swahili stringlengths 4 767 | machine_translated_english stringlengths 0 5.22k | validated_english stringlengths 0 2.68k |
|---|---|---|
Hii inamaanisha kuwa hatafika kortini Jumanne wiki ijayo kuhusu kesi inayomkabili ya milioni kumi na nne | This means he won't be in court next Tuesday about the 14 million case he faces. | This means he won't be in court next Tuesday about the 14 million case he faces. |
Wakila ameeleza kuwa maafisa hao ni wa afya wa hospitali za umma na za kibinafsi katika kaunti ya Siaya | Wakila has explained that the officials are healthcare workers of public and private hospitals in Siaya county | Wakila has explained that the officials are healthcare workers of public and private hospitals in Siaya county |
Amesema kuwa chanjo hiyo itasaidia kukinga maisha ya Wakenya wakati huu ambapo ugonjwa huo umeingia katika awamu ya tatu humu nchini | He said the vaccine will help protect the lives of Kenyans at a time when the disease is in the third stage of the country. | He said the vaccine will help protect the lives of Kenyans at a time when the disease has entered the third phase in the country. |
Akizungumza wakati wa kuidhinisha rasmi chanjo hiyo Wakila alisema kuwa baada ya kuwapa chanjo wahudumu wa afya watawapa chanjo maafisa wa usalama,walimu,viongozi wa makanisa pamoja na wale wanaopeana huduma za dharura | Speaking at the official approval of the vaccine, Wakila said that after vaccination, health workers will vaccinate security officials, teachers, church leaders and those providing emergency services. | Speaking at the official kick- off of the vaccine, Wakila said that after vaccinating health workers, they will vaccinate security officials, teachers, church leaders and those providing emergency services. |
James Okumbe ambaye ni naibu wa gavana wa Siaya na wa kwanza kupokea chanjo hiyo katika kaunti hiyo alisema kaunti ya Siaya imepokea chanjo laki tatu huku wakingoja zaidi | James Okumbe, the deputy governor of Siaya and the first to receive the vaccine in the county, said Siaya County has received three lakh vaccinations while waiting longer. | James Okumbe, the deputy governor of Siaya and the first to receive the vaccine in the county, said Siaya County has received three hundred thousand vaccinations as they wait for more to come |
Anmewasihi wananchi kuendelea kuzingztia sheria za korona | He urged citizens to continue to abide by corona laws | He urged citizens to continue to abide by corona directives |
Wanachama wa FORD KENYA kutoka maeneo ya Nyanza wamesema watamuunga mkono Mukhisa Kituyi katika azma yake ya kuwania urais | FORD KENYA members from Nyanza areas have said they will support Mukhisa Kituyi in his presidential bid | FORD KENYA members from Nyanza areas have said they will support Mukhisa Kituyi in his presidential bid |
Wamesema kuwa viongozi ambao wamekuwa wakiunga mkono hujiondoa hata kabla ya uchaguzi kufika | They have said that leaders who have been supporting them quit even before the elections. | They have said that leaders who have been supporting them quit even before the elections. |
Mwenyekiti wa FORD KENYA mjini Kisumu Phelix Minda amesema kuwa Moses Wetangula siyo kiongozi wao | Chairman of FORD Kenya in Kisumu Phelix Minda said that Moses Wetangula is not their leader | Chairman of FORD Kenya in Kisumu Phelix Minda said that Moses Wetangula is not their leader |
Pia amesema kuwa wamemuidhinisha mheshimiwa Eseli Simiyu kama katibu wao | He also said that they have approved Mr. Esel Simiyu as their secretary | He also said that they have approved Mr. Esel Simiyu as their secretary |
Uongozi wa wanawake kupitia Maendeleo Ya Wanawake imeanza kuwagawa wanawake matangi ya kuhifadhi maji humu nchini | Women's leadership through Women's Development has started to distribute water storage tanks to women in this country | Women's leadership through Women's Development has started to distribute water storage tanks to women countrywide |
