id
int64
0
24.8k
text
stringlengths
0
21k
0
zarif: iran inajua mpango wa saudia wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa iran
1
miripuko hiyo inakuja mwanzoni mwa wiki takatifu kuelekea pasaka na ikiwa ni wiki chache tu kabla ya papa francis kuanza ziara yake katika nchi hiyo yenye idadi kubwa kabisa ya watu katika ulimwengu wa nchi za kiarabu.
2
tuna matumaini makubwa ya kuendelea kutimiza malengo ya kujitosheleza kwa mahitaji ya chakula kwa kipindi cha mwaka mzima kama ilivyo kwa miaka mingi ya nyuma.
3
wafanyakazi wa kampuni ya zanlink zanzibar wakiitikia wito wa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania wakishiriki katika zoezi la usafi wa mazingira katika sehemu yao ya kazi kuadhimisha miaka 54 ya uhuru.
4
hata hivyo wabunge hao leo asubuhi wamepatiwa rufaa kwa ajili ya kwenda kutibiwa hospitali ya taifa ya muhimbili na kufanyiwa uchunguzi wa kina. mkuu wa mkoa wa manyara, alexander mnyeti amemtaka kaimu katibu tawala wa mkoa wa manyara, arnord msuya kumsimamisha ...
5
ingawa zilikuwa ndani ya vifuko vya plastiki vyeupe, lakini kwa mara ya kwanza watanzania wengi waliokuwa wakifuatilia matangazo ya televisheni waliweza kujionea utajiri wa rasilimali zao, na katika tukio la kushangaza zipo almasi ambazo zilikuwa zikitoa nuru, iliyokuwa ikinakisi kioo cha miwani ya waziri mpango na kutoa mwangaza wa kupendeza.
6
sekta ya mifugo ni mojawapo ya shughuli kuu za kiuchumi inayotegemewa na wananchi wa mkoa wa songwe. mkoa unajitosheleza kwa mahitaji ya nyama na kiasi kikubwa cha mifugo husafirishwa kwenda nje ya mkoa. jumla ya lita 14,136,400 zenye thamani ya sh. 9,895,480,000 zimezalishwa kwa kipindi cha januari 2017 mpaka septemba 2017 kwa ujumla kutoka ng’ombe wa aina zote na mbuzi.
7
waandishi wa habari wameombwa kutumia vipaji vyao na elimu waliyo nayo, ili kutoa fursa kwa makundi ya watu wasio kuwa na sauti, ili waweze kusikilizwa. lengo la kuwa na semina kwa waandishi wa habari ulikuwa ni mwendelezo wa kuwapa sauti watu wenye ulemavu ilikuweza kukabiliana na changamoto ambazo zinazowakabili watu wenye ulemavu ili kuangalia ni kwa namna gani waandishi wanaweza kuchochea jamii ili iweze kuungana kwa pamoja kuleta usawa katika maendeleo ya taifa kwa ujumla. katika mafunzo haya katika siku ya mwishi wa mafunzo, waandishi wa habari waliweza kupata fursa ya kutembelea kiliniki ya wataalamu kutoka hospitali ya kagondo waliokuwa katika eneo la ofisi ya shirika la kcbr ambapo wanahusika na kutoa huduma kwa watu wenye ulemavu hapo waliweza kujifunza mengi. mbali na kuwa mafunzo haya yalitolewa, pia changamoto kwa upande wa pili haziwezi kukosa maana tumekumbana na hizi ni kwa vipi mpango utatekelezwa ,viongozi kutokuwa tayari kutoa ushirikiano wa kutosha kwa waandishi wa habari,watu wenye ulemavu kujinyanyapaa wenyewe na kutokuwa tayari kutoa ushirikiano. katika mafunzo kwa waandishi wa habari yalitolewa yalikuwa maalumu kwa ajili ya kuwawezesha waandishi wa habari kuwa na upeo sahihi kuhusiana na lugha mbadala ya kutumia ili kuepuka kutumia lugha ambayo inaleta unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu na makundi mengine maalumu.
8
amesema lugha ya kiswahili ni lugha ya 10 kati ya lugha elfu sita duniani hivyo ni lazima watanzania waone umuhimu wa kutumia lugha hii kwa sababu inatoa fursa mbalimbali ikiwemo ajira kwa nchi ambazo zinahitaji wataalamu wa lugha hiyo.
