Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
id
string
url
string
title
string
text
string
120019
https://sw.wikipedia.org/wiki/Pristi%20na%20wenzake
Pristi na wenzake
Sevi, Kwadrati, Sundofagi, Astusi, Diomede, Zotiko, Zatamgeli na Moisei ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum. Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe ...
89798
https://sw.wikipedia.org/wiki/Fakharia%20Shomar%20Khamis
Fakharia Shomar Khamis
Fakharia Shomar Khamis (amezaliwa tarehe 20 disemba 1952) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. Marejeo Waliozaliwa 1952 Watu walio hai Wanasiasa wa Tanzania Bunge la Tanzania Wanasiasa wanaw...
121760
https://sw.wikipedia.org/wiki/Barakoa%20ya%20kinga
Barakoa ya kinga
Barakoa za kinga hutumiwa kulinda uso au sehemu zake (macho, pua, n.k.) na viungo vya kupumua dhidi ya athira ya hatari. Kuna aina mbalimali za barakoa zinazovaliwa kwa shughuli mbalimbali barakoa za kitiba, zinazovaliwa na matabibu wakati wa upasuaji barakoa za kinga dhidi ya maambukizi, zinazovaliwa na watu...
144186
https://sw.wikipedia.org/wiki/Assomada
Assomada
Assomada ni mji wa jamhuri ya Cabo Verde iko kisiwani Santiago. Assomada ikiwa na wakazi 12,332 (2010) ni mji mkubwa wa nne nchini. Miji ya Cabo Verde
66955
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kifongoro
Kifongoro
Kifongoro ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wafongoro. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kifongoro imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifongoro iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi. Viungo vya nje lugha ya Kifongoro kwenye Multitree makala za OLAC kuh...
122467
https://sw.wikipedia.org/wiki/Norio%20Omura
Norio Omura
Norio Omura (小村 徳男; alizaliwa 6 Septemba 1969) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Japani. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Japani. Omura alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 21 Mei 1995 dhidi ya Uskoti. Omura alicheza Japani katika mechi 30, akifunga mabao 4. Takwimu Tanbihi Wac...
80759
https://sw.wikipedia.org/wiki/Jimbo%20Katoliki%20la%20Byumba
Jimbo Katoliki la Byumba
Jimbo katoliki la Byumba (kwa Kilatini "Dioecesis Byumbana") ni mojawapo kati ya majimbo 9 ya Kanisa Katoliki nchini Rwanda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kigali. Askofu wake ni Servilien Nzakamwita. Historia Uongozi Takwimu Eneo ni la kilometa mraba 5,100, amba...
39010
https://sw.wikipedia.org/wiki/Plainview%2C%20New%20York
Plainview, New York
Plainview ni mji wa Marekani katika jimbo la New York. Miji ya New York Nassau County, New York Oyster Bay, New York
106976
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Marrti
Mto Marrti
unapatikana katika kaunti ya Narok, magharibi mwa Kenya. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Narok Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Kenya Kaunti ya Narok Nile Mediteranea
130240
https://sw.wikipedia.org/wiki/Eutiki%20wa%20Marmara
Eutiki wa Marmara
Eutiki wa Marmara (alifariki Marmara Ereğli, leo nchini Uturuki, karne ya 3) alikuwa askofu aliyefia dini katika dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba. Tazama pia Watakatifu wa Agano la K...
29883
https://sw.wikipedia.org/wiki/Marmara%20Ere%C4%9Fli
Marmara Ereğli
ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Tekirdağ kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki. Viungo vya Nje
141626
https://sw.wikipedia.org/wiki/Musanda
Musanda
ni kata ya kaunti ya Kakamega, Eneo bunge la Mumias Magharibi, nchini Kenya. Tanbihi Kata za Kenya Kaunti ya Kakamega
77867
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kitabo
Kitabo
Kitabo (pia Kiwaia) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watabo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitabo imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitabo iko katika kundi lake lenyewe la Kiwaia. Viungo vya nje lugha ya Kitabo kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kitabo...
124029
https://sw.wikipedia.org/wiki/Hakkunde
Hakkunde
Hakkunde ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2017 iliyoandikwa na kuongozwa na Oluseyi Asurf. Plot Filamu hii inaelezea maisha ya kijana ambaye anamaliza chuo kikuu na kuamua kupambana ili kuleta maendeleo katika jamii yake. Wahusika Frank Donga as Akande Toyin Aimakhu as Yewande Rahama Sadau as Aisha Maryam Booth as B...
