swahili
stringlengths
4
767
machine_translated_english
stringlengths
0
5.22k
validated_english
stringlengths
0
2.68k
Wakaazi wa Migori na Kenya kwa jumla wameshauriwa kutumia vituo vya kupokea mafunzo yanayojengwa na serikali ipasavyo
Migrants and Kenyans in general have been advised to use government-built training centres accordingly
Migori residents and Kenyans in general have been advised to use government-built training centres accordingly
Ripoti hii ilipeanwa na mkurugenzi mkuu wa Kenya Pipeline akizungumza katika shule ya msingi ya Komondi katika kaunti ndogo ya Rongo
This report was presented by the director general of Kenya Pipeline speaking at Komondi primary school in the small county of Rongo
This report was given by the director general of Kenya Pipeline speaking at Komondi primary school in the small county of Rongo
Amesema kuwa vituo hivyo vya kiufundi havifai kukaa bure huku akiishukuru shule hiyo kwa kutumia fedha vizuri katika ujenzi
He said that these technical facilities should not be left behind while thanking the school for its good financial use in construction
He said that these technical facilities should not be left unused while thanking the school for its good use of finances in construction
Ameiomba uongozi wa kaunti ya Migori kufanya kazi na wakaazi wa huko kusuluhisha changamoto zao huku akisema watahiniwa watafanya vyema katika mtihani wao
He has asked the Migori County leadership to work with the local residents to solve their challenges while saying the candidates will do well in their exams
He has asked the Migori County leadership to work with the local residents to solve their challenges while saying the candidates will do well in their exams
Kambi hiyo ilipeleka maendeleo kama vile ujenzi wa ofisi, ujenzi wa maabara ya kisasa ya tarakilishi, tangi mbili zenye lita elfu kumi pamoja na mengine ambayo iligharimu milioni tano
The camp brought about such developments as the construction of offices, the construction of a modern computer lab, two ten thousand-liter tanks, and other projects that cost five million dollars
The camp brought about such developments as the construction of offices, the construction of a modern computer lab, two ten thousand-liter tanks, and other projects that cost five million
Sherehe hiyo ilihudhuriwa na wakuu katika kaunti ya Migori
The ceremony was attended by officials in Migori county
The ceremony was attended by officials in Migori county
Wakuu hao walikuwa pamoja na katibu wa kaunti hiyo Christopher Rusana pamoja na meneja wa eneo hilo la Rongo Ochieng` ambaye alisimama kwa niaba ya mbunge Paul Abuor
The officials were accompanied by the county secretary Christopher Rusana and the local Rongo Ochieng` manager who stood for MP Paul Abuor
The officials were accompanied by the county secretary Christopher Rusana and Ochieng, the local Rongo manager who represented MP Paul Abuor, the MP
Washukiwa wawili waliokamatwa Kisumu Mashariki na kosa la kuharibu transfoma katika shule ya msingi ya Kadiju wamefikishwa mahakamani
Two suspects arrested in Kisumu East for corrupting the transformer at Kadiju primary school have been brought to court
Two suspects arrested in Kisumu East for damaging the transformer at Kadiju primary school have been brought to court
Washukiwa hao Nahashon Oiko na Josiah Otieno wamekuwa wakizuiliwa katika kituo cha polisi cha Kondele
The suspects Nahashon Oiko and Josiah Otieno have been detained at the Kondele police station
The suspects Nahashon Oiko and Josiah Otieno have been detained at the Kondele police station
Hii ni baada ya kukamtwa na kosa la kuharibu transfoma lenye thamani ya mia tatu tisini na mbili elfu
This is after being convicted of damaging a transfoma worth three hundred ninety-two thousand
This is after being convicted of damaging a transfomer worth three hundred ninety-two thousand
Hili ni wizi walilotekeleza katika shule ya Kadiju tarehe sita mwezi wa kumi na mbili mwaka wa elfu mbili ishirini na mbili
This is a robbery they committed at Kadiju school on the 6th of the 12th month of the year 222.
This is a robbery they committed at Kadiju school on the 6th of the December 2022.
