translation translation |
|---|
{
"en": "Wessel's Place puts up his frustrations on his blog:",
"swa": "Wessel's Place ameweka yale yanayomkera kwenye blogu yake:"
} |
{
"en": "Following this, the NPP has resolved to take the issue to court and has vowed to use all available legal means to seek justice. ",
"swa": "Kufuatia hayo, chama cha NPP kimeamua kulipeleka suala hili mahakamani na wameapa kutumia njia zote zinazowezekana kutafuta haki."
} |
{
"en": "The family reconnection platform is accessible from a simple mobile phone via SMS, USSD, web or a free hotline. ",
"swa": "Jukwaa la Kuunganisha familia linafikika kirahisi kwa kupitia ujumbe wa simu, USSD, tovuti au simu ya bure."
} |
{
"en": "The source of poor and uneven health outcomes lies in the disparities in household incomes and physical access to health services.",
"swa": "Huduma hafifu inachangiwa na utofauti wa vipato katika familia pamoja na namna ya kuzipata huduma za afya."
} |
{
"en": "On this year's International Women's Day, March 8, 2012, a rather unconventional protest was held in downtown Seoul, South Korea. ",
"swa": "Katika siku ya wanawake duniani mwaka huu, mnamo Machi 8, 2012, kuna maandamano yaliyofanyika katika jiji la Seoul, Korea Kusini."
} |
{
"en": "So, just imagine you listen to your favorite instrumental music as you walk down the streets. ",
"swa": "Kwa hiyo, fikiria unasikiza muziki uupendao wa ala unavyotembelea mtaani."
} |
{
"en": "Still, Rachna applauded young people for bravely expressing their thoughts and hoped that it would improve society especially the freedom of expression situation in Cambodia. ",
"swa": "Zaidi, Rachna aliwapongeza vijana kwa basara zao katika kutoa maoni yao na kuamini kuwa utaratibu huu utaiimarisha jamii ... |
{
"en": "Mbeki filed the papers yesterday - a day after announcing to the nation that he has resigned.",
"swa": "Mbeki aliwasilisha nyaraka hizo siku moja tu baada ya kulitangazia taifa kwamba amejiuzulu."
} |
{
"en": "Should gay people go to jail for dating...It is a filthy filthy SIN but not a crime...They have rights not be stoned, killed or harrassed, but they shouldnt have rights to get married, display their feelings publicly because we are a very PROUDLY HOMOPHOBIC COUNTRY...So when someone says gay people have righ... |
{
"en": "Al Cheikh Ould Horma also tweeted:",
"swa": "Al Cheikh Ould Horma alitwiti:"
} |
{
"en": "@omarc: At Bahraini immigration for 1hr, they ask who I work for... ",
"swa": "@omarc: Nipo uhamiaji hapa Bahrain kwa saa 1, wananiuliza ninfanya kazi kwa nani..."
} |
{
"en": "Michael Mathes, a US politics correspondent for news agency AFP, tweeted: ",
"swa": "Michael Mathes, mwandishi wa siasa za Marekani ofisi ya habari ya AFP alitwiiti:"
} |
{
"en": "@Gepril1: Before you take to the streets next time, everyone should agree with his friends. ",
"swa": "@Gepril1: Wakati mwingine kabla ya kuingia mitaani, kila mmoja lazima akubaliane na marafiki zake."
} |
{
"en": "To the point, PSI notes: ",
"swa": "PSI wanadokeza kuwa:"
} |
{
"en": "On Monday , Sabr Online Newspaper reported that all detained protesters have been released: ",
"swa": "Siku ya Jumatatu , Gazeti la mtandaoni la Sabr lilitoa taarifa kuwa, waandamanaji waliokuwa wanashikiliwa walishaachiliwa:"
} |
{
"en": "Amin Anvari’s mother added that she was silent for two weeks after her son’s arrest.",
"swa": "Mama wa Amin Anvari aliongeza kwamba amekuwa kimya kwa majuma mawili baada ya kukamatwa kwa kijana wake."
} |
{
"en": "And for all of you here, ask the most learned woman here, Madam Chibesakunda. ",
"swa": "Na kwenu nyote mlioko hapa, hebu mwulizeni mwanawake aliyesoma kuliko wote hapa, Mheshimiwa Chibesakunda."
