audio audio | text string |
|---|---|
Onjiri unataka ku-charge? Simu? By the way nimebaki na moto kidogo, naona ni kama inafaa i-charge-iwe. Hmm. Mhhm. Tuende nikaku-charge-ie. Kuni-charge-ia? Hahaha, unani-charge-ia simu wapi? Tuende nikakuonyeshe. Kunionyesha nini? Onjiri tuende ukaone. Nini? Si naenda kuku-charge-ia. Kuni-charge-ia simu? Wapi? Kwa bedro... | |
It is better to ask for forgiveness than to ask for permission. Unanielewa tuko sawa? Acha ni-repeat tena. It is better to ask for forgiveness than to ask for permission. In short ukitaka kitu yenye uko na chance ya kunyimwa ruhusa ifanye kwanza alafu utasema pole. Chances chances ya kusamehewa are very high. It is ver... | |
na heshima mingi uombe permission. Uambiwe hapana. Si afadhali u uendelee useme po pole. Ha ah. Lakini usiposamehewa ushafanya kitu ulikua unatafuta. Hata hii story unaweza iekelea kwa kazi usikue tu hiyo akili yenye umeanza kufikiria hiyo. Sio hiyo inaeza kua kazi. Unaweza iba client wa mtu ama position ya mtu kazini... | |
But najua akili yenu imeenda huko kwingine. Huko kwingine pia it is better to ask for forgiveness. it is easier because tuseme wacha nikuambie example. Kuna mahali nilikua nafanya event Kisumu. Lori yenye ilikuja ikashindwa kufanya U-turn. So nikaanza kuambiwa, si uulize mwenye hii boma ka tunaweza bomoa fence yake ala... | |
mtu amefika mseme mtu alimuliza permission hakukua. Mi nikasema tu acheni tu nibomoeni hii fence huku mpaka huku. Tuingie kwa boma yake tugeuze hii lori. So by the time amekuja tuko like si niliwakataza. Aaih imagine mi sikuambiwa. Pole pole nitagharamia cost yote ya hii fence usijali. No problem. But ahah ukigombana, ... | |
How many are will be forty here. No other surprises. Many of you don't also know this group I'm about to play for you. Ooh baby I love you waay every day yay e hey. So now I'm seated there enjoying. Scene is wonderful, looking at people my age I don't have problems. I don't I'm not worried who's going to take from my ... | |
The first year of marriage, the husband speak and the wife listens. Second year of marriage, the wife speaks the husband listens. Third year in marriage, they both speak and the neighbor listens. Ha ha ha. I just want to let you know that kiss as much as you want. Do more kissing before entering in marriage. Because in... | |
Every body was playing the way they are supposed to play. Kucheza mziki zake come with his own band and they play and it makes fucking sense. Then now they brough a airee woooh airee wooo. Even guys then this been deep and I ub-forty and baby girl you take me here I am baby | |
Onjiri unataka ku-charge? Simu? By the way nimebaki na moto kidogo, naona ni kama inafaa i-charge-iwe. Hmm. Mhhm. Tuende nikaku-charge-ie. Kuni-charge-ia? Hahaha, unani-charge-ia simu wapi? Tuende nikakuonyeshe. Kunionyesha nini? Onjiri tuende ukaone. Nini? Si naenda kuku-charge-ia. Kuni-charge-ia simu? Wapi? Kwa bedro... | |
However, what do you feel about that? Yes because if we are saving men, we should also be saving women because hakuna venye mtu atakuweka mimba na apotee. Right? If someone alikuzalisha na akakuambia mlikua mme-agree na akapotea we should out out those people. Yeah sasa tuki-raise ndio mtu mwingine asiwekelewe mimba ya... | |
We na kuangalia mzee wangu. Gari tumenunua pamoja. Gari tulinunua pamoja. Madam a a we ukununua hii gari we uliomba. We uliomba tu apate gari. Maombi yako. Mum, mum wacha kupanda mori. Acha kupanda mori. Wacha king Solomon atuambie nani atapanda. King Solomon ama Mr. Ngong atuite hivyo. Nani atakaa mbele? Ntakupiga. We... | |