106359
https://sw.wikipedia.org/wiki/%C4%B0lkay%20G%C3%BCndo%C4%9Fan
İlkay Gündoğan
Ilkay Gündoğan (kwa Kijerumani hutamkwa [ˈʔɪlkaɪ ˈɡʏndoːan] na kwa Kituruki [ˈilkaj ˈɟyndoːan]; amezaliwa Gelsenkirchen, tarehe 24 Oktoba 1990) ni mchezaji mahiri wa timu ya Manchester City na timu ya taifa ya Ujerumani. Alichezea academi ya VfL Bochum mwaka 2008 alianza kucheza katika klabu FC Nürnberg na baadaye aka...
138703
https://sw.wikipedia.org/wiki/Nicolas%20Jacobsen
Nicolas Jacobsen
Nicolas Jacobsen ni mdukuzi ambaye alikuwa na ufikiaji haramu wa habari ya binafsi ya wateja wa T-Mobile kwa angalau mwaka. Alikamatwa baada ya uchunguzi na Huduma ya Siri ya Marekani mnamo Oktoba 2004 akakiri hatia wakati wa kesi kama sehemu ya makubaliano ya ombi. Marejeo Wahalifu wa Marekani Editathon 2021-06 M...
66718
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kikpelle%20%28Guinea%29
Kikpelle (Guinea)
Kikpelle ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Wakpelle. Ni lugha tofauti na lugha ya Kikpelle ya Liberia. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikpelle imehesabiwa kuwa watu 308,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikpelle iko katika kundi la Kimande. Viungo vya nje lugha ya Kikpe...
84479
https://sw.wikipedia.org/wiki/Papa%20Stefano
Papa Stefano
Papa Stefano ni jina la mapapa wafuatao: Papa Stefano I (254-257) Papa mteule Stefano (752) Papa Stefano II (752-757) Papa Stefano III (767-772) Papa Stefano IV (816-817) Papa Stefano V (885-891) Papa Stefano VI (896-897) Papa Stefano VII (928-931) Papa Stefano VIII (939-942) Papa Stefano IX (1057-1058) Papa
65745
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kitanjijili
Kitanjijili
Kitanjijili ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajijili. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitanjijili imehesabiwa kuwa watu 8540. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitanjijili iko katika kundi la Plateau. Viungo vya nje lugha ya Kitanjijili kwenye Multitree makala za OLAC kuhu...
22053
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mshangano
Mshangano
Mshangano ni jina la kata ya Manisipaa ya Songea katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,205 waishio humo. Marejeo Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Songea Mjini
126569
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Akagondo
Mto Akagondo
ni korongo linalopatikana mashariki mwa Burundi (mkoa wa Cankuzo). Maji yake, kupitia ziwa Tanganyika, huelekea Mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki. Tazama pia Orodha ya mito ya mkoa wa Cankuzo Orodha ya mito ya Burundi Mito mirefu ya Afrika Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org A A Ziwa Tanganyika Mto Ko...
141582
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mautuma
Mautuma
ni kata ya kaunti ya Kakamega, Eneo bunge la Lugari, nchini Kenya. Tanbihi Kata za Kenya Kaunti ya Kakamega
116025
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Kaija
Mto Kaija
unapatikana nchini Uganda kati ya mkoa wa Magharibi na Mkoa wa Kati. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Orodha ya mito ya Uganda Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Uganda Nile Mediteranea
26125
https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha%20ya%20miji%20ya%20Ufalme%20wa%20Muungano
Orodha ya miji ya Ufalme wa Muungano
Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Ufalme wa Muungano yenye angalau idadi ya wakazi 100,000 (2001). Marejeo Ufalme wa Muungano
64927
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kiburak
Kiburak
Kiburak ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waburak. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiburak imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburak iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi. Viungo vya nje lugha ya Kiburak kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kibur...
99199
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Mpangali
Mto Mpangali
ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Rufiji. Tazama pia Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa wa Mbeya Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Tanzania Mkoa wa Mbeya Bahari ya Hindi
153688
https://sw.wikipedia.org/wiki/Richard%20M.%20Daley
Richard M. Daley
Richard Michael Daley (alizaliwa Aprili 24, 1942) ni mwanasiasa wa Marekani ambaye aliwahi kuwa Meya wa 54 wa Chicago, Illinois, kutoka 1989 hadi 2011. Daley alichaguliwa kuwa meya mwaka wa 1989 na alichaguliwa tena mara tano hadi akakataa kugombea nafasi. awamu ya saba. Akiwa na miaka 22, muda wake ulikuwa mrefu zaid...