} |
{
"en": "Traditional gender roles in Nepali society see men as the caretakers of their families, which means they should be muscular and tough. ",
"swa": "Kiasili, mwanaume wa nchini Nepali ana wajibu wa kulea familia, jambo linaarishia kuwa mwanaumea anapaswa kuwa nguvu na mjasiri."
} |
{
"en": "The Botswana Media And Allied Workers Union (BOMAWU) has condemned his arrest and treatment.",
"swa": "Chama cha Waandishi wa Habari Botswana (BOMAWU) kimelaani kukamatwa kwake na vitendo alivyofanyiwa tangu alipokamatwa."
} |
{
"en": "According to the Committee to Protect Journalists (CPJ), the Ethiopian government has convicted 11 independent journalists and bloggers including Reeyot and Eskinder Nega under a sweeping anti-terrorism law since 2011. ",
"swa": "Kwa mujibu wa Kamati ya Kulinda Waandishi (CPJ), serikali ya Ethiopia imehuku... |
{
"en": "Ghana Pundit posted another article that touched upon a new area of concern:",
"swa": "Mwanablogu Ghana Pundit aliweka makala nyingine ambayo iligusia eneo jingine la kutilia maanani:"
} |
{
"en": "It is not rape, it is sensual sex. ",
"swa": "Huu si ubakaji, ni ngono ya ridhaa."
} |
{
"en": "He who burns a house will be consumed by fire!!!!",
"swa": "Yule anyechoma nyumba moto ataungua kwa moto!!!"
} |
{
"en": "Finance Minister Trevor Manuel is among 11 Cabinet ministers and three deputy ministers who have resigned.",
"swa": "Waziri wa Fedha Trevor Manuel ni miongoni mwa mawaziri 11 na manaibu watatu waliotangaza kujiuzulu."
} |
{
"en": "The most popular blog and Facebook page is that of Maidan Translations:",
"swa": "Blogu maarufu zaidi na ukurasa wa Facebook ni ule wa Tafsiri za Maidan:"
} |
{
"en": "At least nine students who protested during Jalili's speech were called to disciplinary committee.",
"swa": "Takribani wanafunzi tisa walioandaman wakati wa hotuba ya Jalili waliitwa na kamati ya nidhamu."
} |
{
"en": "Spread the word!",
"swa": "Sambaza ujumbe!"
} |
{
"en": "Following the three debates officially organized by the electoral authorities, there are approximately two weeks left until Mexicans go to the ballot box. ",
"swa": "Kufuatia midahalo mitatu iliyoandaliwa na mamlaka rasmi za uchaguzi, zimebaki angalau wiki mbili Mexico iingie katika sanduku la kura."
} |
{
"en": "If he thinks any overseas visitors will come here to pump this country full of money when it seems as if unrest is at the order of the day here, he is in stall for a very rude awakening. ",
"swa": "Kama anafikiri kuwa wageni kutoka ng’ambo watakuja hapa na kuijanza nchi hii wakati inaonekana kana kwamba ma... |
{
"en": "The page has more than 10,000 likes. ",
"swa": "Ukurasa huo una zaidi ya wafuatialiaji 79,854 walioupenda (wakati wa kutafsiriwa kwa posti hii)."
} |
{
"en": "Following the tweet, a spokesperson for JuD posted the following replies: ",
"swa": "Kufuatia maelezo hayo katika Twita, msemaji wa JuD alijibu kama ifuatavyo:"
} |
{
"en": "I'm starting to think the US government sent a fake one to us, because that woman looks too old and motherly to be Hillary! ",
"swa": "Naanza kufikiri kuwa serikali ya Marekani ilimtumia Clinton wa uongo, kwa sababu yule mwanamke anaonekana mzee sana na jimama kuwa Clinton wa kweli."
} |
{
"en": "Williams's posts have provoked thought and discussion both in the blog's comments fields and elsewhere.",
"swa": "Makala za William zimeamsha fikra na mijadala katika sehemu ya kutolea maoni ya blogu hiyo na kwingineko."
