text stringlengths 1 1.32k |
|---|
umefuata nini hapa |
kwanza unajua leo ni siku gani |
wewe UNK kwenda wapi mimi siyo mwajiriwa wa rites pigeni simu india mkawaulize naomba UNK toka nje au UNK walinzi UNK hapa UNK bwana UNK |
wakati huo huo vikao vilivyokuwa vikiendelea katika wizara ya miundombinu takribani siku tano mfululizo UNK viongozi kutoka trawu rahco na menejimenti ya rites chini ya waziri daktari shukuru kawambwa UNK bila muafaka kupatikana |
akizungumza na majira kwa njia ya simu dar es salaam jana msemaji wa wizara ya miundombinu bwana martin ntemo alisema kuwa vikao UNK kutatua matatizo ya trl UNK juzi ambapo kila mmoja anashikilia msimamo wake hasa rites kwa kuanza kusimamisha injini na mabehewa yao |
mkuu wa wilaya UNK ffu wakaa chonjo |
jwtz UNK yasema jeshi sio katili wakati kampeni ya kuwaondoa wananchi walioweka makazi katika eneo la loliondo lililoko katika hifadhi ya ngorongoro ikiendelea baadhi ya wananchi waishio katika eneo hilo jana walivamia lango la ikulu jijini dar es salaam wakitaka kuonana na rais jakaya kikwete kuhusiana na mgogoro huo... |
akizungumzia suala hilo msemaji wa wakazi hao UNK majengo yao bibi paulina UNK alisema kuwa waliamua kwenda ikulu kupata tamko kutoka kwa rais mwenyewe kwa kuwa hawana mahali pa kuishi kutokana na makazi yao kubomolewa |
nia yetu kubwa ya kuja hapa ni kuonana na rais kwa sababu sisi ni wapiga kura wake halali UNK kwa kura zote na tunasikitishwa na kitendo cha kuondolewa bila hata UNK zozote alilalamika |
hata hivyo baada ya mkuu wa wilaya ya ilala bwana evans balama kuwasili maeneo ya ikulu na kuzungumza nao waliamua kuondoka na kuazimia kwamba endapo tatizo lao halitapatiwa ufumbuzi atarudi tena na safari hii watalala katika lango kuu la ikulu |
bwana balama aliwashukuru kwa kuwa waelewa na kuwajibu kwamba rais asingeweza kuonana nao kwa vile alikuwa kwenye kikao muhimu |
hata UNK UNK kesho sina uhakika kama UNK nae alisema hata hivyo mkuu huyo wa wilaya alikabidhiwa tamko la wakazi hao ili UNK kwa rais jakaya kikwete mwenyewe |
kamanda wa kanda maalum ya dar es salaam suleiman kova na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia walifika katika eneo hilo ingawa hawakuchukua hatua yoyote baada ya mkuu wa wilaya kuwatuliza wananchi hao |
naye gloria mhiliwa anaripoti kuwa waziri wa maliasili na utalii bibi shamsa mwangunga amezungumzia mgogoro uliopo loliondo wilayani ngorongoro kufuatia serikali kuendesha operesheni ya kuwaondoa wafugaji waliojenga kwenye kitalu cha uwindaji na kusema kuwa operesheni hiyo ilifanyika kwa maslah ya taifa |
waziri mwangunga aliyasema hayo jana ngorongoro muda mfupi baada ya makabidhiano ya mradi wa asasi ya UNK kwa baraza la wafugaji wa ngorongoro pamoja na halmashauri ya wilaya ya ngorongoro ambapo alisema kuwa operesheni ya kuwaondoa wafugaji hao ilifanyika kwa utulivu isipokuwa baadhi ya taasisi zisizokuwa za kiserika... |
alisema kuwa eneo la loliondo ni pori tengefu ambalo UNK serikali fedha nyingi sana na wananchi wa eneo hilo kupitia makubaliano yao na mwekezaji wa kampuni ya uwindaji ya UNK business company ambapo kwa mwaka serikali inapata milioni hamsini sifuri na wananchi wa vijiji nane UNK na eneo hilo la obc hupewa kila mwaka ... |
