Story_ID stringlengths 8 8 | context stringlengths 445 11k | question stringlengths 12 113 | answers dict |
|---|---|---|---|
5233_swa |
FAIDA ZA KILIMO
Kilimo kina faida nyingi hapa nchini. Ile ya muhimu kabisa ni uzalishaji wa chakula. Chakula ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu yeyote. Bila chakula hatuwezi kuishi kwa siku nyingi.
Wakulima hupanda mimea ya aina tofauti tofauti kama vile mahindi, maharagwe, sukuma wiki, matunda na hata mboga. Bidh... | Kilimo husaidia kwa utunzaji wa nini | {
"text": [
"Mazingira"
]
} |
5233_swa |
FAIDA ZA KILIMO
Kilimo kina faida nyingi hapa nchini. Ile ya muhimu kabisa ni uzalishaji wa chakula. Chakula ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu yeyote. Bila chakula hatuwezi kuishi kwa siku nyingi.
Wakulima hupanda mimea ya aina tofauti tofauti kama vile mahindi, maharagwe, sukuma wiki, matunda na hata mboga. Bidh... | Kwa nini mkulima atunze mazingira | {
"text": [
"Ili kupata manufaa kutoka kwa mimea"
]
} |
5234_swa | Ufahamu 1
Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile ... | Umaskini unakabili mataifa gani | {
"text": [
"yanayoendelea"
]
} |
5234_swa | Ufahamu 1
Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile ... | mataifa yanayoendelea yanapaswa kupambana na nini | {
"text": [
"umaskini"
]
} |
5234_swa | Ufahamu 1
Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile ... | Viwanda vingi nchini hutegemea kilimo na kuwalisha nani | {
"text": [
"wafanyakazi wake"
]
} |
5234_swa | Ufahamu 1
Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile ... | wakulima wengi hukimbilia mbolea za lini | {
"text": [
"za kisasa"
]
} |
5234_swa | Ufahamu 1
Ulimwengu unapaswa kuzuka na Mbinu za kulitadarukia tatizo ambalo linakwamiza juhudi za maendeleo. Umaskini uno yakabili mataifa yanayoendelea, unayatosa kwenye dhiki kubwa huku mataifa ya kimagharibi yakipiga hatua kubwa kimaendeleo. Ufa uliopo baina ya mataifa yanayoendelea na yale yaliyoendelea kama vile ... | Mbona wataalamu hawaendi nyanjani kukutana na wakulima | {
"text": [
"kwa kuwa hawana usafiri"
]
} |
5235_swa | UFAHAMU 2
Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inak... | Uhandisi ni ujuzi wa kuunda nini | {
"text": [
"mitambo"
]
} |
5235_swa | UFAHAMU 2
Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inak... | Akina nyanya wanaweza kuzungumza na nani wakiwa mbali | {
"text": [
"wajukuu"
]
} |
5235_swa | UFAHAMU 2
Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inak... | Mababu zetu wako wapi | {
"text": [
"vijijini"
]
} |
5235_swa | UFAHAMU 2
Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inak... | Mabomu ya kitonoradi yaliyoangushwa Hiroshima na Nagasaki Japan lini | {
"text": [
"mwaka wa 1945"
]
} |
5235_swa | UFAHAMU 2
Teknolojia mpya ni tawi la maarifa linalohusiana na sayansi kwa upande mmoja na uhandisi (uinjinia) kwa upande mwingine. Sayansi ni elimu inayotokana na uchunguzi na majaribio katika maabara. Nao uhandisi ni ujuzi wa kuunda mitambo. Maarifa ya sayansi yaapotumiwa kutengeneza vitu viwandani hali hii inak... | Kwa nini teknolojia inahifadhi madini | {
"text": [
"inatumia malighafi ya kisasa"
]
} |
5236_swa | UFAHAMU 3
Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabad... | Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la saa ngapi | {
"text": [
"asubuhi"
]
} |
5236_swa | UFAHAMU 3
Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabad... | Askari wa jela walimpa nini alipokuwa akiondoka | {
"text": [
"tabasamu"
]
} |
5236_swa | UFAHAMU 3
Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabad... | Safari ya nani kutoka gerezani ilikumbwa na mseto wa mawazo | {
"text": [
"Abdul"
]
} |
5236_swa | UFAHAMU 3
Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabad... | Hakujua kama nani wangali hai | {
"text": [
"wazazi wake"
]
} |
5236_swa | UFAHAMU 3
Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona mwanga halisi wa ombwe lijiitalo dunia tangu alipohukumiwa kifungo gerezani. Punde tu komeo la mlango wa seli lilipofunguliwa, ilimlazimu Abdul ayafumbe macho kabla ya kuyafumbua tena taratibu ili yazoee mabad... | Mbona angehairisha hukumu yake | {
"text": [
"ili kufanya uchunguzi zaidi"
]
} |
5237_swa | UFAHAMU 4
Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina.
Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufiki... | Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nini | {
"text": [
"nguo"
]
} |
5237_swa | UFAHAMU 4
Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina.
Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufiki... | Nani anafaa kuzingatia sifa za vitambaa kabla ya kununua | {
"text": [
"mnunuzi"
]
} |
5237_swa | UFAHAMU 4
Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina.
Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufiki... | Mtu anaweza kujua aina ya kitambaa ikiwa ana ujuzi gani | {
"text": [
"kushika au ‘kuhisi’"
]
} |
5237_swa | UFAHAMU 4
Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina.
Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufiki... | Kwa mujibu wa sheria gani ,vibandiko vinapaswa kuwa sahihi | {
"text": [
"za nchi "
]
} |
5237_swa | UFAHAMU 4
Siku hizi kuna vitambaa aina aina vya kushonea nguo na pia vingine vinaendelea kutengenezwa. Kuna vitambaa vya pamba, hariri vya mnato, nailoni, sufi na vinginevyo. Kadhalika, vitambaa hivi vina mitindo na rangi za kila aina.
Kuchagua kitambaa cha kushonea nguo si jambo rahisi. Uchaguzi huo ni sharti ufiki... | Mbona maelezo yanayopatikana kwenye vibandiko ni muhimu | {
"text": [
"hutoa maelezo muhimu kuhusu aina ya vitambaa"
]
} |
5238_swa | UFAHAMU 5
Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunen... | Afya ni nini | {
"text": [
"Taji"
]
} |
5238_swa | UFAHAMU 5
Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunen... | Licha ya lishe bora ni nini muhimu katika kudumisha afya njema | {
"text": [
"Michezo"
]
} |
5238_swa | UFAHAMU 5
Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunen... | Nini hunyong'onyea na kunenepa | {
"text": [
"Mwili"
]
} |
5238_swa | UFAHAMU 5
Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunen... | Ni kina nani hupata soko la bidhaa zao | {
"text": [
"Wenyeji"
]
} |
5238_swa | UFAHAMU 5
Bila shaka, umewahi kusikia kuwa afya ni taji. Hakuna ajuaye haya vyema kama anayeugua. Wanaoelewa usemi huuhuthamini na kudumisha siha yao kwa kila njia. Licha ya lishe bora, michezo ni muhimu katika kudumisha afya njema. Mtu asiposhiriki katika michezo au unyoshaji wa viungo, mwili hunyong‘onyea na kunen... | Michezo huyeyusha mafuta mwilini na kutukinga dhidi ya kitu gani | {
"text": [
"Maradhi"
]
} |
5239_swa | UFAHAMU 6
Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile.
Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi... | Lugha ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha nini | {
"text": [
"Mawasiliano"
]
} |
5239_swa | UFAHAMU 6
Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile.
Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi... | Kenya ni mfano mzuri wa taifa lenye lugha zinazozidi ngapi | {
"text": [
"40"
]
} |
5239_swa | UFAHAMU 6
Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile.
Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi... | Ni taifa gani lenye mchanganyiko wa tamaduni | {
"text": [
"Kenya"
]
} |
5239_swa | UFAHAMU 6
Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile.
Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi... | Ni nini hutueleza ujuzi au maarifa ya watu fulani | {
"text": [
"Lugha yao"
]
} |
5239_swa | UFAHAMU 6
Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa kueleza chanzo au kiini cha mawasiliano na sote tunakubaliana kuwa matumizi yake yameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watu bila lugha ya mawasiliano yoyote ile.
