id int64 0 24.8k | text stringlengths 0 21k |
|---|---|
100 | mkuu wa mkoa hakuwa sahihi kabisa, hasa katika suala la kuwaambia watu wataje majina ya watu wanaodh... |
101 | kikwete aliyasema hayo wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 125 tangu kuingia kwa injili katika ukanda wa pwani ya tanga na milima ya usambara, iliyofanyika katika viwanja vya muhukenda jijini tanga. |
102 | katika mazungumzo yao viongozi hao walizungumzia hatua zinazoendelea katika maandalizi ya ushiriki wa jamuhuri ya muungano wa tanzania katika maonyesho ya kimataifa ya biashara yanayotarajiwa kufanyika katika jimbo la guangzhou nchini china mnamo mwezi wa septemba mwaka huu. mazungumzo hayo yalijikita katika kuangalia ... |
103 | ofisa mwandamizi wa taasisi hiyo, hery aidan mradi huo umeanzishwa kwa wakati muafaka kwa wakimbizi hao kutoka burundi. donge anabainisha kuwa kuanzishwa kwa vikundi hivyo ni kutokana na kukosa nafasi ya kupata mikopo kutoka katika taasisi za fedha zikiwemo benki za biashara. |
104 | mapungufu ya hisia hii: mkakati mkubwa kama huu ungeweza kunaswa kirahisi tu na vyombo vya dola kama vile tiss na hivyo kuweza kuudhibiti. hata hivyo, kama ilivyokuwa kwenye hisia iliyopita, kuna ishara za mapungufu ya kiutendaji kwa taasisi hiyo, hali ambayo inaweza kuwa iliruhusu mpango huu kutekelezwa. uzito wa hisi... |
105 | kuhusu iwapo hatua hiyo ya magufuli kuwa na atahri zozote, kwa sasa ni mapema mno kubashiri. baadhi ya maafisa waliopo kazini na wastaafu wa idara ya usalama wa taifa walidokeza kwamba taarifa hiyo ya kuondolewa kwa makungu imewashtua wengi |
106 | wakizungumza katika kikao cha matayarisho ya mapokezi na ukimbizwaji wa mwenge huo katika mikoa yao kilichofanyika katika ofisi za mkoa wa mjini magharibi, wamesema kumekuwa na mwitikio mdogo wa baadhi ya taasisi zilizofikiwa jambo ambalo linaweza kutofikiwa kwa malengo. nae mwenyekiti wa kikao hicho mkuu wa mkoa wa ka... |
107 | ziko katika ningbo, china, ningbo dayang alikuwa kujitoa wenyewe kwa maendeleo ya ubunifu msoquito muuaji bidhaa kwa zaidi ya miaka 9. ni mtengenezaji wa kwanza, ambaye alikuwa na kuanzisha mbu, wadudu kituo cha kuongeza kwa ajili ya matumizi ya bidhaa za kupima ili kuhakikisha ufanisi wa prooducts. |
108 | teknolojia ya nishati solutions ni kampuni ambayo inatoa mafunzo kwa mtu binafsi, kampuni na vyuo vikuu kwenye it na ujuzi wa kitaaluma. mbali na mazoezi ya kuwa na vyumba vya mafunzo vinavyopatikana katika makumbusho yote ya ushirika wa india kwa mahitaji ya mafunzo ya ushirika. soma zaidi |
109 | wimbo wa baila unapatikana kwenye album yake ya a boy from tandale na ni moja ya nyimbo ambazo zilikuwa video yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu. |
110 | huku idadi ya watu waliojitokeza ikivunja rekodi kwa kufikia asilimia 99.9 ya kura zote zilizohesabiwa, uchaguzi huu umerejesha ushindi wa jumla kwa viongozi wa vuguvugu hilo licha ya kuwa walifanya kampeni wakiwa nje ya nchi. |
111 | “tunafanya hivyo ili kutoa fursa ya kuwepo kwa mashauriano ya kisiasa, “ amesea waziri mkuu wa ethiopia katika mkutano na waandishi wa habari. |
112 | wadau wa maboresho ya mwongozo wa mali za umma kutoka mikoa mbalimbali katika picha ya pamoja na naibu katibu mkuu wa wizara ya fedha na mipango, bi. susan mkapa makatibu wakuu wa taasisi na wakuu wa idara wa wizara ya fedha na mipango katika picha ya pamoja baada ya semina ya ppp makatibu wakuu wa taasisi na wakuu wa ... |
113 | askari waliokuwa kwenye shule zinazofanya mitihani waliwaeleza waandishi wa habari kuwa wamepewa maelekezo ya kutomruhusu mtu yeyote kuingia kwenye eneo la shule. |
