id
stringlengths
1
6
url
stringlengths
31
202
title
stringlengths
1
120
text
stringlengths
8
182k
175047
https://sw.wikipedia.org/wiki/Theodgari
Theodgari
Theodgari (pia: Dieter, Thøger, Dietger, Dioter, Theodgardus; Thuringia, Ujerumani, 1000 hivi - Vestervig, Udani, 24 Juni 1175 hivi) alikuwa padri ambaye aliinjilisha Norwei na hasa Denmark bara, alipojenga kanisa la kwanza kwa mbao . Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo c...
175048
https://sw.wikipedia.org/wiki/Hifadhi%20ya%20Burigi-Chato
Hifadhi ya Burigi-Chato
Hifadhi ya Burigi-Chato ipo katika mikoa miwili ambayo ni Kagera na Geita, ndani ya wilaya za Karagwe, Biharamulo, Muleba na Chato, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 4707. Tazama pia Mbuga za Taifa la Tanzania Ziwa Burigi Tanbihi Hifadhi...
175049
https://sw.wikipedia.org/wiki/Hifadhi%20ya%20Ibanda-Kyerwa
Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa
Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa ipo katika mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Hifadhi ya Ibanda-Kyerwa ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 200. Tazama pia Mbuga za Taifa la Tanzania Tanbihi Hifadhi za Taifa za Tanzania mkoa wa Kagera
175050
https://sw.wikipedia.org/wiki/Hifadhi%20ya%20Rumanyika-Karagwe
Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe
Hifadhi ya Rumanyika-Karagwe ipo katika mkoa wa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 247 katika wilaya za Karagwe na Kyerwa. Tazama pia Mbuga za Taifa la Tanzania Tanbihi Hifadhi za Taifa za Tanzania wilaya ya Karagwe wilaya ya Kyerw...
175069
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kinkri%20Devi
Kinkri Devi
Kinkri Devi (30 Januari 1925 – 30 Desemba 2007) alikuwa mwanaharakati na mwanamazingira kutoka India, anayejulikana zaidi kwa kupigana vita dhidi ya uchimbaji madini haramu na uchimbaji mawe katika jimbo lake la asili la Himachal Pradesh. Hakujua kamwe kusoma au kuandika na alijifunza jinsi ya kutia sahihi jina lake mi...
175074
https://sw.wikipedia.org/wiki/Prem%20Jain
Prem Jain
Prem Jain (26 Januari 1936 – 20 Septemba 2018) alikuwa mhandisi wa mitambo kutoka India,, akijulikana kama Baba wa Majengo ya Kijani nchini India. Jain aliwahi kuwa mwenyekiti wa Baraza la Ujenzi wa Kijani la India (kwa Kiingereza: Indian Green Building Council (IGBC)). Marejeo Waliozaliwa 1936 Waliofariki 2018 Wana...
175092
https://sw.wikipedia.org/wiki/Shahzeen%20Attari
Shahzeen Attari
Shahzeen Attari ni profesa katika Shule ya Masuala ya Umma na Mazingira ya O'Neill katika Chuo Kikuu cha Indiana Bloomington. Anasoma jinsi na kwa nini watu hufanya hukumu na maamuzi wanayofanya kuhusu matumizi ya rasilimali na jinsi ya kuhamasisha hatua za hali ya hewa. Mnamo 2018, Attari alichaguliwa kama Mshirika ...
175094
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tigre
Tigre
Tigre (pia: Tigris, Tygris, Thècle; alifariki Saint-Jean-de-Maurienne, Savoie, leo nchini Ufaransa, karne ya 6) alikuwa bikira mkaapweke akieneza heshima kwa Yohane Mbatizaji baada ya kuhiji Nchi takatifu na Misri. Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 25 Juni. ...
175095
https://sw.wikipedia.org/wiki/Moluag
Moluag
Moluag (pia: Lua, Luan, Luanus, Lugaidh, Moloag, Molluog, Molua, Murlach, Malew, Lugidus, Lugidius, Lugadius, Lugacius, Luanus; takriban 510 – 592) alikuwa mmonaki na padri kutoka nchi ya Ireland alikwenda kuinjilisha Uskoti hadi kifo chak. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 25 Juni. Ta...
175096
https://sw.wikipedia.org/wiki/Eurosia%20wa%20Jaca
Eurosia wa Jaca
Eurosia wa Jaca (pia: Orosia; alifariki Hispania, 880) alikuwa bikira Mkristo aliyeuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo . Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Juni. Tazama pia Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Oro...
175097
https://sw.wikipedia.org/wiki/Solomoni%20wa%20Bretagne
Solomoni wa Bretagne
Solomoni III wa Bretagne (kwa Kibretoni: Salaün; alifariki Bretagne, leo nchini Ufaransa, 25 Juni 874) alikuwa mfalme wa Bretagne kuanzia mwaka 857. Ili kufidia uuaji wa ndugu yake alioufanya kanisani ili kujitwalia madaraka alijitahidi sana kuanzisha majimbo na monasteri na kudumisha haki. Hatimaye alipofushwa na ku...