133197
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kipanya-kinamasi
Kipanya-kinamasi
Kipanya-kinamasi (Delanymys brooksi) ni mnyama mgugunaji mdogo na spishi pekee ya nusufamilia Delanymyinae katika familia Nesomyidae. Anatokea vinamasi na maeneo manyevu mengine ya mwinuko mkubwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda na Uganda. Maelezo Huyu ni kipanya mdogo sana. Ana urefu wa sm 5-6 tu na uz...
29455
https://sw.wikipedia.org/wiki/S%C3%BCrmene
Sürmene
ni mji na wilaya iliopo Mkoani Trabzon kwenye kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Viungo vya Nje
132777
https://sw.wikipedia.org/wiki/Farisi
Farisi
Farisi (kwa Kigiriki: Περσεύς Perseus) ni shujaa katika hadithi za Mitholojia za Kiigiriki. Alitajwa kama mwanzilishi wa mji wa Mikene akiwa pia maarufu kwa kumuua dubwana Madusa. Katika masimulizi ya Wagiriki alitazamwa kama nusu-mungu, yaani mtoto wa mungu mkuu Zeu na wa binti wa kibinadamu Danaë. Alikumbukwa kuwa pa...
78525
https://sw.wikipedia.org/wiki/Alfabeti%20ya%20kifonetiki%20ya%20kimataifa
Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa
Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa (kwa Kiingereza: International Phonetic Alphabet, kifupi IPA) ni mfumo wa alfabeti unaolenga kuonyesha sauti za lugha zote duniani. Imetungwa na wataalamu wa isimu wanaoshirikiana katika Shirika la Kimataifa la Fonetiki (International Phonetic Association). Inatumiwa na watunga kamus...
98423
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Muriani
Mto Muriani
ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki). Maji yake yanaelekea Bahari Hindi. Tazama pia Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa wa Pwani Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Tanzania Mkoa wa Pwani Bahari ya Hindi
96049
https://sw.wikipedia.org/wiki/Waya
Waya
Waya (wingi: nyaya; kutoka Kiingereza "wire") ni uzi wa chuma. Waya hutumika hasa katika kusafirishia umeme. Rangi tofautitofauti za waya katika baadhi ya nchi, kwa mfano nchini Marekani, kijani au wazi ni waya (udongo) wa ardhi, nyeupe ni waya wa neutral, na nyeusi, rangi ya bluu, nyekundu, kahawia, njano, na machun...
20377
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mchombe
Mchombe
Mchombe ni kata ya Wilaya ya Kilombero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67513. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 38,651 walioishi humo. Marejeo Wilaya ya Kilombero Kata za Mkoa wa Morogoro
14463
https://sw.wikipedia.org/wiki/Alfred%20Hershey
Alfred Hershey
Alfred Day Hershey (4 Desemba 1908 – 22 Mei 1997) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyoharibu vijidudu. Mwaka wa 1969, pamoja na Max Delbruck na Salvador Luria alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Waliozaliwa 1908 Waliofariki 1997 Wanasayansi wa Marekani Tuzo ya Nobel ya T...
40978
https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha%20ya%20miji%20ya%20Afrika%20Kusini
Orodha ya miji ya Afrika Kusini
Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Afrika Kusini yenye angalau idadi ya wakazi 100,000 (2010). Afrika Kusini
147852
https://sw.wikipedia.org/wiki/Joash%20Onyango
Joash Onyango
Joash Abong'o Onyango alizaliwa tarehe 31 Januari 1993, ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Kenya, kwa sasa anacheza kama beki kwa upande wa Ligi Kuu ya Tanzania, na ni mchezaji wa Timu ya Simba na timu ya taifa ya kandanda ya Kenya. Takwimu za kazi Kimataifa Takwimu sahihi kufikia mechi iliyochezwa 11 Septemba 2018 Hesh...
100504
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Shangwe
Mto Shangwe
ni mmojawapo kati ya mito ya mkoa wa Katavi, Tanzania (upande wa magharibi). Maji yake yanatiririkia Ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki. Tazama pia Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa wa Katavi Marejeo Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Tanzania Mkoa wa Katavi Ziwa Tanganyika Mto Ko...
107447
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tondi
Tondi
Tondi, mitonzi au mitozi ni samaki wa baharini na maji baridi wa familia Plotosidae katika oda Siluriformes wanaofanana na mikunga lakini kuwa na sharubu kama kambale. Huitwa ngogo pia lakini jina hili tafadhali litumike kwa jenasi Synodontis. Maelezo Tondi wana mwili kama mkunga. Mkia wao una ncha kali au butu. Takri...
