema kama huyu kijana amerudi. Stori za huyu kijana tumeskia hapa. He eh he! Mmh mhm. He hmhm hm
abel
yako inanuka County. Ehe hehe. Ehe. Sasa Michiii, hiyo tungekimbiza mwili hiyo time ebu imagine. Na si sherehe inaendelea. Mpaka leo. Watu wanapiga tu sherehe. Wewe tungekua tulikimbiza mwili Mosocho. He he he. Ukaachia wazazi stress hapo. Mmh. Na Mungu ni mwema kama huyu kijana amerudi. Stori za huyu kijana tumeskia hapa. He eh he! Mmh mhm. He hmhm hm
abel
mtu aanze bangi nyinyi. aah. So manze wanakaseti seti hapo nini jamaa ako hapo tu kando aah hataki hiyo mambo. Akaambiwa mtu wangu ni nini mazee? Gonga hata. Guza hata ka-puff usikie fiti. Aaah. Akasema you know what, unajua hakuna kitu ngumu kama kukataa kitu hujajaribu. Saa unakataa na reasons gani? Si nijaribu inishinde niseme enyewe hii kitu sivuti sababu ya abc and d. Akasema leta hiyo kitu wewe. Akagonga
abel
eeish. eeh eiye sawa. Akarudisha mmhm akakaskiza mmhm iko sawa. Gonga moja ya mwisho, ya mwisho tu, a okay. Eeeish aah sawa. Bas na wakatulia. Eih kidogo kidogo eih inaanza una unakaskianga kakikuja eih. All of a sudden kila kitu inakubamba jo. Alafu inakuanga the most trivial stuff. Unajua zile vitu zenye hata people don't really care about. Hizo vitu ukiona zinakumaliza unaeza cheka ukufe. Hakuna kitu ilikua inammaliza kama ile design ya nzi
abel
ina-land alafu inanawa mkono. Ushawahi ona nzi nzi iki-land inanawa mikono? Alafu saa ingine inanawanga mpaka miguu za nyuma? Mshawahi ona hiyo kitu? Hiyo kitu ilikua inamchekesha anadedi. Unashindwa okay ni nini? Ihi hehehe. Manze alikua anaisha. Akatoka hapo manze wakamalizana na beshte akaenda tu mtaa akiskia ooh oiyo akavuka mpaka kwa keja akapata mamake ako area. Sasa hakuna kitu mbaya na weed kama zimekushika
abel
mwambia hata si kitu. Bangi ikamwambia the only way utaskia hiyo breeze ni ukiruka kutoka hiyo tenth uende mpaka chini utaskia breeze fiti yani ni kama una eeih unapepea. Akaenda akapanda ukuta ya rooftop. Anataka sasa kujiachilia hapo. Sasa sijui ni kama instincts zili-kick in. Zikamwambia gathee hii ni upuzi shuka. Mazee akashuka. Hakuruka. Lakini yani ni bahati. Juu hata yeye mwenyewe to this
abel
very day hajui kwa nini haku hakuwahi ruka. Ju kila kitu mazee kwa eeh his entire being ilikua inamwambia una-need hiyo hewa. Ruka mtu wangu. So akajitoa hapo akarudi chini akaanza kushuka tena eeh stairs. Akakumbuka aah majirani. Niko na neighbors. Si niwagongee wanipeleke hospitali jo juu hii sasa imezidi hii ni mbaya. So anaenda anawagongea. Nothing, hakuna. Ofcourse hawako majirani si ni watu wanafanya kazi. Wameenda nyumba zimefungwa. Ameenda akafika place
abel
