text
stringlengths
1
1.32k
mbali na chombo hicho pia UNK za ufaransa zinatarajiwa kuwasili kwenye eneo la ajali UNK wiki hii
rome italia kiongozi wa libya bwana muammar gaddafi amewasili mjini rome kuanza ziara yake ya kwanza ya kuitembelea italia ambayo libya ni koloni lake la zamani ingawa hivi sasa nchi hizo ni washirika wakubwa kibiashara
katika msafara huo rais gaddafi ameambatana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini mwake ili kuongeza UNK wa kupata nafasi ya kuwekeza katika viwanda vya italia
kanali gaddafi vilevile atakutana na rais wa italia na waziri mkuu wa nchi hiyo ambapo katika moja ya mazungumzo yao yanatarajia kulenga katika suala la wahamiaji haramu
mwandishi wa shirika la utangazaji la uingereza bbc bwana david UNK aliyeko mjini rome alisema kwamba ulinzi ni wa hali ya juu katika mji huo katika kipindi chote cha muda wa siku tatu ambazo kiongozi huyo atakuwa nchini humo
alisema kwamba UNK kwa ulinzi ni kutokana na kuwepo kwa mpango ya kufanyika maandamano ya wanafunzi UNK sera za waziri mkuu bwana UNK UNK za kutaka msaada kutoka libya ili kukabiliana na wahamiaji haramu wanaotaka kuingia nchini italia kupitia njia ya bahari
mbali na viongozi hao kanali gaddafi atakutana na kundi la hakina mama wapatao sabini sifuri katika ukumbi wa matamasha mjini rome kama alivyoomba kukutana na wanawake kutoka sekta mbalimbali za kibiashara kisiasa na kilimo
kiongozi huyo amewahi kufanya mkutano kama huo mwaka ishirini sifuri saba mjini paris ufaransa kwa kukutana na wanawake kumi sifuri sifuri na kisha UNK kuwa angependa kuwasaidia wanawake kutoka ulaya
baada ya kumalizika ziara hiyo kanali gaddafi ambaye nchi yake hivi sasa ndiyo inayoshika wadhifa wa urais wa kupokezana wa umoja wa afrika au atarejea tena mjini rome mwezi ujao kama mwakilishi kwenye mkutano wa mataifa nane yenye nguvu duniani g nane libreville gabon spika wa baraza la UNK nchini gabon ameapishwa ku...
bibi rose UNK rogombe ambaye alikuwa mshirika wa karibu wa rais bongo aliapishwa jana ambapo kwa mujibu wa katiba ya nchi hiyo UNK kuitisha chaguzi ndani ya siku arobaini na tano sherehe za kuapishwa bibi rogombe zilifanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano ulioko katika mji mkuu wa nchi hiyo libreville jana asu...
ilielezwa kuwa huduma ya mtandao katika nchi hiyo yenye UNK wa mafuta bado imefungwa ingawa mipaka bado imeendelea kuwa wazi
taarifa za kifo cha kiongozi huyo mwenye umri wa miaka sabini na tatu ambaye ni kiongozi wa muda mrefu barani afrika UNK jumatatu wiki hii na serikali ya gabon inaeleza kwamba rais bongo ambaye UNK nchi hiyo tangu mwaka elfu moja na mia tisa na sitini na saba alifariki kwa ugonjwa wa moyo muda mfupi baada ya kusema ku...