alisema serikali haiwezi kukaa kimya kuona uharibifu wa mazingira UNK loliondo kwa kuwaacha watu wakate miti ya kujenga maboma pamoja na kuendeleza shughuli za kilimo |
alisema kuwa wananchi wa vijiji hivyo hususani katika eneo la pembezoni na eneo la uwindaji waliruhusiwa kupeleka mifugo kwa ajili ya malisho lakini siyo kujenga maboma ambapo hukata miti mara kwa mara ama kulima na kwamba kufanya hivyo ni kuharibu mazingira ambayo yatasababisha kutoweka kwa wanyamapori |
alisema kuwa bila ya pori la loliondo hifadhi ya taifa ya serengeti UNK kwa kuwa maji yote ya hifadhi hiyo kama mto grumeti vyanzo vyake vipo kwenye msitu wa loliondo pia ni mapito ya wanyamapori kutoka ngorongoro serengeti kwenda masai mara nchini kenya pia ni chanzo cha maji cha loliondo yenyewe |
alisema kuwa uharibifu wa mazingira kwenye eneo hilo la msitu ulianza taratibu kuanzia mwaka ishirini sifuri sita na ndipo serikali ilipoamua kuanzisha operesheni hiyo julai nne ya mwaka huu ambapo viongozi wa vijiji walishirikishwa inagawa waziri mwangunga alikiri kuwa kulikuwa na mapungufu kidogo katika kuwashirikis... |
mimi mwenyewe nimekwenda loliondo mara nyingi tangu mgogoro huo uanze lakini UNK UNK wala UNK chakula chake kama nilivyosema hapo awali baadhi ya taasisi ndizo UNK wananchi zinawapa nauli kwenda dar na kuwaeleza mambo ya kuzungumza kwa nini wawaeleze vitu vya kuzungumza hapa kuna maslahi binafsi inatakiwa UNK alisema ... |
wakati huo huo jeshi la ulinzi la wananchi limetoa tahadhari kuwataka wananchi wa kata ya UNK arusha kutoandamana kwenda ikulu kwa kuwa mgogoro huo ulikuwa UNK ufumbuzi |
akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya jeshi hilo jana mnadhimu mkuu wa jwtz luteni kanali abraham shimbo alisema waziri wa ulinzi na jkt daktari hussein mwinyi na mkuu wa majeshi jenerali davis mwamunyange wametoa maelekezo ya muafaka wa kumaliza mgogoro huo |
alisema jeshi hilo haliwezi kuwa katili kwa wananchi wake UNK japokuwa UNK ardhi hiyo kwa mujibu wa sheria sawa na taasisi nyingine kulingana na sheria ya ulinzi wa taifa ya mwaka ishirini sifuri mbili alisema ardhi inayomilikiwa na jeshi hutumika kuweka kambi zana za ulinzi mafunzo mazoezi shule maghala karakana hosp... |
UNK mali |
alisema baadhi ya wananchi wamekuwa UNK ardhi ya jeshi UNK eneo la wazi au msitu bila kujua eneo hilo limetengwa kwa kazi hizo |
luteni kanali shimbo alisema wananchi ndiyo wanaofuata huduma katika kambi za jeshi lakini badala yake wamekuwa wakali kuondoka UNK kufanya hivyo kupisha kazi nyingine |
aliwashauri wananchi wanaofuata huduma katika kambi za jwtz kuanza ujenzi baada ya kupata ridhaa ya manispaa zinazohusika na wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi |
kamati kuu ya ccm imeridhia utaratibu UNK rais jakaya kikwete wa kuwapa fursa wananchi kuhoji serikali yake kwa kumuuliza maswali ya papo kwa papo kwa kuwa unafaa licha ya kupingwa na wanasiasa |
UNK na gazeti hili dar es salaam jana katibu wa itikadi na uenezi wa UNK kuu ya taifa ya ccm bwana john chiligati alisema cc imeona utaratibu huo unafaa kwa sababu UNK rais kujua matatizo ya wananchi moja kwa moja |
kikao kimeona utaratibu huo unafaa na UNK wanasiasa uchwara UNK mfumo huo na kwa kauli moja |
wamekubaliana na wao UNK rais aendelee kutumia mfumo huo katika siku za usoni alisema bwana chiligati |