fulani mazee akakumbuka aah wait. Kuna dem tunakuanga na ye floor moja. Tuongeleshanangi lakini najua yuko ndani. Wacha niende nimgongee nione kama atanisaidia. Ah no no noo, huyo dem alikua dem random. So kwa hizo milango random anagonga gonga hakuna mtu anafungua, apart from mmoja. Kadem kanafungua kanaona jamaa vile mazee ameririma ameyoyoma mbaya. Eeih akaogopa. Akafunga mlango. So huyo mjamaa mazee anadedi mpaka miguu zimeshindwa kumshikilia
abel
ameanguka ame-collapse chini hapo kwa floor. But mrembo anamchungulia kwa dirisha. Hapigi simu ku-alert watu haongei anaangalia tu. Mtu akienda hapa. So after some time akaona hee jo nitakufia hapa mazee na naona tu mdem akiniangalia kwa dirisha na hanisaidii. Amejaribu mpaka kumwita mazee. Nisaidie joo naskia ni kama nadedi. Eei. Akaamka akakumbuka sasa akona jirani wanaishingi the same floor. Na huyu jirani huwanga anakaseti. Ju kila time wakipitana
abel
hapa. So zikamwambia nini, toka. Toka upigwe na upepo hiyo kitu ishuke. So akatoka akang'ang'ana akafungua mlango akaenda pale kwa balcony. Akaskia hapana. Hii upepo hainipigi vizuri. Wapi ndio upepo inapiganga poa? Aaah, rooftop. Akapanda juu mpaka roof. Hiyo building yao ni ya ghorofa kumi. Ten floors. Pale juu maze akaenda akasimama na anaskia ka-breeze kako lakini haimchapi fiti. Anaitaka yani, anataka ipite ile ya whooosh ile inapeperusha mpaka nywele. Unajua hiyo breeze. Kitu ikamwambia
abel
manzee zimemchapa. Anaskia kizunguzungu, anaskia nausea, yani anaamka anajaribu kutembea mpaka ana-stagger. Zimemshika deadly. Eih. Akatoka mazee akaenda akaosha kichwa. Akaosha kichwa, akaosha kichwa ai haskii yawa hapana bado. Akaenda kwa fridge kutafuta maziwa. Hakuna! Yote sijui ni kama walipika chai. I don't know. Hakuna maziwa so ako hapo mazee anaskia waa! It's too much! It's too much akajiambia hapa nikiendelea kukaa kwa hii hao nitakufia.
abel
mazee hapa Jamaica weed inamea kila mahali. He he. Bana uko kwa thoroko bana toka. Unafanya nini kwa terere? He he he he. So huyu zake zilimwonyeshaa, ee buda umegonga nyingi. Heart yako itapiga zaidi high blood pressure ukufe. Wa wa wa wa! So the guy ako hapo ana-try ku-stay alive. Zimemwonyesha wewe unaenda. Vile unaskia vile hiyo roho yako inapiga, unaenda! Ai ya ya
abel
ndio iskumalize. Ukikaa chini, mtu yangu unaingia China immediately! Utaingia kwa ndege uingie China saa hiyo saa hiyo. Zikuonyeshe mazee uko huko kwa ma-factory mnajenga mandai. Yani mko kazi. Eeeh waa hallucination ikaanza. But sasa yeye, haimpeleki huko. Mimi nimeskia imepeleka watu. Kuna boy wangu fulani mazee zilim-show yani tukampata kwa shamba ya skuma aki anatembea akishika skuma hivi. Kwa shamba ya skuma. Eeh anatembea mazee. Tunamwuliza eeh gadhee ni nini mazee?