102142
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Lobokat
Mto Lobokat
ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki). Maji yake yanaishia katika ziwa la magadi linaloitwa Turkana na lililo kubwa kuliko maziwa yote ya Kenya. Ni pia ziwa la jangwani lililo kubwa kuliko yote duniani. Tazama pia Mito ya Kenya O...
103539
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Ainopsiwa
Mto Ainopsiwa
unapatikana katika kaunti ya Kisumu magharibi mwa Kenya (kwenye ziwa Nyanza). Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Kisumu Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Kenya Kaunti ya Kisumu Nile Mediteranea
79108
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kikumaoni
Kikumaoni
Kikumaoni ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakumaoni. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikumaoni imehesabiwa kuwa watu 2,360,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikumaoni iko katika kundi la Kiaryan. Viungo vya nje lugha ya Kikumaoni kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kikumaoni lug...
103977
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Mtawa
Mto Mtawa
unapatikana katika kaunti ya Kwale, kusini mashariki mwa Kenya (kwenye bahari ya Hindi). Tazama pia Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Kwale Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Kenya Kaunti ya Kwale Bahari ya Hindi
106919
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Angarrani
Mto Angarrani
unapatikana katika kaunti ya Narok, magharibi mwa Kenya. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Narok Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Kenya Kaunti ya Narok Nile Mediteranea
15353
https://sw.wikipedia.org/wiki/Rodrigo%20Santoro
Rodrigo Santoro
Rodrigo Junqueira dos Reis Santoro (amezaliwa 22 Agosti 1975) ni mwigizaji filamu na tamthilia kutoka nchi ya Brazil. Hapo awali alikuwa akiigiza katika baadhi ya tamthilia za kilatini zinazojulikana kwa jina telenovela, zilizopo nchini kwake. Kunako mwaka wa 2003 akaanza kujipatia umaarufu baada ya kucheza katika fila...
79685
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kilamkang
Kilamkang
Kilamkang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Walamkang. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kilamkang imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilamkang iko katika kundi la Kisal. Viungo vya nje lugha ya Kilamkang kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kilamkang lugha ya K...
111293
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Lorupel
Mto Lorupel
unapatikana kaskazini mwa Uganda. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Orodha ya mito ya Uganda Orodha ya mito ya wilaya ya Kaabong Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Wilaya ya Kaabong Mito ya Uganda Nile Mediteranea
114029
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Kiriba%20%28Kabarole%29
Mto Kiriba (Kabarole)
unapatikana katika wilaya ya Kabarole, magharibi mwa Uganda. Tazama pia Orodha ya mito ya Uganda Orodha ya mito ya wilaya ya Kabarole Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Rivers and Lakes of Uganda. Wilaya ya Kabarole Mito ya Uganda
123032
https://sw.wikipedia.org/wiki/Branko%20Ili%C4%87
Branko Ilić
Branko Ilić (alizaliwa 6 Februari 1983) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Slovenia. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Slovenia. Ilić ameichezea timu ya taifa ya Slovenia tangu mwaka wa 2004. Ilić alicheza Slovenia katika mechi 63, akifunga mabao 1. Takwimu Tanbihi Wachezaji mpira wa Slovenia
66621
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kevin%20James
Kevin James
Kevin George Knipfing (amezaliwa tar. 26 Aprili 1965) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini. Marejeo Viungo vya Nje
67998
https://sw.wikipedia.org/wiki/Serinane
Serinane
Serinane ni kijiji katika Kweneng West, Wilaya ya Kweneng huko nchini Botswana. Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 787 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011. Bibliografia 2011 Census Alphabetical Index of Districts Central Statistics Office ya Botswana 2011 Census Alphabetical Index of Villages Cent...
163488
https://sw.wikipedia.org/wiki/Owen%20Corrie
Owen Corrie
Sir Owen Cecil Kirkpatrick Corrie (3 Machi 1882 – 28 Agosti 1965 alikuwa mwanasheria wa Uingereza. Alishikilia wadhifa wa Chief Judicial Commissioner for the Western ya Magharibi na jaji wa Chief Justice of Fiji kati ya 1936 na 1945, Pia aliwahi kuwa jaji Palestina , eneo liliotumiwa na Waingereza,Ujerumani na Ke...
141288
https://sw.wikipedia.org/wiki/Florentina%20wa%20Cartagena
Florentina wa Cartagena
Florentina wa Cartagena (Cartagena, leo nchini Hispania, 545/550 - labda Sevilia, Hispania, 612 hivi) alikuwa bikira ambaye aliongoza monasteri mbalimbali kufuatana na kanuni aliyopewa na kaka yake Leandri wa Sevilia kwa jina la De institutione virginum et contemptu mundi (P.L., LXXII, 873 sqq). Alizaliwa na Severianu...
