text stringlengths 1 1.32k |
|---|
hatua hiyo ilijulikana jana katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu dar es salaam wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa mbele ya hakimu bibi grace mwakipesile na bwana ruwaichi meela |
katika kesi hiyo upande wa mashitaka unatarajia kuwa na mashahidi kumi na nane ambao watafika mahakamani hapo na kueleza wanachokifahamu UNK wizi wa mabilioni hayo kutoka benki kuu ya tanzania |
washitakiwa katika kesi hiyo wanadaiwa kuwa septemba mbili ishirini sifuri tano waliiba jumla ya shilingi bilioni saba sita baada ya kughushi mkataba wa makubaliano ya kuhamishiwa deni kutoka kampuni ya marubeni corporation ya japan kwenda kampuni ya bencon UNK ltd |
mbali na fedha hizo pia washitakiwa hao wanadaiwa kuwa agosti kumi na mbili ishirini sifuri tano walijipatia jumla ya shilingi bilioni mbili tano baada ya kughushi mkataba mwingine wa makubaliano ya kuhamishiwa deni kutoka kampuni ya matsushita UNK UNK |
washitakiwa wengine ni bwana amit nandy na bwana devendra patel |
hata hivyo washitakiwa hao wamekuwa wakiwasilisha maombi ya kusimamishwa kwa kesi zao mahakamani hapo mpaka kesi ya kikatiba UNK mahakama kuu ya tanzania itakapomalizika |
kesi hiyo UNK wakitaka kufutwa kwa kesi zote zinazowakabili kutokana na kuwa tayari UNK na jamii kwa kuitwa mafisadi kabla ya baada ya kufikishwa mahakamani |
serikali mkoani arusha UNK uongozi wa wilaya ya ngorongoro UNK asasi zisizo za kiserikali zinazofanya kazi katika maeneo ya hifadhi ya loliondo |
mkuu wa mkoa wa arusha bwana UNK shirima alisema jana kuwa hatua hiyo imetokana na baadhi ya asasi hizo kufanya kazi kinyume na malengo ya kuwapo kwao katika eneo hilo |
bwana shirima alisema utitiri wa ngo s eneo la loliondo umekuwa kero kutokana na malumbano yasiyo na maana yanayosumbua wananchi |
alisema katika kudhibiti hali hiyo amemwagiza mkuu wa wilaya hiyo kuorodhesha mashirika hayo na baada ya hapo serikali itafuatilia kujua shughuli ya kila moja eneo hilo |
wingi wa mashirika haya ungekuwa unamaanisha maendeleo basi utitiri wa asasi hizo UNK maisha na mazingira katika eneo hilo tengefu lakini mambo ni kinyume sijui wanafanya nini alisema |
alisema kuwa katika uchunguzi huo pia watataka kujua wamiliki halisi wa asasi hizo pamoja na uraia wao kutokana na kuwapo kwa taarifa kuwa baadhi wamiliki hao si raia wa watanzania |
mkuu huyo wa mkoa alisema kuwa tatizo jingine kubwa linaloikabili wilaya hiyo ni kuingia kwa makundi makubwa ya mifugo kutoka nchi jirani ya kenya na kuzidi kuharibu mazingira |
alisema hatua madhubuti UNK kukabiliana na changamoto hiyo ikiwamo UNK mifugo UNK kuingia nchini na wamiliki wake kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria |
hawa wenzetu kule kwao wameshamaliza kila kitu hata wanyama pori kwa ajili ya shughuli za kitalii sasa UNK kwa wanataka kuja kwetu UNK mazingira UNK na sisi tutajikuta siku moja mbuga zetu hazina wanyama |
asilimia sabini hadi themanini ya utalii nchini kwetu ni kutoka katika eneo hili kwa sababu ndipo kwenye mazalia ya wanyama sasa UNK miti UNK na mifugo iingie kwenye maeneo ya hifadhi tutakuwa watu wa ajabu sana hivyo tunasema hapana alisema |
bwana shirima alisisitiza kuwa katika operesheni iliyofanyika kuwaondoa wavamizi kwenye maeneo ya hifadhi hakukuwa na matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari |
hata ukienda kwenye hospitali ya wilaya au polisi hakuna tukio lolote UNK huko hakuna watu UNK kupigwa au kujeruhiwa hizo zote ni propaganda zisizo na mantiki yoyote ile alisema |
hali bado tete kwa waziri wa miundombinu bwana shukuru kawambwa baada ya kampuni ya rites kushikilia msimamo wake wa kusitisha kutumia mabehewa na injini zinadaiwa jumla ya dola za marekani milioni kumi tano kampuni ya rites kutoka india agosti thebathini na moja mwaka huu ilitoa siku kumi kwa kampuni ya reli tanzania... |
akizungumza na majira dar es salaam jana msemaji mkuu wa wizara wa miundombinu bwana martin ntemo alisema kuwa viongozi wa rites waliitwa na waziri daktari shukuru kawambwa katika vikao vinavyoendelea kuwataka kukubaliana na barua yao |
alisema vikao vinavyoendelea takribani siku tatu mfululuzo UNK muafaka kwani kumekuwa na mvutano kati ya pande zote kila mmoja akivutia kwake |
leo viongozi wa rites wameitwa wizarani baada ya ukimya wao wa UNK barua UNK juzi hivyo wapo kwenye kikao cha majadiliano na waziri kawambwa ingawa kuna mvutano mkubwa kati ya pande zote alisema bwana UNK |
gazeti hili lilifika kwa kamanda wa polisi kitendo cha reli bibi ruth makelemo ili kufahamu safari za treni kuanzia jana alisema kuwa hajapokea mabadiliko yoyote kutoka serikalini |
abiria mikoa ya kaskazini UNK saa tatu barabara kuu iendayo tanga kilimanjaro na arusha jana ilifungwa kwa saa tatu na kusababisha magari zaidi ya kumi sifuri kushindwa kupita katika kijiji cha mkata baada ya kuzuka vurugu kubwa kati ya wakazi wa eneo hilo na kigogo mmoja anayedaiwa kupandisha bei ya maji tofauti na w... |
mmoja wa abiria UNK na mkasa huo na kujitambulisha kwa jina la bwana UNK UNK aliliambia gazeti hili kwa njia ya simu kuwa jana asubuhi umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo UNK barabara na kuzuia magari yasipite kushinikiza kigogo huyo UNK maji shilingi sabini sifuri kwa dumu apunguze bei sambamba na wenzake wanaouza sh... |
uongozi wa mkoa wa tanga kwa kushirikiana na jeshi la polisi UNK mkutano wa dharura chini ya mkuu wa mkoa huo bwana said kalembo kutafuta ufumbuzi akizungumza kwa simu kutoka mkata bwana kalembo alikiri kutokea tukio hilo na kueleza kuwa tayari UNK ufumbuzi |
unajua mkata kuna uhaba mkubwa wa maji kilichotokea ni kuwa kuna magari matatu yanauza maji lakini gari moja UNK dumu moja shilingi sabini sifuri wakati wenzake wanauza kwa shilingi arobaini sifuri huo ndiyo ugomvi uliosababisha wananchi kuchukua sheria mkononi |
bwana kalembo alisema wananchi wa mkata hawakupaswa kufunga barabara kwa sababu hilo ni kosa la kujichukulia sheria mkononi badala ya kufuata taratibu |
kaimu kamanda wa polisi mkoa wa tanga bwana simon mgawe naye alikiri kutokea vurugu hizo na alipotakiwa na kuthibitisha kuwa vurugu hizo UNK |
chama cha wananchi cuf kimemtaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi jaji lewis makame kujiuzulu kwa kushindwa kusimamia na kutetea haki za wapigakura wake |
hayo yalisemwa dar es salaam jana na mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya vitambulisho wanavyodai UNK moto juzi katika bohari kuu ya serikali iliyoko keko dar es salaam |
alisema kuwa jaji makame ambaye amekuwa mwenyekiti wa tume hiyo tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini ameshindwa kuijenga taasisi hiyo kuwa yenye uwezo na UNK na wadau wake |
profesa lipumba alieleza kusikitishwa na kitendo hicho na kudai kuwa anayepaswa kuwa na shahada ni UNK mwenyewe na siyo serikali wala taasisi nyingine yoyote |
