swahili
stringlengths
4
767
machine_translated_english
stringlengths
0
5.22k
validated_english
stringlengths
0
2.68k
Akizungumza mbele ya kamati ya sheria na haki kwenye seneti leo mchana Tuju alisema kuwa kupitishwa kwa mageuzi na sheria itasaidia sana katika kutatua changamoto ambazo Kenya imekuwa nayo kwa muda mrefu
Speaking before the law and justice committee in the Senate this afternoon Tuju said that the passage of reform and legislation will be a big help in solving the challenges Kenya has long faced
Speaking before the law and justice committee in the Senate this afternoon Tuju said that the passage of reform and legislation will be a big help in solving the challenges Kenya has long faced
Tuju alisema kuwa makubaliano baina ya Raila na Uhuru imesaidia sana kuleta amani humu nchini hasa baada ya vurugu vilivyokuwemo baada ya uchaguzi
Tuju said that the Raila-Liberty agreement has helped bring peace to the country especially after the post-election violence.
Tuju said that the Raila-Uhuru agreement has helped bring peace to the country especially after the post-election violence.
Sheria za humu nchini zimetofautiana sana na makubaliano hayo ikisemekana kuwa wananchi hawakuhusishwa kwa kuulizwa maoni yao
The laws of this country are very different and the agreement states that citizens were not involved in asking their opinion
That agreement goes contrary to the laws of this country as it is claimed that the opinions of the citizens were not sought.
Alipeana maoni yake kwa kamati ya sheria na haki katika bunge la taifa leo hii
He gave his opinion to the Law and Justice Committee in the national parliament today.
He gave his opinion to the Law and Justice Committee in the national parliament today.
Havi alisema kuwa kufanya mageuzi kwa sheria huenda ikatofautiana na baadhi ya sheria za humu nchini
Havi said that reforming the law may be different from some local laws in the country
Havi said that reforming the law may go against some laws of the country
Havi ameiambia kamati hiyo kuwa mpango wa BBI wa kuteua mawaziri kutoka bungeni unaenda kinyume na katiba iliyopitishwa na wananchi mwaka wa 2010
Havi told the committee that the BBI's plan to appoint ministers from parliament is against the constitution passed by the citizens in 2010
Havi told the committee that the BBI's plan to appoint ministers from parliament is against the constitution passed by the citizens in 2010
Hata hivyo Havi alipata kama maoni yao kama tume ya sheria nchini LSK bado maoni yao hayakuwa yamewekwa katika ripoti hiyo
However, Havi found that their views as a law commission in LSK had not yet been included in the report.
However, Havi found that their views as LSK, a law commission in the country, had not yet been included in the report.
Mchekeshaji maarufu humu nchini Eric Omondi amekamatwa leo
Eric Omondi, the country's most famous comedian, is arrested today.
Eric Omondi, the country's famous comedian, was arrested today.
Omondi alikamatwa baada ya utafiti na maafisa wa polisi pamoja na bodi ya filamu nchini kuhusiana na video fulani mtandaoni
Omondi was arrested after an investigation by police and a film board in the country over a video online
Omondi was arrested after an investigation by police and a film board in the country over an oline video
Mutua ambaye ni mwenyekiti wa filamu nchini alisema kuwa mvchezo huo wa WIFE MATERIAL unaenda kinyume na sheria
Mutua, who is the chairman of the film industry in the country, said that the WIFE MATERIAL game is illegal
Mutua, who is the chairman of the film industry in the country, said that the WIFE MATERIAL video is illegal
Sheria zilizoundwa katika mwaka wa 2014 ambazo zinasema kuwa filamu zote lazima ziangaliwe na bodi hiyo kabla ya kuweka mtandaoni
Laws enacted in 2014 that say that all films must be screened by the board before being uploaded online
Laws enacted in 2014 that say that all films must be screened by the board before being uploaded online
Mutua alisema kuwa watafanya yote wawezayo ili kuhakikisha kuwa watu wote wanaoweka video mtandaoni ziwevideo sawa
Mutua said they will do their best to ensure that everyone who uploads videos online is the same video
Mutua said they will do their best to ensure that everyone who uploads videos online is the same video
Anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo katika awamu ya kwanza
He is expected to be brought to trial today in the first instance
He is expected to be brought to court today for his initial trial today
Kibochi amewaambia maafisa hao wa usalama kutotega masikio kwa uvumi ambao unaendelezwa kuhusiana na chanjo hiyo
Kibochi has told the security officials not to listen to the rumors about the vaccine
Kibochi has told the security officials not to listen to the rumors about the vaccine
Amewasihi maafisa hao wa usalama kufanya wawezayo kuhakikisha kuwa virusi vya korona vinapungua humu nchini
He urged the security officials to do their best to ensure that the coronavirus is reduced in the country.