images like that. Let me show you how to. First you wil need to open the Google Gemini app. Copy the prompt on my caption and paste it there. Prompt is very detailed. You will need to upload a picture and Google Gemini will then ask you to chose your team. Give it a few seconds to generate and voila, there you have it.... | |
Best. Nachukua ile dhania naweka pia yeye ndani namna hiyo. Nachukua ile black pepper ya royco naweka pia ndani naanza kuspin. Waraka yeye nakua tayari. best. Anachukua saha naweka ile kamau ulibonda bonda alafu naweka ile solomon yako nawekelea hii maneno juu. Woria tamu sana. | |
Ushatoka kucheza? Eh, nishatoka kucheza. Ooh. Mum unajua kuna mzungu kwa shule yetu by the way. Wacha. Kuna mzungu kwa shule yetu. Janelle. Dong anyisi. eeh. Mum. Eh. Huyo mzungu anajifanya ati hajui kijaluo. He! But mimi kazi yangu tukishamaliza kula lunch. Eh. Ooooh mimi kazi yangu ni kumfunza kijaluo. Janelle! Dong... | |
Are you planning to buy a new phone? Before you do, wait a minute. Na niko hapa Renjiv plaza shop G9, the newest phone shop in town. Come, let me show you some. Na hiyo phone umekaa nayo miaka mingi sana. hata kuwaka ni shida, lazima uipige kofi ndio iwake. It's time to upgrade ma-guys. Shiloan communications tuko na s... | |
Mpaka ile picha we napigwa we nakaa kama naanguka balcony. Sasa we kama iko na msee nataka niibie yeye pesa ndio hiyo. Unamwambie msee walahi mi naanguka balcony nisaidie pesa anakutumia yeye pesa. Woria hii msee amenifikisha ni mahali wewe unafaa uende na rafiki yako upeleke hata watoto wao wana-enjoy namna hiyo. Ana... | |
About twelve billion Kenyan shillings every year in pure profit dividends. If you do the math, the government will completely burn through that sale money in just seventeen years but if they kept the asset it would keep paying the country for another thirty or fourty fifty years after that. We are basically trading a f... | |
Married men if you know you are a married man please leave other girls alone. I repeat married men should leave other girls alone. You were not forced to marry. You were not forced to marry that wife. Eeh. Married men huku inje munasi mnashindia wasichana wengine hi hi hi hi hi hi. Who told you to marry? Eeh. Hi hi mwa... | |
For one single check today to be spent inside a brand new government fund with no track record. The asset grows for half a century. The check will clear excatly at once. The fund is a vehicle without feet because we don't know about this fund. This is not a financial question. It's not a que, it's a question of control... | |
Pia sipendi kupanda panda gari na watu. Kenye tu nimebakisha ni ofcourse sasa naingia na nalipa viti zote. Yes. Onyeshana hapo to give the brokies hope that pia sisi tunapanda. we are also the brokies but tunaokota tu gari sisi peke yetu. Yeah. yeah, tumechukua private. Please don't give up. Don't loose hope with this ... | |
One two, say one two. Mhhm Mhhm. Hmmh. Mrs. president, Wangari Maathai. Karen Nyamu. Honourable speaker, JJ Gitahi. Nilikua napumzika tu. Ooh woow, Maurine umekaa hapo nitoke kazi nikuje nikulishe na Maurine nioshe vyombo. Mum naosha , sasa ni nini, si naosha acha tu niende. kaa kaa kaaa. Mum acha hizo | |
