Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
audio
audioduration (s)
0.51
256
text
stringlengths
2
2.77k
Nini unapenda kuhusu aina B?.Aina B napenda kwasababu naona kama vile inabeba mauwa zote kwa pamoja naona ili jaribu kuota vizuri
angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.ile pale.mmh, hupendi.aa kitu ambachooo kinakuwa na utofauti niseme jambo ambalo labda silipendi ni vile ambapo ikianza kukauka yote hayakauki kwa wakati mmoja kuna mengine yamekauka na mengine yanaendelea kubaki kuwa mabichi.kuhusu jambo lingine nalo.kwa kweli hakuna.sawa asante.
angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho una kipenda kuhusu hiyo.C ni nzuri na ina uzazi mzuri haina shida kabisa na hata kwa chakula ni nzuri.
Angalia aina B na elezea chochote unachokiona amacho unakipenda kuusu hiyoAina B marage ni mazuri alafu ina yani mauwa zipo m mingi sana.Unamaanisha nini ukisema marage ni mazuri.Marage ni mazuri yamestawi vizuri alafu kisha kwenye ata ukienda kwenye kipato inakuwaa juu.je! Kuna kitu kingine una chochote unakipenda kuusu aina hii.Ndio.Kitu gani?.Aina hii inakuwa na mauwa mengi sana yaani mauwa yamepanda mpaka juu mpaka juu ya mti paka juu ya nanili ya marage.Asante.
ebu ongea chochote unacho unacho ambacho hukupendi kulingana na haya maharage chochote tu kile.aa mimi naona kwamba hakuna tatizo.ndio.mambo yangu ni mazuri tu kama nilivyozungumza awali changamoto ni wadudu.ok.ndio changamoto zake .ambazo kidogo ikingiliwa na majani inakosa kama speed kidogo nguvu. sawa.kwahiyo lakini.hakuna shida.changamoto kubwa sana.ok labda kwa upande mwingine ukiyafikiria labda upande ukiachilia kitu gani ambacho kinawesababisha labda usiyapende pengine ukiachilia mbali maswala ya kubumbuliwa au na vitu vingine ni kipi kingine ambacho labda.aa mimi niseme kwamba labda.kwa sisi wakulima huenda labda kipindi mda wa kukosa soko.ee ndio. ee lakini kama soko linakuweepo nzuri basi hayana shida kama tunavyozungumza ni mazuri.ok mmh.
Nini usichokipenda kuhusu C?Haa hakuna nimekipenda tu.
Nini usichopenda kuhusu aina B ?aina B nisichoipenda ni kwamba hairefuki na haiwi na haiwi haiwi na matawi mengi kama maharage mengine .
je unaniruhusu kurekodi? ndio kwa ujumla aina ipi ya tricot uliipenda zaidi hii apa ni B hii apa ni C B B!
ukiangalia aina A naomba uniambie unachokipenda kuhusu aina A?mimi kwenye aina A.naipenda sanammh.ee.mmh kwa nini labda unaipenda sana?.naipenda kwasababu iko vizuri.mmh.halafu inazaa.mmh.eee
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda.apaa ajaotaa teeenaa yana aribikaa.mmm anaaa liiyaniii unachokipendaa hamna unachokipenda.kiko wapi sijaona.hamna unachokipendaa.mmmmhayaaa
Angalia aina C na ereza chochote unachokiona ambacho hukipendi kuhusu hiyo Hakuna.
Nini unapenda kuhusu aina A?.Aina A napendaaa kwasababu kwanza ni uvumilivu wa ukame naa magonjwa kwasababu nikicheki aina A imepataaa hata upepo na baridi kali iliopita majuzi hapa lakini kwamba yenyewe bado inastahimili magonjwa kwahiyo ndo sifa yake.
kitu gani ambacho labda sa hukipendi kwenye aina hii hapa ya maharage?hao hakipo.hakipo?mmh
Nini unapenda kuhusu aina B?... B naipenda kwajili shambani inastawi vizuli, na hata. hata ukuwaji wake ni mzuli hata tulivyopika laza yake ni nzuli.
