id
int64
0
24.8k
text
stringlengths
0
21k
200
специальный полноэкранный режим, который адаптируется под любые экраны и позволяет удобно использовать караоке в компании karemlash.net @ مـنـتـديـات كـرمــلـش @ ألـمـنـتـدى الـديـنـي @ مـنـتـديـات ثـقـافـيـة @ مـنـتـديـات الـمنـوعـات @ مـنـتـديـات عـلـمـيـة @ مـنـتـديـات الأخـبـار و الـتـقـاريـر @ مـنـتـديـات الافـراح...
201
kurekebisha kwa tafsiri ya moja kwa moja wakati tafsiri watumiaji si mkono kwenye injini zisizo google
202
yennenga alikuwa binti muhimu wa ufalme wa watu wa mossi katika sehemu ya nchi burkina faso. yeye alizaliwa miaka 900 iliyopita. baba yake alikuwa mfalme wa dagomba katika karne ya 12. eneo la ufalme wa dagomba sasa ni kaskazini mwa nchini ghana. kama lingekuwa bado ndani ya burkina faso basi ingekuwa kusini mwa nchi h...
203
kamati ya kudumu ya bunge imemaliza ziara yake ya mafunzo ya siku tano katika miradi ya sekta ya uchukuzi kwa kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya sgr.
204
utangazaji wa facebook utangazaji wa biashara mtandaoni utangazaji wa bidhaa seo utangazaji kwa makundi ya kijamii
205
mkuu wa mkoa wa arusha mrisho gambo amesema wananchi wa kata ya kimokouwa na namanga kwa ujumla hawana haja yakupata matibabu tena kutoka nchi jirani ya kenya. mgaga mkuu wa mkoa dokta vivian wonanji,amesema serikali imeshatenga kiasi cha fedha cha milioni 200 kwa ajili ya manunuzi ya vifaa kwa vituo vyote vya afya na ...
206
kiongozi huo wa bamf amesema ofisi yake ilikuwa ikitarajia kuwasili kwa wahamiaji wapya mwaka huu kati ya 250,000 na 300,000 idadi ambayo ni tafauti kabisa na ile ya waliowasili mwaka jana.
207
ushirikishwaji katika kutoa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kutoka katika sekta mbalimbali hasa za dini,kisiasa na kabila ni muhimu sana. akiyasema hayo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa arusha,mkuu wa wilaya ya arusha gabriel daqarro amesema kuwa zoezi hili lisichanganywe na mambo ya siasa bali sekta hizo zitumike k...
208
seoul ilitafuta kwa muda mrefu kuonesha tukio hili kama "michezo ya amani" katika mazingira ya uhasama kuhusu mpango wa nyuklia wa korea kaskazini na majaribio ya kombora ya masafa marefu.
209
kata ya lugelele ina jumla ya watumishi 2 wa idara ya mifugo na uvuvi na ina jumla ya mifugo kama ifuatavyo: sekta ya uvuvi ni mojawapo ya sekta zinazofanya kazi katika kata hii. idara inaendelea kushauri wananchi juu ya uchimbaji bora wa mabwaya ya samaki kwa ajili ya ufugaji wenye tija.
210
kupona kwa salah kumeongeza matumaini kwa waafrika na wamisri kwa ujumla kwenye safu ya ushambuliaji wa timu hiyo kutokana na mchango wake mkubwa uwanjani.
211
homan ni zaidi ya ugonjwa wa kawaida wa binadamu[62] na watu wanaathirika kimataifa.[16] watu wazima kwa kawaida huwa na maambukizi mbili hadi tano kwa mwaka.[2][3] watoto wanaweza kuwa na homa sita hadi kumi kwa mwaka (na homa hadi kumi na mbili kwa mwaka kwa watoto wa shule).[38] viwango vya maambukizi ya dalili huon...
212
mheshimiwa naibu spika, sasa katika sera ya mheshimiwa rais ya „hapa kazi tu‟ katika hotuba yake ukurasa wa 13 amesema kwamba serikali ya dkt. magufuli itakuwa ya viwanda.
213
tangu kuanza kwa vikao vya mkutano wa 11 wa bunge la 11 april 3 mwaka huu kumeshuhudiwa baadhi ya wa... ameonesha nguvu kubwa ya kisiasa kwenye uchaguzi mkuu uliopita na kwamba anaamini akiunganisha nguvu...