Two months ago, nilipiga selfie na msee anatumia android nikapata chicken pox. Mara ya pili same thing happened to my friend. Alikua anakatia dem ako na Tecno ai kiasi kiasi akapata UTI. Juzi pia nimeingia kwa room imejaa watu wako na android ofcourse the first thing nafanyaa nafunga mapua. Kiasi kiasi nikanza ku-nose ... | |
Anyway mpaka saa hii yeye anakula makaa namna hiyo. Unataka akupende aje? Roho yake imeshakua nyeusi woria. Sasa wewe peleka kaptura yeye apana patia yeye chance ingine. Hiyo maneno yake inaishia one term best woria. Woria lakini hii Mursik na ugali ni tamu sana. sasa nataka nikimbie kilokita sixty saa hii | |
Nani anashoot the the doc Ngumba DNA show? Ni mimi. Sasa niko session ya kukula. Tulisema ukitaka to be featured in this show, just hit our number. Zero seven four five seven six seven zero nine seven, wacha kwanza nikule as we wait for the next couple. Ya kwanza karibu ifanye ni-sweat bana. I hope I get used to this. ... | |
Best! After hiyo treatment sasa ameleta ku-style nywele yake akatumia ile silk braid. Amefanya yote namna hiyo nywele iko healthy, nywele iko na strain nywele shiny nywele inakaa wow wow. Ndiyo hio sasa. Waria hii yote wewe atapata pale Kilimani pink banner iko Sifa towers Waria | |
That's why you can be able to see difference trade at once. So you are not losing your money ama utapata hii ime-sell na ina-buy at once. Ukiangalia hii ingine ukiangalia hii ingine. And that's how they work. Now for example hii pia tunatumia one cable connection but tume-connect power hapa hivi kwa sababu inatumia po... | |
Yote ambayo Zeituni anapenda yote anapatikana hiyo siku woria. Watu yote ambayo wanauza chakula ile watu ambayo wanauza drinks we hapana miss hiyo opportunity woria. Pigia sisi simu book space yako sisi iko na limited space tuna tafuta ile food vendor. Ndio hiyo siku ya Id mtoto yote anacheza na anakuja anakula ile ch... | |
Fifty five thousand only here at Mr. Glitch computers fourth floor shop number ten along Moi avenue. You'll get yourself. Remember hii inakuja na fully installed Windows and office . See you guys on the next one . | |
The US would not allow any single ebola case. That means any single patient of ebola kuingia US. Marco Rubio secretary sijui of what said that Trump akiwa hapo. But sisi ni kama sisi ni kama sisi ni safe haven. We are allowing ebola patients wakuje huku kwetu. Unakaa hivi una unashangaa kwani serikali inatumia akili ga... | |
And ge can I like get a shot of something before? Ati nichukue. He he. This thing I should be chased like the ground. Right? Kuna raw? Ama? Yes. Anyway, aha. Koiga kuo gen z generali moto kama pasi and I am here to tell you Solfest tuende kazi. Guys I'm sure by now you're asking yourself why solfest twenty twenty six? ... | |
Waria leo mimi iko na ile furaha ribi ribo sababu Arsenal ameshinda ile world cup. Na mimi amesema atakula chicken twenty two ku-represent ile miaka yote ameteseka mimi. Best! sasa mi naanza ile process ya marination. Anachukua ile spicing yangu yote ya royco anaweka ndani yake namna hiyo. Ameskia mimi rumours mahali w... | |
wenye ukitandika una. Aah we wachananeni na hiyo kitu man. Yooh. Na najua mtaninyorosha nyorosha lakini aah wale wa kuskia wacha waskie. Nyinyi endeleeni. Kama mume ninii na mnaona manufaa ah okay. It's okay. But hao wenye hawajaanza wacha tuachane nayo. Mmmm. Na genz mna-experiment na drugs sana. Naona mnaeka vitu kwa... | |
kali kali mnaweka kwa tampon. Aiih. Hapana. Hata kama. Unajua hii sherehe haijaanza na nyinyi. Sijui kama eh mnasahauingi hiyo fact. Hii sherehe haijaanza na nyinyi. Hii sherehe ilikua. Guka yako akimaliza kuonyesha shosho kuendesha baiskeli unafikiria alikua anaenda wapi? Chang'aa! Ehe ha ha! Alikua anaingia sherehe. ... | |
