audio audioduration (s) 1.09 269 | text stringlengths 4 4.03k |
|---|---|
niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na nisichokupendeza kuhusu aina hiyo. ninachokipenda katika aina A ni kwamba ukweli kwa kutokana na majaribio ya awali ya mwanzo kabisa kulinganisha na hii ya awamu ya pili hii mbegu si nimeipenda kwasababu ii unapoipanda inaota vizuri lakini ili ni nilichokiona kwamba si uki... | |
niambie B kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo. aina B kwakweli nayo si mabaya mbona naona yangeambatana tu na yangefanana lakini na hii ee A lakini yanatofauti hata kuoza kwake lakini pamoja navyo yanafatana kuogopa hali ya hewa kwayo hayapendi sana wakati wa mvua yanahitaji mvua z... | |
naambia kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo. aina C kwa kweli nimeyapenda hata majaribio ya awali ya kwanza haya maharage yalikua yanaongoza kwa uzuri na kwa ubora zaidi kwanza nina nilichokipenda sana ni kwamba yana aya yana yanaendana na hali ya hewa hata kama ni wakati wa mvua ny... | |
Niambie kuhusu aina C nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu io?.Aina hii ya C nakipenda kwasababu ni zao la biashara na ina soko. | |
Niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo? Aina hii ya A nakipenda ni kwasababu ni ni nzuri kwa chakula pia pia ni nzuri hata kwa kutumia majani yake kwa mboga alafu ni nzuri tena kwa kwa biashara. | |
Niambie kuhusu aina B nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo? Aina hii ya B nakipenda kwasababu ni zao la biashara na inastawi sana inastawi vizuri ndiyo maana naipenda. | |
haya niambie kuhusu aina A nini ambacho unakipenda na kisicho kupendeza kuhusu aina A?aina A ina inanipendezesha kutokana.mmh. na uvumilivu.mmh. hii mbegu ukiipanda inakua na uvumilivu hata jua liwake lazima utavuna. eeeh.sawa. ndio maana naipenda.haya kingine?kingine aaah sindoivyo na uzaaji wake.mmmh.eeeh.inamavuno m... | |
eeh, mmh .niambie kuhusu aina C na nini ambacho unakipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hii?. aina hii naipenda, hii naipenda inazaa vizuli na inabei nayo lakini sasa kwenye uvumilivu wa magonjwa au jua haina uvumilivu.mmmh.eeeh bei yake nayo inafokuzana na hii apa.sawa.laki mbili mwanzo unaanzaa kupiga | |
magonjwa? hii inavumilia hii haivumilii. haya niambie kuhusu aina B na nini unachokipenda kuhusu aina B nakisichokupendeza?.aina B inanipendezesha kwenye kama ukiipika ni nzuri haina magonjwa, ina inavu ina magonjwa lakini haina uvumilivu wa nanihii wa jua, hii ikipigwa na jua hakikisha hutapata hata kwenye kindoo eeeh... | |
Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendesa kuhusu aina C? Aina C naipenda kwasababu kwenye mboga pia ina ubora alafu tena hata ukienda sokoni kuuza japokuwa bei yake ni ndogo kidogo lakini yeye ni nene alafu ineingia chache kwenye ndoo ndo maana kilo zake nyingi ndo maana naipenda sana. Kipi kingin... | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina A?Ninachokipenda kwasababu unaota vizuri alafu tena maharage haya pia huwa yana bei ndo ki nachokipenda zaidi.Kipi kingine unachokipenda kwenye aina A?Kingine ninachokipenda aina A pia majani yake ni mboga nzuri sana ndo maana naipenda sana.Saw... | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina B?Aina B naipenda ila sasa.Mmmh. Uotaji wake unaota nanii mbalimbali kidogo alafu pia mvua inavyonyesha.Mmmh. Huwa inaharibika haribika.Mmmh.Mmmh.Kipi kingine unachokiona katika aina B?Haloo kingine sasa hapo tu ndo hicho.Mmmh.Eeeh. | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo?twende Aina B ni tamu kupika sokoni nayo inafaa na ina ela. | |
niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo aina?twende. Aina A nanii A naukipika ni mzuri lakini sokoni haina aani bei.sababu ni sababu ni yazamani kidogo. Kwasababu ni ya zamani kidogo kwa huku kwetu hivyo niayani. | |
niambie kuhusu aina C nini unachokipenda na kisichokipendeza kuhusu hio aina? aina C sijapendezwa amabayo kupika aina na ina gesi ila sokoni ina bei. | |
Niambie kuhusu aina C nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo?.Aaah aina C kwa ujumla inanipendeza kwasababu inatoa mavuno mazuri ina soko sokoni kwahiyo kwa aina C hakuna shida hiko vizuri na naipenda zaidi. | |
Niambie kuhusu aina B nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo.Aaah aina hii mimi naipenda kwajili inaa ina mazao mazuri inajitahidi katika uzazi alafu tena katika soko iko sokoni yana soko nzuri kwa hiyo aina B pia inafaa tena nai nai naipenda. | |
Niambie kuhusu aina A aina hii apa, niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo?.Aaah aina A ni kwamba kwanza uzazi wake sio mzuri halafu kwa huku kwetu nahisi haina soko aina A haina soko kwahiyo inakuwa ni ki kidogo inashida kwa upande huo.okay | |
niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo. Ina majani mapana na inarefuka kwenda juu . Kuna kingine ambacho umekipenda kuhusu aina A unaweza uka ukaa uka kisema. Inazaa vizuri yaana aijashambuliwa na wadudu. | |
Niambie kuhusu aina C, nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo? Ina majani mapana ni inatambaa vizuri na haijashambuliwa na wadudu. | |
Niambie kuhusu aina B ni ni unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo. Inarefuka kwenda juu majani yake nimapana nai inazaa vizuri. | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo. Aina B hiyo rangi nzuri na vile vile afu ata uzaaji nayo yanazaa tu vizuri japokuwa yanachelewa kunanii kutoa maua. | |
Niambia kuhusu aina A ni nini unachokipenda nakisichokupendeza kuhusu hiyo.Ainaa aina A hiyo inacho nipendeza mimi hiyo rangi inavutia afu hata uotaji wake na uzaaji naopia inajitahidi hiyo. | |
Niambie kuhusu aina C nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo.Aina C sawasawa | |
Naomba pia uniambie kitu ambacho unakipenda na usichokipenda kutoka kwenye aina C.Aina C.mmmh. mbegu ni nzuri.Mmmh.Kwenye uzaaji inajitahidi.Mmmh.Ila changamoto kubwa ni hiyo tu kwa ajili yani wateja hamna.Mmmh.Eeeh.Na ni aina gani labda ambayo inakuwa na wateja ambao labda unavyo sema zizi zinakosa wateja.Aina gani l... | |
Mmmh naomba pia uniaambie ni kitu gani ambacho unakipenda na ambacho hukipendi kutoka kwenye aina B ya maharage. Aina B ya maharage. Mmmh. Moja. Mmmh. Uzaaji wake unazaa lakini sio saaana. Mmmh. Ni kiasi.mmmh. Na pia changamoto ni hawo tu niwateja kwakweli hakuna. Mmmh.mmmh | |
Mambo swi.Niambie kuhusu aina B.Mambosi. nini ambacho umekipenda kuufiana na aina B. Aina B aina B ni nzuli.mmmh. inazaa vizuli tu.mmmh. eeeh nao ni mzuli sana afu ata kuzaa inazaa.mmmh.nakuota inaota vizuri aina shida | |