Walishtakiwa pia kwa kosa lakuharibu transfoma katika eneo la Anyuru na Kobura yenye thamani ya elfu mia nne na elfu mia mbili mtawalia
They were also charged with corrupting the transformation in the area of Anyuru and Kobura worth 4,200,000 monarchs
They were also charged with damaging transformers in the locality of Anyuru and Kobura, the transformers were worth ksh 400,000 and 200,000 respectively
Walikanusha mashtaka hayo huku korti ikisema waachiliwe kwa dhamana ya shilingi milioni mbili kila mmoja au pesa taslimu milioni moja
They denied the charges, with the court ordering them to be released on bail of two million shillings each or one million in cash
They denied the charges, with the court ordering them to be released on bail of two million shillings each or one million in cash
Kesi hiyo itasomwa tena tarehe thelathini mwezi huu huku ikisikilizwa tarehe kumi na tano mwezi wa sita mwaka huu
The case will be heard again on 30 June this year.
The case will be mentioned on 30th this month and will be heard on 15th of June this year.
Vita dhidi ya mimba za mapema mjini Kisumu bado imekumbwa na changamoto si haba
The fight against premature pregnancy in Kisumu is still a challenge.
The fight against premature pregnancy in Kisumu is still facing many challenge.
Gladys Akinyi amesema kuwa iwapo mikakati kabambe haitawekwa bado vita dhidi ya mimba za mapema haitazaa matunda
Gladys Akinyi says that if ambitious strategies are not put in place, the fight against premature pregnancy will not be fruitful
Gladys Akinyi says that if specific strategies are not put in place, the fight against premature pregnancy will not yield results
Alieleza jinsi alivyopachikwa na mimba akiwa mdogo na kuwa mzazi katika umri mdogo
She explained how she became pregnant at a young age and became a mother at a young age
She explained how she became pregnant when young and became a mother at a young age
Peter Okoyo ambaye ni babake Gladys alisema kuwa wazazi hawafai kudharauliwa wanao wakipata mimba
Peter Okoyo, Gladys' father, said that parents should not be despised when their children become pregnant.
Peter Okoyo, Gladys' father, said that parents should not be despised when their children become pregnant.
Hii inafanyika wakati ambapo aliwasihi wasichana kufanya mambo ambayo yanaweza kuwasaidia ma kijitenga na mapenzi
This is when he urged girls to do things that would help ma isolate herself from love.
He said this as he urged girls to engage in activities that would help them keep away from sex.
Mkaazi wa kaunti ya Kisumu Grace Wairimu amesema kuwa vijana wanafaa kuelimishwa ili wajiepushe na tendo la ndoa kabla wahitimu umri unaofaa
Grace Wairimu, a resident of Kisumu County, says that young people should be educated to avoid sex before they reach the age of consent
Grace Wairimu, a resident of Kisumu County, says that young people should be educated to avoid sex before they reach the age of consent
Balozi wa Tanzania nchini Libya Modestus Kiplimba amekashifu uvumi unaoendelea kuwa rais wa nchi hiyo Maghufuli amefariki
Tanzania's ambassador to Libya Modestus Kiplimba has denounced the ongoing rumors that the country's president Maghufuli has died
Tanzania's ambassador to Libya Modestus Kiplimba has denounced the ongoing rumors that the country's president Maghufuli has died
Amesema maisha ya Maghufuli yako sawa na yuko nchini Tanzania anakoendelea na kazi
He said Maghufuli's life is the same and he is in Tanzania where he continues to work.
He said Maghufuli's life is healthy and in Tanzania where he continues to work.