9
afisa mkuu mtendaji wa iebc ezra chiloba alitimuliwa na mwenyekiti ili kutoa nafasi ya uchunguzi kuhusu matumizi ya pesa kufanyika. picha: ezra chiloba.
10
nyumbani piga simu kwa maombi shule ya cern-unesco kwenye maktaba ya digital 2018 kwa maktaba na wataalam wa habari wa it ... mapendekezo yatapewa kwa duos, yenye mwandishi wa maktaba mmoja na mtaalamu mmoja wa it, wote wanaofanya kazi katika mazingira sawa ya kitaaluma, na uzoefu wa miaka 5-15. lugha iliyoandikwa na iliyoandikwa kiingereza ni mahitaji ya lazima ya kushiriki katika mpango (hati ya uwezo wa kiingereza kwa waombaji kwa nchi zisizo za anglophone itatakiwa).
11
mpango wa rais wa phd wa ushirika wa cas-twas 2019 kwa ajili ya utafiti katika uchina (fully funded)
12
tuzo ya wajasiriamali ya jamii ya wavuti kwa wajumbe wa kwanza wa vijana wa dunia | fursa kwa waafrika
13
tuzo ya wajasiriamali ya jamii ya wavuti kwa wajumbe wa mmoja wa vijana wa dunia - novemba 5, 2017 katika 1: 03 pm
14
initiative ya elimu ya kiafrika kwa vijana (initiative abe) msaada wa mwalimu wa 2019 na mpango wa mafunzo kwa waafrika (ulifadhiliwa kabisa kwa japani).
15
baada ya kisa kibaya cha milipuko mikubwa ya mabomu kutoka kwa ndege za wanajeshi wa muungano wakiongozwa na marekani, sdf inasema kuwa, wapiganaji wake sasa wameingia katika wilaya zilizoko katika maeneo ya kazkazini na mashariki mwa mji wa raqqa.
16
na imepokelewa pia katika israiliyaat juu ya maelezo ya wasiwasi wa ibilisi kwa aadam kuwa hakuweza kumtia wasiwasi mpaka alipofanikiwa kuingia ndani ya mdomo wa nyoka, na nyoka wakati huo alikuwa na miguu mine mfano wa ngamia.
17
kiwango cha ukusanyaji wa damu katika manispaa ya tabora kimepungua kutoka chupa l,709 hadi chupa 828 kwa mwezi uliopita.
18
jamuhuri ya kidemokrasi ya congo, inayo jumla ya mahakimu 4000 upande wa kiraia pamoja na kijeshi walioajiriwa kwa misingi ya mashindano ya kitaifa.
19
hosteli hizi zilizinduliwa na mh. rais mwanzoni mwa mwaka huu na zimeanza kukaliwa mwezi wa 11 mwaka huu.
20
udukuzi huo haukusababisha uharibifu lakini, kuhusika kwa wadukuzi wa korea kaskazini mitandaoni kulizua hofu juu ya ni kipi wana uwezo wa kukifanya.
21
kampuni chencan iko katika qihe uchumi maendeleo ya kanda ya mkoa wa shandong, ambayo kwa 13000 ㎡ kupanda kisasa, na zaidi ya wafanyakazi 200 na 60 mtaalamu fundi.
22
katika baadhi ya matukio inaweza tunahitaji kukuelekeza kwa taarifa ambayo inapatikana katika lugha german tu. tunasikitika kwa usumbufu wowote hii inaweza kusababisha wewe.
23
ameongeza kuwa pamoja na uzalishaji mzuri wa chakula nchini, lishe duni (utapiamlo) kwa jamii na kwa baadhi ya maeneo inaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kuathiri maendeleo ya wananchi kiafya, kielimu na kiuchumi. akizindua chanjo hiyo katika shule ya sekondari ya vwawa wilaya ya mbozi mkuu wa mkoa wa songwe chiku gallawa amesema chanjo hiyo ni juhudi za serikali za kuboresha na kuokoa maisha ya wananchi hasa kwa magonjwa yanayozuilika. aidha amewasihi wasichana wote kutoshiriki vitendo vya ngono katika umri mdogo kwakuwa ni moja ya chanzo kinachoweza kusababisha saratani ya mlango wa kizazi pamoja ikiwa ni pamoja na kutojiingiza katika uvutaji wa sigara. kaimu mganga mkuu wa mkoa wa songwe dkt kheri kagya amesema chanjo hii inatolewa bure katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya na katika huduma za mkoba kwenye shule mbalimbali. wanafunzi wa sekondari ya vwawa wilaya ya mbozi wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa songwe chiku gallawa wakati wa uzinduzi wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mapema jana.
