text
stringlengths
1
1.32k
kwa upande wa serikali ya rwanda waziri wa sheria aliiambia bbc kuwa serikali haikufurahishwa na uamuzi huo lakini akasema kuwa haina uwezo kutengua maamuzi hayo
maofisa wa umoja wa mataifa UNK shirika la utangazaji la uingereza bbc tani zipatazo arobaini za dhahabu zimekuwa UNK nje ya jamhuri ya kidemokrasi ya kongo drc kwa njia UNK
bwana UNK mahtani alisema kuwa machimbo mengi ya dhahabu yamekuwa yakimilikiwa na waasi ambao wamekuwa wakitumia raslimali hiyo kwa ajili ya kununua silaha
bwana mahtani ambaye anatarajia baadaye wiki hii kuwasilisha ripoti yake katika baraza la usalama la umoja wa UNK alisema kuwa fedha hizo ndizo zimekuwa UNK makundi ya waasi vitani
dhahabu nyingi imekuwa UNK dubai kupitia uganda aliongeza
bwana mahtani ambaye anashirikiana na wataalamu wa kuzuia silaha za magendo katika un aliiambia bbc kuwa hivi karibuni kuna vigogo nchini drc ambao wamekuwa wakiuza dhahabu zenye thamani ya dola bilioni moja ishirini na nne ama bidhaa za dhahabu zenye uzani wa tani arobaini nje ya nchi UNK bila kulipa ushuru wowote
alisema faida katika biashara hizo imekuwa UNK kwa mamilioni ya dola ambayo yamekuwa UNK nchini humo kwa kubadilishana silaha
dhahabu nyingi katika biashara hiyo imekuwa ikiendeshwa na mtandao wa waasi kama wa kundi la UNK UNK linatokea nchini rwanda na ambalo UNK walihusika na mauaji ya halaiki ambalo linaendesha shughuli zake mashariki mwa drc alisema
aliongeza kuwa biashara hiyo ya dhahabu ndiyo imekuwa UNK kipato cha moja kwa moja makundi hayo ya UNK
waziri mkuu wa kenya bwana raila odinga amewataka wanasiasa kuacha UNK bali wasubiri hatua UNK kwa mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia makosa ya uhalifu wa kivita bwana luis moreno ocampo katika jitihada zake za kuwafungulia mashitaka watuhumiwa wa ghasia za uchaguzi mkuu uliopita
waziri mkuu huyo aliwaeleza wanasiasa kuwa tayari kujitolea wakati icc itakapokuwa ikifanya uchunguzi
kama huna UNK tulia alisema bwana odinga wakati akilielezea bunge kuhusu UNK kwenye kikao chao cha novemba tano kati ya bwana moreno ocampo na rais mwai kibaki
unaweza kwenda the hague kwa kujitolea alisema bwana odinga na kuongeza kuwa hafahamu ni kwa nini watu UNK na ni kwa nini jambo hilo linasababisha hali ya wasiwasi na hofu kubwa
katika taarifa hiyo waziri mkuu alisema kuwa atakuwa tayari kukabiliwa na mashitaka endapo icc UNK hatiani
utafiti mpya umebainisha kuwa unywaji pombe kila siku kwa wanaume UNK kuwaondoa katika hatari ya kukumbwa na maradhi ya ugonjwa wa moyo
utafiti huo ambao ulifanyika nchini hispania na kuwahusisha wanaume wapatao kumi na tano hamsini sifuri na wanawake zaidi ya ishirini na sita sifuri sifuri sifuri unaeleza kuwa kiwango kikubwa cha pombe kinaweza kuwa na manufaa zaidi kwa wanaume huku utafiti huo wa magonjwa ya moyo UNK kuwa kiasi hicho kikubwa hakiwez...