iko. sooo hiyo high unatafuta na nguvu hivyo ni ya nini? Like why? Eeeh? Why? Ee buda jidunge hii kitu halafu ukule mayai mbili tatu flash. Why? Ah we wacheni bana. Eeh tuonane next time. Mna mnasemaje forty. Ooh Michi, ooh hata yeye alikua wa hizo. Eeeh eeh. Mambo ya Michi tuliskia. Anakata maji yani mpaka jasho yake | |
If I told you that Kenya is about to sell its Google its equivalent of Google for a bowl of soup you will not believe me. I call it the seventeen year check drop. Here is a piece of bad math that nobody is telling you about about the Safaricom sale. The government is selling a fifteen percent stake in Safaricom for two... | |
yako inanuka County. Ehe hehe. Ehe. Sasa Michiii, hiyo tungekimbiza mwili hiyo time ebu imagine. Na si sherehe inaendelea. Mpaka leo. Watu wanapiga tu sherehe. Wewe tungekua tulikimbiza mwili Mosocho. He he he. Ukaachia wazazi stress hapo. Mmh. Na Mungu ni mwema kama huyu kijana amerudi. Stori za huyu kijana tumeskia h... | |
mtu aanze bangi nyinyi. aah. So manze wanakaseti seti hapo nini jamaa ako hapo tu kando aah hataki hiyo mambo. Akaambiwa mtu wangu ni nini mazee? Gonga hata. Guza hata ka-puff usikie fiti. Aaah. Akasema you know what, unajua hakuna kitu ngumu kama kukataa kitu hujajaribu. Saa unakataa na reasons gani? Si nijaribu inish... | |
eeish. eeh eiye sawa. Akarudisha mmhm akakaskiza mmhm iko sawa. Gonga moja ya mwisho, ya mwisho tu, a okay. Eeeish aah sawa. Bas na wakatulia. Eih kidogo kidogo eih inaanza una unakaskianga kakikuja eih. All of a sudden kila kitu inakubamba jo. Alafu inakuanga the most trivial stuff. Unajua zile vitu zenye hata people ... | |
Let them die in their own Country. We don't have a problem. If a if a Kenyan come here with corona, me a me a me I would treat them. I would treat a Kenyan whos is sick of of ebola virus. I am okay with treating an ebola Kenyan patient. But let me tell you if the Kenyan government is allowing these ebola patients US eb... | |
ina-land alafu inanawa mkono. Ushawahi ona nzi nzi iki-land inanawa mikono? Alafu saa ingine inanawanga mpaka miguu za nyuma? Mshawahi ona hiyo kitu? Hiyo kitu ilikua inamchekesha anadedi. Unashindwa okay ni nini? Ihi hehehe. Manze alikua anaisha. Akatoka hapo manze wakamalizana na beshte akaenda tu mtaa akiskia ooh oi... | |
mwambia hata si kitu. Bangi ikamwambia the only way utaskia hiyo breeze ni ukiruka kutoka hiyo tenth uende mpaka chini utaskia breeze fiti yani ni kama una eeih unapepea. Akaenda akapanda ukuta ya rooftop. Anataka sasa kujiachilia hapo. Sasa sijui ni kama instincts zili-kick in. Zikamwambia gathee hii ni upuzi shuka. M... | |
Ama mint. Unapenda hii ya mint. Wacha tuchukue hi ya mint. Maureen unao-nosa hapa. Una-onosa hapa. Angalia una-onosa hapa. Hmm. Leta hako kakitu. Hmm. Maureen angalia you just press it sabuni inakuja. Angalia. Hii si mambo ya wazungu. Hii ni mambo ya pride Maureen. Angalia sisia kama hii. Mimi unajua sikua najua tuko n... | |
tee namna hiyo alafu we napeleka yeye jikoni ile ambayo amekauka nawakisha yeye moto namna hiyo. Best! Sasa wewe nachukua hii cheputet naanza kupuliza moto namna hiyo nafanya brrr. Moto akishawaka we nachukua ile Sotet naanza kuweka ile Iter yako ndani yake namna hiyo nahakikisha ile makaa mevunjika vunjikia ndani namn... | |
