Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
id
stringlengths
8
8
swali
stringlengths
8
326
somo
stringclasses
9 values
hatua
stringclasses
9 values
machaguo
listlengths
2
5
jibu
stringclasses
5 values
sub_0001
Neno kitanda limeundwa na silabi ngapi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Moja", "Tatu", "Saba", "Tano" ]
B
sub_0002
Mlima huu ni ______ sana.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Kirefu", "Virefu", "Warefu", "Mrefu" ]
D
sub_0003
Mwanafunzi anaandika vizuri. Wingi wa neno mwanafunzi ni upi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Wanafunzi", "Funzi", "Walimu", "Tuwanafunzi" ]
A
sub_0004
Mtu anayetibu wagonjwa huitwa_______.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Mwalimu", "Mlinzi", "Daktari", "Mpishi" ]
C
sub_0005
a, e, i, o, u kwa jina moja huitwa _______.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "konsonanti", "Maneno", "Sahili", "Irabu" ]
D
sub_0006
Wingi wa ukuta ni kuta. Je wingi wa dirisha ni upi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "dirisha", "madirisha", "madini", "vidirisha" ]
B
sub_0007
Neno konde limeundwa na irabu ngapi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "tano", "mbili", "sita", "nne" ]
B
sub_0008
Mama amekwenda sokoni kununua matunda. Neno soko ni sawa na?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "gulio", "shamba", "konden", "gundi" ]
A
sub_0009
Kinyume cha neno mrefu ni
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "mwembamba", "mnene", "mfupi", "mdogo" ]
C
sub_0010
Kisawe cha neno Televisioni ni
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "kabati", "Tv", "runinga", "visheni" ]
C
sub_0011
Kwa kutumia herufi 'sh' unaweza kuunda neno gani kati ya maneno yafuatayo?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "kisima", "shule", "sokoni", "motokaa" ]
B
sub_0012
Juma aliondoka jana asubuhi. Sentensi hii ipo katika wakati gani?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "ujao", "uliopo", "uliopita", "ujao" ]
C
sub_0013
Ipi ni alama ya mshangao kati ya alama zifuatazo?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ ".", "?", "!", "," ]
C
sub_0014
Kisawe cha neno tisa ni kipi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "kenda", "mosi", "nane", "jozi" ]
A
sub_0015
Kinyume cha neno kumbuka ni kipi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "kumbukeni", "sijakumbuka", "sahau", "timiza" ]
C
sub_0016
Mtoto mtiifu . . . . vizuri na jamii yake.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "anafunza", "amefuzu", "amefunzwa", "amefaulu" ]
D
sub_0017
Jongoo . . . . . . . . . . . . . . . . na miguu mingi.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "ametengenezwa", "ameumbwa", "kimeumbwa", "kimefinya ngwa" ]
B
sub_0018
Koti la babu limeliwa na . . .
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "kunguni", "mchwa", "chawa", "kiroboto" ]
B
sub_0019
Tochi ya kaka ina . . . mzuri.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "mwanga", "umbo", "miale", "nuru" ]
A
sub_0020
Chungu cha bibi . . . kwa udongo.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "kimefinyangwa", "kimeumbwa", "kimejengwa", "Kimetengenezwa" ]
A
sub_0021
Neno chakula lina silabi ngapi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "tatu", "mbili", "tano", "nne" ]
A
sub_0022
Ni mayai
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "kile", "ile", "yale", "hivi" ]
C
sub_0023
Wingi wa ukuta ni kuta, je wingi wa meza ni upi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "meza", "marneza", "vimeza", "mame" ]
A
sub_0024
Kinyume cha neno mrefu ni
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "mwembamba", "mfupi", "mdogo", "mkubwa" ]
B
sub_0025
Neno Kiswahili lina irabu ngapi
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "nne", "tano", "nane", "sita" ]
C
sub_0026
Popo mbili za vuka mto
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "macho", "popo", "mwanga" ]
A
sub_0027
Mkono wa birika ni
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "tajiri", "mkono", "mchoyo" ]
C
sub_0028
Kahawa ni……………. la biashara.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Kilimo", "Zao", "Fungu", "Dhao" ]
B
sub_0029
Mimea ikipata mvua ya kutosha……………