114 | kwa ujumla maandalizi kwa ajili ya upigaji kura yamekwenda vizuri licha ya changamoto ya kuchelewa kufunguliwa kwa baadhi ya vituo kulikochangiwa na umbali wa vituo huku wengi wa mawakala wakieleza kuridhishwa na mchakato mzima wa kuanza kwa upigaji kura. |
115 | viongozi wa nchi wanachama wa umoja wa afrika (au) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano wao uliofanyika makao makuu ya umoja huo jijini addis ababa nchini ethiopia, januari 2017. picha ya maktaba. hata hivyo, kwenye mahojiano aliyofanya na gazeti hili awali baada ya habari kuhusu matamshi ya trump kuripotiwa,... |
116 | dkt. gada akikabidhi tuzo yenye nembo ya serikali ya nigeria kama kumbukumbu ya ziara yake kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa mtwara viongozi wa kampuni ya nachi resource ltd iliyogundua rasilimali kubwa ya madini ya graphite wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa... kuelekea mchezo wake dhidi ya stand united ya mjini ... |
117 | akitoa taarifa hiyo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa arusha,mkuu wa wilaya ya monduli idd hassan kimanta,amesema ni jambo lakujivinia sana kwa mkoa wetu wa arusha na jitiada zaidi zinaitaji ilikuweza kushika nafasi zajuu zaidi. kikao cha ushauri cha mkoa kilikuwa maalum kwaajiri yakupitisha bajeti ya mkoa kwa mwaka wa fedh... |
118 | butale ni kijiji katika north east, wilaya ya north-east huko nchini botswana. idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 549 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011. |
119 | ---- select sea king hc.4 c/n ----wa 904 wa 905 wa 906 wa 907 wa 908 wa 909 wa 910 wa 911 wa 912 wa 913 wa 914 wa 915 wa 916 wa 917 wa 918 wa 927 wa 928 wa 931 wa 932 wa 933 wa 934 wa 935 wa 936 wa 937 wa 938 wa 952 wa 953 wa 954 wa 955 wa 960 wa 962 wa 963 wa 964 wa 966 wa 967 wa 968 wa 969 wa 973 wa 974 wa 996 wa1001... |
120 | maelezo yafuatayo yametolewa kama ya ziada kwa masharti ya leseni ya programu ya mfumo wa uendeshaji wa windows ambayo hutumika kwa matukio ya windows ambayo uliyapata kutoka kwa mtengenezaji wa kifaa, kisakinishaji cha programu au kutoka kwa microsoft, kulingana na hali. |
121 | baraza hilo kwa kauli moja, limepitisha rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/19 ikiwa ni zaidi ya sh49 bilioni kwa ajili ya matumizi mbalimbali. bajeti hiyo ina ongezeko la asilimia 22 ikilinganishwa na ya mwaka huu wa fedha 2017/18, ambayo ilikuwa zaidi ya sh38 bilioni. |
122 | “ujenzi wa jengo jipya umekamilika kwa asilimia 70 na litakapokuwa tayari kwa asilimia 100 litaanza kutumika kwa kuwa kasi ya ujenzi inakwenda vizuri,’amesema. |
123 | dk. kigwangalla ametoa kauli hiyo jijini dodoma leo wakati akifungua warsha ya kitaifa ya mapitio ya rasimu ya sera ya taifa ya utalii ya mwaka 2018. amesema mafanikio ya sekta ya utalii yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa sera ya taifa ya utalii ya mwaka 1999 na juhudi za serikali katika kutekeleza sera hiyo kw... |
124 | ripoti zinasema kuwa kumeshuhudia makabiliano makali kati ya wanajeshi wa uturuki na wapiganaji hao, huku kukiwa na wasiwasi wa kutokea kwa maafa makubwa. |
125 | waziri wa mambo ya kigeni wa marekani rex tillerson anatarajiwa kuwasili nchini pakistan hii leo kujadili pamoja na viongozi wa nchi hiyo namna ya kumaliza mgogoro wa zaidi ya miaka 15 katika nchi jirani ya afghanistan. |