hata hivyo wataalamu hao walionya kuwa unywaji pombe wa kupindukia unaweza kusababisha ongezeko la magonjwa mengine huku pombe ikiwa na uwezekano wa kusababisha vifo vya watu milioni moja nane kwa mwaka ulimwengu mzima
utafiti huo ulifanyika nchini hispania ambayo ni nchi inayozalisha pombe kwa wingi huku ikiwa na kiwango kidogo cha magonjwa ya moyo
uliwahusisha wanaume na wanawake wenye umri kati ya miaka ishirini na tisa na sitini na tisa ambao UNK kufahamu kuhusu maisha ya mtumiaji pombe
timu hiyo ya watafiti waliobobea inadai kubaini madhara yanayoweza kumkumba mtu ambaye hajawahi kutumia pombe na ambao matatizo ya kiafya UNK kuacha kunywa
walisema katika utafiti uliofanywa karibia nchi nzima ya hispania mnywaji anashauriwa kunywa sio zaidi ya UNK tisini kwa kila siku ambayo inaweza kuwa sawa na chupa kama nane za mvinyo ama lita ishirini na nane za bia kwa wiki
watu UNK kunywa zaidi ya kiasi UNK kwenye utafiti alisema profesa martin mckee kutoka chuo cha utafiti wa magonjwa ya ukanda wa hali ya joto cha jijini london
alisema kuwa mfano kwa watu UNK kiwango kidogo cha pombe aina ya UNK kwa siku hatari ya kukumbwa na magonjwa hayo inapungua kwa asilimia thebathini na tano na akasema kuwa kwa upande wa wanaotumia kiwango cha UNK tatu hadi kumi na moja kwa kila siku hatari hiyo UNK kwa wastani wa asilimia hamsini hata hivyo profesa mc...
jeshi la polisi nchini uganda limesema kuwa limeshindwa kumpa dhamana binti wa miaka kumi na nne anayedaiwa kumuua kwa kumpiga jiwe kichwani mwanaume mwenye umri wa miaka arobaini katika eneo la UNK kwa kile UNK ni kuwa alitaka kumbaka baada ya familia yake kushindwa kujitokeza UNK
binti huyo ambaye jina lake UNK kwa sababu maalumu ni yatima na alishindwa kufanya sehemu ya mitihani yake ya kufunga mwaka tangu UNK
kamishina wa polisi wa wilaya bwana jimmy oyuku alisema wameshindwa kutoa dhamana kwa binti hiyo kutokana na kuwa hakuna ndugu hata mmoja aliyefika polisi kumsaidia ili aweze kuachiwa na akafanye mitihani yake
kamanda huyo alisema licha ya familia pia mwalimu mkuu katika shule ambayo anasoma hajaenda kituoni hapo ili kumuokoa
binti huyo ameripotiwa kuwa ni mwanafunzi wa darasa la nne na amekuwa akiishi nyumbani kwake na mdogo wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa ambaye hakuwepo nyumbani wakati binti huyo akitaka kufanyiwa unyama huo kwa kuwa alikuwa ameenda kutafuta kuni za kupikia
baba mzazi wa yatima hao alifariki miaka kadhaa iliyopita wakati mama yao alifariki mwezi april mwaka huu na polisi walisema kuwa hata ndugu zake ambao wanapaswa kumsaidia wanaonekana UNK
binti huyo ambaye anaonekana mwenye majonzi akiwa amevaa sketi nyeusi na jaketi juzi alipelekwa hospitalini kwa ajili ya kupatiwa matibabu
jumanne wiki hii polisi waliwaambia waandishi wa habari kuwa binti huyo alimtwanga kichwani mwanaume waliyemtaja kwa jina la bwana josephat mpigika baada ya kujaribu kumbaka
walisema kuwa bwana mpigika ambaye ni mkazi wa kijiji cha UNK alifariki muda mfupi baada ya kufikishwa katika hospitali ya UNK
kamanda oyuku alisema kuwa ameiomba serikali ya wilaya ili kuangalia jinsi ya kumsadia binti huyo
endapo mkuu wa wilaya atashindwa kulitatua tatizo hili tutamchukulia hatua katika sheria za watoto alisema bwana UNK
alipohojiwa ni kwanini jalada la binti huyo UNK kwa mwanasheria mkuu kamanda oyuku alisema kuwa uchunguzi bado haujakamilika ingawa kwa pembeni alisema kuwa wanahofia usalama wa binti huyo atakaporejea nyumbani bila ulinzi
rais hamid karzai ameapishwa kuwa kuwa rais wa afghanistan kwa muhula wa pili baada ya kushinda uchaguzi mkuu ambao ulitawaliwa na hujuma
kiongozi huo aliapishwa jana ambapo katika hotuba yake ya kuapishwa bwana karzai alizungumzia swali muhimu kuhusiana na tatizo la rushwa ambalo alisema kuwa mawaziri wake wanapaswa kupambana kufa na kupona
katika hotuba hiyo rais karzai alisema kuwa ana matumaini katika kipindi cha miaka mitano vikosi vya usalama vya nchi hiyo ndivyo UNK usukani na majukumu kwa majeshi ya kigeni UNK