214
trump azuia kuchapishwa kwa nyaraka kuhusu madai ya urusi kuingilia uchaguzi wa marekani - amerika - rfi rais wa marekani donald trump amezuia kuchapishwa kwa nyaraka iliyoandaliwa na wabunge wa democratic kuhusu madai ya urusi kuingilia uchaguzi mkuu wa mwaka 2016.
215
umoja wa nchi za kiafrika a.u umemteua mwakilishi katika uongozi wa amisom mwanasiasa mzaliwa wa nchi ya niger iliyo kaskazini mwa bara la afrika. kiongozi wa serikali ya fg amefanya mabadiliko kwenye uongozi wa mashirika ya usalama baada ya kufanikiwa opresheni kubwa iliyofanywa na al-shabab kwenye jumba la ikuku mjin...
216
majaliwa ametoa agizo hilo leo (jumatatu) wakati akizungumza na watendaji wakuu wa wizara ya maliasili na utalii na wakuu wa mapori ya hifadhi za misitu nchini katika kikao alichokiitisha kwenye ukumbi wa ofisi ya waziri mkuu mjini dodoma.
217
jimbo la benue lilimiliki jina lake baada ya mto benue na iliundwa kutoka jimbo la tambarare ya benue wa 1976, pamoja na igala, na baadhi ya sehemu za jimbo la kwara. pia katika mwaka wa 1991 baadhi ya maeneo ya jimbo la benue (hasa katika eneo la igala ), pamoja na maeneo katika jimbo la kwara, yalitengwa ili kuunda j...
218
imeelezwa kuwa baadhi ya wapiganaji waliokuwa kwenye mafunzo ya al-shabaab walichomwa hadi kufikia hatua ya kutotambuliwa, zaidi ya wapiganaji 75 walifyekwa.
219
utangazaji wa facebook utangazaji wa biashara mtandaoni utangazaji kwa makundi ya kijamii mitandao ya kijamii twitter
220
kumbuka: ikitegemea sheria ya nchi, bei ya ukaguzi kabla ya usafirishaji itaongezwa. katika baadhi ya kesi, bei ya jumla haiwezi kukadiriwa.wasiliana nasi kwa ajili ya bei ya mwisho.
221
hivi sasa tanzania inategemea idadi kubwa ya watalii kutoka mataifa ya ulaya na amerika na kwamba japokuwa idadi ya watalii kutoka nchi za kiarabu haizidi 15,000 kwa mwaka, bado jitihada za utangazaji na uwekezaji zikifanywa vizuri idadi ya watalii kutoka mataifa ya kiarabu itaweza kuongezeka nchini.
222
katika moja ya matukio ambapo mtume aliitoa hadithi hii ilikuwa ni katika viwanja vya arafati wakati wa hajjatul widaa' (hijja ya mwisho ya mtume), siku ya ghadir khum - mtume alipokuwa anarudi kutoka katika hajjatul widaa', katika siku zake za mwisho za ugonjwa wake, na katika khutba zake katika mji wa madina, n.k.
223
mtu hapaswi kupimwa kwa mujibu wa maarifa yake, utajiri au cheo, bali kwa mujibu wa tabia zenye kusifika, zinazomfanya akubalike mbele ya macho ya allah na kwa kuwa mtukufu na msifiwa mbele ya macho ya watu. (taz: tadhkirah al-haqaaiq, uk. 57)
224
kocha mhina alisema wanaiheshimu azam kutokana na kuwa katika nafasi nzuri katika msimamo lakini dakika 90 ndiyo mwamuzi wa mwisho kwa mechi hiyo.
225
matangazo ya biashara utangazaji wa biashara mtandaoni utangazaji wa bidhaa mauzo utangazaji kwa makundi ya kijamii
226
hata hivyo, igp sirro amewataka watu wenye uwezo wa kifedha nchini kujiwekea ulinzi wa kutosha kwa ajili ya usalama wa maisha yao.
227
kiongozi wa muungano wa upinzani nchini kenya nasa raila odinga, amejiapisha kuwa rais wa jamhuri ya watu wa kenya mbele ya wafuasi wake katika bustani ya uhuru jijini nairobi. mashambulizi ya angani ya jeshi la syria katika mkoa wa idleb yameua watu wasiopungua 33 katika masaa 24 yaliyopita.
