id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
12630
42
ni madam gani wa kuondoka kwa garimoshi huko nairobi
transport_query
12631
54
nitafutie teksi kwenda kwa uwanja wa ndege sahii
transport_taxi
12632
54
nahitaji teksi kunichukua nyumbani na kunipeleka katikati mwa jiji
transport_taxi
12633
42
nifikishe kwenye kituo cha reli kilicho karibu
transport_query
12635
2
tafuta treni isiyosimama kwenda nairobi
transport_ticket
12636
11
trafiki inaonekanaje kuelekea nairobi
transport_traffic
12637
11
trafiki inaonekanaje juu ya kivukio cha likoni
transport_traffic
12638
42
tafadhali nitafutie muda wa usafiri wa gari la moshi wa jumatano saa kumi na moja jioni kuelekea nairobi
transport_query
12639
42
gari la moshi ya saa kumi na moja jioni iko jumatano hadi nairobi iko kwa masaa sawa
transport_query
12640
42
kuna saa kumi na moja jioni treni siku ya jumatano kwenda kisumu
transport_query
12641
2
tafadhali nikatie saa kumi na moja jioni ya gari la moshi hadi mombasa
transport_ticket
12642
2
nafaa kutumia gari la moshi inayotoka saa kumi na moja jioni kuenda mombasa
transport_ticket
12643
2
niwekee tiketi ya saa kumi na moja jioni ya wasafiri kwenda rockville
transport_ticket
12644
11
kunamsongamano wa magari nikielekea kazini
transport_traffic
12645
11
barabara zinaonekanaje sasa hivi
transport_traffic
12646
42
wakati wa gari la moshi kutoka stesheni ya mikindani
transport_query
12647
42
mara ngapi gari la moshi huwa linaingia na kutoka stesheni ya voi
transport_query
12648
2
tathmini ya vitendo ya kuendesha gari
transport_ticket
12649
11
msongamano wa magari unakaa aje leo
transport_traffic
12650
42
unaweza kunipa maelekezo kutoka galitos hadi kwa nyumbani yangu
transport_query
12652
42
toa maelekezo kwenda pizza hut
transport_query
12653
2
agiza tiketi ya gari la moshi la kwenda los angeles
transport_ticket
12655
54
tafadhali pigia teksi ya kunipeleka hadi manor theater ambayo itawasili saa kumi asubuhi
transport_taxi
12657
54
weka nafasi ya teksi ya kumchukua njeri maina kwenye lango la nne la uwanja wa ndege kwa ajili ya kuwasili kwa ndege ya aa elfu tano mia nne na thelathini na moja saa tisa na dakika ishirini na moja asubuhi siku ya ijumaa
transport_taxi
12658
42
jinsi ya kufika trm kutoka nyumba yangu kwa barabara ya thika
transport_query
12659
42
nipe mimi mwelekeo wa kwenda naivas nikitumia barabara ya jogoo
transport_query
12660
2
niwekee nafasi ya safari ya treni
transport_ticket
12661
42
ni gari za moshi gani zinapatikana
transport_query
12662
19
ni kampuni zipi za gari la moshi ziko karibu nami
recommendation_locations
12663
42
bei ya tiketi ya gari la moshi kutoka delhi hadi mumbai
transport_query
12664
2
tiketi za gari la moshi za watu wawili kutoka delhi hadi mumbai
transport_ticket
12666
11
trafiki ikoje sasa hivi
transport_traffic
12668
11
tafadhali angalia trafiki hadi nyumbani
transport_traffic
12670
11
angalia msongamano wa magari hadii nyumbani kwetu
transport_traffic
12671
2
weka treni kwa machi tarehe ishirini na mbili saa sita mchana
transport_ticket
12673
11
mtaa una msongamano sasa hivi
transport_traffic
12676
42
tafadhali orodhesha safari zote za gari la moshi kwa eneo a
transport_query
12677
42
tafadhali orodhesha safari za mvua zinazopatikana mahali
transport_query
12678
42
kuna safari zozote za kufikia eneo zinazotolewa kwa gari la moshi
transport_query
12679
11
itachukua muda gani kufika nyumbani
transport_traffic
12682
42
treni inayofuata inaondoka lini kuelekea nairobi
transport_query
12683
42
ni saa ngapi gari la moshi inaweza kuondoka kuenda nairobi
transport_query
12684
42
unaweza kupata treni ya kurudi nyumbani saa moja jioni
transport_query
12686
11
msongamano wa magari iko laini sasa hivi
transport_traffic
12687
11
kuna msongamano mkubwa wa magari kwenye i fifteen huko las vegas hivi sasa
transport_traffic
12688
11
trafiki ni nzito kiasi gani kwenye kenyatta avenue huko nairobi wakati huu
transport_traffic
12690
11
jinsi ya trafiki kwenye waiyaki way