ilibainika mwezi mei mwaka huu kwamba rais huyo alikuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali moja iliyoko mjini barcelona hispania huku kukiwepo na taarifa ambazo UNK kuwa alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa
katika hatua nyingine mwili wa rais bongo unatarajiwa kuwasili nchini humo leo na kupelekwa moja kwa moja ikulu ya nchi hiyo
ilielezwa kwamba baada ya kuwasili nchini na kukamilika taratibu zote mwili huo utazikwa katika mkoa wa UNK ulioko kusini mashariki mwa mji wa UNK ambako ndiko alikozaliwa kiongozi huyo
nairobi kenya serikali ya kenya imesema itasaidia kuwarejesha nyumbani wakimbizi wapatao moja themanini sifuri waliokimbilia uganda baada ya kuzuka kwa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka juzi
waziri wa mambo ya nje bwana moses wetang ula alisema kwamba wakimbizi hao wamehifadhiwa kwenye kambi ya kiriandong wilaya ya masindi mashariki mwa uganda
bwana wetang ula aliliambia gazeti la the standard serikali ipo tayari kushirikiana na serikali ya uganda na shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi ili kuwasaidia wakimbizi hao
wasifikiri kama UNK
UNK usaidizi wa kurejea nyumbani kama watakuwa wanahitaji alisema
hata hivyo waziri huyo UNK ni kwa jinsi gani UNK msaada wa haraka kwa wakimbizi arobaini na tisa ambao wameomba msaada
hivi sasa wakimbizi hao wamehifadhiwa katika kambi ya kiriandong baada ya mwishoni mwa mwaka jana kuhamishiwa katika kambi ya mulanda iliyoko karibu na mji wa UNK kilometa chache kutoka mpakani mwa kenya na uganda ambako walipelekwa awali baada ya kukimbia mashambulizi katika maeneo ya magharibi mwa nchi
bwana peter karanja ambaye ni msemaji wa wakimbizi hao alisema kwamba wengi wao wanataka kurejea nyumbani
tuko moja mia nane na hamsini na sita kwenye kambi ya kiriandong ila kuna wengine wapatao hamsini sifuri kwenye kituo cha muda cha mulanda alisema bwana karanja katika mahojiano kwa njia ya simu
alisema kwamba hivi karibuni serikali ya uganda na unhcr walifanya UNK ili kuangalia kama kuna waliojiingiza kinyemela
timu ya unhcr ambayo ilifanya mahesabu iliongozwa na bibi UNK UNK
hatufahamu UNK alisema
kabla ya taarifa hiyo ya serikali awali idadi kubwa ya wakimbizi walikuwa hawataki kurejea makwao kwa kile walichodai ni kuwa hakuna usalama
walidai kwamba majirani zao ambao walipigana nao wakati wa ghasia za uchaguzi mkuu katika maeneo ya mumias UNK na UNK bado wako katika maeneo yao
kwa mujibu wa jimbo la magharibi jimbo hilo pekee lina watu wapatao hamsini na tano sifuri sifuri sifuri walioyakimbia machafuko wakati mali zenye thamani ya milioni zaidi ya ishirini sifuri UNK
kama serikali UNK usalama na fedha ya kuanzia maisha upya wengi wetu UNK kurejea nyumbani alisema bwana karanja
alisema wanahisi serikali kama imewasahau wakati inapaswa kuwapa msaada walioyakimbia UNK
tunakabiliwa na matatizo mengi kwa sababu hapa kuna uhaba wa chakula na madawa kwa ajili ya matibabu alisema bwana karanja
kampala uganda mwandishi wa habari wa kujitegemea bwana patrick otim na wanaume wengine kumi wamefikishwa katika mahakama ya kampala wakikabiliwa na mashitaka ya UNK
taarifa kutoka kampala zilieleza jana kwamba bwana otim ambaye ni mkazi wa eneo la pader kaskazini mwa uganda na wenzake walifikishwa mahakamani hapo juzi
watuhumiwa wawili kati yao ni waasi wa zamani wa kikundi cha UNK resistance army ambao walipewa ajira katika jeshi la updf baada ya kupata msamaha
serikali ilisema watuhumiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya kuunda kikundi cha waasi cha UNK patriotic front na kuwafundisha watu kuendesha mapigano dhidi ya serikali
watuhumiwa hao kumi na moja walifikishwa mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya UNK bwana geoffrey sayekwo na hawakutakiwa kujibu lolote kutokana na mahakama hiyo kutokuwa na uwezo wa kusikiliza kesi hiyo
baada ya kufikishwa kizimbani hakimu sayekwo aliwasomea mashitaka yanayowakabili kabla ya kuwarejesha katika gereza la UNK
kwa mujibu wa hati ya mashitaka wanatuhumiwa kutenda makosa hayo kati ya mwaka ishirini sifuri sita na mei ishirini sifuri tisa katika wilaya nane zikiwemo wilaya za masindi na kampala
wilaya nyingine UNK katika hati hiyo ni UNK pader UNK UNK UNK na amuru
bwana otim alikamatwa juni nane mwaka huu akiwa na watu wengine wanne na miongoni mwao wamo makamanda wa lra luteni emmy UNK na luteni philip UNK okello au UNK kutoka wilaya ya amuru
UNK nigeria imeripotiwa kuwa licha ya ongezeko kubwa la kiwango cha elimu nchini nigeria tatizo la mimba zisizokuwa za mpango limekuwa likiongezeka kwa kiasi cha hali ya juu miongoni mwa wasichana na wanawake nchini humu
taarifa hiyo imo katika ripoti iliyotolewa na taasisi moja yenye makao yake makuu mjini new york marekani UNK huku ikisema kuwa suala la UNK ndilo la kulaumiwa
utafiti huo ulibainisha kwamba mwaka ishirini sifuri tatu asilimia kumi na sita ya mimba miongoni mwa wasichana na wanawake wenye umri kati ya UNK kumi na tano hadi miaka ishirini na nne wamekuwa hawatumii kinga ikilinganishwa na asilimia kumi ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini katika ripoti hiyo taasisi hiyo il...