Angalia aina B eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.aina B nilichokipenda ni kuhusu uotaji majani yako vizuri naaa mauaaa yako vizurimmmh.
mmmh ukiangalia aia C pia unaweza ukanambia kitu gani ambacho unakipenda kutoka kwenye aina C .kwenye aina C na yenyewe ina zaa vizuri ila ni changamoto hiyo hiyo na yenyewe kwenye ugonjwa .mmmh.maana naona kwenye kitalu namba B C vimeshikwa kidogo na ugonjwa ee lakini havina tofauti na na A ila sema tu huo ugonjwa ee lakini hata kuzaa zinazaa vzuri hayo ambayo yamebaki yapo vizuri .mmmhlabda ndio hiyo hiyo ardhi tuseme imechangia .
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hio. mi napenda hii kwa sababu ime ina imeanza kukomaa kwa urahisi. ndio. eeh.
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina B?Yani ni hayo majani tu ndo naona kua sijui ndo imekosewa wapi kwenye majani tu kua njano basi.Sawa.
Angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuusu hiyo.Naona ambacho nimekiona kwenye aina hii ya malage kwanza uotaji unaota vizuli alafu yanakuwa alafu yametoa mauwa vizuli alafu naaa majani yake yamekuwa mapana.Ye unaeza ukaelezea kwa undani zaidi kwenye aina hii.Naona kuusu hii haya malage naona hali yake si mbaya yamekuwa mazuli.
Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina A kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwa biashara Hakuna
Nini unapenda kuhusu aina B?.Aina B kitu nnachooo kipenda kwenye aina B ni kombaaa aina hii ya maharage ama ya mbegu hii koo ukanda ya kwetu sisi kilindi kwanza ni ngeni kwai tunaifanyia utafiti naipenda sana nahisi inaweza ikawa naaa ubora zaidi kuliko aina A kuhusu soko.
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?hapana kwakweli haina hata faraja yoyote kwa saabu haijatoka vizuriii ilivyotoka ikawa vizuri kidogo ghafla ikafa yote.ok.
nini usichopenda kuhusu aina B? Aina B, ndio. ina kauka kauka, mmh. haistahimili udongo kama aina A. aah, eeh. labda ukijaribu kuangalia mstari wangapi umekauka? mstari wa pili kutoka kutoka kule A na wa mwisho. mmh. eeh. mmh sawa.
Eleza kuhusu aina B ni nini ambacho ujakipenda?Uotaji.Mmmh uotaji ulikuaje?Inaonekana vishimo vili vilienda sana kwa chini.Mmmh.Ndo maana ukakosekana nguvu ya kuota.Kwahiyo unataka kunambia kwamba uliota kwa kidogo?Kidogo.Mmmh kingine ambacho ujakipenda?Hujakua sana.Haujakua?Mmmh tatizo mvua.aya ok tatizo ni mvua?Yeee.Ndo imefanya kwamba usikue?Eeya.Haya asante.
Ni usichopenda kuusu aina hii C.Aina C nisichopenda mvua ikiendelea kunyesha nyingi marage yataharibika.Marage yaa.
Nini unapenda kuhusu aina A?aina A naipenda kwa sababu punje zake za maharage ni nene.
angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina hiyo.sipendi kwasababu inazaa uzao wake unazaa chache na haina mazao mengi ndio.huna jambo lingine ambalo halijakupendeza.hapana.aya asante.