24
katika 2017, tumeonyesha mipangilio ya 20 kutoka kwenye programu ya xl afrika kama sehemu ya mkutano wa wawekezaji wa mapema wa afrika, na kusababisha idadi ya mipango ya mfululizo wa jumla ya $ 12m. kujenga mafanikio haya, 'vc4a showure - mfululizo a' sasa imeunganishwa kama sehemu kuu ya mkutano wetu wa kila mwaka. huu ni fursa ya kipekee ya kuanzisha kampuni yako kwa mara moja kwa kila mtu ambaye ni mtu yeyote katika nafasi ya uwekezaji wa mwanzo wa afrika.
25
tembelea ukurasa wa nje wa mtandao wa 2018 vc4a mradi wa uwekezaji - sura ya a katika mkutano wa wawekezaji wa mapema wa afrika
26
ushindani wa mradi wa uzamili wa dell emc 2019 kwa wafanyakazi wa msingi wa msingi kutoka mkoa wa mena (tuzo la 12,000 ya usd)
27
mgombea wa nafasi ya mwenyekiti kwenye uchaguzi mkuu wa klabu ya simba, mtemi ramadhani amejondoa kwenye kinyang’anyiro hicho kwa sababu ya kuwa na majukumu yake binafsi yatakayoweza kumbana kwenye kutimiza ...
28
kuwezesha mafunzo ya kujenga uelewa kwa wakulima 20 na mafunzo ya kujenga uwezo kwa wataalam 19 katika kituo cha utafiti cha tacri mbimba.
29
inasaidia kwenye ukuaji wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula (digestive system) na mfumo wa upumuaji wa mapafu.
30
alisema marehemu alikuwa miongoni mwa viongozi waanzilishi wa kwanza wa taa mwaka 1999 na atakumbukwa kwa mchango mkubwa alioutoa na usimamizi wa ujenzi wa viwanja vya ndege vya songwe na mpanda.
31
kauli hiyo ya nape imekuja baada ya kuonekana kwa baadhi ya viongozi afrika wakibadili vipengele vichache ndani ya katiba ya nchi yao ili imuwezeshe kukaa madarakani zaidi ya alivyotakiwa kwa mara ya kwanza kuongoza.
32
4.vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @150,000/=
33
aliyekuwa mwanahabari wa runinga ya citizen na ambaye kwa sasa ni mwanahabari wa runinga ya k24 alizingua mitandao ya kijamii baada ya kuweka uhusiano wake wa kimapenzi wazi.
34
max karl ernst ludwig planck (23 aprili 1858 – 4 oktoba 1947) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya ujerumani. hasa anajulikana kwa kubuni nadharia ya kwanta. mwaka wa 1918 alikuwa mshindi wa tuzo ya nobel ya fizikia.
35
katika sehemu hii utajifunza mambo ya msingi ya kufahamu kabla ya kufanya matangazo katika mtandao wa facebook na instagram.
36
wizara ya mambo ya ndani ya yemen imewalaumu wanachama wa kundi la al qaida kwa kuhusika na shambulizi hilo lililotokea katika mji wa marib kiasi cha kilomita 150 kaskazini mwa mji mkuu wa yemen sanaa.
37
wahariri wa magazeti katika safu zao za tahariri wanatoa maoni juu ya kustaafishwa kwa aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama wa ndani nchini ujerumani, miongoni mwa mengineyo.
38
rekodi hizo, kwa sasa zimechapishwa kwenye tovuti ya mtandao wa idara ya kitaifa ya marekani inayohifadhi kumbukumbu.
39
swali: ikiwa wasikilizaji hawaelewi na wala hawajui lugha ya kiarabu. je, inajuzu kwa khatwiyb kuwatolea khutbah kwa lugha yao?
40
odinga amayasema hayo baada ya kufanya mkutano na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wafula chebukati, ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mpya wa rais, ambao umeitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro mkubwa wa kisiasa.
41
habari za siri kuhusu mpango wa jeshi la serikali ya australia zimeibwa katika udukuzi wa mtandaoni.
42
1tafadhali, tambua kwamba kilicho baina ya fungua na funga semi hizi katika kitabu hiki ni tafsiri tu ya qur-aan. si qur-aan yenyewe ambayo iko katika lugha ya kiarabu
43
mfumo wa utoaji haki wa umoja wa mataifa uliwekwa kwa lengo la kulinda haki za watu wote, wenye na wasio uwezo duniani kote.