He urged the security officials to do their best to ensure that the coronavirus is reduced in the country.
Amesema kuwa wanawategea walimu walio katika shule za serikali na shule za kibinafsi katika awamu ya kwanza ya kupeana chanjo
He said they are supporting teachers in public and private schools in the first phase of vaccination.
He said they are aiming at vaccinating teachers in public and private schools in the first phase of vaccination.
Amesema kuwa wizara ya elimu sasa hivi ina walimu elfu kumi na tano walio na zaidi ya umri wa miaka hamsini na nane, vilevile amesema wizara ya afya inafaa kuwapa chanjo walimu elfu mia mbili ishirini na saba ambao watasimamia mitihani ya kitaifa
He said that the education ministry now has 15,000 teachers over the age of 58, and he also said that the health ministry should vaccinate 227 thousand teachers who will conduct national exams.
He said that the education ministry now has 15,000 teachers over the age of 58, and he also said that the health ministry should vaccinate 227 thousand teachers who will conduct national exams.
Amesema kuwa walimu hao wanafaa kupewa kipaumbele katika chanjo hiyo dhidi ya korona
He said that the teachers should be given priority in the coronavirus vaccination
He said that the teachers should be given priority in the coronavirus vaccination
Leo hii korti ilipuuzilia mbali wazo la kuwakataza mashahidi zaidi kupeana ushuhuda wao katika kesi hiyo
Today the court dismissed the idea of prohibiting further witnesses from testifying in the case.
Today the court dismissed the idea of prohibiting further witnesses from testifying in the case.
Deya alitaka korti hiyo iwanyime nafasi mashahidi walio katika nchi za nje
Deya wanted the court to deny access to witnesses in foreign countries
Deya wanted the court to deny access to witnesses in foreign countries
Hata hivyo jaji Francis Andayi amewaagza mawakili kuhakikisha kuwa mashahidi ambaohawajafika kortini kutoa ushuhuda wao wafike
However, Justice Francis Andayi has instructed the lawyers to ensure that witnesses who have not yet appeared in court to testify are present.
However, Justice Francis Andayi has instructed the lawyers to wait for witnesses who have not yet appeared in court to testify
Jaji Andayi amesema kuwa kesi hiyo ilisimamishwa mwezi wa nne mwaka uliopita kutokana virusi vya korona ambayo ilizuia usafiri pamoja na kazi za mahakama
Justice Andayi said the case was suspended in April last year due to the coronavirus that restricted travel and judicial activities
Justice Andayi said the case was suspended in April last year due to the coronavirus that restricted travel and judicial activities
Hata hivyo mawakili hao hawajaiambia mahakama kama mashahidi hao ambao wengi wao walikwisha staafu wataweza kufika kortini
However, the lawyers have not told the court whether the witnesses, many of whom have retired, will be able to attend court
However, the lawyers have not told the court whether the witnesses, many of whom have retired, will be able to attend court
Watoto watano wanaotoka kwenye mtaa wa Mountain View jijini Nairobi wamepotea
Five children from the Mountain View street in Nairobi are missing
Five children from the Mountain View estate in Nairobi are missing
Msajili wa vyama vya kisiasa humu nchini ndiye ametoa sheria hiyo
The law was issued by the secretary of state for political parties in this country.