vilevile akawataka wapinzani wake UNK kuungana naye ili kufanya pamoja kazi ya kutafuta amani nchini humo
habari kutoka mjini kabul zilieleza kuwa viunga mbalimbali vya mji huo vilikuwa UNK huku vikosi vya usalama vikiwa vimeweka vizuizi kadhaa katika barabara za mji huo wakati wa sherehe za kuapishwa kiongozi huyo
ilielezwa kuwa pia uwanja wa ndege wa kimataifa ulikuwa umefungwa huku ikitangazwa kuwa ni siku ya mapumziko na watu UNK kubaki majumbani mwao kutokana na sababu za kiusalama
sherehe hizo zimeripotiwa kuhudhuriwa na wageni kutoka mataifa UNK arobaini akiwemo waziri wa mambo ya nje wa marekani bibi hillary clinton na rais wa pakistani bwana UNK ali UNK
akihutubia kuhusu matatizo ya rushwa bwana karzai alisema kuwa utawala bora UNK kwa mwenye mungu na jambo hilo litamfanya kuwa makini ili kuhakikisha mawaziri wake wanakuwa waadilifu na waaminifu
alisema rushwa ni tatizo kubwa
hivi karibuni UNK mkutano mjini kabul ili kutafuta njia nyingine mpya ya kukabiliana nalo aliongeza rais UNK
alisena kinachotakiwa ni kujifunza kutokana na makosa katika kipindi kifupi cha miaka nane iliyopita na UNK mpinzani wake UNK bwana abdullah abdullah kujumuika naye kuijenga UNK
maofisa wa serikali ya saudi arabia wamesema mahujaji wanne wamekufa kwa homa ya mafua ya nguruwe wakati wakihudhuria ibada ya hijja inayofanyika katika mji mtakatifu wa mecca
walisema jana kuwa waliopoteza maisha baada ya kukumbwa na ugonjwa huo ni mwanamke raia wa morocco wanaume wawili kutoka sudan na india ambao umri wao UNK kuwa ni kati ya miaka sabini wakati mahujaji wanne ni binti wa miaka kumi na saba raia wa nigeria
wizara ya afya ya nchi hiyo ilisema kuwa kati ya waathirika hao wanne wa kigeni hakuna hata mmoja aliyekuwa UNK dhidi ya virusi vya homa hiyo ya h moja n moja takwimu mpya za shirika la afya ulimwenguni zinaonesha kuwa hadi sasa homa hiyo UNK maisha ya watu sita mia saba na hamsini ulimwengu mzima
shirika la habari la ufaransa afp liripoti kuwa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wizara hiyo marehemu wote walikuwa na matatizo kiafya ukiwemo ugonjwa saratani na UNK
lilieleza mahujaji watatu walipoteza maisha katika mji wa UNK wakati mmoja wao alifia mjini mecca
kwa mwaka huu zaidi ya waumini milioni tatu wa madhehebu ya dini ya kiislamu kutoka kila pembe ya dunia wanahudhuria ibada hiyo takatifu licha ya maofisa wa afya kuwa na wasiwasi wa kuwa mkusanyiko huo unaweza kusababisha kusambaa virusi UNK homa hiyo ya mafua ya nguruwe
hata hivyo serikali ya saudia imekuwa UNK kukabiliana na hali hiyo kwa kuweka kamera kwenye viwanja vya ndege na bandari pamoja na wafanyakazi wa sekta ya afya wapatao kumi na tano sifuri sifuri sifuri huku UNK kunakuwepo na mamia ya vitanda vya ziada
msemaji wa wizara ya afya daktari khaled UNK aliliambia shirika la habari la ufaransa afp kuwa mahujaji wengine kumi na sita walikumbwa na homa hiyo na wengine wanne bado wamelazwa hospitalini huku hali zao zikiwa mbaya
alisema kuwa mahujaji wengine kumi na mbili walipata nafuu baada ya kupewa matibabu
serikali ya saudia ilisema kuwa mahujaji wote wanatakiwa kuonesha vyeti vya chanjo kabla ya kupewa hati ya kuingia nchini humo
mwezi septemba mwaka huu serikali ya misri ilipiga marufuku mamia ya mahujaji wa kiislamu kusafiri kwenda UNK kwa sababu ya kuhofia kuhusu ugonjwa huo
watu wapatao themanini na saba hadi sasa ndio UNK kuwa wamepoteza maisha katika mlipuko ulitokea katika mgodi wa makaa ya mawe uliotokea juzi kaskazini mwa china shirika la habari linalomilikiwa na serikali UNK
shirika hilo xinhua liripoti jana kuwa wachimbaji wengine ishirini na moja walikuwa bado hawajulikani walipo baada ya kutokea UNK huo ndani ya mgodi huo wa UNK uliopo katika mji wa hegang katika jimbo la UNK
idadi hiyo UNK kuwa ni mara mbili ya idadi ya watu arobaini na mbili iliyokuwa imetangazwa awali