Amesema kuwa maji huwa mengi wakati wa mvua na kiangazi kikija wanawake huhangaika wakitafuta maji | He says that water is abundant in the rainy season and that in the coming summer women are anxious about finding water. | He says that water is abundant in the rainy season and that in the coming dry season women are stressed finding water. |
Bi. Owino amesema kuwa matangi hayo yatawasaidia wanawake kuhifadhi maji safi | Ms. Owino said that these tanks will help women store clean water | Ms. Owino said that these tanks will help women store clean water |
Amewasihi wanawake kujiunga na mashirika ambayo yanaweza kuwasaidia kama hayo | She has urged women to join organizations that can help like this | She has urged women to join organizations that can help like this |
Rais Biden ana matumaini kuwa kufikia tarehe ya kusherehekea siku ya kupata uhuru nchini humo ambayo ni tarehe nne mwezi wa saba, Marekani itakuwa imemaliza vita dhidi ya korona | President Biden hopes that by the date of the country's Independence Day, which is the fourth of July, the United States will have ended the war against the coronavirus. | President Biden hopes that come the country's Independence Day, which is the fourth of July, the United States will have won the war against the coronavirus. |
Amewasomba raisa wa Marekani kuendelea kutii sheria za korona | He has urged the US president to continue to obey corona laws | He has urged the US citizens to continue to following the covid directives |
Biden alizungumza mwaka mmoja baada ya virusi vya korona kuvamia nchi hiyo | Biden spoke a year after the coronavirus hit the country | Biden spoke a year after the coronavirus hit the country |
Katika kaunti arubaini tangu chanjo hiyo ianze kupeanwa | In fourteen counties since the vaccine was first given | In fourteen counties since the vaccine was first given |
Wakati huo huo watu saba wamepoteza maisha yao katika masaa ishirini na manne yaliyopita | Meanwhile, seven people have lost their lives in the past 24 hours. | Meanwhile, seven people have lost their lives in the past 24 hours. |
Hii inafikisha idadi ya wale walioangamia kwa virusi vya korona hadi elfu moja mia tisa na nane | This brings the number of coronavirus deaths to 1,988. | This brings the number of coronavirus deaths to 1,988. |
Hii imefikisha idadi ya wale walioambukizwa humu nchini hadi 112805 | This has brought the number of infected people in this country to 112805 | This has brought the number of infected people in this country to 112805 |
Kesi za lazima ambazo zimekuwa zikiendelea katika mahakama ya Mavoko zimepelekwa hadi mahakama ya juu ya Machakos baada ya mahakama hiyo kufungwa | The mandatory cases that have been ongoing in Mavoko court have been referred to the Machakos High Court after the court was closed | The mandatory cases that have been ongoing in Mavoko court have been referred to the Machakos High Court after the court was closed |
Jaji mkuu mshikilizi Philomena Mwilu amesema kuwa bado wanafanya uchunguzi katika korti ya Kathimani kuhusiana na watu kumi na sita kuathirika na virusi vya korona | Chief Justice Philomena Mwilu has said that they are still investigating in Kathmandu court about 16 people affected by the coronavirus | Chief Justice Philomena Mwilu has said that they are still investigating the Kathimani court about 16 people affected by the coronavirus |
Maafisa wa polisi wamemshika mwanamke mmoja aliyenaswa katika kanda ya video akiwadunga kwa kisu watoto wawili wa mwajiri wake | Police arrest a woman caught on video stabbing two of her employer's children | Police officers have arrested a woman recorded on video stabbing two children of her employer with a knife |
Gladys Naliaka ambaye ni mjakazi alishikwa katika kituo cha kuabiri gari cha Eldoret akipanga kuhamia Uganda | Gladys Naliaka, a maid, was caught in the Eldoret parking lot planning to move to Uganda | Gladys Naliaka, a maid, was caught in the Eldoret parking lot planning to move to Uganda |