175098
https://sw.wikipedia.org/wiki/Deodati%20wa%20Nola
Deodati wa Nola
Deodati wa Nola (alifariki 26 Juni 473) alikuwa askofu wa 6 wa Nola, karibu na Napoli, Italia Kusini, baada ya kuwa shemasi wa Paulino wa Nola, mtangulizi wake. Tangu kale ametambuliwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake. Tazama pia Watakatifu wa Agano la Kale Oro...
175101
https://sw.wikipedia.org/wiki/Manoj%20Gogoi
Manoj Gogoi
Manoj Gogoi (kwa Kiassam: মনোজ গগৈ) ni mhifadhi wa wanyamapori na mtaalamu wa urekebishaji wa wanyamapori kutoka Assam. Ameokoa zaidi ya Wanyama 5000 katika Hifadhi ya Kitaifa ya Kaziranga, mbuga ya kitaifa katika wilaya za Golaghat, Karbi Anglong na Nagaon katika jimbo la Assam, India. Anajulikana sana kwa kuokoa wa...
175103
https://sw.wikipedia.org/wiki/N.%20A.%20Naseer
N. A. Naseer
NA Naseer (alizaliwa katika wilaya ya Ernakulam, Kerala,. 10 Juni 1962 ni mpiga picha wa wanyamapori, mwanaharakati wa uhifadhi wa mazingira na mwandishi kutoka Uhindi, ambaye ni mwanachama wa Jumuiya ya Historia ya Asili ya Bombay. Wakati mwingine anaitwa balozi wa misitu ya Kerala. Ni Msanii wa Vita (Kareti, Thai -...
175107
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tiasa%20Adhya
Tiasa Adhya
Tiasa Adhya (alizaliwa mnamo 1987) ni mhifadhi na mwanabiolojia wa wanyamapori kutoka India. Hufuatilia paka wavuvi na amepokea tuzo ya Nari Shakti Puraskar. Kazi Tiasa Adhya alisomea zoolojia katika Chuo Kikuu cha Calcutta na alifanya utafiti katika chuo kikuu (University of Trans-Disciplinary Health Sciences and Te...
175111
https://sw.wikipedia.org/wiki/Billy%20Arjan%20Singh
Billy Arjan Singh
Kunwar "Billy" Arjan Singh (15 Agosti 1917 - 1 Januari 2010) alikuwa mwindaji kutoka Uhindi aliyegeuka kuwa mhifadhi na mwandishi. Alikuwa wa kwanza ambaye alijaribu kuwawasilisha tena simbamarara na chui kutoka mateka hadi porini. Billy Arjan Singh alifariki katika nyumba yake ya asili ya shamba Jasbir Nagar tarehe 1...
175113
https://sw.wikipedia.org/wiki/Anil%20Madhav%20Dave
Anil Madhav Dave
Anil Madhav Dave (6 Julai 1956 - 18 Mei 2017) alikuwa mwanamazingira na mwanasiasa kutoka India. Mwanachama wa Chama cha Bharatiya Janata, aliwahi kuwa Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mazingira, Misitu na Mabadiliko ya Hali ya Hewa katika wizara ya Narendra Modi kuanzia Julai 2016 hadi wakati wa kifo chake Mei 2017. M...
175116
https://sw.wikipedia.org/wiki/Ajay%20Desai
Ajay Desai
Ajay Adrushyappa Desai (anajulikana kama Mtu wa Tembo, kwa Kiingereza: Elephant Man ; 24 Julai 1957 - 20 Novemba 2020) alikuwa mhifadhi na mwanabiolojia wa Shamba, mtafiti kutoka India, aliyebobea katika tabia ya tembo wa porini akilenga mizozo ya wanyamapori na makazi ya binadamu. Marejeo Waliozaliwa 1957 Waliofari...
175118
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mike%20Pandey
Mike Pandey
Mike H. Pandey ni mtayarishaji wa filamu kutoka India, anayebobea katika filamu zinazohusu wanyamapori na mazingira. Ameshinda zaidi ya tuzo 300 kwa kazi yake ya kueneza ufahamu kuhusu bayoanuwai na uhifadhi wa spishi, ikijumuisha kusaidia kuhifadhi na kulinda spishi muhimu kama vile papa nyangumi, tembo, simbamarara, ...
175121
https://sw.wikipedia.org/wiki/Winox%20Com
Winox Com
Winox Com ni mtandao wa kijamii ulioundwa nchini Tanzania mahususi kwa kuunganisha na kuelimisha jamii. Watumiaji wake wanaweza kutafuta marafiki, kujadili mada tofauti zinazohusiana na maisha pamoja na jamii kwa ujumla. Marejeo
175122
https://sw.wikipedia.org/wiki/Bouzid%20Boushaki
Bouzid Boushaki
Bouzid Boushaki (anayejulikana zaidi kama Si Bouzid, بوزيد بوسحاقي); 1935 - 2023) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa wa Algeria aliyeshiriki katika vita vya uhuru wa Algeria, na ambaye wakati huo alikuwa kiongozi wa chama cha Umoja wa Wafanyakazi wa Algeria na meneja mkuu wa kampuni za umma za Algeria. Familia Bouzid ...