alisema katiba na sheria ya uchaguzi UNK tume ya uchaguzi wajibu wa kutoa na kusimamia elimu ya uraia na elimu ya uchaguzi kwa wapigakura ambapo tume imeshindwa kutoa mafunzo hayo ambayo yamechangia wananchi kutoa shahada zao za UNK na kukusanywa au kununuliwa na mafisadi |
ni dhahiri kabisa kadi UNK zikichomwa moto ni zile za wananchi ambazo kwa kipindi kirefu tumekuwa UNK taarifa kuwa kuna biashara ya kununua shahada za wapigakura licha ya jambo hilo kufanyiwa kazi lakini juzi tumeshuhudia wenyewe alidai |
profesa lipumba alidai katika shahada zilizochomwa juzi nyingi ni za mwaka ishirini sifuri tano na nyingine zilitolewa mwaka ishirini sifuri nane ambapo inaonesha wazi kuwa serikali ya ccm inahusika na ukusanyaji wa shahada hizo za wapiga kura |
aliongeza kuwa inaonesha dhahiri kuwa mchezo huo mchafu unafanya na tume ya uchaguzi zanzibar kwa kushirikiana na nec kwani baadhi ya shahada hizo tatu UNK kuwa za wapigakura kutoka UNK |
katika shahada zilizochomwa nyingi ni za wakazi wa mkoa wa dar es salaam wilaya ya kinondoni ambapo katika uchaguzi mkuu wa ishirini sifuri tano wapigakura halisi waliojiandikisha walikuwa asilimia hamsini na tano ambapo asilimia arobaini na tano kati yao hawakupiga kura huku asilimia kumi pekee ndio UNK alisema profe... |
mahakama ya wilaya ya kinondoni dar es salaam imetamka wazi kuwa aliyekuwa mkuu wa jeshi la polisi nchini bwana omar mahita ndiye baba halali wa mtoto juma mahita ambaye UNK na mfanyakazi wake wa ndani bibi rehema shaaban |
mbali na kutamka kuwa ndiye baba halali mahakama hiyo imemwamuru bwana mahita kulipa malimbikizo ya gharama za matunzo ya mtoto huyo tangu mwaka ishirini sifuri tatu hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo mbele ya hakimu mkazi bibi suzan UNK ambapo mlalamikaji wa kesi UNK na wakili wa kituo cha sheria na haki za b... |
kesi hiyo ya madai ambayo bibi rehema alikuwa UNK mahakama kutamka wazi kuwa bwana mahita ndiye baba wa mtoto huyo na UNK kugharimia matunzo ya mtoto juma |
kwa mujibu wa hukumu hiyo pamoja na kutamka kuwa bwana mahita ndiye baba wa mtoto huyo anatakiwa kubaki kwenye uangalizi wa mama yake hadi atakapofikisha umri wa kujitegemea |
uamuzi wa mahakama hiyo ulifikiwa kutokana na ushahidi uliowasilishwa mahakamani hapo ambapo UNK bila kuacha shaka kuhusu madai hayo na bwana mahita kutakiwa kuhakikisha UNK masomo ya mtoto huyo kwani ndiye baba halali |
pia mdaiwa huyo ameamriwa kutoa shilingi kumi sifuri sifuri sifuri sifuri kila mwezi kama gharama za matunzo kwa mtoto na mama yake bibi rehema |
baada ya kusomwa hukumu hiyo upande wa wadaiwa UNK una haki ya kukata rufaa endapo UNK na uamuzi uliofikiwa na mahakama hiyo |
awali kesi hiyo ilifunguliwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambayo ilikuwa mbele ya hakimu mkazi bibi UNK UNK ambaye sasa ni jaji wa mahakama kuu ya tanzania lakini ilifutwa mahakamani hapo na kuamriwa kufunguliwa katika mahakama ya wilaya kutokana na maelekezo ya sheria |
bwana mahita katika kesi hiyo alikuwa UNK na wakili wa kujitegemea bwana charles UNK ambapo mshitakiwa huyo kupitia wakili wake walipinga vikali kuwa mtoto juma si mwanawe |
bibi rehema katika maelezo yake alisema kuwa alipata ujauzito wa mtoto juma wakati akifanya kazi za ndani kwa bwana mahita katika kipindi cha mwaka elfu moja na mia tisa na tisini na tano ambapo baada ya kuzaliwa kwa mtoto huyo bwana mahita alimtelekeza na kushindwa kutoa gharama za matunzo hatua iliyomfanya kufungua ... |