Maafisa wapolisi wamesema kuwa Naliaka alishikwa na vitambulisho viwili tofauti | Police officials said Naliaka was caught with two different IDs | Police officials said Naliaka was caught with two different IDs |
Kutotii sheria itafanya ugonjwa wa korona urejee humu nchini | Lawlessness will cause coronavirus to return to the country | Disobeying directives will cause coronavirus to return to the country |
Vijana ambao tayari wamehitimu hawafai kusubiri kuajiriwa | Young people who have already graduated should not wait to be employed | Young people who have already graduated should not wait have to be employed |
Amesema kuwa serikali ina mipango ya kilimo ambayo itasaidia kuwapa pesa na chakula | He said the government has agricultural programs that will help provide them with money and food | He said the government has agricultural programs that will help provide them with money and food |
Alizungumza akiwa Tharaka Nithi ambapo serikali tayari imeanza mipango ya unyunyizaji maji mashambani | He spoke as Tharaka Nithi where the government has already started water-sewering programs in the countryside | He spoke at Tharaka Nithi where the government has already started irrigation programs in the farms |
Wanasiasa ambao wanapinga makubaliano baina ya Uhuru na Raila almaarufu handshake wamekashifiwa kuwa hawapendi amani nchini | Politicians who oppose the agreement between the Liberation Front and the renowned Raila have been criticized for not wanting peace in the country | Politicians who oppose the agreement between the Uhuru and Raila, the handshake, have been criticized for not wanting peace in the country |
Seneta wa Homabay Moses Kajwang amesema kuwa makubaliano ya handshake imeleta amani humu nchini | Homabay Senator Moses Kajwang said that the handshake agreement has brought peace to the country | Homabay Senator Moses Kajwang said that the handshake agreement has brought peace to the country |
Amewaambia wafanyikazi wa serikali kutoingilia siasa akisema kuwa inazuia serikali kutimiza ahadi zake kwa wananchi | He has told government officials not to get involved in politics saying it prevents the government from fulfilling its promises to citizens | He has told government officials not to get involved in politics saying it prevents the government from fulfilling its promises to citizens |
Mheshimiwa Kajwang` amesema kuwa kuja pamoja kwa Uhuru na Raila imesaidia sana kuleta amani humu nchini | Mr. Kajwang` said that coming together for Freedom and Raila has helped bring peace to this country | Mr. Kajwang` said that the agreement between Uhuru and Raila has helped bring peace to this country |
Maafisa wa polisi nchini Urusi wamewakamata raia mia mbili ambao walikua katika mkutano wa kupinga serikali kuu huko Urusi | Russian police have arrested 200 citizens who grew up in a rally against the Russian government | Russian police have arrested 200 citizens who were in a meeting opposing the Russian government |
Watu hao walishikwa mkutano ulipokuwa ukianza katika hoteli moja mjini Moscow | The men were caught during a meeting that was starting in a hotel in Moscow | The men were caught during a meeting that was starting in a hotel in Moscow |
Maafisa wa polisi wamesema kuwa raia hao walivunja sheria za kupambana na korona | Police officials have said the civilians violated anti-coronavirus laws | Police officials have said the civilians violated anti-coronavirus laws |
Kushikwa kwa jamaa hao inakuja wakati ambapo serikali ya Urusi imekuwa ikiwakamata raia wanaopinga serikali uchaguzi mkuu unapokaribia | The arrest of the relatives comes as the Russian government has been arresting anti-government citizens as the general election approaches | The arrest of the relatives comes as the Russian government has been arresting anti-government citizens as the general election approaches |
Mwezi jana kiongozi wa upinzani Alexei Navalny alitiwa mbaroni | Last month opposition leader Alexei Navalny was arrested | Last month opposition leader Alexei Navalny was arrested |