175130
https://sw.wikipedia.org/wiki/Randall%20Arauz
Randall Arauz
Randall Arauz ni mwanamazingira anayefanya kazi nchini Kosta Rika. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2010 kwa juhudi zake za kulinda papa na kupiga marufuku kiwanda cha kuondoa mapezi ya papa. Arauz alitunukiwa Tuzo ya Gothenburg kwa Maendeleo Endelevu kwa mwaka 2010, iliyoshirikiwa na Ken Sherman. Marej...
175204
https://sw.wikipedia.org/wiki/Bungo-fyatuo
Bungo-fyatuo
Bungo-fyatuko ni mbawakawa wa familia Elateridae katika nusuoda Polyphaga ya oda Coleoptera walio na njia ya kurudi kwa miguu yao baada ya kutua chali kwa kujisukuma angani ambapo hujaribu kugeuka na kutua kwa miguu yao. Lava wao huishi ardhini na kuitwa nyunguwaya ([[w:wireworm|wireworms) kwa sababu ya umbo lao jembam...
175208
https://sw.wikipedia.org/wiki/Arialdo%20wa%20Milano
Arialdo wa Milano
Arialdo wa Milano (Italia Kaskazini, 1010 hivi - 1066) alikuwa shemasi wa Kanisa Katoliki aliyepinga kwa nguvu usimoni na maadili mengine mabovu ya wakleri. Kutokana na juhudi hizo kwa ajili ya nyumba ya Mungu, hatimaye aliuawa kwa mateso makali na wakleri wawili . Mwaka mmoja baada ya kifo chake, Papa Aleksanda II ...
175209
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tume%20ya%20Mrosso
Tume ya Mrosso
Tume ya Mrosso (kwa Kiingereza: The Mrosso Commission; kifupi TMC) ilikuwa tume ya sheria nchini Tanzania (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Iliundwa mwaka 1993 chini ya uelekezi wa Jaji Mkuu wa Tanzania Francis Nyalali. Tume ya Mrosso iliundwa ili kushughulikia changamoto za uendeshaji wa muda mrefu wa mahakama. I...
175212
https://sw.wikipedia.org/wiki/Prudencia%20Paul%20Kimiti
Prudencia Paul Kimiti
Prudencia Paul Orridge MBE (alizaliwa mkoa wa Rukwa, 1978) ni Mtanzania aliye mkuu wa kitengo cha forodhani katika idara ya Huduma za upelelezi wa tuhuma za udanganyifu katika kulipa kodi ya Taasisi ya mapato na forodha nchini Uingereza, lakini pia akitumia muda wake mwingi kama mwanaharakati wa haki za watu weusi.. ...
175216
https://sw.wikipedia.org/wiki/Christopher%20Field
Christopher Field
Christopher B. Field ni mwanasayansi na mtafiti kutoka Marekani, ambaye amechangia katika nyanja ya mabadiliko ya hali ya hewa. Mwandishi wa zaidi ya machapisho 200 ya kisayansi, Utafiti wa Field unasisitiza athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kutoka kwa molekuli hadi kiwango cha kimataifa. Kazi yake inajumuisha ma...
175233
https://sw.wikipedia.org/wiki/Heimo
Heimo
Heimo (pia: Heimerad, Heimrad, Haimrad; Meßkirch, Baden, Ujerumani, 970 hivi - Burghasungen, 28 Juni 1019) alikuwa padri ambaye baada ya kufukuzwa monasterini aliishi bila makao maalumu kwa ajili ya Kristo, hadi alipokwenda upwekeni . Mwenendo wake wa ajabuajabu ulimfanya adharauliwe na kudhulumiwa na wengi, lakini yey...
175236
https://sw.wikipedia.org/wiki/John%20Sinclair%20%28mwanamazingira%29
John Sinclair (mwanamazingira)
John Sinclair AO (13 Julai 1939 – 3 Februari 2019) alikuwa mwanamazingira kutoka Australia ambaye alipokea tuzo ya Global 500 Roll of Honor mwaka 1990, na alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka 1993 . Maisha ya awali Alizaliwa Marlborough, Queensland, Australia, Sinclair alipigana kwa miaka thelathini kulind...
175239
https://sw.wikipedia.org/wiki/Azzam%20Alwash
Azzam Alwash
Azzam Alwash (kwa Kiarabu: عزام علواش ʻAzām ʻAlwaš ; alizaliwa 1958) ni mhandisi wa haidroliki na mwanamazingira kutoka Iraq. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2013, haswa kwa juhudi zake za kurejesha mabwawa ya chumvi kusini mwa Iraq ambayo yalikuwa yameharibiwa wakati wa utawala wa Saddam Hussein. Marej...
