translation translation |
|---|
{
"en": "According to report from 163.com, Yang came from a single parent family. ",
"swa": "Kwa mujibu wa taarifa kutoka 163.com ni kwamba Yang alitokea katika familia ya mzazi mmoja."
} |
{
"en": "President Michael Sata's son (holding a camera).",
"swa": "Mtoto wa kiume wa Rais Michael Sata (aliyebeba kamera)."
} |
{
"en": "Writing on African Arguments, Jairo Munive, a post-doctoral researcher at the Peace, Risk and Violence Unit- Danish Institute for International Studies, points out that what happened in South Sudan is probably not a coup: ",
"swa": "Akiandika kwenye tovuti ya African Arguments, Jairo Munive (anayeshughulikia utafiti ufuatao mapokezi ya shahada ya uzamivu katika Kitengo cha Amani, Hatari na Vurugu kwenye Taasisi ya Masomo ya Kimataifa) huashiria kwamba huenda yaliyotokea nchini Sudan Kusini siyo mapinduzi:"
} |
{
"en": "But the governor of the province disputed this and accused the military of creating and arming the paramilitary groups.",
"swa": "Lakini, Gavana wa jimbo alitupilia mbali madai haya na kulitupia jeshi lawama kwa kuasisi na kutoa silaha kwa makundi haya mithili ya jeshi."
} |
{
"en": "Pu Zhiqiang must be released.",
"swa": "Pu Zhiqiang lazima aachiliwe."
} |
{
"en": "Two years ago today we started a campaign called KONY 2012.",
"swa": "Miaka miwili iliyopita tulianzisha kampeni inayoitwa KONY 2012."
} |
{
"en": "We wanted to preserve its soul.",
"swa": "Tulinuia kulinda uasili wake."
} |
{
"en": "He consciously exploited her innocence and defencelessness. ”",
"swa": "Kwa makusudi alitumia nia njema na udhaifu wake (marehemu)."
} |
{
"en": "Some decided they had seen enough and left the stadium.",
"swa": "Wengine waliona kwamba walichokiona kinatosha wakaamua kuondoka."
} |
{
"en": "Photo by Mara McCaffery shared in International March for Elephants' event page.",
"swa": "Picha ya McCaffery imewekwa kwenye ukurasa wa matukio ya Matembezi ya Kimataifa kutetea Tembo."
} |
{
"en": "On the contrary, the right to security is an integral component of the Universal Declaration of Human Rights (Article 22) and an important part of the Millenium Development Goals (MDG), as conceived by the United Nations. ",
"swa": "Kinyume na matarajio, haki ya kuhakikishiwa hifadhi ni kipengele muhimu katika Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu (Ibara ya 22) na sehemu yenye unyeti katika of the utekelezaji wa Malengo Makuu ya Kimaendeleo ya Milenia (MDG), yaliyobuniwa na Umoja wa Mataifa."
} |
{
"en": "The site as I envision it would be a clearing house for books published by Caribbean writers.",
"swa": "Jinsi ninavyoitazama tovuti hiyo ni kwamba, itakuwa ni kama nyumba ya kupitisha vitabu vilivyochapishwa na waandishi wa Kikaribea."
} |
{
"en": "Paul A Kijuu commented in Swahili saying that English has turned the educated class into robots:",
"swa": "Paul A Kijuu alitoa maoni kwa Kiswahili akisema kwamba Kiingereza kimegeuza tabaka la wasomi kuwa maroboti:"
} |
{
"en": "Your article is indirectly denying the proven facts that antiretrovirals (ARVs) have saved lives of many South Africans.",
"swa": "Makala yako inapinga kwa namna isiyo ya moja kwa moja ukweli uliothibitika kisayansi kwamba madawa ya kupunguza makali ya VVU (ARV) yameokoa maisha ya raia wengi wa Afrika Kusini."