alisema mfumo huo ni mzuri na wa kihistoria kwani haujawahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru kwa kuwa UNK wananchi wengi kwa wakati na haraka zaidi na kwa kujua kero zao UNK watakuwa wakizitoa papo hapo na UNK |
alibainisha kuwa cc ilijadili mfumo UNK na rais kikwete ambapo kikao hicho UNK kuwa unafaa na uendelee UNK licha ya kupingwa na wanasiasa wa vyama vya upinzani |
bwana chiligati alisema tafiti UNK kwa muda mfupi umebaini kuwa mfumo huo unapendwa zaidi na wanachi wa hali ya chini kuliko aliokuwa akitumia awali |
wakati huo huo kikao hicho kimeweka mikakati ya kuhakikisha ccm inashinda viti vyote katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika oktoba ishirini na tano mwaka huu |
wabunge wa bunge wa kenya wamefurahishwa na taratibu za manunuzi zinazotumika nchini na kuwezesha vifaa UNK na serikali kupatikana kwa wakati tofauti na nchini mwao |
ziara ya wabunge hao sita nchini iliyomalizika mwishoni mwa wiki ilikuwa ni utekelezaji wa ahadi ya rais mwai kibaki ya kuwatuma nchini wabunge wa nchi hiyo kuja kujifunza jinsi tanzania UNK taratibu za manunuzi |
akizungumza kwa niaba ya wabunge UNK mbunge wa jimbo la UNK kati bwana devid UNK ekwee alisema wameridhishwa na utaratibu mzima unaotumiwa na tanzania kuagiza vivuko kutoka nje na jinsi wataalam wazalendo wanavyoweza UNK kwa muda mfupi |
alisema serikali ya kenya imekuwa ikisubiri kwa muda wa miaka saba kupata kivuko chenye ukubwa wa tani hamsini sifuri bila mafanikio wakati tanzania iliweza UNK kwa muda wa miaka miwili |
bwana ekwee alisema kutokana na rais mwai kibaki kuvutiwa na utaratibu unaotumiwa na tanzania aliamua kuwatuma waje nchini kujifunza mwenendo mzima wa manunuzi ili baadaye waweze kutuma wahandisi wao kupata uzoefu |
akizungumza na wabunge hao mkurugenzi wa huduma za ufundi wizara ya miundombinu bwana john ndunguru alisema kivuko cha mv |
magogoni kimenunuliwa na serikali kutokana na bajeti yake ya mwaka ishirini sifuri sita ishirini sifuri saba ambapo mkataba wa ujenzi wa kivuko hicho ulisainiwa octoba ishirini sifuri sita na ujenzi kuanza novemba ishirini sifuri saba alisema kivuko hicho UNK na watanzania kulingana na viwango vya kimataifa vinavyosim... |
kivuko hicho kina urefu wa mita sabini na nne moja upana wa mita kumi na saba arobaini na nne kimefungwa injini nne mpya zenye arobaini sifuri hp kila moja aina ya UNK r mitambo ya uendeshaji aina ya UNK UNK jet mawasiliano life UNK UNK na vifaa vya kisasa kuongoza UNK |
wakati kukiwa na tetesi kuwa waziri mkuu aliyejiuzulu bwana edward lowassa anaweza kugombea kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao mwanasiasa huyo ameweka bayana kwamba hataki kuzungumza jambo lolote na waandishi wa habari |
bwana lowassa aliweka msimamo huo alipozungumza na gazeti hili kwa njia ya simu alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusu tetesi hizo |
alipopigiwa simu na gazeti hili bwana lowassa kama kawaida yake alitoa ushirikiano mzuri mwanzoni mwa mazungumzo lakini UNK kuwa anazungumza na mwandishi kutoka chumba cha habari gazeti la majira kabla ya kuelezwa UNK alisema UNK sitaki kuongea na waandishi wa habari kuhusu jambo lolote lile hapa nchini i won t give m... |
baada ya kutoa kauli hiyo bwana lowassa alikata simu yake kabla ya kuelezwa chochote zaidi |