Amesema haya siku mbili tu baada ya kiongozi wa upinzani kusema kuwa hali ya Maghufuli I taabani
He said this just two days after the opposition leader said that the situation of the Maghufuli I was in trouble
He said this just two days after the opposition leader said that Maghufuli's condition was critical
Maghufuli aliambukizwa ugonjwa wa korona na amekuwa akipokea matibabu nchini kabla ya kusafirishwa hadi India kwa matibabu zaidi
Maghufuli was infected with coronavirus and was receiving medical treatment in the country before being transported to India for further treatment
Maghufuli was infected with the coronavirus and was receiving medical treatment in the country before being taken to India for further treatment
Siku chache zilizopita kuna kituo cha habari kilioa ripoti kuwa kuna rais fulani anayehudumiwa humu nchini
A few days ago a news outlet reported that a president is serving here in the country
A few days ago a news outlet reported that there's a president receiving treatment in the country
Wanafunzi wa kidato cha nne wanaanza rasmi mtihani wa kitaifa hapo kesho
Fourth graders officially begin the national exam tomorrow
Form four students officially begin the national exam tomorrow
Muungano wa Umoja Wa Wakenya almaarufu one Kenya Alliance wanapanga mkutano na wakenya
The renowned Kenya Alliance is organizing a meeting with Kenyans
The renowned One Kenya Alliance is organizing a meeting with Kenyans
Mtu mmoja amefariki katika ajali ya barbarani mjini Kendubay
One person died in a barbarian accident in Kendubay
One person died in a road accident in Kendubay
Askari wa kaunti ya Kisumu walioonekana wakimvuta mchuuzi mmoja wa kike katika kaunti ya Kisumu wamekamatwa
Kisumu county soldiers seen dragging a female saleswoman in Kisumu county have been arrested
Kisumu county officials seen dragging a female saleswoman in Kisumu county have been arrested
Watu ishirini na sita wamekufa kutokana na ugonjwa wa korona katika masaa ishirini na nne yaliyopita
Twenty-six people have died from coronavirus in the past 24 hours
Twenty-six people have died from coronavirus in the past 24 hours
Watu 1463 wamepatwa na ugonjwa wa korona kwa watu 8976 waliopimwa
1463 cases of coronavirus have been reported in 8976 people tested
1463 cases of coronavirus have been reported in 8976 people tested
Wakati huo huo wizara ya afya imesema kuwa wananchi wenye umri wa miaka hamsini na nane kuendelea wapewe chanjo hiyo
Meanwhile, the health ministry has said that citizens aged 58 years should continue to be vaccinated.
Meanwhile, the health ministry has said that citizens aged 58 years and above should be vaccinated.
Katika ujumbe kwa vituo vya habari mwenyekiti wa tume inayohakikisha kuwa wananchi wanapata chanjo amesema hivyo
In a message to the media, the chairman of the commission that ensures that citizens are vaccinated said this.
In a message to the media, the chairman of the commission that ensures that citizens are vaccinated said this.
Daktari Willis Akwale amesema kuwa watu wenye umri wa miaka 58 wako katika nafasi ya juu kupata virusi hivyo akisema kuwa ni asilimia sitini ya walioambukizwa
Dr. Willis Akwale says that 58-year-olds are at the highest risk of contracting the virus, saying that they make up 60 percent of those infected.
Dr. Willis Akwale says that 58-year-olds and above are at the highest risk of contracting the virus, saying that they make up 60 percent of those infected.
Wizara ya afya pia imewasihi wanasiasa, wanaohubiri pamoja na viongozi kuwa waende wapokee chanjo dhidi ya korona
The health ministry has also urged politicians, preachers and leaders to get vaccinated against the coronavirus
The health ministry has also urged politicians, preachers and leaders to get vaccinated against the coronavirus
Hii ikiwa ni njia ya kuwapa motisha wananchi pamoja na wale walio katika hatari ya juu kupokea chanjo hiyo
This is a way to encourage citizens and those at high risk to receive the vaccine.
This is a way to encourage citizens and those at high risk to receive the vaccine.
Mtihani wa kitaifa wa KCSE utaanza rasmi hapo kesho
The national KCSE exam will officially start tomorrow.
The national KCSE exam will officially start tomorrow.