The law was issued by the secretary of state for political parties in this country.
Amesema kuwa vyama vya kisiasa vilishakubaliana na kutia sahihi kuzingatia sheria zote za uchaguzi humu nchini uchaguzi wa 2022 unapokaribia
He said that political parties agreed and signed to respect all electoral laws here in the country as the 2022 elections approached.
He said that political parties agreed and signed to respect all electoral laws here in the country as the 2022 elections approached.
Amepeana mifano na vurugu ambavyo vilishuhudiwa katika chaguzi ndogo humu nchini
He gave examples of violence that was witnessed in small elections here in the country
He gave examples of violence that was witnessed in small elections here in the country
Katika ripoti ya Nderitu kwa vyombo vya habari jioni ya leo alisema kuwa vyama hivyo vinafaa kuwadhibiti wafuasi wao pamoja na wawaniaji viti kupitia vyama hivyo
In a report by Nderitu to the media this evening he said that the parties should control their followers and the seats through them
In a report by Nderitu to the media this evening he said that the parties should control their followers and the seats through them
Profesa Nyong`o alizungumza jijini Kisumu alipokuwa akipokea chanjo
Professor Nyong`o spoke in Kisumu while receiving the vaccine
Professor Nyong`o spoke in Kisumu while receiving the vaccine
Alisema kuwa viongozi lazima wawe katika hatua ya mbele ndiposa wananchi wawe na imani na chanjo hiyo
He said that leaders must be at the forefront and citizens must have faith and that vaccine.
He said that leaders must be at the forefront and citizens must have faith and that vaccine.
Wambora alisema kuwa hiyo kesho atapokea chanjo hiyo ishara ya kuwa chanjo hiyo ni salama
Wambora said that tomorrow he will receive the vaccine, a sign that the vaccine is safe.
Wambora said that tomorrow he will receive the vaccine, a sign that the vaccine is safe.
Nyong`o alisema kuwa wahudumu wa afya wanawalenga watuelfu mbili kufikia mwisho wa wiki hii lakini idadi ya wanaoenda kupokea chanjo hiyo ni ndogo sana
Nyong`o said that health workers target 2,000 by the end of this week but the number of people who will receive the vaccine is very small
Nyong`o said that health workers target 2,000 by the end of this week but the number of people who will receive the vaccine is very small
Amesema kuwa alichukua hatua hiyo kupokea chanjo ili awape motisha wananchi wengi ili wafike kupokea chanjo hiyo
He said he took the step to get the vaccine to motivate more citizens to get the vaccine.
He said he took the step to get the vaccine to motivate more citizens to get the vaccine.
Mtu mmoja mwenye umri wa miaka ishirini na nne amekata mkono wa nduguye kwa panga katika kitongoji cha Kanyabande,Rachuonyo Mashariki
A 24-year-old man has cut off his brother's hand with a sword in the Kanyabande neighborhood of Rachuonyo East
A 24-year-old man has cut off his brother's hand with a matchete in the Kanyabande neighborhood of Rachuonyo East
Denis Otieno mwenye umri wa miaka thelathini na moja alivamiwa na ndugu yake kutokana na yeye kutumia sabuni yake bila kumwomba
Denis Otieno, 31, was assaulted by his brother because he used his soap without asking him.
Denis Otieno, 31, was assaulted by his brother because he used his soap without asking him.
Mja huyo kwa jina Ochieng` Adier alimvamia nduguye katika boma lake na kuukata mkono wake na kuuangusha chini kwa panga
A man named Ochieng ` Adier attacked his brother in his fortress and cut off his arm and knocked it down with a sword.
A man named Ochieng ` Adier attacked his brother in his homestead and chopped off his hand with a matchette.