Wizara ya afya imetoa amri kuwawatu wenye umri wa miaka hamsini na nane kuendelea wapokee chanjo ya korona | The Ministry of Health has ordered that people aged 58 years continue to receive the coronavirus vaccine | The Ministry of Health has ordered that people aged 58 years and above to receive the coronavirus vaccine |
Katika ujumbe kwa vyombo vya habari msimsmizi mkuu wa kutoa chanjo hizo Willis Akhwale alisema hivyo | In a press release, the main sponsor of the vaccines, Willis Akhwale, said: | In a press release, the main director of the vaccines, Willis Akhwale, said: |
Willis alisema kuwa watu hao walio na umri wa miaka 58 ni asilimia sitini ya wale walioambukizwa virusi vya korona | Willis said that these 58-year-olds make up 60 percent of those infected with the coronavirus | Willis said that these 58-year-olds make up 60 percent of those infected with the coronavirus |
Wizara ya afya imetoa ombi kwa wanasiasa,wahubiri pamoja na viongozi wa wananchi kupokea chanjo hiyo | The Ministry of Health has requested politicians, preachers and community leaders to receive the vaccine | The Ministry of Health has requested politicians, preachers and community leaders to receive the vaccine |
Hii ni njia mojawapo ya kuwapa motisha wananchi pamoja na walio katika kipaumbele kupokea chanjo hiyo | This is one way to give citizens and those at the top of their list an incentive to get the vaccine. | This is one way to give citizens and those taking the lead an incentive to get the vaccine. |
Muungano huo wa Wiper, KANU na ANC wamesema kuwa wataandaa mkutano wao baada ya virusi vya korona kupungua humu nchini | The Wiper, KANU and ANC alliance said they would hold their meeting after the coronavirus declined in the country. | The Wiper, KANU and ANC alliance said they would hold their meeting after the coronavirus declined in the country. |
Wamesema kuwa wanaunga mkono mageuzi ya sheria kupitia kwa BBI maneno yaliyosemwa na Moses Wetangula | They have said they support the reform of the law through BBI, a statement made by Moses Wetangula | They have said they support the reform of the law through BBI, a statement made by Moses Wetangula |
Mwenyekiti wa KANU Gideon Moi amesema kuwa nia yao ni kuona kuwa siasa za kikabila zinamalizwa jambo lililoungwa mkono na Musalia Mudavadi | KANU chairman Gideon Moi has said that their intention is to see that ethnic politics is ended which was supported by the Saadian Mudavadi | KANU chairman Gideon Moi has said that their intention is to see that ethnic politics is ended which was supported by Musalia Mudavadi |
Kiongozi wa ANC amepiga jinsi seneta wa Kakamega Cleophas Malala alivyong`atuliwa mamlakani kama kiongozi wa wachache bungeni akisema kuwa chama cha ODM kinadharau vyama tanzu vya NASA | The ANC leader has lashed out at Kakamega senator Cleophas Malala for dismissing him as the minority leader of parliament, saying the ODM party is disdainful of NASA's affiliates. | The ANC leader has lashed out at Kakamega senator Cleophas Malala for dismissing him as the minority leader of parliament, saying the ODM party is disdainful of NASA's affiliates. |
Wakimbizi katika kambi za Daadab na Kakuma wameiomba serikali kuangalia tena mpango wao wa kuwarudisha makwao | Refugees in the Daadab and Kakuma camps have asked the government to review their plans to return them home | Refugees in the Daadab and Kakuma camps have asked the government to reconsider it'ss plans to return them home |
Viongozi wanaotoka maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Kenya wamesema kuwa serikali inafaa ijadiliane na wakimbizi hao badala ya kuwafukuza | Leaders from northeastern Kenya have said the government should negotiate with the refugees rather than expel them | Leaders from north Eastern Kenya have said the government should talk to the refugees rather than expel them |