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyoHaina tatizo yoyote.Haina tatizo?Mmh.Kabisa kabisa.Mmh. ila Sijui kama tunaweza kupata dawa.Mmh.Ya kusuia hii mauwa isimwa isiputike.Mmh.Sijui kama ipo maana hii ni mojawapo ya hasara.Sawasawa.Mh hii mauwa ya nja hii maharage ya jano.Mmh.Inatusumbuanga lakini tukapata dawa ya kutu kutuliza yale mauwa yote yawe ninii.Mmh.Ingefanya vizuriSawa kwahiyo kitu ambacho hujavutiwa nacho inapuputisha mauwa.Mmh inapuputisha mauwa lakini mi naona inajaribujaribu.Sawa.MmhSanti
nini unapenda kuhusu aina A?naipenda kwa sababu kwa mazingira yetu uku imeota vizuri alafu majani ni mapana.
Nini unapenda kuhusu aina C?Aina C sijapenda kitu chochote kwa sababu yani haujaota vizuri.
ndugu mkulima tuna endelea na maswali angalia aina C na eleza chochote unacho kiona ambacho unakipenda kuhusu aina C.aina C inavyoonekana pale inawezekana imeungua sana kulinganana hali halisi lakini kulingana maelezo niliyo sema kitalu B.mhh.ndio mbegu ina endana endana.ahaaeehaah unaweza ukaeleza kiundani zaidi.kiundani zaidi upandaji tu tuliwahi kidogo.aah.kulingana na changamoto za mvua zilizo endelea.mhh.eeh.kipi kingine kimekufanya upendezwe nacho katika aina C.nimependezwa kulingana.aina C kingine au sababu gani nyingine imekuvutia uipende aina C.ina stawi vinzuri ila kulingana na changamoto tu za hali ya hewa.hali ya hewa.eeh.sawa sawa kingine.ndio hiyo hiyo.
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho una ha unakipenda kuhusu aina hiii .aina hii ni nzuri hata wewe unaiona kwa sababu ni kama imefanana na ile A .mmmhkwa sababu hata saivi unavyoona ina sura nzuri .eeeeh sura nzuri una maanisha ?utapata mbegu hapa .ili iweze kutoa.sawasawa ... Aya kuna kitu kingine ambacho umekipenda kuhusu hii ?Aina hii nimeipenda kwa sababu ni mbegu nzuri inamihili kutokana na ardhi hii.sawasawa.
ni nini unapenda kuhusu aina B?B kwanza napenda yanavumilia, maana yamepigwa na mvua nyingi lakini hayaku haribika, alafu pia napenda muonekano wake ni wakijani yakuhamasisha, pia yanaonekan yametanuka sio yale membamba yakwenda juu kwahiyo uzao wake utakuwa mwingi.jambo lengine lolote?hamna shida hapo nimefika mwisho.
Nini unapenda kuhusu aina B?aina B nimeipenda kwa saabu imezaa kidogo .una kingine ulichokipenda zaidi ya hicho?hapana ndo hicho tu.
nini unapenda kuhusu aina A? AH siipendi, ndio. sababu kwanza kuota kwake na ni shida. sawasawa.
nini unapenda kuhusuu aina B? Aina B nayo pia haina gasi, ndio. mmh. mmh na kwenye kuipika? kwenye kuipika inaiva vizuri eeh mradi tu isikae mda mrefu kwenye pipa au kwenye magunia, sawa sawa.
nini usicho kipenda kuhusu aina A. aina A kidogo shambani shambani kwangu haiku fanya vizuri sana kama aina zingine ndo hicho tu.
ni kitu gani hukukipenda kuhsu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? hakuna
eeh nini unapenda kuhusu aina C? aina C nimeipenda vibaya sana uzaaji wake ni mzuri afu kwenye kupika ni ina rojo ni tamu kushinda maharage yote eeh eeeh
Ni unachokipenda katika mbegu A?.Aaah uu ustawi wake ndo naupenda.
nini usichopenda kuhusu aina C.yani kwa sababu tu linatambaa lenyewe lina kuwa lakini lina tambaa ndo kitu ambacho sikipendi lakini haina shida.sawa.