ripoti hiyo ilibainisha kuwa idadi ya wanawake wenye elimu ya sekondari imeongezeka kwa asilimia kumi na sita kutoka asilimia thebathini na nne hadi asilimia hamsini kati ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na ishirini sifuri tatu hata hivyo pamoja na ongezeko la asilimia hiyo ripoti hiyo ilieleza kwamba matumizi...
serikali hiyo ilisema jana katika shambulizi hilo wanamgambo takribani kumi na mbili waliuawa ingawa UNK vifo vya wanajeshi wake watano
mapema mwezi huu wanamgambo wa al qaida walimuua raia wa uingereza ambaye walikuwa UNK kwa muda wa miezi mitano
wiki iliyopita ofisa mwandamizi wa serikali ya mali ambaye alikuwa UNK mtandao huo wa kigaidi UNK kwa kupigwa risasi katika eneo la UNK ambapo mauaji hayo ya luteni kanali UNK UNK UNK yanasadikika ni kutokana na kitendo cha kukamatwa wanamgambo watatu wa kundi hilo
shambulizi hilo la jana ni kutokana na kuaminika kwamba mtandao wa al qaida katika kundi la magharibi umekuwa UNK shughuli zake katika jangwa la sahara kati ya nchi za algeria mali na UNK
mtandao huo unadaiwa kuwa ndio UNK makundi ya kiislamu nchini algeria hadi kufikia hatua ya kupigana na serikali karibia muda wa miongo miwili
serikali ya mali inaamini kuwa kundi la wanamgambo wa algeria la UNK abou UNK ambalo umoja wa mataifa un UNK katika makundi wanachama wa al qaeda ndilo lililohusika na kifo cha mateka huyo raia wa uingereza bwana edwin UNK
bwana UNK ambaye alitekwa nchini UNK mwezi januari mwaka huu alikuwa UNK nchini mali
naypyidaw burma msuluhishi maalumu wa umoja wa mataifa un bwana ibrahim gambari amewasili nchini burma ili kuangalia uwezekano kama katibu mkuu wa umoja huo bwana ban ki moon UNK nchi hiyo
bwana gambari aliwasili nchini humo jana ambapo alitarajiwa kukutana na maofisa wa serikali ya kijeshi ya burma ingawa haifahamiki wazi kama atakutana na kiongozi wa wanaharakati wa kupigania demokrasia bibi UNK san suu kyi ambaye yuko rumande
bibi suu kyi anakabiliwa na mashitaka ya kuvunja masharti wakati akiwa katika kifungo nyumbani kwake baada ya kumruhusu mwanaume raia wa marekani kuingia nyumbani kwake
hata hivyo bwana ki moon alisema kwamba ana matumaini ya kuwa UNK serikali ya burma UNK bibi suu kyi na wafungwa wengine
ilielezwa jana kwamba bwana gambari alitarajiwa kuelekea katika mji mkuu wa burma naypyidaw baada ya kuwasili katika mji wa UNK na baada ya ziara hiyo ya siku mbili atarejea na kumpa taarifa bwana ki moon ambaye ndiye atakayeamua kwenda ama kutokwenda nchini UNK
hii ni mara ya nane kwa msuluhishi maalumu kutoka un kuitembelea burma ili kujaribu kutafuta maafikiano kati serikali ya kijeshi na wanaharakati wa kupigania demokrasia wakiongozwa na bibi suu UNK
kabla ya bwana gambari kuwasili nchini burma mkuu wa jeshi la polisi la nchi hiyo alisema kwamba mgeni aliyemtembelea bibi suu kyi bwana john yettaw ana uhusiano na kundi la raia wa nchi hiyo waishio uhamishoni nchini thailand
bwana yettaw naye pia anashitakiwa kwa tuhuma za kumtembelea bibi suu kyi katika makazi yake yaliyoko kando ya mto katika mji wa UNK
washington dc marekani marekani imethibitisha kwamba UNK msaada wa silaha serikali ya mpito ya somalia UNK mkono na umoja wa mataifa un kwa mujibu wa taarifa kutoka white house hatua hiyo ni kufuatia wito wa dharura uliotolewa na serikali ya somalia ambayo inapambana na wanamgambo wa kiislamu
mbali na silaha maofisa wa serikali wamesema kuwa marekani pia itatoa msaada wa kimafunzo kwa wanajeshi wa UNK