228
hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2017 na mpango wa maendeleo ya taifa kwa mwaka wa fedha 2018/2019 na mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2018/2019 makadirio ya matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017- wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji hali ya uchumi wa ta...
229
morocco imezindua kampeni ya kuwa wenyeji wa kombe la dunia katika mchezo wa soka jijini casablanca mwaka 2026.
230
takwimu za bodi ya maziwa tanzania zinaonyesha unywaji wa maziwa nchini ni wastani wa lita 47 kwa mtu mmoja kwa mwaka walitoa kilio hicho mbele ya mkuu wa wilaya ya kinondoni, ally hapi wakati wa uzinduzi wa mtando wa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa. nchini kenya, unywaji wa maziwa ni wastani wa lita 120 kwa mtu mmoja kw...
231
akinukuu sheria ya mwaka 1999 pamoja na ile ya mwaka 2005 ya utumishi wa umma, kairuki amesema waliokuwa viongozi katika nyadhifa hizo wana haki ya kuendelea kupata stahiki hizo kisheria.
232
trump amekanausha kuwa hakuna mpango wa uhamisho wa ubalozi wa marekani jerusalem katika kipindi cha mwaka mmoja huku waziri mkuu wa israel akiwafahamisha waandishi wa habari akitokea nchini india kuwa ubalozi wa marekani utahamisha mwakani.
233
nilimfahamu mtoi kupitia mawasiliano ya intaneti baada ya yeye kuniandikia kwa utani na baadaye nikagundua kuwa alikuwa mmoja wa wanafunzi wa mama yangu katika chuo cha ualimu korogwe. baada ya tukio hilo, mjumbe wa timu ya kampeni ya cuf, ismail jussa, aliwasiliana kwa njia ya simu na kamishna wa polisi zanzibar na ku...
234
ukata huo utokanao na uamuzi wa serikali kubana matumizi umesababisha mabadiliko makubwa kwa baadhi ya vigogo waliokuwa wakitamba mitaani kutokana na ukwasi mkubwa waliokuwa nao.
235
jana ilikuwa siku ya kihistoria kwa nchi hiyo, ikiwa ni nchi ya pili duniani baada ya uruguay kupitisha sheria rasmi ya kuruhusu matumizi ya bangi.
236
wengi wa viongozi nchini (kutoka vyama vyote vya siasa), wote wametokana au ni matunda ya umoja wa vijana ama wa tanu au ccm. badala ya uzalendo kwa taifa, vijana wa makundi haya kwa kiasi kikubwa wanafundishwa na kujengewa uzalendo kwa vyama na makundi yao ya kimaslahi.
237
naibu katibu mkuu, wizara ya maliasili na utalii, dkt. aloyce nzuki akizungumza wakati akifungua warsha iliyoandaliwa na wizara hiyo kwa wadau wa mikoa ya kanda ya kati kwa ajili ya kukusanya maoni ya kuboresha rasimu ya sera mpya ya misitu ya mwaka 2016 iliyofanyika mjini dodoma leo. mkurugenzi wa idara ya misitu na n...
238
timu iliyochukua tuzo ya nidhamu bora katika fainali za kombe la dunia kwa wanawake ni timu ya taifa ya ufaransa. ikumbukwe pia timu ya taifa ya england ilifanikiwa kutwaa nafasi ya tatu baada ya kuibanjua timu ya taifa ya ujerumani kwa bao moja bila ya majibu.
239
aliwataka w asanii wa kike kuacha kupenda mteremko kwa kuwa hali hiyo inaweza kuwapelekea kuanguka kwenye mikono ya wanaume wanaowatumia kwa ahadi za kuwasaidia kimuziki.
240
afisa michezo wa mkoa mwamvita onoka, nae amesema kama mkoa atahakikisha mashindao hayo ya watoto wenye ulemevu wa akili yanafanyika kila mwaka kwa mkoa wa arusha.
241
“ifike muda wale wote wasio na vyoo wafikishwe kwenye vyombo vya sheria, wilaya ya mbarali ni ya pili kutoka mwisho kwa mkoa wa mbeya katika suala la vyoo, wakati tuna uchumi mkubwa wa kilimo, ni aibu” mhe. mfune aliagiza watendaji wote pamoja na wenyeviti kuongeza juhudi katika kusimamia ujenzi wa zahanati kwa kila ki...