Baadhi ya walimu wakuu wamesema kuwa mikakati ipasavyo tayari imeshawekwa
Some of the leading teachers have said that appropriate strategies have already been put in place
Some school principals have said that appropriate measures have already been put in place
Wanafunzi hao wa kidato cha nne kesho wataanza na karatasi ya kiingerez ya kwanza
The fourth-grade students will start tomorrow with the first English paper
The form four students will start tomorrow with the English paper 1
Sheria za kupunguza usambazaji wa korona zitafuatwa wakati wa mtihani huo
The rules to limit the spread of the coronavirus will be followed during the exam
The rules to limit the spread of the coronavirus will be followed during the exam
Chama cha ODM kimesema kuwa wanapanga kutengeneza muungano wa kisiasa baada ya kura za maoni
The ODM Party has said that they plan to form a political alliance after the referendum
The ODM Party has said that they plan to form a political alliance after the referendum
Katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna amesema kuwa muungano huo utajumulisha vijana pamoja nawale walio na malengo mazuri kwa taifa la Kenya
The party's secretary general, Edwin Sifuna, said the coalition would bring together young people and those with good goals for Kenya
The party's secretary general, Edwin Sifuna, said the coalition would bring together young people and those with positive goals for Kenya
One Kenya Alliance iliundwa na viongozi wa ANC,Wiper, KANU pamoja na FORD KENYA
One Kenya Alliance was formed by ANC, Wiper, KANU leaders along with FORD KENYA
One Kenya Alliance was formed by ANC, Wiper, KANU leaders along with FORD KENYA
Muungano huo wa One Kenya Alliance umesema kuwa utaanza kuandaa mkutano baada ya ugonjwa wa korona kupungua humu nchini
The One Kenya Alliance said it will start hosting a meeting after the coronavirus decline in the country
The One Kenya Alliance said it will start hosting a meetings after the coronavirus decline in the country
Wamesema kuwa wanaunga mkono mageuzi ya sheria yaliyo katika BBI, haya yalisemwa na Moses Wetangula
They have said they support the reform of the laws contained in the BBI, this was said by Moses Wetangula
They have said they support the reform of the laws contained in the BBI, this was said by Moses Wetangula
Kiongozi wa KANU Gideon Moi amesema kuwa wazolao kuu ni kuhakikisha kuwa siasa za kiukabila zinakomeshwa
KANU leader Gideon Moi has said that the main challenge is to ensure that ethnic politics is stopped
KANU leader Gideon Moi has said that their main goal is to ensure that ethnic politics is eradicated
Mawazo ya Moi yaliungwa mkono na kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi
Moi's ideas were supported by ANC leader Musalia Mudavadi
Moi's ideas were supported by ANC leader Musalia Mudavadi
Kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi amekashifu kutimuliwa kwa seneta Cleophas Malala kama kiongozi wa wachache bungeni akisema kuwa chama cha ODM kinadharau vyama tanzu vya NASA
ANC leader Musalia Mudavadi has condemned the resignation of senator Cleophas Malala as minority leader of parliament, saying the ODM party is disdainful of NASA's subsidiaries
ANC leader Musalia Mudavadi has condemned the sacking of senator Cleophas Malala as minority leader of parliament, saying the ODM party is disdainful of NASA's affiliated parties
Wakimbizi wanaoishi katika kambi za Daadab na Kakuma wameiomba serikali kubadili wazo la kufunga kambi hizo
Refugees living in the camps of Daadab and Kakuma have appealed to the government to change its mind about closing the camps
Refugees living in the camps of Daadab and Kakuma have appealed to the government to change its mind about closing the camps
Wamesema kuwa kufungwa kwa kambi hizo kutawarudisha katika taabu pamoja na uvamizi kutoka Somalia
They have said that the closure of the camps will bring them back into trouble with the invasion from Somalia
They have said that the closure of the camps will bring back suffering and invasion from Somalia
Viongozi kutoka maeneo ya Kaskazini Mashariki wameiomba serikali kuangalia njia ya kuwasaidia wakimbizi hao bali siyo kuwafukuza
Leaders from the Northeast have urged the government to look for ways to help the refugees rather than expel them.
Leaders from the North Easttern have urged the government to look for ways of helping the refugees instead of expelling them.
Viongozi mbalimbali pia wameunga mkono wazo hilo
Various leaders have also supported this idea
Several leaders have also supported this idea
Seneta wa Bungoma Moses Wetangula amesema kuwa wakimbizi ni waliokimbia taabu za kwao na kuwarejesha kwao ni kuwafanyia vibaya zaidi
Bungoma Senator Moses Wetangula said that refugees are those who fled their hardships and returning to their homes is worse for them
Bungoma Senator Moses Wetangula said that refugees have fled hardship hence returning them home is cruel.