175248
https://sw.wikipedia.org/wiki/Emma%20wa%20Gurk
Emma wa Gurk
Emma wa Gurk (labda Kozje, Slovenia, 980 - Gurk, Karinthia, leo nchini Austria, 27 Juni 1045) alikuwa Mkristo wa ukoo wa kikabaila, ambaye baada ya kufiwa mume na watoto wake wote wawili, aliishi bado miaka 40 akitoa misaada kwa maskini na kwa Kanisa. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa...
175249
https://sw.wikipedia.org/wiki/Zuzana%20%C4%8Caputov%C3%A1
Zuzana Čaputová
Zuzana Čaputová (alizaliwa 21 Juni 1973) ni mwanasiasa, wakili na mwanaharakati wa mazingira kutoka Slovakia. Ni rais wa tano wa Slovakia, nafasi ambayo ameshikilia tangu 15 Juni 2019. Čaputová ndiye mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa wa urais, vilevile rais mwenye umri mdogo zaidi katika historia ya Slovakia, aliy...
175254
https://sw.wikipedia.org/wiki/Irritable%20bowel%20syndrome
Irritable bowel syndrome
Ugonjwa wa utumbo wenye hasira ( IBS ) ni kundi la dalili-ikiwa ni pamoja na maumivu ya tumbo na mabadiliko katika muundo wa kinyesi bila ushahidi wowote wa uharibifu wa msingi. Dalili hizi hutokea kwa muda mrefu, kama miaka. Imeainishwa katika aina nne kuu kutegemea kama kuhara ni jambo la kawaida, kuvimbiwa ni jamb...
175279
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
David Robert Jones (8 JanuarI 1947 – 10 JanuarI 2016) alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji maarufu kutoka nchini Uingereza. Alijulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama David Bowie. Bowie alizaliwa akiwa na jina la David Robert Jones tarehe 8 Januari 1947, mjini Brixton, London, Uingereza. Muziki Bowi...
175289
https://sw.wikipedia.org/wiki/Reto%20Knutti
Reto Knutti
Reto Knutti (alizaliwa 1973) ni mwanasayansi wa hali ya hewa kutoka Uswisi na profesa wa fizikia ya hali ya hewa katika Taasisi ya ETH Zurich ya Sayansi ya Anga na Hali ya Hewa. Anajulikana kwa utafiti wake unaohusisha mitindo ya hali ya hewa, na amekuwa mwanachama mkuu wa Jopo la Serikali Mbalimbali kuhusu Mabadiliko...
175294
https://sw.wikipedia.org/wiki/Aqua
Aqua
Aqua ni kundi la muziki wa dance-pop kutoka nchini Denmark. Kundi lilianzishwaa mnamo mwaka wa 1989. Likachukua miaka kadhaa kabla ya kufanikiwa kibiashara na kutoa albamu yao ya kwanza. Kundi lilijumuisha wanachama wanne hadi kufikia kilele cha umaarufu wao: Lene Nystrøm - alisifika kwa sauti yake ya kike inayosiki...
175295
https://sw.wikipedia.org/wiki/Ios
Ios
iOS (zamani iPhone OS) ni mfumo wa uendeshaji wa simu iliyotengenezwa na Apple Inc. kwa ajili ya maunzi yake pekee. Ni mfumo wa uendeshaji unaowezesha vifaa vingi vya simu vya kampuni, ikiwa ni pamoja na iPhone; neno hili pia linajumuisha programu ya mfumo kwa ajili ya iPads (iliyotangulia iPadOS, ambayo ilianzishwa ...
175322
https://sw.wikipedia.org/wiki/Betirani
Betirani
(pia: Bertechramnus, Bertichramnus, Berticrannus, Bertrannus, Berthram, Bertram, Bertran, Bertrand; Autun, leo nchini Ufaransa, 540 - Le Mans, 623 hivi) alikuwa askofu wa Le Mans kuanzia mwaka 586 hadi kifo chake, isipokuwa katikati, alipofungwa gerezani na alipofukuzwa na serikali. Anakumbukwa kama mchungaji aliye...
175323
https://sw.wikipedia.org/wiki/Erentruda
Erentruda
Erentruda (pia: Erentrude, Ehrentraud, Erendrudis, Erentruy, Erndrude, Arentruda, Ariotruda na Arndruda; mwishoni mwa karne ya 7; Salzburg, leo nchini Austria, 30 Juni 718) alikuwa mwanamke wa ukoo bora ambaye aliitwa na askofu Rupert wa Salzburg, ndugu wa mzazi wake, kuwa abesi wa kwanza wa monasteri wa Nonnberg, naye...
175325
https://sw.wikipedia.org/wiki/Adolfo%20wa%20Osnabruck
Adolfo wa Osnabruck
Adolfo wa Osnabruck, O.Cist. (pia: Adolphus, Adolph, Adolf ; Tecklenburg, 1185 hivi - 30 Juni 1224) alikuwa askofu wa Osnabruck, Ujerumani kuanzia mwaka 1216 hadi kifo chake, baada ya kuwa padri, halafu mmonaki wa urekebisho wa Citeaux . Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Jun...