Viongozi tofauti tofauti pia wameunga mkono wazo hilo | Different leaders have also supported this idea | Different leaders have also supported this idea |
Seneta Moses Wetangula amesema kuwa wakimbizi ni watu waliokimbia maafa kwao hivyo basi kuwarejesha kwao ni kawarudisha katika shida zaidi | Senator Moses Wetangula said that refugees are people who have fled disaster, so returning them is putting them back in more trouble. | Senator Moses Wetangula said that refugees are people who have fled a crisis, so returning them is taking them back to more trouble. |
Utafiti huo pia umebaini kuwa mimba za kutopangwa zimerudi nyuma kwa asilimia thelathini na nane kutoka arubaini na mbili mwaka wa elfu mbili kumi na nne | The study also found that unplanned pregnancies have fallen 38 percent from 42 in the year two thousand fourteen. | The study also found that unplanned pregnancies had also dropped to 38 percent from 42 percent in the year 2014. |
Profesa Peter Gichangi ambaye anasimamia utafiti huo alisema wanawake wengi hupanga uzazi kwa njia ya kuweka vifaa kwenye miili yao almaarufu implants | Professor Peter Gichangi, who led the study, said that many women plan for fertility by putting implants on their bodies. | Professor Peter Gichangi, who led the study, said that many women do family planning by putting implants in their bodies. |
Gavana wa kaunti ya Kisumu ameambiwa ajitokeze waziwazi na aombe msamaha na FIDA | The governor of Kisumu County has been asked to come forward and apologize to FIDA | The governor of Kisumu County has been asked to come forward and apologize to FIDA |
Mawakili wa FIDA wamemwambia aombe msamaha kutokana na kitendo cha maafisa wa kaunti ya Kisumu kumvuta mchuuzi mmoja wa kike barabrani mjini Kisumu | FIDA lawyers have asked her to apologize for the actions of Kisumu County officials to drag a female trader down the street in Kisumu | FIDA lawyers have asked her to apologize for the actions of Kisumu County officials who dragged a female trader down the street in Kisumu |
Muungano wamawakili wa kike sehemu ya Kisumu wamesema kuwa kitendo hicho hakifai na kinafaa kushtumiwa vikali na hatua kali kuchukuliwa | The Women's Lawyers' Union of Kisumu has said that the act is inappropriate and deserves to be severely criticized and strict action taken | The Women's Lawyers' Union of Kisumu has said that the act is inappropriate and deserves to be strongly condemned and strict action taken |
Wamesema kuwa wana mpango wa kuhakikisha kuwa maafisa hao watashikwa na kupelekwa kortini | They have said they plan to ensure that the officers are arrested and brought to court | They have said they plan to ensure that the officers are arrested and brought to court |
FIDA imeiambia uongozi wa kaunti ya Kisumu kuwafunza maaskari hao wa kaunti bali siyo kuwachukua tu watu ovyo ovyo hadi walio na tabia hasi | FIDA has told the leadership of Kisumu County to train the county soldiers not just to take the uninformed people to the negative behavior. | FIDA has told the leadership of Kisumu County to train the county askaris not just to take rogues with uncouth behavior |
Kwa upande wake naibu wa gavana wa Kisumu Matthews Owili amesema kuwasheria itafuatwa kuhusiana na maafisa hao ambao tayari wamesimamishwa kazi | For his part, Kisumu's deputy governor Matthews Owili said that the law will be followed in relation to the officers who have already been suspended. | For his part, Kisumu's deputy governor Matthews Owili said that the law will be followed in relation to the officers who have already been suspended. |
Moto umeteketeza boma za familia nane katika kijiji cha Kasino kule Molo kwenye kaunti ya Nakuru | Fire has burned the fortress of eight families in the village of Kasino in Molo, Nakuru county | Fire has burned the homes of eight families in the village of Kasino in Molo, Nakuru county |
Kilichosababisha moto hadi sasa bado hakijabainika | The cause of the fire remains unclear | The cause of the fire remains unclear |