126 | baadhi ya wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya ardhi, maliasili na utalii wakipata maelezo ya vivutio mbalimbali vilivyopo ndani ya mapango ya amboni kutoka kwa mhifadhi wa mambo ya kale, jumanne gekora (kushoto). |
127 | hotuba ya mhe. waziri wa fedha na mipango bungeni kuhusu mwongozo wa mpango wa maendeleo wa taifa mwaka 2019/20 |
128 | beki kisiki wa zamani wa barcelona na timu ya taifa ya hispania, carles puyol amekosa dili la kuchambua michezo ya kombe la dunia katika kituo cha runinga cha irtv 3 cha nchini iran kwa sababu zilizoelezwa kuwa ni kutokana urefu wa nywele zake. mshindi huyo wa kombe la dunia mara moja alikatazwa kuingia kwenye studio z... |
129 | mbali na shahada kwa mwenyekiti, katika orodha ya wajumbe hao watano, mjumbe mmoja atapaswa kuwa na shahada ya kwanza ya chuo kikuu huku wengine wakiwa na kiwango cha elimu ya kidato cha nne. |
130 | tovuti yetu inawezekana kwa kuonyesha matangazo ya mtandaoni kwa wageni wetu. tafadhali angalia ususie kwa kuzuia blocker yako ya matangazo. |
131 | mbali na ukubwa wa kazi zake, mwana fa amewahi kuwa sehemu ya uongozi wa chama cha wasanii nchini na msomi mwenye shahada ya uzamili. |
132 | kinaandaa na kuwasilisha kwenye kikao cha watalaam wa halmashauri taarifa ya manunuzi ya kila robo ya mwaka inayotekelezwa kwa kufuata mpango wa manunuzi (procurement plan) inaandaa mahitaji ya kitalaam katika mahitaji ya msingi ya idara pamoja na hadidu za rejea kwa kitengo cha manunuzi kinashiriki kufanya tathmini ya... |
133 | haley atashuhudia operesheni za umoja wa mataifa zinazofanya kazi ya kukabiliana na migogoro na uharibifu katika nchi hizi, ikiwa ni pamoja na ziara na wajumbe wa misaada na maeneo ya uhifadhi wa amani ya umoja wa mataifa na mashirika mengine ya umoja wa mataifa kutoa msaada wa uokoaji wa maisha imesema taarifa hiyo ha... |
134 | lwakatare, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la bukoba mjini kupitia cuf, alikamatwa juzi mchana kwa kutuhumiwa kwa kufanya uchochezi wa uvunjifu wa amani baada ya kunaswa kwenye picha ya video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii lwakatare alikamatwa juzi makao makuu ya chama hicho na kupelekwa katika makao makuu ... |
135 | huko bolivia, tumegundua kuna waamini wenye moyo wa kufanya wanaloamini kwa kuonesha namna wanavyoyaishi maandiko matakatifu katika kuwa na moyo wa upatanisho. [11] masikilizano kati ya mtu na mtu ni muhimu katika mahusiano ya watu na jamii kwa ujumla, na hata kwenye mahusiano ya kimataifa kati ya watu na mabara. |
136 | tangu alipouawa stefano, wa kwanza kati yao, waamini waliheshimu watu wa namna hiyo kwa namna ya pekee wakiona wametekeleza hasa upendo mkuu nyuma ya yesu msulubiwa. |
137 | wabunge wa israeli wenye asili ya kiarabu ambao walikua wamepinga dhidi ya msimamo wa marekani, kutambua jerusalem kama mji mkuu wa taifa la israeli, walifukuzwa kutoka bunge la nchi hiyo, knesset. mapendekezo ya wachunguzi hao wanatarajiwa kuwasilishwa kwa mwanasheria mkuu wa serikali wiki ijayo. |
138 | pia amefafanua kuwa waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa, ambaye kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 13(1) cha sheria ya uchaguzi ya serikali ya mitaa, sura, 292 alitoa taarifa ya uwepo wa nafasi wazi za madiwani katika kata 23 kutoka katika halmashauri 15 zilizopo katika mikoa 10 ya tanzania bara. |
139 | kuinoa madrid ni moja kati ya vibarua vigumu katika soka kutokana na klabu hiyo kuwa na utamaduni wa kutimua makocha mara kwa mara. |
140 | kwa mujibu wa polisi wa kituo cha kirinyaga yaya chome amesema kuwa mwanamke huyo amefunguliwa mashitaka ya kusudio la kutaka kuua katika mahakama ya kerugoya. |