Katika taifa lolote,huwepo na lugha moja au hata zaidi... | Utamaduni wa jamii hautenganiki na nini | {
"text": [
"Lugha yake"
]
} |
5240_swa | UFAHAMU 7
Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wa... | Kwa kawaida binadamu huishi kwa kutangamana na nani | {
"text": [
"Na binadamu wenzake"
]
} |
5240_swa | UFAHAMU 7
Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wa... | Kwa kutangamana huku watu huathiriwa vipi | {
"text": [
"Kitabia"
]
} |
5240_swa | UFAHAMU 7
Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wa... | Walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wao ni kina nani | {
"text": [
"Vijana"
]
} |
5240_swa | UFAHAMU 7
Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wa... | Ni kina nani husema kuwa kukabiliana na tatizo la shinikizo-rika si rahisi | {
"text": [
"Wataalamu wa saikolojia"
]
} |
5240_swa | UFAHAMU 7
Kwa kawaida, binadamu huishi kwa kutangamana na binadamu wenzake. Katika kutangamana huku, watu huathiriwa kitabia, kifikira, kimavazi na kimaisha kwa jumla. Watu wote katika jamii wana uwezo wa kuathiri na kuathiriwa na wenzao wa umri mmoja. Hata hivyo, walio katika hatari ya kuathiriwa zaidi na mahirimu wa... | Kwa nini wataalamu wa saikolojia husema kuwa kukabiliana na tatizo la shinikizo-rika si rahisi | {
"text": [
"Kwa sababu shinikizo-rika huleta mtafaruku wa kinafsi akilini mwa anayeathiriwa"
]
} |
5241_swa | UFAHAMU 8
Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi?
Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo... | Ni vijana wangapi walinaswa | {
"text": [
"300"
]
} |
5241_swa | UFAHAMU 8
Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi?
Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo... | vijana walivaa mavazi gani | {
"text": [
"Mafupi"
]
} |
5241_swa | UFAHAMU 8
Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi?
Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo... | Visa vimekuwa kawaida mji upi | {
"text": [
"Nairobi"
]
} |
5241_swa | UFAHAMU 8
Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi?
Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo... | Mwigo ulikuwa upi | {
"text": [
"Kishetani"
]
} |
5241_swa | UFAHAMU 8
Imefika wakati ambapo kila mmoja lazima ajiulize swali kuhusu tuelekeapo kama jamii, mustakabali wa kizazi cha sasa ni upi?
Nauliza swali kuhusiana na misururu ya visa ambayo kwa kweli imeibua hofu na wasiwasi kuhusu msingi wa kimaadili miongoni mwa vijana wetu. Kuna hatari ijapo; mbaya sana. Ni hali ambayo... | Kwa nini project X ilipotosha vijana | {
"text": [
"Wanaafunzi wanajihusisha na kila aina ya uovu"
]
} |
5242_swa | UFAHAMU 9
Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoy... | Mtazamo hasi ni nini | {
"text": [
"Ni kukata tamaa"
]
} |
5242_swa | UFAHAMU 9
Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoy... | Asilimia kubwa ya wanaotambua hutatizika kujikwamua kutoka wapi | {
"text": [
"Katika hali hii"
]
} |
5242_swa | UFAHAMU 9
Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoy... | Kwa kila saa 24 inakadiriwa kwamba watu huwa na takribani mawazo mangapi | {
"text": [
"Elfu sitini"
]
} |
5242_swa | UFAHAMU 9
Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoy... | Mitazamo hasi ina vyanzo na pia nini | {
"text": [
"Suluhu"
]
} |
5242_swa | UFAHAMU 9
Je, mtazamo hasi ni nini? Huwa na athari gani kwa binadamu? Mtazamo hasi ni kukata tamaa, kutamauka kuhusu hali, mtu au jambo fulani. Ni hisia ya kutotaka kushiriki wala kuhusishwa na jambo au hali fulani. Mtazamo huu ndio huwafanya wanafunzi wengi kuchukia au hata kudunisha baadhi ya masomo na walimu wanaoy... | Ni nini kinachomuingiza mtu katika hali hii | {
"text": [
"Fikra zake au za watangulizi"
]
} |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.