110629
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Baria
Mto Baria
unapatikana kaskazini mwa Uganda. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Orodha ya mito ya Uganda Orodha ya mito ya wilaya ya Arua Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Wilaya ya Arua Mito ya Uganda Nile Mediteranea
14061
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kiwalani
Kiwalani
Kiwalani ni mojawapo kati ya kata zilizopo katika wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania yenye postikodi namba 12108. Iko ndani ya jiji la Dar es Salaam. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2012, kitongoji kina idadi ya wakazi wapatao 82,292. Kitongoji hiki kilianzishwa miaka ya 1970 baada ya ...
109260
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kisiwa%20cha%20Baga
Kisiwa cha Baga
ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati, Wilaya ya Buvuma). Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa. Tazama pia Orodha ya visiwa vya Uganda Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Visiwa vya Uganda Visiwa vya Ziwa Viktoria Wilaya ya Buvuma
79543
https://sw.wikipedia.org/wiki/Nyasura
Nyasura
Nyasura ni kata ya Wilaya ya Bunda Mjini katika Mkoa wa Mara, Tanzania na sehemu ya mji mdogo wa Bunda yenye postikodi namba 31504. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,565 waishio humo. Marejeo Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara
175565
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yohane%20Heer
Yohane Heer
, O.P. (1500 - 1572) alikuwa padri wa shirika la Wadominiko kutoka Ujerumani aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu m...
74750
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kivao
Kivao
Kivao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wavao kwenye visiwa vya Vao na Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kivao imehesabiwa kuwa watu 1900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivao iko katika kundi la Kioseaniki. Viungo vya nje lugha ya Kivao kwenye Multitree makala za...
81993
https://sw.wikipedia.org/wiki/1560%20KK
1560 KK
Makala hii inahusu mwaka 1560 KK (kabla ya Kristo). Matukio Waliozaliwa Waliofariki Karne ya 16 KK
108042
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mlima%20Monduli
Mlima Monduli
ni mlima wenye asili ya volkeno kaskazini mwa Tanzania. Mlima una kimo cha mita 2,615 juu ya usawa wa bahari. Tazama pia Orodha ya volkeno nchini Tanzania Orodha ya milima ya mkoa wa Arusha Orodha ya milima ya Tanzania Orodha ya milima ya Afrika Orodha ya milima Tanbihi Viungo vya nje Mlima katika tovuti ya G...
156449
https://sw.wikipedia.org/wiki/Jim%20Doyle
Jim Doyle
James Edward Doyle, Jr. (amezaliwa 23 Novemba 1945) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Marekani ambaye aliweza kutumikia kama gavana wa arobaini na nne wa Wisconsin, akitumikia kuanzia januari 6 mwaka 2006 hadi kufikia januari 3 ya mwaka 2011. Katika uchaguzi wake wa kwanza wa kuwania ugavana wa Wasconsin aliweza kumshind...
103582
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Maugo%20%28Homa%20Bay%29
Mto Maugo (Homa Bay)
unapatikana katika kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya (kwenye ziwa Nyanza). Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Homa Bay Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Kenya Kaunti ya Homa Bay Nile Mediteranea
45853
https://sw.wikipedia.org/wiki/Beira%20%28Msumbiji%29
Beira (Msumbiji)
Beira ni mji mkuu wa mkoa wa Sofala nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 530.706. Tazama pia Orodha ya miji ya Msumbiji Miji ya Msumbiji
102436
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Ayena%20Etuthuru
Mto Ayena Etuthuru
unapatikana katika kaunti ya Samburu, nchini Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki). Tazama pia Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Samburu Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Kenya Kaunti ya Samburu
162646
https://sw.wikipedia.org/wiki/Wilaya%20ya%20Zaghouan
Wilaya ya Zaghouan
Wilaya ya Zaghouan ni kati ya wilaya 24 za Tunisia. Inapatikana katika mkoa wa Kaskazini Mashariki ukiwa na wakazi 176,945 (2014) katika eneo la kilomita mraba 2,820, msongamano ukiwa wa watu 63.93 kwa kilomita mraba. Tazama pia Wilaya za Tunisia Tanbihi wilaya za Tunisia Wilaya ya Zaghouan
26890
https://sw.wikipedia.org/wiki/They%20Don%27t%20Care%20About%20Us
They Don't Care About Us
"They Don't Care About Us" ni single ya nne kutoka katika albamu ya Michael Jackson, HIStory. Wimbo huu umebaki kuwa kama moja kati ya nyimbo za Jackson zenye nong'ngono kuliko zile zote alizotunga hapo awali. Nchini Marekani, vyombo vya habari vya nchini humo vilianza upekuzi usiyo rasmi juu ya mashairi yaliyomo kweny...