very day hajui kwa nini haku hakuwahi ruka. Ju kila kitu mazee kwa eeh his entire being ilikua inamwambia una-need hiyo hewa. Ruka mtu wangu. So akajitoa hapo akarudi chini akaanza kushuka tena eeh stairs. Akakumbuka aah majirani. Niko na neighbors. Si niwagongee wanipeleke hospitali jo juu hii sasa imezidi hii ni mbay... | |
fulani mazee akakumbuka aah wait. Kuna dem tunakuanga na ye floor moja. Tuongeleshanangi lakini najua yuko ndani. Wacha niende nimgongee nione kama atanisaidia. Ah no no noo, huyo dem alikua dem random. So kwa hizo milango random anagonga gonga hakuna mtu anafungua, apart from mmoja. Kadem kanafungua kanaona jamaa vile... | |
Wakurugenzii, haha. Mamen wakurugenzi minisodes kama k. Kabla sijaingia katika hekaya ya leo nataka tu niwakumbushe unatosha, unatosha mtu yangu. Mtu asijaribu kukuambia ati ooh ooh sijui ni unatoshaaa. We ni mzii bana. Mi sijui kama kuna mtu yu huambia. Mmmh. Huyo mtu anakudharau hapo job, mwambie hiyo kazi si ya nyan... | |
yeye na bossy wanapumuaga hewa ziko flavoured. AAh wakwende uko. Hao hawakutambui we. Skill yako bana ni unmatched. Ni nomaaa. Usikubali mtu akueke chini bana ah. Kwani ye ni nani? Ye ni naniii? Ah unatosha mkuru, uko tu sawa, alright? Hapo sawa. Uum wangwana bana najua wengi mtabishana na ooh sababu ambassadors | |
wa hii kitu ni wengi sana na wanakujanga mpaka na facts. Lakini mtaniruhusu tu niseme. Aki aki aki, kwa mtu ambaye hana shida, ako tu sawa like yeye ako tu freshi hana sijui a medical condition, mimi sioni sioni umuhimu wa bangi. Aki! Mimi najua mtanisulubu sababu ya kusema hivi. Lakini mimi sijui bangi imesaidia nani ... | |
Na najua it's a thing. Eeeh tunaskia fiti bana, eeih tunakaseti nini. Ehe, you look cool. Hakuna kitu! We oh! Hii bangi imevutwa hiyo kitu tangu nineteenth century. Yea ha! Iko tu! Hakuna ati manufaa. But ukaniuliza wale watu iyo kitu imewadhuru na wameenda vibaya nitakuonyesha wengi. Lakini ati mtu imemsaidia mazee ya... | |
mambo yangu inaenda fiti tangu nianze bangi jo nimetengeneza two million. Yei! He hehe. Mi sijawahi. But ukiniambia sahii niwahesabie watu bangi imewaweka chini, eeih list kibao. So, I don't know. I don't know. Like kama, kama si neccessary jo uguzane na hiyo kitu, wachana nayo. Wacha tu. | |
Wachana nayo. So nimepatana na stori ya mkurugenzi fulani hapa. Eeeh I was really I was going into the story expecting a very a very you know unajua stori za weed zinakuanga eeh aah happy storiz. Yani ni kucheka tupu nini ei but the more nasoma bana the more nashindwa ei hee eeh okay hii kitu si, wacha wachana nayo. Ik... | |
eeeh ah amemaliza shule pale eeh eeh ni ako ka gap year before watu waingie kole. Saa hii gap year ndio unakaaga na mabeshte hapo kwanza unakutana na mabeshte wa-new eeh wenye pia mmemaliza pamoja. Eeh mnapiga piga mastori hapo unagundua hao mabeshte wako wanagonga gonga hii kitu. Ka-curiosity kanaanza kukuingia lakini... | |
aah aanze kuingia kwa majaribu. Until siku moja mazee amekam ametulia tu kejani hana mambo jamaa akakuja akamgongea hapo. Eeeh niaje fiti una-do nini? aah naona tu tv aah tokaaa. Unaona tv nini. Toka tuingie hata mtaa tupige pige ma-lap nini nini. Tucheki hata town inaendeleaje. So wakatoka wakaingia wakapiga ma-area z... | |
pitaanga hapo nje ya kwake wanaskianga. Unajua harufu ya hii kitu unaiskiaga tu. So wakajiambia aa huyu jamaa juu ye huiseti lazima akue anajua vile kudeal na hii kitu. So akang'ang'ana akashuka chini mpaka kwa floor yake akaenda akagongea jamaa. Luckily mjamaa alikua area anakula tu reggae yake pole pole asumbui mtu. ... | |