175365
https://sw.wikipedia.org/wiki/Waseri
Waseri
Waseri ni kabila linalopatikana katika Mkoa wa Kilimanjaro, lugha yao rasmi ni kiseri. Waseri wanajishugulisha sana kwa kilimo, ufugaji, biashara na kazi za ofisini. Pia wanaweza kufanya kazi zingine za ufundi n.k. Waseri wanapatikana kwa wingi kaskazini mwa mkoa wa kilimanjaro hususani kuanzia maeneo ya Kirongo, Tara...
175474
https://sw.wikipedia.org/wiki/Umakanika
Umakanika
Umakanika (kutoka Kigiriki cha Kale: μηχανική, mēkhanikḗ, yaani "ya mashine") ni eneo la hisabati na la fizikia linalochunguza mahusiano kati ya kani, mata na mwendo katika vitu. Unagawanyika katika: umakanika kawaida na umakanika kwanta. Tanbihi Marejeo Robert Stawell Ball (1871) Experimental Mechanics from Goo...
175478
https://sw.wikipedia.org/wiki/Golveni
Golveni
Golveni (kwa Kifaransa: Golven, Golwen, Goulven; karne ya 6 - Saint-Didier, leo nchini Ufaransa, 616 hivi) alikuwa mkaapweke, halafu askofu wa Saint-Pol-de-Léon, katika mkoa wa Bretagne . Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Julai. Tazama pia Wataka...
175479
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karilefi
Karilefi
Karilefi (pia: Calais, Kalès, Carileph, Carilefus, Calevisus; 500 hivi - 541 hivi) alikuwa mkaapweke karibu na Le Mans, leo nchini Ufaransa. Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 1 Julai. Tazama pia Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orod...
175480
https://sw.wikipedia.org/wiki/Anatoli%20wa%20Konstantinopoli
Anatoli wa Konstantinopoli
Anatoli wa Konstantinopoli (Aleksandria, Misri, karne ya 4 - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 3 Julai 458) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 449 hadi kifo chake. Baada ya kukiri imani sahihi kadiri ya barua ya Papa Leo I kwa Flaviano katika Mtaguso wa Efeso (431), alifanya ithibitishwe na Mtaguso wa Kalsedo...
175488
https://sw.wikipedia.org/wiki/Arlington%20National%20Cemetery
Arlington National Cemetery
'' Makaburi ya Kitaifa ya Arlington ni mojawapo kati ya maeneo ya makaburi mawili katika Mfumo wa Makaburi ya Kitaifa ya Marekani ambayo yanahudumiwa na Jeshi la Marekani. Karibu watu 400,000 wamezikwa kwenye ekari 639 (259 ha) huko Arlington, Virginia. Makaburi ya Kitaifa ya Arlington yalianzishwa wakati wa Vita vya ...
175489
https://sw.wikipedia.org/wiki/Azam%20Sports%20HD1
Azam Sports HD1
Azam Sports HD1 ni kituo cha matangazo ya televisheni kirushacho habari za michezo mbalimbali ya ndani na hata nje ya Tanzania na kupatikana katika nchi za Afrika Mashariki na duniani kote kupitia []. Kituo hiki cha matangazo kinamilikiwa na kampuni ya matangazo Azam Media Group pamoja na vituo vingine mbalimbali. t...
175498
https://sw.wikipedia.org/wiki/Raimundi%20Gayrard
Raimundi Gayrard
Raimundi Gayrard (Toulouse, leo nchini Ufaransa, karne ya 11 - Toulouse, 3 Julai 1118) alikuwa mwalimu Mkristo wa mji huo ambaye baada ya kufiwa mapema mke wake alijitosa katika matendo ya huruma, alianzisha hosteli kwa wahitaji 12, alishiriki ujenzi wa madaraja mawili na wa sehemu kadhaa za kanisa kubwa. Hatimaye aka...
175519
https://sw.wikipedia.org/wiki/Antoni%20Daniel
Antoni Daniel
Antoni Daniel, S.J. (Dieppe, Ufaransa 25 Mei 1601 – karibu na Teanaostaye, Kanada, 4 Julai 1648) alikuwa padri wa Wajesuiti mmisionari kwa Wahuroni wa Amerika Kaskazini tangu mwaka 1632. Aliuawa kwa mishale na Wairoki, kabila lingine la Waindio, akisimama mlangoni mwa kanisa alipomaliza kuadhimisha Misa na akiwa na le...
175521
https://sw.wikipedia.org/wiki/Florensi%20wa%20Cahors
Florensi wa Cahors
(karne ya 4 - 406 hivi) alikuwa askofu wa tatu wa mji huo, leo nchini Ufaransa. Paulino wa Nola alimsifu kama mtu mnyenyekevu wa moyo, mwenye nguvu ya neema na upole katika kusema . Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 4 Julai. Tazama pia Wataka...
175523
https://sw.wikipedia.org/wiki/Valentino%20wa%20Griselles
Valentino wa Griselles
Valentino wa Griselles (Pothières au Mont Lassois, 519 - Griselles, 547) alikuwa mkaapweke katika Ufaransa wa leo, halafu padri pia, baada ya kulelewa ikulu na kukataa ndoa. Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 4 Julai. Tazama pia Watakatifu wa Agano la Kale O...