242
akitoa taarifa ya mkoa katika madhimisho hayo, mkuu wa mkoa alisema asilimia 71.2 ya wakazi wa mkoa wa iringa huduma ya maji safi na salama. katika upatikanaji wa maji mijini na vijijini, alisema ipo haja ya kutumia teknolojia ya uvunaji wa maji ya mvua hasa katika maeneo yenye upungufu wa huduma hiyo.
243
mtu huyo mwenye asili ya asia anadaiwa kuwa alikuwa alipewa fedha na mmoja kati ya wagombea hao ilia toe rushwa kwa watu watakaopiga kura.
244
mkutano wa umoja wa mataifa kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya paris ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi unakamilika leo baada ya wiki mbili za mazungumzo mpango wa umoja wa ulaya wa kubuni mkakati wa pamoja wa ulinzi, jinsi mashambulio ya kigaidi yanavyoathiri uzoefu wa maisha ya wafaransa na mkutano wa mabadili...
245
waziri wa maliasili na utalii, dk. hamisi kigwangalla akiongozwa na kaimu mhifadhi mkuu wa hifadhi ya taifa ya mikumi, gerald mono kukagua mazingira ya hifadhi hiyo wakati wa ziara yake ya kikazi katika hifadhi hiyo jana mkoani morogoro. waziri wa maliasili na utalii, dk. hamisi kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa k...
246
waa wa wa wa wa! waa wa wa wa wa! waa wa wa wa wa! waa wa wa wa wa! waa wa wa wa wa! waa wa wa wa wa! wah!
247
tuna viungo kwenye tovuti hii kwa ajili ya matumizi yako na kumbukumbu. sisi si kuwajibika kwa sera za faragha kwenye tovuti hizi. unapaswa kuwa na ufahamu, kuwa sera ya faragha ya maeneo haya yanatofautiana na yetu wenyewe. mabadiliko ya sera ya siri
248
4 muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi wa mwaka 2018 2018-06-29
249
uwanja huo pia ulitumiwa na fa kwa ajili ya michuano ya kombe la ligi pamoja na mchezo wa ngao jamii, baada ya kuvunjwa kwa uwanja wa wembley.
250
mazungumzo ya amani ya wiki hii yatakuwa ni ya pili tangu kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya upande wa serikali ya syria na makundi ya waasi yaliyoridhiwa pia na mataifa ya urusi na marekani ambayo utekelezaji wake ulianza tangu februari 17, mwaka huu. hatua hii imezidi kuongeza matumaini katika kut...
251
akizungumzia upanuzi wa mazao ya utalii, alisema sekta hiyo kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea zaidi utalii wa wanyamapori huku ukiegemea zaidi katika ukanda wa kaskazini kwa zaidi ya asilimia 90.
252
apicmo ina timu ya r & d yenye nguvu na wanasayansi wenye ujuzi - dr jack. tuna uzalishaji mkubwa wa uzalishaji na timu ya usimamizi wa biashara. wafanyakazi wa usimamizi wa timu ya apicmo hasa kutoka nchi zilizoendelea kama vile marekani, ulaya na japan. zaidi ya miaka 10 ya uzoefu wa sekta katika makampuni ya kimatai...
253
naibu waziri wa maliasili, japhet hasunga (kushoto) akipokea taarifa ya serikali ya mkoa wa katavi kutoka kwa mkuu wa mkoa huo mej. jen. mst. rafael muhuga baada ya kusomwa mbele yake jana alipotembelea mkoa huo kwa ajili ya kutatua migogoro ya hifadhi na wananchi. naibu waziri wa maliasili, japhet hasunga (kushoto) ak...
254
timu ya azam wameweka wazi kuwa wako tayari kwa ajili ya kupambana na mtibwa sugar katika mchezo wa ...
255
hii ni kwa sababu kwa kiasi fulani, athari za lugha mama katika lugha ya mazungumzo kwa upande wa lafudhi haziepukiki. hata hivyo, ni vyema kuandika kwa kufuata taratibu za lugha ili ujumbe uweze kuwafikia walengwa.
256
katika hatua nyingine ameuagiza uongozi wa wakala wa huduma za misitu nyanda za juu kusini kuwashirikisha wananchi wanaoishi jirani na hifadhi hiyo ya msitu kwenye ulinzi wa hifadhi ikiwa ni pamoja na kuwawezesha miche ya miti ya kutosha kwa ajili ya kupanda kwenye maeneo yao yanayozunguka hifadhi hiyo. kwa upande wake...