143093
https://sw.wikipedia.org/wiki/Amando%20na%20Juniano
Amando na Juniano
Amando na Juniano (karne ya 5 - karne ya 6) walikuwa wakaapweke karibu na Limoges, katika Ufaransa wa leo. Amando alihamia huko ili kuishi kitawa akitokea labda Hungaria. Askofu alimkubali. Kabla hajafa alimpokea mvulana Juniano kama mwanafunzi, naye aliendeleza kwa miaka 40 mtindo wa maisha wa Amando akapata sifa ku...
144743
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mascara%2C%20Algeria
Mascara, Algeria
ni mji wa Algeria. Wakazi wake walihesabiwa kuwa 105,857 mwaka 2008. Tazama pia Orodha ya miji ya Algeria Tanbihi Miji ya Algeria
64309
https://sw.wikipedia.org/wiki/Orodha%20ya%20lugha%20za%20Benin
Orodha ya lugha za Benin
Orodha hii inaorodhesha lugha za Benin: Kiaguna Kiaja Kianii Kianufo Kibaatonum Kibiali Kiboko Kidendi Kiditammari Kiede-Cabe Kiede-Ica Kiede-Idaca Kiede-Ije Kiede-Nago Kiede-Nago-Kura Kiede-Nago-Manigri-Kambole Kifaransa Kifon Kifoodo Kifulfulde-Borgu Kifulfulde-Gorgal Kigbe-Ayizo Kigbe-Ci Kigbe-Defi Kigbe-Gbesi Kigb...
134875
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kipanya-milia
Kipanya-milia
Vipanya-milia ni wanyama wagugunaji wa jenasi Hybomys katika nusufamilia Murinae ya familia Muridae ambao wanatokea katika misitu ya mvua ya Afrika ya Magharibi na ya Kati. Maelezo Manyoya ya mgongo huwa aina ya kahawia kwa kawaida, tumbo ni jeupe au njano. Urefu wa mwili ni mm 100-160 mm, urefu wa mkia mm 85-130 na ...
171886
https://sw.wikipedia.org/wiki/Quinton%20Fortune
Quinton Fortune
Quinton Fortune (alizaliwa Mei 21, 1977) ni kocha wa kitaalamu wa soka na mchezaji wa zamani wa Afrika Kusini, ambaye alicheza kama kiungo na beki. Kazi yake ilianza Ulaya na baada ya kucheza na timu kama Tottenham Hotspur, Mallorca na Atlético Madrid, alijiunga na Manchester United mwaka 1999 na kubaki huko kwa miaka ...
110653
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Orunge
Mto Orunge
unapatikana kaskazini mwa Uganda. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Orodha ya mito ya Uganda Orodha ya mito ya wilaya ya Arua Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Wilaya ya Arua Mito ya Uganda Nile Mediteranea
92606
https://sw.wikipedia.org/wiki/Nestori
Nestori
Nestori (kwa Kigiriki Νεστόριος, Nestorios; Germanicia, (leo nchini Uturuki) 386 hivi – al-Khargah, Misri, 450) alikuwa mmonaki na mwanateolojia aliyefikia kuwa Patriarki wa Konstantinopoli (leo Istanbul) tangu tarehe 10 Aprili 428 hadi Agosti 431, ambapo kaisari Theodosius II alithibitisha uamuzi dhidi yake uliopitish...
89974
https://sw.wikipedia.org/wiki/Sikudhani%20Yasini%20Chikambo
Sikudhani Yasini Chikambo
Sikudhani Yasini Chikambo (amezaliwa tarehe 28 Oktoba 1972) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa mwaka 2015 – 2020. Marejeo Waliozaliwa 1972 Watu walio hai Wanasiasa wa Tanzania Bunge la Tanzania Wanasiasa w...