44
iran imeweza kupata mafanikio hayo ya kielimu katika hali ambayo nchi hii ilikuwa katika vita vya kulazimishwa kwa muda wa miaka minane (1980-1988) na hivyo kuyafanya mazingira ya elimu na utafiti kuwa magumu sana.
45
kwa upande wake mwakilishi wa mkurugenzi wa mradi huo bw. riziki kasimu ameshukuru ushirikiano anaoupata kutoka katika halmashauri na serikali ya mkoa ili kuhakikisha wanashusha na kutokomeza maambukizi ya ukimwi na ameiomba serikali ya mkoa wa rukwa kutoa kipaumbele kwa kazi za ukimwi katika matumizi ya gari. mtadi huo tayari umeshatoa gari 7 katika mkoa wa rukwa, 4 katika halmashauri zote za mkoa na 3 katika ofisi ya mkuu wa mkoa jambo lililosaidia kurahisisha shughuli za kupambana na maambukizi ya ukimbwi na hatimae kushuka kutoka asilimia 6.2 mwaka 2015 hadi asilimia 4.4 mwaka 2018.
46
wakaazi wa maeneo bunge ya kisauni na nyali wanaishi kwa hofu, baada ya kuchipuka kwa genge ambalo limesababisha mauaji ya makumi ya watu katika maeneo hayo.
47
tanzania itashiriki michuano hiyo bila kupita katika hatua ya mchujo kutokana na faida ya kuwa mwenyeji. mei 28 mwaka 2017 nchini mali, rais wa shirikisho la soka barani afrika ahmed ahmed alikabidhi bendera ya caf kwa viongozi wa tff kama ishara ya kuwa mwenyeji.
48
ujumbe wa umoja wa ulaya (eu) umeongozwa na mkuu wa idara ya pembe ya afrika na afrika mashariki katika wizara ya nje ya eu, bw. patrick simonnet.
49
kijo amesema kuwa kwa sasa tfda itakuwa na kazi ya kutoa elimu kwa watoa huduma hao ambapo watatoa muda maalum ili watu wajisajili baada ya hapo wataanza ukaguzi kwa kila halmashauri.
50
tume ya vyuo vikuu tanzania (tcu) imesitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo 19
51
katika siku za karibuni, wakuu wa wilaya wamekuwa wakitumia ‘sheria ya saa 48’ kutoa adhabu kwa kuwaweka baadhi ya watu mahabusu.
52
kitendo cha kutoa mimba kina aslimia kubwa ya kusababisha kansa ya mlango wa uzazi kuliko wengine ambao hawajatoa mimba. hii ni kwa sababu ya kusumbuliwa kwa mlango huo kwa dawa za kutoa mimba, vifaa vya kutoa mimba na mabadiliko ya ghafla ya homoni za uzazi.
53
hatua hiyo imekuja baada ya zao la korosho kuendelea kununuliwa kwa bei ya chini na idadi ya wanunuzi kuwa ya chini licha ya uzalishaji wa mwaka huu kuwa mdogo ukilinganisha na msimu wa mwaka jana.amesema msimu wa mwaka jana uzalishaji ulikuwa zaidi ya tani 300,000 na mwaka huu zinatarajiwa tani zaidi ya 200,000 hivyo wafanyabiashara wanao uwezo kununua korosho zilizopo.
54
yeye ndiye mchezaji wa pili wa klabu hiyo kutia saini mkataba wa muda mrefu katika klabu hiyo katika kipindi cha wiki moja, baada ya angelo ogbonna pia kutia saini mkataba wa miaka mitano.
55
umri wa ulimwengu hukadiriwa kwa sasa kuwa miaka bilioni 13.7. hesabu hii iananza kwenye mlipuko mkuu wa asili ambayo ni nadharia inayotumiwa na wataalamu wengi.
56
newcastle ipo tayari kusaini uhamisho wa mkopo wa winga wa chelsea raia wa brazil kenedy, mwenye umri wa miaka 21, katika saa 24 zijazo. waziri mkuu kassim majaliwa amepokea vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kwa ajili ya kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo ya mkoa wa dar es salaam.
57
kauli hiyo imetolewa na john mongella, mkuu wa mkoa wa mwanza katika uzinduzi wa maonyesho ya 12 ya kibiashara ya afrika mashariki yaliyofanyika jijini hapa.