gazeti hili lilimtafuta bwana lowassa ili kujua ukweli kuhusu tetesi kuwa ana mpango wa kugombea urais mwaka ishirini moja sifuri pamoja na kuwepo na taarifa hizo katika vyombo vya habari mara kwa mara bwana lowassa amekuwa kimya hali inayowafanya wananchi wengi kuwa na kiu ya kutaka kujua msimamo wake |
bwana lowassa ambaye bado anakumbukwa kwa ujasiri wake katika baadhi ya masuala kama vile kuvunja mkataba mbovu wa city water na ufuatiliaji wa maamuzi mbalimbali ya serikali na yale aliyokuwa UNK na wakubwa wake bila kuchoka alijiuzulu wadhifa wake uwaziri mkuu februari mwaka jana baada ya kuwajibika kutokana na yali... |
tangu wakati huo bwana lowassa amekuwa kimya kiasi cha kufikia hatua watu kutoa tafsiri mbalimbali na kuwakanganya wachambuzi wa masuala ya siasa nchini |
wengine wamekuwa wakiona ukimya huo kama moja ya mikakati mkali kuhakikisha anarudi katika chati ya juu kisiasa na wengine wakidhani ni hatua muhimu ya kutotaka kujiingiza kwenye malumbano ya kisiasa |
wengine wamekuwa UNK kitendo hicho cha kukaa kimya katika masuala mengi ya kitaifa ambayo kama mtu mwenye ushawishi wa kisiasa na kijamii alipaswa kusikika UNK maoni |
hivi karibuni gazeti hili lilimtafuta bwana lowassa ili atoe maoni yake kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya richmond yaliyowasilishwa bungeni na serikali ambapo kama ilivyokuwa jana alikataa kutoa maoni yake |
ni wapambanaji wa vita dhidi ya ufisadi |
yasema UNK mabegani na mafisadi |
yadai UNK iwapo UNK wenyewe chama cha mapinduzi mkoa wa dar es salaam kimewataka wabunge wake UNK kupambana na ufisadi kuacha kubebwa mabegani na mafisadi vinginevyo jamii UNK |
kombora hilo dhidi ya wabunge UNK lilitolewa juzi na katibu wa ccm mkoa wa dar es salaam bwana UNK nggenda wakati akifungua semina ya viongozi wa mashina na matawi katika kata ya ukonga |
unakuta hawa wapambanaji wanapambana na ufisadi lakini ukiwaangalia nao wamebebwa mabegani na mafisadi kwa kulipwa posho na vitu vingine hii UNK maana halisi ya wao kupambana na ufisadi alisema bwana nggenda na kuongeza ili UNK maana wanatakiwa wasimame wenyewe UNK ndipo itakuwa na maana kwa kuwa chama chetu UNK mafis... |
kuna kundi la wabunge wa ccm ambao wanasema watapambana na mafisadi kufa na kupona ndani ya chama sisi tunasema kuwa vita ya ufisadi ni kubwa ambayo inatakiwa kupambana na wana ccm pamoja na wananchi wengine kwa ujumla na sio kikundi cha watu alisema na kuongeza kuwa alibainisha kuwa hata mjadala ulioendeshwa kwenye m... |
wabunge waendelee UNK mambo mbalimbali wananchi wana matatizo makubwa ambayo wanatakiwa kuyajadili lakini mijadala yote hiyo izingatie maslahi ya ccm na serikali yake hivyo hakuna UNK mdomo alisema |
alisema kuwa baadhi ya watu wamekuwa UNK hoja za ccm na kuzifanya kuwa za malumbano bila hata ya ccm yenyewe UNK |
alisema mwenendo huo unatia shaka |
kwa siku za karibuni baadhi ya wabunge wa ccm wamekuwa mstari wa mbele kupiga vita vitendo vya ufisadi ndani na nje ya bunge kiasi cha kuibua mjadala miongoni mwa wana ccm wenyewe |
tayari baadhi ya wabunge hao wameapa kuendeleza mapambano dhidi ya mafisadi hata kama UNK maisha |
katika mkutano wa kumi na sita wa bunge la jamhuri ya muungano spika wa bunge bwana samuel sitta aliiomba serikali UNK ulinzi kutokana na kutishia usalama wake na mafisadi |