141 | muonekano wa ofisi ya mh. mbunge wa jimbo la kavuu inayoendela kujengwa katika kata ya usevya kijiji cha usevya |
142 | uwekezaji katika teknolojia ya kiwango cha juu ni muhimu kama ilvyo muhimu kutafuta masoko mapya katika kukuza biashara ya nje |
143 | biashara ya dawa ya kulevya ni ya hatari na kwa hivyo wanaojiingiza katika biashara hii hawapaswi kupewa fununu ya kuwepo msako mkali wa kuwabana. |
144 | lakini akajisikia wito wa kuinjilisha wakazi wa kisiwa hicho, hivyo baada ya kujiandaa katika monasteri ya ufaransa akarudi huko kama askofu akafanya kazi hasa kaskazini na magharibi katika karne ya 5.[4] |
145 | aliongeza kuwa malengo makuu ya utoaji wa ufadhili wa ada ya masomo ni kuwezesha vijana wa kike wa kitanzania wenye vipaji vya sanaa kupata nafasi ya kunoa vipaji vyao kupitia kozi mbalimbali zinazotolewa kwenye taaisisi ya sanaa na utamaduni bagamoyo (tasuba). lakini pia ni fursa kwa taasisi kujitangaza nje ya mipaka ... |
146 | hadi mwaka 1991 kirgizia ilikuwa sehemu ya umoja wa kisovyet, ikijulikana kwa jina la "jamhuri ya kisovyeti ya kikirgizi". |
147 | vitabu na magazeti vinatengenezwa kwa njia ya uchapaji. hivyo vinaweza kutolewa kirahisi kwa nakala nyingi. kitabu hiki cha sutra ya almasi kutoka china ni kati ya kwanza cha kuchapishwa kwa kutumia mhuri wa ubao kwa ukurasa wote katika nchi ya korea mafundi walijaribu kufupisha kazi kubwa ya kuchonga ukurasa mzima kwa... |
148 | mwimbaji huyo wa ‘bad blood’ alitoa mchango huo baada ya kuona video inayomhusu naomi kwenye youtube iliyowekwa na familia ya binti huyo, julai 5 mwaka huu. |
149 | waziri huyo ameongezea kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kuona bajeti iliyopangwa na kutolewa kwa mwaka 2017 ilikuwa kubwa na kiwango kikubwa cha pesa kimebakia. |
150 | akizungumza leo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo iliyofanywa na mkuu wa mkoa wa mtwara, mkuu wa wilaya ya mtwara mhe. evod mmanda amesema fedha hizo zimetolewa kwa mkopo na benki ya dunia na kwamba ujenzi wa miradi hiyo yote inatarajiwa kukamilika ifikapo oktoba 2019. kwa upande wake mkuu wa mkoa wa mtwara mhe... |
151 | wazazi na ndugu wa wanafunzi 11 waliokuwa wakisoma shahada ya kwanza ya uandishi wa habari kwa lugha ya kichina kwa miaka minne nchini china wakiwa nje ya uwanaja wa kimataifa wa amani abeid karume wakiwasubiri vijana wao walipowasili katika uwanja huo. baadhi ya vijana waliokuwa wakichukua shahada ya kwanza ya uandish... |
152 | amesema uchaguzi mdogo wa kata hiyo unafanyika baada ya mahakama kutengua uchaguzi wa awali kutokana na ukiukwaji wa baadhi ya taratibu za uchaguzi. “kwa hiyo kwa uchaguzi huo wa mwakaa 2015 kanuni hizo zilikiukwa sasa kwa uchaguzi huu kwa sababu tunataka tufanye uchaguzi kwa kufuata kanuni na sheria hatukutaka kuingia... |
153 | akijibu hoja hiyo ya lema kaimu mkuu wa mkoa wa arusha, idd kimanta amesema anaamini viongozi wa serikali wanajua wajibu wao wa kufanya kazi na wadau mbalimbali. |
154 | chuo kikuu cha dodoma (udom) kimewasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 7,000 wa kozi maalumu ya ualimu wa sayansi kwa ngazi ya stashahada... |
155 | iliandikwa kuwa mkuu huyo wa chama ameandaa na kuratibu mkakati wa kumg’oa kwenye uongozi katibu mkuu, mwigamba. licha ya kutowekwa wazi, vyanzo vya taarifa viliarifu kuwa zitto akiwa katibu mkuu ataweza kuhusika moja kwa moja na fedha za ruzuku ambazo chama kingepata kama kingekuwa na sifa ya kupewa fedha hizo kutoka ... |