naye kulwa mzee anaripoti kuwa mwenyekiti wa tanzania labour tlp bwana augustino mrema UNK umoja wa wanawake wa chama hicho kwa kulipa gharama za wakili UNK bibi rehema |
bwana mrema alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na gazeti hili baada ya mahakama kutoa hukumu dhidi ya bwana mahita alisema wanawake wengi wanaangamia kwa kukosa msaada lakini wanawake wa tlp kwa kutambua hilo waliamua kumsadia mwanamke huyo kwa kuchangishana fedha na kupata wakili wa UNK |
hukumu hii inaonesha wazi jinsi mahakama UNK haki alisema mwenyekiti na kushauri vyama vingine vya siasa kuiga mfano wa chama chake kusaidia kisheria wanawake wenye shida wasiokuwa na uwezo |
UNK yalikuwa mepesi hayakukidhi haja za wananchi |
UNK wasiwasi baadhi ya maswali UNK |
shekhe issa UNK rais kukemea tishio la udini hamad rashid apongeza utaratibu wa papo kwa papo lakini |
slaa UNK waraka lipumba UNK muafaka mrema apongeza baadhi ya maswali aliyoulizwa rais jakaya kikwete jana kwenye utaratibu mpya wa muulize rais kwa kupiga simu kutuma barua pepe na kujibiwa moja kwa moja kupitia redio na televisheni UNK ufafanuzi wa kina kulingana na uzito wa masuala husika kama ilivyotarajiwa na weng... |
masuala yanayodaiwa rais hakuyatoa majibu fasaha ni pamoja na vita dhidi ya ufisadi safari zake za nje na nyaraka zinazotolewa taasisi za dini ambapo imedaiwa majibu yake yalikuwa mepesi na hayakukidhi haja ya wananchi |
mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha dar es salaam profesa mwesiga baregu aliliambia gazeti hili jana kuwa wananchi wengi waliondoka na kiu kubwa ya majibu kutokana na maswali mengi aliyoulizwa rais kikwete UNK kwa kina |
profesa baregu ambaye ni UNK wa masuala ya sayansi ya siasa na uhusiano wa kimataifa alisema majibu aliyotoa rais kikwete juu ya vita dhidi ya ufisadi hayalingani na uzito wa jambo hilo ambalo limechukua sehemu kubwa ya mijadala nchini takribani kipindi chote cha utawala wake |
suala la ufisadi UNK majibu ya kuridhisha kulingana na uzito wake UNK mpaka sasa ni moja ya mambo ambayo UNK muda mrefu katika kuyajadili bila kupata majibu sahihi |
alizungumzia takukuru tu kwa muda mrefu lakini ninavyojua mimi chombo hicho pia UNK kutuhumiwa katika vita dhidi ya rushwa kuwa UNK watu na hakifanyi kazi yake sawasawa sidhani kama kuongelea chombo hicho pekee ilikuwa ndio jibu sahihi la swali lile juu ya vita vya ufisadi alisema profesa baregu |
akizungumzia safari za mara kwa mara ambazo rais kikwete amekuwa UNK nje ya nchi profesa baregu alisema huenda rais hakuelewa mantiki ya UNK swali hivyo kujikuta akijibu tofauti |
alisema mantiki ya swali lile lilikuwa ni kutaka kujua umuhimu wa safari hizo ambapo muda mwingi rais kikwete amekuwa akitumia kuzunguka kuomba misaada kwa nchi tajiri kuisaidia tanzania badala ya kuiuza nchi kwa kutumia maliasili zilizopo na kutafuta wawekezaji makini wanaoweza kusaidiana na serikali UNK |
swali lile nahisi UNK chenga safari zake hizo za nje badala ya kutuingizia nafikiri zimekuwa UNK cost zaidi badala ya kutumia fursa hiyo kutambulisha rasilimali zetu UNK ili UNK wananchi wote amekuwa akienda kuomba misaada |
mbali ya kuwa unapoomba unajinyima uwezo wa kujitegemea lakini pia hakuna nchi UNK kitu bure hivyo swali UNK tutaendelea kuomba omba mpaka lini |