wabunge wengine wa ccm ambao wamekuwa mstari wa mbele kupita vita ufisadi na majimbo yao kwenye UNK ni bwana jemes lembeli fred mpendazoe daktari harrison mwakyembe christopher ole sendeka na lucas selelii |
na zamzam abdul mwenyekiti wa democratic party mchungaji christopher mtikila amewapa wiki mbili viongozi wa serikali wanaoipinga taasisi ya upatu ya deci kuacha mara moja kuifuatilia na kushauri watafute shughuli nyingine za kufanya |
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja wa jangwani dar es salaam jana mchungaji mtikila alidai anawashangaa viongozi UNK kufanya shughuli zao na kufuatilia mbegu UNK wananchi wa tanzania |
nataka niwaambie viongozi pamoja na wanachama wa deci wasiwe na wasiwasi kwani dp iko nao pamoja katika kuwatetea japokuwa waliniambia UNK mkutano wangu jangwani kwani UNK matatizo na kuonekana nafanya siasa |
mimi UNK mpaka mwisho kwa sababu wamekuwa wakifanya kazi nzuri sana alidai |
mchungaji huyo wa kanisa la UNK kamili alidai anawashangaa viongozi wa benki kuu ya tanzania kusema deci haijasajiliwa wakati viongozi hao na wa deci wamekuwa UNK tangu zamani sasa leo UNK wenzao na kusema hawaitambui taasisi hiyo kwani UNK |
tunasema mpango wa kuifungia mbegu yenye faida UNK akilini kabisa |
hao wanaoipinga deci kama wanatafuta fedha kijanja wakatafute kwa njia nyingine lakini sio njia hiyo ya kuifungia alidai bwana mtikila katika mkutano huo ambao hata hivyo UNK na wana deci wengi kama ilivyotarajiwa |
alisema wataendelea kuitetea deci kwa gharama yoyote ile kama walivyofanya mkutano huo wa jangwani bila gharama japokuwa wenyewe wana deci UNK vita |
UNK wanachama wa deci waendelee kupanda na kuvuna wala wasiwe na wasiwasi wasiogope mtu yeyote kwani wajue huduma hiyo UNK na wakumbuke watashinda tu kwa ushindi wa UNK |
wakati serikali ikisisitiza nia yake ya kupinga hukumu UNK huru aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa dar es salaam bwana abdallah zombe na wenzake kitabu kinachoelezea UNK wa kesi hiyo UNK na UNK katika maeneo mbalimbali nchini |
bwana zombe na wenzake walikuwa wakikabiliwa na mashitaka ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi mmoja mwaka ishirini sifuri sita mwandishi wa kitabu hicho bwana charles mullinda alisema kitabu hicho kinaelezea matukio muhimu tangu kutokea kwa mauaji hayo uchunguzi wake kukamatwa kwa polisi wali... |
kitabu hiki kinaitwa kesi ya zombe UNK na UNK tayari kimeanza kusambazwa sehemu mbalimbali nchini anasema |
anasema pamoja na kitabu hicho kuwa na mambo mengi ya msingi tetesi zilizopo ni juu ya kitabu hicho kununuliwa kwa wingi na kundi la watu ambao UNK kwa sababu UNK |
bwana mullinda alisema kuwa aliamua kuandika kitabu hicho kutokana na mvuto wa kipekee wa kesi hiyo ambayo ilikuwa UNK kwa karibu na watanzania wengi |
aliongeza kuwa lengo la kuandika kitabu hicho ni kuweka kumbukumbu ya kudumu ya tukio hilo la kihistoria katika nchi na kuwawezesha watu waliokosa nafasi ya kufuatilia kesi hiyo kujua mwenendo wake |
kitabu hiki UNK mambo ya kawaida yaliyotokea katika kesi hiyo lakini UNK na taarifa UNK kuwa UNK kwa wingi na kundi la watu ambalo mimi UNK na UNK ili kisiweze kusomwa na watu mbalimbali alisema |
kampuni ya mafuta ya gapco imezindua kampeni ya kuelimisha wateja ya UNK wa kuaminika kupitia misingi ya usafi na uaminifu ili kupambana na UNK mafuta |
