id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
12769
42
ni kiasi gani cha tiketi za gari la moshi hadi kisumu
transport_query
12770
42
nionyeshe ratiba za gari za moshi zinazotoka prague hadi brno
transport_query
12771
42
pata treni kutoka eldoret hadi kisumu
transport_query
12772
11
usafiri
transport_traffic
12773
11
utitiri
transport_traffic
12774
11
jamu
transport_traffic
12775
11
nieleze maelezo ya usafiri kutoka nairobi kuelekea mombasa
transport_traffic
12776
11
hali ya trafiki kutoka nairobi hadi kisumu iko vipi
transport_traffic
12777
11
nionyeshe msongamano wa magari ya sasa karibu nami
transport_traffic
12778
54
kupanga teksi
transport_taxi
12780
54
igiza uber sasa hivi
transport_taxi
12782
42
unaweza kunionyesha mwelekeo kuenda makumbusho ya ndege huko eldoret
transport_query
12784
11
nipe ripoti ya sasa ya trafiki
transport_traffic
12785
42
nyakati za gari la moshi
transport_query
12786
42
treni inafika saa ngapi
transport_query
12788
11
nipatie taarifa ya msongamano wa magari
transport_traffic
12790
2
weka tikiti ya gari la moshi kwenda nairobi
transport_ticket
12792
11
kuna uchelewaji wowote wa trafiki
transport_traffic
12793
11
kuna ajali yoyote nikienda kazini
transport_traffic
12794
42
siri kupata tiketi ya gari la moshi hadi nairobi
transport_query
12795
42
siri nipe bei ya tiketi ya gari la moshi
transport_query
12796
42
nipe nyakati za gari la moshi kutoka station hadi location
transport_query
12798
42
nipatie wakati wa gari la moshi hadi eneo kutoka stesheni
transport_query
12799
19
duka la ununuzi la mashati liko wapi
recommendation_locations
12801
2
kata tiketi ya treni kwenda nairobi
transport_ticket
12803
2
tafadhali kata tiketi ya treni kwenda nairobi
transport_ticket
12804
54
kutumia programu yangu
transport_taxi
12805
54
piga nambari ya simu
transport_taxi
12806
42
mahali pa treni
transport_query
12807
42
pahali pa nyakati za gari la moshi
transport_query
12808
42
eneo la nyakati za gari la moshi
transport_query
12809
42
nataka kwenda kicc
transport_query
12811
11
onyesha hali ya trafiki nairobi
transport_traffic
12812
54
pigia simu kampuni ya teksi
transport_taxi
12815
42
nipe maelekezo hadi eneo la benki langu lililokaribu zaidi
transport_query
12816
42
ni maelekezo gani ya kuelekea banda la piza kilicho karibu zaidi
transport_query
12819
42
unaweza kuhifadhi tiketi hadi nairobi kwa gari la moshi
transport_query
12820
11
onyesha trafiki
transport_traffic
12821
11
msongamano ya magari
transport_traffic
12822
42
nitafutie muda wa gari la moshi kuelekea nairobi
transport_query
12823
42
tafuta nyakati ya gari la moshi ya ny
transport_query
12825
42
unaweza nipatia msaa ya gari la moshi kwenda nairobi
transport_query
12829
54
niagizie teksi ya bolt saa hii
transport_taxi
12830
54
igiza teksi ya ola cha kituo cha nje
transport_taxi
12831
54
hifadhi teksi ya mtaa
transport_taxi
12832
2
niwekee nafasi ya tiketi ya treni ya leo mchana kwenda nairobi
transport_ticket
12833
2
alexa igiza tiketi la gari la moshi alasiri hii ya kwenda chicago
transport_ticket
12836
42
ni saa ngapi za gari la moshi
transport_query
12837
11
nieleze kuhusu hali ya trafiki sasa hivi
transport_traffic
12841
54
fungua lyft
transport_taxi
12842
54
google ita uber
transport_taxi
12843
54
hifadhi teksi hadi uwanja wa ndege kwa ajili yangu jioni
transport_taxi
12845
54
niagizie teksi leo jioni
transport_taxi
12847
2
unaweza kunihifadhia tiketi ya gari la moshi kutoka nairobi hadi nakuru ya kesho asubuhi