Niambie kuhusu aina A nini ambacho umekipenda na kile ambacho hukukipenda kuhusiana na aina A. Aina A unaota vizuli.mmmh.alafu ata kuzaa inazaa vizuli. inazaa vizuri,mmmh kingine ambacho umekipenda.nakukamaa unakomaa kwa haraka sana. Aina A. Eeeh.okay | |
Niambie kuhusu aina C nini ambacho umekipenda na kile ambacho hujakipenda. Aina C nimeona hawa ina dalili ya kuota inaota inasumbua kuota alafu hata kusaa inasaa magonjwa mengi iiiiite ite iii wakati wa kusaa yatakuwa na magonjwa mengi,yanajitokeza magonjwa mengi sana. Nashambuliwa na magonjwa. Mmmh. Kingine ambacho ku... | |
niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisi kisichokupendeza kuhusu hiyo.aah nilichokipenda kuhusu maharage aina B ni umbile alafu na aina ya maharage yenyewe. je kuna kitu chochote ambacho hakijakupendeza kwenye aina hii.aaapana maana nimekubalia naya maharage. | |
niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo. nilichokipenda kwenye maharage haya ni umbile pamoja na rangi halafu kuhusu habari yaa maendeleo yake ni mazuri. | |
niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo.Nisichokipenda kwenye maharage aina A ni rangi ya maharage alafu na umbile lake alafu yanakomaa haraka. Aah ni nini kinachofanya aina hii kuwa na soko?sababu ya kuyafanya haya yawe na soko ni kulingana na umbile alafu na maharage yenyewe ni maz... | |
Aya niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hio. Kwanza naipenda. Mmmh.Maana naona inatoa mazao kwa wingi. Mmmh.Sasa kwa ambacho sikipendi. Mmmh. Sikipendiii na taikiwa tuwe na muda wakati wa ku kuotesha kusiwe na baridi kali manake aivumili baridi ndio sababu zingine zimetoa madonda ma... | |
Aya Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na unachokipenda kuhusu aina hiyo?. Kwa kweli C siipendi kutokana na kwanza sijawai kuionja nafahamu utamu wake pili haina uzito kwenye kilo na kwane inakuwa kama mapepe inakuwa ni nyepesi kwahiyo siipendi kabisa hii. | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hio. Kwa kweli B naona ni inatoa mazao mengi alafu inajaza pia ina muu mudu baridi kwa maana hii B inaongoza kwa mazao. | |
ndugu mkulima kitu gani ambacho unakitoa unakipenda kutoka kwenye maharage ya aina B?.yanastahimili magonjwa.Na kitu gani ambacho hukipendi?.Hamna. | |
Ndugu mkulima ni kitu gani ambacho unakipenda kutoka kwenye aina C?.Mazuri yenye mavuno mengi sana.Na kitu gani ambacho hukipendi?.Hayapendi mvua nyingi na unyevu mwingi. | |
Ndugu mkulima ni kitu gani ambacho unakipenda kutoka kwenye maharage aina A.?inazaa haraka ina mavuno mengi.Na kitu gani ambacho hukipendi?.Hamna. | |
Niambia kuhusu aina C nini unachokipenda na kisichopendeza kuhusu hiyo?Kuhusu aina C hamna nisichokipendaaa kipato cha haya maharage ni kubwaa yanabei sokoniii pia yanaleta maendeleo katika jamii yetu. | |
Niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hio aina. Eeeh aina A nisichokipendaaa hamna haya marage mimi nayapenda sanaa kwasababu yanaiva vizuri yanastawi vizurii kuhusuu mafanikio maendeleo yana shida kwasababu yana bei sokoni | |
Nambie kuhusu aina B nini unachokipenda na kischokupendeza kuhusu hiyo?Kuhusu aina B hamna shida, aina B haya ii yanaiva ila kuhusu beiii bei yake iko chini haina wateja saanaa. | |
labda ambacho kinavutia kwenye aina hii hapo sanji ya maharage haya.huo pia mzaono. Kwenye issue ya mzao. mzao eeh. Kingine.hiyo si ndio yenyewe sasa. Eee kwenye swala la.na eh yani.mh.kwenye kuu upikaji uko pazuri.eh.eeh haina shida. haina shida. ni mazuri sanaa.oookay.kwenye bei pia usiseme.eh hayana shida. vizuri.oo... | |