156 | utawala wa kigali wenyewe kwa muda sasa umekuwa ukiituhumu ufaransa kwa kuhusika kuchochea mauaji kwa kuunga mkono utawala wa kihutu, kuwapa mafunzo wanajeshi na wapiganaji ili kutekeleza mauaji. mwezi octoba mwaka huu taarifa kutoka ndani ya uchunguzi huo zilidai kuwa majaji walisikiliza shahidi mpya aliyedai aliona r... |
157 | alisema matokeo hayo ya sensa ya mwaka jana, yanaonyesha kuwa katika kipindi cha miaka 45 iliyopita kutoka mwaka 1967, watu milioni 33 wameongezeka nchini. “kwa kasi hii ya ongezeko la watu, kufikia mwaka 2016 tanzania itakuwa na watu milioni 51. ni mzigo mkubwa kwa taifa, jamii na kwa uchumi wa kuwahudumia watu,” alis... |
158 | katika makala haya utafahamu kuhusu sanaa ya ubunifu wa mapambo ya ndani na jinsi ya kutimiza ndoto zako za kuwa mbunifu wa kimataifa, karibu |
159 | mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 12 mwanafunzi wa shule ya msingi kisundi iliyopo eneo la igombe kata ya bugogwa ... |
160 | alisema kwa kuwa tbs haikuwa na historia ya kutoa msamaha hiyo na kwa kuwa ilikuwa mara ya kwanza na kampuni hizo hazikuwa na uaminifu, aliiomba mahakama imwachie huru. |
161 | kutoka hatua ya kwanza kwa mlango wa shule ya chekechea - kujitenga kwa wazazi na mtoto huja kwenye awamu, lakini haukuwahi kuacha. hatua hii huumiza, lakini ni muhimu kwa maendeleo ya afya. mzunguko wa marafiki unashinda ushawishi zaidi na zaidi wakati wa kuruhusu kwenda kwa familia. nini marafiki wanafikiri juu yenu ... |
162 | mwanajeshi wa jwtz joseph panga alikuwa wa pili kwa saa 1:05:37 na mkenya abraham too akiwa wa tatu kwa saa 1:06:06 meneja wa benki ya crdb mkoani manyara, ronald paul amesema kwa upande wao wameshiriki kwa kutoa sh10 bilioni za ununuzi wa mashine hiyo ya ct scanner katika mbio hizo. |
163 | mkuu wa mkoa wa morogoro, dkt. steven kebwe akizungumza katika mkutano huo. aliwataka wajumbe wa mkutano huo kujadili na kuishauri dunia namna bora ya kutunza na kuendeleza misitu kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho ikiwemo utekelezaji wa sheria za usimamizi wa misitu. |
164 | 26. kwa nini wakristo wa kweli wanahitaji ujasiri kama wa esta, na kwa nini huo ulikuwa tu mwanzo wa kazi yake? |
165 | baba mtakatifu ameendelea kufafanua aina tatu za ufukara ambazo zinapaswa kufumbatwa katika maisha ya mwamini, kwa kuondokana na uchu wa fedha na mali kama mwanzo wa mchakato wa ufuasi wa kristo. huu ndio ufukara wa moyo unaopaswa kuwa ni sehemu ya ushuhuda wa kanisa na taasisi zake zote. utajiri mkubwa wa wafuasi wa k... |
166 | ibara ya 65 ya katiba inaeleza kuwa maisha ya kila bunge yatakuwa ni muda wa miaka mitano. hivyo, uhai wa bunge ni muda unaoanzia tarehe ambayo bunge jipya limeitishwa na rais kukutana kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi mkuu na kuishia tarehe ya kuvunjwa kwa bunge kwa ajili ya kuwezesha uchaguzi mkuu mwingine wa kawa... |
167 | kusimamia na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata taaluma kwa kiwango kilicho bora kwa mujibu wa sera ya elimu ya mwaka 1995 na 2014. |
168 | rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi alhaj dk.ali mohamed shein (kulia) akimpa tende mkuu wa mkoa wa kusini unguja mhe.hassan khatibu hassan wakati wa futari aliyoiandaa kwa wananchi wa mkoa wa kusini leo huko katika viwanja vya ofisi ya uhamiaji tunguu wilaya ya kati,mkoa wa kusini,[picha na ikulu.] |
169 | kwa upande wa nafasi wazi za udiwani jaji kaijage amesema kuwa tume ilipokea taarifa kutoka kwa waziri mwenye dhamana akiitaarifu juu ya uwepo wa nafasi wazi za udiwani katika kata 79. |