} |
{
"en": "In 2011, we reported the reaction of Nigerian netizens to the rescheduling of the national parliamentary elections. ",
"swa": "Mwaka 2011, tulitaarifu kuhusu malalamiko ya watumiaji wa Mtandao wa intaneti wa Nigeria kuhusiana na mabadiliko ya tarehe za chaguzi za Taifa za kibunge."
} |
{
"en": "In my opinion, this post, while certainly not flattering to Zaid, isn’t of “saman class” – heck, if this is ruled as defamation, then we’ll see at least 10 such cases being filed at the courts daily! ",
"swa": "Kwa maoni yangu, makala hii, huku kwa hakika haimpambi Zaid, haipo kwenye “hadhi ya saman”, kama... |
{
"en": "The bloggers sharing their memories have lived both in Africa and the West.",
"swa": "Wanablogu wanaoelezea kumbukumbu hizo wamewahi kuishi kote, Barani afrika na katika nchi za Magharibi."
} |
{
"en": "KBC is the worst of all since interns have to pay to intern there.",
"swa": "KBC ndio mbaya zaidi kwani lazima intani alipe ili apate nafasi huko."
} |
{
"en": "Compared to a decade ago, before Facebook, Twitter and other social media took over, there aren't as many Japan blogs are there used to be. ",
"swa": "Ukilinganisha na muongo uliopita, kabla ya Facebook, Twita na mitandao mingine ya kijamii haijatwaa nafasi, hivi sasa hakuna blogu nyingi za ki-Japan kama i... |
{
"en": "However, the unique heritage of these tribes is threatened by rapid urbanization, commercialization, and encroachment of their lands by state-approved activities such as agribusiness ventures, logging, and mining. ",
"swa": "Hata hivyo, urithi huu wa aina yake unahatarishwa na ongezeko la haraka la miji, h... |
{
"en": "@phirimarko wrote:",
"swa": "@phirimarko akaandika:"
} |
{
"en": "http://humansofkibera.tumblr.com/post/121907519995/jackson-mwaki-i-worked-in-the-construction-sites",
"swa": "http://humansofkibera.tumblr.com/post/121907519995/jackson-mwaki-i-worked-in-the-construction-sites"
} |
{
"en": "Journalists and the elderly became the target of the police's pepper spray:",
"swa": "Waandishi wa habari na wazee walikuwa shabaha ya maji ya kuwasha ya polisi:"
} |
{
"en": "Although the website where the video is posted appears very official it has a different URL (cop-15.org) from the actual United Nations website (cop15.dk).",
"swa": "Ingawa tovuti ambapo video imewekwa inaonekana kuwa rasmi, ina anuani tofauti ya URL(cop-15.org) tofauti na ile halisi ya Umoja wa Mataifa (c... |
{
"en": "Right from prison, Enrique Aranda has been awarded the National Poetry Prize \"Salvador Diaz Miron\" (1998, 2001 and 2008) by Conaculta-INBA three times. ",
"swa": "Akiwa gerezani, Enrique Aranda alishatunukiwa mara tatu Tuzo ya Taifa ya Ushairi \"Salvador Diaz Miron\" (1998, 2001 and 2008) na Conaculta-IN... |
{
"en": "hosoever publishes or causes the publication of a statement that is likely to be understood by some or all of the members of the public to whom it is published as a direct or indirect encouragement or other inducement to them to the commission or preparation or instigation of an act of terrorism .",
"swa":... |
{
"en": "I don't know, but I expect you'd need at least one infected person to justify it. ",
"swa": "Sijui, lakini ninatarajia kuwa tungehitaji walau mgonjwa mmoja ili kuhalalisha uamuzi huu."
} |
{
"en": "Right to left: \"Bibi - stop the economic terrorism!Orly in the center: \"Export of gas = suicide for the state\" and \"No to the cut in child stipends\" ",
"swa": "Kulia hadi kushoto: \"Bibi - Zuia ugaidi wa kiuchumi!Orly katikati: \"Uuzaji wa gesi nje = kujiua kwa serikali\" na \"Tunapinga kukatwa kwa ma... |
{
"en": "And it is to Liberia that she would like to return.",
"swa": "Mwanadada huyu angependa kurudi nchini Liberia."