} |
{
"en": "We urge his immediate release by Ethiopian authorities.",
"swa": "Tunaitaka serikali ya Ethiopia kumwachia huru mapema iwezekanavyo."
} |
{
"en": "Life is sacred everywhere, @borderlessciti wrote, tweeting at media heavyweight Oprah Winfrey and Huffington Post editor-in-chief Arianna Huffington: ",
"swa": "Mtumiaji wa mtandao wa twita ajiiate Life is sacred everywhere, @borderlessciti aliandika akielekeza twiti yake kwa mhariri mkuu mtendaji wa vyombo maarufu vya habari vya Oprah Winfrey na Huffington Post Arianna Huffington:"
} |
{
"en": "Either Boeing technology is poor or it is not fail-safe.",
"swa": "Ni ama teknolojia ya Boeing ni duni au haina uhakika."
} |
{
"en": "Photo from All About Macau's Facebook page.",
"swa": "Picha kutoka kwenye ukurasa wa Facebook wa All About Macau."
} |
{
"en": "Or are we going to get people registering names like 1Sharina for birth certificates?",
"swa": "Au tutaanza kuwataka watu kuandikisha majina kama ‘Sharina1’ kwenye vyeti vya kuzaliwa?"
} |
{
"en": "The release request was denied while his trial was adjourned to December 14, 2009. ",
"swa": "Ombi hilo la kuachiwa kwa dhamana lilikataliwa na kesi kuahirishwa mpaka 14 Desemba 2009."
} |
{
"en": "\"If they don't have the will or the tools to go out there with guns, they'll go out with a paintbrush.\" ",
"swa": "\"Kama hawapo tayari au hawana vitendea kazi ili waende kudai amani kwa bunduki, wataenda na vishungi vya kupaka rangi.\""
} |
{
"en": "I would like to share few ARV success stories with you.",
"swa": "Ningependa nikushirikishe habari chache za mafanikio ya matumizi ya ARV:"
} |
{
"en": "Any organization involved in censorship",
"swa": "Taasisi yoyote inayohusishwa na kuingilia mawasiliano binafsi"
} |
{
"en": "Really, it is humanity attacked. ",
"swa": "Kwa kusema kweli ni ubinadamu ndiyo ulioshambuliwa."
} |
{
"en": "Instead, he'd like to have them look up to the 12 people whose portraits he has hung up on the computer lab wall of his school ",
"swa": "Badala yake, angependa kuwaona wakitafuta watu 12 ambao picha zao amezitundika kwenye ukuta wa maabara yake ya kompyuta ya shule hiyo"
} |
{
"en": "Do you think that people's love for you will mean anything after this decision?",
"swa": "Hivi kweli mnadhani upendo wa watu kwenu utamaanisha chochote baada ya uamuzi huu?"
} |
{
"en": "Your average mosque imam is a good example.",
"swa": "Mfano mzuri ni imam wako wa Msikiti."
} |
{
"en": "While Lebanese blogger Rami from the +961 blog was content with certain aspects of the football fever, he was not impressed by some of what his compatriots are doing. ",
"swa": "Wakati mwanablogu wa KiLebanoni Rami wablogu ya +961 aliridhika na mambo fulani ya homa hii ya mpira wa miguu, hajavutiwa na baadhi ya yale wananchi wenzake wanayoyafanya."
} |
{
"en": "The vibrantly designed logo for this event, created by Quarcoo, does a great job of evoking excitement about the festival. ",
"swa": "Nembo iliyobuniwa vizuri ya tukio hili, iliyotengenezwa na Quarcoo, inafanya kazi nzuri ya kuamsha hamasa ya tamasha hilo."
} |
{
"en": "Today, protesting, or rather “gathering”, is criminalized by law and villages are under day-and-night security watch. ",
"swa": "Kwa sasa, kuandamana, au “mikusanyiko” ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria na pia vijiji vipo chini ya ulinzi usiku na mchana."