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Huthitawi", "Hustawi", "Huthitawi", "Huzitawi" ]
B
sub_0030
Amina ni mtoto mwenye……………
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Nidhamu", "Mizamu", "Niramu", "Nithamu" ]
A
sub_0031
Neno 'kyala' limeundwa kwa silabi…………
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "6", "5", "2", "4" ]
C
sub_0032
John alikwenda kuwatembelea…………wake.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Wazazi", "Wadhazi", "Wasasi", "Baba" ]
A
sub_0033
Mtu anaye fanya kazi ya kulima huitwa .
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Mchukuzi", "Mkulima", "Fundi seremala", "Mwalimu" ]
B
sub_0034
Wingi wa neno ukuta ni ______
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Kuta", "Ukuta", "Makuta", "Mikuta" ]
A
sub_0035
Meza, milango, kabati, na viti kwa pamoja huitwa ____
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Samani", "thamani", "Zamani", "Vifaa" ]
B
sub_0036
Wingi wa neno 'nguo' ni _____
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "manguo", "viungo", "nguo", "linguo" ]
C
sub_0037
Dada wa baba yako anaitwa?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Dada mkubwa", "binamu", "Mama mkubwa", "Shangazi" ]
D
sub_0038
Yeye amesema hawezi kulima lakini akijaliwa ______ mwakani.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "alilima", "Atalima", "Angelima", "Analima" ]
B
sub_0039
Salumu ni mtoto wa dada yangu, hivyo salumu ni______ wangu
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "binamu", "Mpwa", "Mtoto wa dada", "Shangazi" ]
B
sub_0040
Wingi wa neno paka ni______
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "mipaka", "Paka", "Mijipaka", "Mapaka" ]
B
sub_0041
Baba alimtuza mzigo wa kuni. Kinyume cha neno lililopigiwa mstari (alimtuza) ni______
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "alimtwika", "Alimtuza", "Alimpakia", "Alimshusha" ]
D
sub_0042
Hapa kuna ______ mbaya sana.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Halufu", "Harufu", "Alufu", "Arufu" ]
B
sub_0043
Shangazi atapika chakula. Sentensi hii ipo katika wakati gani.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Uliopo", "Uliopita", "Ujao", "Uliopita mtimilifu" ]
C
sub_0044
Mtu aliyefiwa na wazazi wake wote wawili huitwa
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Mgane", "Mjane", "Mfiwa", "Yatima" ]
D
sub_0045
Neno anastahili lina silabi ngapi
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Nne", "Tano", "Sita", "Saba" ]
B
sub_0046
Kinyume cha neno msafi ni ......
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Mchafu", "Uchafu", "chafu", "Mbaya" ]
A
sub_0047
Wingi wa neno kisu ni …………..
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Mavisu", "Kisu", "Vifaa", "Visu" ]
D
sub_0048
Mbuzi kondoo, ngombe kwa jina moja huitwa ……
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Wanyama", "Wafugwao", "Nyama", "Wanyonyeshao" ]
A
sub_0049
Ghala ni mahali pa kuhifadhia ……
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Maji", "Mifugo", "Nafaka", "Wanafunzi" ]
C
sub_0050
Neno lipi halifanani na mengine kati ya haya yafuatayo?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Tafrija", "Karamu", "Vifijo", "Msiba" ]
C
sub_0051
Mnyama aliyekufa hitwa ……………
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Mzoga", "Uozo", "Maiti" ]
A
sub_0052
Sahani, kikombe, bakuli na kijiko i........................
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Samani", "Mimea", "Jikoni", "Vyombo" ]
D
sub_0053
Kanga, kasuku, kunguru na njiva........................
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Wanyama", "Ndege", "Vifaa", "Viumbe" ]
B
sub_0054
Shangazi ni........................
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Kaka yake mama", "Dada yake baba", "Mdogo wake dada", "Mdogo wake kaka" ]
B
sub_0055
Wingi wa neno sufuria ni
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Masufuria", "Sufuria", "Mabakuli", "Sufurias" ]
A
sub_0056
Nini umoja wa neno macho?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Majicho", "Macho", "Jicho", "Jino" ]
C
sub_0057
Mtoto aliyefiwa na wazazi wote huitwa __________
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Yatima", "Mjinga", "Maskini", "Mkiwa" ]
A