58
mkoa wa rukwa ulianzishwa mwaka 1974 kwa kumega sehemu ya mkoa wa tabora (mpanda) na mbeya (sumbawanga). mnamo mwezi julai 2010 serikali ya awamu ya nne iliridhia kugawanywa kwa mkoa wa rukwa na kuanzishwa kwa mkoa mpya wa katavi. mwaka 2017 mkoa unakisiwa kuwa na wakazi wapatao 1,192,373 ambapo wanawake wanakisiwa kuwa 613,942 na wanaume 578,431 mchanganuo wa takwimu za idadi ya watu na makazi kwa mwaka 2012 na maoteo ya mwaka 2017 ni kama ilivyo katika jedwali mkoa wa rukwa una hali ya hewa ya kitropiki ambapo wastani wa joto ni sentigredi 13 katika baadhi ya maeneo kwa miezi ya juni na julai hadi sentigredi 27 kwa miezi yenye joto jingi ya oktoba na desemba. mkoa umebahatika kuwa na mvua za kuaminika kwa miaka mingi; mvua za mkoa huu ni wastani wa milimita 850 kwa mwaka zikinyesha kuanzia mwezi wa novemba – mei. kiangazi huanza mwezi juni mara baada ya majira ya mvua hadi mwezi wa oktoba.
59
suala la watu wasiojulikana limekuwa likiibua mvutano bungeni kila ifikapo zamu ya kuchangia kwa wizara ya mambo ya ndani ya nchi baada ya kuibuka kwa matukio ya utekaji na kupotea kwa watu maarufu kuanzia mwaka 2017 wakiwemo wanahabari na wasanii wa muziki.
60
“hali ya nchi kwa sasa imekuwa na sintofahamu na malalamiko kutoka katika makundi mbalimbali jambo ambalo halitaleta afya kwa taifa, mambo mengi yamekuwa yakilalamikiwa ikiwa ni pamoja na kuminywa kwa uhuru wa kutoa maoni hasa kupitia vyombo vya habari kuzorota kwa demokrasia, ukuaji wa uchumi usioakisi hali halisi ya maisha ya watu.
61
licha ya hiyo, dkt. msonde amesema kuwa ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 96.06% mwaka 2017 hadi 97.12% mwaka huu, huku ufaulu katika masomo ya sayansi umeshuka ukilinganishwa na masomo ya sanaa na biashara. dkt. msonde ameongeza kuwa tathmini ya hali ya matokeo imeonesha kuimarika kwa ufaulu katika madaraja ya i,ii na iii ikiwemo kupanda kwa asilimia 1.80 kutoka 93.72 mwaka 2017 na kuwa asilimia 95.52 mwaka 2018.
62
alhamisi ya jana wapinzani walitia saini tambara la maoni katika kulalamikia mpango wa serikali wa kuifanyia mabadiliko katiba ya uganda kwa lengo la kuondoa ukomo wa umri kwa rais wa nchi hiyo. katika katiba ya sasa kumeainishwa mpaka na umri wa miaka 75 kwa ajili ya urais. kwa sasa rais yoweri museven ana umri wa miaka 72 akiwa madarakani tangu mwaka 1986 na kwa mujibu wa katiba nchi hiyo museven anatakiwa kuondoka madarakani ifikapo mwaka 2021.
63
fikra za haraka zitakazokujia ni kwamba kila mwaka alizaa mtoto mmoja tangu akiwa na umri wa mwaka mmoja huku mwingine mmoja akizaliwa mwaka mmoja kabla ya yeye mwenyewe hajazaliwa. hiyo ilikuwa mwaka 1993, mwaka uliofuata wakati akiwa na umri wa miaka 14, alipata seti yake ya kwanza ya watoto wawili mapacha, kisha miaka miwili baadaye wakafuata mapacha watatu kabla ya mwaka mmoja na miezi saba baadaye kuongeza seti ya mapacha wanne.
64
waziri wa elimu sayansi na teknolojia profesa joyce ndalichako amezitaka taasisi za utafiti na vyuo vikuu vilivyo pata fedha zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa ajili ya kufanya tafiti zitakazosaidia kufikiwa kwa malengo ya serikali ya kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 zinatumia fedha hizo kwa malengo yaliyokusudiwa. awali akizungumzia miradi hiyo,mwnyekiti wa tume ya sayansi na teknolijia profesa makenya maboko amesema uteuzi wa taasisi na vyuo vilivyoshinda tuzo na kupewa fedha hizo umelenga miradi ambayo yenye mchango wa moja kwa moja katika kutekeleza dira ya taifa ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ambapo kwa upande wa tanzania bara zaidi ya shilingi 3 zinatumika katika tafiti na upande wa zanzabar shilingi milioni 960 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi minane.