Ochieng` ambaye alimkata nduguye hadi sasa haijulikani aliko huku ndyguye akipokea matibabu katika hospitali ya Matat mjini Oyugis
Ochieng` who cut off his brother is still unknown where he is while ndyguye is receiving treatment at Matat hospital in Oyugis
Ochieng` who assaulted his brother whereabouts is still unknown while his brother is receiving treatment at Matat hospital in Oyugis
Hii ni ripoti iliyotolewa na uongozi wa mtaa huo
This is a report from the local authority.
This is a report from the local authority.
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ameshtumiwa vikali kutokana na matamshi yake ya hivi karibuni
Tanzania's opposition leader Tundu Lissu has been heavily accused of his recent remarks
Tanzania's opposition leader Tundu Lissu has been strongly criticized over his recent remarks
Katibu katika wizara ya afya Mercy Mwangagi amesema kuwa Kenya inatarajia chanjo zaidi dhidi ya virusi vya korona
Health secretary Mercy Mwangagi said Kenya expects more vaccines against coronavirus
Health secretary Mercy Mwangagi said Kenya expects more vaccines against coronavirus
Alizungumza mbeleya kamati ya afya bungeni
He spoke before the parliamentary health committee
She spoke before the parliamentary health committee
Amesema kuwa mzigo wa kwanza wa chanjo hiyo inaweza kufika humu nchini muda wowote kutokea sasa
He said the first load of the vaccine could arrive here in the country anytime now.
He said the first batch of the vaccine could arrive here in the country anytime now.
Wanasiasa wanaoleta vurugu katika maeneo ambayo hawatoki wamekashifiwa.
Politicians who cause violence in areas where they do not come from are praised.
Politicians who cause violence in areas where they do not come from were condemned
Mbunge wa Kikuyu Kimanu Ichungwa amesema kuwa wanasiasa hawafai kuruhusiwa kusimamia uchaguzi katika maeneo ambayo hawatoki
Kikuyu MP Kimanu Ichungwa has said that politicians should not be allowed to run elections in areas they do not come from
Kikuyu MP Kimanu Ichungwa has said that politicians should not be allowed to oversee elections in areas they do not come from
Hii ni kutokana na vurugu vilivyoshuhudwa Kabuchai na Matungu katika chaguzi ndogo zilizoshuhudiwa
This is due to the violence witnessed by Kabuchai and Matungu in the smaller elections witnessed.
This is due to the violence witnessed by Kabuchai and Matungu in the grassroot elections witnessed.
Kwa upande wake mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohammed amesema kuwa wanasiasa wanafaa wawache vurugu kwa vile inarudisha Kenya nyuma
Sunnyside MP Junet Mohammed said politicians should stop the violence as it is driving Kenya backwards.
On the other hand, MP Junet Mohammed said politicians should stop the violence as it is taking Kenya backwards.
Walikuwa wakizungumza katika kituo kimoja cha habari humu nchini
They were talking in a news outlet here in the country
They were talking at a local news outlet in the country.
Mahakama imeshtumiwa kwa kuwa na moyo wa huruma kwawanaoharibu sheria za humu nchini
The court has been charged with being compassionate toward those who violate the laws of the land
The court has been condemned for it's clemency to lawbreakers in the country
Daktari Matiang`I amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuwa wizara yake inafanya juu chini kuwakamata wanasiasa wanaovunja sheria kisha korti inawawachilia tu kwa dhamana ya chini
Dr. Matiang`I said it was unfortunate that his ministry was doing upside down by arresting law-breaking politicians and then the court released them only on a reduced bail.
Dr. Matiang`I said it was unfortunate that his ministry was doing all they could to arrest law-breaking politicians and yet the courts released them with minimal bail.
Alisema haya katika hafla fulani jijini Nairobi ambayo inachunguza tabia kama hizo hasa uchaguzi mkuu wa 2022 unapokaribia
He said this at an event in Nairobi that examines similar behaviours especially as the 2022 general election approaches.
He said this at an event in Nairobi that examines similar behaviours especially as the 2022 general election approaches.