sub_0058
Mtoto wa ng'ombe huitwa___________
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Ng'ombe", "Ndama", "Kang'ombe", "Mwana wa ng'ombe" ]
B
sub_0059
Chumba __________ni kichafu.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Hichi", "Hizi", "Hiki", "Hili" ]
C
sub_0060
Neno KINYWA lina silabi ngapi?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Nne", "Mbili", "Tatu", "Tano" ]
B
sub_0061
Kesho __________mpira uwanjani.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Tutacheza", "Tumecheza", "Tulicheza", "Tunacheza" ]
A
sub_0062
Ndani ya pochi la mama aliweka nguo____________________.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Lake", "Yake", "Zake", "Zao" ]
C
sub_0063
Baraka na anna walipewa____________________.
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Adabu", "Adhabu", "Azabu", "Athabu" ]
B
sub_0064
Viatu…………..ni vyangu
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Yote", "Yoyote", "Vyote", "Wingi" ]
C
sub_0065
Ukipika vyakula…………………………………………. Vitaharibika
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Kingi", "Vingi", "Mingi", "Kichache" ]
B
sub_0066
Lipi kati ya mazao haya ni nafaka?
darasa_la_tatu
darasa_la_tatu
[ "Mahindi", "Nazi", "Pamba" ]
A
sub_0067
Mwalimu alimuuiliza Anna juu ya herufi mwambatano na kumtaka atoe mfano. Je, upi ulikuwa mfano wake sahihi kati ya ifuatayo?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "b", "Ndw", "K", "T" ]
B
sub_0068
Chungu cha bibi ............................kwa udongo mwekundu.
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Kimefinywa", "Kimefinyanga", "Kimeumbwa", "Kimefinyangwa" ]
D
sub_0069
Lipi ni neno moja linalojumuisha maneno yafuatayo; dhahabu, almasi, shaba, tanzanaiti
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Madini", "Fedha", "Nguo", "Vico" ]
A
sub_0070
Wingi wa neno mchanga ni upi kati ya majibu yafuatayo?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Limchanga", "Michanga", "Mchanga", "Mamichanga" ]
B
sub_0071
Tochi ya Jacob ina …………… mzuri.
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Mwanga", "miale", "umbo", "nuru" ]
A
sub_0072
Wingi wa neno jiwe ni upi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "majiwe", "vijiwe", "mawe", "jiwe" ]
C
sub_0073
Ilipofika adhuhuri chakula chote. Neno adhuhuri lina silabi ngapi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Nane", "Sita", "Saba", "Nne" ]
D
sub_0074
Mtoto mzuri ni yule mwenye adabu kwa watu. Kisawe cha neno lililopigiwa mstari (adabu) ni kipi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "heshima", "akili", "utundu", "uvivu" ]
A
sub_0075
Mwembe, mpera, mchungwa, na msufi kwa pamoja hujulikana kama.
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "miti", "matunda", "vyakula", "vyombo" ]
A
sub_0076
Gari hili ni la kifahari kwa sababu lina kubwa.
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "samani", "zamani", "thamani", "dhamani" ]
C
sub_0077
Kipimajoto kina mrija ambao una kimiminika ndani, kinachoitwa
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "Sentigrade", "Rekoda", "usindikaji", "zebaki" ]
B
sub_0078
______ ni hali ya hewa inayotuzunguka kwa muda mfupi.
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "hali ya hewa", "mwanga wa jua", "kipima joto", "joto" ]
D
sub_0079
Ni ipi kati ya zifuatazo sio njia ya kuharibu mazingira?
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "kukata miti", "kuchoma msitu", "kupanda miti", "kufuga kupita kiasi" ]
C
sub_0080
Mwelekeo wa upepo hupimwa kwa kutumia chombo kinachoitwa ______
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "kipimo cha mvua", "Vane ya upepo", "mwelekeo wa dira", "uchunguzi" ]
B
sub_0081
Utumiaji wa kemikali zenye sumu katika uchafuzi wa uvuvu
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "maji", "hewa", "nchi kavu", "samaki" ]
D
sub_0082
Kiasi cha maji katika hewa ambayo ni katika mfumo wa mvuke inaitwa
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "unyevu", "mawingu", "mvua", "upepo" ]
A
sub_0083
Joto hupimwa ndani
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "milimita za zebaki", "digrii za sentigredi", "kilogramu za sentigredi", "milimita za sentigredi" ]
B
sub_0084
Mwanga na joto linalotokana na jua wakati hakuna mawingu ni