Ni kitu gani hukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula Nisicho kipenda ni kama nilivyokuambia kwamba yale maharage ni mazuri lakini shida yake ni kwamba yale maharage hayataki uchelewe yani sikupenda nilivyochelewa kuyaotesha
Haya ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? Kitu ambacho sikupenda kulima hili zao la C kama matumizi kama biashara mavuno yake ni machache Ndio Lakini kwa matumizi ya nyumbani ni mazuri maana kwanza ni maharage ambayo ata mtu mwenye vidonda vya tumbo anatumia hayana gesi Kitu ambacho sikukipenda kwa biashara ni kwa sababu naweza nikalima eneo kubwa nikapata mavuno machache lakini kwa chakula haina shida
Katika mbegu tulizokukabidhi au kukupatia ni aina gani uliipenda zaidi kutokana na wewe ulivyoenda kuifanyia kazi shambani namba A
nini usichopenda kuhusu aina B? MIMI AMNA KITU AMBACHO SIPENDI mimi, mi sina kitu ambacho sipendi apa. mmh. eeh. labda haijakutana na chamgamoto yoyote? mi sijaona changamoto yoyote nmekutana nayo.
Nini usichopenda kuhusu aina B?aina B sijapenda kwa sababu ugonjwa umeharibu sana .umejuaje kwamba maharage yameharibika na ugonjwa.hayako vizuri.
Nini unapenda kuhusu aina B? Aina B naipenda ni njano nzuri ina rangi nzuri halafu imekomaa mapema.
nini unapenda kuhusu aina C?.aina C nilichokipenda maharage uzaaji wake vile vile kama aina B yani yanaambatana kwahiyo hakuna changamoto ya aina yoyote kwenye aina aina C kana kwambwa kwenye ukuwaji yako vizuri na uzaaji pia.asante.
Kati ya hizi aina tatu, ipi huipenda sana? B
angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo.Kwenye sehemu hiyo ya aina C ninachokipenda nimeona maharage ni mazuri na sasahivi yameanza kutoamau yame, kwanzaa kwenye uotaji yameota vizuri pamoja na kua mvua ni nyingi lakini kipengele hiki maharage ni mazuri na sasa hivi yameanza kutoa maua.sasa ku, umeongelea kuhusiana na utoaji wa maua je kwako maua maua yenye ku mmea kutoa maua au kwake kutoa maua unamaanisha nini.Ninaona hii mbegu ya upand, ya aina C nzuri kwa sababu inahimi hata vile vishindo vingine sio sawa na zile zingine za mwanzo za A na B kwa sbabu hata kwenye ukuaji wake. unaona uko tofautiUmeongelea neno apo vishindo unaweza ukanielezea kiundani aua kunielezea umemanisha nini kusema vishindo.Vishindo ni kwamba yani unapoamua kufanya jambo labda tusemea umepanda maharage alafu ukaangalia kile yale ya mwanzo labda ya pili na yatu na ya nne kwa hiyo vishindo vyake kwamba haya yamekua kwa nani nzuri yana hali nzuri sio sawa na yale mengine nimechukulia hivyo.Je kuna jambo lingine lolote ukiangalia kwenye hii aina C unapendezwa nalo.Nimeangalia hata haya majani ya maharage yamekaa vizuri pamoja na kwamba kuna wadudu ambao sasa hiyo ni vipengele vingine ,yamekaa vizuri sio sawa na yale mengine.sawasawa umeongelea majani je unaweza ukanielezea ukaelezea hayo majani yalivokaa.Ndio kwa sababu gani, majani ya maharage kuna majani mengine utakuta yaki yaki yakiwa ndani ya uotaji yanakua makubwa lakini toka mwanzo nilivoangalia haya majani yalikua hivihivi hayakubadilika kua makubwa au madogo mpaka saivi yamefikia hatua hii.Sasa majani kutokubadilika au kubakia madogo hivohivo hiyo yenyewe inachangia nini au inaweza ikasabaisha nini na je majani yakiwa makubwa inaleta athar, inaleta athari gani.majani yakiwa makubwa, kuna nyingine majani yakiwa makubwa matunda yanakua machache kwasababu yanafanya kama kitu kime, labda tuseme kitu kimewekewa mbolea kwahiyo inakua tu kwa ukubwa lakini haya majani madogo katika uotaji wa kawaida mimi ninavoufahamu mbegu au labda tuseme matunda yanakua mengi.aah asante, umeongelea apo swala la majani na na jinsi ya mmea utakavyobeba, je kuna jambo lingine ambalo ungependa kuliongezea hapo kwenye swala zima la majani.nilichotaka kuongezea labda ushauri kwa wataalamu wetu watutafutie mbegu za namna hii hii mbegu C kidogo naona kwenye hali ya hewa ya huku kwetu au udongo wa huku kwetu labda inakidhi mahitaji ya huku.sawa asante sana.