mmh labda ki kitu gani kingine ambacho labda kinavutia kwenye aina hii hapa ya maharage? Yapi? Yaya apa.mzao nao.nioneshe mzao, ukiachilia mbali uzao labda kingine.na nyingine i chingine pia iko juu.kwenye kwenye kwenye swala la bei.eeh wana wanapambana na.mh.njano.na njano eeh.eeh.oookay. | |
Ambacho kina pendeza kuhusu aina hii ya maharage aya, Kitu ambacho kinakavutia zaidi.Kitu ambacho kinavutia.mmh. ni mzao.uzao? Eeeh.Kingine labda. Kingineee. Mmh.Labda tuseme hata bei nayo.ni bei, kidogo ina bei? nae pia pia pia haipo chini sanaa.haipo chini sana yeah.eeh ina inape ina inalingana na ile ina.mmh.ya amba... | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo?. nilivyopanda marage haya.ndio.yalifumilia ukame.ndio.hayakushambuliwa na wadudu wowote.ndio. tena yalikomaa halaka.ndio. ndio maana nayapenda.sawa | |
niambie kuhusu aina B ni nini ki unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo aina B .aina B nilivyopanda nilivyoipanda. Ndio. Ilikubali. Ndio. ilikubaliana umea .eeeh ndio. tena yalikomaa vizuli .ndio. hayakushambuliwa na wadudu .ndio. tena na bado nayapenda.nini ambacho haukipendi ainaa B aina B yani nini ambac... | |
niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo aina C.aina C nilivyoipanda.ndio.ilikubaliana ukame.ndio.haikushambuliwa na wadudu.ndio.kaakomaa vizuli.ndio.nini ambacho hukipendi kuhusu hiyo aina aina C aina C kitu gani ambacho hukipendi?.nakipenda .ndio.kwasababuki inakubaliana u u umea.n... | |
haya ndugu mkulima ni kitu gani ambacho unakipenda kututoka kwenye maharage ya aina B? napenda B kwa sababu napenda B kwa sababu limekistahimili ukame nana . Sa sawa kitu gani ambacho hukipendi? hamna. | |
ndugu mkulima ni kitu gani ambacho unakipenda kutoka kwenye malage aina A.napenda A kwasababu ina mavuno mengi nanii bei ghali.naaa kitu gani ambacho hukipendi.amna amna. | |
kitu gani ambacho unakipenda kutoka kwenye maharage ya aiana C,kitu gani unachokipenda? C nakipenda kwasababu inastahimili ukame,ina mavuno mengi na ni bei ghali sokoni.na kitu gani ambacho ukipendi.amna. | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina A?.Kuhusu aina A ninachokipenda ni ukuaji wake.Kipi kingine unachokipenda kuhusu aina A?Kuhusu aina A nakipenda juu ya uzaaji wake marage.Kingine?Kinginee namna ya kustawi unene wake.Kipi kisichokupendeza kuhusu aina A?Kisichonipendeza hakuna k... | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina B?.Kuhusu aina B maharage haya nayapenda sana kuhusu aina B ee B.ndio. nayapenda sana kwa sababu maharage yake yanazaa nayo vizuli .mmmh.pia sifa nyingine ni ma ni mazuri katika ku kula katika kutumia kwacha kwa mboga ee.Kipi kingine unachokipe... | |
Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina C?.Aina C maharage yake nayapenda lakini namna ya kustaa kisichonipendeza hayastawi vizuli.Kipi kingine unachokipenda kwenye aina C?.Aina C mboga yake ni nzuli nayo.Kingine?.Kingine hakuna. | |
Ni kitu gani ambacho kina unakipenda kuhusu aina A ya maharage? A bwana nashukuru. Mmmh. Enyewe ina rangi nzuri. Mmmh. Pia inajitahidi kuzaa. Mmmh. Na kuvumilia hali halisi ya mvua. Mmmh ok | |