170 | viongozi wa kisiasa na biashara wanaohudhuria mkutano wa kila mwaka wenye lengo la kuleta mwelekeo ya wafanyabiashara katika bara la afrika wameisifu china na india kwa kiu yao kubwa ya kupata mali ghafi , kuwa italeta msukumu mkubwa wa kunyanyua uchumi wa bara la afrika kwa kiasi fulani. |
171 | akizungumza dar es salaam leo, wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo, dk.kigwangala amesema anawapongeza wajumbe wote wa kamati ya maadhimisho wa mwezi wa urithi wa tanzania kwa kuteuliwa kwao kwa ajili ya shughuli hii muhimu katika kuhimiza urithi wa tanzania kwa maendeleo ya sekta ya utalii katika taifa letu. amesema uri... |
172 | viongozi wa kampuni ya nachi resource ltd iliyogundua rasilimali kubwa ya madini ya graphite wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mkoa wa mtwara mara baada ya kikao. waliokaa kutoka kulia ni godwin nyero, msimamizi mkuu wa kampuni nachi resource ltd hapa nchini. wa pili kutoka kushoto ni mbunge wa jimbo la ndan... |
173 | hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya mbarali mhe. reuben mfune siku ya tarehe 02/11/2018 alipokuwa kwenye mwendelezo wa ziara zake katika kata za rujewa, ubaruku pamoja na imalilo-songwe zilizopo tarafa ya rujewa kwa ajili ya kufuatilia maagizo aliyoyatoa kwa viongozi wa kata na vijiji kuhusiana na ujenzi wa vyumba vya ... |
174 | mei mwaka huu, akateuliwa kwenye kikosi cha denmark cha wachezaji 23 wa mwisho kwa ajili ya fainali za kombe la dunia nchini urusi, kabla ya jana juni 16 mwaka 2018 kuifungia bao pekee timu yake ya taifa katika ushindi wa 1-0 dhidi ya peru. |
175 | slaa ataingia kwenye mchakato wa chama chake wa kumteua mgombea ubunge kupitia kura za maoni kabla ya kusimama kuwania kiti hicho katika uchaguzi mkuu, oktoba mwaka huu. |
176 | hii ni ziara yake ya kwanza nje ya ubelgiji tangu apewe hifadhi katika mji wa brussels mwishoni mwa mwezi oktoba. carles puigdemont aliwasili uwanja wa ndege wa kastrup katika mji wa copenhagen na alionekana akipanda katika ya gari ndogo. alialikwa kushiriki katika mkutano ulioandaliwa na idara ya sayansi ya siasa ya c... |
177 | nyota namba moja kwa ubora wa mchezo wa tenisi andy murray ametinga kwenye nane bora ya michezo ya wazi ya tenesi ya barcelona |
178 | ungependa kutafsiri maelezo katika lugha ya kiswahili kwa kutumia google tafsiri?tafsiri tena maelezo uliyotafsiri yawe katika lugha ya kiingereza (marekani) |
179 | msimu huu ambao utamalizika kesho kwa mchezo wa fainali kati ya azam dhidi ya simba, umeshirikisha jumla ya timu 12 ambazo ziligawanywa kwenye makundi matatu. |
180 | waziri wa maliasili na utalii, prof. jumanne maghembe amepokea taarifa ya utekelezaji wa agizo alilotoa la kuundwa upya kwa katiba ya jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori mbomipa na kuagiza rasimu hiyo ifanyiwe marekebisho ya mwisho kabla ya kuwasilishwa kwa wananchi kwa ajili ya mijadala na hatua zaidi za kukamilisha ras... |
181 | bodi ya mikopo ya elimu ya juu yakamilisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza tanzania |
182 | ndiyo, ilikuwa ni zaidi ya miaka minne tangu toleo la kwanza la transposh kwa wordpress ilitolewa. na kwa kweli, sisi wamekuja kwa njia ya muda mrefu sana. |
183 | (b) je, nini mkakati wa serikali katika kumaliza changamoto ya wahudumu wa afya katika hospitali hiyo? |
184 | naibu waziri hasunga ametoa agizo hilo jana katika mkutano wa hadhara baada kutembelea kitongoji hicho katika wilaya ya mbarali mkoani mbeya wakati wa ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutatua migogoro kwenye maeneo ya hifadhi mkoani humo. |