257
tetemeko la ardhi ya ukubwa wa 5.7 kwenye vipimo vya richter limekumba maeneo ya ziwa tanganyika usiku wa kuamkia leo. sehemu kubwa ya maeneo ya afrika mashariki huwa katika bonde la ufa, bonde kubwa lililoundwa kutokana na kuhama kwa maeneo makubwa ya ardhi na milipuko ya volkano.
258
halmashauri ya wilaya ya babati ina shule za msingi 142 na ilishika nafasi ya tatu kati ya halmashauri saba za mkoa huo katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba wa mwaka jana.
259
waheshimiwa wabunge wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa kumi wa bunge
260
mbali na kuwa mfungaji wa mabao mengi kwenye kombe la dunia katika timu ya nigeria, lakini musa pia amekuwa mchezaji wa tatu kutoka afrika kufunga mabao mengi kwenye kombe hilo akitanguliwa na roger milla wa cameroon mwenye mabao 5 na asamoah gyan wa ghana mwenye mabao 6.
261
ili kurejesha walau nusu ya miti tunayokata kwa mwaka tunahitaji kupanda miti 3,000,000 kwa mwaka mfululizo kwa miaka 17 ili kufidia kiasi cha uharibifu tunachofanya kwa nusu mwaka" alisema dk. kigwangalla. naye mkuu wa mkoa wa taboba, aggrey mwanri alisema ushirikiano huo ni muhimu kwani utawezesha kukabiliana na chan...
262
ilikuwa katikati ya mjadala, ambako jaji warioba, kwa ustadi mkubwa alianza kupangua hoja moja baada ya nyingine, juu ya maudhui na kilichomo katika rasimu ya pili ya katiba, ambayo ilikuwa imesheheni maoni ya wananchi.
263
alisema wilaya ya ludewa na mkoa wa njombe kwa ujumla hauna shida ya chakula kama ilivyomikoa mingine hivyo uwezekano wa kuanzisha utaratibu wa kutoa chakula kwa wagonjwa unawezekana. filikunjombe akimsikiliza mkuu wa mkoa wa njombe, dk nchimbi wakati akizungumza na wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya ludewa katibu ...
264
kituo cha huduma ya simu kwa mtoto ni muhimu katika mifumo ya ulinzi wa mtoto nchini. ni sehemu pekee ambayo mtoto au mzazi/mlezi anaweza kupiga simu na kutoa taarifa za ukatili kwa siri na kupata huduma ya ushauri nasaha na rufaa kwa msaada zaidi kwa mujibu wa tatizo lolote linalohusu ukatili dhidi ya watoto. piga sim...
265
makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, lolesia bukwimba alisema matumizi ya fedha hizo ni makubwa ikilinganishwa na kazi iliyofanywa na mamlaka hiyo kwa mwaka huo wa fedha. uchunguzi unaonyesha kuwa serikali imekasirishwa na hatua ya taasisi hiyo ya umma ‘kununua’ ekari moja ya ardhi kwa zaidi ya sh800 milioni huko kigambon...
266
kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa habarileo, sifa lubasi kulikuwa na msongamano mkubwa wa magari zaidi ya kilomita 10 kutoka upande katika hatua nyingine mongella, amevitaka vyombo vya habari katika mkoa huo kumpatia ushirikiano wa kutosha katika kutekeleza majukumu yake ya ulinzi na usalama, kusimamia maendeleo na ...
267
mhe. mfune amekemea visingizio hivyo alipokuwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika kata za lugelele na mapogoro siku ya tarehe 29/10/2018 kwa ajili ya kufuatilia maagizo aliyoyatoa kwa viongozi wa kata na vijiji kuhusiana na ujenzi wa vyumba vya madarasa, ujenzi wa zahanati, ujenzi wa vyoo, masuala ya lishe pamoja n...
268
akiongea na waandishi wa habari leo katika ofisi za tff zilizopo karume, tenga ameishukuru serikali ya tanzania na tff kwa kukubali kuwa wenyeji wa michuano hiyo mikubwa, vyombo vya habari na wapenzi wa mpira wa miguu nchini kwa sapoti yao na kuipokea kwa mikono miwili michuano hiyo. timu tatu zitakazoshika nafasi ya j...