aah jamaa akamwambia eeh hapo umezidi. Hii kitu siku za kwanza kwanza inataka unagusa gusa tu kidogo unaachana nayo. So akamwambia haina mambo kile tutafanya eeh tutashuka chini tuende kwa shop. I think walienda kwa shop waka-buy nini. Wali-buy energy drink. Eeeh. Alimwambia tuende kwa shop tuende tu-buy energy drink u... | |
wa bangi wanajua mambo yao. Alimkalisha chini kwanza akampiga ka ka-session ka-counselling. Umjua vile unaendanga kwa therapist. Anakaa pale unamwambia shida zako nini sasa ilikua anamwongelesha tu. Ku-try kum-cool kumwambia niaje uko sawa. Haina mambo nishai ona wasee wako kama wewe so it happens. This is nothing uniq... | |
aah. Tuliaa. Unajua watu wa weed hawanaga mbio. Wanaongeanga hivyo. Hata unaweza kua unadedi, unaeza kua unaungua you might be literally on fire like hu flames, mtu wa weed usi-panick. Cheki lala chini na ubingirikeeee. Itakua sawa. Hawanaga pressure. So jamaa maze ametulia hapo ameongeleshwa wakaamka wakashuka chini w... | |
then akaambiwa sasa kutoka hapa usifikirie kitu. Uko na woofer mtaani? Eeeh. We ingia, seti doba yako mdogo na utulie. Tulia. Haitaki mambo mingi. Ei jamaa akasema hiyo iko sawa. Akapandishwa stairs mpaka kwao. Akaenda akaingia. Akaseti doba yake vizuri kamuziki kwa system na akaenda akatulia. Akaingia kwa simu akaingi... | |
huonangi idhaa ikienda. Aliingizwa pale saa sita mchana by the time anashtukia ni saa tisa. Imeshuka. Imeenda kabisa. okay haijashuka yote ako kama ninty percent okay saa hii. Aaah bas, akarudi form akarudi form akaamka akaenda chini tena akatafuta kamaziwa kengine akakagonga bas na akarudi mtaa akatulia vizuri. By the... | |
kwa minyororo ingekua mbaya. Sasa naskia kuna watu izo thoughts zao zuwaambia hivo. You need to do xyz wanaenda wanafanya hiyo kitu na ni noma. Like kuna mtu ingemwambia apo tenth floor mahali alikua we ruka uskie hiyo breeze. Wallahi na angeruka. Hiyo ndio kitu mi naogopa na hiyo kitu. Juu ni nini hiyo inakusmamisha f... | |
hiyo hiyo intuition iki ikienda leave kidogo. Sasa kama huyo kijana tu by the way tuuu weed to imwambie aah eeh ruka by the way hio utaskia upepo safi sana by the utaskia fiti sana. Hivyo ndio tungekimbiza mwili. Aaah wacha. Halafu the fact that ati inasemekanaga kuna watu wengine wakigusa hiyo kitu wanachizi. So unaju... | |
ameanguka ame-collapse chini hapo kwa floor. But mrembo anamchungulia kwa dirisha. Hapigi simu ku-alert watu haongei anaangalia tu. Mtu akienda hapa. So after some time akaona hee jo nitakufia hapa mazee na naona tu mdem akiniangalia kwa dirisha na hanisaidii. Amejaribu mpaka kumwita mazee. Nisaidie joo naskia ni kama ... | |
hapa. So zikamwambia nini, toka. Toka upigwe na upepo hiyo kitu ishuke. So akatoka akang'ang'ana akafungua mlango akaenda pale kwa balcony. Akaskia hapana. Hii upepo hainipigi vizuri. Wapi ndio upepo inapiganga poa? Aaah, rooftop. Akapanda juu mpaka roof. Hiyo building yao ni ya ghorofa kumi. Ten floors. Pale juu maze ... | |
manzee zimemchapa. Anaskia kizunguzungu, anaskia nausea, yani anaamka anajaribu kutembea mpaka ana-stagger. Zimemshika deadly. Eih. Akatoka mazee akaenda akaosha kichwa. Akaosha kichwa, akaosha kichwa ai haskii yawa hapana bado. Akaenda kwa fridge kutafuta maziwa. Hakuna! Yote sijui ni kama walipika chai. I don't know.... | |