70063
https://sw.wikipedia.org/wiki/478%20KK
478 KK
Makala hii inahusu mwaka 478 KK. Matukio Waliozaliwa Waliofariki Viungo vya nje Karne ya 5 KK
65849
https://sw.wikipedia.org/wiki/Seth%20MacFarlane
Seth MacFarlane
Seth Woodbury MacFarlane (amezaliwa tar. 26 Oktoba mwaka 1973 huko mjini Kent, Connecticut) ni mwigizaji wa filamu na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Tamthilia Waigizaji filamu wa Marekani Waliozaliwa 1973 Watu walio hai Kent, Connecticut
149683
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tuzo%20za%20Muziki%20za%20Afrika%20Kusini
Tuzo za Muziki za Afrika Kusini
Tuzo za Muziki za Afrika Kusini (SAMAs) ni taasisi ya kurekodi tuzo za muziki Afrika Kusini iliyoanzishwa 1995. Kwa kawaida uteuzi hutangazwa mwishoni mwa mwezi Machi. Washindi hupokea tuzo ya dhahabu inayoitwa SAMA. Marejeo https://www.news24.com/channel/music/news/the-2021-samas-will-recognise-gqom-and-amapiano-a...
137743
https://sw.wikipedia.org/wiki/Uwanja%20wa%20michezo%20wa%20Horseed
Uwanja wa michezo wa Horseed
Uwanja wa michezo wa Horseed ni uwanja wa michezo uliopo katika eneo la Horseed nchini Somalia, ni uwanja unaotumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu ,pia ni uwanja wa nyumbani wa timu inayoshiriki ligi kuu ya Somalia ya Horseed FC. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000. Viungo vya Nje Calciozz ...
70630
https://sw.wikipedia.org/wiki/547%20KK
547 KK
Makala hii inahusu mwaka 547 KK (kabla ya Kristo). Matukio Waliozaliwa Waliofariki Karne ya 6 KK
131185
https://sw.wikipedia.org/wiki/Amansi%20wa%20Rodez
Amansi wa Rodez
Amansi wa Rodez (alifariki Rodez, Akwitania, leo nchini Ufaransa, karne ya 4 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Novemba. Tazama pia Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Wata...
122838
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kiril%20Metkov
Kiril Metkov
Kiril Metkov (alizaliwa 1 Februari 1965) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Bulgaria. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Bulgaria. Metkov ameichezea timu ya taifa ya Bulgaria tangu mwaka wa 1989. Metkov alicheza Bulgaria katika mechi 9. Takwimu Tanbihi Wachezaji mpira wa Bulgaria
44096
https://sw.wikipedia.org/wiki/2014
2014
Makala hii inahusu mwaka 2014 BK (Baada ya Kristo). Matukio Waliozaliwa Waliofariki 6 Februari - Maxine Kumin, mshairi kutoka Marekani 12 Machi - Fortunatus Lukanima, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania 20 Machi - Hennie Aucamp, mwandishi kutoka Afrika Kusini 17 Aprili - Gabriel García Márquez, mwandishi kutoka Ko...
38888
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahwah%2C%20New%20Jersey
Mahwah, New Jersey
Mahwah ni mji wa Marekani katika jimbo la New Jersey. Miji ya New Jersey Bergen County, New Jersey
74317
https://sw.wikipedia.org/wiki/Jimbo%20Katoliki%20la%20Maralal
Jimbo Katoliki la Maralal
Jimbo Katoliki la Maralal ni mojawapo kati ya majimbo 26 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. Liko chini ya jimbo kuu la Nyeri. Mararal
83390
https://sw.wikipedia.org/wiki/Uislamu%20nchini%20Libya
Uislamu nchini Libya
Uislamu nchini Libya ndio dini inayongoza kwa wingi wa wafuasi. Sehemu kubwa ya waumini wa Libya ni wale wanaofuata dhehebu la Sunni, ambapo hutoa mafunzo ya kidini na mwongozo wa sera za utawala wa nchi na serikali kwa ujumla. Ni vigumu kubagusha dhana hii kwani hata kwa wale ambao hawakuamini Uislamu kikamilifu nao ...