269
kumeshuhudia makabiliano makali kati ya wanajeshi wa uturuki na wapiganaji hao, huku kukiwa na wasiwasi wa kutokea kwa maafa zaidi.
270
mkurugenzi wa klabu ya fenerbahce, guiliano terraneo ameripotiwa kuwa jijini london kwa mazungumzo ya kina ya uhamisho wa robin van persie, ambaye mkataba wake wa kuitumikia man utd umesaliwa na mwaka mmoja.
271
hata hivyo ameeleza kuwa kwa sasa anahitaji kupumzika zaidi na hana mpango wa kurejea katika sanaa ya maigizo.
272
wafanyabiashara wa utalii zanzibar wakiwa katika maandalizi ya msimu huo kwa kuzifanyia ukarabati boti zinazotoa huduma ya usafiri katika visiwa vya historia ya zanzibar, kama walivyokutwa wakiwa katika zoezi hilo la kuzifanyia ukarabati wa kupata rangi na kuzikalafati katika ufukwe wa pwani ya forodhani zanzibar....
273
mkurugenzi wa idara ya misitu na nyuki wa wizara hiyo, dk. ezekiel mwakalukwa akizungumza katika warsha hiyo. prof. romanus ishengoma wa chuo kikuu cha sokoine - sua akiwasilisha mada kuhusu hali ya sekta ya misitu nchini katika warsha hiyo.
274
ametoa agizo hilo jana kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha handa wilaya ya chemba mkoani dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kutatua mgogoro wa ardhi kwenye hifadhi hiyo wilayani humo.
275
ni rahisi kulizuia na kuliondoa tatizo la kunuka mdomo iwapo utaamua kufuata kanuni za usafi wa kinywa na unywaji wa maji kwa kufuata kwa makini muongozo ufuatao:
276
msahafu huo ambao umeifadhiwa kwenye maktaba ya chuo kikuu cha birmingham kwa karne moja tangia ulipoletwa na kuifadhiwa kama moja ya miswada ya ukusanyaji wa vitabu na nyaraka za kutoka mashariki ya kati, bila kutambuliwa kuwa ni moja ya azina kongwe kabisa katika ulimwengu wa kiislam. vipimo hivyo vimeonyesha kuwa uw...
277
nao viongozi wa vyama vya siasa wamempongeza rais dk. shein kwa kuheshimu katiba ya zanzibar na kukidhi matakwa ya katiba hiyo ya mwaka 1984 ambayo inataka miongoni mwa wajumbe wawili wa tume ya uchaguzi wawe ni kutoka vyama vya upinzani.
278
aidha mwili wa marehemu umechukuliwa na kupelekwa katika kituo cha afya cha ruhoko kwa uchunguzi zaidi.
279
makubaliano haya yamefikiwa ikiwa ni sehemu ya kujaribu kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo vilivyodumu kwa zaidi ya miaka minne. mwenyekiti wa tume ya umoja wa afrika moussa faki amesema hatua iliyofikiwa ni ya awali na imetoa matumaini kwa wananchi ambao wanaendelea kutaabika kutokana na kuendelea kwa m...
280
aidha, waziri ummy alisema kuwa ni marufuku kwa waganga wa kienyeji kuwashikilia wagonjwa wa kifua kikuu na badala yake wawaruhusu waende hospitali kwa ajili ya msaada wa haraka. waziri ummy alisema kuwa takribani watu laki moja na 60 wana maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu kwa makadirio ya mwaka 2016.
281
serikali ilizima mitambo ya runinga hizo wiki iliyopita, baada ya kudai kuwa vilikuwa vimepanga kuonesha moja kwa moja kuapishwa kwa kiogozi wa muungano wa upinzani nasa, kama rais wa wananchi. hata hivyo amesema itakuwa kesi ngumu kuitekeleza kutokana na ukweli kuwa iwapo kuna mpango wa kutekeleza mauaji ya kimbari ba...
282
goma:kufunguliwa kwa mwaka mpya ya masomo hasa katika maeneo zinazo tatizwa na kundi za kumiliki silhaa
283
amewataka wakulima wa mwani walime katika kina kirefu kwani wa kina cha chini maji amesema changamoto kubwa ambazo zinauthiri mwani wa zanzibar ni pamoja na mabadiliko ya tabia ya nchi na mabadiliko ya hali ya hewa yakitoko mwani unaunguwa naq kusinyaahasa wakati wa mvua nyingi.