kwa maombi haya ya serikali ikulu imeamua kutoa msaada wa silaha na vifaru kwa haraka alisema msemaji wa ikulu ya marekani bwana ian UNK
silaha hizo UNK vikosi vya serikali ya mpito ambayo inapambana ili kuleta amani na utulivu ndani ya somalia aliongeza
wachunguzi wa masuala ya kisiasa wamesema kwamba marekani imefikia hatua hiyo kutokana na kuchukizwa na kitendo cha wanamgambo kushikilia eneo kubwa la nchi hiyo
tangu mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na moja somalia imekuwa haina serikali ya inayoeleweka
rais sheikh sharif sheikh ahmed alikabidhiwa jukumu la kuiongoza nchi hiyo mwezi januari mwaka huu lakini inaelezwa kuwa bila kuanzisha mahakama ya sharia mambo hayawezi kwenda
harare zimbabwe rais robert mugabe wa zimbabwe UNK UNK mataifa ya magharibi kwa kukataa kuiondolea vikwazo vya misaada nchi yake kwa madai ya kwamba bado yuko madarakani akisema kuwa nchi yake itapata misaada kutoka nchi marafiki ambazo hazimuwekei masharti
mapema mwezi februari mwaka huu rais mugabe na aliyekuwa mpinzani wake mkuu bwana morgan tsvangirai ambaye hivi sasa ni waziri mkuu waliamua kuunda serikali ya pamoja zikiwa ni jitihada za kumaliza mgogoro wa kisiasa na kiuchumi UNK nchi hiyo kwa muda mrefu
wiki tatu zilizopita bwana tsvangirai alikuwa ziarani ulaya na marekani ili kujaribu kukusanya michango kutoka kwa wafadhili
hata hivyo pamoja na jitihada zake hizo alijikuta akiambulia michango kiduchu huku akikumbana na shinikizo la kutakiwa UNK mshirika wake kuheshimu utawala wa kidemokrasi na misingi ya haki za binadamu
taifa hilo la kusini mwa afrika linadai kwamba linahitaji dola bilioni kumi ili kujenga upya miundo mbinu yake na kutatua tatizo la ajira
kila mahali wanasema hapa UNK vikwazo
kwani nini ni kwa sababu wanataka zanu pf na robert mugabe washindwe rais mugabe alikaririwa na televisheni ya taifa akiwaambia wanachama wa chama cha zanu pf mjini harare jana jioni
bwana tsvangirai umejionea mwenyewe hawa ndio UNK marafiki zako
UNK kamwe hawezi kuwa rafiki wa mataifa yote na watu ambao wanataka kuwa huru aliongeza rais mugabe katika kikao hicho
kiongozi huyo mwenye umri wa miaka themanini na tano alisema kwamba zimbabwe itapata misaada hiyo kutoka kwa nchi marafiki ambazo hazimuwekei masharti
hata hivyo katika hotuba hiyo rais mugabe UNK nchi marafiki ambazo UNK misaada bila masharti lakini katika kipindi cha miaka mitano alikuwa akijaribu kuimarisha urafiki na nchi za asia hususani china na mataifa ya kiislamu kama iran ambapo mara nyingine amekuwa UNK kushirikiana nazo katika sekta ya madini
tutapata marafiki ambao watatusaidia marafiki ambao UNK masharti tutakuwa na marafiki na UNK mataifa ya magharibi kwamba tuna marafiki alisema rais mugabe
na nickson mkilanya mbunge wa morogoro mjini daktari omary mzeru na mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya majisafi na majitaka morogoro bwana john mtaita UNK kuhusu suala la upatikanaji maji kwa wananchi mbele ya mkuu wa mkoa wa morogoro bwana issa machibya
tukio hilo lilitokea eneo la tungi tubuyu katika manispaa ya morogoro wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa ya kukagua vyanzo mbalimbali vya maji na namna huduma hiyo UNK wananchi
daktari mzeru alipinga kauli ya bwana mtaita UNK mkuu wa mkoa na msafara alioambatana nao kuwa wakazi wa morogoro wamefikiwa na mtandao wa maji safi kwa asilimia tisini na tatu mbunge huyo alisema anapingana na hoja hiyo kwa kuwa wananchi ambao ni wapiga kura wake wamekuwa wakikosa huduma hiyo muhimu nyakati zote au k...