Asilimia sitini ya wakenya wanapanga uzazi
Sixty percent of Kenyans plan to have children
Sixty percent of Kenyans practice family planning
Hii ni kutokana na utafiti uliofanywa katika kaunti kumi na moja na shirika la Perfomance Monitoring For Action
This is from a study conducted in eleven counties by Perfomance Monitoring For Action.
This is from a research conducted in eleven counties by Perfomance Monitoring For Action.
Utafiti huo pia umegundua mimba za kutopangwazimepungua kutoka asilimia 42 hadi 38
The study also found that miscarriage rates dropped from 42 percent to 38 percent.
The research also showed that unplanned pregnancies dropped from 42 percent to 38 percent.
Profesa Peter Gitangi ambaye ni mkuu wa idara hiyo amesema kuwa wanawake wengi wanapanga uzazi kwa njia ya kuweka vifaa katika miili yao almaarufu implants
Professor Peter Gitangi, head of the department, said that many women plan for childbirth by putting in their bodies the popular implants.
Professor Peter Gitangi, head of the department, said that many women do family planning by having implants inserted into their bodies.
Mtu mmoja amefariki huku wanne wakikimbizwa hospitalini katika eneo la Gendia baada ya gari aina ya trela kuwagonga
One person died while four were rushed to hospital in Gendia after a trailer hit them
One person died while four were rushed to hospital in Gendia after a trailer hit them
Trela hiyo pia iligonga pikipiki nne na gari la probox kando ya barabara
The truck also hit four motorcycles and a probox by the side of the road
The truck also hit four motorcycles and a probox by the side of the road
Askari wa kaunti ya Kisumu walioonekana wakimvuta mchuuzi mmoja wa kike katika kaunti ya Kisumu wamekamatwa
Kisumu county soldiers seen dragging a female saleswoman in Kisumu county have been arrested
Kisumu county askari seen dragging a female hawker in Kisumu county have been arrested
Kushikwa kwao kunatokana na uzito uliowekwa mjini Kisumu leo na watetezi wa haki za binadamu
Their arrest is based on the weight imposed in Kisumu today by human rights defenders
Their arrest is the result of the pressure put on Kisumu today by human rights defenders
Wakiongozwa na Bonny Akatch walisema kuwa kusimamishwa kazini tu haitoshi
Led by Bonny Akatch, they said that just being fired from work is not enough
Led by Bonny Akatch, they said that just being fired from work is not enough
Wamesema kuwa kiongozi wao anafaa kujiuzulu
They have said that their leader deserves to resign
They have said that their supervisor should resign
Hii inafanyika wakati ambapo viongozi mbalimbali Kisumu wanakashifu askari wa kaunti kwa jinsi wanavyodhulumu wachuuzi
This is happening when various Somali leaders praise the county's soldiers for their harassment of traders.
This is happening when various leaders condemn the county's askaris for their harassment of hawkers.
Mheshimiwa Abala Wanga amewasihi watetezi wa haki na viongozi kuwapa muda ili uchunguzi zaidi ufanywe kuhusiana na tukio hilo
Mr. Abala Wanga has appealed to human rights defenders and authorities to give them time to investigate further the incident
Mr. Abala Wanga has appealed to human rights defenders and authorities to give them time to investigate the incident further
Wizara ya afya imeshauriwa kusambaza dawa za kupambana na virusi vya Ukimwi kwa waathiriwa
The Ministry of Health has been advised to distribute HIV vaccines to the victims
The Ministry of Health has been advised to distribute HIV antiretoviral drugs to the victims
Bwana Austine Obiero ni mwathiriwa wa virusi hivyo kutoka maeneo ya Nyahera, amejitokeza kuwaelimisha wananchi kutokana na virusi vya Ukimwi
Mr. Austine Obiero, a victim of the virus from the Nyahera area, has appeared to educate the citizens about the AIDS virus
Mr. Austine Obiero, a victim of the virus from the Nyahera area, has come out publicly to educate the citizens about the AIDS virus
Siku mja baada ya dunia kuadhimisha sikun ya ugonjwa wa kifua kikuu duniani amejitokeza na kuwaambia waathiriwa wa ugonjwa wa UKIMWI kujua pia hali yao kifua kikuu
The day after World Tuberculosis Day, she appeared and told AIDS victims to know their TB status.