65
kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa mhasibu mkuu wa serikali kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa mhasibu mkuu wa serikali na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali
66
mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa chuo cha usimamizi wa wanyamapori mweka, prof. faustin bee (kulia), mkuu wa wilaya ya moshi, mhe. kippi warioba (katikati) na mkuu wa wilaya ya same, mhe. harun mbogo (kushoto) wakiteta jambo wakati wa mahafali ya 53 ya chuo hichao ambayo yalifanyika jana mkoani kilimanjaro. baadhi ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi ya wanyamapori mweka, pembeni yao ni mifupa ya miguu ya tembo katika chumba maalum cha mafunzo ya wanyamapori.
67
master j ambaye amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na shaa kwa miaka mingi amesema ukimya wa shaa kwenye muziki ni kutokana na maamuziki ya kuweka sanaa pembeni.
68
mhandisi kamwelwe ametoa tahadhari hiyo wakati wa ziara yake mkoani songwe ya kukagua utekelezaji wa miradi mitatu ya maji ya iyula na itaka katika halmashauri ya mbozi, mradi wa umwagiliaji naming’ongo katika halmashauri ya momba na mradi wa maji tunduma katika halmasahuri ya tunduma.
69
kutoka kwa "ni jinsi gani mwanadamu aliyemfafanua mungu katika dhana zake anaweza kupokea ufunuo wa mungu?" katika neno laonekana katika mwili
70
kila mwaka, taasisi ya mccain huchagua viongozi wa 20 wanaojitokeza kuwa sehemu ya mpango wa wazazi wa uzazi. wao ni watu kutoka duniani kote, kutoka kila matembeo ya maisha, ambao hata katika kazi zao katikati wameonyesha tabia ya ajabu, kujitolea kwa maadili ya msingi ya binadamu, na uwezo wa uongozi wa baadaye. wataalam hawa tayari kuongezeka kwa ngazi ya pili ya uongozi na kubadilisha dunia yao. kiwango cha stipend kinatofautiana kulingana na gharama za kuishi katika mji wa uwekaji wa mshiriki. iliongezwa kwenye shida ni posho ya kusafiri ambayo ngls inaweza kutumia kwa ajili ya usafiri wa kitaaluma kwa kuunga mkono lap zao wakati wa mwaka wa mpango. makala inayofuatawito kwa mawazo: 2018 afrika ya kiafrika ya kiafrika afrika inaandika kwa waandishi wa afrika wenye ujuzi
71
tayari nchi hiyo imewasilisha ombi la kutaka kuwa mwenyeji mashindano ya kimataifa ya riadha mwaka 2023. lakini hisia iliopo kwa wakenya ni kwamba safari hiyo ni upotezaji wa fedha za umma katika nchi ambayo kipato cha mtu wa kawaida ni $150 kwa mwezi.
72
athari za kiuchumi kwa nchi ya iran baada ya marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia
73
ni dhahiri kuwa haki za kijamii zinaweza kuwasilishwa kwa jamii pana kupitia sanaa ya hip hop. makala haya basi, yanabainisha dhima na mchango wa muziki wa hip hop katika masuala ya haki za kijamii, yanafafanua changamoto za muziki huu katika kuwasilisha haki za kijamii na kutoa mapendekezo kwa makundiâ ...
74
observer’s la power 25, wameelezea kuwa maana ya kuwa na nguvu katika orodha hiyo ni kuwa watu wanaoweza kuifanya jamii ya dunia hii kuongelea kitu fulani ama kutweet kwa wingi zaidi kuhusu kile walichokifanya.
75
kuibuka kwa taarifa hizi kumekuja miaka sita baada ya mkono kutajwa na kiongozi mkuu wa upinzani nchini, dk. willibrod slaa kuwa ni miongoni mwa watuhumiwa 11 wa ufisadi nchini.
76
anasema kuwa baada ya kujiridhisha hivyo, alirudi kwa mzee wa kwanza, alizungumza naye na kumuuliza ni kwa nini shida ile ilikuwa haizungumzwi kwa upana katika mamlaka husika. mo katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya jaguar land rover ambao ni miongoni mwa wadhamini wa sherehe za tuzo hizo. mo katika picha ya pamoja na makamu wa rais wa makampuni ya metl group, vipul kakad mara baada ya kutwaa tuzo hiyo. baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya jaguar land rover ya afrika kusini wakipozi kwenye 'red carpet'.