284
amerika ya kusini ni bara la magharibi ambalo kwa kiasi kikubwa sana linaenea upande wa kusini wa ikweta.
285
newark ni mji wa marekani katika jimbo la new jersey. kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 280,000 wanaoishi katika mji huu. mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari.
286
matukio ya ubaguzi wa rangi yameshuka kwa kiasi kikubwa mwaka 2016 na mwaka jana, matukio 950 yaliripotiwa ikiwa ni sawa na kupungua kwa asilimia 16%.
287
kauli ya rais trump ilikuja baada ya mwanzoni mwa mwezi wa junuari mwaka huu taarifa kuibuka kuwa mawakili wake wako kwenye mazungumzo na timu ya mueller kuangalia uwezekano wa yeye kuhojiwa.
288
mazungumzo ya mwisho baina ya nchi hizo mbili yalifanyika disemba mwaka 2015 nchini korea ya kusini.
289
utangazaji wa facebook ubunifu wa picha utangazaji kwa makundi ya kijamii mitandao ya kijamii twitter
290
pamoja na maporomoko hayo kivutio vingine kinachopatikana ukanda wa kusini ni hifadhi ya taifa ya ruaha ambayo ni ya kwanza kwa ukubwa nchini ikifuatiwa na hifadhi ya taifa ya serengeti, hifadhi hii inasifika kwa kuwa na idadi kubwa ya tembo.
291
takwimu zilizotolewa na mamlaka ya mawasiliano tanzania (tcra) zinaonyesha kuwapo kwa punguzo hilo katika robo ya nne ya mwaka iliyoishia desemba 2017 ikilinganishwa na robo ya tatu ya mwaka ulioishia septemba. ripoti ya robo ya tatu ilionyesha kuwa tigo ndiyo mtandao wenye gharama kubwa tanzania katika kupiga simu na ...
292
matumizi ya pekee ya plutoni ni katika beteri kwa ajili ya vyombo vya angani hasa vinavyotembea mbali na jua na hivyo haviwezi kutumia nishati ya jua.
293
rweyongeza alidai kuwa desemba 28, mwaka jana katika eneo la king’ong’o katika wilaya ya kinondoni, washtakiwa hao kwa pamoja walikula njama kwa kutoa sumu kwa nia ya kumdhuru msacky, kinyume na kifungu cha 227 cha sheria ya kanuni ya adhabu.
294
... kwamba asha-rose mtengeti migiro alikuwa mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini tanzania kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa?
295
“kwa niaba ya taasisi ya tulia trust tunatoa shukrani zetu kwa ubalozi wa china nchini tanzania kwa namna ambavyo wamekuwa pamoja nasi kwa kutoa zawadi kwa ajili ya washindi.
296
kauli hiyo ilitolewa jana na katibu wa chadema wa mkoa wa kilimanjaro, basil lema alipokuwa akizungumza na gazeti hili kutokana na matukio ya kutisha ya kutekwa na kuteswa kwa watu mbalimbali nchini. lema alisema idara ya usalama wa taifa ya wakati wa utawala wa baba wa taifa hayati mwalimu nyerere, ilifanya kazi yake ...
297
hata hivyo, alisema kwa upande wa makamu mwenyekiti wa kamati hiyo atachaguliwa na wajumbe wa kamati kama ilivyo kwa kamati nyingine.
298
mhe. mfune ameyasema hayo alipokuwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika kata za igava, miyombweni pamoja na madibira siku ya tarehe 05/11/2018 kwa ajili ya kufuatilia maagizo aliyoyatoa kwa viongozi wa kata na vijiji kuhusiana na ujenzi wa vyumba vya madarasa, ujenzi wa zahanati, ujenzi wa vyoo, masuala ya lishe pam...
299
katika taarifa hiyo kilimia alieleza kuwa mahitaji ya walimu wa masomo ya sanaa kwa shule za sekondari mkoani mtwara ni 1490 waliopo 2098 hivyo kufanya ziada ya walimu 608. mkoa wa mtwara umekuwa haufanyi vizuri katika mitihani mbalimbalia ya kitaifa hali ambayo inamfanya mkuu wa mkoa mhe. byakanwa aliyechaguliwa kuong...