} |
{
"en": "So yes, I cried and vowed to make my voice and presence acknowledged.. ",
"swa": "Ndio, nililia na kuapa kuifanya sauti yangu na uwepo wangu uonekane bayana..."
} |
{
"en": "To be considered as a guest blogger at AFKInsider one has to simply submit your blog or stories from your blog for review by our panel editors through info@afkinsider.com.",
"swa": "Kuchukuliwa kama mwanablogu mgeni katika AFKInsider unahitajika tu kuwasilisha blogu yako au hadithi kutoka blogu yako kwa mapitio na jopo letu la wahariri kupitia anwani ya barua pepe info@afkinsider.com."
} |
{
"en": "@DamiOyedele :",
"swa": "@DamiOyedele :"
} |
{
"en": "According to a report on Britain's Channel 4 television, (aired in spite of a foreign reporting ban) a crowd threw rocks and set fire to a building that belonged to the pro-government Basij militia. ",
"swa": "Kwa mujibu wa ripoti kutoka idhaa ya televisheni ya Uingereza Channel 4 (iliyotangazwa bila kujali amri ya kuyazuia mashirika ya nje kutangaza habari) umati wa watu ulitupa mawe na kuchoma moto jingo linalomilikiwa na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali, wajulikanao kama Basij."
} |
{
"en": "A banner in support of interns.",
"swa": "Bendera inayowatetea intani."
} |
{
"en": "Then I didn't hear it anymore.",
"swa": "Baada ya hapo sikuzisikia tena."
} |
{
"en": "I've had about seven different Facebook accounts.",
"swa": "Nimewahi kuwa na akaunti kama saba tofauti za mtandao wa facebook."
} |
{
"en": "Including South Africa, they produce only as much as Spain. ",
"swa": "Ukiijumuisha na Afrika Kusini, kiasi cha umeme kinachozalishwa kinafikia kile cha Uhispania."
} |
{
"en": "A Chinese internet subculture connecting the TV cartoon character “Peppa Pig” with “Shehuiren”, a term that refers to organized crime syndicates, has resulted in a muddy puddle for the popular porker. ",
"swa": "“Peppa Pig” na “Shehuiren”, ni isitilahi yenye maana ya umoja wa wachapishaji wa uharifu wa katuni, imetumbukia katika matope mazito kwa sababu ya nyama maarufu ya nguruwe."
} |
{
"en": "\"Yalingkawas\" is a Lumad Mandaya term for freedom or freed. ",
"swa": "\"Yalingkawas\" ni neno la lumad Mandaya likiwa na maana ya uhuru."
} |
{
"en": "Obstruction from attending Holy Mass has been one of the tactics employed by state security to contain the activity of the group.",
"swa": "Kitendo cha kuwazuia kuhudhuria Ibada Takatifu kilikuwa mojawapo ya mbinu zinazotumiwa na idara ya usalama wa nchi hiyo kuzibana harakati za kikundi hicho."
} |
{
"en": "from a 26% difference in the presidential election of 2006 we have moved to a weak 10%.",
"swa": "kutoka tofauti ya asilimia 26 katika uchaguzi wa rais wa mwaka 2006 sasa tumefikia katika tofauti ndogo ya asilimia 10."
} |
{
"en": "The sequence of events from April 10 to 11, 2011 ",
"swa": "Mtiririko wa matukio kuanzia Aprili 10 mpaka 11, 2011"
} |
{
"en": "In a statement quoted by The Daily Monitor, Musveni explained his position: ",
"swa": "Kwa kauli yake iliyokaririwa na gazeti la Daily Monitor, Rais Museveni anaeleza msimamo wake:"
} |
{
"en": "Rio De Janeiro",
"swa": "Rio De Janeiro"
} |
{
"en": "He once said that “as the regime sharpens their iron fists, my pen gets sharper!” ",
"swa": "Aliwahi kusema kwamba \"kadri utawala unavyonoa ngumi zake za chuma, ndivyo penseli yangu inavyozidi kuwa na makali!\""
} |
{
"en": "Murad Alhayki pleas for a political solution.",
"swa": "Murad Alhayki anatoa mwito wa suluhisho la kisiasa."