185 | waziri wa mambo ya nje wa uturuki alifahamisha kuwa uongozi wa assad unakwend kinyume na makubaliano kuhusu kusitishwa kwa mapigano idlib. |
186 | makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mhe. samia suluhu hassan akipata maelezo ya mpango wa uwekezaji katika miundo mbinu ya mradi wa kuendeleza utalii ukanda wa kusini mwa tanzania kutoka kwa waziri wa maliasili na utalii mhe. dkt. hamisi kigwangalla wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho kabla ya kuzin... |
187 | tuhuma hizo za kagasheki ni za nadra kwa mbunge huyo wa chama hicho tawala kuelekeza kwa mtendaji mkuu wa serikali na mmoja wa wajumbe wa vikao vya juu vya ccm. kilichofuata ni kampeni ya kumng’oa amani kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani, mchakato uliosimamiwa na viongozi wa ccm wa ngazi ya wilaya kwenye ukumbi wa ... |
188 | rais wa marekani ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali ya marekani na ni rasmi juu ya siasa katika umoja wa mataifa kwa kuathiriwa na kutambuliwa. rais analiongoza tawi la serikali ya shirikisho na ni mmoja wa wanaochaguliwa katika uchaguzi wa kitaifa (mwingine akiwa makamu wa rais wa marekani). [1] |
189 | “tuendelee na majukwa ya utendaji, majukwaa ya mipasho ya siasa tupumzike ili tuiache serikali ifanye kazi zake,” alisema baada ya mkuu wa mkoa wa iringa, amina masenza kuwaapisha wakuu wa wilaya za mkoa wa iringa mapema jana. |
190 | alisema kuwa alikamatwa katika bahari hiyo alipokuwa anajaribu kwenda ulaya kwa lengo la kufanikisha ndoto yake ya kucheza mpira wa kimataifa. |
191 | waziri mkuu wa israeli anaushtumu umoja wa ulayaku wa ni"wanafiki" juu ya shutma dhidi ya uamuzi wa rais wa marekani donald trump kutambua jerusalem kama mji mkuu wa israeli. |
192 | mkuu wa mkoa wa mtwara mhe. gelasius byakanwa akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari aquinas alipowasili shuleni hapo katika hafla fupi ya kupongezana mara baada ya matokeo ya kidato cha sita 2018 ambapo mkoa wa mtwara uliongoza kitaifa methali hii inatafakari kubwa katika njia tuliyoianza kama mkoa. tumepiga ... |
193 | “uzuiaji huu haukufanyika kwa njia za kitaalamu kutokana na hali ya rubani wa ndege hiyo ya china ikiwemo kasi ya ndege zote mbili,” aliongeza. |
194 | ametoa wito huo leo mbele ya wadau wa sekta ya ufugaji nyuki kutoka mikoa yote nchini katika mkutano aliouitisha kujadili maendeleo ya sekta hiyo ikiwemo marekebisho ya kanuni za ufugaji nyuki za mwaka 2017 katika ukumbi wa hazina jijini dodoma. |
195 | rais moon amesema kuwa, anaamini kuwa baada ya mwafaka huu, ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri kati ya mataifa hayo mawili. |
196 | ili tuweze kwenda kufanya maendeleo yetu. ombi letu katika mfuko huu wa jimbo uwe unawiana kwa thamani ya sasa hivi kwa sababu ulifanyiwa thamani muda wa nyuma kidogo, kwa hiyo, uende na wakati. |
197 | rais sirleaf alimshinda weah katika uchaguzi wa duru ya pili uliofanyika mwaka 2005, baada ya kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miongo kadhaa nchini humo. |
198 | ameongeza kuwa kazi za ukarabati zinazofanywa zifanyike kwa wakati mmoja sambamba na utoaji wa elimu kwa maeneo yote ya hifadhi ya reli ili kuepusha migogoro inayoweza kutokea kwa wananchi waliovamia maeneo ya reli nchini. |
199 | lopetegui mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa anainoa timu ya taifa ya hispania inayoshiriki kombe la dunia. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.