The day after World Tuberculosis Day, he came out and told AIDS victims to know their TB status.
Hali ya usalama imekuwa tisti katika kijiji cha Chato mkoa wa Geita ambako sherehe hiyo itaandaliwa
Security has been established in the village of Chato in Geita province where the ceremony will be held
Security has been established in the village of Chato in Geita province where the ceremony will be held
Leo hii wakaazi wa Chato walipata nafasi ya kuona mwili wa mwendazake Maghufuli katika uga wa Maghufuli
Today, the inhabitants of Chato got the chance to see the body of their fellow Maghufuli in the Maghufuli field.
Today, the residents of Chato got the chance to see the body of the late Maghufuli in the Maghufuli homestead.
Wananchi wa mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hiyo
Nationals of various nations are expected to attend the celebration
Nationals of various nations are expected to attend the ceremony
Amri ya kutotoka nje imeongezwa kwa siku sitini huku mikutano ya siasa ikisitishwa kwa siku thelathini
The curfew has been extended for 60 days, while political meetings have been suspended for 30 days
The curfew has been extended for 60 days, while political meetings have been suspended for 30 days
Naibu wa rais William Ruto amesitisha mikutano yote ya kisiasa aliyokuwa amepanga
Vice President William Ruto has suspended all political meetings he had planned
Vice President William Ruto has suspended all political meetings he had planned
Chanjo ya korona imeidhinishwa rasmi katika kaunti ya Siaya
Corona vaccine officially approved in Siaya county
Corona vaccine officially approved in Siaya county
Marekani ina nia ya kumaliza virusi vya korona
The United States is committed to ending the coronavirus
The United States is committed to ending the coronavirus
Rais Uhuru Kenyatta ameongeza mkataa wa kutotoka nje almaarufu curfew kwa siku sitini
President Uhuru Kenyatta has extended the curfew for 60 days
President Uhuru Kenyatta has extended the curfew for 60 days
Rais Kenyatta vilevile amesitisha mikutano yote ya siasa
President Kenyatta has also suspended all political meetings
President Kenyatta has also suspended all political meetings
Amesema kuwa sheria hizi zitaanza rasmi leo
He said that these laws will come into force today.
He said that these laws will come into force today.
Rais pia ametoa sheri kudhibiti wanaofika kwenye harusi mazishi na kadhalika
The president has also issued a sheriff to control those who attend the funeral and so on.
The president has also issued a law to control those who attend the weddings, funerals and so on.
Amesema kuwa ni watu mia moja tu wanaoruhusiwa kufika katika mikutano hiyo
He said that only a hundred people are allowed to attend the meetings
He said that only a hundred people are allowed to attend such gatherings
Watakaoaga dunia watazikwa baada ya saa sabini na mbili
Those who cross the earth will be buried in 72 hours
The dead will be buried in 72 hours
Rais ametoa amri kwa maafisa wa polisi kuhakikisha kuwa sheria zote zinafuatwa
The president has issued an order to the police officers to ensure that all laws are followed
The president has issued an order to the police officers to ensure that all laws are followed
Sheria hizo zimewekwa kudhibiti ugonjwa wa korona
These laws are designed to control the coronavirus
These laws are designed to control the coronavirus
Serikali pia itaunda tume ya kudhibiti ugonjwa wa korona
The government will also set up a commission to control the coronavirus.
The government will also set up a commission to control the coronavirus.