transport_ticket
12848
11
nijulishe kuhusu trafiki ya sasa katika uhuru highway
transport_traffic
12849
54
niandikie teksi ya uber kwenda nakuru
transport_taxi
12850
54
niwekee nafasi kwenye teksi ya uber ya kuenda mama ngina drive
transport_taxi
12852
42
nionyeshe njia inayoelekea eneo la simu yangu ya jana saa sita mchana
transport_query
12855
2
kata tiketi kwa ajili ya leo katika irctc kwa habari kuhifadhiwa
transport_ticket
12857
42
njia tafadhali
transport_query
12858
42
onyesha ramani
transport_query
12859
42
treni inayofuata kwenda nairobi ni lini
transport_query
12860
42
gari la moshi inayofuata inaondoka saa ngapi kwenda nairobi
transport_query
12861
42
treni inayofuata kwenda nairobi inakuja lini
transport_query
12862
11
iko msogamano wa magari
transport_traffic
12863
11
kuna mambo na trafiki leo
transport_traffic
12865
42
niambie wakati ambao gari la moshi huenda mombasa kutoka nairobi
transport_query
12867
54
uber tafadhali
transport_taxi
12868
54
nitafutie dereva wa teksi mzuri
transport_taxi
12870
11
trafiki tafadhali
transport_traffic
12871
2
niwekee nafasi ya tikiti ya gari la moshi kwenda nairobi
transport_ticket
12876
54
pigia rta ku hifadhi teksi ya saa tatu asubuhi
transport_taxi
12878
42
onyesha gari la moshi zinazoenda mombasa baada ya saa nane mchana jumamosi
transport_query
12879
42
tafuti treni ya mapema zaidi ya kisumu ya wikendi na likizo
transport_query
12880
42
gari la moshi linafika lini kituo cha kings cross
transport_query
12881
42
gari la moshi ya virgin itawasili saa ngapi manchester
transport_query
12884
11
kuna msongamano mkubwa wa magari
transport_traffic
12887
42
ni kiasi gani ya gari la moshi uwekaji tiketi
transport_query
12889
54
naweza kupata teksi nyumbani kutoka jiji la westlands haraka iwezekanavyo
transport_taxi
12890
2
nunua tiketi ya gari la moshi ya nairobi siku ya alhamisi
transport_ticket
12893
2
nakuomba unishikie tikiti ya gari la moshi
transport_ticket
12894
2
nisaidie kuagiza tiketi ya gari la moshi
transport_ticket
12896
42
tafadhali kata tiketi kwenye treni namba sabini na tatu kwa kutumia kadi yangu ya benki
transport_query
12897
2
ninahitaji tikiti ya daraja la dhahabu kwenye gari la moshi namba tano kwa kutumia kadi yangu ya mkopo
transport_ticket
12900
2
salama gari la moshi kifungu kwa ajili yangu juu ya julai tatu
transport_ticket
12902
42
nafaa kujua gari la moshi la nne inatoka saa mgapi
transport_query
12903
42
niambie saa za treni
transport_query
12906
54
siri tafadhali hifadhi teksi inayofuata saa tatu asubuhi
transport_taxi
12907
54
tafadhali tuma teksi nyumbani kwangu
transport_taxi
12909
42
treni itachelewa leo huko nairobi
transport_query
12910
42
kuna gari la moshi ambayo ina kuja dallas leo alasiri
transport_query
12911
54
ninahitaji usafiri katika saa ijayo
transport_taxi
12912
54
naweza pata teksi ya kuja kwa nyumba yangu katika saa moja
transport_taxi
12913
54
nipigie teksi nifike leo usiku saa kumi na moja
transport_taxi
12914
2
ninahitaji kukata tikiti ya gari la moshi ya kwenda mombasa
transport_ticket
12915
2
ninahitaji kukata tikiti ya treni kwenda nairobi
transport_ticket
12916
54
niandikie teksi ya saa saba mchana
transport_taxi
12917
54
ambia mtu wa teksi akuje anichukue saa kumi jioni
transport_taxi
12918
54
tafadhali olly fungua programu ya uber unitafutie gari
transport_taxi
12920
42
hujambo gari la moshi la nne linatoka kituo cha gari la moshi saa ngapi
transport_query