} |
{
"en": "The Catholic-dominated Philippines does not have a divorce law.",
"swa": "Nchi hii yenye Wakatoliki wengi haina sheria ya talaka."
} |
{
"en": "In Cuba, very popular but sexually explicit music gets censored, and in Trinidad, a religious Shia Muslim commemoration has in turn become a festival. ",
"swa": "Nchini Cuba, muziki maarufu wenye vionjo vya ngono huchujwa na kuzuiwa, na nchini Trinadad, maadhimisho ya dini ya Kiislam ya Shia yamegeuka kuwa sherehe."
} |
{
"en": "Common Dialogue writes, \"The ANC will talk to Malema about his racial utterances? ",
"swa": "Blogu ya Common Dialogue inaandika “ ANC itaongea na Malema kuhusu kauli zake za kibaguzi?"
} |
{
"en": "In addition, the promotion of homosexual behavior undermines our traditional family values. ",
"swa": "Na zaidi ya hayo, kutetea tabia za kishoga kunaharibu maadili yetu ya asili ya kifamilia."
} |
{
"en": "This follows two days of court order against Malema and can rightly be asked whether this court order an influence on the killing of our uncle Eugene.",
"swa": "Hii imetokea siku mbili tu baada ya kutolewa amri ya mahakama ikimpinga Malema na ni haki pia kuuliza iwapo hii amri ya mahakama ilihamasisha mauaji ya mjomba wetu Eugene."
} |
{
"en": "For instance, many defective and counterfeit antimalarials were reported in developing countries this year but only after patients had been treated. ",
"swa": "Kwa mfano, dawa nyingi za kukinga malaria zilipatikana katika nchi hizi, mwaka huu lakini baada ya wagonjwa kuzitumia."
} |
{
"en": "Besigye released: FDC leader Dr Kiiza Besigye has been released on a non cash court bond of 5m.",
"swa": "Besigye aachiwa: Kiongozi wa FDC Dk Kiiza Besigye ameachiwa kwa dhamana ya mahakama ya Shilingi milioni 5."
} |
{
"en": "Irene Fernandez is a women and migrant rights activist in Malaysia.",
"swa": "Irene Fernandez ni mwanamke na mwanaharakati anayepigania haki za wahamiaji nchini Malaysia."
} |
{
"en": "Cambodia’s ruling party has been in power for the past three decades, but it lost a significant number of seats in the 2013 elections. ",
"swa": "Chama tawala cha Cambodia kimekuwa madarakani kwa miongo mitatu sasa, lakini kilipoteza idadi kubwa ya viti katika uchaguzi wa 2013."
} |
{
"en": "Later, a police officer came to talk to her demanding the photograph be taken down. She told him about the Mabahith member. ",
"swa": "Baadae, afisa wa polisi aliongea na mama huyo akiamuru picha hiyo iondolewe. mama huyo pia, alielezea alichofanyiwa na askari kanzu aliyemtukana."
} |
{
"en": "But might not have been.",
"swa": "Lakini isingalikuwa."
} |
{
"en": "The maximum Chilean court ruled to partially annul the trial that convicted them.",
"swa": "Mahakama kuu ya Chile ilisimamia katika kuharakisha uchunguzi uliopelekea hukumu yao."
} |
{
"en": "The opposition meeting turned to an open conflict.",
"swa": "Mkutano wa upande wa upinzani uligeuka kuwa mgogoro wa wazi."
} |
{
"en": "You would find, if they allowed, countless bodies under the rubble. ",
"swa": "Ungekuta, kama wangeruhusu miili isiyohesabika kwenye vifusi."