Moto huo ulianza katika chumba kimoja cha mbao kabla ya kusambaa na kuchoma nyumba za karibu | The fire started in a wooden room before spreading and burning nearby homes | The fire started in a wooden single room before spreading and burning nearby homes |
Wale ambao nyumba zao ziliteketea wanalilia hasara kubwa | Those whose homes were burned mourn the loss | Those whose homes were burned bemourn the loss |
Walioenda kusaidia katika kuuzima moto huo walipora mali ya familia hizo | Firefighters robbed the families of their property | Those who went to help put out the fire looted the property of the families |
Wanakijiji hicho wanaiomba serikali kuwanunulia gari la kusaidia katika kuzima moto | The villagers ask the government to buy them a fire extinguisher | The villagers ask the government to buy them a fire engine to help them in the event of a fire |
Mtu mmoja amepoteza maisha yake katika barabara ya Voi kuelekea Mombasa | One man lost his life on Voi road to Mombasa | One man lost his life on Voi-Mombasa road |
Mtu huyo alikua akiendeshapikipiki kuelekea Mombasa alipogonga gari aina la Toyota ambalo liliegeshwa kando ya barabara | The man was riding his motorcycle to Mombasa when he hit a Toyota that was parked by the side of the road | The man was riding his motorcycle to Mombasa when he hit a Toyota that was parked by the side of the road |
Mkuu wa polisi eneo la Kinango Fredrick Ombaka alitoa ripoti hiyo | Kinango Police Chief Fredrick Ombaka reported the incident | Kinango Police Chief Fredrick Ombaka reported the incident |
Alisema kuwa mwendazake huyo alipata majeraha mabaya sana kwenye kichwa chake kitu kilichomuua | He said that the partner suffered severe head injuries that killed him | He said that the deceased suffered severe head injuries that killed him |
Mwili wake tayari umepelekwa katika chumba cha kuhifadhi maiti | His body has already been taken to a mortuary | His body has already been taken to a mortuary |
Kamishna wa polisi eneo la Bonde La Ufa Natembeya amesema kuwa tayari ameweka mikakati ya kuhakikisha kuwa silaha zinazomilikiwa na raia zinachukuliwa | Police Commissioner of the Valley of Ufa Natembeya said that he has already put in place strategies to ensure that civilian-owned weapons are taken | The Rift Valley Police Commissioner, Natembeya said that he has already put in place strategies to ensure that civilian-owned weapons are taken |
Amewaambia raia katika eneo la Transmara kutafuta njia za kutatua tofauti zao bali siyo uvamizi wa mara kwa mara | He has told the citizens of Transmara to find ways to resolve their differences rather than repeated invasions. | He has told the citizens of Transmara to find ways to resolve their differences rather than the frequent attacks |
Hata hivyo amesema kuwa amani imeanza kurejea sehemu hiyo | However, he said that peace has begun to return to the region. | However, he said that peace has begun to return to the region. |
Serikali imeshauriwa kujenga chuo kikuu kwa wale walio na ulemavu wa kusikia | The government has been advised to build a university for the deaf | The government has been advised to build a university for the deaf |
Muungano wa walemavu wa kutosikia wamesema kuwa Kenya haina hata chuo kikuu kimoja cha viziwi huku kukiwa na shule kadhaa za sekondari za viziwi ambazo hutoa wanafunzi wanaokwenda katika vyuo vikuu | The Association of the Deaf has said that Kenya does not have a single university for the deaf, while there are several high schools for the deaf that provide university students | The Association of the Deaf has said that Kenya does not have a single university for the deaf, while there are several high schools for the deaf that produce students who qualify for university |
Akizungumza katika mkutano wao wa kila mwaka mwenyekiti wa viziwi Francis Ng`ang`a ameikashifu serikali kuu kwa kuwatelekeza | Speaking at their annual meeting, the chairman of the deaf Francis Ng`ang`a has criticized the central government for neglecting them | Speaking at their annual meeting, the chairman of the deaf Francis Ng`ang`a has criticized the central government for neglecting them |