Rais Kenyatta alisema kuwa kamati hiyo itaongozwa na magavana pamoja na makamishna wa kaunti
President Kenyatta said the committee will be led by governors and county commissioners
President Kenyatta said the committee will be led by governors and county commissioners
Kamiti hiyo itakutana kila wiki kuangalia iwapo wananchi wanafuata sheria za korona
The committee will meet weekly to see if citizens follow the corona rules
The committee will meet weekly to see if citizens follow the corona rules
Alizungumza wakati ambapo watu 750 walipatwa na ugonjwa wa korona huku 6264 wakipimwa na wawili wakiaga dunia wakati huo huo
He spoke at a time when 750 people were infected with coronavirus while 6264 were being tested and two were traveling around the world at the same time
He spoke at a time when 750 people were infected with coronavirus while 6264 were being tested and two succumbed
Amewaomba Wakenya kupokea chanjo dhidi ya korona
He has asked Kenyans to receive a coronavirus vaccine
He has asked Kenyans to receive a coronavirus vaccine
Wakati huo huo aliwahakikishia watahiniwa wa kidato cha nne na nane hali shwari watakapofanya mtihani hata ingawa nchi inakabiliana na ugonjwa wa korona
At the same time, he assured the fourth and eighth graders of the test that they will be comfortable when they pass the test despite the country's coronavirus pandemic.
At the same time, he assured form four and class eight students that will have a conducive atmosphere when sitting for their exams despite the country's coronavirus pandemic.
Naibu wa rais William Ruto amesitisha mikutano yote ya kisiasa aliyokuwa amepanga
Vice President William Ruto has suspended all political meetings he had planned
Vice President William Ruto has suspended all political meetings he had planned
Kupitia mtandao wake wa Twitter Ruto amesema hiyo ni kutokana na idadi ya wanaopata ugonjwa wa korona kila siku
Through his Twitter account Ruto said that this is due to the number of coronavirus cases every day.
Through his Twitter account Ruto said that this is due to the number of those contracting the coronavirus every day
Pia amesema amechukua hatua hiyo kutokana na sheria za rais za kusitisha mikutano yote ya siasa
He also said he took the step because of the president's laws to suspend all political meetings
He also said he took the step because of the president's directive to suspend all political meetings
Leo hii Ruto alikuwa katika eneo bunge la Funyula kaunti ya Busia alikoendesha kampeini yake kuwainua wale wenye mapato ya chini
Today Ruto was in the Funyula parliamentary district of Busia where he ran his campaign to raise the low-income
Today Ruto was in the Busia constituency where he led his campaign to support low-income earners
Kwa upande mwingine aliwakashifu wanasiasa wanaopanga kumpinga katika uchaguzi mkuu ujao
On the other hand, he denounced politicians who plan to oppose him in the next general election
On the other hand, he denounced politicians who plan to oppose him in the next general election
Alisema kuwa miungano ya kisiasa haifai kuundwa kutokana na makabila ambayo wanasiasa wanatoka
He said that political alliances should not be formed from the tribes from which politicians come
He said that political alliances should not be based on the tribes of politicians
Wakaazi wa Machakos wamwshauriwa kumpigia kura Agnes Kavindu wa Wi[er katika uchaguzi mdogo wa seneti kaunti hiyo
Machakos residents are advised to vote for Agnes Kavindu of Wi[er] in the county's senate by-election
Machakos residents are advised to vote for Agnes Kavindu of Wiper] in the county's senate by-election
Kiongozi wa chama cha Wiper amesema kuwa BI Kavindu anaweza kuwaongoza vyema
The leader of the Wiper party has said that BI Kavindu can lead them well
The leader of the Wiper party has said that Mrs Kavindu can lead them well
Kiongozi wa FORD KENYA Moses Wetangula amesema kuwa Kavindu atatwaa kiti hicho jinsi walivyotwaa kiti cja Kabuchai na Matungu
The leader of FORD Kenya, Moses Wetangula, has said that Kavindu will take the seat as they took the seat from Kabuchai and Matungu
The leader of FORD Kenya, Moses Wetangula, has said that Kavindu will take the seat as they took the seat from Kabuchai and Matungu
Mheshimiwa Mike Sonko ameambiwa apumzike kwa kipindi cha siku kumi na nne
Mr. Mike Sonko has been told to rest for fourteen days.
Mr. Mike Sonko has been told to rest for fourteen days.
Mawakili wake wakiongozwa na Khaminwa wamemwambia kiongozi wa mashtaka kuwa madaktari wamemwagiza Sonko kupumzika kwa siku kumi na nne
His lawyers, led by Khaminwa, have told the prosecutor that doctors have ordered Sonko to rest for fourteen days.
His lawyers, led by Khaminwa, have told the prosecutor that doctors have ordered Sonko to rest for fourteen days.