38113
https://sw.wikipedia.org/wiki/Taunton%2C%20Massachusetts
Taunton, Massachusetts
Taunton ni mji wa Marekani katika jimbo la Massachusetts. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 55,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 124 km². Miji ya Massachusetts Bristol County, Massachusetts
100089
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Manje
Mto Manje
ni mto wa Mkoa wa Singida (Tanzania ya kati). Maji yake yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Rufiji. Tazama pia Mito ya Tanzania Orodha ya mito ya mkoa wa Singida Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Tanzania Mkoa wa Singida Bahari ya Hindi
93691
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Mbagathi
Mto Mbagathi
Mto Mbaghati unapatikana kusini mwa Kenya. Ni tawimto la mto Athi-Galana-Sabaki ambao unaishia katika Bahari ya Hindi. Tazama pia Mito ya Kenya Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mito ya Kenya mto Galana Bahari ya Hindi
23075
https://sw.wikipedia.org/wiki/James%20Heller
James Heller
James Heller ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na William Devane. Katika simulizi ya mfululizo huu, Heller kacheza kama Waziri wa Ulinzi wa Marekani. Ameonakana katika msimu wa 4,5, na 6 tu, basi. Viungo vya Nje Wahusika wa 24
129911
https://sw.wikipedia.org/wiki/Ipasi%2C%20Asiani%20na%20Andrea
Ipasi, Asiani na Andrea
Ipasi, Asiani na Andrea (walifariki Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 740 hivi) walikuwa maaskofu na padri walioteswa na kaisari Leo III wa Bizanti na hatimaye kuuawa kwa kutupwa waliwe na mbwa kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini....
29552
https://sw.wikipedia.org/wiki/Boztepe%2C%20K%C4%B1r%C5%9Fehir
Boztepe, Kırşehir
ni mji na wilaya iliopo Mkoani Kırşehir kwenye kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki. Viungo vya Nje
84401
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mia%20moja%20na%20ishirini%20na%20nane
Mia moja na ishirini na nane
Mia moja na ishirini na nane ni namba inayoandikwa 128 kwa tarakimu za kawaida na CXXVIII kwa zile za Kirumi. Ni namba asilia inayofuata 127 na kutangulia 129. Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 x 2 x 2 x 2 (au 27). Matumizi Namba hurejea miaka 128 KK na 128 BK. Tanbihi Namba asilia
80534
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kimru
Kimru
Kimru ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamru. Idadi ya wasemaji wa Kimru imehesabiwa kuwa watu 2100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimru iko katika kundi la Kingwi-Kiburma. Viungo vya nje lugha ya Kimru kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kimru lugha ya Kimru katika Glottolog lugha ya ...
149476
https://sw.wikipedia.org/wiki/Bendi%20ya%20Soto%20Koto
Bendi ya Soto Koto
Bendi ya Soto Koto ni bendi ya muziki wa jazz ya Kiafrika. Muziki wao kimsingi umeathiriwa na muziki wa Gambia. Kundi kubwa, bendi hutumbuiza kwenye ala za upepo, ala za nyuzi, na midundo. Albamu iliyojiita, Bendi ya Soto Koto, ilitolewa mwaka wa 1993. Mojawapo ya nyimbo zake, "Korajulo", ilijumuishwa kwenye mkusanyik...
69026
https://sw.wikipedia.org/wiki/Lemuri-sufu
Lemuri-sufu
Lemuri-sufu (kutoka Kiingereza: woolly lemur) ni spishi za lemuri wa jenasi Avahi katika familia Indriidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Manyoya yao ni laini na ya kusokotwa kama sufu. Wana rangi ya kahawiakijivu hadi kahawianyekundu na mkia una rangi ya kahawiamachungwa. Iko rangi ya nyeupe nyuma ya mapaja...
20828
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kwadelo
Kwadelo
Kwadelo ni kata, ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye postikodi namba 41719. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,593 waishio humo. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Kwadelo ni Warangi. Baadhi ya vijiji vya kata ya Kwadelo vyenye shule ya msingi ni Kw...
142394
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bruck
David Bruck
David Isaac Bruck (amezaliwa Montreal, Quebec, Kanada, 1949) ni wakili wa utetezi wa jinai wa Kanada na Marekani, profesa wa sheria huko Washington na Lee University School of Law, na mkurugenzi wa Virginia Capital Case Clearinghouse. Bruck alihudhuria Chuo Kikuu cha Harvard na Chuo Kikuu cha Sheria cha South Carolin...
127184
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Rurembera
Mto Rurembera
unapatikana nchini Burundi (mkoa wa Gitega). Maji yake huelekea ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye bahari ya Atlantiki. Tazama pia Orodha ya mito ya mkoa wa Gitega Orodha ya mito ya Burundi Mito mirefu ya Afrika Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Mkoa wa Gitega R Ziwa Tanganyika Mto Kongo Atlantiki
114557
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mto%20Hondwa%20%28Uganda%29
Mto Hondwa (Uganda)
unapatikana katika wilaya ya Kyenjojo, magharibi mwa Uganda. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Tazama pia Orodha ya mito ya Uganda Orodha ya mito ya wilaya ya Kyenjojo Tanbihi Viungo vya nje Geonames.org Wilaya ya Kyenjojo Mito ya Uganda Nile Mediteranea
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
8