xinhua iliripoti kabla ya mlipuko huo kulikuwa na watu mia tano na ishirini na nane ndani ya mgodi huo
idadi hiyo ya vifo inafanya tukio hilo kuwa miongoni mwa matukio makubwa ambayo yamesababisha madhara makubwa nchini humo katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni
mbali na xinhua ofisa ukoaji bwana zhang UNK alikaririwa na shirika la habari la uingereza UNK akisema kuwa kazi ya kuwafikia wachimbaji ambao wamekwama chini mgodi UNK na gesi na kuta UNK
xinhua liripoti kuwa rais hu jintao na waziri mkuu bwana UNK UNK wanawasiliana na timu za waokoaji na makamu wa rais bwana zhang UNK UNK eneo la tukio
mlipuko huo ulitokea jumamosi jioni kwenye mgodi huo uliopo mpakani na urusi ambapo watu zaidi ya arobaini sifuri walifanikiwa UNK
majeruhi walionusurika walitibiwa katika hospitali ya hegang mining bureau ambapo inasemekana kuwa wafanyakazi wake wote wapatao themanini sifuri walijumuika katika oparesheni ya ukoaji iliripoti UNK
mwandishi wa shirika la utangazaji la uingereza bwana michael UNK aliripoti kutoka mjini beijing akisema kuwa inavyoonekana chanzo cha mlipuko huo ikawa ni gesi
kundi la watu walionusurika katika mauaji ya halaiki ya mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na nne nchini rwanda wamesema kuwa wataacha kutoa UNK katika mahakama maalumu ya umoja wa mataifa iliyopo nchini tanzania wakipinga maamuzi yaliyotolewa hivi karibuni na mahakama hiyo ya kuwaachia watuhumiwa wawili wa mauaji ...
kundi hilo ambalo UNK ushahidi mwingi mbele ya mahakama hiyo limesema kuwa UNK tena ushirikiano tena katika mahakama hiyo maalumu ya kimatifa inayoshughulikia kesi hizo za mauaji ya rwanda hadi itakapokuwa UNK uamuzi wa UNK huru bwana UNK nsengimana na bwana protais UNK
ictr inapaswa kukaa chini na kutengua maamuzi endapo hakutakuwepo na maamuzi mengine UNK basi UNK mahusiano alisema bwana freddy UNK ambaye ni katibu mkuu wa chama cha UNK ambacho kipo chini ya kundi la walionusurika mjini kigali
hadi sasa ictr UNK kesi thebathini na tisa kati ya kesi arobaini na saba ambazo UNK
wiki iliyopita UNK huru bwana nsengimana ikisema kuwa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumtia UNK padri huyo wa kanisa katoliki kwa tuhuma za uhalifu wa kivita na ukiukwaji wa haki za binadamu
mahakama hiyo ambayo ipo nchini tanzania vilevile UNK bwana zigiranyirazo ikidai kuwepo kwa ukiukwaji wa sheria katika kesi hiyo
bwana UNK UNK ambaye familia yake yote UNK katika vita hiyo ya siku kumi sifuri nchini rwanda mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na nne ni mmoja kati ya waandamanaji wapatao ishirini sifuri UNK mwishoni mwa wiki hadi kwenye tawi la ictr lililopo katika mji mkuu wa rwanda
mimi binafsi nahisi uchungu sana kutokana matokeo haya
hatukubaliani na maamuzi haya
UNK uchungu kuona watu hawa wanaachiwa alisema bwana UNK
waziri mkuu wa zamani wa ukoo wa kifalme wa UNK bwana john katuramu ambaye alihukumiwa adhabu ya kifo mwaka ishirini sifuri moja amenusurika adhabu hiyo baada ya mahakama kuu nchini humo kutengua hukumu hiyo
bwana katuramu ambaye alikuwa akisubiri kutekelezwa kwa adhabu hiyo kwa muda wa miaka nane ni miongoni mwa wafungwa ambao adhabu zao za kunyongwa UNK na kuwa adhabu ya kifungo cha maisha jela ambacho kwa uganda UNK na kuwa kifungo cha miaka ishirini jela
habari kutoka kampala zilieleza jana kuwa hatua hiyo imekuja kutokana na maamuzi yaliyotolewa mwezi januari mwaka huu na mahakama kuu kwamba watuhumiwa hao walipaswa kunyongwa ndani ya kipindi cha miaka mitatu ama adhabu hiyo inaweza kubadilika na kuwa kifungo cha maisha
inaelezwa kuwa kwa maana hiyo bwana katuramu ambaye wakati UNK kwa mauaji ya prince charles kijjanangoma alikuwa na umri wa miaka arobaini na sita ataachiwa huru mwaka ishirini moja tisa baada ya kutumikia kifungo kwa muda wa miaka kumi bwana katuramu alihukumiwa sambamba na UNK bwana patrick UNK baada ya jaji john bo...