175525
https://sw.wikipedia.org/wiki/Berta%20wa%20Blangy
Berta wa Blangy
Berta wa Blangy (pia: wa Artois; Artois, leo nchini Ufaransa, katikati ya karne ya 7; Blangy-sur-Ternoise, 4 Julai, 725) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kuolewa na kuzaa watoto watano, alipobaki mjane alijiunga na monasteri aliyokuwa ameianzisha pamoja na mabinti wake Deotila na Getrude. Baada ya...
175527
https://sw.wikipedia.org/wiki/Joao%20Grimaldo
Joao Grimaldo
Joao Grimaldo (amezaliwa 20 Februari 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Peru. Maisha Grimaldo alizaliwa katika wilaya ya Rímac, Lima, mji mkuu wa Peru. Tangu utotoni alikuwa na mwelekeo wa mazoezi ya mpira wa miguu ya kushambulia na alijaribiwa katika mgawanyiko mdogo wa Rímac Athletic Club. Colegio San Andrés...
175528
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mrungi
Mrungi
Mrungi, murungu au mlonge (lakini ni afadhali kutumia jina hilo la mwisho kwa Moringa oleifera) ni kichaka au mti mdogo wa familia Celastraceae. Mrungi hukua kama kichaka au mti mdogo wa urefu wa mita 1-5 na wakati mwingine huweza kufika urefu wa mita 10 penye tabianchi ya ikweta. Kwa kawaida mmea huo unakua katika...
175539
https://sw.wikipedia.org/wiki/Willa%20Fitzgerald
Willa Fitzgerald
Articles with hCards Willa Fitzgerald (alizaliwa Januari 17, 1991 ) na ni mwigizaji wa Kimarekani. Anajulikana kwa jukumu lake la kuigiza kama Emma Duval katika kipindi cha kuigiza cha Scream ya MTV , na ameigiza pia kwenye vipindi vingine vingi kama vile Mtandao wa USA Dare Me,Amazon Prime Video Reacher , kipindi c...
175544
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mfumo%20wa%20vyama%20vingi
Mfumo wa vyama vingi
Mfumo wa vyama vingi katika siasa unashirikisha vyama mbalimbali katika kugombea uongozi wa nchi, tofauti na mfumo wa chama kimoja na ule wa vyama viwili tu . Mara nyingi inatokea kwamba hakuna chama kinachopata kura za kutosha kuendesha serikali peke yake, hivi ni lazima kuiunda kwa ushirikiano wa vyama viwili au zai...
175559
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yohane%20wa%20Oisterwijk
Yohane wa Oisterwijk
(1504 - 1572) alikuwa padri wa shirika la wakanoni Waaugustino aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Pa...
175565
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yohane%20Heer
Yohane Heer
, O.P. (1500 - 1572) alikuwa padri wa shirika la Wadominiko kutoka Ujerumani aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu m...
175566
https://sw.wikipedia.org/wiki/Adriani%20wa%20Hilvarenbeek
Adriani wa Hilvarenbeek
, O. Prem. (1528 - 1572) alikuwa padri wa shirika la wakanoni Wapremontree aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mta...
175567
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yakobo%20Lacops
Yakobo Lacops
, O. Prem. (1541 - 1572) alikuwa padri wa shirika la wakanoni Wapremontree aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mta...
175568
https://sw.wikipedia.org/wiki/Leonardi%20Veghel
Leonardi Veghel
(1527 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Jun...
175569
https://sw.wikipedia.org/wiki/Nikola%20Poppel
Nikola Poppel
(1532 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Jun...
175570
https://sw.wikipedia.org/wiki/Godefrid%20Duynen
Godefrid Duynen
(1502 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Jun...
175571
https://sw.wikipedia.org/wiki/Andrea%20Wouters
Andrea Wouters
(1542 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Jun...
175573
https://sw.wikipedia.org/wiki/Marta%20wa%20Antiokia
Marta wa Antiokia
Marta wa Antiokia (Antiokia, leo nchini Uturuki, mwanzoni mwa karne ya 6 - Antiokia, 551) alikuwa mama wa Simeoni wa Mnarani Kijana, mkaapweke aliyepata umaarufu kwa kuishi miaka 68 juu ya minara mbalimbali akianzia utotoni. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatif...
175574
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tomaso%20wa%20Terreti
Tomaso wa Terreti
Tomaso wa Terreti (Reggio Calabria, mwanzoni mwa karne ya 10 - Terreti, 5 Julai 1000) tangu ujanani alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki huko Terreti, Calabria, Italia Kusini, akawa abati wa monasteri yake . Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tareh...