} |
{
"en": "Ismaeil Mohaisen tweeted some accusations against the Palestinian Authority: We are still waiting for a comment from the Palestinian Authority.",
"swa": "Ismaeil Mohaisen alitwiti kuhusu baadhi ya tuhuma dhidi ya Mamlaka ya Palestina:"
} |
{
"en": "@jenanmoussa: #Saudi king speaks about new orders.",
"swa": "@jenanmoussa: mfalme wa #Saudi azungumzia taratibu mpya."
} |
{
"en": "SD: The whole regime could change tomorrow.",
"swa": "SD: Serikali yote inaweza kubadilika kesho."
} |
{
"en": "Negar Mortazavi tweeted:",
"swa": "Negar Mortazavi alitwiti:"
} |
{
"en": "@Saudiwoman: 16billion to health ministry to build cancer units and other specialized units, clinics and housing for major hospitals ",
"swa": "@Saudiwoman: Bilioni 16 kwenda wizara ya afya ili kujenga kituo cha saratani na vitengo vingine muhimu, zahanati na nyumba kwa ajili ya hospitali zote kubwa"
} |
{
"en": "Bloggers join the rest of the country in celebrating the achievement.",
"swa": "Wanablogu wanaungana na wananchi wa nchi hiyo kusherehekea mafanikio hayo."
} |
{
"en": "Ours sucks! #envy #Tunisia #Egypt #Jan25",
"swa": "Yetu yameshindwa kabisa! #wivu #Tunisia #Egypt #Jan25"
} |
{
"en": "“They Want a Confession” documents serious human rights abuses, unlawful interrogation tactics, and poor detention conditions in Addis Ababa’s Maekelawi detention center, drawing from interviews with former Maekelawi detainees and their family members. Those detained in Maekelawi include scores of opposition politicians, journalists, protest organizers, and alleged supporters of ethnic insurgencies. ",
"swa": "“Wanahitaji Kukiri” inaelezea matukio mabaya ana ya uvunjifu wa haki za binadamu, mbinu sisizo za kisheria za mahojiano, pamoja na mazingira mabaya ya kituo cha kushikilia wahalifu cha Maekelawi kilichopo jijini Adis Ababa, matukio yaliyopatikana kwa kufanya mahojiano na watu waliokuwa wameshikiliwa Maekelawi pamoja na ndugu wa familia zao. dWaliokuwa wanashikiliwa Maekelawi ni pamoja na wanasiasa wa upinzani, waandishi wa habari, waratibu wa maandamano na wale wanaodhaniwa kuwa ni watu wanaounga mkono vitendo vya ugaidi."
} |
{
"en": "This goes out via text message and email (more channels can be added later).",
"swa": "Ujumbe huo huenda kwa mfumo wa kawaida wa Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na barua pepe (chaneli nyingine zitaongezwa baadae)."
} |
{
"en": "We call on allies to support our message, and on foreign governments to hold the Moroccan government to account on its actions and principles. #Justice4Morocco ",
"swa": "Tunawaomba washirika wetu wote kuunga mkono ujumbe wetu, pamoja na serikali kutoka nchi mbalimbali kuishinikiza serikali ya Morocco kuwajibika kwa matendo na mwenendo wake. #Justice4Morocco"
} |
{
"en": "@MaathMusleh: 15 were murdered in Gaza till now, No WORRIES they're just Palestinians!! #GazaUnderAttack ",
"swa": "@MaathMusleh: Watu 15 wameuawa mjini Gaza mpaka sasa, hakuna SHAKA watakuwa ni wa-Palestina!! #GazaUnderAttack"
} |
{
"en": "14, 2009, access to this blog was no longer free of charge. ",
"swa": "Utambulisho mpya umewapa wasomaji machaguo matatu:"
} |
{
"en": "#haze #Sumatra land burning bad for 2 days in #Medan, left a layer of black dust on my motorcycle in 8 hours #health #environment #Indonesia — SumatraEEC (@SumatraEEC) August 27, 2013 ",
"swa": "Ardhi inateketea vibaya kwa moto kwa siku mbili huko Medan, imeacha vumbi jeusi kwenye pikipiki yangu kwa masaa nane tu"
} |
{
"en": "This campaign brings together women and men, the young and the old, people from different races, believers in various faiths and those of no faith at all. ",
"swa": "Kampeni hii imewaleta pamoja wanawake na wanaume, vijana na wazee, watu wa rangi tofauti, waumini wa imani mbalimbali na wale wasio na imani yoyote."