ofisa mkuu wa operesheni wa gapco bwana godfrey UNK alisema jana dar es salaam kuwa kampeni hiyo ambayo imezinduliwa katika vituo kumi na tisa vya mafuta katika jiji la dar es salaam inalenga kuwaelimisha wateja kujua mafuta halisi na feki |
alisema kutokana na huduma bora UNK na gapco imetoa mafunzo kwa wafanyakazi wake jinsi ya kutumia pampu za kujaza mafuta kwa uaminifu na kuwapa wateja mafuta bora kwa magari yao |
awali mwenyekiti wa wafanyabiashara wa mafuta nchini bwana george UNK alisema serikali inapaswa kuwachukulia hatua kali wafanyabiashara wanaouza mafuta kiholela na kuhatarisha maisha ya wananchi ambao wanaweza kuteketea kwa moto na kuleta maafa makubwa endapo kutatokea mlipuko |
alisema kutokana mafuta hayo kuuzwa holela mitaani kwenye madumu na mapipa imefika wakati serikali UNK hatua kali watu wanaokwenda kuuza mafuta hayo stendi ya mabasi ya mikoani ubungo na sehemu nyingine za kurasini na temeke |
naye waziri wa nishati na madini bwana william ngeleja alisema serikali imekuwa ikipambana na wafanyabiashara wasio waaminifu wanaochakachua mafuta na kuharibu sifa ya tanzania |
alisema kutokana na mapambano hayo gapco imeonesha nia ya kusaidia serikali ambayo UNK na kuthamini mchango wa sekta binafsi nchini |
alisema dawa ya wafanyabiashara wanaochakachua mafuta inakuja baada ya ewura na wafanyabiashara wa sekta hiyo kubuni njia ya kumaliza tatizo hilo |
serikali imesema inachunguza kwa kina kubaini endapo haki za binadamu zilikiukwa wakati wa operesheni ya kuhamisha wafugaji wa pori tengefu la loliondo mkoani arusha na endapo itabainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa |
akizungumza na waandishi wa habari dar es salaam jana waziri wa maliasili na utalii bibi shamsa mangunga alisema kwa sasa UNK kwa kina kama kuna haki za binadamu zilikiukwa au la mpaka hapo watakapofanya uchunguzi |
serikali imeamua kulifanyia uchunguzi suala hilo na endapo ikibainika kuwa haki za binadamu zilikiukwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa ili iwe fundisho kwa wengine alisema bibi mangunga alisema kama ikibainika kuwa kuna taasisi zozote za misaada au kuna mkono wa mtu kwa namna moja au nyingine UNK na uchochezi wak... |
bibi mangunga alisema inashangaza kuona kuna taasisi zaidi ya thebathini ambazo zipo loliondo hivyo UNK kuna kitu gani ambacho kinafanyika huko kiasi kwamba taasisi zote UNK huko |
kuna baadhi ya taasisi UNK na waandishi wa habari na UNK umma kuwa katika operesheni hiyo kuna wanawake walibakwa mifugo kuchomwa moto na nyumba hivyo UNK safari mpaka huko na kuzungumza na wananchi kuhusiana na matukio hayo lakini wananchi wa huko walikana kutokea kwa vitendo hivyo alisema chama cha walemavu tanzania... |
akizungumza dar es salaam jana mwenyekiti wa chawata bibi shida salum alisema mazungumzo ya rais hayakuzingatia mahitaji ya walemavu wa kusikia |
alisema kukosekana mkalimani wa lugha za ishara UNK walemavu hao haki ya kupata habari hivyo kushindwa kushiriki katika kuuliza UNK |
tumepeleka malalamiko kwenye kamati ya maendeleo ya jamii na hatuelewi kwa nini walemavu wasiosikia hawapewi nafasi ya kujua kinachoendelea katika nchi yao |
alisema |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.