77
kiungo huyo, alianza mazoezi ya timu hiyo juzi jumatatu jioni baada ya kutua nchini kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuichezea simba baada ya kaimu kocha mkuu wa timu hiyo mrundi, masoud djuma kumpendekeza katika usajili wake.
78
rais wa uzbekistani şevket mirziyayev ametimiza muda wa mwaka mmoja akiwa katika wadhifa wa rais wa nchi hiyo
79
miradi mingine ikiwa ni pamoja na utoaji wa mbegu bora za ng’ombe wa kisasa wenye tija katika ufuaji wanaotoa maziwa kwa wingi pamoja na kutoa madawa mbalimbali ya kupambana na magonjwa ya mifugo ili ufugaji katika mkoa wa uwe wa tija. mkuu wa mkoa kijuu alisema kuwa ni matarajio ya serikali ya mkoa kuwa siku moja maendeleo ya wakulima na wafugaji katika sekta za kilimo na mifugo mkoani kagera polepole yatafikia maendeleo ya waholanzi katika sekta hizo kutokana na ufadhili wa nchi hiyo katika kuhakikisha wananchi wa kagera wanapiga hatua ya maendeleo.
80
visa vya maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama mjamzito hadi kwa mtoto bado vipo huku maelfu ya watoto… ni mama mzee wa miaka 75, lakini yeye husakata mpira wa kandanda kiasi cha kuwaaibisha baadhi ya masogora wa soka.…
81
kutoka kwa "kiini cha kristo ni utiifu kwa mapenzi ya baba wa mbinguni" katika neno laonekana katika mwili sherehe ya tuzo itakuwa iliyosafishwa na kusambazwa au kufanywa upya kwenye mtandao, hasa kwenye mitandao ya kijamii
82
alifafanua kwamba tume ilipokea barua kutoka kwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania ambaye kwa kuzingatia kifungu cha 37(3) cha sheria ya taifa ya uchaguzi, aliitaarifu tume uwepo wa nafasi wazi ya ubunge katika majimbo hayo mawili.
83
walimu ambao hufundisha watoto wa umri wa miaka 4 + katika kipindi cha miaka ya mapema, serikali ya kutambuliwa na serikali pia inafaa, kama vile walimu wanaofundisha kwa wakati mmoja, na walimu wa mafunzo ya mtandaoni. waalimu wanapaswa kutumia angalau masaa ya 10 kwa wiki kufundisha watoto uso kwa uso, na mpango wa kubaki katika taaluma ya kufundisha kwa miaka ijayo ya 5. kutambua mafanikio ya mwalimu katika darasani na zaidi ya wanafunzi, wenzake, walimu wa kichwa au wanachama wa jumuiya pana; mafanikio katika jamii zaidi ya darasani ambayo hutoa mifano ya pekee na ya sifa bora ya kazi ya ufundishaji na wengine; kuhimiza wengine kwa pamoja kufundisha taaluma. kuchangia kwa mjadala wa umma juu ya taaluma ya kufundisha, iwe kwa njia ya makala ya kuandika, blogs, ushiriki wa vyombo vya habari, kampeni za vyombo vya habari vya kijamii, matukio ya mikutano
84
dresden ni mji mkuu wa jimbo la saksonia katika ujerumani mwenye wakazi 484,700. uko kando la mto elbe.
85
utawala wa trump waruhusu maelfu ya wakimbizi kutoka syria kuishi marekani - mashariki ya kati - rfi
86
mkuu wa idara ya uchaguzi wa tume ya taifa ya uchaguzi (nec) irene kadushi, akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi. mkurugezi wa uchaguzi wa tume ya taifa ya uchaguzi (nec) dkt. athumani kihamia akifafanua hoja kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia kwa wasimamizi wa uchaguzi.
87
walimu pamoja na mengineyo wamekuwa wakilalamika kusitishwa kwa upandishwaji wa madaraja, jambo ambalo kwa wengi lilikuwa likiwavunja moyo wa uwajibikaji. tunaamini upandishaji wa madaraja ni mfano mmoja wa aina za motisha ambazo serikali inapaswa kutoa kwa walimu tena mara kwa mara.