} |
{
"en": "Oliver Stegen do not make me laugh.",
"swa": "Oliver Stegen usichekelee."
} |
{
"en": "Let's Develop Honduras.",
"swa": "Tuiendeleze Honduras."
} |
{
"en": "From Sulaimaniya, Jamal writes: ",
"swa": "Kutoka Sulaimaniya, Jamal anaandika:"
} |
{
"en": "Question of caste is a big one during election time in India.",
"swa": "Utamaduni wa matabaka ni suala kubwa wakati wa uchaguzi nchini India."
} |
{
"en": "With the following statement, Senior Minister of State for Ministry of Environment and Water Resources Grace Fu sparked off an online controversy amongst Singaporeans: ",
"swa": "Kufuatia tamko lifuatalo, Waziri wa Nchi mwenye dhamana ya Mazingira na Maji, Grace Fu, aliibua mkanganyiko miongoni mwa raia wa Singapore:"
} |
{
"en": "marmuletka:",
"swa": "marmuletka:"
} |
{
"en": "Some reactions to the debate however were negative and the ANC took criticism.",
"swa": "Maoni kadhaa katika mjadala huo yalikuwa hasi na chama cha ANC kililaumiwa."
} |
{
"en": "In an October 14 letter posted on the MTM website, Meyler announced that she will be temporarily stepping down from her role as CEO while the organization conducts its own investigation of the allegations presented in ProPublica's expose. ",
"swa": "Mnamo Oktoba 14 kupitiabarua iliyowekwa kwenye wavuti ya MTM, Meyler alitangaza kwamba angejiuzulu kwa muda kama ofisa mtendaji mkuu wa shirika ili taasisi hiyo ifanye uchunguzi wake wa ndani kuhusu tuhuma zilizoibuliwa na ProPublica."
} |
{
"en": "The account in question does claim to be an “official page,” displaying a green checkmark denoting as much, but this is not how Vkontakte formally recognizes official pages. ",
"swa": "Anuani husika inadai kuwa “ukurasa rasmi,” kwa kuweka alama angavu ya kijani, ingawa hii si namna ambayo mtandao wa Vkontakte hutambulisha kurasa maalumu."
} |
{
"en": "Photo taken from the press conference by Tom Grundy.",
"swa": "Picha iliyopigwa katika mkutano wa waandishi wa habari na Tom Grundy.."
} |
{
"en": "A video produced by Results for Development, an international non-profit organisation whose mission is to unlock solutions to tough development challenges, was released online recently to encourage Ugandans to break their silence and take control of their health rights. ",
"swa": "Video iliyoandaliwa na Results for Development (Matokeo kwa Maendeleo), shirika la kimataifa lisilo la kibiashara ambalo lina malengo ya kutafuta suluhisho la matatizo sugu yanayokwamisha maendeleo, iliwekwa kwenye mtandao wa intaneti siku za hivi karibuni ili kuwahamasisha watu wa Uganda kuvunja ukimya wao na kupigania haki ya afya zao."
} |
{
"en": "While this world rich in differences was flourishing and expanding, my personal identity was diminishing. ",
"swa": "Wakati dunia hii yenye utajiri wa kutofautiana ulikuwa ukishamiri na kupanuka, kujulikana kwangu kulikuwa kunapungua."