alihoji profesa baregu |
huku akionekana kuwa na wasiwasi na utaratibu uliotumika kuwasiliana na rais akisema kuwa inawezekana baadhi ya maswali yalikuwa yameandaliwa mapema profesa baregu alisema suala la nyaraka za taasisi za dini nalo pia UNK majibu muafaka |
alisema haoni mantiki ya majibu ya rais kikwete kuwa nyaraka hizo UNK mgawanyo miongoni mwa UNK |
nafikiri nyaraka hizo kwa jinsi UNK na kuzielewa zililenga kupata viongozi waadilifu na kwa hakika viongozi wa dini wana wajibu wao katika jamii kuhakikisha kuwa maadili yanakuwepo sasa vipi UNK matatizo |
ingawa pia viongozi wa dini walitakiwa kuunganisha nguvu zao za madai pamoja lakini kama taifa linalotaka kuwa na viongozi waadilifu basi rais hakuwa na haja ya UNK alisema profesa baregu |
kwa upande wake shekhe mohamed issa ambaye ni mwanazuoni na mchambuzi mahiri wa masuala ya dini alisema wanashukuru kuwa hatimaye rais kikwete amezungumzia masuala hayo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu |
shekhe issa alisema rais anastahili kupongezwa kwa hatua hiyo ya kuzungumzia hatari ambayo taifa linanyemelewa kwa UNK na mambo ya kidini lakini akahoji kwa nini hatua hiyo imekuja baada ya waislam kutoa mwongozo wao |
waraka wa wakatoliki umetolewa karibu miezi tisa nyuma tunaamini kabisa rais kikwete alijua kwa kutumia njia zake za kupata habari anajua mambo ya waraka toka januari lakini alikaa kimya |
lakini mara zote katika nchi hii hatari imekuwa inaonekana pale waislam wanapoamua ku UNK katika UNK yao hapo ndipo watu huanza kusema kuna hatari na hali hii imekuwepo toka awamu ya kwanza ya utawala wa nchi hii alidai mwanazuoni huyo |
akizungumzia kuhusu waraka na mwongozo alisema kuwa kimsingi demokrasia inahusisha mambo mengi ikiwemo kusikiliza na kusimamia maoni yanayotolewa na makundi ya kijamii |
alisema hakuna tatizo kwa makundi mbalimbali ya kijamii kama yale ya kidini walemavu wawindaji na mengine kutoa maoni na malalamiko yao kupigania haki au stahili yao lakini itakuwa vibaya tu endapo kundi moja litatoa maelekezo ya kukandamiza maslahi ya makundi mengine |
mfano watu wenye ulemavu wa ngozi wenye virusi vya ukimwi wahadzabe wote UNK ya kutoa maoni yao jinsi UNK kutimiziwa stahili zao UNK tu UNK maslahi ya makundi mengine |
hivyo hakukuwa na makosa kwa watu wa dini kutoa utashi wao kwa serikali au vyama vya siasa UNK namna gani wanapaswa UNK ikiwa ni mojawapo ya michakato ya demokrasia |
ilani ya wakatoliki na mwongozo wetu haina shida labda tatizo liko kwa ule waraka wa kichungaji ambao umeweka mambo ya kidini zaidi hivyo sisi tunasisitiza UNK yeyote yule bila kujali dini ilimradi atimize haki zetu za msingi alisema |
naye kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni bwana hamad rashid mohamed amesema mbali na kuridhishwa na utaratibu mpya wa rais jakaya kikwete kujibu maswali ya wananchi papo kwa papo kupitia vyombo vya habari amesikitishwa na kiongozi huyo kuwa kigeugeu katika suala la muafaka wa kisiasa visiwani zanzibar |
bwana hamad alidai rais kikwete ndiye kikwazo kikubwa cha kupatikana muafaka visiwani zanzibar kwani wakati UNK bunge alisema kuwa ajenda zote tano zilizokuwa UNK baina ya ccm na cuf zimemalizika lakini baadaye alikuja na ajenda ya sita ya kupigakura ya maoni kwa wananchi |
rais kikwete ni mwepesi wa kujua matatizo yanayojitokeza katika jamii lakini ni mzito wa kutoa majibu jambo ambalo ni hatari sana hasa kwa suala kama la muafaka visiwani zanzibar alisema bwana rashid |