Bunge limeidhinisha biashara baina ya Kenya na Uingereza
Parliament approves trade between Kenya and Britain
Parliament approves trade between Kenya and Britain
Makubaliano hayo ya kibiashara yatatumia bilioni mia mbili katika kuhakikisha kuwa uchumi unaimarika humu nchini wakati huu wa kipindi cha korona
The trade deal will spend 200 billion to ensure the country's economic recovery during this time of the coronavirus.
The trade deal will spend 200 billion to ensure the country's economic growth during this time of the coronavirus.
Makubaliano hayo yalitiwa saini mwaka uliopita
The agreement was signed last year
The agreement was signed last year
Wabunge wamesema kuwa mkataba huo ni sawa na utaisadia sana taifa la Kenya
The parliamentarians have said the agreement is equitable and will greatly benefit Kenya.
The parliamentarians have said the agreement is good and will greatly benefit Kenya.
Wizara ya kilimo imesema kuwa haijasimamisha mpango wa kuleta mahindi kutoka mataifa ya nje
The Ministry of Agriculture has said that it has not stopped importing maize from foreign countries
The Ministry of Agriculture has said that it has not stopped importing maize from foreign countries
Wizara hiyo hata hivyo imesema kuwa wameweka sheria kali ili kuhakikisha kuwa mahindi yanayoletwa ni salama
The ministry has nevertheless said that it has put in place strict rules to ensure the safety of the corn imported
The ministry has nevertheless said that it has put in place strict rules to ensure the safety of the maize imported
Waziri wa kilimo Peter Munya hata hivyo amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kutoletwa kwa mahindi yaliyo na kemikali kama vile aflatoxin iliyopatikana kwenye mahindi kutoka Uganda na Tanzania
Agriculture Minister Peter Munya has however said that the move will help import chemical corn such as aflatoxin from Uganda and Tanzania.
Agriculture Minister Peter Munya has however said that the move will help curb the importation of contaminated maize, like aflotoxin poisoning that was present in maize imported from Uganda and Tanzania.
Mwaka jana Kenya ilileta mahindi tani elfu arubaini na nne mia saba arubaini elfu kutoka Uganda na Tanzania ili kusaidia kusuluhisha tatizo la mahindi humu nchini
Last year Kenya imported 440,000 tonnes of maize from Uganda and Tanzania to help solve the country's maize problem.
Last year Kenya imported 447,000 tonnes of maize from Uganda and Tanzania to help solve the country's maize problem.
Hakuna malipo waliyopata hadi sasa huku wakiitaka serikali iwalipe
They have not received any payment so far while demanding payment from the government
They have not received any payment so far while demanding payment from the government
Pia wanalalamikia foleni ndefu wanazopanga ili kupata malipo hayo
They also complain about the long queues they plan to get the payoff
They also complain about the long queues they have to make so as to be paid
Wanaiomba serikaliiweze kuwatolea malipokatika maeneo yaliyokaribu nao
They ask the government to provide them with a salary for the areas near them.
They ask the government to provide them with a salary for the areas near them.
Katibu katika wizara ya afya Mercy Mwangagi amesema kuwa Kenya inatarajia chanjo zaidi dhidi ya virusi vya korona
Health secretary Mercy Mwangagi said Kenya expects more vaccines against coronavirus
Health secretary Mercy Mwangagi said Kenya expects more vaccines against coronavirus
Hii itasaidia kuona kuwa wakenya wengi wanapata chanjo dhidi ya korona
This will help to see that many Kenyans get vaccinated against the coronavirus.
This will help to see that many Kenyans get vaccinated against the coronavirus.
Kwa upande mwingine amewasihi wananchi kufuata hatua za kujikinga dhidi ya korona kutokana na mkurupuko wa awamu ya tatu ya korona
On the other hand, he has urged citizens to take precautions against the third phase of the coronavirus outbreak.
On the other hand, he has urged citizens to take precautions against the third phase of the coronavirus outbreak.