abel
yani akaskia eh eh eh eh eh! Ei, it's too much! Akakanyonga. I think hiyo ingine hata alitupa. Alijua sasa ni hivyo nimemalizana na hii kitu kabisaa. Na akatulia. Eeh, wee unaskianga mazee ni kama nyumba yako iko ndani ya blender. He he he he. Wacha mtu si aanze ku hallucination ina-kick in pole pole. Halafu kumbe ni kama hii kitu haitaki ukigonga ati utulie. Inataka jipatie shughuli jipatie tuvitu
abel
mkubwa akalala sawa asubuhi mama akam aga akaenda. Jamaa before hata breakfast akakachomoa akaenda akakaseti. Akapiga ooh ya kwanza mmhm ya pili eeh anaskia fiti ooh ya tatu eeh before agundue amegonga hiyo stick nusu. This is the first time ana-interact na hii kitu vizuri. Unajua ile ya kwanza ilikua kuguzishwa tu. Piga puff mbili bas maliza. Ei akapiga hiyo nini
abel
ako karibu kufika. So hii ni the following day. Jana alikua amenini so the following day ametulia tulia ame-organize na beshte yake by the time beshte yake ameleta siku imeenda enda. Akajiambia saa hii nikiseti, itakua kama jana. Naanza kuhepa hepa madhe tena. Sitaki. So wacha ni niiseti then kesho asubuhi mother akitoka akienda kazi sababu anatokanga hapa saa moja anarudi six jioni. Akienda, na mimi nakaseti. So akaenda akasunda mambo yake fiti na akatulia usiku
abel
aaah amepima pima ameona mambo iko sawa. Akavutia huyo beshte yake huyo wa jana akamwambia cheki, ile stuff unai-get-ingi wapi? Aah hiyo niko nayo hapa. Ahh nikimbie? Nikimbie kamoja kamoja tu sitaki mbili. Hiyo ni kiherehere. Kamoja. Jamaa akamwambia haina mambo, nakuseti. Aka-come akamseti kamoja. Na inatoshana na hii kidole tu hivi na kakonde hivi kama biro. Mmmm. Kame-roll-iwa fiti sana. So akaenda akajifungia kwa keja vizuri na akasema eeh since jioni iko
abel
For some reason, by the way maziwa ika ikashukisha hizi vitu. Ei akasema wee, ei hii kitu mazee high yake ni safi. Ei ei ei ei sijawahi skia yani kitu tamu hiyo design. Hawajaonja hii kitu uliza sisi ni tamu. Ah hii lazima nijaribu one more time. Sitaki mambo ya bangi mimi. Sitaki. Lakini nataka tu nifanye ya mwisho alafu niwachane nayo. So the following day
abel
unataka kuonyesha watu hazijakushika. Unakaanga fala. He he. Juu una-try ku-maintain lakini, he eiye he he he he e kitu ikamwambia buda the more unakaa hapa the more unachoma. Huyo mama yako si mjinga. Atakupiga macho mara mbili hivi agundue kuna kitu iko off. So akajitoa akaamua wacha niende nitafute maziwa nipige nione ka zitashuka. So akaamka akatembea hapo pole pole akaenda akafungua fridge akaseti maziwa akapiga alafu akaendanga bedroom akatulia.
abel
unataka kuonyesha watu hazijakushika. Unakaanga fala. He he. Juu una-try ku-maintain lakini, he eiye he he he he e kitu ikamwambia buda the more unakaa hapa the more unachoma. Huyo mama yako si mjinga. Atakupiga macho mara mbili hivi agundue kuna kitu iko off. So akajitoa akaamua wacha niende nitafute maziwa nipige nione ka zitashuka. So akaamka akatembea hapo pole pole akaenda akafungua fridge akaseti maziwa akapiga alafu akaendanga bedroom akatulia.
abel
mimi na yeye, akasema siku ingine, ajipate tu hata karibu na mtu wa ajikute! Infact huyu neighbor wake mwenye anagonga inamtatiza sana sababu ei second hand si inaeza kuwa hatari. Infact hata huyo neighbor ndio alimtoa hapo mbio akamwambia hata siwezi kutaka ukae na mimi hapa juu unacheki hata mimi pia naigonga. So nikiigonga bana inaweza fanya yako ikue worse. So tushuke tu chini tuende tu tulie. Tulia eeh. Na hivyo ndio jamaa alitoka
abel
apigiwe makofi huyo jamaa. Ameng'ang'ana. Watu wanaamka kuenda shoot anasema wacha niingie hapa nigonge moja tu. Moja tu! Alafu ni niingie kazi. Anagonga moja ei Michi unakuja shoot? Umbwaa! Shoot ya nani? Kwani kipindi ni ya nyanya yangu? Pombe ni mbaya guys. He he he he he. Nimefunga. Ai tuonane.
abel
kuna vile wana. You look cool mazee na hako ka-lighter. Alafu watu wa watu wa weed huwanga wakikachapa hawapulizi kama watu wa fegi. Unajua watu wa fegi. Ah Ah. Anakachapa halafu anaendelea kuongea yani kamoshi kanakaa kaa hapa. Ha ha ha ha ha ha. Hakatoki hako tu hapa. Ei. Ina-look very cool. Hata kidogo ikikaa ni kama kamoshi kanatoka anakarudisha. Eeih kanarudi. Ehe ei. Unaweza fanya
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
7