kingine ambacho kinakupendeza kuhusu aina B ya maharage?aaa mahamba B bwana kidogo itakuwa.mmmh. inachangamoto kulingana na maeneo yetu yalivyo huu tuseme B haina ubora sana.aaah ok labda udhaifu wake mwingine ambao ukiachilia na maswala ya ya ya shambani labda kuna udhaifu mwingine ambao unaufikilia labda?.aaah sisi t... | |
Aya ni kitu gani ambacho labda unakipenda kuhusu aina C?. C bwana naipenda kwanza aina zaa vizuri. Ndio.alafu yenyewe iko vizuri. Mmmh.kidogo ata kwenye soko pia. Kwenye soko aina shida. Ina shida. Kwamba nirahisi kupata maso wateja. Eee. Okay. | |
Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina C?. Aaa aina C kidogo marage yamekua sii mengi kulingana naaa ubora mbegu ya C kidogo imekua sio mbegu nzuli saana kulingana na mbegu ya aina A na B imekua ni yenye unene vizuli lakini C kidogo mbegu haikua nene kama aina A na B lakini kuhusu C... | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuusu aina B?. Aina B vile vile nayo inanipendeza kwasababu mazao yamekuwa ni mazuli upatikanaji wake wa mazao ila tu mwakani tukipata tena mbegu tuta en en tuta talee tulizopanda mwaka huu tutazipandisha kidogo ili tupate mavuno mengi kwa aina BE.sawa kip... | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina A?.Aina A kilichonipendeza ni unafuu uzaaji kidogo umekuwa mzuli na ukuaji wa maalage aina A umekuwa mzuli kiujumla.Kipi kisichokupendeza kuhusu aina A?.Kisichonipendeza niii mvua tu kunyez kunyesha ovyo ovyo ndio mana mazao yakawa si mazuli za... | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hio?. Kikubwa zaidi ni dawa, dawa hiyo mbegu ni nzuri katika ugo ulaji kwanza ni ina ladha mzuri ila dawa za kuzuia barafu ni kali sana inakua ni ni changamoto katika kuzitunza. | |
Niambie kuhusu aina B, ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hiyo? Aina hiyo uzaaji wake siyo kubwa sana ila japokuwa inavumilia kiasi flani barafu sio kali kama inavokua aina A. | |
Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda kuhusu kipenda kuhusu aina hiyo.Aina C kwa wasitani katika uzaaji wake ni mzuri na hata ukiangalia mbegu zake ni nene na ni nzuri na ni tamu katika kuzipika na ni nzuri mno. | |
Mojeu unakipenda kwenye aina hii ya marage haya A?. eeeh.mmmh.hayapa nayapenda na, nayapenda yana uzazi mzuri lakini sasa ipu .mmh. hali ya hewa iko na mvua nyingi. nyingi Kipengele. Kipengere. Na kingine ukiachilia hali ya hewa pengine? Nimeyawata kwenye, kwenye kupika pia. Yana shida?. hayana ladha.hayana ladha nzuri... | |
Sasa ni kitu gani ambacho pia kina kuvutia kwenye aina hii ya marage hayapo? Aina hii ya marage unaikuta kuhusu kwenye mboga. Kwenye mboga tu? Yanaiva haraka .aaah ndio. pia yana ladha lakini ishu kwenye soko.soko. | |
Na hii aina C ambacho kinakukutia zaidi? Aina C kinacho imekutia kwanza yanavumilia nanii.mmh. Magonjwa.ndio.alafu pia kwenye masoko. Eeeh Soko liko vizuri?. liko vizuri.aaah. Kwenye ulaji pia.hahaha. hayana shida.ayana shida | |
Mmmh Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na sikukupendeza kuhusu hiyo. Aina C pia nimependa vyote. | |
Mmh niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuusu hiyo. Mimiiii kwa aina A nimeipenda vyote. | |
Niambie kuhusu aina B nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo. Aina B nimependa pia vyote. | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina B. Kuhusu aina B mbegu uliota vizuli ilistawi vizuli na niliipenda hakuna nisichokipenda. | |
Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina C. Kuhusu aina C mbegu iliota vizuri ilistawi vizuri hakuna nisichokipenda. | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina A. Kuusu aina A.mmh.mbegu iliota vizuli.mmh.ilistawi vizuli.ndio.na ilikuwa nene zaidi.eh. hakuna nisichokipenda.okay. | |
Niambie kuhusu aina C nini nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo.Yote ni sawa. | |
Niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo.Imezaa vizuri kwa hiyo iko vizuri. | |
Niambie hukusu aina B nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo? Hamna ambayo sijaipenda iko vizuri. | |
Ehee niambie kuhusu aina B nini ambacho umekipenda na kile ambacho hujakipenda aina B?. Aina B su nani rangi yake nimeipenda. Mmmh. Halafu tena mzuri. Mmh. ila sijajuwa soko. Soko kidogo sio uhakika sana. Eeeh. aanha | |
Niambie kuhusu aina C nini ambacho umekipenda na kile ambacho hujakipenda?. Aina B nime .Aina C .nimeipenda rangi yake. Eeeh. C?.eeh.nimeipenda rangi yake.mmmh.pia na soko nalo sijui. Soko nalo uhakika kidogo haupo.Eeeh.okaay | |
niambie kuhusu aina C nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo? Imeota vizuri pia imezaa vizuri. | |
Niambie kuhusu aina B nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo. Nimeipenda uzao yake ni mzuri sana. | |
Niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu hiyo? Japokuwa ilishambuliwa na wadudu kidogo lakini uzao wake ni mzuri. | |
Niambie kuhusu aina hii B ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hii?. Aina hii ya B ni ni nzuri isipokuwa sasa yanazaa kidogo tu sana haya sio ma mafuno yake sio mengi sana. | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hii A?. Hii aina A kwakweli inazaa vizuri na nimevuna vizuri kwa kiasi ki iii zuri kwahiyo ma kwa kweli ya marage nayapenda. | |
Niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hii C?. Aina hii C ku maa marage e e yani ni matamu kwa kweli ni mazuri hata kwa kukaangia mboga unaweza ukaaa yana yana yanaingia kwenye vyakula vyote. | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo ? yani ,eeeh.Geuza simu kwa uku.Mmmh, aina A aina A nachokipenda kwanza maalage yake ni mazuri na pia yana soko, ndio icho tu nacho kipenda.Usichokipenda?Nisichokipenda hamna.Asante. | |
Niambie kunu kuhusu aina C ni kipi unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hiyo? Aina C malage ya malage yake ni mazuri yana ladha nzuli pia yana soko, nisichokipenda hamna. Aya asante. | |
Niambie kuhusu aina B nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hiyo? Aina B, aina B pia maalage yake ni mazuri yana laza nzuli pia yana soko, nisichokipenda hamna .Aya asante eeh. | |
Niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina B?.Aina B kinachonipendeza marage yake ni mazuri na yanaota vizuri na pia yanastawi vizuri lakini nisichokipenda maharage yake hayawezi kustawi kipindi ya mvua.Kipi kingine kisichokupendeza kuhusu aina B?Ah kisichonipendeza hakuna kwa sababu ya... | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina A?Ninachokipenda aina A.mmmh. marage yanaota vizuri na yanakua vizuri lakini nisichokipenda.mmmh. marage hua yanapatwa na magonjwa mbalimbali.Kipi kingine kisichokupendeza kuhusu aina A?aaah Aina A hakuna nisichokipenda kwasababu yanaota vizuri na... | |