Kwa upande mwingine amewaomba wazazi kuenda katika mafunzo ya jinsi ya kuwasiliana na wanao kwa ishara | On the other hand, she has asked parents to attend classes on how to communicate with their children by sign | On the other hand, she has asked parents to attend classes on how to communicate with their children using sign language |
Bwana Ng`ang`a ameeleza mpango wa kujenga kliniki kwa viziwi akiomba wahisani kuwasidia kutekeleza mpango huo | Mr Ng`ang`a has explained the plan to build a clinic for the deaf asking donors to help implement the plan | Mr Ng`ang`a has explained the plan to build a clinic for the deaf asking donors to help implement the plan |
Wananchi wa Kenya wameshauriwa kupanda miti | Kenyans are advised to plant trees | Kenyans are advised to plant trees |
Daktari Chriss Kiptoo ambaye ni katibu mkuu wa mazingira amesema kuwa hilo litahakikisha kuwa Kenya inakuwa na asilimia kumi ya msitu kama serikali kuu inavyotaka | Dr. Chriss Kiptoo, the chief environmental secretary, said that this would ensure that Kenya has 10% of its forest as required by the central government. | Dr. Chriss Kiptoo, the chief environmental secretary, said that this would ensure that Kenya has 10% of its forest as required by the central government. |
Akizungumza kule Eldoret Bwana Kiptoo amelalamikia idadi ndogo ya miti iliyo humu nchini | Speaking at Eldoret, Mr Kiptoo complained about the small number of trees in the country | Speaking at Eldoret, Mr Kiptoo complained about the low number of trees in the country |
Amesema kuwa miti bilioni mbili inafaa kupandwa kama hatua ya kuhakikisha kuwa Kenya inakuwa na miti ya kutosha | He said that two billion trees should be planted as a step to ensure Kenya has enough trees | He said that two billion trees should be planted as a step to ensure Kenya has enough trees |
Wahubiri kutoka maeneo ya Nyanza waeiomba serikali kuwazingatia katika hatua ya kwanza kupokea chanjo za korona | Preachers from Lake areas ask the government to consider them as a first step in getting coronavirus vaccines | Preachers from Nyanza ask the government to consider them in the first phase of giving the coronavirus vaccines |
Wahubiri hao wamesema kuwa wanatangamana na watu wengi hivyo basi ni vyema kupokea chanjo hiyo katika awamu ya kwanza | The publishers have said that they are in close contact with so many people that it is good to get the vaccine in the first phase | The preachers have said that they mix with so many people and its therefore important that they get the vaccine in the first phase |
Mhubiri Ondiek akizungumza maeneo ya Alego Usonga alisema kuwa wananchi wanapaswa kufuata sheria za kujikinga dhidi ya korona | Preacher Ondiek speaking in Alego Usonga said that citizens should follow the rules to protect themselves against the corona | Preacher Ondiek speaking in Alego Usonga said that citizens should follow the guidelines to protect themselves against the covid |
Mhubiri mkuu Ogwire ameomba uponyaji wa haraka kwa Raila Odinga ambaye alipatwa na ugonjwa huo | Chief preacher Ogwire has called for an urgent cure for Raila Odinga who had the disease | Chief preacher Ogwire has prayed for a quick recovery for Raila Odinga who had contracted the disease |
Muungano wa walimu KNUT umesema kuwa itarekebisha maelewano mabovu yaliyo kati yale na chama cha kuajiri walimu cha TSC | KNUT teachers' union has said it will correct the misunderstandings between it and the teachers' recruitment union TSC | The teachers' union, KNUT has said it will improve the relationship between it and the teachers' employment union TSC |
Bwana Hesbon Otieno ambaye ni naibu wakatibu amesema kuwa wanafunzi wameona magumu kutokana na mvutano huo | Mr. Hesbon Nocturne, who is a deputy attorney general, said that students have seen difficulties from the tension. | Mr. Hesbon Nocturne, who is a deputy secretary, said that students have suffered because of the tension. |