Kamishona katika kaunti hiyo Bwana Moses Leila amesema kuwa wameweka hatua zote kuhakikisha kuwa watahiniwa watapata mazingira salama ya kufanya mtihani huo
The county commissioner, Mr. Moses Leila, said they have taken all the steps to ensure that the test subjects will have a safe environment to take the test.
The county commissioner, Mr. Moses Leila, said they have taken all the steps to ensure that the canditates will have a safe environment to take the test.
Alikuwa akizungumza katika maeneo ya Kabunde alipokuwa akiwahutubia wakuu katika sekta ya elimu
He was speaking in Kabunde areas while addressing the leaders of the education sector
He was speaking in the Kabunde locality while addressing the stakeholders of the education sector
Amewasihi wasimamizi wa mitihani kuhakikisha kuwa sheria zote zinafuatwa huku akisema wale ambao hawasimamii mitihani hawataruhusiwa maeneo hayo
He has urged the examination administrators to ensure that all the rules are followed while saying those who do not sit the exams will not be allowed in the areas.
He has urged the examiners to ensure that all the rules are followed while saying those who are not examining exams will not be allowed in the areas.
Aliyekuwa rais wa Somalia Ali Mahdi amefariki katika kituo kimoja cha afya kijijini Nairobi
Former Somali president Ali Mahdi has died in a rural health centre in Nairobi
Former Somali president Ali Mahdi has died in a medical facility in Nairobi
Kulingana na ripoti ya kituo cha Sauti Ya Marekani, rais Ahdi alikuwa na virusi vya korona
According to a report by the Voice of America, President Ahdi was infected with the coronavirus
According to a report by the Voice of America, President Ahdi was infected with the coronavirus
Alikuwa rais wa nne wa Somalia baada ya kuchaguliwa mwezi wa kwanza mwaka wa 1991
He was the fourth president of Somalia after being elected in January 1991
He was the fourth president of Somalia after being elected in January 1991
Ameendelea kumpigia debe naibu wa rais William Ruto akiwasihi wannchi wa huko kumuunga mkono Ruto
He continues to yell at Vice President William Ruto urging the local people to support Ruto
He continues to ccampaign for Vice President William Ruto urging the local people to support Ruto
Hii inafanyika wakati ambapo wanasiasa wa humu nchini wameshauriwa kusitisha kampeni zao
This is happening at a time when politicians in this country have been advised to stop their campaigns.
This is happening at a time when politicians in this country have been advised to stop their campaigns.
William Ruto ameendelea kuisifu serikali kwa vita vya kujenga daraja huko Budalangi kama njia mojawapo ya kuwajali wananchi
William Ruto has continued to praise the government for the bridge-building war in Budalangi as one way to take care of the citizens
William Ruto has continued to praise the government for the efforts it has put in building a bridge in Budalangi, an initiative that shows its concern for the citizens
Akizungumza katika shule ya msingi ya Port Victoria Ruto amesema kuwa ataendelea kufanya kazi na waendeshaji bodaboda katika kaunti hiyo
Speaking at the Port Victoria primary school, Ruto said he will continue to work with the local bodaboda operators
Speaking at the Port Victoria primary school, Ruto said he will continue to support the local bodaboda operators
Ruton alisema hayo akiwa Busia huku mbunge Caleb Kositany akiendelea kukashifu ukaribu wa Raila na Uhuru
Ruton said this in Busia while lawmaker Caleb Kositany continued to denounce the proximity of Raila to Freedom.
Ruto said this in Busia while lawmaker Caleb Kositany continued to denounce the close relationship between Raila and Uhuru.