175575
https://sw.wikipedia.org/wiki/Athanasi%20wa%20Mlima%20Athos
Athanasi wa Mlima Athos
(Trabzon, leo nchini Uturuki, 920 hivi - Mlima Athos, Ugiriki, 1003 hivi) alikuwa Mkristo mpole na mnyenyekevu, baada ya kuwa mwalimu, akawa mmonaki ambaye alianzisha monasteri maarufu katika rasi ya Mlima Athos, ambayo ikawa muhimu kuliko zote za Kanisa la Kiorthodoksi hata leo . Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki...
175577
https://sw.wikipedia.org/wiki/Siriaka%20wa%20Nikomedia
Siriaka wa Nikomedia
Siriaka wa Nikomedia (kwa Kigiriki: Κυριακή, yaani Dominika; Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, karne ya 3 - Kalsedonia, leo nchini Uturuki, 289 hivi) alikuwa bikira Mkristo aliyefia dini yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano . Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki ka...
175579
https://sw.wikipedia.org/wiki/Paladi%20wa%20Uskoti
Paladi wa Uskoti
Paladi wa Uskoti (kwa Kilatini: Palladius; Gallia, 408 - 457 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa kisiwa cha Ireland lakini baada ya kukataliwa huko alihamia Uskoti hadi kifo chake . Alipokuwa shemasi, ndipo Papa Selestini I alipompatia uaskofu na kumtuma katika Funguvisiwa la Britania kupinga Upelaji. Tangu kale anahes...
175581
https://sw.wikipedia.org/wiki/Moninne
Moninne
Moninne au Modwenna (Donaghmore, County Down, 435 hivi - Killeavy, 517 hivi) ni mmojawapo kati ya watakatifu wa kwanza wa Ireland. Anatajwa kama mmonaki, abesi, na mwanzilishi wa monasteri iliyoshika maisha ya upwekeni kwa mfano wa Nabii Eliya na Yohane Mbatizaji . Anahesabiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglika...
175582
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir (amejulikana zaidi kwa jina la Ustadh Mau; 20 Februari 1952 – ) ni mshairi na imamu kutoka kisiwa cha Lamu, Kenya. Mashairi na hotuba zake zinahusu jamii, umuhimu wa elimu, huruma na wajibu wa kijamii. Maisha Ustadh Mau kamwe hakuhudhuria shule ya serikali; elimu yake yote ya Kiswahili na ya K...
175595
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yusto%20wa%20Condat
Yusto wa Condat
alikuwa mmonaki wa monasteri ya Condat nchini Ufaransa. Ingawa habari za maisha yake ni chache mno, tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius X tarehe 9 Desemba 1903. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Julai. Tazama pia Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo...
175596
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mael%20Ruain
Mael Ruain
Mael Ruain (pia: Maelruain, Maolruain, Maelruan, Molruan na Melruain.; alifariki nchini Ireland, 792) alikuwa askofu na abati wa monasteri aliyoianzisha huko Tallaght. Alijitahidi sana kurekebisha liturujia, heshima kwa watakatifu na nidhamu za kimonaki. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waangli...
175597
https://sw.wikipedia.org/wiki/Abdenour%20Boushaki
Abdenour Boushaki
Abdenour Boushaki (1972, Thenia, Algeria) ni profesa wa chuo kikuu cha Algeria, mwanasiasa wa Kiislamu na mwanaharakati wa kitamaduni. Familia Boushaki alizaliwa mwaka wa 1972 katika familia ya marabout ya Algeria iliyokuwa ikiishi katika wilaya ya Thenia, mashariki mwa mkoa wa Algiers. Yeye ni sehemu ya kizazi cha ...
175598
https://sw.wikipedia.org/wiki/Disibodo
Disibodo
Disibodo (pia: Disibod, Disibode, Disen; Ireland, 619 - Ujerumani, 700 hivi) alikuwa mkaapweke lakini pia korepiskopo mmisionari huko Rhine-Palatino kuanzia mwaka 640. Baada ya kupata wafuasi wengi alianzisha monasteri kwenye mto Nahe. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu y...
175602
https://sw.wikipedia.org/wiki/Korepiskopo
Korepiskopo
Korepiskopo (kutoka Kigiriki: Χωρεπίσκοπος, yaani askofu wa vijijini) ni cheo cha madhehebu mbalimbali ya Ukristo, hasa wa Mashariki na karne za nyuma, kuanzia karne ya 2. Cheo hicho kinahesabika kati ya kile cha padri na kile cha askofu. Tanbihi Marejeo Zaplotnik, John Leo (1927). De vicariis foraneis. "Chapter IV....
175606
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kukosa%20usingizi
Kukosa usingizi
Kukosa usingizi (pia inajulikana kama Kupaa kwa usingizi) ni ugonjwa ambao unafanya watu hupata shida kulala usingizi. Wanaweza kuwa na ugumu wa kulala, au wa kulala muda mrefu kama wanavyotaka. Kukosa usingizi kwa kawaida hufuatwa na usingizi wa mchana, nishati kidogo, kuwashwa, na hali ya mfadhaiko. Hali hiyo ina...
175607
https://sw.wikipedia.org/wiki/Landrada
Landrada
Landrada (karne ya 7; Ubelgiji, 690/708) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kukataa kuolewa, kwa msaada wa askofu Lambati wa Maastricht, alianzisha monasteri katika eneo la Ubelgiji wa leo akaiendesha kama abesi hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa ta...