Aina C niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na nisichokupendeza kuhusu aina C.Aina C ninachokipendeza marage yake yanaweza kustawi na kustahimili mvua lakini pia hakuna nisichokipe hakuna kisichonipendeza kwasababu yanaota vizuri na yanakuwa vizuri.Sawa. | |
niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo. aina C nayo uzazi wake nayo uko fresh hauna tatizo na hata kwenye soko nafikiri yako fresh sana haya hayana kigezo cha aina yeyote ambacho cha kukataza ani.aya asante. | |
niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo.aah aina A mimi imenipendeza kwasababu ya uzazi wake uko fresh na maharage yake mwonekano wake uko furesh hauna shida yeyote.mh .eeh ni hicho tu.kitu ambacho hujakipenda.aah yani kusema kusema ukweli maana pale naona kama sifa zote nimeene... | |
niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina hiyo aina B kusema ukwelii nayo yako vizuri lakini asa uzazi wake nao ni shida asa hichi kitu mimi kidogo kim kinukuwa haki hakijanipendeza vizuri.mmh. Eeh.vipi kuhusiana na swala la soko.aina B, aina B soko lipo vizuri halina shida eeh kwasabu... | |
niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na usichokupenda usi kisichokupendeza kuhusu aina A.aina A naipenda kwasaabu haitambai na pia uzao wake ni bora kuliko hata haya mengine.ni nini ambacho haupendi. eeeh kwakweli aina A kwam mtazamo wa mwaka huu haiku haikupenda sana unyevu wa unyevu mkubwa.sawa. | |
niambie kuhusu aina C ni nini unachokipenda na kisichokupendeza kuhusu aina C.aina C mbegu hii ndio nimeanza kuipanda mara ya kwanza kwahiyo sijaipatia jibu kamili lakini uvu unaipenda kwasaabu ntamu lakini mazao yake hayakuwa mazuri.asante. | |
niambie kuhusu aina B ni nini unachokipenda na usichokupenda kuhusu aina B.aina B ni mbegu moja ambayo ina zaa lakini nisichokipenda ni kwamba hii mbegu ina tambaa na mbegu ambazo zinatambaa sikikumbwa na hali ya hewa mbaya basi zina katisha mazao.asante sana. | |
Niambie kuhusu haina aina hii B ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hii B?. Haya nayapenda kwa kweli ni mazuri kwa kupika ila kwenye kwenye wawa wafanya biashara hawa yapendi sana hayana gara yana bei ya juu. Mmh. Eeh. Na ni nini kinachofanya aina hii kuwa na soko kuto kutokuwa na au kutokuwa na soko?.si... | |
Niambie kuhusu aina hii C ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hii C?. Nayapenda kwa sababu yenyewe hata ukila hayana gesi kubwa tu hayana gesi tumboni. | |
Niambie kuhusu aina A ni nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hii A?. Ninachokipenda ni marage kwanza ni mazuri ukiipika ni matamu kama hivyo na yanaiva kwa haraka. | |
Niambie unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina C. Aina C ni nzuri ni sawa tu na aina A na B zote ni sawa na zinatoa vizuri na kushambuliwa na wadudu aina zote tatu wa wadudu wa wajashambulia sana. | |
Niambie kuhusu aina B nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hiyo.Yaani aina A na B zote ni sawa kwasababu yamezaa vizuri wadudu hawajashambulia sana kwahiyo aina A na B zote ni sawa. | |
Vyakawaida.niambie kuhusu aina A nini unachokipenda na usichokipenda kuhusu aina hiyo.hamna nisichokipenda.mmmh.kwasababu nimeotesha yametoa vizuri na kushambuliwa na wadudu sii sana mpaka sahvi yako vizuri. |
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 83