} |
{
"en": "And Shahdan-shosh tweeted a photograph of the 11 detainees and noted:",
"swa": "Na Shahdan-shosh alitwiti picha ya wafungwa hao 11 na kubainisha :"
} |
{
"en": "The posters there include the faces of Bingu wa Mutharika and one for John Tembo, Malawi Congress Party’s torch bearer in the May19 polls. ",
"swa": "Mabango hayo yanajumuisha sura za Bingu wa Mutharika na nyingine ya John tembo, anayebeba mwenge wa chama wa MCP katika uchaguzi wa Mei 19."
} |
{
"en": "Would you even realise it?",
"swa": "Je unaweza hata kugundua?"
} |
{
"en": "Why are African governments criminalising online speech?",
"swa": "Kwanini Serikali za Afrika Zinapinga na Uhuru wa Vyombo vya Habari na Kutoa Maoni?"
} |
{
"en": "Not a single week passes without stories of arrests of yet another online journalist or activist in countries like Egypt or Iran, but the details and reasons are often shrouded in mystery. ",
"swa": "Hakuna wiki inayopita bila kuwepo habari za kukamwatwa kwa mwandishi au mwanaharakati mwingine wa mtandaoni... |
{
"en": "On Thursday, 5 September, 2013, matters got even farther out of hand. ",
"swa": "Siku ya Alhamisi, Septemba 5, 2013, mambo yaliendelea kuwa mabaya zaidi."
} |
{
"en": "Piloted in 2012 with the support of 88mph, which invests in start-ups, the project was launched in January 2014. ",
"swa": "Mradi huu ulianzishwa kwa majaribio mwaka 2012 kwa hisani na ushirikiano wa 88mph, ambao iwaliwekeza kwa kuanzia na mradi ulizinduliwa rasmi Januari 2014."
} |
{
"en": "On leadership:",
"swa": "Kuhusu Uongozi:"
} |
{
"en": "Venezuelans are mourning.",
"swa": "Watu wa Venezuela wanaomboleza."
} |
{
"en": "First, about 7.8 million (3/5) of Niger's citizens experience severe or moderate food insecurity. ",
"swa": "Kwanza, kadri ya raia milioni 7.8 (3/5) wa Niger wanaishi bila ya usalama wa chakula katika kiwango kibaya sana au kiwango wastani."
} |
{
"en": "Workers march in Jakarta during Labor Day.",
"swa": "Wafanyakazi wakiandamana jijini Jarkata siku ya Mei Mosi."
} |
{
"en": "Another inmediahk.net reporter was hit in the head by a riot police officer with his shield while he was backing off.",
"swa": "Mwandishi mwingine wa mtandao wa inmediahk.net alipigwa kichwani na afisa wa polisi kwa kutumia ngao ya polisi wakati akiondoka eneo hilo."
} |
{
"en": "Omid, Iroon.com ",
"swa": "Omid, Iroon.com"
} |
{
"en": "Like many other African countries, Cameroon suffers from insufficient electricity supplies. ",
"swa": "Kama ilivyo katika nchi nyingi za Kiafrika, Cameroon inataabika na ugavi duni wa umeme nishati ya umeme."
} |
{
"en": "The kids are reading and seriously engaging with the stories!",
"swa": "Watoto wanasoma na kuhusika na hadithi!"
} |
{
"en": "It is alleged that he posted a Facebook post claiming that Tanzania's Chief of Defence Forces, General Davis Mwamunyange, had been hospitalized after eating poisoned food. ",
"swa": "Inadaiwa alichapisha maandishi kwenye mtandao wa Facebook akidai kwamba Mkuu wa Majeshi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunya... |
{
"en": "Saving the best for last, Zeinobia shared the top 9: ",
"swa": "Akitunza kile kizuri ili kukitoa mwishoni kabisa, Zeinobia alianza na washindi bora 9:"
} |
{
"en": "Understandably, the Facebook page Sima links to is no longer available. ",
"swa": "Inaweza kueleweka kwa nini, ukurasa wa mtandao wa Facebook unamwuunganisha Sima haupatikani tena."
} |
{
"en": "Accusing journalists of breaking the law for covering news is not new to Bahrain.",
"swa": "Mashitaka dhidi ya waandishi wa habari ya kuvunja sheria kwa sababu ya kukusanya habari siyo jambo geni nchini Bahrain."