prince kijjanangoma UNK machi ishirini na tano elfu moja na mia tisa na tisini na tisa katika eneo la palace view bar UNK fort UNK zikiwa ni siku mbili kabla ya kwenda mahakamani kuwasilisha kesi dhidi ya bwana katuramu ambayo ilikuwa UNK na masuala ya utawala wa kifalme wa kabila la UNK
katika mauaji hayo bwana katuramu anadaiwa kuwalipa fedha wauaji waliotekeleza mpango huo akiwemo bwana alex UNK ambaye ni mwanajeshi wa zamani wa updf na ambaye anasemekana kuwa ndiye UNK risasi prince kijjanangoma
vyanzo vya habari katika gereza la UNK UNK gazeti la sunday vision kuwa bwana katuramu UNK katika eneo ambalo UNK UNK wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo na kupelekwa sehemu ya kawaida ambayo UNK kama UNK
wafungwa wengine walinufaika na maamuzi hayo ya mhakama kuu ni pamoja na mfanyabiashara mashuhuri wa zamani katika jiji la kampala mwenye asili ya kiasia bwana UNK kooky na wafanyabiashara wengine wawili ndugu bwana johnson kamya wavamunno na bwana UNK UNK
bwana kooky na kaka yake bwana UNK UNK walihukumiwa kifo mwaka ishirini sifuri sifuri baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya mkewe bwana kooky bibi UNK UNK wakati wa sherehe za UNK za mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na saba wakati kesi hiyo UNK ilibainika kuwa wanandugu hao walitumia umeme kufanya mauaji ya m...
mbali na majeraha hayo uchunguzi pia ulibaini UNK vya sumu katika viungo vya ndani vya marehemu
kwa upande wake bwana kamya wavamunno alihukumiwa adhabu hiyo mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tisa baada ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya polisi na kisha kuiba dola mia mbili na arobaini sifuri sifuri sifuri kutoka katika gari ya kusafirisha fedha mali ya kampuni ya benki ya barclays
uporaji huo ulitokea mwezi februari elfu moja na mia tisa na tisini na sita katika eneo la UNK lililopo karibu na mji wa UNK town
rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania bwana jakaya mrisho kikwete ameipongeza rwanda kwa kukubaliwa kuwa mwanachama wa hamsini na nne wa jumuiya ya madola
akizungumza kwa niaba ya viongozi wa kundi la afrika katika mkutano wa wakuu wa serikali za jumuiya ya madola unaofanyika katika mjini wa port of spain trinidad na tobago rais kikwete alisema kuwa mkutano wa safari hii umepiga hatua nyingine ya mafanikio kwa UNK rwanda kuwa mwanafamilia wa jumuiya hiyo
katika mkutano huu tumepiga hatua nyingine kwa kuiruhusu rwanda kuwa mwanafamilia wetu
huu ni uamuzi wa busara
rwanda UNK
UNK rwanda na watu watu wake shughuli hiyo alisema rais kikwete
rwanda ilikubaliwa kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo mwishoni mwa wiki baada ya kukubaliwa maombi yake UNK katika mkutano wa mwisho uliofanyika mwaka juzi
waziri wa mambo ya nje wa rwanda alisema kuwa hatua hiyo imetokana na jumuiya hiyo kuridhishwa na hatua zilizopigwa na nchi yake katika kipindi cha miaka kumi na tano iliyopita
rwanda ambayo ni koloni la zamani la ujerumani na ubelgiji ni nchi ya pili kukubaliwa kuwa mwanachama kutoka nchi ambazo hazikuwa koloni la uingereza au kuwa na katiba yenye uhusiano na uingereza
msumbiji ndiyo nchi nyengine mwanachama wa commonwealth ambayo haina historia ya uhusiano na uingereza
katika hatua nyingine rwanda UNK na ufaransa kurejesha ushirikiano wa kidiplomasia ikiwa ni baada ya uhusiano huo kuvunjika tangu mwaka ishirini sifuri sita UNK mkuu wa ikulu ya ufaransa bwana claude UNK alisema kuwa makubaliano hayo yalifikiwa juzi baada ya kukutana na rais paul kagame mjini kigali