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi?Kitu ambacho sipendi hapa ni hali ya hewa.
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuuu hiyo.Aina C wakati wa kuota imeota moja moja.unamaanisha nini ukisema wakati wa kuota imeota moja moja m m.Mana ake haina mauwa mazuli sasa baadae.je! Kuna kitu kingine chochote unacho kichukia kuusu aina hii.Hapana.Asante.
nini unapenda kuu kuusu aina B? Aina B nayo iinaenda vizuri, inastawi vizuri, inapanuka vizuri. sawa.
Nini usichopenda kuhusu aina A?Hakuna nisichopenda kuhusu aina A.
Ni nini usichop usichopenda ni nini usichokipenda kuhusu aina A? Aina A hamna kitu nisichopenda yoteee kama watoto wake ni imezaa vizuri. Anhaa kingine? Kingineee hamna. Ambacho haujapenda kwenye aina A? Hamna. Angalia uniambie kitu ambacho haujapenda maana wewe sindio ulikuwa unazikuza. Kwasasa hamna Anhaa nashukuru.
angalia aina C na eleza chochote unacho kiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.sijaona chochote ambacho sikipendi vyote viko sawa.
Nini unapenda kuhusu aina C? Hamnaa.
Swali la mwisho linasema nini usichopenda kuhusu aina C ya maharage. Swali la mwisho nisichokipenda kwasaabu yanachelewa kuiva. Yanachelewa kuiva? Eeh.
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu aina C?Aina C kitu ambacho sikipendi ni kwamba mazao yake hayakomai haraka na sio mengi.Kingine unacho ambacho hupendi kuhusu aina C?Aina C kitu ambacho kingine sikipendi majani yake yana zile kambakamba sasa katika upalilizi inakua inaleta ugumu kwenye upalilizi.Kingine ambacho unaweza ukakieleza ambacho hukipendi kuhusu aina C?Hapana zaidi ya hapo.
nini usichopenda kuhusu aina B.aina B kitu ambacho sijakipenda ni kwamba katika swala zima la uotaji wa mbegu baadhi ya mbegu hazikuota kabisa kwahiyo hicho ndiyo kitu ambacho sijakipenda katika aina hii lakini kitu cha pili ambacho sijakipenda ni kwamba aina hii ya maharage inaathiriwa na magonjwa kwa kiasi fulani. hasa wewe umechukia nini kwenye aina hii .aina hii kitu ambacho nimekichukia zaidi ni ugonjwa ambao baadhi ya ma baadhi ya mbegu zimeanza kuathirika ukiangalia hapa mashina mengine kama yananyauka mengine ukiangalia kama yanakatwa na wadudu na changamoto nyingine kitu ambacho nimekichukia ni kwamba mbegu hazikuota maana matarajio yangu nilikuwa natazamia mbegu zote ziote lakini nyingine hazijaota kwahiyo hicho ni kitu ambacho sijakipenda katika aina hii.una kingine cha kuongezea.hapa nimeishia hapo sina kingine cha kuongezea.
nini usichopenda kuhusu ainaC?sawammh
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuusu aina hiyo.Aina Aiii hakuna nisichokipenda kulingana naaa sehemu yenyewe jinsi ilivyokaa yame eyame meaya mekaa vizuli koo yani meyame nifurahisha kiujumla kwenye eneo A.Sawa.