} |
{
"en": "Saudi Arabia ranks fourth, behind China, Iran, and Iraq. ",
"swa": "Saudi Arabia iko kwenye nafasi ya nne, nyuma ya China, Iran na Iraq."
} |
{
"en": "An ‘A’ list Bollywood ensemble has put together this campaign.",
"swa": "Orodha ‘A’ ya kundi la Bollywood limetayarisha kampeni hii."
} |
{
"en": "These activists say:",
"swa": "Wanaharakati hawa wanasema::"
} |
{
"en": "Journalist Portia Walker laments her loss:",
"swa": "Mwandishi wa habari, Portia Walker alalama kufuatia kifo cha mwandishi huyu:"
} |
{
"en": "It’s not for anyone else to comment on.",
"swa": "Hili si suala la mtu yeyote kulitolea maoni."
} |
{
"en": "I suppose the ability to imagine or believe in a non-existent person who is honorable and tolerant of yourself is the essence of religious devotion.",
"swa": "Nadhani uwezo wa kufikiri au kuamini mtu asiyekuwepo na anayeheshimiwa utafikiri yupo na kuwa na uvumilivu ndio umuhimu wa ibada za kidini."
} |
{
"en": "On Twitter, Al-Khamis received a lot of sarcastic mentions, including from Ayman Zawahari, a parody account of the Al-Qaeda second man, who asked her a simple small question: ",
"swa": "Kwenye Twita, Al-Khamis alitajwa tajwa kwa kejeli, pamoja na kutoka kwa Ayman Zawahari, akaunti ya kubeza ya kiongozi wa pili wa Al-Qaeda, ambaye alimuuliza alimuuliza swali dogo rahisi:"
} |
{
"en": "* Disclosure: the writer has been added as a host of the Butter Lamp Pray Facebook event.",
"swa": "*Maelezo ya Ziada: Mwandishi ameongezwa kama mojawapo ya wenyeji wa tukio la \"Butter Lamp Pray Event\" katika Facebook."
} |
{
"en": "Ghana Decides reports:",
"swa": "Blogu ya Ghana Decides inaripoti:"
} |
{
"en": "Obilale is reported to be in stable condition after undergoing surgery in South Africa, although he is still breathing with the assistance of a respirator. ",
"swa": "Hata hivyo, imeripotiwa kwamba hali ya Obilale sasa imetengemaa baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Afrika ya Kusini, ingawa bado anaendelea kupumua kwa kutumia mashine maalumu ya kusaidia upumuaji."
} |
{
"en": "According to a July 19 article in The Citizen, the TPCD confirmed its position in a press conference on July 16: \"Outgoing TPDC managing director Yona Killagane strongly refuted the claims that the country would incur a loss of $1 billion annually if the pact is fully implemented as agreed. ",
"swa": "Kwa mujibu wa makala ya Julai 19 katika gazeti la The Citizen, TPDC ilitoa msimamo wake katika mkutano na waandishi wa habari mnamo Julai 16: \"Mkurugenzi aliyeko madarakani wa TPDC, Yona Killagane alipinga vikali kabisa kuwa nchi itapoteza dola bilioni 1 za kimarekani kila mwaka iwapo mkataba huu utatumika kama makubaliano yalivyofikiwa."
} |
{
"en": "On Malawi Fuel Watch Facebook group, one netizen wrote: ",
"swa": "Kwenye kundi la facebook la Malawi Fuel Watch (Tovuti inayofuatilia hali ya mafuta), raia mmoja wa mtandaoni aliandika:"
} |
{
"en": "In the past few weeks, hundreds of Sub-Saharan immigrants from Mali or Niger have migrated to Algerian cities by the Eastern border. ",
"swa": "Katika wiki chache zilizopita, mamia ya wahamiaji mwa Jangwa la Sahara kutoka Mali au Niger wamehamia miji ya Algeria katika mpaka wa Mashariki."
} |
End of preview. Expand
in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 6