88
mkuu wa mkoa wa kagera, brigedia jenerali marco gaguti amemweleza nditiye kuwa bado hakuna mawasiliano ya kuridhisha kwenye maeneo mbali mbali ya mkoa huo licha ya kwamba makampuni yote ya mawasiliano yapo ila bado kuna changamoto ya upatikanaji wa mawasiliano ya uhakika kwenye mkoa huo nditiye amefanya ziara hiyo ya kukagua miundombinu ya mkongo wa taifa wa mawasiliano kwenye vituo vya mpakani vya kabanga, rusumo mtukula na biharamulo
89
baadhi ya ya wakurugenzi na wakuu wa taasisi wa wizara ya maliasili na utalii wakiimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi wakati wa mkutano huo uliofanyika mjini dodoma.
90
vikwazo vya marekani vimekuja baada ya mwishoni mwa juma lililopita serikali ya ufaransa nayo kutangaza kuzuia mali za jenerali wa jeshi la drc aliyeko kwenye orodha ya vikwazo ya umoja wa mataifa.
91
taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo ikishirikiana na jeshi la polisi limemkamata tapeli mmoja anayetuhumiwa kujipatia fedha kutoka kwa wanafunzi wa taasisisi kwa ahadi ya kuwasaidia katika ufaulu wao
92
chini ya sheria hii, utawala wa donald trump ulikua na muda hadi jumatatu kuweka vikwazo dhidi ya mtu yeyote atakayehitimisha mikataba mikubwa na sekta ya ulinzi pamoja na idara ya ujasusi ya urusi , ambayo inakabiliwa na vikwazo kwa kuhusika kwake wakati wa uchaguzi wa urais wa marekani wa mwaka 2016.
93
mshambuliaji huyo ni miongoni mwa wachezaji wanaocheza katika kikosi cha timu ya taifa ya brazil chini ya umri wa miaka 20.
94
wakati tunasubiri uamuzi wa kuifanya irugwa kuwa shule ya bweni, kama wazazi tujiulize, ni kiasi gani mtoto anaweza kutumia kwa chakula akiwa nyumbani kwa mwaka? kati ya hizo ni kiasi gani atatumia akiwa shuleni?
95
mhe. mfune ameyasema hayo alipokuwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika kata za mawindi na ipwani zilizopo tarafa ya rujewa siku ya tarehe 30/10/2018 kwa ajili ya kufuatilia maagizo aliyoyatoa kwa viongozi wa kata na vijiji kuhusiana na ujenzi wa vyumba vya madarasa, ujenzi wa zahanati, ujenzi wa vyoo, masuala ya lishe pamoja na uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5. katika hatua nyingine mkuu wa wilaya amewapongeza viongozi wote wa kata ya ipwani wakiongozwa na diwani wa kata hiyo mhe. marcusi kalinga kwa hatua nzuri waliyofikia katika kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari ipwani kwani kukamilika kwake kutasaidia upatikanani wa elimu kwa wanafunzi wa kata ya ipwani.
96
mkusanyiko wa maswali kutoka mitihani ya taifa toka mwaka 1995 hadi 2015 na majibu yaliyoandaliwa kwa usahihi, ustadi na ufasaha mkubwa.
97
amesema kwamba katika awamu ya pili ya upelekaji wa vifaa, wameweka na mfano wa karatasi za kupigia kura ili wadau ambavyo ni vyama vya siasa vijiridhishe kuhusu karatasi hivyo zitakavyokuwa pamoja na kufanya uhakiki wa majina wa wagombea wao. aidha amewataka wapiga kura wote wa maeneo husika, wagombea wa vyama vyote vya siasa na wadau wa siasa kutokuwa na hofu juu ya vifaa hivyo kwa madai kuwa hakuna upungufu wowote utakaojitokeza.
98
tolisso pia aliwakilisha ufaransa katika ngazi mbalimbali za vijana kabla ya kufanya mwanzo wake mkuu mwaka 2017.
99
kutakata kwa wachezaji hao kunaleta ugumu kwa makocha kufanya uamuzi katika upangaji wa vikosi kutokana na viwango bora vilivyoonyeshwa wao ambao si machaguo yao ya kwanza. pato amecheza mechi mbili katika hatua ya makundi kama kiungo mkabaji na kuingia katika wachezaji ambao hawapati nafasi ya kucheza kwenye kwenye ligi kuu ambayo itaendekea mwisho wa wiki hii. said hata katika wachezaji wa akiba wa yanga kwenye ligi huwa akai lakini huku aliweza kupewa nafasi na kucheza.