nini umekipenda kwenye aina A.. ..kwenye aina A maharage mmh.. kwenye ile tuta la.. eeh.. Tulianzaaa A...eeh tulianzaa eehilo apo eeh.. nini B BC? .. mmh.. Aaaa ainaaa.. A kulee mmh.. ni kitu gani umekipenda ? mimi kweli sijapenda apo ..sijajua nini kinaendelea apo.. mmmh
Je kuna kitu chochote a,mbacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya C? Aina C ile pale Kipi hicho, ntajie sifa zake Sifa zake inakomaa upesi Inakomaa upesi? Nyingine? Alafu punje zake zimekaa duara zuri Sifa ya tatu? Sifa ya tatu haishikani haina kamba zile zakukamatanakamatana Sifa ya nne? Ya nne yanakomaa upesi Tayari umeshaisema, kwahiyo basi sifa zipo tatu si ndio?
nini unacho kipenda kuhusu aina C.hakuna ninacho kipenda kuhusu aina C kwa sababu haija ota.
Aina B kipi ambacho unakipenda katika aina BAina B nimeipenda iko vizuri imeota vizuri naaa inama ina inaendelea vizuri na mauwa vizuri na imepanuka kwaio nimeipenda
sawa, sasa tuko kwenye aina C ,mmh,labda nini uu umee ulichokipenda zaidi kwenye aina hii ya C?aah aina hii ya C pia nimeipenda kwa sababu majani yake ni membamba si mapana sana lakini pia imetoa mauwa meengi zaidi pia nafurahia hata hao ambao marafiki zetu waliotupatia hii mbegu kwa kweli wakitazama nao pia watafutahi yani watatabasamu bila shaka.
Nini usichokipenda kuhusu aina B?.B si si snaipenda lakini sasa siwezi kuipenda kwasab kutegemeana uzazi wake kutegemeana mvua ilizidi uzazi wake u ukawa ni mdogo zaidi.
Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina B? Elezea kwa sifa za kilimo Sifa za kilimo ni kwamba tu haya maharage yanazaa kilichosababisha yakawa hivyo ni Ukame Ukame? sawa
Nini usicho usichopenda kuhusu aina A ?hamna hata kidogo.hamna usichokipenda.mmmh.aya sawa.
ni kitu gani ulichopenda kuhsu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula aah sasa sijajua soko lake likoje lakini nimependa kwenye chakula kwa sababu nilipojaribisha ile tu niliyoenda kuchukua shambani ni tamu mno, kwa hiyo kwenye ulaji ni tamu ahaaa
Nini unapenda kuhusu aina A?aina A sijapenda kitu chochote.
Aaah tunaendelea na maswali angalia aina A naaa eleza kitu chochote ambacho uuu hukipendi kuhusu aina hiyo.Hapa katika aina A hakuna kabisa ambacho sikipendi.Hakuna.Hakuna kabisa.Hakuna kabisaaa.eeeeh hakuna.hakuna sababu ambayo inakufanya usipende.yaani apa hakuna sababu ata mojaa.hakuunaa.eee.
Angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?A mi nimeipenda kwa sababu ni nzuri kweli uzazi wake ni mzuri sijaona kibaya kwenye A.
Kwa ujumla tukiangalia mbegu zote A, B n a C ipi nyingine ambayo imekuvutia zaidi na umeipenda C
sawa ndugu julias, mmh.eeh labda kuna chochote ambacho hukipendi kwenye hii mbegu ya aina B?hapana hii mbegu naona naipenda tu.ndio.na jinsi ya ustawa ustawi wake ilivyostawimmhkwa kweli ina inanipa nanii inanipa ileee kuipenda zaidii.sawa eeh.kwahio hi.ni mbegu boraasawa.eeh.lakini utofauti wake upo kwenye kuota?kuota tuu.sawa.eeh.sawa.