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "unyevu", "mvua", "mawingu juu ya", "mwanga wa jua" ]
D
sub_0085
Ni aina gani ya hali ya hewa ambayo huwalazimisha watu kuvaa jaketi, gumbooti na kubeba miavuli?
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "upepo", "mawingu", "Jua", "mvua" ]
D
sub_0086
Kitengo cha kipimo kwa kasi ya upepo ni
kidato_cha_nne
kidato_cha_nne
[ "milimita", "mwelekeo wa dira", "digrii sentigredi", "kilomita /saa(km/saa)" ]
D
sub_0087
Tulipokuwa tukijisomea aliniambia nikamilishe sentensi hii” babu na bibi kumwona shangazi kesho.
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Walikwenda", "Na", "Huenda", "Watakwenda" ]
D
sub_0088
Mwalimu aliuliza neno lipi linakamilisha sentensi hii kwa usahihi? Baba yangu alikula wali ____kijiko
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Na", "Kwa", "Mwa", "Pamoja" ]
B
sub_0089
Dereva ni kwa mwendesha vyombo vya nchi kavu rubani ni kwa mwendesha ndege. Je, nahodha ni kwa
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Manju", "Vyombo vya majini", "Ni kwa mabaharia", "Vyombo vya angani" ]
B
sub_0090
Upi ni ukanushi sahihi wa neno "Ataimba"
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Huimba", "Hataimba", "Ataimba", "Hajaimba" ]
B
sub_0091
Rafiki yangu alinionesha zeruzeru tulipokuwa kanisani. Kisha nilimuuliza neno lipi ni kisawa che zeruzeru?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Chotara", "Suriama", "Albino", "Muakasti" ]
C
sub_0092
Mwalimu alisema yakinishe sentensi ifuatayo "Elimu haina mwisho"
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Elimu si mwisho", "Elimu ina mwisho", "Elimu inafika mwisho", "Elimu ni mwisho" ]
B
sub_0093
Nilipenda kujua kama unafahamu neno mchwa linaundwa na silabi zipi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "M.ch,wa", "M.c,h,w,a", "M.chwa", "Mchwa" ]
C
sub_0094
Jamila anafanya kazi katika maktaba ya taifa. Je, Jamila ni nani?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Mkutubi", "Maktabalisti", "Mfanyakazi", "Mnajimu" ]
A
sub_0095
Mzee Kalumanzila anatibu watu kwa kutumia mitishamba. Je, neno "Kalumanzila" lina silabi ngapi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Tatu", "Nne", "Tano", "Kumi na moja" ]
C
sub_0096
Bibi yake Sampuluna ni mzee sana hawezi hata kulima shamba tena. Je, neno gani lina maana sawa na mwanamke mzee?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Abu", "Shaibu", "Buda", "Ajuza" ]
D
sub_0097
Kitoto chake kinacheza mpira vizuri. Wingi wa neno lililopigiwa mstari (Kitoto) ni upi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Mtoto", "Chitoto", "Vitoto", "Watoto" ]
C
sub_0098
Mtakapokuja kwenye mazishi msigombanie mali za watu. Neno lililopigiwa mstari (mazishi) lina silabi mwambatano ngapi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Mbili", "Tatu", "Moja", "Nne" ]
B
sub_0099
Samaki mkunje angali mbichi. Wingi wa sentensi hii ni upi?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Samaki wakunje angali wabichi", "Masamaki yakunje yangali mabichi", "Samaki mkunje wabichi", "Samaki wabichi yakunjwe" ]
A
sub_0100
Mjomba alipanda juu ya mnazi kuangua nazi. Je, mtu anayeguangua nazi anaitwaje?
darasa_la_nne
darasa_la_nne
[ "Muangujaji", "Mkwezi", "Mgemaji", "Mkuanzi" ]
B
End of preview. Expand in Data Studio

Swahili Understanding Benchmark

Multiple-choice questions testing Swahili language understanding across ordinary level topics

  • Repository: nileagi/nileagi-sub-edu
  • Version: 1.0
  • Valid items: 2570
  • Schema: swali, somo / hatua, machaguo, jibu

Dataset description

This dataset is a Swahili multiple-choice understanding benchmark designed for educational and low-resource evaluation. Each record contains a Swahili question (swali), a grade/topic tag (somo or hatua), a list of answer options (machaguo), and the correct answer label (jibu).

File

  • swahili_understanding_benchmark_q_a.json: raw benchmark data in JSON format

Usage

from datasets import load_dataset

dataset = load_dataset("nileagi/nileagi-sub-edu")

Features

  • Swahili language
  • Multiple-choice question answering
  • Education / classroom assessment
  • Benchmark evaluation for compact open models
Downloads last month
35