takwimu hizo si sahihi mkurugenzi mimi hawa wananchi UNK kila mara karibu kila eneo UNK acha hapa tubuyu kilio chao ni maji sasa wewe UNK wanapata mtandao kwa asilimia tisini na tatu je mtandao ndio maji
alihoji daktari mzeru
hata hivyo mkurugenzi wa moruwasa alijitahidi kumweleza daktari mzeru viongozi waliokuwepo katika msafara huo na wananchi waliojitokeza katika eneo hilo kuwa takwimu zake UNK mtandao wa maji UNK wananchi na kwamba suala la upungufu wa maji ni suala lingine ambalo mara zote huwa ni tatizo hasa wakati wa UNK
kweli jamani maji hayawafikii wananchi hawa na wa maeneo mengine kwa wakati wote wa saa arobaini na nane lakini tatizo ni kwamba tunakuwa na maji kidogo hasa wakati wa kiangazi hivyo hayatoshelezi lakini mtandao wa maji safi umeenea manispaa kwa asilimia tisini na tatu alifafanua bwana UNK
wakati wa malumbano hayo mkuu wa mkoa alikuwa kimya na wakati mwingine aliwahoji wananchi kama wanapata maji au la ili kuweza kupata ukweli wa suala hilo kisha aliwataka moruwasa kuhakikisha wanakamilisha mikakati yao waliyojiwekea kuboresha huduma za maji
na wilhelm mulinda serikali imeshauriwa kutoa zabuni kwa wakandarasi wenye sifa ili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kiwango kinachotakiwa ili kuwaondolea kero wananchi
ushauri huo ulitolewa juzi na na meneja wa kampuni ya uchimbaji wa visima UNK vya maji iitwayo UNK UNK iliyopo eneo la bwiru jijini mwanza bwana michael maungo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini humo
akitoa mfano bwana maungo alisema kuwa kwa sasa kuna baadhi ya halmashauri za wilaya manispaa pamoja na majiji nchini ambazo zinatoa tenda za kuchimba visima kwa kampuni ambazo hazina vifaa vibali na wakati mwingine wataalamu wa kutekeleza kazi hizo
alisema kuwa hali hiyo inachangia kushusha kiwango cha ubora wa kazi hizo kwa vile fedha zilizotengwa kwa ajili ya kutekeleza miradi hutumika tena katika kukodisha vifaa pamoja na kuazima wataalamu kutoka katika kampuni zingine na hivyo kubaki na fedha ambazo hazitoshi kutekeleza kazi kwa ubora
bwana maungo alisema kuwa wakati umefika sasa kwa serikali kuhakikisha kwamba wakandarasi wenye sifa wanapewa tenda ili miradi hiyo iweze kutekelezwa kwa kiwango kinachotakiwa kulingana na thamani ya fedha zilitolewa kwa manufaa ya wananchi na taifa kwa ujumla
na stella shoo mkazi wa kijiji cha UNK mokala wilayani rombo kilimanjaro anayefahamika kwa jina la mama kubwa anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani rombo kwa tuhuma za kumuua UNK kwa kuwa na ujauzito
akizungumza na gazeti hili jana asubuhi kwa njia ya simu diwani wa kata ya UNK mokala bwana festo kilawe alisema tukio hilo lilitokea jumamosi saa tatu sifuri sifuri usiku
bwana kilawe alimtaja marehemu kuwa ni bibi lilian mrema ambapo UNK kuwa na ujauzito wa karibu miezi sita na kuwa mama mzazi wa bibi UNK alikuwa hataki ujauzito wa UNK huyo
ndugu mwandishi huyu mama alikuwa na ugomvi wa mara kwa mara na marehemu huyu baada ya kuona kuwa ana ujauzito sasa ilipofika usiku huo wa jumamosi alimfuata marehemu chumbani kwake na kuanza kumshambulia kwa mwiko hapo marehemu alipiga kelele majirani walipofika alikuwa ameumia vibaya sasa wakati anapelekwa hospitali...
alisema baada ya kutokea kwa tukio hili ndio majirani walipotoa taarifa katika kituo cha polisi cha rombo na mtuhumiwa alikamatwa na kutiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji
mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya huruma na mtuhumiwa amekamatwa na polisi na sasa yupo chini ya ulinzi na kuwa upelelezi unaendelea utakapokamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji alifafanua bwana kilawe mkuu wa wilaya ya mbozi bwana gabriel kimoro awataka watoa da...
aliwataka watoa dawa hizo kuhakikisha wanatoa taarifa katika vyombo husika wanapobaini uvunjwaji wa sheria katika uendeshaji wa maduka hayo ili hatua zaidi zichukuliwe