kwa ujumla ina gani ya tricot uliipenda zaidi niliyoipenda zaidi ni hii B ambayo ni nyekundu, akini pia ya pili ni ile ambayo ni rozikoku ile ambayo ni C
ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya B? Kwa biahara au matumizi ya chakula? ni shida sana kupata mnunuzi aaah sawa
ni kitu gani ullichopenda kuhusu aina ya C kwa biashara au matumizi ya chakula? ni rahisi kunanii kupata manunuzi asante
Nini unapenda kuhusu aina B?Katika mbegu aina B ni hiko vizuri zaidi kwa sababu ukiangalia hata ukuaji wake ni mzuri tangu tulivyoipanda inamaana inaendelea vizuri na hii mbegu ina maua mengi sana kuashiria inaweza kuzaa sana kwahiyo katika mbegu hii hiko vizuri asilimia tisini asante.
Nini unapenda kuhusu aina C?.Aina C inazaa alafu inakomaa kwa mda mfupi sana.Sawa.
kitu gani hukipendi kuhusu hii aina A kwenye suala la biashara na chakula hii hakuna kitu abacho sijakipenda hakuna
Nini usichop usichopenda kuhusu aina C? Aina C nisichopenda ni watoto tu. Watoto wamefanyaje? Hawaja haijaweka watoto. Haijaweka watoto? Eeh. Kingine ambacho hakijakuvutia Kingine hamna. Ambacho hakijakupendeza kwenye aina C? Hakuna haijanipendeza ni watoto tu kwasaabu ina ni ilivyozaa ni ime ime imeota vizuri imenawiri vizuri ila kwenye kuja kwenye kipindi ya watoto maua yake haikuweka vizuri kama kama aina A na na na B. Anhaa, nashukuru kingine cha kuongezea unacho? Cha kuongezea. Naomba uongeze sauti. Cha kuongezea sina ila kama mwakani tunaendelea kupanda chagueni mbegu nzuri wakati saivi si mna mnakagua kwahiyo chagueni mbegu nzuri mtuletee na mbegu nzuri ili tu tupate mbegu nzuri kama mfano eeh aina aina aina B ya ya aina B ni nzuri ya kwangu na A sio mbaya ila A pamoja haijakomaa mapema ila ni nzuri ina watoto. Anhaa nashukuru. Asante, jitahidini sana tupande mapema upandaji wetu unakuwaga wa maharage unakuwaga mwezi wa pili au wa tatu kama mvua ni nyingi kama mvua ni kidogo unakuwaga mwezi wa pili mwish katikati. Anhaa. Eeh. Nashukuru. Sawa asante.
Angalia aina B na eleza chochote unakiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Sikipendi kwasababu haijaota hata moja.
Angalia aina C na elezea chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo.HakunaUnamanisha nini kusema hakuna?Inamaana hapa inaridhisha iko vizuri.
Maharage yaliharibiwa na wanyama.
nini usicho penda kuhusu aina B.hakuna.hanuna?eeh.hakuna usicho penda?ndio.
Angalia aina B na eleza una chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo . hapo hii namba B .Eeh.Hakuna.
Nini usichokipenda kuusu aina B?. Hakuna nisichokipenda.
angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hii siipendi aya asante
Nini usichopenda kuhusu aina B?Aina B naona nayo pia imeathirika zaidi kwa mafuriko yani imesababisha imeathirika zaidi kuliko hata hizi zingine.Sawa.Eee.
Nini usichokipenda kuhusu aina A.Aina A, aina A nakipenda tuuu kinafaaa.
angalia aina A na elezea chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu aina hiyo?ee mimi kwa aina A kwa jinsi nilivyoina toka ilivyoanza kukomaa kwanza ninaipenda kwasababu inawahi kukomaa pia inawahi kukauka ee ndio kwa aina A napendea hicho cha kuwahi kukauka kwanza kuwahi kukomaa na halafu kuwahi kukauka kwa maana mpaka hata sasahivi yame yameshakauka yale ila lakini hizi aina zingine enyewe bado mabichi. asante hakuna jambo lingine unalolipenda zaidi hilo kukomaa na kukauka mapema. ni hivi labda jambo lingine ee ninalolipenda kwenye aina A kwasababu naona hata uzaaji wake uko wastani ina maana sio mbaya sana. aya asante.