Amesema kuwa makubaliano baina ya Raila na Uhuru imewagawa zaidi wakenya
He said the Raila-Independence agreement has further divided Kenyans
He said the Raila-Uhuru union has further divided Kenyans
Kositany ameendelea kumkashifu Raila kwa kukosa kuwaomba msamaha wananchi kutokana na uchaguzi wa 2017
Kositany has continued to criticize Raila for not apologizing to the citizens due to the 2017 election
Kositany has continued to criticize Raila for not apologizing to citizens due about the 2017 election
Kositany pia amekashifu mvutano katika chama cha Jubilee
Kositany also condemned the tensions in the Jubilee party
Kositany also condemned the tensions in the Jubilee party
Amesema kuwa siasa za humu nchini zinaweza kubadilika na Raila Odinga kuungana na Wiliiam Ruto katika uchaguzi wa 2022
He said that the politics of this country could change with Raila Odinga joining William Ruto in the 2022 elections
He said that the politics of this country could change with Raila Odinga joining William Ruto in the 2022 elections
W.H.O imesema kuwa utafiti umeanza kuhusu chanjo ya Astra Zeneca
WHO has said that research has begun on the Astra Zeneca vaccine
WHO has said that research has begun on the Astra Zeneca vaccine
Chanjo hiyo inasemekana imeleta matatizo kwa watu katika baadhi ya mataifa
The vaccine is said to have caused problems for people in some countries
The vaccine is said to have caused problems for people in some countries
Kamiti ya W.H.O ambayo inachunguza na kupeana maoni kuhusu chanjo hiyo kwa mataifa ya nje imesema kuwa manufaa ya chanjo hiyo ni mengi kuliko hasara zake hivyo basi chanjo hiyo inafaa itumike
The WHO committee that reviews and recommends the vaccine to foreign nations has said that the benefits of the vaccine outweigh the disadvantages, so it is appropriate to use it
The WHO committee that reviews and recommends the vaccine to foreign nations has said that the benefits of the vaccine outweigh the disadvantages, so it is appropriate to use it
Wataalamu wa sayansi wanasema kuwa chanjo hiyo haiwezi kuua hata hivyo bado haijabainika kilichowaua
Scientists say the vaccine is not lethal, but the cause of death has not yet been determined
Scientists say the vaccine is not lethal, but the cause of death has not yet been determined
Mwenyekiti wa kamati hiyo Ronald Rono amesema kuwa ripoti ya hospitali ya Kabarnet haijabaini iwapo walezi wa watoto hao ndio waliowaua
The committee's chairman Ronald Rono said the Kabarnet hospital report did not confirm whether the children's caregivers killed them.
The committee's chairman Ronald Rono said the Kabarnet hospital report did not confirm whether the children's caregivers are the ones who killed them.
Zaidi ya hayo inasemekana kuwa wanafunzi walio nyanjani wa KMTC ndio walipandisha joto katika eneo hilo ambalo watoto waliozaliwa kabla siku zao zifike walikuwa
In addition, it is said that the KMTC students who were in the lake were the ones who raised the temperature in the area where pre-term babies were born.
In addition, it is said that the KMTC trainees were the ones who increased the temperature in the area where premature babies were born.
Huenda kupandishwa kwa joto ndio iliwaua watoto hao
The heat may have caused the deaths of the children
The heat may have caused the deaths of the children
Ripoti ya kamati hiyo haijadhibitisha maelezo hayo
The committee's report does not confirm this statement
The committee's report has not confirmed this statement
Rono amesema utafiti zaidi utaendelea huku akisema kuwa wananchi wa huko wamekuwa wakilalmika kuhusu kituo hicho cha matibabu
Rono said further research will continue, saying that locals have been complaining about the medical facility
Rono said further research will continue, saying that locals have been complaining about the medical facility
Kituo hicho cha afya kimekanusha vikali ripoti kuwa watoto hao walikuwa wakifanyiwa ulinzi na madaktari walio nyanjani
The health center vehemently denies reports that the children were being protected by doctors on the lake
The health center vehemently denies reports that the children were under the charge of trainee doctors
Gavana wa Kakamega Oparanya na yule wa Bungoma Wangamati wameongoza shughuli ya kupeana chanjo katika kaunti zao
Kakamega Governor Oparanya and Bungoma Governor Wangamati have led the vaccination process in their counties
Kakamega Governor Oparanya and Bungoma Governor Wangamati have led the vaccination process in their counties
Akizungumza katika hospitali ya rufaa ya Bungoma alikokuwa akipokea chanjo, Wangamati amesema kuwa chanjo hiyo ni salama
Speaking at Bungoma Appeal Hospital where he was receiving the vaccine, Wangamati said the vaccine is safe
Speaking at Bungoma Refferal Hospital where he was receiving the vaccine, Wangamati said the vaccine is safe
Wangamati pia amewasihi wahudumu wa afya kujitokeza na kupokea chanjo hiyo
The Observer has also urged health workers to show up and receive the vaccine
The Wangamati has also urged health workers to show up and receive the vaccine
Kwa upande wake waziri wa afya katika kaunti ya Bungoma Olela amesema kuwa kaunti hiyo ilipokea chanjo elfu sita katika awamu ya kwanza huku awamu ya pili ikisubiriwa katika kipindi kifupi
For his part, the health minister in Bungoma county Olela said that the county received 6,000 vaccines in the first phase while the second phase is expected in a short period of time.