mazee hapa Jamaica weed inamea kila mahali. He he. Bana uko kwa thoroko bana toka. Unafanya nini kwa terere? He he he he. So huyu zake zilimwonyeshaa, ee buda umegonga nyingi. Heart yako itapiga zaidi high blood pressure ukufe. Wa wa wa wa! So the guy ako hapo ana-try ku-stay alive. Zimemwonyesha wewe unaenda. Vile una... | |
ndio iskumalize. Ukikaa chini, mtu yangu unaingia China immediately! Utaingia kwa ndege uingie China saa hiyo saa hiyo. Zikuonyeshe mazee uko huko kwa ma-factory mnajenga mandai. Yani mko kazi. Eeeh waa hallucination ikaanza. But sasa yeye, haimpeleki huko. Mimi nimeskia imepeleka watu. Kuna boy wangu fulani mazee zili... | |
yani akaskia eh eh eh eh eh! Ei, it's too much! Akakanyonga. I think hiyo ingine hata alitupa. Alijua sasa ni hivyo nimemalizana na hii kitu kabisaa. Na akatulia. Eeh, wee unaskianga mazee ni kama nyumba yako iko ndani ya blender. He he he he. Wacha mtu si aanze ku hallucination ina-kick in pole pole. Halafu kumbe ni k... | |
mkubwa akalala sawa asubuhi mama akam aga akaenda. Jamaa before hata breakfast akakachomoa akaenda akakaseti. Akapiga ooh ya kwanza mmhm ya pili eeh anaskia fiti ooh ya tatu eeh before agundue amegonga hiyo stick nusu. This is the first time ana-interact na hii kitu vizuri. Unajua ile ya kwanza ilikua kuguzishwa tu. Pi... | |
ako karibu kufika. So hii ni the following day. Jana alikua amenini so the following day ametulia tulia ame-organize na beshte yake by the time beshte yake ameleta siku imeenda enda. Akajiambia saa hii nikiseti, itakua kama jana. Naanza kuhepa hepa madhe tena. Sitaki. So wacha ni niiseti then kesho asubuhi mother akito... | |
aaah amepima pima ameona mambo iko sawa. Akavutia huyo beshte yake huyo wa jana akamwambia cheki, ile stuff unai-get-ingi wapi? Aah hiyo niko nayo hapa. Ahh nikimbie? Nikimbie kamoja kamoja tu sitaki mbili. Hiyo ni kiherehere. Kamoja. Jamaa akamwambia haina mambo, nakuseti. Aka-come akamseti kamoja. Na inatoshana na hi... | |
For some reason, by the way maziwa ika ikashukisha hizi vitu. Ei akasema wee, ei hii kitu mazee high yake ni safi. Ei ei ei ei sijawahi skia yani kitu tamu hiyo design. Hawajaonja hii kitu uliza sisi ni tamu. Ah hii lazima nijaribu one more time. Sitaki mambo ya bangi mimi. Sitaki. Lakini nataka tu nifanye ya mwisho al... | |
unataka kuonyesha watu hazijakushika. Unakaanga fala. He he. Juu una-try ku-maintain lakini, he eiye he he he he e kitu ikamwambia buda the more unakaa hapa the more unachoma. Huyo mama yako si mjinga. Atakupiga macho mara mbili hivi agundue kuna kitu iko off. So akajitoa akaamua wacha niende nitafute maziwa nipige nio... | |
mimi na yeye, akasema siku ingine, ajipate tu hata karibu na mtu wa ajikute! Infact huyu neighbor wake mwenye anagonga inamtatiza sana sababu ei second hand si inaeza kuwa hatari. Infact hata huyo neighbor ndio alimtoa hapo mbio akamwambia hata siwezi kutaka ukae na mimi hapa juu unacheki hata mimi pia naigonga. So nik... | |
apigiwe makofi huyo jamaa. Ameng'ang'ana. Watu wanaamka kuenda shoot anasema wacha niingie hapa nigonge moja tu. Moja tu! Alafu ni niingie kazi. Anagonga moja ei Michi unakuja shoot? Umbwaa! Shoot ya nani? Kwani kipindi ni ya nyanya yangu? Pombe ni mbaya guys. He he he he he. Nimefunga. Ai tuonane. | |
kuna vile wana. You look cool mazee na hako ka-lighter. Alafu watu wa watu wa weed huwanga wakikachapa hawapulizi kama watu wa fegi. Unajua watu wa fegi. Ah Ah. Anakachapa halafu anaendelea kuongea yani kamoshi kanakaa kaa hapa. Ha ha ha ha ha ha. Hakatoki hako tu hapa. Ei. Ina-look very cool. Hata kidogo ikikaa ni kam... |
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 30