Angalia aina C na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hio.aina C na yenyewe inashambuliwa sana na wadudu.kingineinaenda juu sana .sawa.
Nini usichopenda kusu aina B?.kwasababu aina B nisichokipenda haijastawi sana.mmmh koiyo haijastawiii weunavyoona changamoto nirizi au mvua au kuna kitu gani kinasababisha yasstawi.labda alisitu kwasababu mchanga wenyewe mweupe sana.
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo?Aina A nimeipenda yana afya nzuri pamoja ni machache na yanasitawi vizuri.
angalia aina C na eleza chcohote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.aina C ni mbegu ambayo tumeipanda kwenye kishamba chake, kitu ammbacho nakiona na inabidi nikiseme, mbegu imeoota tuseme kwa sailimia themanini lakini mbegu hii majani yake imeonyesha dallili ya kukomaa majani kabla ya mmea haujasogea mbali, hii inaonyesha mbegu hii haina uvumilivu wa kuuu kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi haihitaji ina shida ya kutokupata maji inakomaa mbegu ile majani haraka kuliko aina nyingine ya maharage kwahiyo hichi kishmba kimekuja kuchangamka baada ya mvua kunyesha ndo imeonyesha dalili ya kuja vizuri tofauti na huku mwanzo ilipoota ilifanya kukomaa majani mapema, hata ukiangalia kwenye kishamba hili majani ya mwanzo ya pili ya tatu, ngazi zile za majani kunani majani kuchipua ni tofauti na huku juu sasa huku juu ndo imeonyesha majani ya maharage kua majani malaini baada ya hizi mvua kufufuliza kunyesha lakini inaiinyesha kwa maeneo ambayo yana ukame kidogo hii mbegu itakua si vumilivu sana.nilikua nauliza ulichokipenda.mimi kwenye mbegu hii binafsi mimi, sijapendezewa sioni kivutio kinachonivutia kwenye mbegu hii au kishamba hiki cha bloku C hakivutii kama mbegu zingine hivyo sioni ninachokipenda katika aina hiiahaa nashukuruhaaya
Angalia aina A na eleza chochote unachokiona ambacho unakipenda kuhusu hiyo.Hamna.
angalia aina B na eleza chochote unachokiona ambacho hupendi kuhusu hiyo?aina B ambacho sikipendi naenyewe ni uzao wake aina B uzao wake ni mdogo sana nikwamba tu ni mazuri kwa kula lakini uzao wake ni mchache.
Nini unapenda kuhusu aina A.Nachokipenda kuhusu aina A, nimeona kama aina A nimeona kama toka tulivyopanda kidogo ilikuwa inapendeza kwetu kutoka kwenye majani yake.Naomba uongeze sauti kidogo.Yaani kitu nilichokipenda toka kwenye aina ya kitalu cha A nilichokiona ni kwamba toka tumepanda nimeona kwamba ukuaji wake wa mmea ulikuwa ni mzuri.Kingine nataka kuelewa zaidi nataka kujifunza kuhusiana na hii aina.Na pia nilishaona kwenye hii aina A majani yake ni kama yamepanda na ni mapana tofauti na.Naomba uongeze sauti.Na kitalu cha pili cha B, kitalu cha kwanza cha A kipo vizuri.Cha kuongezea unachokipenda zaidi kuhusiana na.Nilichokipenda zaidi kama kusingefanyika uharibifu wa wanyama nilikuwa natamani kuipalilia vizuri na kuongeza mbolea ili nipate mapato maana ukiweka mbolea pia na mapato yanaongezeka.Anhaa.Mmh.Sawa.
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
5