Speaking on his behalf, Olela, the health minister in Bungoma county said that the county received 6,000 vaccines in the first phase while the second phase is expected in a short period of time.
Katika kaunti ya Kakamega mambo yalianza shwari huku gavana wa Kakamega akioikea chanjo hiyo wa kwanza, Oparanya alisema alichukua hatua hiyo kutoa woga kwa wakaazi wa huko
In Kakamega county things started to go smoothly as Kakamega governor administered the first vaccine, Oparanya said he took the step to scare the locals
In Kakamega county things started to go smoothly as Kakamega governor took the first vaccine, Oparanya said he took the step to help locals overcome their fears.
Waendeshaji bodaboda kule Karatina wamewaua washukiwa wawili wakisema kuwa watu hao waliwaua waendeshaji pikipiki sita katika kipindi kifupi kilichopita
Motorcyclists in Karatina have killed two suspects claiming to have killed six motorcyclists in the past few days
Motorcyclists in Karatina have killed two suspects claiming that the suspects had killed six motorcyclists in the recent past
Ripoti kutoka Karatina inasema kuwa waendeshaji bodaboda hao waliwatoa washukiwa hao watatu hospitalini na kuwapiga wawili hadi kufa huku mmoja akiponyoka na majeraha makali
A report from Karatina says that the bombers took the three suspects out of the hospital and beat two to death while one escaped with serious injuries.
A report from Karatina says that the motorcyclists dragged the three suspects out of the hospital and beat two to death while one escaped with serious injuries
Waendeshaji bodaboda hao waliwazidi nguvu maafisa wa polisi waliokuwa wakiwalinda wagonjwa hao pamoja na mlinzi wa hospitali hiyo
The suicide bombers overwhelmed the police officers and the hospital guard who were guarding the patients
The motorcyclists overpowered the police officers and the hospital guard who were guarding the patients
Maafisa wa polisi waliwaokoa washukiwa hao mwezi wa tisa mwaka wa 2020 mbele ya wananchi waliokuwa na ghadhabu baada ya kushukiwa kuwaua waendeshaji bodaboda
Police rescued the suspects in September 2020 in front of angry citizens after being accused of killing bombers
Police rescued the suspects in September 2020 an angry mob after being accused of killing motorcyclists
Waendeshaji pikipiki katika kaunti ya Kirinyaga walimtoa mshukiwa mmoja hospitalini alikokuwa akitibiwa
Motorcyclists in Kirinyaga County took one suspect to the hospital where he was being treated
Motorcyclists in Kirinyaga County drugged a suspect out of the hospital where he was being treated
Waendeshaji hao walimtoa katika hospitali fulani mjini Kerugoya na kumuua papo hapo
The drivers took him out of a hospital in Kerugoya and killed him instantly
The motorcyclists took him out of a hospital in Kerugoya and killed him on the spot