Hii ni katika kuhakikisha kuwa KNUT itawachagua viongozi wanaoweza kuboresha maelewano kati yake na tume ya kuajiri walimu | This is to ensure that KNUT will select leaders who can improve the reconciliation between it and the teacher recruitment commission. | This is to ensure that KNUT will select leaders who can improve help with the reconciliation between it and the teacher service commission. |
Alisema haya katika shule ya Bondo Township katika uchaguzi wa viongozi wa KNUT sehemu hiyo | He said this at the Bondo Township school in the KNUT leadership election that part | He said this at the Bondo Township school in the KNUT leadership election of the region |
Mwenyekiti wa KNUT Collins Oyuu amesema kuwa muungano huo bado uko tisti kwa vile ina wanachama wengi | KNUT chairman Collins Oyuu said the alliance is still in place as it has many members | KNUT chairman Collins Oyuu said the alliance is still in strong as it has many members |
Walimu wa chama cha KUPPET katika eneo la Migori wamelalamikia kuteswa na wanasiasa wameneo hayo | Teachers of KUPPET in Migori have complained of persecution by local politicians | Teachers of KUPPET in Migori have complained of harassment by local politicians |
Wanasema kuwa wanasiasa wamekuwa wakivamia shule za huko na kuwatimua walimu ambao hawapendi | They say that politicians have been invading local schools and driving out teachers who don't like them. | They say that politicians have been storming local schools and driving out teachers whom they don't like. |
Amesema kuwa serikali inafaa kuingilia kati ili walimu wawe na mazingira safi ya kufanya kazi | He said that the government should intervene so that teachers have a clean working environment | He said that the government should intervene so that teachers have a wholesome working environment |
Amezungumza wakati ambapo walimu wanalalamikia mateso katika eneo la Suna Magharibi | He spoke at a time when teachers were complaining about the persecution in the West Suna area | He spoke at a time when teachers were complaining about the harassment in the West Suna area |
Aliendelea kuwasihi raia wa Kenya kujitokeza ili wapate chanjo dhidi ya virusi vya korona | He continued to urge Kenyans to show up to get vaccinated against the coronavirus | He continued to urge Kenyans to show up and get vaccinated against the coronavirus |
Akizungumza na kituo fulani cha habari Ruto alisema kuwa licha ya kuwa viongozi serikalini hawajapata chanjo hiyo ilikuwa ni makubaliano bungeni kuwa maafisa wa serikalo, walimu pamoja na wale walio katika hatua ya mbele wapate chanjo hiyo. | Speaking to a news channel, Ruto said that although the government officials have not received the vaccine, it was a parliamentary agreement that government officials, teachers and those in the front line should get the vaccine. | Speaking to a media house, Ruto said that although the government officials have not received the vaccine, it was a parliamentary agreement that government officials, teachers and those in the front line should get the vaccine. |
Amesema kuwa muda ufaao ukifika ataenda kupokea chanjo hiyo ambayo amesema ni salama na itawasaidia sana wananchi | He said that when the time comes he will get the vaccine, which he said is safe and will be very helpful to the citizens. | He said that when the time comes he will get the vaccine, which he said is safe and will be very helpful to the citizens. |
Wakati huo huo Ruto amewakashufu sana baadhi ya viongozi ambao wana mpango wa kutengeneza muungano wa vyama vya kikabila | Meanwhile, Ruto has been very critical of some leaders who plan to create a coalition of ethnic groups | Meanwhile, Ruto has strongly condemned some leaders who plan to create a coalition of ethnic parties |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.