} |
{
"en": "PM Hariri trying his best to console",
"swa": "Waziri Mkuu Hariri anajaribu kwa nguvu zote kufariji"
} |
{
"en": "The basic specifications of the PC are: Operating system: Ubuntu (open source) 1.4 G Hertz microprocessor 1GB RAM Unit pricing : 171000 Fcfa (260 euros)",
"swa": "Sifa za kompyuta hiyo ni kama ifuatavyo : Mfumo wa Ufanyaji kazi (Operating system): Ubuntu (zana huru) Uwezo wa kutafuta ni 1.4 G Hertz 1GB RAM... |
{
"en": "One of the groups spearheading this advocacy is the Elephant Conservation Center:",
"swa": "Miongoni mw makundi yanayopigia chapuo harakati hizi ni Kituo cha Hifadhi ya Tembo:"
} |
{
"en": "In a quite unpoplar move, a few months ago Tandja illegally changed the constitution to allow him a third term in what was generally considered a mass fraud referendum (see Jen Brea's roundup on the reactions caused by that decision). ",
"swa": "Katika hatua ambayo haikupendwa, miezi michache iliyopita Tan... |
{
"en": "Dr. Buamah said it was therefore normal for the youth to expect better employment prospects from Ghana's oil find.",
"swa": "Dr. Buamah alisema kwa hiyo ilikuwa ni jambo linalotegemewa kwa vijana kutegemea unafuu wa nafasi za ajira baada ya kupatikana mafuta ya Ghana."
} |
{
"en": "Teenagers, goths and emos should just step aside. ",
"swa": "Hebu vijana wadogo, watu wasiostaarabika na watu wasiodhibiti hasira zao wakae pembeni."
} |
{
"en": "The Israeli occupation of the Palestinian territories is itself illegal, and declared so by the international community through various UN resolutions. ",
"swa": "Na makazi ya Israel kwenye maeneo ya Palestina ni kinyume cha sheria, na imetangazwa hivyo na jumuiya ya kimataifa kupitia maazimio mbalimbali y... |
{
"en": "Certainly, the elderly do not deserve to be marooned on the island of loneliness and abandonment in their silver years. ",
"swa": "Kwa hakika, wazee hawastahili kutelekezwa kwenye kisiwa cha upweke na ukiwa katika miaka yao ya uzeeni."
} |
{
"en": "Your position as the international authority entrusted with the responsibility for the protection and promotion of universal human rights accords you a special role.",
"swa": "Kwa nafasi yako kama mamlaka ya kimataifa iliyoaminiwa na wajibu wa kulinda na kuhamasisha mikataba ya ulimwengu ya haki za binadam... |
{
"en": "This tweet brings back to our memories the spark which ignited the Arab revolutions, in December 2010, when Tunisian fruit vendor Mohammed Bouazizi set himself on fire. ",
"swa": "Twiti hii inatukumbusha tukio lililosababisha mapinduzi ya Kiarabu, mwezi Desemba 2010, wakati mchuuzi wa matunda wa Kitunisia ... |
{
"en": "The camp is the brainchild of South African professional skater Dallas Oberholzer.",
"swa": "Kambi hiyo imeanzishwa na mtaalamu wa mchezo wa kuteleza nchini wa Afrika Kusini aitwaye Dallas Oberholzer."
} |
{
"en": "As news broke that Jamaican Prime Minister Bruce Golding \"has promised a massive welcome home celebration for Jamaica's first gold medalist in the Beijing Olympics, Usain Bolt, and the rest of the Olympic Team\", Living Guyana suggested a few ways in which proper homage could be paid to the outstanding Olym... |
{
"en": "Experts also emphasise \"the good performance of research in France\" but judge it \"average in terms of innovation and economic return\". ",
"swa": "Wataalam vile vile wanasisitiza \"ufanisi mzuri wa tafiti nchini Ufaransa\" lakini wanauona kuwa \"wa wastani kwa maana ya ubunifu na faida ya kiuchumi\"."