transport_traffic
12691
11
msongamano wa magari sasa hivi denver iko kiasi gani
transport_traffic
12694
11
kuna hali mbaya ya trafiki katika barabara kuu sasa hivi
transport_traffic
12695
11
trafiki ni mbaya kiasi kwamba niondoke mapema
transport_traffic
12696
42
ni saa ngapi ya kuondoka kwa gari la moshi inayofuata inayoondoka nairobi
transport_query
12697
42
gari la moshi inayofuata itawasili lini katika kituo cha union kutoka kituo kuu cha grand central
transport_query
12698
42
ni lini gari la moshi ya mwisho inayoondoka kutoka upperhill nairobi
transport_query
12699
42
nipeleke kwa java
transport_query
12700
11
msongamano wa magari asubuhi hii
transport_traffic
12701
11
trafiki ni mbaya kiasi gani asubuhi hii
transport_traffic
12702
11
niepuke wapi asubuhi hii
transport_traffic
12703
11
kuendesha hadi kazini linapaswa kuchukua muda gani
transport_traffic
12704
11
trafiki iko vipi nairobi westlands kwa sasa
transport_traffic
12705
2
programu ya tiketi ya gari la moshi ya kufungua
transport_ticket
12708
42
maelekezo
transport_query
12709
54
niitishie uber saa moja kutoka sasa
transport_taxi
12713
54
hifadhi teksi moja la kwenda trm
transport_taxi
12714
54
weka miadi ya uber ili unichukue nje ya kengeles ya kisiwa sasa hivi
transport_taxi
12719
2
ninahitaji tikiti ya gari moshi kwenda nairobi kutoka hapa
transport_ticket
12720
11
nitarajie kufika ofisini wakati gani nikiondoka baada ya dakika thelathini
transport_traffic
12721
11
trafiki iko vipi barabara la ishirini la kisumu
transport_traffic
12725
2
nitafutie tiketi ya gari la moshi yenye bei nafuu kwenda miamy
transport_ticket
12726
11
trafiki iko polepole vipi kwa moi avenue
transport_traffic
12727
11
ni muda gani nitachukua kufika upande wa magharibi
transport_traffic
12730
11
trafiki ya sasa ikoje kati
transport_traffic
12731
42
masaa ya gari la moshi leo ni gani
transport_query
12732
42
ni gari la moshi ya saa kumi na nusu jioni kuchelewa
transport_query
12733
42
iko wapi garimoshi iliyo karibu na mimi
transport_query
12734
42
tafadhali nipe maelekezo ya bustani iliyo karibu nami
transport_query
12737
11
barabara chache za trafiki
transport_traffic
12738
11
njia ya haraka ya kufika nyumbani
transport_traffic
12739
42
naweza kupata maelekezo ya upau wa karibu zaidi
transport_query
12742
42
unaweza kupata mimi tiketi ya gari la moshi ya nairobi
transport_query
12743
42
nitafute tiketi ya gari la moshi kwa safari inayofuata ya nairobi
transport_query
12744
42
waeza nitafutia tiketi ya garimoshi kwenda nairobi siku kuu ya mashujaa
transport_query
12746
54
fungua programu ya uber na uniwekee nafasi ya gari inichukue kwenye uwanja wa ndege
transport_taxi
12747
2
tafadhali nikatie tiketi ya gari la moshi
transport_ticket
12749
2
tafadhali unaweza kuninunulia tiketi ya treni
transport_ticket
12750
2
nunua tiketi ya garimoshi kutoka westlands nairobi kwenda nakuru
transport_ticket
12751
2
nunua tikiti ya treni kwa wiki moja kutoka sasa kutoka mombasa hadi nairobi
transport_ticket
12752
2
tafadhali nunua tikiti ya kutoka syokimau nairobi hadi mikindani mombasa kuondoka aprili tarehe moja
transport_ticket
12753
2
nataka tikiti ya treni kutoka nairobi kwenda mombasa
transport_ticket
12754
2
nataka tiketi ya gari la moshi ya bei nafuu kwenda mombasa
transport_ticket
12755
54
niwekee nafasi ya safari ya teksi ya kwenda nyumbani
transport_taxi
12756
54
niagize usafiri wa uber tafadhali
transport_taxi
12757
54
tuma teksi kuja kunichukua kutoka eneo langu
transport_taxi
12758
42
muda gani mpaka sisi kufika nairobi
transport_query
12760
42
ratiba ya gari la moshi
transport_query
12761
11
ni msonogamano wa karibu wa magari
transport_traffic
12762
2
tafadhali ninunulie tiketi ya gari la moshi ya kwenda
transport_ticket
12763
2
nahitaji tikiti ya gari la moshi
transport_ticket
12765
42
gari langu la moshi linakuja lini
transport_query
12766
42
treni inapita saa ngapi
transport_query
12767
2
naweza kupata tikiti ya gari la moshi kwenda
transport_ticket