alidai kuwa vyama vyote katika vikao vyake UNK kwa pamoja mambo yote UNK kwenye ajenda tano ambazo UNK lakini cha kushangaza wakati wakielekea mwisho rais akaja na ajenda ya sita ya kupigakura za maoni kitendo ambacho hakiwezi kuleta suluhu kutokana na udhaifu uliopo kwenye chaguzi zote |
huwezi kuwa na double UNK kwamba mazungumzo yamemalizika lakini unakuja na ajenda nyingine ya kura za maoni kwa madai kuwa kuna mabadiliko makubwa ya katiba na utendaji wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar alisema na kuongeza kuwa shughuli ya uchaguzi zanzibar haiaminiki kwa nini ulete kura ya maoni |
alisema dosari hiyo inaweza kuigharimu zanzibar kwani UNK za muafaka zinaanza aliahidi kufanyika kwa wiki tatu lakini cha kushangaza imechukua zaidi ya wiki kumi na nane bila ufumbuzi |
naye mbunge wa karatu daktari wilbroad slaa alisema rais kikwete UNK kuhusu waraka uliotolewa na kanisa katoliki kuelimisha wanaumini wao namna ya kuchagua viongozi kwenye uchaguzi mkuu ujao mwakani kwa kueleza kuwa una hatari kwa mustakabali wa taifa |
daktari slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa chadema alidai rais kikwete alipaswa kusoma vizuri waraka huo na kuuelewa |
rais alitakiwa kuusoma vizuri waraka huo kabla UNK suala hilo mbele ya wananchi ambao wengi wa UNK wameonesha kuukubali alisema |
alisema rais kikwete alipaswa kuwapongeza wanataaluma wakatoliki kwa UNK waraka huo kwani unalenga kutoa elimu kwa watanzania hususan katika kipindi hiki cha kuelekea katika uchaguzi mkuu |
UNK mtu yeyote anayepinga waraka huu kwani UNK kuchagua kiongozi kutokana na dhehebu au dini UNK bali UNK jinsi ya kumpata kiongozi UNK na rushwa na ubinafsi alisema daktari slaa |
naye mwenyekiti wa chama cha wananchi profesa ibrahim lipumba alisema chama chake UNK na majibu ya rais kikwete kwani alipaswa kuelezea undani wa suala la muafaka wa ccm na cuf lakini hakufanya hivyo |
kwa kweli majibu aliyotoa UNK |
UNK barua zaidi ya nne kuhusu jambo hilo lakini hadi sasa hakuna hata moja UNK alisema profesa lipumba |
kuhusu waraka wa kanisa katoliki profesa lipumba alisema wameshangazwa majibu ya rais kikwete kwani pamoja na malalamiko yote vipo vipengele umuhimu vyenye manufaa makubwa |
akizungumzia ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania kama ilani ya chama cha mapinduzi inavyoeleza profesa lipumba alisema hali ya maisha inazidi kuwa ngumu siku hadi siku |
alisema rais kikwete anakosea kutumia kigezo cha huduma za jamii kama afya na elimu kwani idadi ya vifo vya kina mama wajawazito na watoto inaongezeka siku hadi siku |
mwenyekiti wa tanzania labour bwana augustino mrema alisema kuwa ufisadi uliokithiri nchini ndicho chanzo cha nyaraka zinazotolewa na madhehebu kwani watu wamechoshwa na hali hiyo |
alisema wananchi wamechoshwa kuona watu wachache wanafaidi rasilimali za umma na wengine wakiumia kwa umasikini wa kutisha |
hata hivyo bwana mrema alimpongeza rais kikwete kwa jitihada zake za kupambana na mafisadi kwa kuwa ndiye rais wa kwanza kushughulikia kero hiyo na kumshauri kuongeza nguvu zaidi |
na grace ndossa chama cha demokrasia na maendeleo kimetoa mafunzo kwa viongozi wote wa wilaya ya temeke ili waweze kukabiliana na changamoto zilizopo ndani ya chama hicho na wilaya hiyo |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.