} |
{
"en": "It receives protection from the Castilian (common Spanish) from being geographically close to Portugal.",
"swa": "Inalindwa na Ki-Kastilia (Kihispania cha kawaida) kutokana na kuwa karibu na Ureno kijiografia."
} |
{
"en": "Initiated in 2011, the Singapore Memory Project aims \"to collect, preserve and provide access\" to Singapore's history. ",
"swa": "Ukiwa umeanzishwa mwaka wa 2011, Mradi wa Kumbukumbu za Singapore unalenga \"kukusanya, kuhifadhi na kuhakikishia upatikanaji\" wa historia ya Singapore."
} |
{
"en": "As if people don't have the right to demonstrate!",
"swa": "Ni kana kwamba watu hawana haki ya kuandamana kupinga jambo?"
} |
{
"en": "Adzima provides some background on the state of the affair for the Togolese children at school.",
"swa": "Adzima anatoa maelezo kidogo kuhusu hali ya mambo ilivyo kwa watoto wa Togoshuleni."
} |
{
"en": "After 48 hours spent in jail a judge decides to release him.",
"swa": "Baada ya kukaa jela kwa saa 48, jaji aliamuru kwamba aachiwe huru."
} |
{
"en": "As Libya was torn apart by a revolution in 2011, Haifa El-Zahawi left the country for the United States. ",
"swa": "Katika kipindi ambacho Libya ilikuwa ikiharibiwa vibaya kutokana na mapinduzi yaliyotokea mwaka 2011, ndicho kipindi hicho hicho Haifa El-Zahawi aliondoka kuelekea Marekani."
} |
{
"en": "Diesel, used by microbuses and transportation, up by 63pc ",
"swa": "Dizeli, inayotumiwa na mabasi madogo madogo na usafiri mwingineo, imepanda kwa asilimia 63"
} |
{
"en": "Admittedly Rambler wrongly thought that just like in the previous elections regionalism will rule the day.",
"swa": "Rambler alifikiria kwa makosa kwamba kama livyokuwa katika chaguzi zilizopita siasa za majimbo zingetawala."
} |
{
"en": "Image by Flickr user stephen_bostock (CC BY-NC 2.0).",
"swa": "Picha ya Flickr na stephen_bostock (CC BY-NC 2.0)."
} |
{
"en": "The Human Body is not one.",
"swa": "Mwili wa Binadamu unatofautiana."
} |
{
"en": "He also won the National Short Story Prize José Revueltas, awarded by those institutions, twice (2003 and 2008). ",
"swa": "Pia, aliwahi kushinda Tuzo ya Taifa ya Hadithi Fupi, aliyotunukiwa mara mbili na asasi hizo (2003 and 2008)."
} |
{
"en": "Naming and naming ceremonies a big deal in African culture.",
"swa": "Kumtaja marehemu kwa jina lake ni jambo kubwa kwenye utamaduni wa Afrika."
} |
{
"en": "Photographer: Pejman Marzi.",
"swa": "Mpiga picha: Pejman Marzi."
} |
{
"en": "Yasser Arafat at the World Economic Forum in Davos, January 2001. ",
"swa": "Yasser Arafat katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi wa dunia mjini Davos, Januari 2001."
} |
{
"en": "The petitions received to date vary and include calls for a review of the powers of the executive.",
"swa": "Mapendekezo yaliyopokewa mpaka hivi sasa ni mengi na yanajumuisha tathmini ya nguvu za serikali."
} |
{
"en": "@bhatiap noted the lack of police presence:",
"swa": "@bhatiap aliandika kuhusu kukosekana kwa uwepo wa polisi"
} |
{
"en": "But she cautions:",
"swa": "Hata hivyo anaonya:"
} |
{
"en": "For those who don’t know, the Voortrekkers is like the boy scouts, but it celebrates the heritage of the Afrikaner nation who moved from the coastal regions inland toward what is now known as the Freestate, Gauteng, Mpumalanga and Limpopo. ",
"swa": "Na kwa wale wasiofahamu, Voortrekkers ni sawa na chama c... |
{
"en": "Check it out:",
"swa": "Itazame hapa:"
} |
{
"en": "Your chance to query President Obama about Africa:",
"swa": "Nafasi yako ya kumuuliza Rais Obama kuhusu Afrika:"
} |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.