175611
https://sw.wikipedia.org/wiki/Laurel%20Kivuyo
Laurel Kivuyo
Laurel Kivuyo (amezaliwa mwaka 2000) ni Mtanzania ambaye ni balozi wa mazingira na mtetezi wa ustawi ambaye amefanikiwa sana katika majukumu yake. Akiwa na Shahada ya Kwanza katika Sayansi ya Afya ya Mazingira, ameonyesha adhima ya dhati katika utetezi wa mabadiliko ya hali ya hewa tangu akiwa mdogo. Laurel ni mwanzili...
175635
https://sw.wikipedia.org/wiki/Emmanuel%20Cosmas%20Msoka
Emmanuel Cosmas Msoka
Emmanuel Cosmas Msoka ni Mtanzania mwanaharakati na mbunifu mwenye kujitolea kwa haki za watoto na vijana, pamoja na kuwa chanzo cha mabadiliko. Wakati wa janga la COVID-19, Emmanuel aliweza kubuni mashine ya kunawa mikono ambayo iliongeza usafi kwa kuwa ni moja ya hatua muhimu za kuzuia dhidi ya ugonjwa hu. Kwa msaada...
175641
https://sw.wikipedia.org/wiki/Salim%20Kikeke
Salim Kikeke
Salim Kikeke ni Mtanzania mwandishi wa habari na mtangazaji wa televisheni anayefanya kazi kwa sasa katika shirika la habari la BBC. Anasimamia kipindi cha "Focus on Africa" kwenye BBC World News, "Amka na BBC" na "Dira ya Dunia" kwenye BBC News Swahili katika BBC World Service. Kazi Kazi ya kwanza ya Kikeke ilikuwa u...
175642
https://sw.wikipedia.org/wiki/DeviantArt
DeviantArt
DeviantArt ni jumuiya ya sanaa mtandaoni. Makao makuu yako Hollywood huko mjini Los Angeles, California. Mnamo mwaka wa 2008, DeviantArt ilikuwa na wageni milioni 36. Mnamo mwaka wa 2010, DeviantArt ilikuwa na wapendwa milioni 1.4 na maoni milioni 1.5. Mnamo mwaka wa 2011, DeviantArt ilikuwa mtandao wa kijamii wa kumi...
175747
https://sw.wikipedia.org/wiki/Paskari%20wa%20Nantes
Paskari wa Nantes
Paskari wa Nantes (pia: Pascharius, Pascaire, Pasquier; alifariki 635 hivi) alikuwa askofu wa 20 wa mji huo huko Bretagne, leo nchini Ufaransa, ambaye aliwakaribisha Ermelandi na wenzake 12 wakaanzishe monasteri katika kisiwa cha Indre . Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 10 Julai. Taza...
175749
https://sw.wikipedia.org/wiki/Petro%20Vincioli
Petro Vincioli
Petro Vincioli, O.S.B. (Agello, Umbria, karne ya 10 – Perugia, 1022) alikuwa mmonaki padri Mbenedikto wa Italia ya Kati aliyejenga upya kanisa la Mtume Petro huko Perugia akawa abati wa monasteri aliyoianzisha karibu nalo na ambalo, kwa kuvumilia mapingamizi mengi, aliifanya ifuate taratibu za urekebisho wa Cluny . ...
175750
https://sw.wikipedia.org/wiki/Atoroba%20Peni%20Rikito
Atoroba Peni Rikito
Atoroba Peni Rikito, mjukuu wa mfalme Gbudwe, ni Mfalme wa Azende ambaye alipata taji tarehe 9 Februari 2022. Atoroba Peni Rikito alitawazwa kama Mfalme mpya wa Ufalme wa Azende baada ya miaka 117 ya kuishi bila mfalme tangu kifo cha Gbudwe. Tanbihi wanasiasa wa Sudan Kusini
175982
https://sw.wikipedia.org/wiki/ChatGPT
ChatGPT
ChatGPT, ambayo inasimama kama Chat Generative Pre-trained Transformer, ni mfano mkubwa wa lugha-uliotengenezwa chatbot iliyotengenezwa na OpenAI na kutolewa mnamo Novemba 30, 2022, ambayo inawezesha watumiaji kufanya mambo mbalimbali hususani kwenye mambo ya kimaendeleo kama vile sayansi na teknolojia. Mafunzo ChatGP...
175983
https://sw.wikipedia.org/wiki/Teknolojia%20ya%205G
Teknolojia ya 5G
Katika mawasiliano ya simu, 5G ni Orodha ya vizazi vya simu za mkononi vya kiwango cha teknolojia kwa mtandao wa simu za mkononi, ambao kampuni za simu za mkononi zilianza kusambaza kote ulimwenguni mwaka 2019, na ni mrithi wa teknolojia ya 4G inayotoa uunganisho kwa simu za mkononi za sasa. Kama vizazi vyake, mitanda...